Kwani marehemu si anamtoto mwingine wakike , alikujaga clouds wakamtambukisha alikuwa hamjui baba ake 😢 yukowap sasa
@ashnaom22706 ай бұрын
Wenye vizaz zaen upweke wakuzaliwa peke unauma sana haswa siku kama hii unajiis jangwan peke, ila kuna MUNGU USIFAZAIKE MOYO , uzur unakizaz una mfariji , wazae nawengine ndo nduguzo, RIP JAHAZ NI GADNA
@siamoye45496 ай бұрын
Kwel mwaya watoto wanabak na majonz
@RehemaIsaac-o1d6 ай бұрын
Pole asee
@evelynekiguge6 ай бұрын
Hana ndugu wengine n mwanae tu!🤔🤔
@ismailmshana28286 ай бұрын
Mke wake alikua ledy jdyi
@kijeneema45276 ай бұрын
Hiv gadna hana mtoto mwingine
@rahema19926 ай бұрын
Wew watu wapo mcban
@binthkhamis80426 ай бұрын
Nilithan ni muslam kumbe ni mcristo kwa hile video yke....mola alazee roho yk kwenye wema...bwan ametoa bwana ametwaa
@ATUMAHENGE-jk8ie6 ай бұрын
Ndio kusema hata mke hana
@aminakipande56456 ай бұрын
😂😂😂 nimecheka kama mazur
@christinainnocent31846 ай бұрын
Mkewe huyo unamuona Lady JD
@upendogreutert1996 ай бұрын
Mnahoji maswali ambayo kwa Kama hii hata ingekuwa ukaulizwa maswali ya aina sijui ungejisikiaje, jamani Msiba I usikieni kwa Jirani tu 🥹