Daaaah jmn katika move za kibongo namba moja yangu mm nihii gabo hapa mlitisha sana❤
@ClearPictureEntertainment Жыл бұрын
habari tunaomba kuchangia tv yetu tuweze kuleta muendelezo na filamu nyingine nzuri-Changia kwa Mpesa 0765578466 jina litatokea Mussa Mussa
@zakia4169 Жыл бұрын
Naomba next part plz plz.plz tamu sana🤗🤗🤗🤗shangazi mchawi hatar
@janethmzuka41802 ай бұрын
Wallah nampenda shngazi yake sabra 😂😂
@RamraAsumani-c5h2 ай бұрын
Naikubali sanaaaaa ❤❤❤
@LuluAhmed-gw5qw5 ай бұрын
Ni bonge la move
@makolanyanyanda53739 ай бұрын
Dah pole San da sabby
@mudimoz9329 Жыл бұрын
Wewe Dj Vipi Ebu Tuletee Muendelezo Wa Nzowa
@evansmumba9565 Жыл бұрын
Thanks dear I'm from Zambia mansa province district samfya
@HusinaKarama-ti9jm10 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤👌
@prettymasha2430 Жыл бұрын
Hii move imefanyiwa zanzibar au nasikia Mnazi mmoja Hospital😊
@alikiloko1974 Жыл бұрын
Wame shoot Zanzibar iyo
@everlinekenga437 Жыл бұрын
Ako Rafiki nakupenda bure ❤❤
@rukiahassan7001 Жыл бұрын
Wewe mama mshindani huyo wifiako mwanga oooh huamini mpaka likufike
@esthermbilinyi3452 Жыл бұрын
Aliyekuja baada ya mama kufariki gong like
@JoyceKalago9 ай бұрын
Mama gani aliefariki jamani mbona mimi sifaham
@WITNESSNDONDWA4 ай бұрын
nampenda sana gabo
@sabihahamadi2287 Жыл бұрын
Aaaaaaa nacheka kama yaliyo mazuri eti tumuombeye dua muachane weye na mkeo
@bentamismwakazi4995 Жыл бұрын
Tunaomba mwendelezo 🙏🇰🇪
@zainabkadzo9241 Жыл бұрын
Movie nilioitafuta miaka mingi ni hii mudrick
@maureenkwamboka9838 Жыл бұрын
Nyamayamwanangu
@nadzuamrema5837 Жыл бұрын
Gabo hii movie uliweza snaaa
@mary-cm5je Жыл бұрын
Uchawi ni mubayasana 😲😲😲🇰🇪
@shakilasharifa9 Жыл бұрын
🤣 🤣 😅😅Part tu jamani
@JoyceKalago9 ай бұрын
Mwenye nyumba name aliwezaje kuajiri mlinz taahira kama huyo jaman
@salminjaku9955 Жыл бұрын
Pumzika kwa amani shangazi hakika kila nafsi itaonja umauti
@aminamwivita7690 Жыл бұрын
Keep it up good job
@salmahoperi9783 Жыл бұрын
Wewe shangazi MUNGU anakuona
@WizzyLekwadra-ou4ii10 ай бұрын
Nice
@agnesgames-zr2ih Жыл бұрын
Jamani hii move huwanaipenda kuridia mara
@ClearPictureEntertainment Жыл бұрын
habari tunaomba kuchangia tv yetu tuweze kuleta muendelezo na filamu nyingine nzuri-Changia kwa Mpesa 0765578466 jina litatokea Mussa Mussa
@rahmahrr4471 Жыл бұрын
Duuh hii movie kiboko naipenda Atal❤❤❤
@رقيهالخصيبي Жыл бұрын
Huyu shangazi naomba mbinu zake zigonge mwamba kila analokusudia kufanyia mtoto wa kaka yake limrudie mwenyewe na ww Sada ungemsikiliza mama yako usingebaki hapo
@Calist621 Жыл бұрын
Tunaomba mwendelezo (Siri ya giningi part two).
@leylaahmed8635 Жыл бұрын
Shangazi kapanga yke yatimie msipojua mtajuta
@samwelikomba117110 ай бұрын
Love
@mulhatsaleh8939 Жыл бұрын
Part 2 PLEASE🙏🙏
@nadzuamrema5837 Жыл бұрын
Shangazi atashindwa
@ancillarneema Жыл бұрын
Weee malizana na nzowa plz
@babysalma4912 Жыл бұрын
Bonge la Movie
@salmafakh-gq8nr Жыл бұрын
Kaka napenda sana jins uanvyo igiza hupo take care na kaz yko mwenyz mung akuzidishie ❤
@husseinramadhani2041 Жыл бұрын
Muwendelezo please
@joyceKilua5 ай бұрын
Sili ya giningi 2
@sawmu9536 Жыл бұрын
Clip saf sana
@habibaraphael6583 Жыл бұрын
Gabo ❤nc
@FrankHelman-zw2jc9 ай бұрын
Dah jaman uyu bib mbn anamtesa San mam mjamzito dah ila wachaw dah
@esajackjack303212 күн бұрын
❤❤ Love
@gladysnimwanga5459 Жыл бұрын
Hii move nikali sana wp part 2
@ClearPictureEntertainment Жыл бұрын
habari tunaomba kuchangia tv yetu tuweze kuleta muendelezo na filamu nyingine nzuri-Changia kwa Mpesa 0765578466 jina litatokea Mussa Mussa
@najryaautbya2774 Жыл бұрын
❤❤❤
@binnahyyassin4218 Жыл бұрын
Jaman tup part 2
@ClearPictureEntertainment Жыл бұрын
habari tunaomba kuchangia tv yetu tuweze kuleta muendelezo na filamu nyingine nzuri-Changia kwa Mpesa 0765578466 jina litatokea Mussa Mussa