Mmmmh #Gozbert MUNGU kambariki uwezo waajabu sana. Anaweza kufanya music aina yoyote. MWAGA LIKES ZA GOODLUCK
@CareenMbise-z2dАй бұрын
Ni kwel binadamu wanakua wepesi kumua kumwacha mungu wao kwa tamaa za dunia
@Omosak3 жыл бұрын
Kazi isha kushinda ndugu yangu....
@vionesthumi639210 ай бұрын
Team Kenya hapa. Rudia ingine na huyo mcongo. Hapo kwa Biblia umeweza Mapembe
@kyagaribabamwongera39893 жыл бұрын
Daaaahh nimesahau hata nadaiwa kwa Raha za huu wimbo God blees
@ahuriladaniel98493 жыл бұрын
😂😂😂😂😂🙆🙆🙆🙆
@mwaikuka3 жыл бұрын
U killd it boy....
@dorcasmoseti59482 жыл бұрын
The last part gakiii creativity nayo iko juu
@mparanyibagalwa73762 жыл бұрын
Amina na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@Danny2543 жыл бұрын
Rhumba ya Yesu..Nzuri kama kawaida from my favorite gospel artist 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@furahasophie82013 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/gKiafGCMrL5kfaM
@heinspokenmusic37153 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/jZ3Wd6Gai9-IepY
@nelsonshukran29172 жыл бұрын
It's Tanzanian gospel artists 🇹🇿
@bimariaakila75352 жыл бұрын
Wow 🙏
@Emmanuel-b4g1n4 ай бұрын
Huu wimbo sija penda Rudi kwa Mungu,hii siyo injili 😢
@SamuelErnest3 жыл бұрын
Mungu amsaidie arudi kwa Bwana maana Yesu ankuja! Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu!
@chachacharmante79472 жыл бұрын
Wow 🥰 oyembi na lingala monoko ya mboka wow 🥰 Mungu aku bariki sana
@heinspokenmusic37153 жыл бұрын
Those days I used to sing secular one day I listened to IPO siku I began even performing it at events We could dance in kitale kenya A friend invited me to church through this song One day after I sung it at tha crusade then the Christiano Mboyi Pastor preached and that is how I gave my life to Christ I become a church cleaner,laiter a Sunday school teacher,I become an interpreter and I joined school of ministry as I was preaching I also become a teacher of tha word at SOM,then I joined destiny Bible college for further studies I thank God for this far Through Gooluck He ministered to me a hopeless man I was lost in tha.world and now am serving Him Glory be to God God changes lives And He will use people some are destiny Helpers God Bless you man of God as you Keep plundering Hell and populating Heaven Amen.
@heinspokenmusic37153 жыл бұрын
This one is dedicated to all who have given up in ministry Don't give up
@furahasophie82013 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/gKiafGCMrL5kfaM
@krystynaha24552 жыл бұрын
Amen
@dorcasmoseti59482 жыл бұрын
Amen
@annab92432 жыл бұрын
Wooow.Glory to God
@maxwellezekiel68113 жыл бұрын
Kopied from Diamond and kofi olomidy,style dancing thank you brother
@peethebiggest.3 жыл бұрын
Exactly
@praiseandworship62933 жыл бұрын
If you are reading this, may God remove your pain, worries and problems, and replace them with good health, happiness and peace. In Jesus name. Amen
@janewaseba27973 жыл бұрын
Amen
@sophietashily45213 жыл бұрын
Amen 🙏 🙏 🙏 God bless you too
@linahkery6763 жыл бұрын
I believe and trust Amen 🙏
@getrudemmata73213 жыл бұрын
Amen
@brilobrittle44633 жыл бұрын
Amen
@MarcoPeter-y5n2 ай бұрын
Turudi Kwa YESU KRISTO Amen
@sarahjacobs88143 жыл бұрын
Haki nyimbo za injili ni Sawa na za diamond
@siwemamwita31732 жыл бұрын
Hadi swaga ni za diamond, Kama humjui Gozbert huwezi jua Kama ni WA dini huu wimbo
@philipnashon16512 жыл бұрын
Walevi wameingia kanisani
@annmwita29622 жыл бұрын
Huyu jamaa anajua bana🙌🏽🙌🏽🙌🏽
@mparanyibagalwa73762 жыл бұрын
Amina na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@gospotv3 жыл бұрын
Kazi nzuri
@sylviasellah38433 жыл бұрын
Aaha Gozbert sasa unaifuatisha namna ya dunia kabisaa
@mariamfincha51633 жыл бұрын
Mungu atusaidie tusihalishe dhambi. "Sio mlevi ni mnywaji, sio mwizi anakusanya mtaji"
@checheskitstv Жыл бұрын
My God bless you,gozbert
@happysanga51363 жыл бұрын
Endelea kuipeperusha vyema bendera ya kristo... 🔥🔥🔥🙏
@joanoduor-ie9ho Жыл бұрын
Satan he's a lier...Shetani ishindwe in Jesus Name🙏🙏🙏🙏
@bensafaris3 жыл бұрын
God is experienced in all your songs. Am blessed from Nairobi Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@Danielmparanyi3 жыл бұрын
Amen na amini hii pia ita kuwa baraka kwako 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you 🙌🏻
@heinspokenmusic37153 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/jZ3Wd6Gai9-IepY
@isaacmbade69552 жыл бұрын
Dude kwenye movie za utapel hua anatisha sana like zake jamani Dudeeeeee ni fireeee.
@mparanyibagalwa73762 жыл бұрын
Amina na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you 🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@titotembotv63753 жыл бұрын
Aseee Kuna watu wanalalamika Kuhusu Nyimbo hii Naona wanasahau Kuwa Shetani alitoka wapi na Alikokuwa Alikuwa na Kitengo Gani Big up Brother nakubali Nyimbo zako Respect
@kenedykiluka92292 жыл бұрын
Rusifa
@drmpabo2 жыл бұрын
Lokisa litaba tsa hau le Molimo. Joala hase pheko ea mathata. Hopola lerato la hau la pele🇱🇸🇱🇸🇱🇸🇱🇸🇱🇸🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Rudisha mahusiliano yako na Mungu... His door is always open!
@mparanyibagalwa73762 жыл бұрын
Amina na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@celebcorner93983 жыл бұрын
"hauna marafiki wa kweli, wako na sababu fulani"...Tamu sana🔥🔥
@jacksolmusiq2303 жыл бұрын
Mmmmh
@mariagorethishengoma87723 жыл бұрын
Jmn hii nyimbo Ni sebene Zuri Sana watu wa Mungu .. nimebarikiwa Sana
@willisonelija71622 жыл бұрын
Ebu gospel singer tujaribu kutanguliza Mungu katika kazi zetu na tutoe jumbe za maana Tusiimbe kwa kujifurahisha kilitaja jina la bwana Tumwogope Mungu Jamani
@mparanyibagalwa73762 жыл бұрын
Amina na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you 🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@ntandujunior12042 жыл бұрын
Alafuuu uniambie roho mtakatifu ashuke kwa wimbo huuu jmani Mungu atusaidie sibarikiwi kabisaaaaa Mungu shahidi
@cadiaonesmo96602 жыл бұрын
Mungu hutoa karama mbalimbali Kama apendavyo na huyu ndo karama yake ukiona yuko tofauti Muombee Mungu amubadirishe
@gospelman37202 жыл бұрын
Roho Mtakatifu hashushwi kwa wimbo tu, yuko ndani ya waamini tangu siku ya Pentekoste. Mizimu ya Waganga ndo inashuka kwa nyimbo za kiaguzi tu.
@fredricklukule45007 ай бұрын
Kwan wimbo unatatizo gan?
@alexmsabi54163 жыл бұрын
Nadhani hii ndo itakuwa nyimbo ya mwisho kusikilza maan naona umepotea tunasubir uimbe na taraabu
@bilha_nyawera3 жыл бұрын
You minister through your songs🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@hodahage8316 Жыл бұрын
Nmependa nyimbo zako mungu azidi kukuinua kiwango cha juu
@Amosmsechu3 жыл бұрын
Nangojaaaaa king Alan jumlisha gozbert hiyo chemistry ni hatariiiii
@samweliedward57463 жыл бұрын
Mzikizuri maessage nzuri inayofika kila mahali kwa kila mwanadam
@IconBeatz3 жыл бұрын
Waiting for this jam ya kufungua mwaka,, be blessed and much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@jeremymwanikofficial74303 жыл бұрын
Amen. The prayer that changed my life, hope it does to you kzbin.info/www/bejne/aKLdl4iJmKmios0
@HomegaMwabuka-e3w6 күн бұрын
Wewe Nimwimbaji Mjanja Na Mjuzi Sana Nyimbo Zako Nikali Sana #Hauwezi kushindana #umetamalaki #Ndiwe Mungu WANGU #Kama Siwewe #Nipe #Mugambo #Mapembe #Kama Siwewe #Niko Naubaya #Usinipete #Enda Nami Anaesema Umeibiwa NyotaAnazingua Hakuna Uchawi Wala Uganga Juu Ya Israel Sasa Wewe Sindio Agano Kuu Zaidi Uundani Ya Damu Ya YESU KRISTO Wewe Ni Dhahabu Hakuna Kama Wewe Umeguswa Na Kidole Chaupako Wa MWENYEZI MUNGU Cha MALAIKA Kipindi Watoka Tumboni Mwamama Yako Hakuna Wakukuloga Nakuombea Nayo Mbingu Inaushangilia Uumbaji Wako Daima You're Winner
@jnn17153 жыл бұрын
Goodluck, I really do love your songs. They are so uplifting. Can't wait to watch and listen to this one. Much love🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@mdl64633 жыл бұрын
Binafsi yangu nimeielewa shukrani Sana kwa gord
@footballhits20862 жыл бұрын
@@mdl6463 good luck bwana yesu akuinue mdogo wako natamani kuwa kama wewe nyimbo zako ziko pw sana
@nelsonwilliam75783 жыл бұрын
Safi sana wanyumbani kazi nzuri Sana naona na kikongomani ndani wataelewa tu
@frolamazimba4653 жыл бұрын
Mmm nyimbo hizi za injili bhana 🙊🙊🙊🙊🏃♀🏃♀🏃♀🏃♀🏃♀
@theresiagasto52403 жыл бұрын
Kuelewa nayo neema acha nipite maana sielewi s😯😯😯
@josphinemwagandi7495 Жыл бұрын
@@theresiagasto5240 ommmmkkommomMomKK;mmok*oKo;
@emmanuelbrownofficialke.-n79422 жыл бұрын
Ngoma noma. N'ouvre bwoy pamoja Team Good luck
@medardissa62533 жыл бұрын
Shetani mjanja Sana,huu wimbo ukiusikiliza unaweza ukajua ni utukufu wa Mungu,lakini iko Siri kubwa Sana angalia kwenye uchezaji wao na ishara wanazoonesha kuna jambo kubwa Sana lipo nyuma ya pazia! Msidhanie shetani hutumia usichokiamini Bali hutumia unachokiamini ili kukupotosha
@Danielmparanyi3 жыл бұрын
Amen na amini utabarikiwa na huu prayerful song 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo 🙏
@bahatimwitike47012 жыл бұрын
Viungo vyote ni vya Bwana yapaswa kuvichezesha
@olivermfinanga93872 жыл бұрын
Mkoje kwn kutumia simu yko tu ni mpango wa shetan bc acha ujuaj mnamiabudu Sana uyo shetan woii so kucheze ni ushetani🤣🤣
@josephnyika48912 жыл бұрын
c kikongo anaimba uyu mjanja
@lenisembabazi83712 жыл бұрын
Kwenye kumchezea hamna janja janja, muacheni amchezee Mungu wake anajua aliyomtendea, huwezi kumhukumu mtu Wacha Mungu ye ndiye mwenye mamlaka ya kuhukumu.
@mlangaliromwenda69453 жыл бұрын
Umisha Anza kucheza kama wakina diamond huna tofauti na wakidunia michezo gani na uimbaji gani
@Danielmparanyi3 жыл бұрын
Amen na amini utabarikiwa na huu prayerful song 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo 🙏🙏🙏🙏
@annachieng21952 жыл бұрын
Hallelujah watching my one and only male gospel artist who understands the message to give out Big love goodluck, much love from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 🔥🔥🔥🔥🔥 message well delivered
@laodikiagiantsingers10272 жыл бұрын
Umehama njia sahihi, Rudi katika nyimbo zako za zamani coz kwa sasa umebaki unafurahisha wanadamu tu, uku usijue Kama unakosea Mungu. Omba Sana Mungu akupe hekima ya utambuzi.
@mparanyibagalwa73762 жыл бұрын
Amina na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@esthermutua12873 жыл бұрын
Can't wait more love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💖💖💖
@PapaTheKingKenya3 жыл бұрын
kenya we love such talents
@furahasophie82013 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/gKiafGCMrL5kfaM
@kingkuntajr62832 жыл бұрын
Tazama umri wa mastaaa bongo kumbe zuchu n mkubwa kuliko harmonize kzbin.info/www/bejne/b6OuZGxvmdqkga8 😀😂
@philipnashon16512 жыл бұрын
Ukimwangalia Goodluck Bozbert kweli huyu anamwimbia MUNGU au wanadamu MATHAYO 14:6
@mparanyibagalwa73762 жыл бұрын
Amina na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@lovethildah73403 жыл бұрын
It hits differently right?😊 I always tell them Jesus is the real deal❤ Thanks bro Goodluck,,imenifikia kabisa huku Uarabuni 💃 toka KENYA
@heinspokenmusic37153 жыл бұрын
Asante Tazama pia hii kzbin.info/www/bejne/jZ3Wd6Gai9-IepY
@heinspokenmusic37153 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/jZ3Wd6Gai9-IepY
@jylishura76653 жыл бұрын
bora ujiunge na Zuchu na Diamond. waimbaji wa gospel cjui kitu gani kimewakuta.
@jacklinemollel82752 жыл бұрын
I am blessed with all your songs my beloved brother 🇹🇿❤️
@mparanyibagalwa73762 жыл бұрын
Amina na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@christiannyamamba90892 жыл бұрын
Huku mnapokwendea angalieni sana kesho kuna hukumu so muwe na roho wakweli haya mnayofanya sisemi sana
@DJKANJI2542 жыл бұрын
Ni Tamu sana na yenye kubariki na pia kufunza.💥💯💯 I have been entertained and blessed same time. I play this song in my events as my closing tune. Its on point
@papatmaurice26283 жыл бұрын
Hapa Leo umenichanganya kweli.Asante.Lots of love kutoka Uganda
@stephanokihaga68912 жыл бұрын
Mapembe🙌 Bwana atusaidie tusiinue mabega
@vjlopakak5872 жыл бұрын
im from cananda 🇦🇼🇦🇼but My best tanzania gospel artist is Goodluck🔥🔥
@wendie954 Жыл бұрын
Weeeeh noma, hiii lazima ichezwe wedding on October
@mcpambe80632 жыл бұрын
Gospel AfroBongo,...AfroDance,...you are a true talent when we speak of talented musicians. The simple seben...the atalaku...all amazing! Hongera sana kaka kwa flexibility hiyo
@Neema1822 жыл бұрын
Siku hizi gospel songs ni za kufurahisha wanadamu. tofauti na miziki ya dunia haipo. Upuuzi mtupu
@jamesdimosso26012 жыл бұрын
Bora hata ww umeona dadaangu nimesikitika sana wengi wanafurahia huu wimbo. Goodluck wa sasa sio yule wa zamani.
@hommiechidi43982 жыл бұрын
This is a great song. This will be re -watched by many people for many years
@AlAl-sd9pl2 жыл бұрын
Hii ni nyimbo ya injili au.. Sijaelewa vizur....
@immaculatemwangi67843 жыл бұрын
You are a blessing to many people here in🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@aboy7812 жыл бұрын
Ee mungu urie muinua kutoka chini mrinde zidi ya adui zake kupitia jina ra yesu amina
@ARChiplein2 жыл бұрын
Always good choregraphie ♥️ thanks ndombolo rythm
@mparanyibagalwa73762 жыл бұрын
Amina na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@eveliusrespicius68593 жыл бұрын
Ongera sana broe nyimbo nzurii ila mependa zaidi mwisho pale jamaa kajua kala dau kumbe Bible
@barleyleeds85893 жыл бұрын
Gozbert never dissapoints
@Danielmparanyi3 жыл бұрын
Amen na amini hii pia ita kuwa baraka kwako 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you 🙌🏻🙌🏻
@furahasophie82013 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/gKiafGCMrL5kfaM
@shidamasau86863 жыл бұрын
Amina kaka ujumbe mzuri
@EazyBless3 жыл бұрын
Team Luck 🍀
@delioncompexo37703 жыл бұрын
Ogopa matapeli hakuna rumba la yesu.
@PeterkenyaOfficial3 жыл бұрын
Levels 🙌🙌🙌💥💥 Tupatane Police Station..You killed this song!! Kali Sana 🔥🙌.. Kazi Safi 💯 +254👏👏
@vitalisikavela60832 жыл бұрын
Nmependa hyo scene ya mwisho jamaa anpoiba huo mkoba n nzuri sana
@joycenjuguna59022 жыл бұрын
Always blessed by your songs,you are a blessing to many people🇰🇪🇦🇺
@mparanyibagalwa73762 жыл бұрын
Amina na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@gloirekighoma75505 ай бұрын
Wimbo nzuri sana Tunashukuru kwa utukufu wa Mungu
@nadègebusime3 жыл бұрын
Goodluck you are officially Congolese 🇨🇩 jernerale Goodluck Gosbert 😂🥰🥰
@Danielmparanyi3 жыл бұрын
Amen na amini hii pia ita kuwa baraka kwako 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you 🙌🏻
@hitecstars.111 ай бұрын
Ikufikieee eh eh....eh eh
@ArexIsack-ex9pt Жыл бұрын
MUNGU akupe maishamalefu my brother
@mrkonskilofficial3 жыл бұрын
Singing for God is a great thing....save and entertain souls about God
@heinspokenmusic37153 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/jZ3Wd6Gai9-IepY
@silviawanja2 жыл бұрын
God bless you
@paschalkapande14863 жыл бұрын
Daah Goodluck unakipaji aisee Hii nyimbo nmeikubali
@jibrila.a.42812 жыл бұрын
Music knows no boundaries. Great song. Love From Ghana 🇬🇭. It’s the West African King 🤴 J.A
@mparanyibagalwa73762 жыл бұрын
Amina na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@marleybyams Жыл бұрын
Naskiya kiswahili cha kwetu Congo apo mwanzo..God aku bless kwa kazi Zako nzuri KK mkubwa..❤️❤️🔥🔥
@rispathequeen3 жыл бұрын
Rumba ya yesu,much love from Kenya 🇰🇪 and 🇶🇦
@heinspokenmusic37153 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/jZ3Wd6Gai9-IepY
@mapendopakizanya7049 Жыл бұрын
Muzuri sana kabisa
@mazootboyofficialchanel2 жыл бұрын
Hii ngoma ukishatoa pombe ni mmi...nlikuwa mtunishi bytheway..
@lizkamika2 жыл бұрын
What a message!! Beautiful song❤️❤️
@MaryP20152 жыл бұрын
Umepotea sana Kaka,natumai uko sawa,tushushie nyingine basi💃🏽
@Priscamwinja3 жыл бұрын
Goodluck Our Congolese brother, we're on our way to adopt you. 🙌🏾🙌🏾❤❤. Banguna nayo bakotikala nasoni kabisa👑🇨🇩🇨🇩. May God bless you
@akilimatoto81713 жыл бұрын
Jambo dada mkongomani
@justinmoshi76793 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/Z5KxamODfaqCi9E
@furahasophie82013 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/gKiafGCMrL5kfaM
@kingkuntajr62832 жыл бұрын
Tazama umri wa mastaaa bongo kumbe zuchu n mkubwa kuliko harmonize kzbin.info/www/bejne/b6OuZGxvmdqkga8 😀😂
@mikeniyokwizera36192 жыл бұрын
Mike kutoka Zambia nice song bro mungu ski alum❤️❤️❤️🙏🙏🙏❤️
@gospelvibestv39143 жыл бұрын
THIS GUY IS LEGEND..THE GREATEST OF ALL TIME...Good consistent,Good discipline,The true inspiration and role Model indeed👏🏼💥
@valarymola40363 жыл бұрын
Lll. 🙆😙😙😙
@gospelvibestv39143 жыл бұрын
@@valarymola4036 Thanks🙏
@furahasophie82013 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/gKiafGCMrL5kfaM
@mariedelarie8733 жыл бұрын
Uyu anaanza kupotea n'a kuharibu mziki wake yooo Nani kakudanganya kuimba iyo style Gozber iyo nikama yo pe
@Danielmparanyi3 жыл бұрын
Amen na amini utabarikiwa na huu prayerful song 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo 🙏🙏
@peethebiggest.3 жыл бұрын
Seriously He Copied Everything From The Dance To The Beat And The Outfit
@nicholaslikokoko2543 жыл бұрын
Creativity on another level, last part 🙌👌Good music 🎷 never disappoints. Love from Kenya 🇰🇪
Amina sana mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana hii lmeeleweka messeggi sent
@queendottie48742 жыл бұрын
Wooow this is so sweet dear....God bless my brothers.....❤
@asherkimeli63307 ай бұрын
🔥🔥🔥#my favourite hii lingala ya yesu imeweza!😊
@brethrenssoulsofficial90733 жыл бұрын
Gozbert Never Dissapoint....God bless you brother
@Danielmparanyi3 жыл бұрын
Amen na amini hii pia ita kuwa baraka kwako 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you 🙌🏻
@upendochenela80002 жыл бұрын
Mungu akubariki kwakurudisha kondoo kundini kaka yang katika kristo yesu amina
@lucynakhanuwanyela20373 жыл бұрын
Wow! Wow! The song is on point, the message well composed, the lyrics but do l say! May Yahweh receive all the glory🙌🙌 Rising everyday and time for His glory. Continue radiating His glory through these songs you sing. I love your ministry since you bless me each moment l listen to them. AMEN!
@furahasophie82013 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/gKiafGCMrL5kfaM
@heinspokenmusic37153 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/jZ3Wd6Gai9-IepY
@crystalsemana50012 жыл бұрын
What’s the meaning of the song?
@kingkuntajr62832 жыл бұрын
Tazama umri wa mastaaa bongo kumbe zuchu n mkubwa kuliko harmonize kzbin.info/www/bejne/b6OuZGxvmdqkga8 😀😂
@winnerkimaro32103 жыл бұрын
Nabarikiwa sana na nyimbo zako kaka, Mungu akubariki mpaka ushangae
@gervaseishengoma82543 жыл бұрын
I love the way the message was delivered . More blessings bro@goodluck gozbert
@williamkimweri22932 жыл бұрын
Hapa umezingua sana nyimbo kam bongo freva dah bora tu niendelee kusikiliza mziki mzuri wa christina shusho
@MichelBakenda3 жыл бұрын
Congratulations bro
@Danielmparanyi3 жыл бұрын
Amen na amini utabarikiwa na huu prayerful song 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo 🙏🙏🙏
@philesnyabuto17922 жыл бұрын
Cheza rhumba ya yesu papaa gozbert I love it 🫂
@jacklinengina3 жыл бұрын
Your songs always bless my soul keep up the good work and may God continue using you... Mob love from 🇰🇪 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@Danielmparanyi3 жыл бұрын
Amen na amini hii pia ita kuwa baraka kwako 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you 🙌🏻🙌🏻
@cristinajacobo29512 жыл бұрын
Yes
@taysonmodest12792 жыл бұрын
Blother mimi nimuandish mzuri wanyombo za gospel pia ni producer ungeguswa kufanya kazi namimi tungefika mbal
@kevinmugoha46642 жыл бұрын
The arrangement of the song💥 nice message God bless