Mama mkwe nimekupenda sana natamani uwe mkwe wangu
@user-to6up4hg2w3 жыл бұрын
Nampende mama nimzuri sana she lucky to get mother in law like her
@annajohn85973 жыл бұрын
Mama mkwe mungu akubariki
@ndugumwananchi56443 жыл бұрын
Kabysa
@happybby6693 жыл бұрын
Bibi anaroho ya utu mungu amueke yuwapenda mjukuu wake 🤲🤲
@saphaamzee95483 жыл бұрын
Mmh
@renildevenerand94733 жыл бұрын
Sana maana anavyoudhi uyu dada angeachananae kabisa lakini anamfuatilia kwaajiri ya mjukuu.
@hadijamagufuli26613 жыл бұрын
Yani mama mkwe Ana moyo doh, kweli kwenye miti hakuna wajenzi
@rehhanrashid57353 жыл бұрын
Kabsa
@zeyzey54393 жыл бұрын
Mdogo wangu jmn acha pombe haina maana alafu weye mzur maashaallah
@rukiaiddyyahaya95063 жыл бұрын
Mama mkwe yuko smart wallah angekuwa wangu huyu☺️
@hermankijoshohp90953 жыл бұрын
😂😂😂
@rukiaiddyyahaya95063 жыл бұрын
@@hermankijoshohp9095 unanicheka tena😆😆😆
@rehhanrashid57353 жыл бұрын
Kabsaa
@rukiaiddyyahaya95063 жыл бұрын
Nakucheka kidogo so sana😆👌👌👌😘
@aminatanzanya74753 жыл бұрын
Kapat Mm mkwe mzur na muelew pia Mashallah
@hanifasilima9002 жыл бұрын
Mashallah nimekupenda bibi mung atakulipe inshallah pia pole kw kuondokew n mjukuu wko
@vicentemmanuel20483 жыл бұрын
Mtt na mamae wote wazuri Nimemuelewa huyo bint,tatizolake ni dogo sana linarekebishika,hongera mama mkwe unaupendo wa dhat na mjukuu na mama mtt.
@marryathumani13982 жыл бұрын
Muoe basi
@vicentemmanuel20482 жыл бұрын
@@marryathumani1398 Niunganishie basi fanya chapp
@achouraachoura57632 жыл бұрын
Subhan allah dah ...kupewa vizazi alafu wasijue uchungu mungu mlinde uyo mzazi na mtoto 🤲
@ZaharadaffaZaharadaff3 жыл бұрын
Huyu mamamkwe ni mzuri sana
@محمدالقايد-د6ب2 жыл бұрын
Mama mkwe Mungu akubariki ulijitaidi Sana Ila Mungu alimpenda zaidi kaona ampumzishe mtt
@zeyzey54393 жыл бұрын
Maashaallah mama mkwe una roho ya kipek mungu amkuze mtoto ❤️❤️❤️❤️
@leticiachipando97723 жыл бұрын
Ana mapenzi ya kweli kabisa jaman
@wemamgala48692 жыл бұрын
Naanaloho nzur kwer
@salhamrisho81383 жыл бұрын
Uyu mdada ni mzuri mnooh mashallah akipata m2 wakumuudumiya ni yupo vizuri saana
@amena_allahampekaulthabit10883 жыл бұрын
Mbona mama mkwe na mkwewe wamefanana😂😂😂😂😂
@ashazuber6548 Жыл бұрын
❤❤❤❤ila mama mkwe jaman namuomba Mungu anipe mamkwe kama huyu daah ❤❤❤😊😊
@hephzibahvictoria21503 жыл бұрын
Quite unfortunate and sad. She needs counseling with the experts.
@chainbre2753 жыл бұрын
Bibi anapenda mjuku wake Mashallah
@maidamwaipopo96033 жыл бұрын
Ningempata mkwe kama huyo ningemfanya rafiki
@zurfashafii95313 жыл бұрын
Ningepata mkwe kama uyo ningezaa ata watoto kumi wallahi
@hadijamandanje61893 жыл бұрын
Yaani anaumia kupitia maelezo
@halimamussa9613 жыл бұрын
Mamkwe nimekipenda bure mungu akujalie
@shosemanjira90153 жыл бұрын
Dah Gea tunakuomba tuchange tu Bibi aleee mtoto jmn
@smsalama65403 жыл бұрын
Wakwanza jamana naombeni like zangu👏🙏
@neemazee18643 жыл бұрын
Sasa like za nini kwenye mambo ya silious
@hanifaomar74383 жыл бұрын
Hapo hamna kitu kabisa bint mdogo anakunywa mapombe ya kienyeji
@darajalakidatukilomgi23623 жыл бұрын
Pole Gea kwa harakati, Gea weka namba yako ya simu tuchange ukanunue Maziwa na pempa, ili ukanunue maziwa kabisa, maana pesa ina vishawishi inaweza isinunuliwe maziwa, Gea weka simu yako tuchange
@glorymtuy35733 жыл бұрын
Namba imewekwa mbona kwenye screen huyo mama mkwe kaitaja
@dottohamisi98443 жыл бұрын
Mdada zuri mashaallah lakini anaendekeza pombe kwann usiache kipindi hiki unacho Lea njoo unipe mm huyo mtoto
Atamtia uziwi kwa hiyo miziki mtoto maskio bado hayajakomaa.
@Mku-wa-waku12 жыл бұрын
Mungu awatanguliye 🤲🤲🤲🤲
@namirihamisi38993 жыл бұрын
Huyo bibi angekwenda ustawi akawaomba huyo mama anyanganywe huyo mtoto ili bibi amlee atakuwa tu.
@mudibusha45583 жыл бұрын
Ningepata mm mkwe kama uyo
@rozzymosses26013 жыл бұрын
Daah Mungu tusaodie
@nipautago85743 жыл бұрын
Wanaume nao waangalie wanawake! Ona mambo
@AnaraelMpungu Жыл бұрын
Mama.Alfani Pole saidia watu Mungu atakulipia say bibi Ahmes
@ryhislamminamuonamsengetu91113 жыл бұрын
Wa mefanana na mkwewe☺☺
@tatukachingwe74513 жыл бұрын
Kweli kbs🤣
@leticiachipando97723 жыл бұрын
Na mm nimeona
@babakija3753 жыл бұрын
Dhaaaa mungu amsaidie uyo dada
@halimakihame17443 жыл бұрын
Dishi limecheza huyu dada.😂😂😂😂😂
@chunaabdullah13333 жыл бұрын
Daa Geah muacheni aende baa mtoto amuache🤔hile sehemu sio nzuri
@eben_ezer88533 жыл бұрын
Kuna wamama wakwe MashallAllah nimempenda huyo mama❤️❤️❤️😘😘😘
@margaretwambete12283 жыл бұрын
Chukua mjukuu bibi.
@stellah38443 жыл бұрын
Mm ndo ningempata mama mkwe wa hivyo yaan ningetulia hataree
@eben_ezer88533 жыл бұрын
@@stellah3844 yaaaaan wacha weee ningemlea mwenyeweeee ana utu sijawai ona❤️
@stellah38443 жыл бұрын
@@eben_ezer8853 hata mm huyu kumuona ni wa Kwanza aisee mama mkwe kama hawa walishakufa enz za askar anavaa bukta
@eben_ezer88533 жыл бұрын
@@stellah3844 ukweli😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣
@suzanfelix80653 жыл бұрын
Yaani huyu anaitaji maombezi tu khaa mrembo kweli dimpoz Kama zote weupe wa Carolina nao mashallah
@prettyshani97673 жыл бұрын
Hiyo hela ya kununua pombe kila siku anatoa wapi??
@abdallahmbelwa99763 жыл бұрын
Ulevi hauhitaji hela ukifika tu baa ushalewa
@lookbabes87103 жыл бұрын
Marafiki watakupea pombo. Marafiki watakunyina chakula
@hamidaalhabsi85683 жыл бұрын
Subhanaallah mungu wangu nikitu cha kushangaza msichana huyu yaani mtu ukizaa unakuwa unafikiria mtoto huyu kazidiwa na mambo ya dunia 💔 💔💔💔💔 pombe mbele huyu hawezi kulea kabisa asiseme katubu kama anampenda Baba yake mbona pombe kazi
@EK-kp2np3 жыл бұрын
Serikali itangaze kuwa BAA HAIRUHUSIWI WATOTO na akikutwa mtoto baa, basi hiyo baa ifungwe
@kamalissabig60763 жыл бұрын
Hakuna mtoto anae ruhusiwa kuwa Baa akikutwa hiyo inatakiwa ifungwe
@maloomaalmnsj51113 жыл бұрын
Baa awaluusu
@cuteme48703 жыл бұрын
mbn walitangaza kitambo watt hawakubaliwi
@hijahsaidy15623 жыл бұрын
Yes
@felistermichael76402 жыл бұрын
Mmmh haya maisha magumu Mungu tusaidie wanawake sisi daah
@imeldaeligius70583 жыл бұрын
Mdada mzuri Sanaa dah
@nkugi3 жыл бұрын
Halafu anafanana na mama mkwe wake
@hadijalukas59593 жыл бұрын
anaeamini huyu binti anafana na mkwe wake kama tupia like hapa twende sawa kufatlia kufatilia hii habari
@RoseRose-qj5pw3 жыл бұрын
Huyu ni mshenzi mpokonyeni huyo mtoto kabisa.yeye aende afanye hivyo ataka yeye
@Mazoea3 жыл бұрын
Kwakweli uyu dada ni mshenzi sana anyanganywe Mtoto...watu tunatafuta watoto yeye anamchezea
@zuenajohn83253 жыл бұрын
Mnyanganyeni mtoto.
@sellyneakinyi86183 жыл бұрын
Yaani Hilo ndilo wazo langu,
@achouraachoura57632 жыл бұрын
Alafu mdada mzuri Tu
@sirimohammed7853 жыл бұрын
😂😂😂😂pole wazazi wotee Mungu atutie nguvu maana mabint mtihani kwakweli mmmh Bint mzuri masikini sema umasikini ulaaniwe kwakweli
@Amina-bq2xe3 жыл бұрын
Siyo umaskini ni tabia tu , sababu hata watoto wa matajiri bahaazi yao wana lewa na shule wana acha
@jamilasalimvilog67523 жыл бұрын
Wakumi leo asante kwa muendelezo
@adeliphinamussa30853 жыл бұрын
Aokoke huyo binti,, amefungwa na roho za ulevi
@shibalubela65002 жыл бұрын
Ni kweli💯
@nibigiramwajuma79253 жыл бұрын
Pombe za kienyeji siyo nzuri kbs huwa zinahari watu wengi sana allah atunusuru
@aairraahseif56483 жыл бұрын
mbona kama mnambembeleza?kuzaa ni hiyari yake lakini kumuangalia mtoto ni lazima amri,kuna sheria ya haki za watoto,huyu mtoto ni kichanga kinanyonya,sasa pombe na kunyonyesha vipi hii,toka akiwa mjamzito hakutakiwa kunywa pombe,sasa kumruhusu kunywa huku akiwa ananyonyesha si sahihi,hii haijakaa sawa,mpelekeni dawati amuachie bibi mtoto ili amlee hata kwa maziwa ya kopo atakuwa tu kwa uwezo wa Allah,nayeye muacheni na hizo bar zake anywe mpaka azioge pombe, aswampe mpaka miguu ichanike,muhimu mtoto awe salama kwa malezi ya bibiake,msimbembeleze Gea,wee unajua sheria ya malezi salama na afya bora kwa mtoto,why unamwambia anywe nyumbani huku ana nyonyesha,hatakiwi kabisaa kunywa akiwa ana nyonyesha
@asyaasya37663 жыл бұрын
Umeongea point huyo ni Malaya mbwa hata wamnunulie hiyo mipombe ataenda tu kwenye ma bar
@spreadlove21193 жыл бұрын
Hata hivo huyu kashaharibika ni ngumu kuacha hizo mambo na anajiamini sana nadhani kibri na upumbavu vimelala hapo.
@munaahmed84993 жыл бұрын
@@spreadlove2119 kabisa najiuliza mara 2 sipati jibu sisi wanawake tukipata wakutuoa hatutulii tusipoolewa tunalalamika sasa wanawake tunataka nini? Huyu amuche mtoto na bibi yake tu atasababisha maradhi ya limonia
@saumusalimuhassan24993 жыл бұрын
Umeongea Bonge la point, cna chakuongeza dear 😘🙏
@spreadlove21193 жыл бұрын
@@munaahmed8499 Ila pia ukimuangalia bado umri mdogo na hata huyo alozaa nae wanaweza kuwa kuna vitu wamefanana ni vile hatuja msikia. 22yrs huyu binti.
@annasaidi94373 жыл бұрын
Amazing
@ruthp86843 жыл бұрын
daa nimejikuta nalia..kwahyo mtoto anashinda kila siku kwenye hayo makelele 😭😭😭😭 huruma Sana kwa malaika ,hizo kelele ni wazi zinamuumiza huyo mtt sema ndo hakana Cha kufanya
@leticiachipando97723 жыл бұрын
Wenye uhitaji wa watoto na wenye uwezo wa kulea Mungu hawap jaman
@mariamkibindo1741 Жыл бұрын
@@leticiachipando9772kila mwanadamu MUNGU atampatia riziki ya mtoto kwa wakat wake ni mda TU ila wataajaaliwa na wao InshaaAllah 🙏
@king-rr8oc3 жыл бұрын
Pombe mbayaa jamani bint mzur mnywajj WA gongo daaah inauma sana malika WA mungu anateswa bila huluma ila watoto km hawa wakishakuwa wanakuwa konkiii sanaaa akili mingiiiii sema God bleess
@ismailyusuph7403 жыл бұрын
Mh’ kweli wanaume inabidi kuangalia wanawake wa kuanzisha nao familia ‘ Huyu mwanamke ni mtihani mkubwa’ unawezaje kukaa na Mtoto wa siku 40 chini ya makelele ya muziki..!...huyu bint hatakiwi kulea huyo mtoto kwa mazingira Hayo hatobadilika ...! Mamlaka ziangalie hapo mtoto hapewi haki yake na mama’ lazma hatua zichukuliwe ‘ Sio mpk Watu wagombanie mtoto au sijui baba hataki kulea Ndio mshike mabango ‘ hata Huyu ni kwamba anatakiwa amuache mtoto na yeye aendelee kukaa baa...!..au hadi huyo mtoto apoteze uhai Ndio mtaanza stori ‘ maana tushazoea sisi mamlaka zetu huwa hazichukui hatua mpk tukio baya litukie Ndio matamko tutayaskia...MNYANG’ANYENI MTOTO huyo ‘ msiweke uhai wa mtoto huyo REHANI..!MUNGU hawezi kukubali KIUMBE chake kiteseke ‘ ATAKICHUKUA..!
@azizaaziza91133 жыл бұрын
Hayuko sawa huyo ana marohani
@azizaaziza91133 жыл бұрын
Yy anavoonekana anapenda mkusanyiko msaidiyeni bibi mtu amlee mjukuu wake make huyo mtt yuko kwenye hatali
@Legends_Interviews3 жыл бұрын
Yaani
@estermahenge59722 жыл бұрын
Uyo kk ni chizi nae una oaje mke kama uyu
@neykweyamba17842 жыл бұрын
Masikini Kashakufa 😭😭😭😭
@monicasangoda21532 жыл бұрын
jaman mama mkwe mungu akubarik ungekua ma mkwe wangu ningezaa watoto wengi
@khadijaqatar90803 жыл бұрын
Mama mtot mzur mashallah lkn hat sjui kwanin yuwafanya hivo mm hat nmeingiwa na hof huy mtot huend akamdhuru na hayo mapombe yake, Eeh Mungu mlinde malaika wako
@sweetluc26603 жыл бұрын
Jamani we binti ebu kaa umlee mtoto wako au ukitoka mwuache mtoto
@annahkitambi88273 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@abumoyo53413 жыл бұрын
Hapo halipo yupo tilalilaaa
@marygregory75663 жыл бұрын
Binti jirekebishe nakuomba sana
@rubenprince89903 жыл бұрын
Duuu kweli nyege mbaya
@gloryjohn17462 жыл бұрын
kaniuma huy mtot mungu akalaze mahal pema pepon nanyie wazazi mlo mzaa hiyo mtot raan iwatafune
@darajalakidatukilomgi23623 жыл бұрын
Navyoona wanazengo tuchange pesa ya maziwa ya kopo mtoto anyonyeshwe, na Mama apelekwe hospitali atibiwe saikology, maana hata maziwa yenyewe ya Mama yamechanganyika pombe sio mazuri kwa mtoto, Dada Geah tuwekee namba ya simu tuchangie maziwa, Bibi amyonyeshe mtoto apate chakula cha kueleweka, Mzazi apelekwe Hospitali akapate msaada, hapa mnaongea nae tayari kalewa na ameshawaambia hawezi kuacha starehe yake
@aminaramdan32833 жыл бұрын
Tuko Tayari Tena pesa Tumtumie Bibi yake Mungu Atatulipa zaid ya Tutakachokitoa,,, Nimemuonea Huruma sana Mtt,,,, Yani Ananyonya Maziwa Huku mama Anakunywa pombe Mtt Anakuwaje Jamani
@basmahalshammmari6413 жыл бұрын
Masha Allah wazozuri
@mamawawili40693 жыл бұрын
Da geah hy bint sio kusud huy ana stress
@sabahiali60213 жыл бұрын
Mama mtoto kama teja ivi
@linahsemindu42613 жыл бұрын
Muendelezoo👌
@jescaizengo97223 жыл бұрын
Pumbavu mkubwa kabisa yaan wengine tunatafuta watoto wengine wanafanya michezo na watoto 😭😭😭😭😭 Ee mungu nisaidie🙏
@zakiamseka96983 жыл бұрын
Kweli kabisa
@jescaizengo97223 жыл бұрын
@@zakiamseka9698 😭
@nantaembanusurupia56743 жыл бұрын
Wema chukua mtoto, achana na manunu!
@neutrineanzilimi97983 жыл бұрын
Kwa kweli huyo mtoto achukuliwe na serikali au aekwe ndani ili amlee mtoto juu hizo pombe na sigara c zinaafect mtoto aki eeh mungu wangu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏😢😢😢😢😢😢😢😢😢🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@mozuusuleiman47023 жыл бұрын
Changamoto ya ulezi na umama hajawa tayari kuikubali. Asemeshwe kukubali majukumu ya umama. Mama Acha aitwe mama ni changamoto sana na inabidi ajidhatit kuacha starehe zake za kipuuzi na aukubali umama. izo pombe anampenyezea mtoto kwenye maziwa.
@faridaiddi1043 жыл бұрын
Ata mpa mtoto ugonjwa wa rimonia uyu Dada akilihana malaya kungulu mbovu kanikera sasa pombe za nini ashtakiwe apte adabu kerebeee huyu sanuraaaa kabira kerebeee asweedi yaani unampta mkwe Mzuri arafu unalta ujinga kerebeee wee mdada Mzuri lkn chenga nyingi wengine tunatfta watoto wanaume wa kutuhudumia hatuna wengine mnachezea bahati pole binti 😭😭😭😭
@Noah-se3ni3 жыл бұрын
Huyu binti sio bure nimatatizoio bibi mtoto asaidiwe amleye mjukuu wake mahana anamoyo mzuri na mapezi kwa mjukuu wake.
@tinnahagustinolyelu4247 Жыл бұрын
Eti jamani mm naona hiyo mtoto huyu msichana ana matatizo mlevi halafu anaonekana mdangaji yaani huyu mtoto wampe Bibi yake
@aishajuma78133 жыл бұрын
Jamani duuuh
@nahishakiyeassuman55413 жыл бұрын
Mashaallah binti mzuri sana kwakwel jamani ani anakunywa pombe ya kihenyeji kweli kwakwel jamn ani
@d.a.t33833 жыл бұрын
Mzuri sana na anaongea vizuri
@margarethndyamkama55373 жыл бұрын
Nimeumia jamani
@priscachale73073 жыл бұрын
Huyo muhehe wahehe kwa pombe huwatoi kunamtu alikunywa pombe Mpaka kuuwa mtoto wake alimlalia
@fatumaabdallah10643 жыл бұрын
Mzuri sana msichana
@nahishakiyeassuman55413 жыл бұрын
Kweli mzuri sema ndio ivyo tena pombe ndio inamuharibu
@zabiyafahmikhamis48733 жыл бұрын
Daaah huyu mtoto maskini anavuta harufu ya mapombe asikia masauti ya miziki 😢😢😢 we binti tulia ujana unamwisho huo utakuja kujuta baadae hiyari yako hii dunia asofunzwa na mamae hufunzwa na ulimwengu
@apichitseso30733 жыл бұрын
Mtto mzuri mashallah🥰🥰
@mamaraheem53713 жыл бұрын
Mtoto nzuri jamn
@suhaymerhummu47933 жыл бұрын
Ila uyu fala mzur na dimpoz Mungu kampa lkn kichwa ndoo shida mpuuz uyu
@rosechuma98733 жыл бұрын
Hana haya.
@annajoseph99553 жыл бұрын
Mdada mzuri jaman
@ukhtyrayyan78843 жыл бұрын
Anauzuri gani mdomo kama buki kwa kunywa pombe
@annajoseph99553 жыл бұрын
@@ukhtyrayyan7884 sigara zimefanya kimdomo kimekua ka kimkundu
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
@@ukhtyrayyan7884 kaz ipo🤔
@محمدالقايد-د6ب2 жыл бұрын
Jamanii 😭😭Mungu amrehem mtoto poleni wafiwa imebidi nikafatilia kwanzia nilipo muona mtoto kafa😭pole
@koisimba44933 жыл бұрын
Da Geah huyo dada anatakiwa kwenda rihab
@mariamsaku22403 жыл бұрын
Chizi huyo
@dottokulwa91453 жыл бұрын
Mama mkwe upo pow sana
@goodluckmacha37403 жыл бұрын
Mpelekeni sobber house, huyu ana uraibu wa pombe....
@graciousmbise54643 жыл бұрын
Dada G jaman mpeleken huyo dada sobber house atakaa sawa msaidien huy malaika wa mungu
@hieljoe10173 жыл бұрын
Kabisa huyu sidhani kama ni pombe tuu
@abdulqareemabdallah25793 жыл бұрын
Hahahaha dagea unapiga zoezi hatr umbea raha nakupenda buree huna makuu na kazi yako Safi sana huyo mwenye mtt mwachen adange vizur
@zainabumapande94093 жыл бұрын
Daaah mtihani kwakweli 😭😭😭
@mwanahamis54873 жыл бұрын
Mnazalia nini Jamanii
@kreamagdfsa16973 жыл бұрын
Subhanallah
@mename60203 жыл бұрын
Subhanallah... Msichana mdogo sijui karogwa cjui ni balaa gan limempata... kuwa na tabiya ya pombe kupitiliza Allah tuhifadh na watoto wetu na vizazi vyetu...
@kassimkasola9493 жыл бұрын
huyo chizi mama siowake nimama wa mwenzie ana mstir tu lakin bado anafanya visa chiz uyo
@مريمحمد-و5م3 жыл бұрын
Ushaur wangu musimuachie huyo mtoto
@neemamushi93703 жыл бұрын
Ee mwenyezi mungu tusaidie
@mtitagirloriginal94723 жыл бұрын
😂😂😂😂ujaña maji yamoto kweli ila huyu mwenzet ndio maji yenyew yàmeeñdwa kuchotwa
@dorcaskidoti2493 жыл бұрын
Mbavu zangu mie 😂😂😂😂🤗
@mtitagirloriginal94723 жыл бұрын
@@dorcaskidoti249 🙄
@husnamamuya57843 жыл бұрын
Jamani uyu dada akapimwe kwanza ndo mumhukumu hayuko sawa uyu
@rehemanyale22123 жыл бұрын
Huyo da gear apokonywe huyo mtoto, ni mjinga sana
@khadijamasoud39363 жыл бұрын
Nakweli yaana angelipokoywa matoto akapelekwa segelea kama miez 6hilo dishi lingelikaa sawa tu 🤣🤣🤣
@rehemanyale22123 жыл бұрын
@@khadijamasoud3936 kweli kbs🤣🤣🤣🤣
@sabrinaamour90813 жыл бұрын
mtihani huu mtt mchanga jaaman huyu dada
@valenakomba76863 жыл бұрын
AENDE LAKINI MTOTO AMWACHE NA BIBI MTOTO
@modesterjulius11863 жыл бұрын
Pombe zikinoga mtot akianza kulia pia itakua hekaheka
@janelucas96163 жыл бұрын
Kazi kweli sio mzima huyo mama mtoto kwanza hicho kiduku kinatafsili mama sio mzima
@teedullah57083 жыл бұрын
Itabidi anyone maziwa ya kopo
@hijahsaidy15623 жыл бұрын
Ndio
@spreadlove21193 жыл бұрын
Tatizo pesa, mama uwezo hautoshi na baba mtoto pia sio mlezi kivile mama alishasema.
@daynesswillium96183 жыл бұрын
Maskini jamani dada mwenyewe mzuri tu mashallah.amlee tu mtoto jamani.pombe na mambo mengine atafanya tu mtoto hata akifikisha miezi 6
@chainbre2753 жыл бұрын
Anamutesa mtoto huyo dada
@mankalodi57963 жыл бұрын
Hela anatoa wapi ya pombe?
@SB-li5qv3 жыл бұрын
Pospartum depression.
@rithadonatus81103 жыл бұрын
Not sure !!! Alikuwa hayuko tayari kuzaa
@lewalewa75093 жыл бұрын
@@rithadonatus8110 kuzaa alikua yupo tayari ila hayupo tayari kulea.. Sio kila anayezaa hua mzazi bora sad ajichunge asijipata na uja uzito hivi karibuni. Mungu amlinde mtoto maskini malaika hana kosa 🤲