Q BOY HATIMAYE ATAJA KOSA LILILOMFUKUZISHA WCB, TALLE, SALLAM WATUPIWA TUHUMA NZITO

  Рет қаралды 239,502

Fadhili Moses Kiwia

Fadhili Moses Kiwia

Күн бұрын

Пікірлер: 189
@musaabuebker1750
@musaabuebker1750 3 жыл бұрын
qboy kama qboy nafurahi umerud kwa form,sa iv qboy umerudi kwenye form umependeza mzee,safi binadam sio mwisho,mungu akisimama maisha yanaenda hatutegemei mwanadam ni mungu,bravooo
@musaabuebker1750
@musaabuebker1750 3 жыл бұрын
nilijua ya 2020 bro,hustle man tengeneza njia yako
@alexandrinadomaino1085
@alexandrinadomaino1085 7 жыл бұрын
Duniani kuna watu wana roho mbaya kweli.Sasa kweli kupack gari sehemu ambayo sio husika ndo mtu aachishwe kazi mhmh.Pole sana kaka Q boy sio wote wanaokuchekea wanamaanisha wanafuraha na wewe.
@marianundwe2720
@marianundwe2720 6 жыл бұрын
Bora ulitoka huko umejiepusha na mengiiiiiiiiii be blessed brother..... Mungu ndo anapanga maisha ya mtu na sio mtu kupanga maisha ya mtu....
@khalidsadick3690
@khalidsadick3690 5 жыл бұрын
Mungu ndio muweza wa yote pambana mungu yupamoja naw
@20200p
@20200p 7 жыл бұрын
everything happens for a reason my brother when God close one door always open another door for u be grateful to God my brother
@edsonsizoki9693
@edsonsizoki9693 4 жыл бұрын
pole sana musaf
@beatricepeter4194
@beatricepeter4194 5 жыл бұрын
Pole sana Q boy muombe mungu atakusaidia
@magynzioka1122
@magynzioka1122 7 жыл бұрын
usijali mungu amekuepusha na mengi uko usijali utasonga mbele bila wao mungu die mtoa riziki usimtegemehe mwanadam ana mauthe
@armstrongnjamanjama2683
@armstrongnjamanjama2683 7 жыл бұрын
Allah yuko nawe.Amekuepusha na mengi.
@pendomarco9307
@pendomarco9307 5 жыл бұрын
FIKIRI kabla ya kutenda mbona Leo unaommba msamaha walikudanganya
@kaisarimkuu3685
@kaisarimkuu3685 5 жыл бұрын
Mungu ndiye mtoa rizki!!??
@pemahprincess5887
@pemahprincess5887 4 жыл бұрын
@@kaisarimkuu3685 sasa unaomba msamahaa wa nini??
@mariammapendo6074
@mariammapendo6074 4 жыл бұрын
Kweli kbs unayo yasema
@josenambaya4994
@josenambaya4994 Жыл бұрын
Broo hao wakitafuta kisa inawezekana kitambo walikuwa hawakuhitaji ila we mwachie mungu
@funaticsworld2648
@funaticsworld2648 7 жыл бұрын
aisee kumbe huyu dogo ana vihekima flani.Don't give up wewe ni mkali sana kwenye kitengo chako
@hashimabdalah3161
@hashimabdalah3161 7 жыл бұрын
FUNATICS WORLD muongo ulitaka kuzamia marekan
@paulmafuru7283
@paulmafuru7283 7 жыл бұрын
Mbn we msanii Mzr Mzee baba acha kuzungumza yalokwisha pita kaka songa mbele mungu yu pamoja na ww
@vannyboy5579
@vannyboy5579 5 жыл бұрын
Sana mzeee usiwaze wee sio malaika ukajua kosa kabla ujatenda
@jayelias1654
@jayelias1654 7 жыл бұрын
pole Q boy
@samwellochiliajitu4213
@samwellochiliajitu4213 5 жыл бұрын
Q boy mungu amegufunguliha njiha kwa moja wa WCB 254
@allenysamsony9350
@allenysamsony9350 7 жыл бұрын
anaakili sana qboy na busara nyingi mungu akubariki sana nakupenda
@lilakhhassan6896
@lilakhhassan6896 5 жыл бұрын
Da mn ana niboa sana kwani wcb wao ni mungu pale kuna watu wapo kwa uchawi to nawajua na cku nita wataja wote majungu na fela na tale
@cestlaviecestlavie4606
@cestlaviecestlavie4606 5 жыл бұрын
@@lilakhhassan6896 , yaani woote pale ndio byao 😏...
@meshackbedon3446
@meshackbedon3446 7 жыл бұрын
dah pole bhan q boy fanya mziki kivyako coz we mwenyewe uko vizuri an fanya kitu watu wajue kuw we ni nan mziki wako ni mzur brother jikubal mwenyew bro😏😏
@hassanmohdallyally9552
@hassanmohdallyally9552 7 жыл бұрын
pigaa kazi kaka hapo rizki imekwishaa labdaa ndio njiaa ya wewe kutoka kimaishaa achanaa nayoo usilazimishee sehemu ambayoo utakiwi mungu kashakufungulia dirishaa lingine q boy
@emmanuelmoses6112
@emmanuelmoses6112 7 жыл бұрын
pole xana ndugu yangu wew hamia kwa king wetu hanaga majivuno kaka
@emaesthermuchiri6208
@emaesthermuchiri6208 7 жыл бұрын
Qboy usijali yote ni sehemu ya maisha.....nakila cku mambo ni tofauti...
@fredyboy2554
@fredyboy2554 7 жыл бұрын
da pole sana kamanda
@nestymushi6489
@nestymushi6489 5 жыл бұрын
Q Boy achana na maswala ya kumbukumbu za kuwa na nani na kwa Muda gani au kufanya nae nini, Your a grownup Man niqqa. Na kwenye hya maisha siku zote Maisha ni wewe mwenyewe Elewa kwamba Kama umezaliwa umekaa kwenye mfuko wa uzazi wa Mama yako wewe mwenyewe, na Hata Kabulini unakaa Mwenyewe bhs Tambua maisha it's all about Yourself
@k-lama2120
@k-lama2120 5 жыл бұрын
God ana give binadamu hawato Ku forgive..
@gaudenciadeus
@gaudenciadeus 5 жыл бұрын
Mzee mbaba 😂😂😂 sasa unalia nn sahv jmn? Binadamu sisi😩 dats why i love technology yani inakupa kilakitu haiachi kitu..👌👌👌 badirika sasa
@johanesjohn8471
@johanesjohn8471 4 жыл бұрын
Nikki mbish aliwahi kusema kwenye bars moja hivi "Nakuomba Mungu siku ya kiama usimsahau babu tale "
@mackenziengolo7mabula132
@mackenziengolo7mabula132 7 жыл бұрын
mungu huwa anazui huku anakufungulia kule huku wewe ukiwa hujui
@surayadunia7029
@surayadunia7029 7 жыл бұрын
Qboy pole kaka haya maisha2 achana nao
@amadsabimbona2553
@amadsabimbona2553 7 жыл бұрын
pole sana mungu hatakusadia
@andrewmlamba
@andrewmlamba 7 жыл бұрын
Ameamua kuwa muimbaji lazima aachane na kufanyishwa kazi za mkono na dangote.Hata hii issue ya WCB aachane nayo ajipush kivyake.Silazima WCB indiyo ufanikiwe
@rheanmutimanwa7488
@rheanmutimanwa7488 6 жыл бұрын
kweli kabisa
@eck9nginde255
@eck9nginde255 6 жыл бұрын
hawez
@mussadaudi5517
@mussadaudi5517 5 жыл бұрын
Mlash Chusa kwel
@officialngassama2539
@officialngassama2539 5 жыл бұрын
Yuko na talent kubwa alaff
@BigZhumbe
@BigZhumbe 6 жыл бұрын
Mwenzako Kifesi alisimamishwa kazi hakuongea bangi km wewe ndo usiachishwe km nani..... bila #WCB utapotea
@aminaokima4865
@aminaokima4865 6 жыл бұрын
am soo touched usijali kaka Allah ndo anapeana riziki
@ahmedshomari6741
@ahmedshomari6741 5 жыл бұрын
Wewe achaujinga wasafi kitu gani mungu ameahidi riziki kwa kila kiumbe hadi mwisho wa uhai wake ss we unalia nn tafuta riziki bado mungu mtegemewa hajakuacha mkono aibu hiyo kusujudia kiumbe acha upumbavu unalialia nn mtoto wa kiume kwa riziki ipo hapo tuu wacha kulia shida ni aibu mtoto wa kiume
@othumanmassanja1890
@othumanmassanja1890 7 жыл бұрын
unaweza kufanya kazi nje ya wcb so unakipaji unaweza kusimama peke yako bro co kuwa nje yakundi ndo basi nenda kwa sabuka utatusua
@ramamwitason8018
@ramamwitason8018 5 жыл бұрын
Q Boy nakupenda sana
@HassanMohamed-vs4re
@HassanMohamed-vs4re 7 жыл бұрын
Polee sanaaaa aduiiii
@oyay2821
@oyay2821 7 жыл бұрын
sallam ndie Shenzi type katika hilo kundi La mafreemasons
@sibawayhisalum2707
@sibawayhisalum2707 7 жыл бұрын
pole usife moyo
@musabaruti6254
@musabaruti6254 7 жыл бұрын
daaaah kaza home boy
@hamadkhamis9407
@hamadkhamis9407 7 жыл бұрын
Duh! pole sana kaka Q boy kwani yote ni mitihani ya maisha.
@dalladallas7207
@dalladallas7207 6 жыл бұрын
piga moyo konde kaka
@lovenessmango
@lovenessmango 7 жыл бұрын
sijategemea km ana akili sana huyu kijana kweli usimjugde MTU kwa kumuona ana busara sana
@fredyndenga
@fredyndenga 7 жыл бұрын
busara zinakuja baada ya kuharibu .sasa huyu angefanikiwa ungemwona yani ,wewe mpaka kuchukua gari la boss bira ruhusa aisee
@ramadhaniking2924
@ramadhaniking2924 7 жыл бұрын
Fredy Jc Ndenga ulewe gar ilikua ruhsa kapewa akatengeneze gari lakn yule akiepiga picha ndio kosa.
@mgunduzimedia364
@mgunduzimedia364 7 жыл бұрын
tatzo mawenge yy aliambiawa asi imbe afanye kaz moja tu asa izo mambo za kujiongeza ndy mbaya kweny vtu ambavyo co bt all of dat usi mtegemee mwanadamu #GOD OVER EVERY THING
@fatumaiddy3526
@fatumaiddy3526 7 жыл бұрын
mambovp wadau
@vanywadee4406
@vanywadee4406 6 жыл бұрын
daaa poleee brooo
@dismasmushi3524
@dismasmushi3524 7 жыл бұрын
#mondi come on and settle this asee tunataka kuona team inaendelea kama kawaida @diamond platnumz
@Diamondvideomix
@Diamondvideomix 5 жыл бұрын
Sizan ilo kosa ndo lilimtoa kuna kitu
@josephraymond189
@josephraymond189 6 жыл бұрын
duuuuu!! kweli kua uwone
@lindaemmily471
@lindaemmily471 7 жыл бұрын
yah mungu yuko
@zaynsalma3466
@zaynsalma3466 6 жыл бұрын
Duuuh sura Zito we Rudi buja tuu
@mwanawetumwagora6283
@mwanawetumwagora6283 6 жыл бұрын
Pole komaa kaka achana nao.
@HassanMohamed-vs4re
@HassanMohamed-vs4re 7 жыл бұрын
Wao walianzaje mpaka kufikia hivyo leo
@didierkiss1542
@didierkiss1542 7 жыл бұрын
Pole sana
@iddimsoshi8151
@iddimsoshi8151 7 жыл бұрын
safi sana
@kangujosephkangungu26
@kangujosephkangungu26 5 жыл бұрын
Punguza Uongo jifunze point.
@kangujosephkangungu26
@kangujosephkangungu26 5 жыл бұрын
Pole boy
@iddimsoshi8151
@iddimsoshi8151 7 жыл бұрын
pole sana q boy
@anifamussa140
@anifamussa140 6 жыл бұрын
Duuuuh pole
@eddieeddie5189
@eddieeddie5189 7 жыл бұрын
q boy usilalamike utamkosea mungu don't care about wcb
@marimarimu3697
@marimarimu3697 7 жыл бұрын
yote maisha jamani mkumbuke mtafukiwa tu na mchanga msije mkajua ndo mtaendelea dunian
@fabiankadebe6256
@fabiankadebe6256 7 жыл бұрын
daaah imeniumiza
@ditrickmtenga914
@ditrickmtenga914 4 жыл бұрын
Unasaiki q boy kuna baadhi ya intaviu ulifanya ukawa unamwongelea vibaya bass wako nayo ndoo imekufanya uwe katika wakati mgumu sikiliza nikupe ushairi wewe hata siku nyingine umeuliswa kitu ambacho unajuwa kitakugarimu bora unyamaza kimya
@blaizobl5074
@blaizobl5074 7 жыл бұрын
yess
@jenganyumbakisasa4094
@jenganyumbakisasa4094 5 жыл бұрын
Rudieni Tena coment zenu
@fatiafat3475
@fatiafat3475 7 жыл бұрын
people stop ur pole sana kwa qboy because all of u work so hard to reach a certain point the CEO diamond is still young nd most of his workers are also young diamond takes them as his brothers he takes them to his house everything everyone in wcb is driving him self so all those boys think if diamond is young they take him for granted nd for get that he is their boss because they are of the same age qboy for sure how can u go pick ur boss's wife car and drive it to any place u want without permission the car u don't know for real,no it's not fair u need to respect ur boss even if he is young nd if u joke with diamond then it doesn't give u chance to play with his wife's car all of u giving qboy pole no he doesn't deserve it he didn't not respect his boss he crossed his boundaries.of all u people who can just go pick ur boss's car nd drive it to any place u want without his permission nd u go away with it tell me,?even if it's ur house girl in ur house just pick ur dress or shirt nd u see her on instagram on party with other people in ur dress or shirt when she didn't ask it from u how will u feel that not respecting ur boss.that's a big lesson to people who don't respect their boss's stuff nd not respecting there places of work.QBOY u didn't steal but u didn't respect ur boss nd his wife some people don't care if u stole or not be they care on the respect u give to them.period to me no pole sana because where i love my stuff is were i want to find it untouched.
@edsonsibuti6914
@edsonsibuti6914 7 жыл бұрын
true better u tell then
@edsonsibuti6914
@edsonsibuti6914 7 жыл бұрын
+Edson Sibuti them
@missxexykenya6028
@missxexykenya6028 7 жыл бұрын
Fatia Fat he is regreting lol
@saidabdallah3193
@saidabdallah3193 7 жыл бұрын
If he couldn't respect him as a boss, at he could have respected him as a friend!
@flyhigher5393
@flyhigher5393 6 жыл бұрын
Fatia Fat RIGHT
@monicahmungai2073
@monicahmungai2073 6 жыл бұрын
Qboy hiyi kazi ya kuvua simba koti daaa haileti ww wafaa kuwa designer wa WCB
@abcdefgger
@abcdefgger 7 жыл бұрын
Pore sana kaka
@eddieeddie5189
@eddieeddie5189 7 жыл бұрын
kutokana na maongesi ya tale babu imedhihirika yeye ndio kamuwa hivyo
@ramadhanmkanje3025
@ramadhanmkanje3025 7 жыл бұрын
Usijali ishallah
@saidikapite6260
@saidikapite6260 6 жыл бұрын
safi sn
@nattinatti6308
@nattinatti6308 7 жыл бұрын
pole kaka
@victorcheruiyot2811
@victorcheruiyot2811 5 жыл бұрын
wcb kuma tuu
@sampatrick9951
@sampatrick9951 5 жыл бұрын
Mi nafikiri asamehewe ispokuwa na wewe jirekebishe neno moja tu naomba nisamehe yatosha
@HassanMohamed-vs4re
@HassanMohamed-vs4re 7 жыл бұрын
Umekuwa mkaliii kilaa konah kaza utatoka tu
@dvjjblood3216
@dvjjblood3216 7 жыл бұрын
naomba nmba za Q boy
@athmanchimerah3379
@athmanchimerah3379 5 жыл бұрын
Tatizo bro ulipotoka WCB ulianza kushindana nao,sai ndo umejua makosa yako
@azizimahangana1082
@azizimahangana1082 5 жыл бұрын
watanzania wengi wanafki tu amkai mkitafakali jambo furani au kitu furani farilieni ishu ya uyu jamaa mtajua wapi amekosea acheni unafki wa kimama
@jaquilinekivunge331
@jaquilinekivunge331 7 жыл бұрын
youh can goo behond thiz bila wcb
@aziztz6161
@aziztz6161 6 жыл бұрын
WCB sio watu kabisa ndo maana ata kenya tale alizima mic ya alikiba mamae
@stevenmakumburi5460
@stevenmakumburi5460 7 жыл бұрын
Wcb mrudisheni Q boy
@mariamukajiru1898
@mariamukajiru1898 5 жыл бұрын
Ulivyotoka WCB ulikuwa unaongea kwenye media kwa bwebwe sana na kusahau kuna kesho, mpaka ukafikia kusema walikuwa wanakubania...hebu jaribu kuangalia interview zako zilizopiga unyenyekevu sio huo.
@strikerhussein9212
@strikerhussein9212 6 жыл бұрын
so inauma sana. tatizo kuanza upya. ni inshu n'a kipindi hichi cha Brother. magu mhh. Any way ntaongea na Brother. simba halafu tuone
@nashnerdy5646
@nashnerdy5646 7 жыл бұрын
pambana na hali yako q boy bakukubal sanaa
@lilakhhassan6896
@lilakhhassan6896 5 жыл бұрын
Ukweli ni kwamba salam hakuwa jaguo lake ww nina uhakoka na pale wcb salamu ndio mungu wao wote mpaka huyo mond ana muogopa salamu ukwel nu huo mn na muonega wakawaida to kisa ulaya cc tumeenza kwenda ulaya yeye bado mdogo na tuko poa hatuna dharau hata kidogo
@kawezaog5062
@kawezaog5062 5 жыл бұрын
Kwanza hawa kinatale waliingiaje wasafi nakuacha tip top hao wachawi
@ramadhaniekingo9877
@ramadhaniekingo9877 5 жыл бұрын
temana nao boy kilich kutoa sauzi nn sasa dar pole ila komaa utapt tu kuna maish baad ya mziki
@fredricknarsis9649
@fredricknarsis9649 5 жыл бұрын
Wanajikutaga nima chocolate sana kila lenye mwanzo halikosi mwisho
@somalytyre8644
@somalytyre8644 7 жыл бұрын
Qboy usijali muamini Allah pekeee
@MohamedOmar-fu8zu
@MohamedOmar-fu8zu 7 жыл бұрын
oeee bro bila wcb huwezi ishi!!
@barakajimu6004
@barakajimu6004 7 жыл бұрын
Mohamed Omar boya ww
@eddobyser1817
@eddobyser1817 5 жыл бұрын
nani kkudngny wewee wcb ndiyo kila kituu
@mwalyanga_94
@mwalyanga_94 7 жыл бұрын
asa ukwel n upi, maana Q boy ana ongea vingine na platinum vingine
@neemakilomoni4258
@neemakilomoni4258 7 жыл бұрын
WCB wote waswahili sana Tale ndio kivuruge wa WCB 😏
@aleezgene4572
@aleezgene4572 5 жыл бұрын
Lazma ujifunze kuanza upya
@marunaagiro1395
@marunaagiro1395 5 жыл бұрын
Sio.lazma uwe wcb kama.ipo. ipo tu.
@petermwantole9433
@petermwantole9433 7 жыл бұрын
Dogo komaa Nina Imani utatoboa, hilo halina Shaka
@abednego3876
@abednego3876 5 жыл бұрын
analia kama malaya ss ivi
@ibrahimpius893
@ibrahimpius893 7 жыл бұрын
Mimi ni shabiki wa WCB ila kwa hili walilofanya nimeanza kuichukia
@edsonsibuti6914
@edsonsibuti6914 7 жыл бұрын
hata mm
@eddywineyahman7766
@eddywineyahman7766 7 жыл бұрын
Ibrahim Pius sio kweki
@salehnahdy5447
@salehnahdy5447 7 жыл бұрын
Ibrahim Pius wewe sio shabiki bali mnafki tu , Je uliskia kwa upande wa pili alichookiongea diamond kuhusu qboy...kila sehem kuna matatizo kama haya..huwezi kumchukia mtu au kiichukia kitu kwa matatizo kama haya...!!
@noelexaud4487
@noelexaud4487 6 жыл бұрын
Ibrahim Pius huna akil huwez kusklza upande mmoja na kutoa hukumu
@getrudamatoto1979
@getrudamatoto1979 6 жыл бұрын
Pole sana Don gv up
@stanslauskadandi2360
@stanslauskadandi2360 5 жыл бұрын
Unazingua
@abdallahmbalazo3214
@abdallahmbalazo3214 5 жыл бұрын
Uyu jamaa mbona ana angaika we kama awakutaki achananao fanya michongo yako kwani wcb imeanza juzi tu kwani si baba wa muzik huu na mungu ndiye muweza wa yote na sio kila anaye kuno unalia basi anapenda kukuona hivyo
@kiissrajabu964
@kiissrajabu964 5 жыл бұрын
Huwez kumfukuza kazi mtu kwa kosa kama ilo kwan ni unexpected insue so mi naona mondi aliyumba sana na wafanyakaz wengine muwe makin
@crershawmafia1009
@crershawmafia1009 5 жыл бұрын
huyu chalii alikuwa mjuaji, amefanya mengi ila alipofikia alizidisha so wakawa wanamtafutia sababu 🤣🤣🤣
@abdallahsayeed7126
@abdallahsayeed7126 5 жыл бұрын
Usjl bro pambana tu
@lucaslucaswalogwa9524
@lucaslucaswalogwa9524 5 жыл бұрын
Umevaa na kuonekana kama lil wayne
@ashahaji4936
@ashahaji4936 7 жыл бұрын
zungumzia kazi yako c wcb tena acha pambana
@tuwekeenjamnwengnehatupota3774
@tuwekeenjamnwengnehatupota3774 7 жыл бұрын
kwan wao hawakosei na umekua nao kwa mda mrefu wanayao tuu😕😕mbona wanapuyanga sana madem wawatu
@sophicatesalim9757
@sophicatesalim9757 5 жыл бұрын
Jamani nsameheni makosa hutokea kwa kla moja wetu
@veronikazacharia2860
@veronikazacharia2860 7 жыл бұрын
ucjar kaka ckuzote mtu akiwa na cheo furan ama uwezo furan huwa yuko juu yan wanajua hakuna zaid yao,pia wanakupa Balaka wala ucjar
@mohamedjumajay2319
@mohamedjumajay2319 7 жыл бұрын
😨😨😨😨
@lilakhhassan6896
@lilakhhassan6896 5 жыл бұрын
Sio mmoja salamu na tale uc fiche kutu ww na fela wotw mmmmm ww una mjua fela fela ana uso mwingine moyo mwingine yule ni nyoka ngole jamii itambue hivyo kaumbwa kwa una fiki to
@samwelimahesha5518
@samwelimahesha5518 4 жыл бұрын
A see kwa matatizo kama hayo inatakiwa wajileke bishe wataharibu Nazi.
@alexandrinadomaino1085
@alexandrinadomaino1085 7 жыл бұрын
Uyo mtu anajulikana tu roho mbaya tuu khaaa
HARMONIZE alivyompandisha DULLY SYkES Jukwaani
3:48
Vimba Media
Рет қаралды 266 М.
Turn Off the Vacum And Sit Back and Laugh 🤣
00:34
SKITSFUL
Рет қаралды 7 МЛН
Мама у нас строгая
00:20
VAVAN
Рет қаралды 11 МЛН
Diamond Platnumz - Eneka (Behind The Scene part 1)
10:01
Diamond Platnumz
Рет қаралды 3,3 МЛН
VALENTINE YA RAYVANNY - USWEGE MURDERER (MPYA)
5:07
Uswege Murderer
Рет қаралды 149 М.
diamond ft chidi BENZ  nalia na mengi
4:34
Abbasbarsella
Рет қаралды 62 М.
Best Naso Show Shinyanga Part 2
11:08
Best Naso
Рет қаралды 14 М.
#ROSTAM MKWAKWANI WAIVAMIA #IOKOTEREMIX
4:31
VIVAROMA
Рет қаралды 55 М.
FRESH - USWEGE ft DIAMOND PLATNUMZ & FOCALISTIC
3:59
Uswege Murderer
Рет қаралды 77 М.
WANAFUNZI WAGENI | BACK BENCHA - USWEGE MURDERER
3:39
Uswege Murderer
Рет қаралды 52 М.
YOUNG LUNYA , KONTAWA NA MAARIFA CYPHER .
12:05
MNAMBANAMBA
Рет қаралды 88 М.
Turn Off the Vacum And Sit Back and Laugh 🤣
00:34
SKITSFUL
Рет қаралды 7 МЛН