Suhbhanallah. Jamani kumbe anamtihani waakili. Allah amuongoze pole baba Allah akustilina mitihani yote ya Duniani na ahla
@kilogreek40503 ай бұрын
UBALIKIWE VIONGOZI KWA UTALATIBU WENU MZURI MUNGU AWABALIKI WOTE ALIOMUOKOTA NA KUMKABIZI KITUO CHA MAITAJI MALUMU AMEEN AMEEN 🙏 ❤️
@OfficialA836403 ай бұрын
Wazazi mupo kwann akaishi kwenye kituo cha Yatima? Na mama yupo wakumuangalia thijapnda unajua Yatima wanavyosononeka kukosa wazazi yy anao lkn mnamtia kwenye kundi la Yatima😢. Semeni tu kituo cha wenye matatizo ya akili sio Yatima 😢😢