This man ni 🔥🔥🔥🔥🔥 hachochi masikioni tumuongezee muda
@sophiasophia69453 жыл бұрын
Mi nikianzaga kumsikiliza hua nasikiza clip zake zooooote zingine narudia hua napata utulivu nikimsikiliza
@harounzuberi81793 жыл бұрын
Allah mlaze mahala pepo kipenzi chetu Dr Magufuli
@ramadhanimandoa40583 жыл бұрын
Wew ni jahil unamuombeaj dua mtu aliye kufa na ukafiri
@harounzuberi81793 жыл бұрын
@@ramadhanimandoa4058 uelewa wako mdogo nakukumbusha Mtume S A W alimuombea dua baba yake Abu Tarib wakati hakutoa shahada ila Allah alimwambiaje Mtume wetu? Kwa hiyo usiwe na chuki anapoombewa dua mtu Allah anaweza akapokea au kutokupekea hata wewe unaweza kukesha unamuombea dua mzazi wako na motoni akaenda tuu
@dominickndomba44743 жыл бұрын
@@ramadhanimandoa4058 wewe ni pimbi na inaonesha umeishia la pili tena ukome kumtukana magufuli wetu
@josephineswai53303 жыл бұрын
Aise ata yericko nyerere hakutii huu moto...,thabit anajua sanaa
@endrewmhina33713 жыл бұрын
Dah! 😭😭😭 Yanapoongelewa yote hayo namkumbukasana hayat J-P-M.. Apumzike kwa amani..
@othmarluwawilo83083 жыл бұрын
Unamkumbuka kwa lipi. Alifanya mabaya yasiyooongelewa
@temuemanuel46713 жыл бұрын
Safi sana kwa uchambuzi mzuri. Mimi nataka Madikteta kama Magufuli, Gadafi na Wazir wa sasa wa Ethiopia. Hawa watu ni mashujaa
@samchris82163 жыл бұрын
Khalid,siku nyingine muongeze na Roy Sarungi..Ila kama kawa Thabit ameendelea kutema madini endeleeni na kazi nzuri 💪🏾
@onesmojeremia97133 жыл бұрын
Mimi mwenye roy waga namkubali kwa tatifi zake ,ile kichwa ikopouwa sana.
@johnampelius69853 жыл бұрын
Sarungi ameiva aisee pia kwa uchambuzi
@charlesnassary66893 жыл бұрын
Maguful alikuwa syo dicteta bali. mzalendo wa kweli
@jordanclassic78493 жыл бұрын
Kabisa nauhakika
@mrmhenipm3 жыл бұрын
Huyu jamaa namkubali sana kwenye uchambuzi ,,,,,,,nakupa salamu Mr Gangana
@annemwangoka77563 жыл бұрын
Aa kumbe nawewe unamfatilia huyu Jamaa! Kwakweli namuelewa sana huyu Mchambuzi Thabit! Anajua kwakweli
@matheomwakisole68192 жыл бұрын
Namba yake kwenye ya simu ni muhimu aiweke
@venanceselegebu85663 жыл бұрын
Huyu jamaa ni genius
@japheteliatosha47103 жыл бұрын
Thabit hongera sana,huu ndio utajiri wa nchi watu wanye Think Tank ya kutosha
@lotionetv28333 жыл бұрын
Nimeipenda sana hii makara na mtayarishaji, ahsante kwa ufafanuzi mzuri japo ndio ivo mashujaa wetu,watetezi wetu wengi wa Afrika tamewapoteza kwa njia za ovyo na kwa sababu ya wengi wapinzani wa ndani
@kaundasutikaunda77693 жыл бұрын
HAKUWAI KUTUANGUSHA MR. GANGANA...UBARIKIWE SANA KIONGOZI.
@josephatkiliko25463 жыл бұрын
Nafurahi kukuona Thabiti Mlangi nakukubali Sana kaka,wewe ni hazina kwa taifa Ili.
@JapharyBBudal3 жыл бұрын
Hiyo ndiyo elimu ambayo tulitakiwa kuwa na Tanzania na Afrika nzima, Siyo hii ya kuchoshana tu madarasani na ukimaliza unakuta msomi hajuwi chochote kile,ila kwa elimu ya brother hapo inazihirisha wazi kama ni mwanafunzi ameenda darasani kwa niaba ya sayansi au uchumi au fani yoyote ile lazma awe sawa.Kazi ya naikubari sana bro mr Gangana ,siyo kama vyombo vingine vinaandika vichwa vya habari tofauti na mada kisha vifungiwe eti nao wananyimwa uhuru wa habari.kuna wewe Gangana ,Millard ayo na Denis Mpagaze ninawafuatilia sana si kama hawa wengine .
@ganganainfochannel3 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏 hii ni kubwa kwangu
@JapharyBBudal3 жыл бұрын
@@ganganainfochannel Ndiyo hivyo bro mm naikubali sana kazi yako maana nimeshafuatilia channel nyingi za KZbin wewe upo poa sana ,unauliza maswali ambayo yapo smart sana na mada .
@ganganainfochannel3 жыл бұрын
@@JapharyBBudal shukrani sana sana
@mashirimathias60063 жыл бұрын
Big up Mr gangana uko vzr
@raheryjoel92113 жыл бұрын
yani ebu wsmshe walio lala wengi hawajielewi wala hawaelew mtu sahihi niyupi muda mwingine unaweza kukufuru magu alikuja kama maraika tu kafanya kazi yake kaenda wenye akili mbaya wametutudisha kule aliko tutowa mzee wetu mpumzika kwa amani
@onesmojeremia97133 жыл бұрын
Mpe salamu nyingi huyu mwamba yuko pouwa sana , Ndiye msomi akiongea unafeel kwamba anachoongea anajua pia Anaweza akakiweka kwenye matendo .kikafanya kazi,. Naomba siku nyingine akija aongelee mfumo wa elimu tulio.nao unaweza kuzalisha watu wanao fikria kwa akili zao na tunaweza kuwa na mfumo upi ili kuwa na watu bora kabisa kwenye taifa.?
@jastinekanjost80733 жыл бұрын
Hapo kwenye Mlengo👍
@matheomwakisole68192 жыл бұрын
Nimekukubali andika kitabu"
@sleifikhajjir2623 жыл бұрын
Najifunza sana.
@pauloqaymo89253 жыл бұрын
Mimi sielewi kuhusu DEMOKRASIA Kwa maana ya chama chenye dola na vyama vya upinzani kwani imekuwa kawaida mfano jimbo linaloongozwa na upinzani inaweza isipewe kipaumbele ktk shughuli za maendeleo na serikali ya chama tawala na pia vyama vya upinzani kupinga kila kitu kinachofanywa na chama tawala hata km ina maslahi mapana kwa taifa KWAKWELI NASHINDWA KUELEWA NINI FAIDA YA DEMOCRASIA YA VYAMA VINGI
@Pedeshee013 жыл бұрын
Demokrasi ya sasa ni magumashi tu yaani uchakachuaji mwingi,maana halisi ya demokrasia ni wengi wapewe,kama mimi wewe na mwengine tukanya uchaguzi kama wawili wao wapo sawa kimawazo basi wanastahili kupewa,Africa hakuna demokrasia ni ubabaishaji hakuna upinzani wala chama tawala.
@pauloqaymo89253 жыл бұрын
@@Pedeshee01 Kwakweli huu mchezo uliojificha kwenye Demokrasia siuelewi kabisa
@sidodeni34683 жыл бұрын
Nimekuelewa sana kaka ongeza juudi kutuelimisha
@abdulrahmanhassan92543 жыл бұрын
Naomba aongelee maswala ya ujasusi na upelelezi. Alafu mwambie aandike kitabu kuhusu maswala ya uongozi na mbinu zake
@emmanuelbunuma54713 жыл бұрын
Mchambuzi yuko vizuri
@mashirimathias60063 жыл бұрын
Na Hawa wanaowaita viongozi wetu Kuwa ni madikiteta ni hao makuhadi tunaishi nao wachumia matumbo yao na familia zao mfano mtoto wa kiongozi muuza unga / kiwanda cha kuzalisha mateja unategemea nn apo
@emmapaul17663 жыл бұрын
Utakua unaish kwa mashoga maana maneno yako ya uswahili swahili
@mbwanakiting71803 жыл бұрын
Hujaeleweka
@chiefmahucha68473 жыл бұрын
Unapoongea na public jaribu kuainisha hoja yako vema ili ueleweke, vinginevyo utakuwa unajitukanisha bure tu, "mfano hapa umebwabwaja tu" Hujaeleweka mkuu
@christiankambuga93385 ай бұрын
Safii
@burnmotto18763 жыл бұрын
Kweli
@hamisiausi60832 жыл бұрын
Umenielimisha vya kutosha na nimegundua magufuli ni mzalendo ila washenzi walimchafua rais wetu mungu ampumzishe kwa amani tutamkumbuka daima
@hajiabdalla57723 жыл бұрын
Hujui kitu dikteta hajali maisha ya wananchi wake haeng nchi wala kusaidia kama kule Zanzibar viongozi wake ni dikteta amani karume na sheni
@mbwanakiting71803 жыл бұрын
Kuvamia maduka ya bureau na kuchukua mapesa magari na Mali zao ni kufufua uchumi au udikteta?
@ngwanafabian96683 жыл бұрын
Ni kutimiza sheria
@mutayengelwamasatu23843 жыл бұрын
Naomba mjadala wa BRI na kupigwa kwake na nchi za magharibi.Pia ahusishe na issue ya bandari ya Bagamoyo.Thabit itapendeza zaidi
@johnfarayo66993 жыл бұрын
Thabit uko vzr mshauri rais samia
@zawadijoel75163 жыл бұрын
Asanteni sana
@kaundasutikaunda77693 жыл бұрын
SOMO ZURI SANA. NA HV NDIVYO DUNIA INAVYO ENDELESHWA NA MATAIFA MAKUBWA YALIO ENDELEA
@raphaeljuma68433 жыл бұрын
Madini ya hatariiiii
@shubackmashinga35353 жыл бұрын
Nakubali ✨✨✨✨✨
@kabhikachambala33923 жыл бұрын
CCM imelifanya jambo hilo kwa awamu. Nyerere alikuwa Solid Mwinyi alikuwa Lakini Mkapa Solid Kikwete Laini. JPM solid Samia Laini. AJAE ATAKUWA SOLID. HII NI FALSAFA
@kavumanicholas5643 жыл бұрын
Unataka kumtaja majaliwa au😆
@littlelunie.76533 жыл бұрын
Nsaidiwe namba ya thabitii
@DawsonKiwia-qt6zf11 ай бұрын
Tufafanulie mlengo wa kushoto na kulia.
@ramadhanrashid85363 жыл бұрын
Kwamaelezo ya thabit mchambuzi jpm alikuwa sahihi kwaungozi wake ilatu wenyeuchu wa madaraka ndiowaliokuwa wanatuposha Mimi mpaka Sasa sijawai kusikia utajiri wa jpm ,
@juliuskaheza49273 жыл бұрын
Kwa kweli una faa kuwa mshauri wa Raisi awamu 6
@salimumohammedsalimu17203 жыл бұрын
Thabiti mrangi ww ni chafu one kwenye uchambuzi wa politics
@floriankiiza28903 жыл бұрын
Jamaa hyo uko vizur,acha na wabongo wanaojidai ni wasomii
@casmirygregory49903 жыл бұрын
Daah naomba watanzania wa pewe elimu jmn tuendelee maana kuna watu wanajua kupinga hadi ukwel
@mohamedymussa40753 жыл бұрын
.Kwa kweli kupitia kipindi hiki najifunza mengi kuhusu siasa naomba mboreshe zaidi !
@AliAli-lu7or2 ай бұрын
Sisi waafrika ningumu kuendea sababu wamagaribi bado wanatukoni kitaalam nakama hutaki watakizimgua hebu wewe mwenyeakili mimi ninaemdesha nyumba yangu bila kuomba msaada inakuaje serikali kilasiku kukopa lazima uwe mtumwa
@fadhilikawambwa15863 жыл бұрын
pamoja kaka
@hajihismaili40312 жыл бұрын
Iko poa Sana
@alisele52993 жыл бұрын
GANGANA usimcheleweshe sana Thabit, muulize next time North Korea ni udikteta au watu wamagharibi wanaponda na ni maskini au tajiri, nchi za magharibi zinasema ni maskini, kama ni maskini mbona wanatengeza mabomu ya nyukria ambayo kuwa nayo hiyo nyukria wewe ni tajiri. Kweli maskini au propaganda
@sleifikhajjir2623 жыл бұрын
Nimejifunza pia kwako
@loner_wolf3 жыл бұрын
Nakuunga mkono kidogo, lkn. Mm loves my country, ya nchi nyngine tujifunze tukiwa tunasherekea I
@@willymwasakyeni4393 anavitu vingi vyakujifunza kweke Mungu amjalie afya njema
@shamimhayat76373 жыл бұрын
Alikuwa raisi mzuri
@kudrachristopher46403 жыл бұрын
Mtalaamu 😎
@amirlehao89453 жыл бұрын
@gangana naomba unieleweshe bwana thabiti anasema mlengo wa kushoto hapo sijaelewa tafadhali
@ganganainfochannel3 жыл бұрын
Somo linakuja soon
@amirlehao89453 жыл бұрын
@@ganganainfochannel shukran saana kaka jamaa yuko sawa saana
@amirlehao89453 жыл бұрын
@@ganganainfochannel pia natamani aje na uchambuzi kuhusu bunge letu, kuna viti maalum ziko kamati kibao pia kuna wakati spika anasimama kama mwenyekiti ni sheria zipi zinazomfanya awe hivyo
@gracegrace62002 жыл бұрын
Marais wa Africa lazima waiunge mukono Ethiopia. Thabiti anajuwa kabisa kinachoendelea duniani. Serikali ya Tanzania tukitaka kuendelea watu jama serikali inabidi wawe na watu kama Thabiti wenye ujuzi wa siasa za dunia kuwafunguwa viongozi wasiojuwa mambo yanavyoendelea duniani.
@hamismabula58133 жыл бұрын
Kwa maelezo hayo, nikilinganisha Katiba ya Tz imekaa kidikteta! Rais amepewa maamuzi makubwa mno! Akiteleza kidogo tu ktk kuamua, nchi nzima inaangamia na hakuna wa kumzuia! Anaamua anachotaka kiwe na kinakuwa, hakuna wa kumhoji! Yy ndo mwamzi wa mwisho!
@kambamazig020243 жыл бұрын
Mbona hujaisemea Marekani na ilivyotetereka wakati wa Trump? Ni rahisi kuongelea Afrika bila kuangalia nchi zingine za magharibi.
@kisalaTV3 жыл бұрын
Jmp
@gracegrace62002 жыл бұрын
Hakuna taifa liloendelea bila nidhamu ya udikiteta. Sheria zote wanazotuletea ni za kuturudisha nyuma. Nchi za Ulaya zina fedha zetu kwawo zilizotoroshwa na viongozi wetu, na wameziweka kimya. Hayati Magufuli hakuwa dikiteta walimuita dikiteta kwa kuwa alitaka kuibadirisha Tanzania kwa kupigania mali zetu na kutufunguwa macho kuwa sisi sio masikini. Kwa sasa Samia wamemukubali na kuanza kumpa vijisenti. Wanasema ukiona unasifiwa basi jiulize ni kwa nini. Hivi vijisenti na sifa wanazomutupia ni Rais Samia ni za kutufanya sisi ni masikini. Mawazo ya Chadema ni ya watu wanaotaka tusiendelee. Rais wa Singapore, alikikataa hayo mawazo ya Marekani na wakamuita dikiteta. Leo Singapore imekuwa nchi yenye kujitoshereza.
@joshuamwangomo26153 жыл бұрын
Gangana unatupa elimu bombs mno
@TheBlkk100mk3 жыл бұрын
Si kweli, huwezi tu kuja na mapesa yako UK bila kuonesha umezitowa wapi.. kwa mfano UK unaweza kusafiri na kuingia na pesa zaidi ya £3000 kwa US mpaka $10,000
@nurisahim78983 жыл бұрын
Hajasema uk kasema usa na china
@hamidumwaibingila42943 жыл бұрын
Siku nikiwa raisi wa nchi nitamchukua Thabit kua mshauri wangu, ili nifanye jambo lolote nitahakikisha amelipitisha
@taetommy83433 жыл бұрын
Khalid uwage unawapa kiti wakae wanachoka kusimama
@ganganainfochannel3 жыл бұрын
🙏🙏
@mbwanakiting71803 жыл бұрын
Ulianza vizuri lakini nilijua lengo ni kumsafisha nanii...nanii hakuwa mtu mzuri...tungeangukia pabaya...mungu amesaidia...utaongea Sana na lengo lako kubwa siku zote ni kuonyesha yule nanii alikuwa BorA kuliko huyu...Yulia yamepita tugange yajayo...
@beninigabo7693 жыл бұрын
Mwanaume wa kweli hawezi kuwa mnafiki kama wewe. Kudhihirisha kuwa wewe ni "Low Life/Lowest of the Law" unashindwa hata kusimama nyuma ya maneno yako i.e unatumia jina la uongo hapa. Ukweli ni wazi kuwa Thabit ni mtu makini na mwenye akili nzuri na siku zote chambuzi zake zinakuwa zinafikirisha sana na huwa haziegemei upande wowote. hayo uliyoyaandika ni wewe ndiye ulieyasema na wala usitulete Siasa hapa.
@kubakema3 жыл бұрын
Wewe unayejiita "Mbwana Kiting" acha kumuwekea Mchambuzi Ugoro Kinywani mwake. Siku zote Thabit amekuwa makini na mchaguzi wa maneno yenye tahadhari katika chambuzi zake. Sipingi mawazo yako, ninachopinga ni jinsi ambavyo unataka kujifanya umeusoma ubongo wa Mchambuzi na kugundua eti anataka "kumsafisha mtu". Kwa ufupi tu ni kuwa wewe jamaa ni Mshirikina, Mchawi, Una Husuda, Una Wivu wa Hinda na zaidi ya yote ni Kilaza wa hali wa hali ya juu na una upeo finyu sana. Vijana wengi wa Kibongo mpo hivyo
@siwamasokolo47823 жыл бұрын
Mbwana Kiting wewe ni Choko bila wasiwasi. Mwanaume wa kweli hawezi kuandika huku anatetemeka. Peleka ungese wako wa machoko wenzako. Umetumia vibaya uhuru wa Mawazo
@siwamasokolo47823 жыл бұрын
Kwa faida yako tu, hakuna kitu kibaya kama kumuwekea mtu maneno mdomoni au kutumia dhana kwa mtu. Hata Shetani hana uwezo wa kujua anachofikiria Binadamu, itakuwa wewe binadamu?. Mambo ya Siasa peleka kwenye majukwaa ya kisiasa. Huyu Mchambuzi siyo mwanasiasa, huyu ni mtaalamu.
@majabumndolwa27663 жыл бұрын
Eti "Ulianza vizuri na nyoko nyoko kibao" Uchi wewe. wewe Kiting amabe hata jina lako la shule umelificha unaweza kweli kuchangia la maana katika mada nzito kama hizi?. Wewe una HUSUDA na THabit, kama unataka kuwa kama yeye mfate pembeni muombe akuoneshe njia. Ulichoandika hapa kinakera sana. Thabit siyo Mwanasiasa, huyu ni mtendaji. Matako wewe
@jozymmasy27683 жыл бұрын
Duh! Kwa hali hii magu alikuwa dikteta
@chumawambura33753 жыл бұрын
tuamnie maana ya okomnist sio wote wanao erewa ni itikadi gani maana unatumia luga tofauti
@rusakanyohenry69323 жыл бұрын
Anatumia jina gani mitandao ya kijamii
@ganganainfochannel3 жыл бұрын
Hatumii
@bilalison-studio_tz49773 жыл бұрын
Unatubaniaa sio kharid
@mbwanakiting71803 жыл бұрын
Kwani hiyi Sheria ya kutakatisha fedha ilisaidia Nini wkati was utawala was nanii...eleza madhara yake ya Sheria hii wakati wa utawala huo...wangapi waliasirika na Sheria hiyo
@beninigabo7693 жыл бұрын
Mbona unachanganya mambo we jamaa?. Kwanza huyo "nanii" unaemtaja hapa ni nani?, Kama unayo hoja jiamini kuliko kuleta ushirikina katika mambo ya maana. Mfano ambao mchambuzi ameutoa kuhusu Sheria ya Kuzuia Utakatishaji wa Fedha haramu ni kuhusu Mwinyi. Hayo mengine yametokea wapi?.Ni dhahiri kuwa kiwango cha uchambuzi huu siyo kiwango chako, nenda kachangie kwenye hoja za kienyeji.
@kubakema3 жыл бұрын
Wewe Mbwana Kiting utakuwa na matatizo mawili makubwa au moja kati ya hayo, ni kwamba uko na Taahira ya Akili au Umetumwa. Vyovyote itakavyokuwa ni kwamba hufai kuchangia kwa sababu haupo katika uwiano ulio sawa wa kufikiri. Mchambuzi ametoa mifano mingi sana katika uchambuzi wake. Kwa upekee ametoa mfano wa mwinyi. Hayo mengine ni ya kukosa fikra chanya ni ya kwako
@siwamasokolo47823 жыл бұрын
Kiting sijajua umri wako, lakini inavyoonekana wewe ni dogo sana so kakojoe ukalale. Au inawezekana hukusikiliza hii Clip yote, hebu sikiliza tena halafu ujione ulivyokuwa mjinga.
@hassanhassan30212 жыл бұрын
brother Thabit Anzisha ka platform ambacho kitatupa nafasi sisi tulikua hatuja soma utpime brain wash ata kwa fedha
@kambamazig020243 жыл бұрын
Mbona hauiongelei Marekani na ilivyoyumba wakati wa Trump. Ni rahisi sana kuwaongelea viongozi weusi, wewe mwenyewe ukiwa mweusi kwa sababu umefundishwa kukariri waliyokuambia na wala hujajikwamua kimawazo. Sionie yeyote anyeiongelea Singapore wala Thailand hata Korea ya Kusini. Ila kwa Afrika mtapayuka sana, think out of the box and decolonize yourself.
@ganganainfochannel3 жыл бұрын
Haikua dhima ya huo mjadala. Tunaishi Afrika kaka, anza na yanayokuzunguuka. Mumihu zaidi ni kutoa wazo unalotaka lidajiliwe si kulaumu.
@ganganainfochannel3 жыл бұрын
Na kama ikikupendeza tuje kwako utupe elimu hiyo ,tuhojiane nawe.
@namandamzuma54783 жыл бұрын
Waafrika wivu ndiyo wetu. Achana naye huyu Gangana. Yawezekana form four fighting for food. Hana lolote.
@chiefmahucha68473 жыл бұрын
MADA: "Ufafanuzi kuhusu Udikteta/Afrika inaumia sana." US , Korea, Singapore na Thailand ziko Afrika ya wapi vile.!? Nikumbushe tafadhali, wengine hatujui Ramani ya Dunia....!
@kabwangaselemani52283 жыл бұрын
Aeleze vizuri maana ya udikteta hsitoshi hiyo
@floriankiiza28903 жыл бұрын
Anafaa kua mshaur wa rais
@lgffumbuka1833 жыл бұрын
Anesema vixuri, katumua naneno BILA KUFUATA NAONI YA WALIO WENGI. Ingefaa kama angerudinyuma akaeleza ANAPATIKANAJE na pili ANAONDO.EWAJE. Kama anapatikana kwa kura, maana yakw hawezi kuwa dictator kwa sababu atatolewa kwa kura hizohizo.
@gloriamichael79353 жыл бұрын
Km na huyu rais wetu Yuko kwenye orodha ya madictator km ndo hivyo hao wengine siyo madictator
@abras34793 жыл бұрын
Hivi kwa nini Thabiti kila anapotumia neno la kiingereza analiita neno la kitaalam? ni neno a kiingereza tu acha ku brain wash watu kwamba Uingereza ndo taaluma. tubishane kama anataka.
@loner_wolf3 жыл бұрын
Coession ni neno la kingereza? Ni maneno ya kitaalam ndiomaana anasema hivyo, ILA wewe hujui tu kingereza ni kipi na sio kingereza ni kipi...... Mfano life ni kingereza, bios ni kitaalam
@abras34793 жыл бұрын
@@loner_wolf
@abras34793 жыл бұрын
@@loner_wolf what is bios? hizi ni synonyms tu.
@abras34793 жыл бұрын
@@loner_wolf check kwenye English dictionary utagundua hilo
@lughanojohn42113 жыл бұрын
kwa akili yako inavyokutuma naona kama upo sawa, na nafikiri utakuwa umeshashinda tayari ivyo hawezi kushindana na wewe, jambo la msingi fanya na wewe kipindi chako na utumie maneno yako yaliyosahihi,,, KUMA Weeee.......
@onesmojeremia97133 жыл бұрын
Mpe salamu nyingi huyu mwamba yuko pouwa sana , Ndiye msomi akiongea unafeel kwamba anachoongea anajua pia Anaweza akakiweka kwenye matendo .kikafanya kazi,. Naomba siku nyingine akija aongelee mfumo wa elimu tulio.nao unaweza kuzalisha watu wanao fikria kwa akili zao na tunaweza kuwa na mfumo upi ili kuwa na watu bora kabisa kwenye taifa.?
@shamirahkantengwa60183 жыл бұрын
Huu ni ufafanuzi mzuri kabisa, wapinzani wa Afrika ni dhairi watoe mafunzo !! Hata ktk familia, udikteta unatakika ili mambo yakae sawa ! 🇺🇬