MCHAMBUZI THABIT AELEZA MBINU ZA NYERERE NDANI YA CCM/UTABIRI WA KUYUMBA KWA TAIFA

  Рет қаралды 19,961

Gangana Info Channel

Gangana Info Channel

3 жыл бұрын

Пікірлер: 115
@simonmwashambela3233
@simonmwashambela3233 3 жыл бұрын
thabiti nimeanza kukufuatilia tangu ulipo toa ile oja ya kununua ndege naomba nikwambie watanzania tunakufuatilia snaa tena kwa makini mungu akulinde sna
@jonasmasinde760
@jonasmasinde760 3 жыл бұрын
Huyo ndugu yetu kweli yuko poa siyo katika elimu tu bali hata katika hekima na ukalimu katika maongezi yake anavutia mtu kuzidi kumusikiliza hapayuki ovyo ovyo kama watu wengine poa sana ndugu big up 👏👏👏🖒
@kaygreko
@kaygreko 3 жыл бұрын
Huyu ni hodari sana
@fredrickkagwa8853
@fredrickkagwa8853 3 жыл бұрын
Big up brother
@wazirie4070
@wazirie4070 3 жыл бұрын
Hongera sana Gangana, unauliza maswali mazuri ambayo yanaitaji ufafanuzi kwa kuyajibu. Thabiti ni bora sana kwa kuyajibu maswali yako. Hongereni sana
@marianmartin7483
@marianmartin7483 3 жыл бұрын
Brother hongera sana, huwa nakufuatilia sana. Mb zangu sina mashaka nazo nazitumia kihalali. Wewe ni hazina, busara nyingi sana. Hawa ndo wanaofaa kuwa bungeni,( genius).
@remawetumi8916
@remawetumi8916 3 жыл бұрын
Siku hizi tupunguze habari za simba na yanga. .na dimond na Ali kiba.
@kidelenyafundi5167
@kidelenyafundi5167 3 жыл бұрын
Huyu kijana ni hazina, ni muhimu sana kwa Tanzania yetu
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 3 жыл бұрын
Ni kweli ni moja katika vijana wanaonitisha ila wananipa imani kwa maarifa yao anauelewa mkubwa sana
@mzalendotz3397
@mzalendotz3397 3 жыл бұрын
Huyu jamaa ni ule mgodi unaotembea. He's well equipped with a vast knowledge from different angles of life. Andika vitabu brother..chora utuachie njia sahihi za kufikiri kwa watoto wa watoto wetu. Maendeleo yoyote ya jamii imara kuna great minds nyuma yake. Keep it up bro.
@stevebupamba5009
@stevebupamba5009 2 жыл бұрын
Genius..... Product of advanced history (A). Political science...with knowledge in strategic management. Hongera mwanazuoni.
@salemsafen1118
@salemsafen1118 3 жыл бұрын
Mtanzania mwenzetu huyu yupo vizuri sana kupita maelezo na sio sawa hata kidogo kumuacha kuishi maisha anayoishi sasa. Huyu jamaa ni miongoni mwa mgodi wa madini unaohitaji kulindwa kwa kuzungishiwa ukuta yupo vizuri .Sina hakika anafanya nini ila anafaa kabisa kuwa kungwi wa vijana kama wale wa JKT wanaotayarishwa kwenda kulitumikia taifa. Histotia ya mataifa yote Duniani vyanzo vyake kuangauka au kunyanyuka ni matokeo ya akili kubwa au ndogo ya mtu fulani sio watu wafulani.
@stephensigonda9927
@stephensigonda9927 3 жыл бұрын
Kweli inafaa akawafunde vijana
@kaundasutikaunda7769
@kaundasutikaunda7769 3 жыл бұрын
Huyu jamaa ni Genius haina ubishi. Hata akiwa na kipindi hatuto jutia ilo.
@kaygreko
@kaygreko 3 жыл бұрын
Nukubaliana nawe 100%
@josephatkiliko2546
@josephatkiliko2546 3 жыл бұрын
Mungu aendelee kukutunza kaka naamini siku Moja utakuwa mahali fulani
@tomjoseph3809
@tomjoseph3809 3 жыл бұрын
Jamaaa anajaribu kuongea vitu vizuri Sanaa vinavyotakiwa kwa vijana asa kwa walioko katika muelekeo wa kutaka kujua vitu na tunaweza kuimpose kwa walimu itakuwa rahisi Sanaa kuinsipire vijana wadgo
@lupakisyoassa1579
@lupakisyoassa1579 Ай бұрын
Hongera sana kwa elimu mhimu.
@katemajr9374
@katemajr9374 3 жыл бұрын
Ombilangu Kwako Gangana Mwambie Thabit Atuandikie VITABU Vitatusaidia Sana Watanzani na Africa Kwaujumla.
@alihijiiddi8977
@alihijiiddi8977 3 жыл бұрын
KANISA LINABOMOWA MUENDELEZO WA MAKSHA NCHINI MSIKITINI NDIO UNAOJENGA MAISHA YA NATURAL LIFE WEWE MPUUZI SIYO KANISANI NA NDIO SADAKA AKILI FINYU MUONG KAUWA WAISILAMU HAITULII NO. ISLAAM NO LLIFE OF NATURAL 💪💪💪🕌🕌🕌🌎🌎🌎🌎🕌🕌🕌🌎🌎🕌🕌❤️👀
@nickypaul6483
@nickypaul6483 3 жыл бұрын
Ndoga iko vizuri(radicals)
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 жыл бұрын
Sana taifa letu la kiitikadi na mungu atalilinda sana tunaomba mungu atulinde sana kuwepo amani na upendo mungu amlaze mahali pema peponi amina
@nyamangaking6608
@nyamangaking6608 3 жыл бұрын
Brother uko vizuri,darasa lako linafaa kwa watanzania wote,nimeelewa sema ningeonana na wewe uso kwa uso nitapata mengi zaidi uliyojifunza.unafaa
@jeanfernandez2863
@jeanfernandez2863 3 жыл бұрын
Thabiti ni chuma
@ganganainfochannel
@ganganainfochannel 3 жыл бұрын
👍
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 жыл бұрын
Unaelimisha sana mjukuu wangu nakukubali sana hata Tanzania magufuli alifanya Tanzania kailetea maendeleo ya haraka sana kwa muda mfupi tumekuwa kama ulaya tunamuombea mama samia afuate nyayo
@dinocastico8495
@dinocastico8495 3 жыл бұрын
Mchambuzi kachambua vyema billa shaka ana kipaji cha kuzungumza
@stanslauslawa4777
@stanslauslawa4777 3 жыл бұрын
Thabiti ni mtu genius sana nampenda sana
@abdallabundala158
@abdallabundala158 3 жыл бұрын
Thabit the talent. Hongera bro.
@peterdeus6093
@peterdeus6093 3 жыл бұрын
Vitabu vip vizur vya uchumi na diplomasia huwa unasoma nas tusome maana kusoma ni njia bora ya kuongeza ufaham
@joshuamwangomo2615
@joshuamwangomo2615 2 жыл бұрын
Anatoa elimu nzuri sana
@thomasmuyya7221
@thomasmuyya7221 3 жыл бұрын
Gangana asante sana kwa kumpa mtaalam huyu nafasi hii. Vyuo vinamhitaji kaka huyu alete mabadiliko chanya.
@kabhikachambala3392
@kabhikachambala3392 3 жыл бұрын
Amesoma akaelewa na ili tuseme umeelewa ni pale tu unapoweza kulifundisha jambo hilo likaelewaka.
@nyamwizajoseph6241
@nyamwizajoseph6241 3 жыл бұрын
Hongera sana mchambuzi
@georgemajigwa1177
@georgemajigwa1177 3 жыл бұрын
Safi sana nimeshiba kimaarifa ya kimkakati na mikakati.
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 3 жыл бұрын
Thabiti si tu amesoma bali anakitu kapewa na Mungu pia.
@deusisindwa616
@deusisindwa616 3 жыл бұрын
Gangana huyu jama ulimtoa wapi?elimu ayoitowa nkubwa sana,Mungu amjalie afya njema aendelee kufundisha
@ganganainfochannel
@ganganainfochannel 3 жыл бұрын
Yupo hapa hapa bongo land 👊
@raymondkatengeza5903
@raymondkatengeza5903 3 жыл бұрын
Jamaa namkubali sana tatizo watanzania uwanashindwa kufatilia mambo yamsingi kama jamaa anavyotutoa kwenye mambo ujinga anatupa vitu kama tungependelea kusoma vitu au kisikiliza mambo kama haya tungekuwa mambo mengi mazuri nchini
@namandamzuma5478
@namandamzuma5478 3 жыл бұрын
Huyu jamaa hakupoteza karo ya wazazi wake shuleni; yuko vizuri sana.
@lumanyalumanya3426
@lumanyalumanya3426 3 жыл бұрын
Pongezi sana mchambuzi.
@harunking5418
@harunking5418 3 жыл бұрын
Nampataje mchambuzi huyu. please🤲
@japheteliatosha4710
@japheteliatosha4710 3 жыл бұрын
Nafurahi sana ninapoona vijana wa namna hii kweli ni vijana wanaostahili
@abdallabundala158
@abdallabundala158 3 жыл бұрын
Ww kwel Thabit maana unaongea yalio thabit.
@davidolomi9362
@davidolomi9362 3 жыл бұрын
Broo Thabit wennoma.
@henryxavery1713
@henryxavery1713 3 жыл бұрын
Thabit,Ulisomea wapi??Mbona Elimu yako inaoneka Kubwa,,kuliko madarasa Yote..!!! Mr Gangana Una Chuma hapo..Mbarikiwe Sana.
@madirishasimon9692
@madirishasimon9692 3 жыл бұрын
Amesomea Israel
@henryxavery1713
@henryxavery1713 3 жыл бұрын
Anafaa,Sana Awe Rais Wa Nchi Mh Samia akimaliza Kutuongoza Mwaka 2050,(30 Years for "Mama") Sio mbali Sana. Thabit Hana Dharau Kwa Viongozi Waliopo na Hata Waliopita.Pia Tunataka Viongozi wanasayansi,Ni Funga Domo Kwa,, wajomba zangu"Wakileta Mawashigeri-Unazuia Kwa hiji-hiza Block-then Unashambulia kwa Uchimomo Geri ndani ya Paja kwa nguvu na speed. .Inaitwa Hapa kazi Tu + KAZI Iendelee"=Watu wasiokuwa na Ajira watapewa Posho,100,000Kila Baada ya miezi miwili.Hakuna Ambayo Ataomba Mshahara uongezwe,Kuna Majukumu yatakuwa yamepunguzwa.Hela ni zetu,,wote na Nchi ni Yetu sote.Tuifaidi sasa. Mshaurini "Mh Rais Ma'Samia Hayo Mema''
@allykhery7812
@allykhery7812 3 жыл бұрын
Please brother gangana tunahitaji handle ya mitandao ya kijamii ya huyu brother thabit
@shubackmashinga3535
@shubackmashinga3535 3 жыл бұрын
Nakubali ✨✨✨✨
@kabhikachambala3392
@kabhikachambala3392 3 жыл бұрын
ANASOMA vitabu gani. Muulize
@hassanhassan3021
@hassanhassan3021 2 жыл бұрын
huyu jamaa ananimalizia mb sana yaani mungu akiwaleta kama hawa kumi tu Tanzania ,hatuwezi kurudi nyuma.
@simongalahenga6858
@simongalahenga6858 3 жыл бұрын
Nilikuwa na maswali mengi kuhusu shirika la ndege kupata hasara ulipolifafanua nikashiba na kuachana na wapotoshaji
@kudrachristopher4640
@kudrachristopher4640 3 жыл бұрын
Mtalaamu 😎
@kajirumsangi8086
@kajirumsangi8086 3 жыл бұрын
Ungechaguliwa uwe ata balozi wanchi ungefiti cn mkuu
@pendael02
@pendael02 3 жыл бұрын
English hiyo ya misemo watz wengi hawaelewi
@ilampahamisi5777
@ilampahamisi5777 3 жыл бұрын
Jamaa yuko vizuri Sana, Azungumuzie kuhusu azimio la ARUSHA. Na kwa sasa taifa linamwelekeo gani mahususi?
@changarawemichael5556
@changarawemichael5556 3 жыл бұрын
Mimi bado nalia na TISS chombo chetu Cha usalama tunaitaji watu wa namna hi wengi zaidi kwenye mfumo wetu wa serikali maana serikali ni mfumo na TISS ndio waangalizi nguzo wa mfumo sasa tuleteeni wazalendo na watu wenye muono wa mbali kama huyu
@cosmasevarist6221
@cosmasevarist6221 3 жыл бұрын
Huyu jamaa ana elimu
@erickmwakipesile2507
@erickmwakipesile2507 3 жыл бұрын
Akili Kubwaz
@aliychukachuka1061
@aliychukachuka1061 2 жыл бұрын
Daah madini yapo
@stephensigonda9927
@stephensigonda9927 3 жыл бұрын
Duh! Kweli Elimu haina mwisho yaani madini yakutosha toka kwa mchambuzi
@msangodiesel3132
@msangodiesel3132 2 жыл бұрын
Huyu jamaa mtandaoni anatumia jina gani
@ndamarevocatus4918
@ndamarevocatus4918 3 жыл бұрын
JINA LAKO LINASADIFU NIMEKUELEWA SANA TU
@uhurunyereremusa8592
@uhurunyereremusa8592 3 жыл бұрын
naamini siku Tume ya Uchaguzi Tanzania itakapotoka chini ya mfumo wa CCM naamini ndio itakua kifo cha CCM kwa maana entryism kati ya instruments of power na ccm
@emanuelhassani6141
@emanuelhassani6141 3 жыл бұрын
Bwn Thabiti wewe ni mtu muhimu kwa taifa. Tunakufuatilia.
@msangodiesel3132
@msangodiesel3132 2 жыл бұрын
Watu Kama Hawa serikari haiwaoni hata kuwatumia.kwa manufaa ya nchi Hadi mtu apotee duniani wanaanza kujikanyaga tumepoteza mtu mhimu Africa tubadilike
@michaelbenedicti6793
@michaelbenedicti6793 3 жыл бұрын
Aalikwe kujadili mfumo wa Elimu utakaoharakisha Tanzania kupata maendeleo ya haraka
@richardkaiza74
@richardkaiza74 3 жыл бұрын
Raisi wetu mpendwa Mama Samia Suluhu. Huyu jamaa Mr. THABIT ni hazuna za taifa. Akili ya hivi haipashwi kupotezwa hivi hivi. Anapashwa kuwekwa mahala hii ni Hazina. Kweli Mr Thabit Big up ( Hiki ni kipande cha Tanzanite . ). Serikali isione ukakasi kuwajenga na kuwapa nafasi serikalIni ,anaweza kutoa mchango mkubwa kwa taifa letu ,kutoka tulipo na kwenda hatua nyingine. Mpeni nafasi naye atoe mchango wake kwa Taifa.
@peaceisrael8158
@peaceisrael8158 3 жыл бұрын
Alifaa kuwa waziri wa mambo ya nje
@ramadhanchenga4606
@ramadhanchenga4606 6 ай бұрын
Ww ndg yangu hii nchi ina watu wengi wana akili wengi lkn bahti mbaya hawapei nafasi
@januaryanthony4062
@januaryanthony4062 3 жыл бұрын
👏👏👏👏
@amonntanguye3942
@amonntanguye3942 3 жыл бұрын
Anapatikana kwa majina gani kwenye mitandao ya kijamii?
@amonntanguye3942
@amonntanguye3942 3 жыл бұрын
Gangana tunaomba bwana Thabit aandike vitabu, maana ana Mambo mengi anajua. Kufanya hivyo kutasaidia kuongeza uelewa hata kwetu wengine.
@shubackmashinga3535
@shubackmashinga3535 3 жыл бұрын
Thabit nakubali ✨✨✨✨✨✨✨
@nyembomajidi3027
@nyembomajidi3027 3 жыл бұрын
kama Congo haikujengwa hata kiutikadi wala kiimila wala kidini hamna ki farasa nyingi Lakini kichwa hamna kitu.
@hassanmassaga2476
@hassanmassaga2476 3 жыл бұрын
Tukipata kama huyu 900 ivi ingependeza
@madirishasimon9692
@madirishasimon9692 3 жыл бұрын
Jamaa yuko poa sana
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 3 жыл бұрын
Bw.Thabit hongera sana kwa ufafanuzi wa entrism ya Nyerere ya kuimarisha Serikali ya itikadi ya ccm, tunaomba uendelee kupitia Gangana usipotee ili vijana wajue wako wapi,na wapi wanatakiwa kwenda... Ccm itatoka tu
@abdallahmuttaq7306
@abdallahmuttaq7306 3 жыл бұрын
Huyu jmaa kiukweli ni azina kubwa sana yaani mama ytu angemchukuwa na kumfanya ni katika washauri wake wakubwa we maswala mengi tu ya kulijenga taifa letu hyu hata ukiondoa elimu aliyonayo kichwani bado kutakuwa na kilichobakia kichwani
@josephatkiliko2546
@josephatkiliko2546 3 жыл бұрын
Brother Gangana uwe unamleta Thabiti hapa kila mara
@ganganainfochannel
@ganganainfochannel 3 жыл бұрын
Sawaa
@francokamugisa296
@francokamugisa296 3 жыл бұрын
Huyu jamaa kwann asiingie kwenye siasa akagombea urais kura yangu atapata
@abdallahmuttaq7306
@abdallahmuttaq7306 3 жыл бұрын
Kwenye siasa siafikiani nae hyu awe mshauri wa mama ytu tna wa karibu mmno
@kaundasutikaunda7769
@kaundasutikaunda7769 3 жыл бұрын
Mr. Gangana naomba Ndg Thabit aongelee juu ya mfumo wa elimu yetu kuanzia awali mpaka vyuo ...Hv ni sawa kutumia lugha 2 kiingereza na kiswahili ??kwann tusijikite na lugha moja na moja iwe kama somo linalo jitegemea??na nini madhara yake kama tutaamua kufanya hv kama taifa?? Au je haiwezekani na tukaendelea na mfumo huu huu ambao mwisho wa siku kingereza hatujui na kiswahili hatujui.
@loner_wolf
@loner_wolf 3 жыл бұрын
ALAFU PIA AONGEZE NI SAWA KUWA NA MULTIPLE CHOICE KTK MATHEMATICS ILHALI TUNAHITAJI WATAALAM WA HESABU?
@ganganainfochannel
@ganganainfochannel 3 жыл бұрын
Sawa
@rajabushahshah6870
@rajabushahshah6870 3 жыл бұрын
Kaka upo vizuri Sana ,tufundishe maprofesa ,kwasababu tunajichanganya
@solomonadams6337
@solomonadams6337 3 жыл бұрын
Wewe unadanganya Watu tuu hapo Nyerere Kichogo hajatumia mfumo huo unaoelezea wew kabisa kabisa sawa¿,Nyerere alitumia mifumo miliwi ya kikristo inayo fanana kwa kujificha ficha sawa¿Roman catholic and Anglican okay¿thanks
@sylverjosiasy8536
@sylverjosiasy8536 2 жыл бұрын
Salomon Adam, huna akili kwelikwel
@anthonymwilu239
@anthonymwilu239 3 жыл бұрын
Gangana, kaka muulize thabiti kwa nn leo kunajitokeza maneno kama sukuma gang, team msoga , watu wakusini na watu wa Kaskazini, je , ndio ukabila na ukanda umeota?
@josephzitto4870
@josephzitto4870 3 жыл бұрын
Ninakubali kwa yote wewe ni mkali
@saynabmohammed6263
@saynabmohammed6263 3 жыл бұрын
Andike wap mama anatupeleka
@jumamulimba2807
@jumamulimba2807 3 жыл бұрын
KIJANA Thabit, KWELI KWELI umebobea katika TAALUMA yako. Ipo siku UTAKUWA KIONGOZI MZURI KATIKA TANZANIA. MUNGU AKUTANGULIZE. HAKIKA, NCHI YETU YAHITAJI VIJANA KAMA WEWE.... WAZALENDO HALISI
@sannycpaul9423
@sannycpaul9423 3 жыл бұрын
GANGANA NASHAURI FUNGUA ONLINE TV AU HATA HII KZbin BT FANYA MAPATANO NA HIKI CHUMA THEN KUWE NA TOPIC EIDHA KILA WEEK WATU WAJUE NA ISIWE YA KUMVIZIA!! HUYU JAMAA ANATAKIWA SANA
@ganganainfochannel
@ganganainfochannel 3 жыл бұрын
🙏
@hassankurwa464
@hassankurwa464 3 жыл бұрын
Huyu mtu Gangana amempata wapi? Jamaa natamani nikutane nae na nimsikilize na anisikilize. Very portantial guy
@ganganainfochannel
@ganganainfochannel 3 жыл бұрын
Mtz mwenzetu huyo, yupo dsm
@TamuzaKale
@TamuzaKale 3 жыл бұрын
@@ganganainfochannel Akili kubwa!
@mrmhenipm
@mrmhenipm 3 жыл бұрын
Gangana nitumie namba yako hapa 0714548645
@ganganainfochannel
@ganganainfochannel 3 жыл бұрын
🙏
@ganganainfochannel
@ganganainfochannel 3 жыл бұрын
Nitakuchek bro
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 жыл бұрын
Ccm ni zaidi hao vyama vingine vya mashoga wakina tundu lisu hatukutaki hata ofisi zinawashinda kupaka rangi
@kevinchalamila6068
@kevinchalamila6068 3 жыл бұрын
naomba mawasiliano ya jamaa huyu
@ganganainfochannel
@ganganainfochannel 3 жыл бұрын
Fuatilia hayo maongezi utapata mawasiliano yake
@peterlugomoka3605
@peterlugomoka3605 3 жыл бұрын
Mmh
@rispernyakaka8442
@rispernyakaka8442 3 жыл бұрын
Thabit Mungu akulinde mno wewe ni wapekee mzalendo wa kweli
@mosesjuhudi7117
@mosesjuhudi7117 3 жыл бұрын
Hongera sanaa Thabit. Tunaomba azungumizie mfumo wa elimu ya Tanzania.
@andrewmuganyezi6161
@andrewmuganyezi6161 3 жыл бұрын
Rubish
@remawetumi8916
@remawetumi8916 3 жыл бұрын
Tujadili ila akili za kuambiwa changanya na zako. Utamaduni wetu ni uvumilivu. Tuvumiliane ss kama ss watanzania. Na kuheshimishana iizie kwa viongozi kwenye sera za uwekezaji lazima mikataba yote ya uwekezaji isiyokua ya wazawa ufunuliwe hasa masharti wanayokuja nayo wawekezaji. Yawe wazi hapo ndipo tutapunguza mijizi na Wala rushwa.
MCHAMBUZI THABIT ATOA SOMO MFUMO WA UTEUZI
38:00
Gangana Info Channel
Рет қаралды 3,7 М.
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 170 #shorts
00:27
Please be kind🙏
00:34
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 189 МЛН
FOOLED THE GUARD🤢
00:54
INO
Рет қаралды 63 МЛН
MCHAMBUZI THABIT, ELIMU BONGO IFUNDISHWE KISWAHILI AU KINGEREZA ?
42:38
Gangana Info Channel
Рет қаралды 6 М.
MCHAMBUZI THABIT AFAFANUA UONGOZI WA KIDIKTETA / AFRIKA INAUMIA SANA
30:55
Gangana Info Channel
Рет қаралды 21 М.
MCHAMBUZI THABIT AFAFANUA DHANA YAKUSHINDA NA KUSHINDWA KWENYE VITA
21:31
Gangana Info Channel
Рет қаралды 9 М.
Tungamira By The Unveiled
4:11
The Unveiled
Рет қаралды 5 МЛН
MCHAMBUZI THABIT AIBUKA UPYA/HAPA NDIPO TUNAPOFELI AFRIKA/AMTAJA KIKWETE
34:39
Gangana Info Channel
Рет қаралды 22 М.
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 170 #shorts
00:27