KIFO CHA MTUME ni Qaswida nzuri sana na yenye kusisimua pindi utakapoweza kuisikiliza. #qaswidamurua #qaswidaswahili #kaswida #kaswidanamawaidha #nasheed #islamic#nurdinabdullah #sheikhnurdinkishk
Пікірлер: 42
@saudakingazi96812 күн бұрын
MashaAllah
@ShaibuTulo8 күн бұрын
Naipenda sana
@thegreatboys311Ай бұрын
Aswaliwe mtume Muhammad
@MusaKiruasfamily22 күн бұрын
Hii kaswaida kipindi inatoka nilikua na mwanamke nilimpenda sana kusema kweli ila alikuja kunikataa hivo kila nikisikia inanikumbusha kipindi hicho tupo kwenye upendo wa dhati
@aeshaha764919 күн бұрын
Masha Allah ❤❤❤❤❤❤
@RamadhanHonero23 күн бұрын
Maashalaah ❤swadacta
@user-uf6hw6rf9tАй бұрын
Toka siku nimemsikia siku ya kwanza nilijikuta machoz yananitoka subhanallah IPO moyon na sichoki kuisikiliza huwa unanifanya nijione mm ni nan ninaejisahau kwamba IPO siku na mm nitaondoka kama mtume WA mwenyezimungu yalimfika mauti
@MikendoSaidi18 күн бұрын
Mashallah jambo kubwa sana..hadhweem
@salimually23883 ай бұрын
Masha allh
@khadigahkk98152 ай бұрын
Mashaallah mashaallah mashaallah ❤❤❤
@habibabarker1644Ай бұрын
Salalah Nabiiii
@mwanasaid61528 күн бұрын
MASHALLAH......hii kaswida niliitafuta kwa miaka mingi sana hatimae leo nimeipata❤❤❤❤
@user-vt4mh4lv6n2 ай бұрын
Mazhallah
@abdoolshakuruswalehe5462 ай бұрын
Hii qaswida nimeitafuta sana kwa zaid ya miaka 5,ninayo imeanzia katikati tu,, hii imeanza mwanzon mwisho mashaallah 🎉🎉🎉
@qaswidamurua2 ай бұрын
Nicheki whatsapp nikutumie 0628924768
@asharamdan3632 ай бұрын
yaaan mimi nimeitafuta miaka 10 alafu nimeipata pasipo mimi kujua kama ndo yanyewe alihamndulillah 🤲
@HalimaHamadi-to4xk16 күн бұрын
Hii qasweda ni nzuri sana❤❤❤❤
@FaridaIsmail295 күн бұрын
Yaani kaswida hii ni murua sana yaani imeimbwa vizuri sana. Yaani nikiisikiliza inaniingia kabisa ktk moyo wangu kila siku naisikiliza . Tunaomba kaswida nyingine kama hizi. Mola awarehemu umati Muhammad wote waliotangulia mbele ya haki.
@user-zy4sx6xm4t2 ай бұрын
Allahu maswale aleikh MashaAllah nzuri sana love frm Kenya❤❤❤