GAMBO AMJIBU MAKONDA KUMCHONGEA KWA WAZIRI/ADAI MAKONDA ANATAKIWA ASHAURIWE

  Рет қаралды 13,588

JAMBO TV

JAMBO TV

Күн бұрын

Пікірлер: 92
@japhetdaudmaneno8440
@japhetdaudmaneno8440 18 сағат бұрын
Mziki wa MAKONDA MAKONDA MAKONDA 🔥🔥🔥🇴🇲🇹🇿 hamuwezi,yeye alicokuwa anahitaji vikao ndo ufanisi💪
@titusmwele6885
@titusmwele6885 23 сағат бұрын
Gambo kumbe ni muelewa mnooo 👏😍
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 11 сағат бұрын
Gambo umefanya vizuri sana kumjibu
@JacobNelson-c5s
@JacobNelson-c5s 23 сағат бұрын
Uthuria vikao mzee
@errydeo8865
@errydeo8865 20 сағат бұрын
Shida ya makonda NI kutojua KAZI Yake! Tulimuona akiingila watu WA serikali na KAZI zao akasahau haukua na mamlaka yoyote KUHOJI mawaziri!
@ramadhanchenga4606
@ramadhanchenga4606 Күн бұрын
Hiyo ni dhambi mlifanya kuiba kura lazima iwatafune huku stahili kua mbunge
@uwesusaid5334
@uwesusaid5334 Күн бұрын
Gambo uko sahihi kabisa
@gilbertburasixbert2569
@gilbertburasixbert2569 Күн бұрын
Well explained
@jacksonchatanda9683
@jacksonchatanda9683 18 сағат бұрын
Katika hili naungana na Gambo!
@AnnoyedDove-oo3kk
@AnnoyedDove-oo3kk Күн бұрын
Kwa hiyo vikao huwa unaenda au tuwaulize wananchi😂😂
@jacksonchatanda9683
@jacksonchatanda9683 18 сағат бұрын
Na hakika Gambo ni kijana mwenye weredi, mstaarabu na mnyenyekevu sana! Hakurupuki katika kujenga na kutetea hoja zake….. huyu ndugu yetu mwingine nadhani anapaswa kujitathimini katika hili, kiukweli amekurupuka kujibu na kumshambulia Gambo kwa hoja dhaifu na zisizomhusu kabisa
@abdallahmmary8591
@abdallahmmary8591 23 сағат бұрын
Ushaur wangu hudhuria vikao ili uqw sambamba na wenzako
@Kickerskazini
@Kickerskazini 23 сағат бұрын
😢 Kwa hisia zangu, kiongozi wangu umejipalia zaidi mukaa..
@zainabumohamed4763
@zainabumohamed4763 Күн бұрын
Vipi zile hela mlirudisha na SASA mnaomba hela😂😂😂
@fredrickmwakalinga6390
@fredrickmwakalinga6390 Күн бұрын
Hivi Beni sanane mpaka leo haijulikani mpaka leo?
@amanichaula1
@amanichaula1 Күн бұрын
Tifuaneni wenywe kwa wenywe 😅😅😅😅
@ismailjuma6185
@ismailjuma6185 Күн бұрын
Gambo nakujua toka ukiwa mkuu WA mkoa huwa hauna lolote Zaid ni kugombanaga na viongozi wenzio ,sasa umevamia mtumbwi wa vibwengo Kwa MAKONDA utakula spana mpaka unyoooke😂😂😂
@elvira9325
@elvira9325 22 сағат бұрын
Hahahha kumbe watu wanakujua kaul ni moja t hudhuria vikao😂😂😂
@shivoly8098
@shivoly8098 18 сағат бұрын
😂😂😂😂 kipindi mkuu wa mkoa alikuwa anamfanyia nn lema vile
@salumusauko5632
@salumusauko5632 23 сағат бұрын
Umezungumza kisomi sana
@MlimaMagulu
@MlimaMagulu Күн бұрын
Pole san
@AndrewKisava
@AndrewKisava Күн бұрын
Mpaka uchaguzi unafika hakika gambo na makonda mtakuwa mmeng'oana meno
@jamaliddiin9357
@jamaliddiin9357 Күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@TheodoraAnatory
@TheodoraAnatory 23 сағат бұрын
@@jamaliddiin9357 Nadhani shida hapa ni ubunge, MAKONDA uwa anapenda kujikweza, na gambo kama aliingia kwa kuiba kura, yamemkuta. kama wanataka kwenda bungeni nimemsikia jamaa mmoja anasema ubunge hauna faida🤣😂wakati wengine wakiuwa wenzao wasigombee hata uenyekiti wa mtaa
@MalaikaBright-rv6yb
@MalaikaBright-rv6yb 21 сағат бұрын
😮😮😅😅😅
@shivoly8098
@shivoly8098 18 сағат бұрын
Konda boy ataenda nae sako to bako😂😂kajichanganya
@mohammedmdangwe2056
@mohammedmdangwe2056 18 сағат бұрын
Wewe ndiyo maana unausishwa kumpa sumu makonda una roho mbaya
@uswegemwakalobo6220
@uswegemwakalobo6220 Күн бұрын
Hayo si ungeuliza kwenye vikao?
@MagesajohnNyamonge
@MagesajohnNyamonge 2 сағат бұрын
Hatutaki kusikilza
@PeterJonathan-c8k
@PeterJonathan-c8k 23 сағат бұрын
Gambo leo umeongea kistaabu mno, kumbe wakati mwingine dishi haliyumbi
@elvira9325
@elvira9325 22 сағат бұрын
Mambo magumu mwaka wa uchaguzi
@ernestelias1358
@ernestelias1358 23 сағат бұрын
👍👍
@mohamedywally-sw6sh
@mohamedywally-sw6sh 21 сағат бұрын
Mnasubr mpk wakati huu wa uchaguz ndo mnafatilia miradi....tok 2023 mpk Leo ndo unaaza kuulzia mamb ya miradi kwl
@simbarajabu4157
@simbarajabu4157 Күн бұрын
Gambo ndio tabia yake ,kama mwanamke mala nyingi sana Yuko hivyo
@pancrasluoga4584
@pancrasluoga4584 23 сағат бұрын
Makonda anapasewa kuwaheshimu wenzake, asijione yeye yupo juu ya wenzake. Tatizo la makonda shobo nazo zinamfanya akurupukie mambo
@nikodemmwahangila3334
@nikodemmwahangila3334 Күн бұрын
Unakosea kuileta hapo makonda anakibali Arusha na Tanzania ungemtafuta ninyi mnapika chungu kimoja
@isacktesha6659
@isacktesha6659 Күн бұрын
Kibali kipi Arusha,
@salehkhalfan7345
@salehkhalfan7345 23 сағат бұрын
Gambo anawakilisha wananchi na ule sio Mkutano wa Mkuu wa Mkoa ni Wazir na wananchi hata hvo kwnn Makonda asimtafute Gambo
@lingwamalagila3003
@lingwamalagila3003 23 сағат бұрын
Nenda kwenye vikao
@MeshackMayenga
@MeshackMayenga 23 сағат бұрын
Kama ungekuwa unahudhuria vikao vya ndani kama alivyodai Mh.Makonda yote hayo ungeambiwa kwenye vikao,kitendo cha wewe kwenda tu kwa waziri na kuacha kwenda pamoja na viongozi wenzio wa mkoa hilo ni tatizo.
@shivoly8098
@shivoly8098 18 сағат бұрын
Mjumbe haudhurii vikao😂😂
@titusmwele6885
@titusmwele6885 Күн бұрын
Uko sahihi mh mbunge Gambo
@gideonkisiya6729
@gideonkisiya6729 22 сағат бұрын
Anatakiwa aelimishwe na kushauriwa kwani ana elimu gani ???? 🙃🙃🙃🙃🙃🙃🙃
@subiralema
@subiralema Күн бұрын
Tusubiri majibu ya makonda tena
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg 20 сағат бұрын
Viongozi muheshimiane
@lucasnyahega
@lucasnyahega 21 сағат бұрын
Makonda ameona ww ni mjinga umechukia
@SaidOmary-fd3bj
@SaidOmary-fd3bj 23 сағат бұрын
Muheshimiwa nafikiti hapa SS unapisema LIPO tatizo.
@danielelikana2615
@danielelikana2615 Күн бұрын
Ila unatakiwa kuhudhuria vikao mzee..usipandishe mabega!! Mwezi wa 10 uko kwenye kona!
@franciscomasungulwa3575
@franciscomasungulwa3575 Күн бұрын
Vikao vipi??? Vikao gani Mbunge anakuwa na RC???
@bahatjuma7458
@bahatjuma7458 Күн бұрын
Umeongea utumbo
@ChancellorFelix-vm5yp
@ChancellorFelix-vm5yp Күн бұрын
Sidhan kama Makonda angekukosoa hadharan kama unatimiza wajibu wako wa kikatiba
@TzkwanzaKilimanjaro
@TzkwanzaKilimanjaro 20 сағат бұрын
Kwani mako sio binadamu
@japhetlukumay2778
@japhetlukumay2778 Күн бұрын
Gambo, tangu uwe mbunge ulifanya nn arusha? Kila kona barabara za jiji ni kama handaki ya vita. Kila barabara ni mashimo.endelea kuna siku
@Ibrahim-ne3in
@Ibrahim-ne3in Күн бұрын
Hanaga akili panya huyu
@humphreymwihambi4330
@humphreymwihambi4330 Күн бұрын
Kwani kazi ya mbunge ni kujenga barabara?
@dorothmsuya1686
@dorothmsuya1686 Күн бұрын
Unatakiqa ujenge hoja ndani ya vikao! Ili mukitoka pale mutoke na kauli moja. Wewe kwenye vikao na wenzako huendi! Unakwenda kivyako vyako! Hiyo sio sawa! Umoja ni nguvu!!
@frankkessy1260
@frankkessy1260 22 сағат бұрын
jeshi la mtu mmoja
@mbwanarajab7238
@mbwanarajab7238 23 сағат бұрын
Makonda amesahau kwamba kujipandisha kwa kuwaumiza wengine ni zama zilizopita ila kwa sasa ni uchapakazi ndio kitu cha kuzingatia
@AlfanMwiru
@AlfanMwiru Күн бұрын
Mbona tulimchagua kwa wazi
@AlfredAsanwisyemwankotwa-dl2zy
@AlfredAsanwisyemwankotwa-dl2zy Күн бұрын
Kama kweli chama Kiko juu ya serikari,hii ni hatari, na nimejia sasa ndio maana wanachama wa vyama wakati mwingine wanaonekana kuwa na nguvu sana hii haiwezi kuipatia chama kingine, hili lazima lilekebishwe, kwa sababu chama kinaweza kuamlisha jeshi au mahakama ifanye vile kinavyotaka
@kwisa4899
@kwisa4899 Күн бұрын
Kwani ulikua ufahamu
@abdallahmmary8591
@abdallahmmary8591 23 сағат бұрын
Wewe ukiwa mkuu wa mkoa ulifanya jambo baya sana kuhusu ujenzi wa stand now wewe huenda unamapungufu kwenye utumishi
@ProsperMwakasungura
@ProsperMwakasungura 23 сағат бұрын
Wewe acha chokochoko. Dawa hudhuria vikao. Unashangaza sana. Kwamba mkuu wa mkoa hayupo kisheria? Unapiga tu kelele hapo bure. Nenda na vikao vya mkuu wa mkoa. Unakwepa Nini? Gambo elewa MAKONDA ndie SAMIA wa ARUSHA. Gambo unafeli wapi?
@Dinno_Dee
@Dinno_Dee 23 сағат бұрын
Unaleta Siasa mkuu hizi ni siasa watu hawataki maneno
@fathers19991
@fathers19991 22 сағат бұрын
Deputy ni mdogo kwa gavana wewe vikao ni muhimu mno
@JosephJackson-f1s
@JosephJackson-f1s Күн бұрын
Baada ya uchaguzi kukaribia ndo mnaamka miaka yote mlikuwa wapi
@marcokaroje8980
@marcokaroje8980 Күн бұрын
Makonda anatabia ya kujipendekeza kwa wakuu anawachafua viongozi wenzake ili aendelee kula kuku kwa mrija bwana
@LaurentMpilu-qe6lq
@LaurentMpilu-qe6lq Күн бұрын
Mkuu ningekuwa na viza ningechangia hoja ila natafuta viza, ili nikazibue hata vyoo ma mbele mbele Yao huko
@beinafuu6219
@beinafuu6219 Күн бұрын
Hawa watu nasikia kuna mtu halipewampaka kot ck anaebda kufubga ndoa leo naona bifu ndo hiz watu sio Mungu kuna ck mtakolofishana tu
@jamaliddiin9357
@jamaliddiin9357 Күн бұрын
Utakoma uliambiwa na nani muibe kura , makonda atakunanga sana kwa sababu mmeingia madarakani kwa wizi na ubabe ,sasa hakuna kulia lia hapo ,ushaitwa mjinga we tulia tu
@gilbertburasixbert2569
@gilbertburasixbert2569 Күн бұрын
Uko sahihi Mh mbunge ni wajibu wako kusimamia serikali ..maana wewe ni mjumbe wa wananchi
@amourmunga8356
@amourmunga8356 Күн бұрын
Ukijuwa wajibu wako aiwezi kukuletea shida
@AndrewKisava
@AndrewKisava Күн бұрын
Basi hapo kuna kitu au bifu la kugombea ubunge hapo daaa, mbona mmeanza mapema hivoo
@KostaJoseph
@KostaJoseph Күн бұрын
MIM NAKUSHAURI UNGEONGEA NAE KIMYA KIMYA NA UTEKELEZAJI UNGEFANYIKA
@kwisa4899
@kwisa4899 Күн бұрын
Yani mtu akupige kwa wakura wako kisha ukae kimya umfate ofcn.
@KostaJoseph
@KostaJoseph Күн бұрын
@kwisa4899 Wakati mwingine busara ni kukaa kimya
@AmanaHassan-cy4fi
@AmanaHassan-cy4fi 23 сағат бұрын
Wee Mrisho hayo ni Majungu... Makonda amekuchana hadharanii... Ulipaswa ujitetee hapo hapo... Now two late... Unamwambia nanii sasa hapo.. Fyoooo!!
@sophiemsuya6507
@sophiemsuya6507 23 сағат бұрын
Wala hajachelewa. Kama una adabu huwezi kubweka mbele ya mkuu wako, hata kama umekusema vibaya. Uungwana ni kuvuta subra. Haifai kugombana kwani wote ni ccm wanajenga nyumba Moja. Natamani wapatane ili mkoa upate maendeleo.
@AmanaHassan-cy4fi
@AmanaHassan-cy4fi 23 сағат бұрын
@@sophiemsuya6507 Basi dawa angekausha aone asubiri mengne... Na alipolaumiwa abadilike awe anahudhuria vikao. Hapo akiongea ni fitna tu na majungu aonekane mwema.
@MarioMwambasa
@MarioMwambasa Күн бұрын
Mh.nizama za ukweli papo kwa papo hizo ni kic za uchaguzi unatafta
@mwitajoseph8315
@mwitajoseph8315 Күн бұрын
Mheshimiwa nadhani unatakiwa ujidhasimini maaana nadhani swala kama hili sio mara ya kwanza hadi na ma dc so unatakiwa ukae na viongozi wako vizuri kuna sehemu utakua unawakosea ndo haya yanatokea mbona wabunge wengine hawakutani na haya
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 Күн бұрын
😢😢😢😢
@fredrickmwakalinga6390
@fredrickmwakalinga6390 Күн бұрын
Gambo unachaguliwa na wananchi hta kama ushindi wako ni magumashi usimyeyekee huyo jamaa atakutesa sana
@ottomap-u2i
@ottomap-u2i Күн бұрын
ila na ww uliwahi kuwa mkuu wa mkoa wa Arusha je unakumbuka nani alikuwa mbunge? au ndio usha sahau
@evancelyimo7527
@evancelyimo7527 23 сағат бұрын
Propaganda uchaguzi unakaribia
@japhetlukumay2778
@japhetlukumay2778 Күн бұрын
Du
@eng.josephmwisongo8827
@eng.josephmwisongo8827 Күн бұрын
Upo sahihi
@MariamKasha-n8n
@MariamKasha-n8n Күн бұрын
Mh makonda amenza kuingilia kazi za mbunge ambazo anawasemie wananchi kwa kingozi mgeni . makonda umeteleza kwanza kumumbia mbele ya wananchi wake walio mchagua kuwa c mtuvu wa nizamu je au unataka badae uwe mlisi wa mbunge ..vp mbona mapema hivo mmeanza marumbano
@EmmanuelMlowe-u1v
@EmmanuelMlowe-u1v Күн бұрын
A ha ujinga wewe Hujui nahumjui makonda, vikao vyamadiwani lazima ufike
@EmmanuelNyinyigwa-m1o
@EmmanuelNyinyigwa-m1o Күн бұрын
Wenyau tulia hutofautiani na mwanamke maraya kenge wewe
@TheodoraAnatory
@TheodoraAnatory 23 сағат бұрын
TATIZO WATU HAWAJAWAHI KUMWELEWA MAKONDA. HUWA ANA TABIA YA KUINGILIA MADARAKA YASIMUHUSU.🤣🤣🤣
MAZITO YA MRISHO GAMBO BAADA YA KUCHANWA HADHARANI NA MAKONDA
5:14
Quando A Diferença De Altura É Muito Grande 😲😂
00:12
Mari Maria
Рет қаралды 45 МЛН
It’s all not real
00:15
V.A. show / Магика
Рет қаралды 20 МЛН
Что-что Мурсдей говорит? 💭 #симбочка #симба #мурсдей
00:19
Trump announced the end date of the war / Emergency plane landing
14:05
How Your Gut Bacteria Control Your Decisions (It's Not What You Think)
9:16
Quando A Diferença De Altura É Muito Grande 😲😂
00:12
Mari Maria
Рет қаралды 45 МЛН