MAUAJI YA KUTISHA ARUSHA "WAMEMLAWITI, TOBOA MACHO NA KUMKATA MAPANGA KICHWANI"

  Рет қаралды 290,561

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 936
@ChambuaChambua
@ChambuaChambua 2 ай бұрын
Wanaoamini kama huyo mwanamke anajua kila kita gonga like
@AmaniRashidi-i9b
@AmaniRashidi-i9b 11 ай бұрын
Naunga mkono huyu mwanamke maelezo yake yana mgongano kwa mwandishi wa habari akipata police officer ataongea vizuri.tunao ungana na hili gonga like
@CkhardohThomas
@CkhardohThomas 2 ай бұрын
Polen sana wafiwa Mungu mwenyez awatie nguvu. Raha yamilele umpe ee Bwana na mwanga wamilele umuangazie,apumzike kwa aman. Amina
@AminaLibisa
@AminaLibisa 11 ай бұрын
Uyo mdada anajua kila kitu mpelekeni police akabanwe yani anajibu kama amekufu mbuzi uyo hatakiwi uhojiwa kama anatongozwa mpeni kibado kweli kunawanawake magaidi wallah mungu tunusuru yarab 🙏
@LindaMbilinyi-n3n
@LindaMbilinyi-n3n 11 ай бұрын
😢😢
@AminaLibisa
@AminaLibisa 11 ай бұрын
@@LindaMbilinyi-n3n 😭😭😭
@Nyanandi
@Nyanandi 11 ай бұрын
Mwanamke mkavu hvo jmn kama vle hajafiwa ni mhusika kabsaaa😢
@AminaLibisa
@AminaLibisa 11 ай бұрын
@@LindaMbilinyi-n3n 😭😭
@AminaLibisa
@AminaLibisa 11 ай бұрын
@@Nyanandi yaani ni sumu ni jangili kabisa wallah 😭
@zainabwage4658
@zainabwage4658 11 ай бұрын
Yaan ufiwe na mumeo alaf uwe na nguvu yakuongea km ivyo hapana kwa waliofikwa na misiba km hii wanajua maumivu yake maana uwez hojiwa unaweza ongea kwanza akil unais zimesepa polen ndugu wafamilia mungu awape subra inauma mno
@joharimanyanda3358
@joharimanyanda3358 11 ай бұрын
Huyu anajua kifo Cha huyo mtu
@mariamfritsi4943
@mariamfritsi4943 11 ай бұрын
Tena hana wasiwasi kabisa, tena anaongea kashika kiuno, hana hata tone la huzuni,
@sharifamahamudu182
@sharifamahamudu182 11 ай бұрын
Yani anajua uyo
@nusrathmanyawa4501
@nusrathmanyawa4501 11 ай бұрын
Yaani hadi namshangaa mumeo tena wa ndoa jamani
@pendomushi6351
@pendomushi6351 11 ай бұрын
Mfano mzuri tuliona Kwa yule dada alie liwa na mamba dada alilia Kwa uchungu yule 😢😢😢huyu hata simanzi hanaa
@rabiamenshoo1988
@rabiamenshoo1988 11 ай бұрын
Huyo mwanamke abanwe vizuri,atatoa ushirikiano wa kumjua muuaji.
@sharifaaliy1519
@sharifaaliy1519 11 ай бұрын
Ni kweli kabusaa
@mosesg.pendael8381
@mosesg.pendael8381 11 ай бұрын
Kwa sbu kahojiwa na mwandishi asiye na mipaka?
@sistymbombo1616
@sistymbombo1616 11 ай бұрын
Huyo mwanamke ndo anajua Kila kitu
@stephenrwaich1078
@stephenrwaich1078 11 ай бұрын
na huyo mwanajezhi achunguzwe sana pia
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 11 ай бұрын
Huyu mwanamke akikutana na wataalamu wa uchunguzi atasema ukweli.
@mwananganzi
@mwananganzi 11 ай бұрын
Pole sana kwa familia ya tumaini . Mungu awape subra na uvumilivu ktk kipindi hiki kigumu.
@roseafrael75
@roseafrael75 11 ай бұрын
Kwann unfanyie binadamu mwenzio kitendo cha kikatili namna hii,, kwann jamani 😢😢😢 ,,, kwann wamemuua kifo cha kikatili kiasi hiki,,,Mungu awaadhibu wahusika wote nimeumia mnoo,, serikali wafanye uchunguzi,, inaumaaaaa sana.
@Carolina-sm5zt
@Carolina-sm5zt 11 ай бұрын
Tuombe Rehema kwa Mungu tunapo elekea siko
@ukhtyrehemaabdy2830
@ukhtyrehemaabdy2830 11 ай бұрын
Inauma sanaaa ukwel Allah anaujua Allah awahukumu wahusika wote
@faridahaji5948
@faridahaji5948 11 ай бұрын
Huy dada ni kiboko hivi anajuaaa maumivu ya kufiwa na mume kweli uso mkavu hivi unajuaaaaa
@ramadhaniayubu6103
@ramadhaniayubu6103 11 ай бұрын
Ahaaa uyo mbona atasematu ngoja police wamuhoji vizurii kabisa
@AllyAmir-e9c
@AllyAmir-e9c Ай бұрын
Poleni wafiwa watu wajue adhabu za Mungu si za kibinaadamu na Mwenyezi ni mfatiliji wa hali ya juu sana kila tukio unaolifanya binadamu viungo vyako vitatoa ushahidi ,eneo uliofanyia litatoa ushahidi na kila kilichopo eneo la tukio kitatoa ushahidi . Kwa Mungu si kwa mzungu
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 11 ай бұрын
Subuhanallah. Binaadam. Unamuua mwenzio ujuiww utakufalini. 😢 inalillahi.wainailahi..rajuun. yani kuuwa binaadam wanaonakawaidatu. 😢😢😢yarabi tujaaliemwisho mwema
@anithiajohn9209
@anithiajohn9209 11 ай бұрын
Jaman amekufa kwa mateso sana inaumiza sana mungu tupe mwisho mwema😢😢
@laylayl5166
@laylayl5166 11 ай бұрын
Amiin yaarab kwakweli
@Carolina-sm5zt
@Carolina-sm5zt 11 ай бұрын
Amina
@QwaridaNadamassay
@QwaridaNadamassay 11 ай бұрын
Kweliiii jmniii
@stellamsokwa6785
@stellamsokwa6785 11 ай бұрын
Aisee dunia hii JAMANI dunia hii mweee😭😭😭😭😭
@FrancisNgabo2
@FrancisNgabo2 11 ай бұрын
Arusha pamejaa Majambazi Sana, Wahuni wote Wa Tz wapo Arusha, Huyo Mwanamke aulizwe vzr kuna Jambo anaficha lipo nyuma ya pazia
@husseinnuru7544
@husseinnuru7544 11 ай бұрын
Jaman hata kwetu Tanga kologwe yupo mkaka ameuliwa hvyo hvyo mungu tusamehe natulehem siisi eewe mola 2saidie
@FrancisNgabo2
@FrancisNgabo2 11 ай бұрын
@@husseinnuru7544 Ni hatari Sana, Watu wanafanya mambo Hayo wanadhani Dunia ni Yao
@esterswai9454
@esterswai9454 11 ай бұрын
Mungu akutie nguvu baba,,siyo rahis lakn Mungu atakuvusha
@Lllllllmmn
@Lllllllmmn 11 ай бұрын
😮😮😮😢mwamke kafiwa ila ata dalili ya uzuni hamna usoni khaaa mkavu
@africandarling6925
@africandarling6925 11 ай бұрын
Yani mwanamke anajua huyu kila kitu wallaah
@RobinahumpreyRobinafungo
@RobinahumpreyRobinafungo 11 ай бұрын
Jicho kavuu...mmmmm ,😢😢😢😢😢😢😢😢
@sharifamahamudu182
@sharifamahamudu182 11 ай бұрын
Tena mkavu mkavu tena
@DavalsonMarlony
@DavalsonMarlony 11 ай бұрын
du dunia watu wamekuwa na roho mbaya Sana usimuamin hata mke wako maisha ya Sasa syo kama ya zaman Ila Arusha matkio yamezd Sheria kdogo iwe Mt akiuwa nae anyongwe ad kufaa🪓💉✂️⚔️🗡️
@DavalsonMarlony
@DavalsonMarlony 11 ай бұрын
damu ya mt aiendagi buree
@officialfadhilomar5249
@officialfadhilomar5249 11 ай бұрын
Tujitahid kufanya mambo mazuri mambo mema.... Kuna matatizo yanaweza kuwajia hata vitukuu vyako ikiwa ni malipo ya yale ulio ya tenda... Wacha mitohani ije ila isiwe ni kwaajili ya yale mabaya tulio fanya.. Poleni sana wahusika mungu awape nguvu... Mungu atulinde sisi na vizaz vyetu
@AminaMwaba-rj3lo
@AminaMwaba-rj3lo 11 ай бұрын
Kwa kweli daaah
@aminathaabubakarmasoud565
@aminathaabubakarmasoud565 11 ай бұрын
Kulikuwa kuna issue gani mpaka upigiwe simu uulizwe kuwa amefika nawe ukajibu hajafika na kwa nn huyo Rafiki wa mumeo asimpigie muhusika??? Kuna utata hapo jeshi la police wafanye Kazi yao
@athumanfuko199
@athumanfuko199 11 ай бұрын
damu ya mtu haiendi bure watapatikana tu.
@JeannetteManirambona-o6m
@JeannetteManirambona-o6m 11 ай бұрын
​@athumanfuko1kabisa99
@AgnesJohn-x2s
@AgnesJohn-x2s 11 ай бұрын
Kabisa jamani huyu mama anajua yote
@KamiliSaba
@KamiliSaba 11 ай бұрын
Point san.
@KhalidAlsalhi-ru4us
@KhalidAlsalhi-ru4us 3 ай бұрын
Watapatikana. Kwa uwezo wa Mungu
@hamisaally968
@hamisaally968 11 ай бұрын
Uyu baba jamanii yaani usiku upo na mwanao asubuhi yupo chini amedhalilika😢😢Mwenyezi Mungu akupe subraa wallah😢
@yudatadeimdoe9215
@yudatadeimdoe9215 11 ай бұрын
Kesi rahisi sana hii kwa upande wa upelelezi****
@uwezawamungumkuu.amaniafrika
@uwezawamungumkuu.amaniafrika 11 ай бұрын
Ni ukatili wa kutisha sana. Binadamu binadamu ninyi damu hizi zitawalilia milele. Mwanaume unamuua mwenzako kwajili ya mwanamke ambaye ni sawa na siti ya daladala?. Poleni sana ndugu zetu. Amen.
@beathagabriel8438
@beathagabriel8438 9 ай бұрын
Usifike huko kutukana mwanamke kuwa siti ya daladala. Kumbuka una dada, mama, shangazi, nk.Mtuhumiwa yeyote atuhumiwe kivyake. Usihusishe jinsia na kuidhalilisha kwa kosa la mtu binafsi.
@vurilyrics3004
@vurilyrics3004 11 ай бұрын
Duuuu! Tuliosomea cuba tushajua tu huyo mama anahusika mana hata maelezo hayajitoshelezi
@leviskiwanga9070
@leviskiwanga9070 10 ай бұрын
Pole sana Mr Barick wana southern sun tunakupa pole sana -levis
@neeskpop
@neeskpop 11 ай бұрын
Huyo mwanamke, aojiwe vizuri, kwa sbb, maelezo yake hayaeleweki. Pole kwa wafiwa.
@rosemassawe9456
@rosemassawe9456 Ай бұрын
Yesu tuhurumie dunia nzima oh yesu tusaidie
@chimamilion
@chimamilion 11 ай бұрын
Yn unamwinamisha mwanaume mwenzio mpk unafika kilelen😢nawaza sana maumivu aliyoyapitia poleni familia 😢nawewe dd mbona mkavu ivo ata uzimii jmn
@AsdDsa-fi5qk
@AsdDsa-fi5qk 11 ай бұрын
Malaya atazimia kweli wkat amefurah
@yama_virginhairthequeen1065
@yama_virginhairthequeen1065 11 ай бұрын
Inasikitisha sana jmn
@SalamaNauthar
@SalamaNauthar 11 ай бұрын
Itakua kahusika huyu dada
@AshuuuBakari
@AshuuuBakari 11 ай бұрын
Yaani mimi mpaka sasa sijui walimzalilisha alikuwa ameshakufa au hai daaaa dunia hii
@chimamilion
@chimamilion 11 ай бұрын
@@AshuuuBakari yn nikijikata nakisu nais kufa cjui yeye alipitia wakt gan jmn
@MichaelSeleman-qp5dt
@MichaelSeleman-qp5dt Ай бұрын
Mwanamke anafaham kilakitu. Aseme vizuri. Ukweli wote anao.
@zalbak2738
@zalbak2738 11 ай бұрын
mwanzo alisema Aliyempigia hammjui baadae anamjua aiseee ikoo namnaa
@umsulaiman7468
@umsulaiman7468 11 ай бұрын
Huyu mwanamke muongo eti huyo alie mpigia cm anasema hamjui badae anasema anamjua huyu kunakitu anaficha na yy kahusika yy na huyu jeshi huyu anajuwa mbinu zakuu tobowa macho washenzi wakubwa Mungu awabainishe na awahukumu poleni wafiwa
@gabrielmurro7134
@gabrielmurro7134 11 ай бұрын
Alafu anasema baadae nilimpigia simu shemeji nikamuuliza Mbona ulisema Hivi Alafu tukio limetokea
@pcpoint1224
@pcpoint1224 11 ай бұрын
Mwana jeshi jeshini, uku uraiani ni punda kama punda wengine, wakamatwe ili kupatkane ukweli hii nchi hatukufundishwa tabia hizo
@jimlinekimani2326
@jimlinekimani2326 Ай бұрын
Ukweli uliko ni kwamba Simba wa tandale kaletea taifa aibu kwote duniani 😭💔 swali ni mbona Simba kakubali kalalwa naye inhali yeye ni mwanaume? kwetu Sasa tunajua Simba ni paka
@mamaabduly
@mamaabduly 11 ай бұрын
HUYU MWANAMKE MTUHUMIWA NO 1...ABANWE ATASEMA KILA KITU
@habisnasalum-nz4zo
@habisnasalum-nz4zo 11 ай бұрын
Mwanamke anajua kila kitu
@rosemassawe9456
@rosemassawe9456 Ай бұрын
Yesu rehema ishuke dunia nzima
@nelsonnikodem1100
@nelsonnikodem1100 11 ай бұрын
Poleni sana familia baba kasema haishii na mkewe mkewe kasema anaishi nae mbona kuna walakini
@HannanSomaiyah-wp7ny
@HannanSomaiyah-wp7ny 11 ай бұрын
Inna Lilah wainna illlah rajiun Baki Allah TU,hao walokifanya Wallah hawata lala salama,Mungu wangu nae mjua hatowaacha wauwaji,
@maryamm7765
@maryamm7765 11 ай бұрын
Dah 😢😢😢damu ya mtu aipotei
@verohmchihiyo5029
@verohmchihiyo5029 11 ай бұрын
Hii inaumiza sana sana sana... Mungu wewe ndio unajua kila kitu naomba utoe haki kwa kila mmoja
@ednahumazi777
@ednahumazi777 11 ай бұрын
Mumulizee vizuri.huyo.mdada
@MO12-b1q
@MO12-b1q 11 ай бұрын
Dah jamani inaumiza Sana mtazamaji nakuomba tu ulivae hili kama muusika hapo utatambua uchungu wake alafu unipe like hapa
@elinurukitomali6008
@elinurukitomali6008 11 ай бұрын
Mungu nisamehe hy dada mckilizeni maelezo yake nizairi anajua
@ShukranMwakyambo
@ShukranMwakyambo 11 ай бұрын
Uso wake unaeleza Kuna kitu anajua
@vesitinarevocatus7333
@vesitinarevocatus7333 11 ай бұрын
Haswaaa kwanza iyosim ilopigwa kwake kulikuwa nampango
@ShukranMwakyambo
@ShukranMwakyambo 11 ай бұрын
@@vesitinarevocatus7333 baba mdogo anasema walitengana yeye anasema sijawahi kuachana na mme wangu Kwanzaa kwa kifo alicho kufa mumewe anaa nguvu zote Kwanza macho yake tu. Yanajieleza j. apo sio mpelelezi
@athumanfuko199
@athumanfuko199 11 ай бұрын
huyo atasema yeye mwenyewe
@IrenMushi
@IrenMushi 11 ай бұрын
anaonekana ana ukwel mzm huyo sister
@alisterlexter1115
@alisterlexter1115 11 ай бұрын
Mhhhhh mbona kuna utata “Aliyenipigia simu simjui”……….mara tena “alienipigia namfahamu ni rafiki yake” “Baba mdogo kasema walikuwa wameachana kwa muda” na huko monduli alikuwa amechukuliwa na mwanajeshi 😢 Huo ni unyama jmni inaskitisha sanaaa kwakwel na inaumaaaa kwann wamefanya hivyooo daaaah💔💔🤲🏻😭 eeeh Mungu waliofanya hivi roho zao zisitulie milele wakataabike mpaka waamue kutubu kwa walichokifanya😢
@tumainichanya3268
@tumainichanya3268 11 ай бұрын
Baba wa watoto wako huyo hao watoto watakuwa wakubwa na hiyo storry wataikuta uso wako utaficha wapi dada?kuachana haikutosha halafu unajichanganya mara useme alompigia cm cmjui,mara rafiki zake sasa umejuaje kama ni rafiki yake kama humjui? Nafsi yako inajua ukweli,yani umetoka monduli umekuja kusalimia watoto mara mtu anakuuliza huyo amefika inaonyesha wazi ulikuja kishari kwa mauaji kabisa halafu ni mume wa ndoa khaaa jamani wenye uhitaji wa ndoa hawapati wasio hitaji wanapata ,na mchepuko unakubaliana nao hadi kumwaga damu ya mumeo mmmmh kumbe kwenye ndoa unaweza ishi na shetani mwenye jina la ushetani kabisa
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 11 ай бұрын
Yaana uso wa huyu mama unaonyesha ujasili kama hajapoteza kitu jamani huyu mke wa malehemu sijamwelewa anajichanganya maneno Sana ila atambue mungu analipa hapa hapa Duniani na damu NI nzito mtalipwa wote wahusika hata msipokamatwa na vyombo vya Dola mungu atawalipa NI kiasi cha MDA tu
@hellenmwayole8715
@hellenmwayole8715 11 ай бұрын
Dada anapanga Cha kuongea yaani anajichanganya anapanga sentensi hazipangiki, harafu anahofu furani. Duu Bora kuachana Kwa amani
@onyaluoma848
@onyaluoma848 11 ай бұрын
Eti flani typo,badala ya mume yupo!!!!
@tumainichanya3268
@tumainichanya3268 11 ай бұрын
Yaani ikiwa ndo mchepuko kafanya hayo lakini pia akirudi kwako Nako hata ishi nawewe maana ushaumtia ukakasi usisahau kuwa huyo ni mwanaume kama huyo huyo hivyo atakuogopa atahisi utaweza kumfanyia anything like that happened hivyo kama umeweza Kwa aliye mume wa ndoa Tena kakupa na uzazi baba watt utashindwa nini Kwa mchepuko ? nyie ndo mnaoharibu maana ya ndoa na kuacha doa lisilotakata hata Kwa clorox ,
@susankitila2898
@susankitila2898 10 ай бұрын
😭😭
@rosemassawe9456
@rosemassawe9456 Ай бұрын
Rehema ishuke yesu.
@ansilamadicha8680
@ansilamadicha8680 11 ай бұрын
Dada mkavuuuu😢 hyu alkula mchongo
@laylayl5166
@laylayl5166 11 ай бұрын
😭😭😭😭😭😭jamani huko Arusha muogopeni mungu hivoo yaani hamuogopi mungu hatakidogo poleni Sana wafiwa wotee wallahi inaumiza sana
@mugishamajeba9628
@mugishamajeba9628 11 ай бұрын
dah ivi uyu dada kafiwa kweri au nirafikitu maana ata anauzuni ata kidogo dah mungu atuongoze
@zainabwage4658
@zainabwage4658 11 ай бұрын
Mm nahis anaigiza tu izo nguvu zinatoka wap
@JeannetteManirambona-o6m
@JeannetteManirambona-o6m 11 ай бұрын
Nimeishiw
@rahellubandila1928
@rahellubandila1928 11 ай бұрын
Mungu anisamehe huyu dada mkavu mno utafikiri hajafiwa Mungu ajua
@judithrichard5546
@judithrichard5546 11 ай бұрын
Jamani huyu mwanamke ni anahisika mana sio kwa ukavu huo huyu dada anajua kila kitu yani tunavyojua ukifiwa na mumeo jamani huwezi kuongelea chochote na kumbe walitengana na yeye anasema wapo wote hapana jamni akamatwe huyu dada. Tunataka majibu waandishi wa habari
@CenarithTindo
@CenarithTindo 11 ай бұрын
Dada eleza vizuri,,,. Mbona jicho kavu,,,,,kitakukuta kitu ,!!
@kjb_user0077
@kjb_user0077 11 ай бұрын
Jamanii matukio kama haya sasa yametapakaa duniani kote...hii ni mwanzo wa sign ya malaika wa Mungu walio shikilia pepo nne za dunia wameanza kuachia taratibu taratibu.... Na kadili wanavyo achia kidogo na ndivyo roho wa Mungu anavyo zidi kuwa acha watu wanao ng'ang'ania dhambi... Hivyo basi huko mbele tunako enda kama Mungu akitu hifafhi hai...dunia ikisha kuwa katika udhibiti wa shetani 💯 tutaona mengi.... Maandiko yanasema watu watauana wao kwa wao,damu za watu zita mwagika kama maji kisa kona za dunia itakuwa ni mauaji ya kutisha... Ndugu zangu amani hii unayo iona leo,jilani yako anaku heshimu,mnasikilizana na wanao wanaku tambua kama mzazi si mda mrefu tuta ishi kama wanyama wanao windama.... Na hapa ndio mwanzo wa utungu...lkn ile dhiki kuu ya ulimwengu kabla ya YESU KRISTO au ISSA BIN mariamu kurudi kuchukua walio wake hiyo itakuwa bado..... MAANDIKO YANASEMA Dunia ita ingia katika dhiki kuu ambayo haijawahi kutokea na haitakuwepo nyingine kama hiyo tena.... 1.Matetemeko yatakuwa mengi sana 2.Vita zitaongezeka 3.Njaa na uchumi kupolomoka wa dunia 4.Utu kuisha mioyoni mwa watu 5.Mafuliko yatakuwa yakutisha 6.Mioto kulipuka sehemu sehemu pasipo kujua vyanzo 7.n.k YOTE HAYA NIKWA SABABU DUNIA IMEAMUA KUWA KINYUME NA MUNGU WA KWELI NA KUFATA UONGO NA KUIACHA SHERIA YA MUNGU... 2 Petro 2:21
@Sisopotashiumz
@Sisopotashiumz 11 ай бұрын
Very Points
@Xyz-dc3yq
@Xyz-dc3yq 11 ай бұрын
Malaika mavi
@neemabaltazary2008
@neemabaltazary2008 11 ай бұрын
We mungu wa Israeli tusaidie
@zuhuzuli.5150
@zuhuzuli.5150 11 ай бұрын
Hakika Mungu atunusuru waje wake😢
@broumaiyyah8018
@broumaiyyah8018 11 ай бұрын
​@@neemabaltazary2008ndo Mungu gan huyo
@AmidaSaidi-m9c
@AmidaSaidi-m9c 10 ай бұрын
😂😂senge ili linajua kila kitu libanwe vizuri uyu dada anajua inshu nzima pumbavu
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 11 ай бұрын
Mungu wangu nakusihii kama alivyoandika Isaya:49:26 adui zake wale nyama zao wenyewe kwa wenyewe na walewe kwa damu zao wenyewe kwa wenyewe.
@brightonfilbert
@brightonfilbert 11 ай бұрын
Mungu anawaona hao wauaji😮😮 ukatili uliopitiliza
@Userog254
@Userog254 11 ай бұрын
Naomba Mungu awaadhibu adhabu kali co kwa ukatili huo waliomfanyia amewakosea kisa gani kubwa
@laylayl5166
@laylayl5166 11 ай бұрын
Mwenyezi mungu walaani wote waliohusika nahuo unyama hatakama alikuwa amefanya kosa labda lakini siyo kwa unyama huo 😭😭😭
@JoyceMagina
@JoyceMagina 10 ай бұрын
Mungu awatie nguvu family, Kwa ujumla
@dayana5513story
@dayana5513story 11 ай бұрын
😢😢😢 siku izi ukikutana na binadamu mwinzio Kimbia maaana duh
@vumi8371
@vumi8371 11 ай бұрын
😢😢😢yani jamani
@dayana5513story
@dayana5513story 10 ай бұрын
@@vumi8371 😪
@joycemkeka3769
@joycemkeka3769 11 ай бұрын
Kama nikweli amehusika atapigwa na mungu mana ndoa nijambo la mungu kama unajijua sio wakuolewa kwanini kilazimisha moyo mbaka kuleta mazala makubwa ivo mungu tusaidie hali imezidikuwa mbaya 🙏🙏
@neemareuben311
@neemareuben311 11 ай бұрын
Huyu dada mshenzi sn anajua kila kitu abanwe vzr mpk chuchu atasema ukwel au wafwatilie cm yake na huyu mumewe watajua chanzo nn😢😢😢😢
@JeannetteManirambona-o6m
@JeannetteManirambona-o6m 11 ай бұрын
Muuwaji kabis anajua kila kitu
@RichadiMsofe
@RichadiMsofe 10 ай бұрын
Jaman achen kuhukum Mungu anawaona mjue
@Allybinamour
@Allybinamour 11 ай бұрын
subhanallah! jeshi la police zianze kwa huyu mke, lakini arusha kwa sasa inaonekana ni mji namba moja kwa ukatili tanzania.matukio mazito kama haya yanatokea mara kwa mara kipindi hiki.
@DianaHyera
@DianaHyera 11 ай бұрын
Wanawake wenzangu,Mungu atupunguzie adhabu ya kaburi
@EdghaMoses-js8lj
@EdghaMoses-js8lj 11 ай бұрын
Maelezo ya huyu dada. Sijaelewa vizuri ila sitasema chcht sababu mwanasheria wangu kasafiri jaman
@AyubuChacha-u6u
@AyubuChacha-u6u 3 ай бұрын
Polen sana kwa mauaji hayo kweli amani haipo.
@martinabayyo9982
@martinabayyo9982 11 ай бұрын
Mwisho wa dunia umekarbia kwakweli
@MbarakAhmedAbdalla
@MbarakAhmedAbdalla 11 ай бұрын
Subhanallah Allahu Akbar Mungu lete miujiza yako kwakuwabainisha hao jamaa
@kulngeleza6733
@kulngeleza6733 11 ай бұрын
Mkewe anahusika kwa asilimia zoooote eeh mungu wa😢hii dunia wapi uku jmn ya allah tunaomba usaidie umma 😢 wako
@jesuspower2390
@jesuspower2390 11 ай бұрын
itabidi usaidie police kumbe unajua kila kitu
@ReginaNyabiaru
@ReginaNyabiaru 10 ай бұрын
Mungu wangudunia imekwisha!!!
@jumarajab5316
@jumarajab5316 11 ай бұрын
kesi ndogo sana hii kwa upande wa upelelezi ila nikubwa kijamii kwakuwa ni mauaji
@ZakariaLameck
@ZakariaLameck Ай бұрын
Pole sana wafiwa wote
@guyasidotto1198
@guyasidotto1198 11 ай бұрын
Saikokojia na muonekano huyu mwanamke anajua kila abanwe
@fatmaahmed8637
@fatmaahmed8637 11 ай бұрын
Wanahabari mjifunze hamna yakuuliza maswaki..japo Sema Poleni saana,inasikitisha kifo hiki....
@elinurukitomali6008
@elinurukitomali6008 11 ай бұрын
Hy dada oajiwe vzuri na aoneshe hy alompigia
@uwezawamungumkuu.amaniafrika
@uwezawamungumkuu.amaniafrika 11 ай бұрын
Aisee kosa gani hili la ukumu mbaya ya aina hii?. Shinda nini?. Wanategemea nini mbele za Mungu mkuu?. Wanadamu tumwogope Mungu maana yupo. Poleni sana ndugu zetu. Amen.
@leahmollel6589
@leahmollel6589 11 ай бұрын
Mhhh! Damu ya mtu huwa haipotei! Kitajulikana tuu😭😭😭
@tzcruiseralteza2039
@tzcruiseralteza2039 11 ай бұрын
millard uyu mtangazaji wako ni mnoma sana anauliza good question kabisa
@paulmushi2428
@paulmushi2428 11 ай бұрын
Hilo neno la kwanza amefika? Kisha akabadili kauli, mala aliyepiga haijui namba mala aliyepiga ni rafiki ya aliyeuawa!! Hapo kuna walakini juu ya huyu mwanamke!
@zamdakimaro8040
@zamdakimaro8040 11 ай бұрын
Kabisa
@wilfredmoshi6507
@wilfredmoshi6507 11 ай бұрын
Sure anajichanganya maneno yake.
@kisinza6077
@kisinza6077 11 ай бұрын
Yaani anajichanganya na maneno yake makavu sana Hana hata Ile Hali yakiwa amefiwa!!!
@evertheobald1811
@evertheobald1811 11 ай бұрын
Mtu anaishi naye halafu hajui aliko mume wake kweli?
@mohammedrajabumwamba1322
@mohammedrajabumwamba1322 11 ай бұрын
Innaalillaahi wainnailaihi Raajiuun 😭😭😭😭 jamani watu mbona mnakua na roho za namna hivyo dah😭😭😭 inauma sana. Poleni sana ndugu janaa na marafiki
@johnchrisbrown-b5g
@johnchrisbrown-b5g 11 ай бұрын
Huyu mama ana taarifa muhimu
@HabimanaManzi-i2l
@HabimanaManzi-i2l Ай бұрын
Poleni sana
@mosessamson1811
@mosessamson1811 11 ай бұрын
Sio vyema kwenda kwa hisia ila huyu dada, ashikiliwe na ahojiwe vyema, Kuna jambo kwenye mabano.
@sanurahaji5194
@sanurahaji5194 11 ай бұрын
Ila yote mliofanyia kizani...ila mungu anawaona na mtalipa kivyovyote vile... mwenyezi Mungu alali😢😢
@amoonatnzani9834
@amoonatnzani9834 11 ай бұрын
Huyo mwanamke anajua Mbona anasema hawajaachana Na kumbe wameachana
@pendomushi6351
@pendomushi6351 11 ай бұрын
Kwanza anajikanyaga haeleweki huyu anafahamu mchongo mzima
@cbegram6161
@cbegram6161 11 ай бұрын
Si atasingizia labda hajamuachia talaka kwa hiyo kisheria ni Kama hawajaachana ila wamepeana likizo
@celinamosha9420
@celinamosha9420 11 ай бұрын
Mbwa wewe shetani mkubwa yaaani natamani nikupige
@rahellubandila1928
@rahellubandila1928 11 ай бұрын
Mungu turehemu Tz haya ni machukizo makuu sana mbele zako
@KhadijaMwenda
@KhadijaMwenda 11 ай бұрын
Mwanamke mkavuu daah
@ludaba2323
@ludaba2323 Ай бұрын
Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi ila mkewe kuna kitu anajua hata anavyoongea kuna shida Mungu atusaidie sana😂😂😂😂😂
@eaglecrown1101
@eaglecrown1101 11 ай бұрын
Suspect everything but trust nothing... yote kwa yote yanawezekana inawezekana mwanamke akawa anajua na inawezekana asiwe anajua....ila kuwa na mahusiano na mwanajeshi anaonekana kuna kitu anaficha.
@CkhardohThomas
@CkhardohThomas 2 ай бұрын
Wewe pekeyako ndiyo umecoment bila wenge, Good comment siyo comment chochez
@aishamohamedi362
@aishamohamedi362 11 ай бұрын
Yaha Allah Yaha Allah Yaha Allah ukatil gani huhu😢
@wilbroadgrarcian1259
@wilbroadgrarcian1259 11 ай бұрын
Dah hii ingekuaa ufipa wahusika wangeomba pooo
@cbegram6161
@cbegram6161 11 ай бұрын
Leta😢😢 teknolojia😂😂😂
@nautharyNgassa
@nautharyNgassa 11 ай бұрын
Mmmmh huyo mmama mke wa marehemu mbona mkavu sana jmn daaaaaaa😢😢😢 ni inasikitisha sana jamn mungu atupe mwisho mwema kwakwel
@maulidjumakibula4674
@maulidjumakibula4674 11 ай бұрын
M/mungu ampumzishe mahala pema pepon kijana mwenzetu amepitia mateso makal sana had kufa kwake jaman.
@MichaelSeleman-qp5dt
@MichaelSeleman-qp5dt Ай бұрын
Poleni ndugu jamaa namarafiki.
@_loseyi
@_loseyi 11 ай бұрын
Dada umeshaingia matatizoni walai nakwambia 👉🏽
@SihabaAbdallah-li6dx
@SihabaAbdallah-li6dx 11 ай бұрын
Yani mates matan mwezio unampa kumuharibu kumfunga uson akiuonen mnavo muazib😢 na mmemp azab nyengin kumtoboa toboa kwakwel😢😢
@azizamvungi1871
@azizamvungi1871 11 ай бұрын
Yaani roho inaniuma sana
@mohammedrajabumwamba1322
@mohammedrajabumwamba1322 11 ай бұрын
ALLAH 🤲 TUNAKUOMBA USIWASAMEHE WATU WALIO FANYA TUKIO HILO MILELE NA UWAPE ADHABUKALI KALI ISIYO NAMWISHO 😭😭😭 ALLAHUMMA AMIIIN
@faridmnyamike556
@faridmnyamike556 11 ай бұрын
Allahuma Amiiiin
@eddytheophil7626
@eddytheophil7626 11 ай бұрын
Huyo mwanamke anajua kabsa. Jambaz
@joharikitundu
@joharikitundu 11 ай бұрын
Mdogo wangu.Hiyo kama umeahiriki naomba kuwa mkweli Ili watoto (kizazi chako) Kisipitiye Hy Damu ya maumivu ya marehemu yasije wasipitiye
@kijapeter
@kijapeter Ай бұрын
Hatari sana
@julyhaule6850
@julyhaule6850 11 ай бұрын
Daah inauma
@janemsamati6700
@janemsamati6700 11 ай бұрын
nimesikitishwa sana na tukio hili jamani, damu ya marehemu itanena , poleni wote , RIP HENRY 😢😢
@IddyNchama
@IddyNchama 11 ай бұрын
astghafulah daah
Mom Hack for Cooking Solo with a Little One! 🍳👶
00:15
5-Minute Crafts HOUSE
Рет қаралды 23 МЛН
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 55 МЛН
Tuna 🍣 ​⁠@patrickzeinali ​⁠@ChefRush
00:48
albert_cancook
Рет қаралды 148 МЛН
Mauaji yalivyofanyika Kanisani Njombe | Mtuhumiwa alivyomkatakata marehemu
11:16
JAMAA AKATWA MASIKIO YAKE MAWILI BAADA YAKUKUTWA NA MKE WA MTU KICHAKANI
17:50
MUME WA ALIYEFARIKI CHUMBANI NA MWANAJESHI  MSTAAFU TABORA AELEZA MAZITO
16:22
Mom Hack for Cooking Solo with a Little One! 🍳👶
00:15
5-Minute Crafts HOUSE
Рет қаралды 23 МЛН