GARDNER: KIBONDE ALIUGUA GHAFLA, ALIDAI TUMBO, TULIKOSA DAWA / ALIMKUMBUKA MKE WAKE!

  Рет қаралды 62,973

Dozen Selection

Dozen Selection

Күн бұрын

Mtangazaji Gardner G. Habash, rafiki wa karibu na mfanyakazi mwenza wa marehemu #Kibonde amezungumza nasi kuugua hadi kufariki kwa Ephraim Kibonde alfajiri ya leo.

Пікірлер: 46
@anithakalist6194
@anithakalist6194 5 жыл бұрын
Pole sana gadna G abash pole na familia pia,mwenyezi mungu ndiye mtoaji kumlaumu atuwezi pumzika Kwa amani Ephraim kibonde😭😭🙏🙏
@hadijapazia684
@hadijapazia684 5 жыл бұрын
Daaah Gardner unaonekana umelia sn kaka!! Pole sn
@mohdyussah825
@mohdyussah825 5 жыл бұрын
Inah lillah raijuin poleni Sana Ni msiba wetu wote mungu atupe subra Amen. Na ampumzishe salama peponi Amen
@kareemlaayjr4545
@kareemlaayjr4545 5 жыл бұрын
Pole sana
@christinemangati1865
@christinemangati1865 5 жыл бұрын
Simanzi is deadly. Maybe he didn't eat for a while which triggered his gastric issue further. But kusema hakuna dawa,the government should have some chemist working 24/7. Poleni sana. It shall be well.
@frankndibalema6489
@frankndibalema6489 5 жыл бұрын
pole bro.Gadner kwa kupoteza swahiba wako .Mungu kampenda zaidi
@emmyyahya8358
@emmyyahya8358 5 жыл бұрын
Polen wafiwa wote jaman clouds mmetoka kumzika boss wenu leo mfanya kz mwenzenu daa 😥 ata machungu hayajaisha polen wafiwa wote
@mamafatuma138
@mamafatuma138 5 жыл бұрын
poleni sana kazi ya Allah aina makosa
@maureenmwimano1973
@maureenmwimano1973 5 жыл бұрын
poleni sana kaka
@shanimbaruku2071
@shanimbaruku2071 5 жыл бұрын
Pole da umelia jmn alikuwa Rafiki yako wa kweli kabisa utapooza Sana gadinner da
@dinamicheal5154
@dinamicheal5154 5 жыл бұрын
Polen sana clouds na ndugu na jamaa wa kaka yetu kibonde, na upumzike kwa aman
@sarahmbise8550
@sarahmbise8550 5 жыл бұрын
Kweli inauma sana pollen sana
@tanzaniamycountry9308
@tanzaniamycountry9308 5 жыл бұрын
Pole nying kwako Bro @ George bantu Mungu akutie nguvu kwa kuondokewa na swahiba wako
@OmanOman-cr2xz
@OmanOman-cr2xz 5 жыл бұрын
Pole sana kaka mungu awatie nguvu
@marywambuijamesnuuguna4187
@marywambuijamesnuuguna4187 5 жыл бұрын
Poleni mungu awape nguvu
@rehemaamon2692
@rehemaamon2692 5 жыл бұрын
Dah ww mungu ndo unajua watoto hawa wataishi vp maana ww ni baba wa yatima. poleni sana familia kwa ujumla. pumzika kwa amani kaka kibonde
@maryspeter2724
@maryspeter2724 5 жыл бұрын
hayo maswali "alikuwa ni mtu Wa aina gani " ,muwe mnauliza Kabla MTU hajafa ili naye ajue , unafiki na umama mwing sana waandish
@jasmineshechambo3401
@jasmineshechambo3401 5 жыл бұрын
Pole sana kaka
@starrecordshancej1083
@starrecordshancej1083 5 жыл бұрын
Poleni saaaaaaana ndugu, jamaaa na marafiki.
@margaretwambete1228
@margaretwambete1228 5 жыл бұрын
Pole WATZ.
@ayilarhoda2503
@ayilarhoda2503 5 жыл бұрын
Inauma sana jaman poleni sana familia na wana CMG.
@tanzaniamycountry9308
@tanzaniamycountry9308 5 жыл бұрын
Pole mingi pia kwako@Gadna
@heriethwilliamwilliam1781
@heriethwilliamwilliam1781 5 жыл бұрын
poleni sana familia ya marehemu na clouds kwa ujumla rest in peace kibonde 👫👪😫😭😱😰
@najma3268
@najma3268 5 жыл бұрын
Polen sana wafiwa , nasi tumeguswa maana imekua pigo kubwa kweli
@alfredmwamba9617
@alfredmwamba9617 5 жыл бұрын
Gardner pole sana kwa kumpoteza FM kabadigidajabadiggggidaaaaaa tutamkumbuka
@delabossreizer9471
@delabossreizer9471 5 жыл бұрын
Daaaa kama aligoma kuondoka mwanza huo muda naona alishaisi kitu flan ase inaumaaa
@hazelbrown4712
@hazelbrown4712 5 жыл бұрын
Dahh yani kama Rafiki yake Ruge ameenda nje ya Dar na Miguu yake anarudishwa ndani ya Dar akiwa ndanj ya Ndege Maiti... so sad wallah😢😢😢💔💔💔
@a.856
@a.856 5 жыл бұрын
Poleni sana rip baba kibs
@khalidikibakuli132
@khalidikibakuli132 5 жыл бұрын
cc tulimpenda ila mungu amempenda zaid
@semanasitv8303
@semanasitv8303 5 жыл бұрын
kwa hakika nimeumia
@stellafinsky9467
@stellafinsky9467 5 жыл бұрын
Kindly take care of is young kids
@evelyneernest8854
@evelyneernest8854 5 жыл бұрын
HAYA YOTE MAISHA UIIIII🙆🏾‍♀️🙆🏿‍♂️
@rhodamalembo7873
@rhodamalembo7873 5 жыл бұрын
Polen xana kwa familia ya marehem na clouds lkn tunaomba serikali liangalie hili swala la dawa mahospitalin haswa mikoan kiukwel dawa n shida xana asilimia kubwa wafarki kwa kkoxa dawa
@musafirikasha2765
@musafirikasha2765 5 жыл бұрын
Life is Nothing!!!
@alfanshonde2438
@alfanshonde2438 5 жыл бұрын
Daa r.i.p kibonde
@sabinaonline6575
@sabinaonline6575 5 жыл бұрын
Kwahiyo kumbe angepata hizo dawa bas asingekufa ee Mungu tusaidie,Tanzania hii dawa muhimu hakuna
@hizim6699
@hizim6699 5 жыл бұрын
Alikua anaumwa tumbo nanini nanini ndo nini sasa yani hata ww akili yako kuna mtu anaumwa nananini hv hawa wabongo vp yani mtu kafa gafla namna hio alafu unasema alikua anaumwa tumbo nanini nanini km hujui sema hujui yani watu wanachezea kifo cha mtu alafu apo apo anasema amehuzunika Alo watu wanafiki apa tz ni atari au ni anti book,, kwa sababu mtu uwezi kujib tumbo nanini nanini ndo nini sasa ndo ugonjwa gn??
@syksyk7295
@syksyk7295 5 жыл бұрын
Rip kbonde
@olivershayo5920
@olivershayo5920 5 жыл бұрын
jamani hospl hizi
@donalddominic8905
@donalddominic8905 5 жыл бұрын
Rip ndg yetu kibonde
@sophicatesalim9757
@sophicatesalim9757 5 жыл бұрын
Alipata mshtuko maskini
@babenealoyce889
@babenealoyce889 5 жыл бұрын
Kwahiyo hakupata matibabu bukoba? Au nimesikia vibaya
@halimamzanda6243
@halimamzanda6243 5 жыл бұрын
Mi nilijua kafa kwenye ile ajali daaa
@mwanadamtz1298
@mwanadamtz1298 5 жыл бұрын
MTU PEKEE WA KUCHUKUA NAFASI YA JAHAZI NI KABWANGA . R.I.P KIBONDE
@chadogyfrankibrahim2976
@chadogyfrankibrahim2976 5 жыл бұрын
R.I.P Ephraim kibonde nimeguswa
@husnajohn7466
@husnajohn7466 5 жыл бұрын
Gadna pole manake jahazi sasa limeyumba
Cook with Wema Sepetu - S07E10 Gardner G Habash
8:16
Wema Sepetu
Рет қаралды 41 М.
Пришёл к другу на ночёвку 😂
01:00
Cadrol&Fatich
Рет қаралды 9 МЛН
9/11: Minute by Minute | Full Film
1:04:18
EM Productions
Рет қаралды 2,7 МЛН
Mkasi | SO9E16 With Gadna : Extended Version
42:50
MkasiTV
Рет қаралды 61 М.
Dakika za Mwisho za 'KIBONDE', Dkt Isack Maro Asimulia "GESI"
4:47
Global TV Online
Рет қаралды 82 М.
TAZAMA BASHE, MPINA WALIVYOKUTANA USO KWA USO
10:18
Mwananchi Digital
Рет қаралды 31 М.