Hongeala sana ee mungu niwezesje na kizazi changu pia kuja kupata matokeo mazuri kama haya.
@barkembarak92703 жыл бұрын
Ameen Ameen Ameen
@taturajabu59773 жыл бұрын
Kipaji jamani!amezaliwa na kipaji chake
@elizabethwiliam57723 жыл бұрын
@@taturajabu5977 ndo mana nikadema namuomba mungu anijalie na Mimi kunipa wepesii kwawananfu
@wanaupendotv71833 жыл бұрын
Amiina rabi
@marysylvery58263 жыл бұрын
Ameeen
@tulibumisalu88123 жыл бұрын
Huyu mtoto ni mnyenyekevu sana tena anampenda sana Mungu.Hongera sana Mungu akuweke katika viwango vya juu
@deodatusrweyongeza67473 жыл бұрын
Aliegundua jamaa anafanana na mtangazaji anipe like
@wahiduitsverycommentmane54213 жыл бұрын
Tanzania mtabaki kuwa juu milele imagine uku kwetu ..🇰🇪 hakuna kinacho endelea watt wetu walirudia kidato kisingizio et.!! Covid mmhh mungu ibariki tanzania mungu ipiganie tanzania kama unaipenda tz kama Mimi gusa like 👇
@AlAl-sd9pl3 жыл бұрын
Amina yarab
@faustinshirima6133 жыл бұрын
Asante 89kmm Mmmj
@andrewkalubi35243 жыл бұрын
Asante
@superwomanmwenyeheri.13673 жыл бұрын
Milady Ayo, najua utaiona comment yangu hii. Nimeguswa na ushindi wa kijana huyu MUNGU Azidi kumpitia Mbele. Ila Nina Jambo nawewe Milady naamini utaweza. Sikujaliwa mtt kabisa.ila Nina shangaz yangu mtoto mwenye akili sanaaa..Hua ananiliza mno,kwa kuona Elimu take Ina Vita na jinsi alivyo na akili...uwezo wa kusomeshwa haupo. NAKUOMBA UMFADHILI..KIELIMU.ANA MIAKA 8. NA MUNGU ATAKUZIDISHIA.
@prosperkullaya45293 жыл бұрын
Walete watoto wasome tz
@justinejohn84253 жыл бұрын
Kufeli form 4 sio kufeli maisha na kufaulu form 4 sio kufaulu maisha the best Tanzania one God bless you my young brother
@eliasmollel98123 жыл бұрын
Unanichekesha wew
@kunyonotv84053 жыл бұрын
Kabisa..
@محمدالقايد-د6ب3 жыл бұрын
Kweli kabisa
@BINTIwaKITANGA2 жыл бұрын
🌝🌝Acheni kubishana ninyi Mimi nimefall 4m 4sasa napokea mshahara WA laki Sita Kwa mwezi 🤣🤣karibu mupambane kufel shule sio kufel maisha acheni ujinga wanasoma kisha ajira hakuna wanazeeka na vyeti 🤣🤣
@godsonmrema55383 жыл бұрын
Gonga like tumtakie mafanikio kaka Paul na kama umegundua dogo alicheki ngoma ya mondi, waah baada ya interview, papa mobimba yeeh,👍
@godlovegodwin1883 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@upendokitinye77253 жыл бұрын
Mafanikio mema Mungu akupiganie asikuache
@jipozeonline39833 жыл бұрын
Huyu mkali lakini shule wanazosomea zinawabeba tu huku kwetu kuna dogo shule ya kata na mazingira ya kawaida amepga 1-7 kwa A 8 na B 1 na kidato cha pili necta alipiga 1-7 kwa A zote kwa masomo 12 aliyosajili hvyo nampongeza ila kuna vipanga balaa kwenye shule za kata sema maisha tu
@charmyraphael10023 жыл бұрын
Mimi pia namkubali huyu wa shule ya kata man,mazingira si rafiki lakini A8 B1, duuuu 🤔,big up.huyu ni genius.
@haridyhillaryndembo19463 жыл бұрын
Kweli tupu Huyu angesoma shule nzuri tungemuimba Kama wimbo wa taifa vipaji viko huku s.t kayumba kusiko hata na maabara bora
@mu-crzymahez92293 жыл бұрын
real
@princesstaes54833 жыл бұрын
I wish siku 1 uzazi wangu unatangazwa ivi ❤❤❤❤
@emariusrush77043 жыл бұрын
Amina,me too!! By God's grace
@realgiroudtjnr24893 жыл бұрын
Inshallah
@mabugapiter6363 жыл бұрын
Amina hata mm natamani uzao wangu uwe hivi cku mojs
@princesstaes54833 жыл бұрын
@@emariusrush7704 Amen
@princesstaes54833 жыл бұрын
@@realgiroudtjnr2489 Amin
@agneskabalika8003 жыл бұрын
Paul ulionekana tangu mdogo hongera Sanaa Paul ni familia inayomtegemea sana Mungu ndio maana Mungu ameiinua na amewaketisha na wakuu sawasawa na neno lake. Ameen
@priscamagambo53203 жыл бұрын
Najiungamanisha na ufaulu huo,one day yesu, na watoto wangu watakuwa Tanzania one,hongera mtoto Mungu akuinue zaidi
@trifoniambilo24003 жыл бұрын
Hongera sana kjana
@destinemercy34053 жыл бұрын
Amen
@janethkilonzi42603 жыл бұрын
Amen kubwa
@tausindekwa73143 жыл бұрын
Watu wa Kwa mwamposa utatuona najiungamanisha pia one day yes
@annaugust18533 жыл бұрын
Amen
@annaluziga19943 жыл бұрын
Hongera mdg ang 2nakupenda sn pia nakuombea ufke mbal kimaixha😘😍
@mazegamer89093 жыл бұрын
Sitamani uzao wangu uje kuwa tz one ila natamani uje kugundua kitu kipya duniani ambacho kitasaidia watu na kuboresha maisha. Hongera dogo kwa kufaulu mtihani
@rachelmbeyu43853 жыл бұрын
Watangazaji wa Ayo sauti zinafanana na millard mwenyewe. Hongera paul kwa mafanikio yako
@jannethtuonyeshekwanzawewm89033 жыл бұрын
Ni kweli watangazaji wote wa Ayo wanafanana sauti isipokuwa sura 😃😃😃😃😃😃
@sophiamajaliwa4263 жыл бұрын
Hata mimi nimegundua pia
@happierkomba95363 жыл бұрын
Kha iv mbna umesema kitu ambacho nmefkilia
@aloycemasele72363 жыл бұрын
Kuna kitu kinafanyika ili kuwa hivyo! Wanajua wenyewe wanavyofanya
@emanuelsamkinda28933 жыл бұрын
ata mm nmewaza ivo
@editornkonge75613 жыл бұрын
Very wise boy,and God fearing,much love from 🇰🇪
@daviddotto35293 жыл бұрын
Millard ayo unanikosha sana kwa taarifa za uhakika.. Nampongeza sana bwana mdogo huyo asonge mbele zaidi na amche Mungu maishani mwake
@pilikhamis29243 жыл бұрын
Maashaallaah hongera sana mdogo wangu mungu akuzidishie
@methodjm3 жыл бұрын
True, Nothing but God has Raised u, I love a boy, he always smiles
@stuartkudeba3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/np6bq6apedF9ldk
@beatricelawa35143 жыл бұрын
Hongera Paul umekuwa mdogo wang I wish mzee cosmas angekuwepo afurah nawe hongera sana dogo
@husseinlatifa14433 жыл бұрын
Dogo yupo simple, Hana makuu, kila la Kheri kwake
@kunyonotv84053 жыл бұрын
Yaaah..
@Aviero_073 жыл бұрын
Good Mungu akubariki yoyote atakae kuonea chuki na wivu.. Zimrudie mwenyewe..
@emmanuelmachibya20343 жыл бұрын
Mademu siyo inshu mdogowang Akili yako Izame Kwenye Lengo lako,Demu wako bado Hajazaliwa. Mungu Akutunze Mdogowang.
@mumyhendry29193 жыл бұрын
Nmependa sana ushauri wako kwa mdgo wetu,natamni kila mtu atakayekutana naye ampe ushauri km hiv, Ubarikiwe sana 🙏🙏🙏
@happinessshirima32793 жыл бұрын
Ameen
@dicksonmpangala93493 жыл бұрын
Mkuu unausema uzembe wako
@valentinemuchunguzi25783 жыл бұрын
Mungu kamwinua kweli. Hongera Sana. Mwonekano anajiamini, mchangamfu, anaweza.
@nancyhassan82903 жыл бұрын
Yani hongera zake mno,, mi mwenyewe nimejikuta nikimsaidia kufrahi dah mwenyewez Mungu amfanye aende mbali
@hassanissa47923 жыл бұрын
Good , anatambua uwepo wa mungu "Ni mungu tu"
@mumyhendry29193 жыл бұрын
Mungu akutunze na akuongoze mdogo wangu,uwe humble hvyo hvyo na Mungu awe ndio kila kitu kwako ili uzid kufanikiwa🙏🙏🙏
@kunyonotv84053 жыл бұрын
Amiin.
@wahiduitsverycommentmane54213 жыл бұрын
Kama unaamin mtu mwenye koromeo kama la paul Wana uwezo mkubwa na wanajua kukaa na siri kwa mda mrefu acha like 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 +253...
@annastaziakasomekoshija64853 жыл бұрын
One day yes, even my kids will be in this line by God's grace🙏. Congrats paul may God lead you again and again🙏
@aloycemasele72363 жыл бұрын
Amen! Even me
@agofranco47663 жыл бұрын
Hongera sana mdogo wangu,Mungu azidi kukubariki;umetuinua sana tuliosoma Songwe Magereza primary school 😀😀😀🔥🔥🔥,We are proud of you,skies be your limit 🌨
@stuartkudeba3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/np6bq6apedF9ldk
@irenewilbard25133 жыл бұрын
Utafanikiwa. Mungu akuongoze❤️❤️❤️❤️
@ramaaisha8873 жыл бұрын
You'll be a blessing to your family you'll be a great man nd yo dreams will come true insha Allah
@aminaibrahim41483 жыл бұрын
Mungu akubariki sana
@ddfatma42813 жыл бұрын
Ee mwenyezi mungu tujaaliye watoto wetu wawe kama huyu mwenxaoo
@nicelyrutakyamilwa43883 жыл бұрын
Waliofeli wasikate tamaa....mm nilipata dvs 4 ya mwisho....ckukata tamaaa nkarudia Tena mtihan nkafaili....Mara ya tatu nkafauru dvs 2....nashukuru mungu kwa sas npo Law school....kama una ndoto never give up na ucjal kwa kuangalia watu watasema nn
@trophainamagogwa99913 жыл бұрын
Ila unaukosha moyo wangu kumtanguliza Mungu pekee. Na Azidi kukuinua hakika
@halimaamani89583 жыл бұрын
Kweli kabisa anaamini kila lililomtokea si kwa uwezo wake pekee Bali kwa baraka za Mungu pia. Mwenyezi Mungu amjaze imani zaidi na zaidi katika maisha yake
@jumaally26333 жыл бұрын
Kijana hongera sana umepasua sana mdogo mungu akubariki na chagua life jema lenye msimamo kwako ameen
@modreddyliving51473 жыл бұрын
Hongera sana mdogo wangu kwa kuwa na ufaulu mzuri na pia umenifurahisha kwa ukipendacho kwenda kusomea chuo I'll support you daima
@dicksonsakafu85833 жыл бұрын
Saf Engeneer
@HASASON3 жыл бұрын
Hongereni family kwa kumlea vizuri mpaka kuwa Tanzania one
@juliethswai97163 жыл бұрын
Hongera sana Paul,umevipiga vita vizuri,big up sanaaaa,nimekupenda sana,natamani mwanangu afaulu vizuri hivi,Mungu tusaidie.
@jimmywetu37853 жыл бұрын
Mungu nijalie miongon mwa watoto wa ngu atokee T.o
@lilianluholela66413 жыл бұрын
Na Maisha yanachangia familia iko vzr,hongera dogo
@rajabunyangasa26533 жыл бұрын
PCM woyooooo, dogo safi sana. Mwenyezi Mungu aendelee kukupigania na kukuinua zaidi
@auntdorah91413 жыл бұрын
Kumtanguliza Mungu kuna faida... Kijana anaamini ktk Mungu.. Mungu azidi kumtangulia..
@fadhilsheha10703 жыл бұрын
Mashallah ,hongera mdogo wngu
@pendoshirima25463 жыл бұрын
Hongera Sana mdogo angu..... Nimejikuta adi natokwa machoz ya furahaa kwa ajili yako...... One day na Mwanangu Ryan aje kuongoza kàma wewe..... MUNGU aloufunua ufaham wako akaufingue na mwanangu kwa Jina la YESU......
@zenamshana68523 жыл бұрын
Hongera Sana mungu akubariki utimize ndoto zako zakuwa engineer
@winfridamdaki56993 жыл бұрын
Hongera sana Mungu azidi kukutunza na kufikisha ndoto zako mbali zaidi.
@rahmaramadhan97733 жыл бұрын
Mashallah hongera Sana Paulo mungu akusimamie katika safari ya maisha yako
@prettyh75093 жыл бұрын
Mashallah ni Mungu kakuinua na Inshallah atazidi kukuinua 👌👍💪❤️
@christermelaka56893 жыл бұрын
Mungu aliekuinua na ainue na uzao wangu,kweli nimekupenda paul endelea kumtanguliza mungu kwa kila jambo
@hannansdeliciousfood42613 жыл бұрын
He is very very talented and bright one...keep moving my bruh...
@happinessshirima32793 жыл бұрын
Congratulations my young brother,,Mungu akuongoze kwa kila jambo Ameen.
@joycesalvatory77683 жыл бұрын
Congratulations Keep focused you still have a long way to go May the Lord protect and guide you in Jesus Name
@amanibwire44233 жыл бұрын
Hongera sana kijana, ila kama mitaala itabadilika ndo tutaona genius sahihi, wengi wako mitaani elim yetu inatuandaa kujibu mitihani ndo maana no wonder kwa hawa watu wenye kushika nafasi hizi miaka yote
@lukajackson91553 жыл бұрын
Yote yanawezaka kwake yeye atupaye nguvu na maarifa,hongera Sana mdogo wang
@elnestinamgeni52323 жыл бұрын
Mungu akuinue zaidi, kwa sasa endelea kung'ang'ania elimu mwanangu, maana itakusaidia mbeleni,umenifurahisha Sana kwa majibu yako
@johnmligo69663 жыл бұрын
Duuuu so humble..... sipati picha ningekua mie mabega juu....
@nicholausmbugano52793 жыл бұрын
Hongera millard siku moja elimisha like na dislike kuna miwatu sijui michawi ina dislike
@d.m4533 жыл бұрын
Mungu bariki watoto wangu nao wawe vichwa na si mkia,hongera sana kijana Paulo Mungu akufanikishe katika maisha yako yote
@happinessmwenda27733 жыл бұрын
HONGERA MAMA PAUL KWA KULEA WATOTO WAKO VIZURI.MUNGU NI MUME WA WAJANE NA BABA WA YATIMA.ENDELEA KUWA MAMA MWEMA NA JASIRI.
@halifaabdallah95363 жыл бұрын
Hahaa dogo paul amenifurahisha sana amekuwa muwazi anapenda simu kwaajili ya shughuli za kielimu na kwa ajili ya kucheki muvi kucheki music,nimeipenda
@fatmaalmujhairu19773 жыл бұрын
Ajataka kuleta ubabaifu😂😂
@rhoycerenathus11183 жыл бұрын
Kama hukua To na unasoma Engineering like apa🙂 Hongera sana mdg angu Mungu akutangulie katika masomo yako na azosimamie ndoto zako
@edinascarion83793 жыл бұрын
Tena Nasoma telecommunication kibabe Yani DIT 😂
@vailethmgussi70953 жыл бұрын
Aru hiyo kibabe sanaaaaa
@memoryngambi37583 жыл бұрын
Mungu azidi kukuinua kwa kiwango Cha juu zaidi,Ombi langu usije kuacha kujishusha mbele za mungu,hongela sana Sana Sana.
@candygerry63313 жыл бұрын
Hongera sana kaka Mungu akupiganie uweze kutimiza ndoto zako.
@charmyraphael10023 жыл бұрын
Hongera sana dogo. Lakini mtangazaji anatakiwa kufahamu,watahiniwa si wanaume wala wanawake.ni wavulana na wasichana.
@philomenajames32663 жыл бұрын
Hongera kijana mng aendelee kukuinua ktk viwango vya juu
@chefarthurx12583 жыл бұрын
MILLARD AYO.. TAFADHALI WAFUNDISHE WATANGAZAJI WAKO KISWAHILI SAHILI NA FASAHA... HAWA WAITIMU WA KIDATO CHA NNE SI WANAWAKE BALI NI WASICHANA NA PIA SI WANAUMEU BALI NI WAVULANA...THEY ARE BOYS AND GIRLS...
@jacksonmathayo65103 жыл бұрын
Kweli kabisa jombaa
@chandamukopa18363 жыл бұрын
Ni kweli Ila na wewe sio WAITIMU ni WAHITIMU
@hasnasaif10753 жыл бұрын
@@chandamukopa1836hahaaaaaaa watanzania mko juu
@salmamohamed7843 жыл бұрын
@@chandamukopa1836 🤣
@salsashmomy3 жыл бұрын
hongera sana poul mungu akuongoze zaid na zaid
@monicamoris21243 жыл бұрын
I also beleave in God this year I will also be the best
@reginamanyangu66822 жыл бұрын
Hongera sana sana jaman unabusara mungu azd kukuinua
@chikusangalala77593 жыл бұрын
Kweli wanaopata elimu bora ni watoto wa matajili wote wanoo ongoza Tanzania ni watoto wa maisha ya juu.emungu wasalimie pia watoto wetu wa hari ya chini
@edwardmsongelwa54553 жыл бұрын
Hongera sana kijana JITAHIDI usijichanganye Na makhundi mabaya tafadhali sana
@samsahani31183 жыл бұрын
Hongera dogo asee
@daudcharleschole61633 жыл бұрын
Hongera kijana endelea kumtanguliza mungu na usisahau kumshukuru mungu
@mapambanomaisha70513 жыл бұрын
vijana tupambane sana kutafuta pesa ili watoto wetu waje wasome vizuri akuna zero kama mtoto anapata kila kitu mazingira mazuri ya kusomea amna uchawi kwenye elimu pesa tu aisee
@abubakaryalmas76733 жыл бұрын
Hongera sana dogo Mungu azidi kukuinua na kumtanguliza yeye katika safari yako yamasomo
@elizaruhumbika96613 жыл бұрын
Congratulation bro Mungu ata kuongezea zaidi ya hapo engineer
@jjborn87283 жыл бұрын
Sijuagi kuna nn kwa hawa wanoa shika namba moja kimaisha huwa wnafeli sana kuna Ndugu aliniambia hataki Mtoto ake awe fast class kwa sababu yeye aliongoza sana lakin ajabu Leo hii anaenda kuomba kazi kwa wale alio waongoza yeye husema pengine alipokuwa akiongoza ikamfanya kuona maisha ni rahiz kama shuleni
@hadijahassan31133 жыл бұрын
Elimu kadri siku zinavyoenda mbele ndipo inakosa thamani
@manenoathumani81173 жыл бұрын
Ashukuliwe mwenyezi mungu kwa hili congratulations dogo @paul
@peresmunanka49473 жыл бұрын
Hongeraa ...Got a big future ahead of you may God bless you throughout your life
@leonardlukongola90133 жыл бұрын
Hongera sana sana bwana mdogo pambana katika elimu
@sikudhan33783 жыл бұрын
Mungu akulinde na husda za walimwengu mdogo wangu akuongezee akili zaidi inshaallah
@sayeedbinazan3 жыл бұрын
Maa Shaa-Allaah. May The Almighty guide him. 🤲
@jimmysalag75703 жыл бұрын
Hongera Sana dogo Paul cosmas mungu aendelee kukupigania zaidi
@pigapesa93523 жыл бұрын
Hongera sana dogo .Kaza sana mwendo bado ni mrefu..soma sanaaa!
@trophainamagogwa99913 жыл бұрын
Mungu amekufuta Machozi walau
@golethkaguo41833 жыл бұрын
Tofautisha wanaume na wavulana na wanawake na wasichana hatuna wanaume wala wanawake shuleni
@annajoseph99553 жыл бұрын
Nimecheka balaaa
@hannansdeliciousfood42613 жыл бұрын
Yy katumia kizanzibar zaidi ss wazenji twaita wanawake na wanaume...hatutumii wasichana na wavulana....so katumia kiswahili cha pwani cha mwambao... 😍
@marymdoe36183 жыл бұрын
Kumbe
@abdulmeddytz41713 жыл бұрын
Hongera sana Mungu akutangulie
@malaykasaid26373 жыл бұрын
Hongera my 🤗🥰🌹 mungu akupe neema
@ebbyescor76142 жыл бұрын
Wewe umeinuliwa sana na Mungu yupo na wewe usimuache fuata ndoto zako utafika mbali mdogo wangu
@geroldmwinuka64113 жыл бұрын
Mungu kwanza hongera sana young brother Mungu akuongoze
@kingswebe32513 жыл бұрын
nendeni mkahoji uongozi wa shule iliyoshika namba moja kitaifa
@dorcaskidoti2493 жыл бұрын
😂😂😂😂 hayo yatakuwa nimatangazo ya biashara.
@kunyonotv84053 жыл бұрын
Yaah
@muniradaudi4403 жыл бұрын
Mashalalh
@dismassmariki69853 жыл бұрын
kwa kumuangalia tu anavyoongea huitaji kutilia shaka yoyote uwezo wake kwenye hiyo nafasi, keep it up, keep it going young man 👌
@allenmrema29093 жыл бұрын
Sure
@labnalast75513 жыл бұрын
Masha allah hongera Sana,mungu yu mwema
@collinfrolian79333 жыл бұрын
More congrats dogo,winners are made and not born!
@betridatossi42283 жыл бұрын
Hongera sana kwake Mungu amjalie sawasawa na hitaji lake
@prosperkullaya45293 жыл бұрын
Hongera sana tegemea simu Kali b4 pasaka
@dre-re18412 жыл бұрын
Nimeipenda Sana speech ya paul
@ellyitete9383 жыл бұрын
Nashauri kungekua na wa kwanza mpk wa kumi shule za kata ...mazingira wanahosomea ni magumu sana
@estercosmas99193 жыл бұрын
Paul hongera sana mdogo angu..Mungu aendelee kukupigania
@lizzyjulie16043 жыл бұрын
Yaani nipo hapa namsikiliza geniuos wa taifa. So bright aiseeew
@estercosmas99193 жыл бұрын
@@lizzyjulie1604 🥰🥰katuinuaa mnoooooo
@michaelpaschal61583 жыл бұрын
@@estercosmas9919 mzima
@michaelpaschal61583 жыл бұрын
Hongeren
@zainaburajabu81093 жыл бұрын
hongera xana paulo god bless yuo
@christinandetaulwa40393 жыл бұрын
Hongera Paul. Mungu akupe maisha marefu na Siku moja uje uwavushe wabongo wenzio. Ila ninakushauri usiende kwenye mambo ya telecommunication bwana. Nenda Civil engineering ama udaktari. Kwenye IT utapoteaaa. Hakuna future huko.
@DonSompo3 жыл бұрын
Ndugu yangu usimkatishe tamaa mtoto mwache asome kile anachokipenda, mbona hata hiyo civil engineering watu kibao wamesoma na tuponao huku mtaani.
@joycekajivo9153 жыл бұрын
IT atapotea mazimaaaaaa labda ajiajiri sio kuajiriwaaaa
@DonSompo3 жыл бұрын
@@joycekajivo915 hata kujiajiri ni mpango pia
@jimmymbella9973 жыл бұрын
Hongera Sana mdogo wngu mungu akupe wepesi zaidi uendako ktk safari yako ya masomo Amina🙏
@alfredjoakim11073 жыл бұрын
Hongera sana ndugu ila nimefrai sna unavyomtanguliza Mungu👋👋
@estherlengwa86893 жыл бұрын
Nakubaliii Sanaa Team umbo dogo Akiri nyingii genius
@fidesbenard28363 жыл бұрын
Hongera Paul mungu akuongeze katika masomo yako...
@kimandafukitefu29993 жыл бұрын
Una-focus kubwa sana dogo kweli utajutia ukisoma telecommunication engineer
@HASASON3 жыл бұрын
Umemaanisha UTAJUTIA au HUTAJUTIA sababu hayo ni maneno mawili tofauti sana
@augeniamsofe53283 жыл бұрын
Kwanini ujutie?
@muhsiniissa81513 жыл бұрын
@@HASASON kamaanisha hata jutia,,matumiz ya lugha2😀