SubhanaAllah nafkiriya haowatoto wanao wazunguka wanapata mafunzogani Allah atuongoze na atuongozeye vizazivyetu in sha Allah
@aishahazary40972 жыл бұрын
Subhanallah.Halafu woote hawana hata nuru kwenye vyus8 zao.ALLAH awaongoze wajitambue .Wajue kuna maisha mengine baada ya ushenzi huu.
@radhiyarashid13142 жыл бұрын
Nahizo Hela wanazo taja mmmh😅😅😅😅😏😏😏😏
@user-to6up4hg2w2 жыл бұрын
Aisha Hazary well said it
@khalossalim37232 жыл бұрын
Huyo alotia superblack mmemuona 🤣🤣🤣🤣 kama mr nice
@hanifaomar74382 жыл бұрын
😃😃😃wamepauka Kwa umbea
@kalssambaboo99322 жыл бұрын
@@hanifaomar7438 wanawake hatuna hata nuru ya uso tumekosa hofu ya allah
@cheiknamouna20582 жыл бұрын
Hongera bi mjumbe kwa maamuzi mazuri hawa ndo viongozi tunawataka.Huo mkusanyiko nimetaman wangekuwa ni nyumba ya ibada wamejazana hivyo kusingekuwa na maovu tena duniani
@radhiyarashid13142 жыл бұрын
Ndo maana vifo vinaongezeka Kila siku😭😭
@shakilamasoud29832 жыл бұрын
Karibu Tanzania, pale ukigombana na shoga Yako, jiandae kutangazwa 🤔.
@rosemarymshana39392 жыл бұрын
Geah mama yng utafika mbinguni umechoka sana
@Burange6667 ай бұрын
Subhaannallah mijitu haina akili yote ni ukosefu wa elimu haikusoma elimu zote midude ipo ipo tu kama mibuzi kwenye zizi.
@singinggirl65542 жыл бұрын
Punguzeni ukali wa maneno mnasema mpk mtu alio kufa jamanii😢😢😢 subhanallah
@shamijuma72592 жыл бұрын
Allah amrehemu huyo mzee anadhalilika kisa ujinga wa mwanae mtihani huu kwakweli,shogaangu mamaangu mzazi,dadaangu na wanangu ujinga huu mungu aninusuru na kizazi changu,unapata kashfa mpaka maiti maisha gani haya
@aisatahaisatah26122 жыл бұрын
Amiin ndio mna sipendi mashoga matokee yake nimasimango
@shamijuma72592 жыл бұрын
@@aisatahaisatah2612 wanini kwanza mashoga kuanika siri zako
@fzafza67462 жыл бұрын
Sasa uyo marehemu sijui kwawakosea Nini hawa jamani kosa kama kafanya mwanae azalikishwa yeye jamani Ila mwenzenu ndio kashamsitiri baba yake japo alikopa au aliwatapeli ila baba yake kafa radhi nae huyo hata mkimnanga
@hadijamandanje61892 жыл бұрын
Nilimsimia Dr mmoja kuwa dar ndo Kuna wagonjwa wengi akili,kweli ni nimeamini
@kalssambaboo99322 жыл бұрын
Ameen yaarrabbiy ujinga wala sikidog
@ramladua9712 жыл бұрын
Tuzidishe sana ISTIGHFARI sana kwa hili lililo tokea ALLAH Awasamehe
@mwanahalimamwachili96792 жыл бұрын
Mitihani Hasa Hii,SubhanAllah,Kujisifu,Kashfa.Mjumbe Umeweza.
Mungu nisaidie maisha haya yanipitie mbali na ujane wangu..dah 🤔
@evalinegideon39822 жыл бұрын
Bora shoga angu meme na wewe hatichekani na ujane wetu mungu atuepushe
@evalenad62562 жыл бұрын
Yaani dahh
@maryamuabdul15352 жыл бұрын
Mhuu mtihani wallah mungu ninusur na mashoga uyoga
@maryamramadhani2922 жыл бұрын
Subhanallah Allah atupe mwisho mwema hakuna kitu kizuri duniani kama kufa ukaacha mtoto mwema mzee anadhalilika kwa ushenzi wamwanae Allah amstiri huyu mzee roho imeniuma sana Wallah
@fatumamuya2832 жыл бұрын
Amiin yarabb
@hopemwela83022 жыл бұрын
Wanawake wa uswahilini wanatafuta Sana Hela lkn matumizi Yao Sasa, kutunzana, vigoma,matarumbeta,kusutana Kila wiki
@naomimavura22392 жыл бұрын
Haswa..yaan unamwona maisha magumu ila anatunza laki 3 wengine had lak8 hapo anakaa chumba cha 30 hakina hata umeme
@elizaberthmatunda60122 жыл бұрын
yan
@marygeorge69852 жыл бұрын
Sijui ni ujinga au ni ukosefu wa kufikiri sijaona point hat moja ya kufanya wakate mauno 😂
@maimunaulotu20752 жыл бұрын
😂😂😂 huyo mwenye piko sas kichwan😁😁😁😁na wamejiremba wallah kwajiri ya show
@rosemzava51492 жыл бұрын
Nisawa amewakosea sawa mchambeni ila msimuhusishe baba marehem hasemwi jaman sio vizur🙏
@reinfridadavid19942 жыл бұрын
Mmmh!... Inasikitisha sana...haya maisha tunayoishi ....Mungu atusamehe...😢😢
@yassintaibrahim242 жыл бұрын
Yani Aibu Nnayoickia Utadhani Nimeshiriki😭😭😭
@dhulkiflali29662 жыл бұрын
Kweli kabisa Reinfrida tena wanawake wamezirusha vp maisha yasiwe magumu yote kukosa imani ya MUNGU aibu
@evalenad62562 жыл бұрын
Umeonaee 🤭🤭
@aishaathman73402 жыл бұрын
Mpumzisheni marehemu katangulia mbele za haki jamani. Misuto yenu musimdhalilishe alokwenda kqa mola wake.
@waukweelinikkon65552 жыл бұрын
Mi ndiyo maana sitaki ushoga wala marafiki wanawake ,maisha gani ya kudhalilishana hivyo,
@azizahamisi73492 жыл бұрын
Ata mm sina shoga uhu umbea siuwez
@rehemakinanda12262 жыл бұрын
Da ghea una kazi nzito jmn dah na sare wamekupa umevaa😂😂😂vitu vilinishindaga ivi loh
@zaydelabay97762 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣yupo kazini
@saynabmohammed62632 жыл бұрын
Ww chunga ulim Allah anasema ukimuadhir mwenzio Allah atakuadhiri ww wacha kumuaibisha aibisho la Allah zito muombe msamaha
@elizaminja42492 жыл бұрын
Huwezi kuja Arusha ukakutana na hii mambo Duuuuu!!!!!!naipenda sana Arusha
@esthermtambalike1272 жыл бұрын
Maisha gani hayo!!acheni ujinga ,mnawadhalilisha Baba zenu.
@salha65962 жыл бұрын
Ile mliotoa kwa marehemu ni sadaka Sasa mbona mmefanya kama ni deni kwa alie ondoka sio vizuri wekeni namba tumchangie marehemu
@ruwaidaal-ismaily90992 жыл бұрын
Maisha ya dar nilaana tupu sijawah kuona sehemu mambo Kama yanayo fanyika dar
Assalikum I hope someday we can be in contact when I do come again to Nigeria looking great 👍 colonel Jamal from dubai 😊
@sabihaibrahim1432 жыл бұрын
Mungu awaongoze katika njia sahihi
@halimaomari75892 жыл бұрын
Subhana Allah...wallah wanawake hawa hasara tupu
@blandinagodfrey98252 жыл бұрын
Ukosefu wa akili si lazma uokote makopo 😬
@mimahmimah15952 жыл бұрын
Wazima wapo milembe machizi wapo mtaani
@Awatee2 жыл бұрын
Inna lilah wainna ilaih rajiuun Allah atufihadh na ndimi zetu msiba yaraby tujaalie tuwape stara kwa waja wak nasi atustir na aibu zetu Subhana ALLAH 🙄
@husna345622 жыл бұрын
Mtihan mpka mait kausishwa
@maryammamuu42062 жыл бұрын
Hawa sio wanawake wa kuoa kbsaa Allah Atunusuru
@khadijasalum23022 жыл бұрын
Wanawake kujidhalilisha ipo siku mola anatusubiri Allah atuepushe na madhambi haya
@samsungoman56262 жыл бұрын
Nihatari wanawake wazima umekosa haya mungu atupe nusra sis na vizazi yvetu
@sylviermuhonjah84112 жыл бұрын
Kwani lazima mcheze,, maisha hayo siwezi,, kama vyombo lazima wacha nyumba iwe banda
@sophialaizer7822 жыл бұрын
Ushenzi mtupu Bora mungu akunyime kila kitu akupe akili na hekima
@anithastaford15642 жыл бұрын
Kabisa, akili na hekima ni kitu cha Muhimu
@mimahmimah15952 жыл бұрын
Ivi hawa wameolewa kweli na kama wana waume bas wanaume watakua wamekaliwa mwanamme anaejielewa hawez kuwa na mwanamke dizaini hii
@floraksamson64732 жыл бұрын
😂🤣🤣😂😂🤣😂😂
@MariamKileo-mu8rv4 ай бұрын
😂😂😂😂wanaume wao ndio wapiga ngoma hapo ni kopo na mfuniko hamna jipya hapo tena
@mimahmimah15954 ай бұрын
@@MariamKileo-mu8rv alaaa hapo sasa nimeelewa
@abdularuffin93082 жыл бұрын
Usitaje mambo ya maiti umepata dhambi kubwa yooote semeni lakini yamaiti msiyataje ,,mwenyezi mungu anasema tajeni mema ya mati zenu
@radhiyarashid13142 жыл бұрын
Huu msiba kweli yaani wanasimanga mpk maiti
@angelmakotina94642 жыл бұрын
Ukweli kabisa 😭
@davidmushi52742 жыл бұрын
Wanakosea sana kumzungumzia marehemu tena sio kidogo mm hata nikose pesa uswailin hapana mashogaa noo mpaka huzuni
@zuenajohn83252 жыл бұрын
Yani mimi sirudishi, pigeni kelele zenu mkichoka ondokeni. Mkitaka nitumieni majambazi, kwanza mnamkosea sn kuwaingiza wazazi. Mungu anawaona semeni mmengine.
@bintimwakumanya61272 жыл бұрын
SubhannaAllah na hakuna hata mmoja anaekanya mwenzako nkama wote ni watoto.jamani .Mungu awasamehe mana sina usemi
@AishaAisha-rh1fc2 жыл бұрын
Ila mmejitoa sema hatujui kilicho mpata lkn Mme weza na shughuri mna ziweza
@satwanthoogan67462 жыл бұрын
Watu wazima, ovyo kabisa!😏 hata hawajielewi..
@bakariomari87582 жыл бұрын
Yaani alafu wengi waislam inamaana malezi hamna
@roseamos99302 жыл бұрын
Hawana hata stara
@manuelarene26452 жыл бұрын
Natamani ningekuwa hapo nikawapiga vibati au bakora 😁😁😁😁 wanawake tafuteni kazi na maisha yenu jamani…. Yani aibu kama hizi 🤦🏾♀️ alafu sura zilivyo waparara. Umama huo kwiooooo
@lindambilinyi62532 жыл бұрын
Kumbe maisha haya bdo yapo jaman🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣uswahili hapana jaman🙌🙌
@thumnathumna59462 жыл бұрын
Nawaza tu nitakapoenda kuanza kuishi apo kwangu aya mambo cjui itakuwaje? Nikiwa biz na maisha yangu awa watu watazua majanga tu.Mungu nilinde na aya majanga..akili zao at azifanyi kazi vizur awa wanawake..
@hadijamwanana24712 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣uyo anaejinadi ye mruguru xx hizo piko kichwa 🤣🤣🤣utasema umetoka leo mitombo vijijii kaoshe misinzi hio zama zake zimepita mtt wakike piko Yann ushamba uo
@sabramduda78362 жыл бұрын
Wivu unawasumbua sura zao nzito ka'madida ya ngano...huyo mdogo mtu sura imemchafuka na huyo alotia black chefuuu ameokota mkorogo wa lami kapaka kichwani...
@roseamos99302 жыл бұрын
Yan sura kama ugali
@bakariomari87582 жыл бұрын
Yaani dah sijaona watu wasoakili kama Hawa kujisifu saana kwa upuzi tu.
@neemazee18642 жыл бұрын
Sasa mzee wa watu aliyefariki mnamuingiza kwenye upuuzi wenu uwo hili iweje malaya nyinyi...!!!!
@naimaislam5522 жыл бұрын
Nenda wanapolala utachokaa
@devotalaiton58882 жыл бұрын
Ila uswahili wanahera jmn vitu vyote hivyo
@fatumabamandu5112 жыл бұрын
Huyo mdogo wa mtu mbona anaonekana ndo mkubwa 😂 😂
@nigamo96452 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@kudratsaburi73862 жыл бұрын
😂😂😂😂Na ww umeona kama mimi mkubwa anaonekana mdogo
@minormine44172 жыл бұрын
Mimi mwenyewe macho yalikuwa yananitoka😅😅
@khadijeegundumu46512 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@shazmaadam67292 жыл бұрын
Huyo anaonekana mkubwa kwavile kanyata naujauzito simnaskia hapo kasema hasipozaa atamfwaata🤣🤣🤣
@salmalopezsalmalopez5242 жыл бұрын
Mambo haya yanapatikana Dar tu
@khdigahk42462 жыл бұрын
Wanatembeza mikundu Yao tu kz awana shubamit zao
@isamony582 жыл бұрын
ndomaana shuguli ya mwanangu nilijipanga mwenyewe kilakitu
@queenandchill912 жыл бұрын
Kuna watu mikono yao wamejiandaa na kufurahia kupokea vya watu ila wao kutoa vya kwao hawataki, ila wao wakitendewa wanachowatendea wengine basi wanajiona wameonewa sana, Yaani wakiwa na shida ndo wanajua watu, shida ikiisha hana muda na watu, Maisha ni WATU , na WATU ni namna utakavyoishi nayo iwe kwenye raha au shida, Ushirikiano, Shukurani, Upendo, Amani, Kujitoa, ndo maisha na watu jamani
@thresherjordan68292 жыл бұрын
Ndy kono mbele mbeleeeeee
@faridaseif22352 жыл бұрын
Kweli kabisa km unajua ww huwezi kulipa vya watu unapokea vya nn
@faridaseif22352 жыл бұрын
Alipe alipe
@nasrafadhili89412 жыл бұрын
Kila nikifikiria hawa ni wamama KBC mna watoto sijui mnawafundisha nn wtt
@mwanamwendy92652 жыл бұрын
Uswahilini kazi Sana, hivi vitu navionaga tu humu mtandaoni
@neemayatosha16182 жыл бұрын
Mama Iki kaeka Blaki kwenye nyele 🤣🤣 pambe tyuuu
@nilla16572 жыл бұрын
Hawa watu aisee wana hela kumbe zawad zote hzo kabati vitenge 15 mashuka usafiri khaaa huyo n mtu mmoja
@foibebakunda60382 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ukitaka kuchaza chezea wamama wa kitanzania watachamba hadi ujione wa bure
@aukarhassan21972 жыл бұрын
Hahaa bongo raha ukifanya mchezo kidogo tu washtkua tarumbeta hilo mlagono kwako
@neemabekari40732 жыл бұрын
Mbona mdogo mtu mzee kuliko dada mtu au macho yng mdogo mtu mzeee🤣🤣🤣🤣
@christinankwabi65462 жыл бұрын
Mbona km vle hawana akili wote jmn Mungu tusaidie
@sabrinamlali91232 жыл бұрын
Mmmmmmmmm kweli kazi duuu mumuogope mungu jaman dunia tunaenda wap duuuu
@zwinaalhabsi6642 жыл бұрын
Upuuzi mtuputu wamama na akili zenu mgekusanyika kwenye nyumba ya ibada mgepata thawabu badala ya umthalilisha mwezenu mwawafundisha watt tabia mbaya
@SamsungJprime-by7od2 жыл бұрын
Bora wangemalizana wenyewe na lana lao sio kumtaja marehem haifai kumuingiza mtu alietangulia mbele za khak kwa ushenzi wao
@shannylarry23892 жыл бұрын
Huwa naonekana mbinafsi kwa kutokua na marafiki ila kwa haya yanayotokea chaguo langu ni sahihi kabisa.hapa sidhani kama kuna aliyesoma Dini ikamuingia
@giftibariki8292 жыл бұрын
Ww uko km mm
@azibossladykenny24552 жыл бұрын
Mjummbe ametuharibiya show wangeingia ndani tuonee mambo😊😊🤣🤣🤣🤣🤣uswazi rahaaa😂😂😂😂
@nigamo96452 жыл бұрын
Anakauka koo kwa mambo yasiomana
@Rose-ue2ho2 жыл бұрын
Na wanasema hali ngumu na maisha magumu😂😂
@rizikimbaruku20242 жыл бұрын
Sitaki ushoga wa kutunzana
@feynation37392 жыл бұрын
Huyo aloweka piko kichwani jamani mbona mambo ya aibu 🙄
@liliangwivaha69682 жыл бұрын
😅😅😅 kama anamaliza sekondary
@babrahisdory81282 жыл бұрын
Yani ulianike tumbo la mimba kwenye upumbavu alafu useme usipojifungua utadeal na mtu uliyemfata kumchokoza alafu mbona kama wivu na roho mbaya tu Mungu awasamehe
@zainabumapande94092 жыл бұрын
Ndo apo sasa
@mwanawetuamiri67472 жыл бұрын
Huyo mdogo mtu kachoka kuliko dada mtu,Mimi nilijua yeye ndio mkubwa 😏😏😏😏
@BinHaju2 жыл бұрын
Yani Geah na kijora ukapewa khaaaa😂😂😂😂😂
@lilianchristopher26592 жыл бұрын
Bongo Kuna mambo,huyo mwingine hata Black hajaosha kichwani😂😂
@lindambilinyi62532 жыл бұрын
Najiuliza hawa wameolewa kwel??🤣🤣🤣🙄🙄kuna mwanaume anayetaka ujinga huu kwa mkewe
@Mamsocom2 жыл бұрын
Hawa ni wa Tanzania. Wana dar es salaam. Wa mkoani mkija mjini mjue kuna visanga hivi. Kukodi tarumbeta, vijora, mda, kujidhalilisha kisa nn!! Kabat
@imansaid80202 жыл бұрын
Tumeombe sana Allah atulie hekma!! Haya yoote yanatokea kwa sababu ya kukosekana kwa hekma
@mimahmimah15952 жыл бұрын
Ati ana nyumba yake lakin amepanga kwa shogaake sai amehama ati nyumba ya mwenzie imekua banda
@margaretwambete12282 жыл бұрын
These women are too idol.mjipe shuguli
@mauamrope77682 жыл бұрын
Hayq mambo nayapendaaaa napata raha asee sie wauswahili ndo tunaelewa hizi mambo weuweeeeeee
@swaumuomary27672 жыл бұрын
Uneona eee
@fridaudoba71242 жыл бұрын
Uyo alojificha kipindi anarudisha izo dot kanga aliwaita mashamsham waking dida na yeye atoke Sasa🤣🤣🤣
Acheni upumbavu, kwani aliwaomba hivyo vitu? Na huyo babake aliyefariki kwa nini mnamsema kiasi hicho, hata nyie mtafiwa, pumbavu nyie, mmekosa kazi za kufanya, kazi umbra tu
@aishahassani342 жыл бұрын
😭😭😭😭😭nimeumia hapo tu
@khadijamisayo74762 жыл бұрын
mambo ya kipumbavu watu wazima
@MwantumRashidi15 күн бұрын
Suraa zimechokaaa😂😂😂kwa kuswampa hakiamungu wazaramoo mweee na baadhi ya wengne wanaigaa tuu ndg zenu mkoan hawajui kama mnazurura kama mbuziii wa dar
@faridasaeed3032 жыл бұрын
Ndomana. Mauaji. Yanaongezeka. Wakwenda. Milembe. Bado. Wapo mtaan mwisho wasiku,,,
@zaibonge78672 жыл бұрын
Da geah niajiri kazi ya kuhoji hiyo 🤝
@amandamsangi78822 жыл бұрын
Yaani siku mume wangu anikute tu nimesimama naangalia mambo kama hayo, nimejipa talaka 3 mwenyewe.
@zainabumohamedi79342 жыл бұрын
Tuko wengi
@neemajginene75242 жыл бұрын
Umeona heeee
@hanifaomar74382 жыл бұрын
Mbona kama wivu sasa Baba yake kafikaje sio vizur kumsimanga maiti haujafa haujaumbika
@fatumamuya2832 жыл бұрын
Kabisa
@estertiffathomas56512 жыл бұрын
Muhifadh mwenzio na ww uhifadhiwe mtihn huuu jmniiiii mnakosa utu mnazungumzia hd marehu Allah awastir
@thresherjordan68292 жыл бұрын
Mama wa miguu umeweza bhnaaa🤣🤣🤣🤣🤣
@mariadominick50622 жыл бұрын
Da geah bas nifanyie mpango wa kuongea na da hu nampenda sana
@winfridapeter94552 жыл бұрын
DA aah uswahilini🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
@anithasemwano82769 ай бұрын
Wanafadhiliwa na kaka zetu wenye ajira zao na akili zao ,acha maisha yaendelee
@aishaamwalimu28872 жыл бұрын
Mimi ndiyo maana sipendi mambo ya ngoma, mambo ya urafiki, unafki mtupu, rafiki atakua mumewangu ndani nikijaaliwa, Nikitamani ngoma, nitamkatikia miuno mumewangu ndani I mpate, kuliko upuuzi km huu.
@mariamyusuphu54342 жыл бұрын
😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌nimecheka kwanguvu
@mwajumasaidi20412 жыл бұрын
🤣🤣🤣😂
@maryammussa20022 жыл бұрын
Same as me 😊
@AishaAisha-rh1fc2 жыл бұрын
Napenda aya mambo mm 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣uchukue vyangu harafu ujifanye una leta ugomvi 🤣🤣🤣🤣🤣utajuta na utauza nyumba
@khadijahali48372 жыл бұрын
😂😂
@andreachalee12092 жыл бұрын
Huyo aliyepaka piko sasa 😳😂😂
@mimahmimah15952 жыл бұрын
Wanawake sisi motoni tutakua wengi sana Allah atustir
@reynaaalrawahi41372 жыл бұрын
Ameen yaarab
@user-to6up4hg2w2 жыл бұрын
Amin
@user-to6up4hg2w2 жыл бұрын
Micah mimah that's true ya Allah forgive us all woman in this world
@azizahjuma21872 жыл бұрын
Ten wa gesi unatusubir
@mimahmimah15952 жыл бұрын
@@azizahjuma2187 wallahy mtihani wote huu ni ukosefu wa ilimu ya dini
@lokole22tv2 жыл бұрын
Jamani mtuache haya ndio maisha yetu uku uswahilini wenyewe tunainjoi.