Usisahau ku"SUBSCRIBE" KZbin channel yetu kwa videos nyinginezo #zamaraditv #mambonimengi
Пікірлер: 180
@jmasutv22287 күн бұрын
Clam nakubali ,, interview Iko poa Jackson Masumbuko Wambura is watching
@xaverisunday6997 күн бұрын
Hasila kinoma lkn asnt mungu kwa vyote ulivo ni bariki asnt mungu 🙏 wng
@AllyBabu-kr6lg7 күн бұрын
Naijua iyo bado inaishi mpaka leo kumbe clam kakaa ulongoni goms 😅😅fundi wetu we ni ww🎉🎉🎉
@catrinavampire85477 күн бұрын
Nampenda clam
@StarMbadjr7 күн бұрын
Sawaa tajiriii😀😀🙌
@Ellywangu7 күн бұрын
Msicomment negative clam n mcheshi na anapenda utani sana😅😅😅
@PeterAdam-y4b5 күн бұрын
Kwann kila msanii Ana gorofa. Hawana nyumba za kawaida kwahyo wote wana magorofa.mmh Tanzania tutakuwa wasanii xaxa ili tuish gorofani😅😅😅😅😅😅😅
@RajabuIssa-n8y7 күн бұрын
Nakubali Sana Huyu Mwamba anajua Sana
@johnjplusfood21357 күн бұрын
Mtafute Jux
@AsmasaidiTitu5 күн бұрын
❤❤❤❤ napenda movie zako
@RobsonLugomi7 күн бұрын
Kumbe range sio gari daaaaa
@Shadia5447 күн бұрын
Sema clam anazingua sana halafu mkali sana anajifanya eti hataki 😂😂kajipata kijana😂😂
@PeterKikubu-g4oКүн бұрын
Kazi kazi
@ruqaiyiddy55347 күн бұрын
Wangapi wanataman SHOW BIZZ ya PAULA,,MARIOOO VS KAJALA😊😊😊
@nellyofficial22257 күн бұрын
atutaki iyo
@Esherny247 күн бұрын
@@nellyofficial2225Daaah ilaaa😂😂😂
@AlameiAlamri7 күн бұрын
😅@@nellyofficial2225
@BintRasheed19996 күн бұрын
😂 @@nellyofficial2225
@Mzuri_0025 күн бұрын
Minatamani yagigy money😂
@faudhiasalum72797 күн бұрын
Aya 🙌🏿🙌🏿
@tumahai1577 күн бұрын
Wasanii bana wanachekesha sana yaani maisha yao movi movi tu,anachonunua 1000 atakwanbia Laki,ya kupanga atakwambia kajenga yaaani shidaaaa
@damianmcba95257 күн бұрын
Nashangaa waandishi nao wana watu wao wanataka kuwauza kilazima,,, Sasa kupanga ghorofani ndio nini? Watu kibao Wamepanga maghorofa ya masaki na mikocheni huko na sio mastaa hapa bongo wala nini,, hilo ghorofa tunalo onyeshwa sidhani hata km milioni kwa mwezi inafika,,, yapo ambayo kwa mwezi kuanzia milioni 2 , 3 hadi 5 lkn sio hili
@InnocentBirdNest-nl4eg7 күн бұрын
Kwan nyie mnaumia nini
@LettyLussi7 күн бұрын
@@InnocentBirdNest-nl4eg😂😂😂et jamani
@sosbrayantbenjamin97016 күн бұрын
@damianmcba9525 mnaumia 😅
@belyseirakoze53716 күн бұрын
@@tumahai157 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣wanataka muwe na akili na muwe na nguvu ya kutafuta pesa ili na nyie muaeshi maisha ghali 👍somo moja ni usitamani vya mtu kipana upande wako na ukiona mtu anafake wew mwaace kicha wew tumia njia yako nzur pasin vita kashfa au matusi kua really 🤗🤗🤗awa awi au awi awa
@jbbrand736 күн бұрын
Jamaa anajuasana mwacheni ajisikie 😀
@ShamsiMbago-n2q4 күн бұрын
Ata ajiskii
@TatoOman-s5t6 күн бұрын
Nakukubali san clam
@SULEIMANBakar7 күн бұрын
😂😂 dogo muongo kwel ety amejikuta makaburin😮
@belyseirakoze53716 күн бұрын
@TZHASHMAN mwambie 🤣🤣🤣🤣
@HusStler-n3j7 күн бұрын
Hawa wanakuwaga na mishe zao zngne za Siri.. fwatilieni ishu ya Eric mandala mtaelewa
@LettyLussi7 күн бұрын
Fanya na ww za siri😂
@lilianestephanie78815 күн бұрын
@@LettyLussi😅😅😅😅😅
@ShamsiMbago-n2q4 күн бұрын
Kijana smart sana ,🔥
@Cuteandfuny7 күн бұрын
Alisikika mlevi mmoja akisema "Maisha ya wasanii ni Maisha ya kuigiza hata hapo anaigiza" 😂😂
@LettyLussi7 күн бұрын
😂😂😂Yan
@mjapanitz5 күн бұрын
Pole mwanya kwa fikra hizo😊
@AdolfJordan-rz8sm7 күн бұрын
Blessed
@GervasMalimiКүн бұрын
Sema dogo anamashauzi sana sijui umli wake
@Director_Kitindi_Complete5 күн бұрын
TUNATAKA BIG BOSS
@GeorgeEdward-j4n7 күн бұрын
Mtafuteni na jux bhnaa
@LoreineFaida6 күн бұрын
Tuna kutaka south Africa pia❤
@AsmasaidiTitu5 күн бұрын
Hee mwali wakizaramu upo aisee movie nilipenda sana nendeze
@SadaHashimhadoswa7 күн бұрын
Ndo maana big boss imeyeyuka Kama barafu 😂😂😂😂😂 kumbe kilikuramba
@Jackline-i7b7 күн бұрын
Tulio ona king wa madem kweny tv hapo na tunaifutilia tujuane😊
@hassanchikwaya4170Күн бұрын
Tunataka interview na jux
@tembatembele53326 күн бұрын
Sanaaa inalipa
@elesianakabuje58326 күн бұрын
Anajisikia Sana uyu Kaka...afu siku zote watu wa hivi hawafiki mbali badilika Kaka angu sio kwa insta lkn
@lilianestephanie78815 күн бұрын
Si ana masikio sasa unataka asijisikie??
@nasrajimmy34025 күн бұрын
Ila mtangazaji punguza kipako 😂😂😂 ona vidole 😁
@angelrichard8997 күн бұрын
Xhida unachelewa xana kuleta move MPYAAA.....
@InnocentBirdNest-nl4eg7 күн бұрын
Mbona clam mtu poa sana mpole muelewa lakini wabongo mnachikii hadi kwenye makalio yenu tafteni na nyie mtambe khaaaa
@Esherny247 күн бұрын
Nkechekaaa😂😂😂
@InnocentBirdNest-nl4eg7 күн бұрын
Kumbe clam mwanajeshi😂
@FestoMatayo-x1t7 күн бұрын
Hakuna hela hapo wasanii wa bongo kila mtu ana hela wakiumwa tu kidogo wanaanza kuomba missada kwa media pumbafu
@belyseirakoze53716 күн бұрын
@@FestoMatayo-x1t 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ivi huamin kua hata tajiri kuna mda anafirisika 🤣🤣🤣🤣na pia fikiria uyo mtu kaumwa kiasi gani au mda gani uwend uko nyum kisha jitibisha hadi akafirisik 🤣🤣🤣🤣tumia akili dear
@Kidavoxe5 күн бұрын
Daaaah ila Clam Jamaa Acha Ajivinjari, Mi swez kataa kitu Sijui Siri yake Reported
@fakihassan9021Күн бұрын
Kwani hizi numba zaoo au Wana pangisha
@KomboKombo-sh2es3 күн бұрын
Chooni ndiyo sehemu sahihi unayo pata mawazo mazuri
@faudhiasalum72797 күн бұрын
Nenda na kwa jot bas😢
@catherinelandas19387 күн бұрын
Yan kwa jot ndyo nataka
@OfficialA836407 күн бұрын
Joti hapendi hizo mambo sio mtu wa show off ht kidogo
@pro_the_dj7 күн бұрын
sema uliuza namba ya mwana
@JamilahDilunga7 күн бұрын
😂😂😂😂muongo du!!!
@alitomorrow1666 күн бұрын
TUNAOMBA CLAM UFANYE MOVIE YA SERIOUS ILA CHARACTER YAKO CLAM TUNAOMBA IWE YA COMEDY
@joharifarahani27397 күн бұрын
Wa 7 leo nipeni like zenu
@powervideos24397 күн бұрын
Me naomba kuuliza hivi haya mambo ni kweli au tunatiana Hasira😢
@ReshmaAbdallah7 күн бұрын
Wengine kweli wengine kama huyu ntakataaa mpaka mwisho
@gmail.com123427 күн бұрын
Tunatiana hasira
@LettyLussi7 күн бұрын
@@ReshmaAbdallah😂😂😂Hawa ndio wasanii
@LettyLussi7 күн бұрын
@@ReshmaAbdallahnjoo na hoja Basi
@sophiakassim67847 күн бұрын
@@ReshmaAbdallah😅😅😅😅
@InnocentBirdNest-nl4eg7 күн бұрын
Wote mnaomchukia clam sabb ya mafanikio yake wasenge
@LettyLussi7 күн бұрын
😂😂😂😂
@Yasinmalua-m9w6 күн бұрын
Tuko p1
@Kidingiog3 күн бұрын
Waambie kaka
@RobsonLugomi7 күн бұрын
Tafuta watu wa maana achana na watu wanavimba atupati Cha kujifunza
@LettyLussi7 күн бұрын
Mpk apo ujapata Cha kujifunza😂😂😂 tafuta pesa bhnaa
@RobsonLugomi7 күн бұрын
@LettyLussi pesa ipi Sasa hii au Kuna nyingine tena
@lilianestephanie78815 күн бұрын
@@RobsonLugomimmmh kwamba unapesa wewe?????😅😅😅😂 usituchekeshe bwana
@RobsonLugomi5 күн бұрын
@lilianestephanie7881 sikulazimishi lkn
@TatoOman-s5t6 күн бұрын
Saleh kula umo umo 😂
@SuleimanAbdalla-cn5ne6 күн бұрын
Kwa Saleh kama kwa mkapa huchomoki
@AsmasaidiTitu5 күн бұрын
Naenda kuirudia nendeze
@PrimElinam4 күн бұрын
Mtafuteni jux na kiba
@TatoOman-s5t6 күн бұрын
Nimetok kicheko naenda nyumban kula chapat na malange
@khalsasalim79307 күн бұрын
Kwani mtu husafishi nyumba hadi aje mtu?
@LettyLussi7 күн бұрын
We kwako unasafisha Kila siku
@kizitomkude5 күн бұрын
huyu jamaa ni msanii hata nyumba hii ni ya kisaniii,
@PelajiThadeo7 күн бұрын
Ongeen haraka bhn mnanichelewesha kuvuta bang
@MariamSimbe-fo1ce6 күн бұрын
😂😂
@DUKUVIC7 күн бұрын
Sema we kalia kisiki we kwako wapi mbona unapenda kwenda kwa wenzio tuoneshe kwako na ww cio unasifia wanaume wenzio TU
@LettyLussi7 күн бұрын
Alafu we ndie utakaemuhoji😂
@HassanSadiki-l5c6 күн бұрын
Swali: Wazazi wanalala wapi???
@rogatusmeleki16604 күн бұрын
Kawajengeaaa
@EstherJohn-w9p7 күн бұрын
Mtaitiw wezi kweny nyumba za watu mbuz nyie😂😂😂😂
@imamuhamisi44217 күн бұрын
Nimechek, ukimuangalia tu clam anavoongea unajua tu apo sio kwake nimpangj alaf inaonkn kuna wapangaj wwngine chin😅😅,
@Christiannyangi-u8v7 күн бұрын
Mbona wasanii kibao wanampokea uyo salehe tena vizur yeye anajikuta star anajiskia sana sio vzr
@ShamsiMbago-n2q4 күн бұрын
Wap kampkea vbaya?
@abdullahwaziri54997 күн бұрын
Hiyo nyumba yake msidharau watu mambo yamenyooka dogo
@LettyLussi7 күн бұрын
Sio yake acha utahira na uchawa😂
@LailatSleyoum-ex6rb6 күн бұрын
Saleh kipako kimekubalii
@angelrichard8997 күн бұрын
Yumba Yako clam kama ni Yako MUNGU Aendelee kukupambania......
@AsukuBashilwa7 күн бұрын
Iyo Nyumba amepanga Akuna Nyumba Nzuri Kama iyo iwe vyumba 2 tu sio na sebule moja maana apo Nahona kila kitu kipo apo
@OchuTv7 күн бұрын
Sio Natomba ni chumba.. wallah 😂😂
@omariaman78187 күн бұрын
@@OchuTv😂😂😂😂
@IvanSigalla7 күн бұрын
Watumiaji wasamsangi tunashida ajatukana apo ni cm tu imemkataa😅😅😅😅
@hemedimanyinja33247 күн бұрын
kaka maliza kujenga kwanza rudi u comment!!
@sophiakassim67847 күн бұрын
@@IvanSigalla😅😅😅😅
@damianmcba95257 күн бұрын
Sasa kupanga ghorofani imekuwa big issue kwa mtu ambae anafanya comedy? Bora ingekuwa kajenga ni yake hapo sawa, Sasa mpangaji ndie unamuhoji badala ya mwenye ghorofa lake
@AllyBabu-kr6lg7 күн бұрын
We mbona mzoa taka watu awaongei panya we
@Esherny247 күн бұрын
@AllyBabu-kr6lg jaman usimchambe sanaaa😂😂😂😂
@LettyLussi7 күн бұрын
😂😂we unaweza panga gorofa
@ManaseMoleli7 күн бұрын
Kama ni nyumba yake kapamban ila kama kapanga hakuna maajabu maana sifa ya mpambanaji awe na kwake na c kulipa kodi ndefu
@belyseirakoze53716 күн бұрын
@@ManaseMoleli 🤣🤣🤣🤣shida yetu tunangalia maisha ya watu wengin kulik kutafuta pesa 🤣🤣🤣🤣
@nth35125 күн бұрын
Sasa hajajiandaa wakati kavaa maiki kabisa
@tumahai1577 күн бұрын
Mwehu huyo kapanga!
@TheDonn0077 күн бұрын
😂😂 hapo sasa ni nyumba ya kupanga dogo muongo sana.
@abdulnaseermrisho43427 күн бұрын
Kwanzia msanii hadi presenter wote waigizaji tuu 😂😂😂
@LettyLussi7 күн бұрын
😂😂😂😂unahoja
@mosesjackson82606 күн бұрын
Ongeen chap nataka kuweka smu chaji
@evancekiyoyo45417 күн бұрын
huyu jamaa anajiskia fanya interview na watu walio nyooka mashauzi kibao mtoto wa kiume
@SadikiAlly-v6l7 күн бұрын
Uwo ni wivu kaka acha wivu pambana na maisha Yako aliejipata kajipata tu
@Tinnasamsoni7 күн бұрын
😅😅😅@@SadikiAlly-v6l
@Loui_27667 күн бұрын
Tafuta zako na wewe ujisikie😢😅😅
@HajratHajrat05017 күн бұрын
Izo mambo zako mbona mkaka wa watu yuko poa tu
@mecktv47747 күн бұрын
Tafuta hela boss
@malila45826 күн бұрын
Uchafu2
@mrh28127 күн бұрын
😂😂😂😂
@Abdi2_moha17 күн бұрын
Boresha camera lakini hi ni channel kubwa salahe
@babujohn59077 күн бұрын
ANAKAA KIFURU HUYO ...KING'AZI B KARIBU NA SHULE YA MSINGI RAINBAW😅
@alexmushi7 күн бұрын
Kweli alikua anakaa kinyerezi songasi
@LettyLussi7 күн бұрын
Kifuru iko wap msaada tutani😂
@deejaytechnotzee87356 күн бұрын
@@LettyLussikinyelez njia y mbezi lois
@pendohumphrey65017 күн бұрын
Sasa unaenda vipi kwa mtu na hujampa taarifa???Ebu ombeni permission basi
@melanialeonard40316 күн бұрын
Huu ni uongo waendelee kuigiza tu
@AllySalum-j9y7 күн бұрын
Wengiii wanapangaaa tuuuu
@AsukuBashilwa7 күн бұрын
Kapange apo na wewe
@Baddie-p3b7 күн бұрын
Wewe apo panakushinda kodi yake ndo bajeti yako ya mwaka mzima 🤣