GOODLUCK GOZBERT HAJAOKOKA (MPAGANI) NI MFANYABIASHARA KUPITIA INJILI

  Рет қаралды 20,954

IBM CHANNEL

IBM CHANNEL

4 жыл бұрын

#HaujaokokaWeweRudiMsalabani

Пікірлер: 183
@abcdg1995
@abcdg1995 3 жыл бұрын
Greetings my beautiful SOUL I really love your voice vocalist SIR keep grinding brother worth it Nothing comes easy in life dear Thank you so much for sharing
@hebrew1214
@hebrew1214 3 жыл бұрын
Mwalimu Isaya,unapotosha sana watu,kumbuka utawajibika siku ya mwisho kwa Mungu.
@djkbyofficial
@djkbyofficial 2 жыл бұрын
Nashukuru kukuona the rich voice with Mr Benson
@paschalvenance1833
@paschalvenance1833 4 жыл бұрын
Ondokeni mkatengwe nao asema Bwana ,Giza na nuru haviwezi kuwa pamoja,kwa hiyo fiesta ni zakayo.
@trophainamagogwa7966
@trophainamagogwa7966 4 жыл бұрын
Kabisa kabisa Eti tudanganywe nao wameokoka jamani wokovu mpira wa kuchezwa hata wasiooga
@jeanmjimmy
@jeanmjimmy 4 жыл бұрын
Usishindane na watu wengi kwa maana ndiyo washuuda nawaamuzi. Hauhijuwi biblia kuliko watu hawa wote. Jinyekekeze mbele za Mungu na watu "ili upate hekima ya roho mtakatifu". Mungu awapenda wanyenyekevu na kupitia watu wake atayasaisha makosa, mapungufu na madhahifu yako!!!
@agripinaakhani7005
@agripinaakhani7005 4 жыл бұрын
Yaani WW mwl Wa neno ni kipofu sanaaaa utawapotosha hao wasio Na roho mtakatifu yani we nimpotoshaji
@emmanuelmbatta9474
@emmanuelmbatta9474 3 жыл бұрын
Kwa hapa umefeli sana mwl wangu. Ktk hili
@otiliahaule5180
@otiliahaule5180 4 жыл бұрын
Mungu akubariki sana Mchungaji na Mwalimu Isaya Benson nauelewaga sana ufafanuzi wako ktk injili takatifu🙏❤️
@beatraceketto3880
@beatraceketto3880 4 жыл бұрын
Laodikia ndilo kanisa lenye ujumbe ule wamwisho laodikia nivugu vugu utatapikwa Bwana asema km nimoto uwe moto kaka soma ufunuo wa daniel Mungu hachanganywi czege hiyo km ni Yesu mhubiri Yesu tuu km nishetani kazana kumhubiri shetan maana Mungu nashetani wako kwenye kampen
@ibadaworship5103
@ibadaworship5103 4 жыл бұрын
Nakomba kaka usijifanie unajua sana, nenda kamuombe Mungu vizuri na usome mandoko matakatifu, ukipita TV isijifanie unajua sana mimi ni mtumishi wa Mungu nakufwata tokea Congo DRC
@ibmchannel
@ibmchannel 4 жыл бұрын
Nashukuru mtumishi wa Mungu Asante sana naheshimu sana watumishi wa Mungu. Ila naomba uniambie nimekosea wapi ili nijirekebishe mtu wa Mungu. Asante sana.
@peterpanyika6810
@peterpanyika6810 4 жыл бұрын
Mathayo 23:8 Tuisome. Pia tu Mungu ndiye hujuae wokovu wa mtu. Wengine watakuwa Wana hukumu tu. Tusipende Sana fahari za kuitwa majina askofu.mtume,nabii.mwalimu.nk.Hizi majina au titles Zina gharama Sana. Leo tumetoka katika kumsifu Yesu Kama tulivyotakiwa.Badala Yake tunasifia watumishi(mere mortal men).wokovu na utumishi haya Mambo Ni ya kuzingatia. 1- muonekano,unavaaje2_unazungumza Nini,be selective on your words.3- unatembelea wapi,kazi ipi inakupeleka huko,Ni ya Mungu?4-unakula Nini..vyakula vya kisasa vingi vinafisha roho. Be selective.kula pale una njaa tu.4 unasikia Nini?!unachosikia chaweza kukujenga au kukubomoa.imani Ni kusikia,wasikia NENO la kristo,au upuuzi wa bongo fleva..man u.. arsenal?!.Yesu alijichanganya na Lazaro mtoza ushuru,etc,SI yeye afanane nao,Bali ili hao wapate nafasi ya kufanana nae.Twaweza kutumia platform yyote kumhubiri Yesu ILA SI KUFAFANA HAO tunaotaka ujumbe uwafikie. Mungu Awabariki Sana. Nimeona kwa sehemu tufahamishane haya.
@japhetjoseph1772
@japhetjoseph1772 4 жыл бұрын
Kwel goodluck anakosa atafuata walio njie ya kanisa
@emmyngoy9686
@emmyngoy9686 4 жыл бұрын
mungu awajua watuwake
@clementshija625
@clementshija625 3 жыл бұрын
Wewe mzee hujui maandiko huenda ukawa adui wa mungu Bila kutambua
@wilbertlugenge472
@wilbertlugenge472 4 жыл бұрын
Hizi headings zako ni tofauti na ujumbe uliomo, hakika unajitahidi kutengeneza vichwa vya habari tata ili kuvutia watazamaji na wasomaji! Mimi binafsi vichwa hivyo sivipendi, uwe unaviweka kwa mfumo swali ndipo utoe majibu kwenye maelezo, badala ya kutoa kichwa kinachokinzana na maelezo! In maoni yangu tu kwako Mwalimu!
@ibmchannel
@ibmchannel 4 жыл бұрын
Asante sana ndugu yangu maoni yako ni mazuri sana na nitayafanyia kazi.
@ibadaworship5103
@ibadaworship5103 4 жыл бұрын
Tanzania mnashida sana katika neno la Mungu
@abellmainge1023
@abellmainge1023 4 жыл бұрын
Mwalimu isaya mi MWISHO leo kuangalia klip zako, kumbe mnasaidiana kuujenga mnara w babeli w nyakati hizi.????
@helenjonsob5718
@helenjonsob5718 4 жыл бұрын
Ata shetani alikua mwimbaji unatumiwa pia kua mwl wa neno la MUNGU c hoja MUNGU yupi???? Sikataii labda MUNGU wa giza
@boniventurematta1419
@boniventurematta1419 4 жыл бұрын
Soma vizuri habari za Zakayo wewe acha upotoshaji
@epimackoscar25
@epimackoscar25 4 жыл бұрын
Mhhhh , mwalimu naye chenga tu .
@godfreyfrancis2382
@godfreyfrancis2382 2 жыл бұрын
Acha kumkosea Mungu wew
@gilbertsamson7767
@gilbertsamson7767 4 жыл бұрын
Aliokoka wangap kwa kuhubir kwake? aliwaburudisha hakuwahubiri.
@shadrackhaonga6016
@shadrackhaonga6016 4 жыл бұрын
Kipofu akimuongozi kipofu wote watatumbukia shimon
@isackphinis5040
@isackphinis5040 4 жыл бұрын
Wewe na nilikua nakukubali kumbe niwalewale. Yesu hakushiliki dambi aliingia kwai kuwapatia Nuru
@fruitfulmpanduji.6732
@fruitfulmpanduji.6732 4 жыл бұрын
Mmmmh ila Mimi zaburi ya 51inanihusu .imani yangu na huyo nabii wenu mkuu .mmmmh Mimi hainiingii akilini kabisaaa.na siuoni ukuu wake aliemwambiayeye ni mkuu ni nani.mmh mbona mnatuburuza hivyo jamani.?yaani mmemshuha hata Yesu!! Maana hajawahikujipa vyeo vikubwa hivyo..tunataka matendo ..Mimi sioni kitu halo.Toba
@trophainamagogwa7966
@trophainamagogwa7966 4 жыл бұрын
Kujibandika tu vyeo na watu wanakimbia mbio kuwa ndo nabii mkuu duniani,labda amemzidi na shetani kwa ukuu wa kidunia
@vascokasambala2159
@vascokasambala2159 4 жыл бұрын
Uyo ni mpagani hata msemeje
@sarahmsangi7243
@sarahmsangi7243 3 жыл бұрын
Siangalii hii Chanel tena
@godfreyfrancis2382
@godfreyfrancis2382 2 жыл бұрын
Afadhal hata goodluck anaimba anawabarik watu weng hata kama nibiashar muachen
@robathzingu1650
@robathzingu1650 4 жыл бұрын
Ni utetezi dhaifu sana huo mwalimu. Fedha na tamaa za dunia hii zinaharibu kabisa taswira ya Kristo ndani yetu!!
@moseshaule586
@moseshaule586 4 жыл бұрын
Lete andiko linaloeleza taswira ya Kristo unayoijua wewe,,na utetezi dhaifu unaousema hujui hata Yesu aliwatetea makahaba na wazinzi?? Soma vizuri injili
@robathzingu1650
@robathzingu1650 4 жыл бұрын
@@moseshaule586 Yesu hakuwatetea wazinzi na wezi, isipokuwa aliwahubiri juu ya dhambi zao na kuwaokoa. Ndiyo maana anasema, hakuja kwa ajili ya wenye haki ama waliosafi bali kwa ajili wenye dhambi na wachafu. Wewe unaipaka rangi dhambi kwa kigezo cha "Yesu aliwatetea makahaba na wenye dhambi". Mungu anasema, mnaangamia kwa kutoyaelewa maandiko. Tutoke huko mwalimu, tuikatae dhambi na kumfuata Kristo!!
@brownsebastianmwibi5647
@brownsebastianmwibi5647 4 жыл бұрын
Mmmh ww mwalimu fikri tena, kuna madhabahu ya shetani na ya Mungu. Leo Diamond akiimba wimbo wa gospal tumkubali kwa sababu ya wimbo wake?......Gosbert kachemka.
@sharifumagomba90
@sharifumagomba90 4 жыл бұрын
Waliokoka wangapi naviuno vyake? ? Watumishi washetani huo
@jamestocta3075
@jamestocta3075 4 жыл бұрын
Mwalimu bado, kasome bibilia vzur
@costvangazazaidi6208
@costvangazazaidi6208 4 жыл бұрын
Kati ya Mwalimu na wewe Mwanafunzi nani akasome?
@ronsevans2333
@ronsevans2333 4 жыл бұрын
James Tocta acha tu yaani
@nyaherimachera6351
@nyaherimachera6351 4 жыл бұрын
walokole wanashida sana kwa kutetea
@brunofrancis9940
@brunofrancis9940 4 жыл бұрын
Presenter maswali yako uliyouliza ni mazuri sana ila hujapata mtu sahihi wa kukujibu, tafuta source mwingine.
@clementjames7274
@clementjames7274 4 жыл бұрын
Wewe nae unazidi kumpotosha mwenzio,hapo alikuwa anahubiri alikuwa anakata mauno tu
@sharifumagomba90
@sharifumagomba90 4 жыл бұрын
Nalazima utaenda pamoja naye Na nabii wenu mkuu
@trophainamagogwa7966
@trophainamagogwa7966 4 жыл бұрын
Hapo sawa tumeelewa kama kweli hajaokoka ni dhahiri ni si.pekee yake wapo wengi tu wanajipatia maisha kupitia nyimbo za Injili
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express Жыл бұрын
Aaa sio na kukata viuno mtoto wa kiume
@komanyadotto5617
@komanyadotto5617 4 жыл бұрын
Mwl bado sjakuelewa hapo Kuna taratibu inatakiwa zifuatwe bs angemaliza kuimba akaita watu wanaotaka kuokaka sa anamaliza Kama watu wamataifa hakuna tofauti hamna anacho kifanya
@ibmchannel
@ibmchannel 4 жыл бұрын
Ndugu yangu Komanya hii haina tofauti na muhubiri anayewahuburia watu njiani yaani ni kama mbegu ameimwaga shambani halafu akaondoka zipo zitakazoota hakika sio lazima awatubishe wao wenyewe mioyoni mwao watatubu tu.
@komanyadotto5617
@komanyadotto5617 4 жыл бұрын
@@ibmchannel Sawa mwl nikweli kabsa saiv injili inatakiwa ibadilike ila watoahuduma Kama good luck wapate hekima za wazazi wao wakiroho
@trophainamagogwa7966
@trophainamagogwa7966 4 жыл бұрын
Ataita wa kuokoka huku anajua moyoni mwake anatengeneza pesa?
@trophainamagogwa7966
@trophainamagogwa7966 4 жыл бұрын
@@ibmchannel usitudanganye,ni wangapi Nyimbo za Rose muhando ziliimbwa kilabuni kila kona waliookoka kwa kusikia zile nyimbo?huyo wa Fiesta hana Tofauti na mcheza kamali tu anajitafutia Riziki,nyimbo za kumuokoa mtu si nyimbo tu Lazima ziwe na upako wa nguvu ya kuokoa kama hivyo wote wanaosikiliza wangeshaokoka ,hapo hajapanda cjochote kama hana Roho wa Mungu upate kitu hapo leo
@trophainamagogwa7966
@trophainamagogwa7966 4 жыл бұрын
@@ibmchannel kumbe wewe si mwalimu hakika hujui hata ni jinsi gani ya kupanda mbegu ?Lazima Mbegu iwe na upako ndipo inafanya kazi hata akiimba nyimbo mamilion kama hayana upako hayatomuokoa mtu yeyote uelewe kuanzia leo
@barakajullius324
@barakajullius324 4 жыл бұрын
Brother rudi soma biblia yako vizuri wakati alio utabiri moses kulola hauja timia bado ila unakuja .....Mungu atupe uhai sote tutaishuhudia...
@jonaswingodmushi2608
@jonaswingodmushi2608 4 жыл бұрын
Acha kuongea pumba brother! Ama! Kweli nimeamini hawa waimbaji siyo wote wameokoka ! Haya Sasa hayo mauno ya hivyo wameokoka wAngapi Sasa?😎 Zaidi ya kusababisha mishuga mamy waanze kumnyemelea manake Kwa viuno hivyo it seem yuko vizuri kwenye 6/6. In short huyu jamaa hajaokoka the time will come an the time will tell! Yako wapi ya Rose Mhando? Jama tuweni macho Na hawa waimbaji Na wahubiri pia.
@elicknyega7317
@elicknyega7317 5 ай бұрын
Huyu ni Benson ni chizi
@clementshija625
@clementshija625 3 жыл бұрын
Razima kuwe tofauti Kati ya injili na usanii ukweli kama ni hivyo Basi dini hakuna Mana kabisa
@emmanuelmbatta9474
@emmanuelmbatta9474 3 жыл бұрын
Sijafurahi kabsa mwl umefeli vbaya mno, nilifikili uko deep kiroho....
@pirminmatumizi5464
@pirminmatumizi5464 4 жыл бұрын
Nabii mkuu? Njaa hizi bwana!
@usajiliusajili6511
@usajiliusajili6511 4 жыл бұрын
Mmmmh na yale mauno jukwaani
@albinmjema9229
@albinmjema9229 4 жыл бұрын
Ndg Isaya wacha upotoshaji usichokijua wacha endelea kujifunza.utawezaje kuuimba wimbo Wa bwana katika nchi ya ugeni.
@wilsonjohnstone4208
@wilsonjohnstone4208 4 жыл бұрын
Msifungiwe nila nawasio amini mtuambie nyuma ya fiesta au madhabahu ya fiesta nani anaimiliki? Inamana Mungu amefiriska mpaka mkamtangazie kwenye madhabahu ya shetani?
@elicknyega7317
@elicknyega7317 5 ай бұрын
Huyu Benson ana uchizi flani hivi kama hamjajua
@emmanuelmichael3012
@emmanuelmichael3012 2 жыл бұрын
Leo naona sijakuelewa
@paschalmkutho4635
@paschalmkutho4635 4 жыл бұрын
Kujichanganya kwa ajili ya injili iwafikie watu sio kosa wala Dhambi na uwe na nguvu ambayo haitakumeza ila nguvu yako ndiyo iwameze wao na kuwaleta kwa Kristo Yesu. Ndio maana hata Yesu alipokaa na makahaba watu walinong'ona wakianza kumshutumu, nae akawajibu,hawa ndio aliowafuata sio watakatifu. Nguvu yake tuliona ikammeza kahaba akamtuata ndio yule aliyemnawisha kwa machozi na nywele kumfuta. Chamsingi tuangalie nyayo za Kristo tuzifuate zote. Nyayo za mapokea hazitufai wakristo.
@stewartsmithjacob5426
@stewartsmithjacob5426 4 жыл бұрын
ww Mwalimu huna unachokijua tena km huyo nabii wako wote viazi tu
@ebenezer4719
@ebenezer4719 4 жыл бұрын
Hakuna timu ambayo haina mshabiki .
@boniventurematta1419
@boniventurematta1419 4 жыл бұрын
Danganya wasiosoma biblia
@margaretmkangala7774
@margaretmkangala7774 4 жыл бұрын
Lakini Mwalimu.kumbuka imeandikwa msiifuatishe namna ya dunia hii. Hivyo kuna namna ya kuimba.kiroho na kidunia. Tena imeandikwa kuna mapatano gani kati ya nuru na giza
@mikaelzachalia6752
@mikaelzachalia6752 3 жыл бұрын
Jibu vizuri mtunishi wa mungu mbona unajibu kisiasa tuerewe ripi
@sarahkimboi2161
@sarahkimboi2161 4 жыл бұрын
Sina uhakika na karama yako baba
@LucyJMtitu
@LucyJMtitu 4 жыл бұрын
Watanzania kwa hukumu wako vizuri. Lkn biblia inakataza kuhukumu mtumishi wa Mwingine. Aliyemuita ndiye atakae dili nae. Mungu haangalii kama binadamu waangalivyo.......Bali Mungu hutazama moyo wa mtu.
@trophainamagogwa7966
@trophainamagogwa7966 4 жыл бұрын
Kumwambia mtu ukweli si kuhukumu ,na ninyi msilete mambo mengine kuwatia woga watu wasiseme ukweli,mwambie anayefanya vizuri kafanya vizuri hajafanya vizuri kakosea siyo hukumu,uko wa wawapi wewe unayeona mtu akisema hawaendi inavyotakiwa anahukumu?Hukumu inakuja subiri ,Asiyetenda ya Mungu si mwana wa Mungu na ameshakuhukumiwa maandiko yanasema unasemaje juu ya Hilo?kama wamehukumu wataulizwa wao kama wale walioamua kumuua Yesu walisema damu yake Yesu ihesabiwe juu yao na Watoto wao,huyo Nabii mkuu si wa Kiroho hata kidogo na mimi niambie nimemhukumu sasa
@bahatijoseph5780
@bahatijoseph5780 4 жыл бұрын
We nimwalim wa walevi sio waendao mbingun
@dnaofgodtv4873
@dnaofgodtv4873 4 жыл бұрын
Huyu uliyemwita mwl wa neno la Mungu ni mtt wa nabii mkuu kuliko Yesu(fetish priests) na sanaa zake?
@jacoblukumay472
@jacoblukumay472 4 жыл бұрын
Walio wakristo na waislam kwa pamoja Ni Muda wa kushika Biblia na msaafu kuisoma na kuielewa kuliko kutegemea watu wengine
@trophainamagogwa7966
@trophainamagogwa7966 4 жыл бұрын
Yesu hakuwa anakata mauno hivyo msitudanganye na weww mhubiri sijui mwalimu na wewe hujaokoka tu sawa na huyo huyo Gozebeth
@boniventurematta1419
@boniventurematta1419 4 жыл бұрын
Unaongozwa na Roho mtakatifu au na pepo
@chaptech
@chaptech 4 жыл бұрын
Wote hamjaokoka pamoja na wewe unayemsapoti
@ibmchannel
@ibmchannel 4 жыл бұрын
Asante sana ndugu yangu na kaka yangu mpendwa Peter please wewe ambaye umeokoka naomba utuombee ili nasi tuweze kuokolewa.
@chaptech
@chaptech 4 жыл бұрын
@@ibmchannel soma Wakolosai 2:8 [8]Angalieni mtu asiwafanye mateka kwa elimu yake ya bure na madanganyo matupu, kwa jinsi ya mapokeo ya wanadamu, kwa jinsi ya mafundisho ya awali ya ulimwengu, wala si kwa jinsi ya Kristo. Nakupenda ndugu naomba tujifunze zaidi pengine niko tofauti, peterpaulm77@gmail.com
@fredrickkinunda6463
@fredrickkinunda6463 4 жыл бұрын
KIUKWELI SIJAWAHI KUKUELEWA MWALIMU, MANABII WA UONGO UNAKATAA HAWAPO HATA HILI NALO. MUALIKE KANISANI KWAKO UONE HAYO MAUNO YATAOKOA WANGAPI.
@moseshaule586
@moseshaule586 4 жыл бұрын
Kwani kiuno hakifai kumsifu Mungu. Au Mungu anachagua viungo vya kumsifu? Miguu ikimsifu Mungu sawa,,mikono sawa,, kichwa sawa ila kiuno sio sawa!! Kwani kiuno kina nini!??? Tuambieni kwanza.
@clementshija625
@clementshija625 3 жыл бұрын
Huu ni ushenzi wa kishetani Mana hata shetani aweza jifanya malaika wa nuru
@micamathew6433
@micamathew6433 4 жыл бұрын
Mwalimu Isaya, hahahahahahaa uko vyema sana. Lkn Gozbert naona alikata mauno kwelikweli hahahahaaaaaa sasa hiyo ndo imeniacha hoi sana, Yesu alihubiri neno katikati ya watu wabaya, lkn huyu Gozbert hakuhubiri neno. Aliishia kuimba tu. Sasa huoni yakwamba watu wanachukulia kuwa kama burudani tu??
@sabinanestory2998
@sabinanestory2998 4 жыл бұрын
Lakin mtumish daudi alimchezea mungu adi nguo zilimtoka waza kimya kimya alichezaje adi nguo kumtoka 🤔🤔🤔msimjaji mtu mungu ndie anaejua Kama ni mtumishi wake walokole mnapotea kujaji watu
@micamathew6433
@micamathew6433 4 жыл бұрын
@@sabinanestory2998 Dada yangu Sabina, Daudi alirukaruka hadi nguo zika mtoka. Kweli simhukumu Gozbert hata siku moja, soma Mathayo7:1. Ila huyu Gozbert hakutanguliza neno la Mungu yaan kuhubiri injili. Yeye aliinjilisha kwa njia ya wimbo, sasa hapo watu wa siku hizi huchukulia wimbo wa Bwana kama Burudani tu kama nyimbo zingine za kidunia. Kumbuka kila andiko lenye pumzi ya Mungu la faa kwa mafundisho na kuwaonya watu makosa yao, na kuwaongoza na kuwaadibisha ktk haki,2Timotheo3:16. Kwamaana hiyo ni hivi: unapoenda jukwaani kwaajili ya kuwainjilisha watu bac tumia neno la Mungu. Bila ya hivo watu huchukulia tu kawaida. Dada yangu kama nakosea niambie.
@micamathew6433
@micamathew6433 4 жыл бұрын
@@sabinanestory2998 Dada yangu Sabina, mimi sijawahi kuwa mtumishi kipofu hata siku moja. Yaan hata sec moja. Nikwambie siri, fanya hivi kila siku iindayo kwa Bwana, jitahidi sana kusoma Biblia na kushika sana neno la Mungu. Soma Yohana15: 7. Afu usiwahi kuvaa suruali ktk maisha yako yote wala kusuka rasta kichwani, heb soma Kumbukumbu la Torati22:5, kisha epuka kauli mbaya au maneno mabaya yenye kuashiria matusi, Mathayo12:36-37.. Kisha epuka kuweka lipstick mdomoni, hiyo pia ni hatari kwa maisha yako ya kiroho. Unapoabudu, hakikisha unaabudu ktk roho na kweli, ili roho mtakatifu aishi vyema ndani yako, soma Yohana4:24. Kumbuka kumcha Bwana ni kumchukia uovu, kiburi na majivuno, na njia mbovu, na kinywa cha ukaidi pia nakichukia,Mithali8:13. Kama nakosea we nipigie..0786391222, au 0621258797.
@ngangamalugu6543
@ngangamalugu6543 4 жыл бұрын
Sasa hapo anabadilisha au wanambadilisha yeye ni nuru ulimwengu
@neemajohn223
@neemajohn223 4 жыл бұрын
Kiukweli Goodluck simwelewi kabxa na hata kama ni injir kwenye club haziendi ivo jaman MUNGU anamwona sidhani kama ni sahihi ivi au ni biashara tu
@deodatusmagagura519
@deodatusmagagura519 4 жыл бұрын
Sio kweli
@elizabethqueensfidelisi6047
@elizabethqueensfidelisi6047 4 жыл бұрын
We we mwalimu nimwalimu wa Biblia ipi hiyo. Au hujielewi nini unasema
@markadam3743
@markadam3743 4 жыл бұрын
Ww Mtumish Noma
@nsiamassawe3075
@nsiamassawe3075 4 жыл бұрын
hahaha majibu ya kondakta kiboko. Mama Yesu hajatoa album akitoa tutaweka
@ibmchannel
@ibmchannel 4 жыл бұрын
Hahahaaaaaaa umeona eeeeeh!!!!!!
@nsiamassawe3075
@nsiamassawe3075 4 жыл бұрын
MWALIMU ISAYA BENSON Imani ni kitu cha ndani. Hivyo kila mtu huongozwa na mwanandani wake. Kimtokacho mtu kinywani mwake ndicho kilichoujaza moyo wake. Hivyo huwezi kulazimisha mtu atoe cha moyo wako
@husenuledi3400
@husenuledi3400 4 жыл бұрын
Nmekufatilia vdeo zako nyingi sana lkn du baba na ww Benson unajua unachokifanya na mungu wako unamjua ww maana kule kwa magufuli kufananishwa na yesu unajua ulichokitetea na huku nako lkn ww unajua unachokifanya
@ibmchannel
@ibmchannel 4 жыл бұрын
Hahahahaaaaaaa sawa mkuu wangu Asante kwa kunifuatilia ila utanielewa tu mkuu wangu nakushukuru kwa kunifuatilia mkuu wangu.
@michaeljohn9070
@michaeljohn9070 3 жыл бұрын
Leo umetuingiza chakike kabisaa,, kwanza kwa habari ya zakayo yule mtu mfupi,, mfanya biashara,, mtoza ushuru kusema kuwa alikuwa mpagani, sijui nn,, unatakiwa ujue kuwa zakayo baada tu yakusikia habari za yesu,, kwanza alitamani kumuona pia kushuhudia maajabu yake,, na ndomana alipo kosa nafasi ya kumuona yesu kwa sababu ya ufupi wake,, basi aliamua kupanda juu ya mti ili amuone muokozi wake,, ndo dhamira yake ya dhati,, yesu aliiyona ,,ndomana akambwa zakayo shuka mtini leo nitakula pamoja na ww nyumbani kwako,, bwana yesu huitika na kuji dhihirisha kwa wale wamtafutao,, imeandikwa niite nami nita itika,, huwezi kwenda kuhubiri neno la mungu clabu au kwenye matamasha ya mziki wa kidunia,, halafu useme eti una fundisha watu neno la mungu, huo ni uongo mkubwa,, ww isaya mwakilembe usitake nijitoe kwenye hii chanel yako kaka,, maana naona sasa unataka kutuvuruga humu,, tena huyo Goodluck angekuwa ni muislam,, wangesha mpiga vibaya sana
@martinamarugu44
@martinamarugu44 3 ай бұрын
Waislamu wanafungwa na sheria sisi Yesu ametuweka huru
@nenolakristomaisha.5611
@nenolakristomaisha.5611 4 жыл бұрын
MHHH MWALIM WA NENO. MHHH
@hebrew1214
@hebrew1214 3 жыл бұрын
Anajiita mwalimu ila hana sifa za kuwafundisha watu kweli ya Neno la Mungu.
@farajimtengela8500
@farajimtengela8500 4 жыл бұрын
Sijajua kama unaloliongea mtumishi unalielewa au unalitambua vizuri yawezekana pia labda unajua unalolifanya, huwezi sema eti unawabadilisha wamataifa kwa kufanana nao, umetoa mfano wa Yesu ni kweli Yesu alikaa na watoza ushuru lakini hakufanana nao ngoja nikupe andiko soma katika kitabu cha 1wakorintho 5 :11 inasema hivi "" Lakini sasa nawaandikia ninyi muache kuchangamana katika ushirika pamoja na mtu yeyote anayeitwa ndugu ambaye ni mwasherati, au mwabudu SANAMU, au mtukanaji au mlevi au mnyanganyi, hata msile chakula pamoja na mtu wa namna hiyo. Kwamaana inanihusu nini kuwahukumu wale walio NJE? Je ninyi hamwahukumu wale walio ndani, huku Mungu akiwahukumu wale walio NJE? Ondoeni yule mtu mwovu kati yenu....kwann nmetoa andiko hilo ili ujue ya kwamba Goodluck kama ndugu au mtu aliye ndani au mtumishi kwa njia ya nyimbo anapaswa kuambiwa ukweli pale anapoenda NJE ya misingi ya KIKRISTO na biblia imeruhusu kuwahukumu walio ndani yaani ndugu, ila walio nje Mungu atashughulika nao kwahyo kibiblia tuko sawa kabisa kumuonya ndugu yetu Goodluck gozbert otherwise labda awe anajua anachokifanya, lakin kama hajui anachokifanya lazima aonywe na kumuonya mtu si dhambi hauwezi kumuona ndugu yako anapotea ww ukamuacha kwamaana kwa kufanya hvyo Mungu anakuhesabia hatia kwakuwa damu yake ataidai mikononi mwako......Mtu anapokwambia ukweli akuhukumu anataka ubadilike, Goodluck anatumia mgongo wa kutaka kuokoa vijana ili asihukumiwe moyoni mwake kwa mambo anayoyafanya hivi kama kweli yeye anataka kubadilisha waliopotea kwann akate viuno mbele ya umati wa watu vile?! Kwani ni nani aliyekwambia kumvuta muasherati au MZINZI basi na wewe uwe mzinzii???!!! Yesu alikaa na wenye dhambi lakini hakutenda dhambi eti kwa kigezo cha kuwavuta wenye dhambi....kwahyo Goodluck ajiangalie sana ajifunze kwa mwenzake WILLY PAUL alivyobadilika kama masihara hvyo hvyo mwisho wa siku akaingia mazima tujifunze!!!! Mwalimu nimemsikiliza lakini naona anachokiongea sijui kama anakielewa vizuri otherwise labda anajua anachokifanya!!!!!
@farajimtengela8500
@farajimtengela8500 4 жыл бұрын
Kama unataka kubadilisha watu nenda mtaani sehemu zipo kibao za kuhubiri, watu wanahmwako mitaani mpaka wanaonekana machizi kwaajili ya jina la Yesu, wewe Goodluck unataka kusema umekosa jukwaa zaidi ya FIESTA kweliii???!!! wacha kudanganya watoto wa Mungu, ww umeenda FIESTA kwasababu ya njaa ya fedha, na ndomana Yesu mwenyewe alisema ni ngumu sana kwa mwenye mali kuingia ufalme wa Mbinguni ni zaidi sana ya ngamia kupenya tundu la sindano, sasa ww Goodluck umechagua pesa lakini siyo injili.....ushauri wa bure kama unajua unachokifanya basi ni bora uwe mpagani tujue moja ila usichanganye na kudanganya watoto wa Mungu na kama hujui unachokifanya basi acha kujifananisha na wapagani eti kwa kigezo cha kuwateka wamataifa, kwani ukiimba huku unevaa vizuri hujaweka macheni, hujavaa model zinazokubana mapaja, hujajichubua kama wakina lulu diva, hujakata viuno kama h-baba,...unafikiri watu hawataelewaaaaa????!!! Kwani ni biblia gani unasoma??? Ni wapi Paulo (sauli) ambaye ni mtume aliitwa na Bwana Yesu kwaajili ya watu wa mataifa alijigeuza kuwa kama wao ili awapate wa mataifa???!!! Kwani anayeokoa ni wewe ama Yesu mwenyewe???!!! Mbona mnapenda kuwadanganya na kuwapoteza watoto wa MUNGU??!!! Ww si ulikuwa mpk unawaandikia nyimbo za kidunia watu au siyo ww???!! Ww si uliona ni sawa au umesahau?!!! Watu wakakusema ukabadilika si wewee?? Naww Mwalimu acha kudanganya watoto wa Mungu, damu yao itadaiwa mikononi mwako....
@farajimtengela8500
@farajimtengela8500 4 жыл бұрын
Acheni kupotosha watoto wa Mungu..... Goodluck kakosea na inabidi atubu kwa faida yake. Huwezi kukata viuno afu unasema eti umeenda kubadilisha watu, sasa unabadilisha au unaburudisha watu??! Unauhakika katika tamasha lile la fiesta kuna mtu kaokoka kwaajili ya vile viuno vyako pale jukwaani??!!! Kwanza waimbaji wengi hawaimbi kwaajili ya injili ni kwaajili ya matakwa yao wenyewe.....na Mungu huwaaibisha watu hao, time will tell...!!!!!
@adammbuba7357
@adammbuba7357 4 жыл бұрын
Hata wewe mwalimu hueleweki
@trophainamagogwa7966
@trophainamagogwa7966 4 жыл бұрын
Huo wimbo unanibadilishaje huku anakata hivyo mauno?Kapotea tuuu
@robathzingu1650
@robathzingu1650 4 жыл бұрын
Uko sahihi kabisa, sana sana hapa alikuwa anawasababishia waliokuwa wanamtazama kuichochea dhambi yao ya tamaa za mwili hususani uzinzi na uasherati. Alikuwa anatenda kazi nzuri kwa kutumia njia mbaya na jukwaa lisilo sahihi. Huwezi kwenda baa kwa walevi eti kuhubiri injili kwa kigezo kuwa "hao ndiyo wenye dhambi anaowatafuta Yesu". Nakuambia utapigwa chupa ya bia usoni mpaka ngeu uso wote na utamlaumu Mungu kuwa hakukupa ulinzi ulipokuwa unafanya kazi take kumbe tatizo ni lako la kukosa BUSARA na HEKIMA!
@geofreyalexander1382
@geofreyalexander1382 4 жыл бұрын
We huwa sikuelewi.....ndo maana huwa unazuia comments
@ibmchannel
@ibmchannel 4 жыл бұрын
Nazuia comments kwa sababu kama hivi wewe umeongea vzr kuwa haunielewi ndugu yangu it means ni kazi yangu kuanza kujieleza ili unielewe. Wewe Ni mtu mstaarabu sana lakini wengine huwa wanaingia na kuanza matusi mazito ya nguoni na ni watu wanaojiita wameokoka hawaleti hoja kama ya kwako uliyoleta isipokuwa wanaanza matusi kutukana tu ndio maana huwaga nafunga sehemu ya comments.
@sijalikifunyo912
@sijalikifunyo912 4 жыл бұрын
@@ibmchannel kama ufunga utajuaje unaeleweka kwa kiasi gan? Na utajua nini watu wamekosa ili uwagundishe tena? Mwalimu je unahisi wewe utakuwa wa kwanza kutukanwa? Na je uvumilivu huna? Unahisi wote waliokupinga kwa mtazamo wako hawajui neno la Mungu? Tafakari Mwalimu.
@naomikatharinaandrewmnkai6760
@naomikatharinaandrewmnkai6760 4 жыл бұрын
Mhuni tu wewe wala si mchungaji
@ibmchannel
@ibmchannel 4 жыл бұрын
Mimi ni mchungaji muhuni ni wewe usiyekuwa na adabu kwa watumishi wa Mungu.
@paschaltsaxara7654
@paschaltsaxara7654 4 жыл бұрын
vp hiyo kukata kiuno!?
@ibmchannel
@ibmchannel 4 жыл бұрын
Hahahaaaaaaa mkuu wangu Sasa hiyo kukata kiuno ni mada nyingine. Yaani wewe umeona kiuno tu hahahahaaaaaaa Aya bhana.
@betsonishengoma3263
@betsonishengoma3263 4 жыл бұрын
Sijawahi kuona mwl. Mjinga kama huyu...
@trophainamagogwa7966
@trophainamagogwa7966 4 жыл бұрын
Ndo wamepotea kabisa ni kutafuta pesa tu
@abellmainge1023
@abellmainge1023 4 жыл бұрын
@@ibmchannel eti wewe unaona tu mauno.?? Wapi YESU na mitume wake walikata mauno.??? Haijaandikwa miili yetu pia inahubiri injili? (1kor 3:1-3 acha upotoshaji!!
@elicknyega7317
@elicknyega7317 5 ай бұрын
​@@betsonishengoma3263anavuta bangi huyu mwl.
@yvonneamekakaombeniwimbomu8312
@yvonneamekakaombeniwimbomu8312 4 жыл бұрын
Neno la Mungu lina sema tusi shilikiyani nawa siyo amini wewe mutumishi gani unaye unga mukono mutu mwenye anaye shilikiyani nawasiyo amini 🙉🙉🙉🙉🙉
@ibmchannel
@ibmchannel 4 жыл бұрын
Kuna tofauti kati ya kushirikiana nao na kwenda kuitangaza injili kati yao. Upendo wa Mungu uko wapi leo ikiwa hatuwezi kwenda huko na kuwaambia habari njema za ufalme wa Mungu huko huko waliko? Je tutawasubiria waje kanisani? Wakati mwingine ndani ya fahamu zao wanaona kanisani panaboa so mtu kama Goodluck Gosbert akiwafuatia huko huko hiyo ndiyo Sawa kabisa.
@annamwambosya8577
@annamwambosya8577 4 жыл бұрын
Yesu mwenyewe alienda kwa zakayo mtoza ushuru. Lengo ni kumkomboa aliepotea hupaswi kuwatenga bali kuwahubiria habari njema ili wabadilike.
@ibmchannel
@ibmchannel 4 жыл бұрын
Yes Sister Anna yaani umeongea hekima kubwa sana hii Mungu akubariki sana lkn ni tofauti kabisa na wapendwa jinsi wanavyojua kuhukumu wakati Yesu Kristo alisema angalieni nawatuma katikati ya mbwa mwitu hivyo iweni wajanja kama nyoka tena wapole kama hua.
@eladymwakanyamale
@eladymwakanyamale 4 жыл бұрын
Waliokoka wangapi?mtumishi unaita wenzio wajinga,,unaonisha na maneno ya nabii mkuu amekua Yesu.wanaweza kua wamekosea ila nawe chunga ulimi wako.
@ibmchannel
@ibmchannel 4 жыл бұрын
Ni Yesu ndani ya nabii mkuu.
@mchuumchu9801
@mchuumchu9801 4 жыл бұрын
Wewe mwenyewe sijakuelewa
@naomikatharinaandrewmnkai6760
@naomikatharinaandrewmnkai6760 4 жыл бұрын
Awe mjinga usie na akili ni nani aliyekuloga na Ulo kondoo wako
@user-vb8ck9tt9o
@user-vb8ck9tt9o 3 жыл бұрын
judge none leave it to God
@MS.independent8934
@MS.independent8934 4 жыл бұрын
ndio anakata mauno ivoo eti unasema kaokoka?🙄🙄
@elicknyega7317
@elicknyega7317 5 ай бұрын
Tumuombee mtu huyu
@ibrahimmvungi366
@ibrahimmvungi366 4 жыл бұрын
Nabii mkuu?
@abellmainge1023
@abellmainge1023 4 жыл бұрын
Njaa tuu! Et nabii mkuu?
@elicknyega7317
@elicknyega7317 5 ай бұрын
Huyu Benson ni chizi nawaambieni
@anatolimayot4303
@anatolimayot4303 4 жыл бұрын
Mwalimu nimekupenda umenifundisha
@yvonneamekakaombeniwimbomu8312
@yvonneamekakaombeniwimbomu8312 4 жыл бұрын
Waefeso 5:11
@rafoursamiol5244
@rafoursamiol5244 4 жыл бұрын
Amina sana umenibariki
@nebartmuyagala9545
@nebartmuyagala9545 4 жыл бұрын
Wewe nimwalimu mtabishaji nahuyo unaemwita nabii mkuu nikipofu Kama kipofu mwingine
@nebartmuyagala9545
@nebartmuyagala9545 4 жыл бұрын
Achana nahabari hizo ndg yesu akasema ondokeni ninyi mtendao maovu siwajui kamwe
@ibadaworship5103
@ibadaworship5103 4 жыл бұрын
1 Wacorinto 5:11
@alexkayagula9624
@alexkayagula9624 4 жыл бұрын
Sasa tusaidie we Mwalimu, Yesu alipo ingia kwa mtoza ushulu aliyabadilisha maisha yake. Na hata alipokutana na makahaba aliwabadilisha. Sasa utuambie kwenye hiyo fiesta aliokoa wangapi?
@ibmchannel
@ibmchannel 4 жыл бұрын
Kwani wewe ungekuwepo wakati wa Yesu akienda kwa makahaba ungemuelewa? Je hata watu wangekuambia Yesu ameenda kwa makahaba na wameokoka ungemuamini?je wewe kama muhubiri wa injili huwaga unawahubiria watakatifu tu? Ikiwa Yesu Kristo mwenyewe alisema nawatuma katikati ya mbwa mwitu alimaanisha nini? Hao mbwa mwitu ni akina nani je ni wapendwa wenzako? Tena akasema mkifika iweni wapole kama hua ila wajanja kama nyoka je unajua tafsiri yake?
@ibadaworship5103
@ibadaworship5103 4 жыл бұрын
Alex Kayagula Jesus Christ was an expression of holiness, in his way of giving the gospel he did not reflect the sin in him, he met the prostitute but he was not like her, he met the Pharisees who wore long dresses who loved first place in synagogues but he was not like her 1 Corinthians 4:16 Paul said to remind us that we are billboards a Christian can not do what the world is doing them the Gospel
@ibadaworship5103
@ibadaworship5103 4 жыл бұрын
I wanted to touch also the point of your prophet, not to take you much time, read Matthew 23 you will understand that God is blessed abundantly
@abdulzackawami7780
@abdulzackawami7780 3 жыл бұрын
Satan the music au umesahau ulivyokuwa unachambua mambo ya freemason kuhusiana na Music..music ni haramu boya wewe
@zerodone5854
@zerodone5854 4 жыл бұрын
Eti nabii mkuu...ha ha Haaaaa!
@thamoskitebi6032
@thamoskitebi6032 4 жыл бұрын
Sitasikiliza tena nyimbo zako,kumbe uko kibisharaa
@mumbisdesigns
@mumbisdesigns 3 жыл бұрын
For once, mwalimu, I respectfully disagree with you!
@sijalikifunyo912
@sijalikifunyo912 4 жыл бұрын
Benson nimefuatilia baadhi ya mafundisho yako. Kwnza nimeona tatizo moja kubwa kwako. Title zako mara nyingi ni za kutafutia views nikimanisha haziendani na unachozunguza, Hili nina hakika asilimia 100 kwa sababu kwenye post za namna hiyo huwa tune off comments. Kwa maaana hiyo ni ishara kuwa wewe si mkweli. Nije kwa Gozbert. Kwanza cha kwanza kujua ni kwamba neema ya BWANA wetu KRISTO ndio iokoayo, kama kudikia tu ingekuwa njia ya wokovu basi waarabu Yesu wasingemjua kabisaa na asingiwaokoa. Jukwaa la fiesta linajulikana si kwa ajili ya ufalme wa Mungu. Ni kwa mambo ya kidunia, Mambo mengi yafanyikayo pale si kwa utukufu wa Mungu. Giza na Nuru havikai pamoja kamwe. Mwalimu Benson tafakari upya.
@ronsevans2333
@ronsevans2333 4 жыл бұрын
Sijali kifunyo huyu anatafuta urafiki na clouds wampende
@agnessestoni5631
@agnessestoni5631 4 жыл бұрын
Kaka isaya umeongea, vizurii sana!!!!!
@charitygichinga178
@charitygichinga178 4 жыл бұрын
True mwalimu
@imeldaalbert7571
@imeldaalbert7571 4 жыл бұрын
Mungu ndio anatoa ukumu kwaiyo msimjaji
@ronsevans2333
@ronsevans2333 4 жыл бұрын
Simwalimu wewe Bali umekalili mistari ya Bible kama sijakosea unafaa siasa
@frankjohn8570
@frankjohn8570 4 жыл бұрын
Injili inabidi ihubiriwe iwe kwa namna yeyote , ila kukumbuka kuushika NENO LA kweli usije kuwa wa kukataliwa maana wapo wa kristo na wa kristo, wa Mungu na wa shetani, YESU ndiye KWELI na shetani ndiye baba wa uongo
Jolly Twins ft Goodluck Gozbert- Baba eeeh
3:57
Jolly Twins
Рет қаралды 1 МЛН
孩子多的烦恼?#火影忍者 #家庭 #佐助
00:31
火影忍者一家
Рет қаралды 52 МЛН
HOW DID HE WIN? 😱
00:33
Topper Guild
Рет қаралды 49 МЛН
Каха и суп
00:39
К-Media
Рет қаралды 6 МЛН
MAZISHI YA MTU WA MUNGU BISHOP MWANSASU
0:46
Nabii G seven Mwasomola
Рет қаралды 8 М.
1. KUONDOA MAZUIO KATIKA MIFUMO YANAYOZUIA  KUFANIKIWA KWAKO || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE
2:35:11
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 26 М.
CHURCHILL SHOW S1E2 2024
22:20
Churchill Television
Рет қаралды 191 М.
BREAKING NEWS:NURU OKANGA  BEATEN BY GENZS
10:04
Azibest Media
Рет қаралды 23 М.
HIZI NI KANUNI ZA USHINDI
3:39:34
IBM CHANNEL
Рет қаралды 143
4. KUONDOA MAZUIO KATIKA MIFUMO YANAYOZUIA  KUFANIKIWA KWAKO || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE || Singida
3:27:53
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 16 М.
孩子多的烦恼?#火影忍者 #家庭 #佐助
00:31
火影忍者一家
Рет қаралды 52 МЛН