Kweli kabisa itakuwa bomba sana tutacheka mbaka basi😂😂😂
@aminakipande56455 ай бұрын
Itakua fire😂😂😂
@SophiaJamali-lf1ki5 ай бұрын
Kwakwel😅
@BidiiKenga2 ай бұрын
Nacheka nusu kufa nikiwa 🇰🇪 Kenya joti tunakufatilia😂😂 KAZI yako nzuri
@kaponatz5 ай бұрын
Joti the best art content comedy top in Tanzania
@aminaomary55675 ай бұрын
Jot leo umenifurahisha sana na wachezaji wote pamoja mama mkwe nampenda sana. Sasa chuvi nyingi halafu kwa mkwe umechachuka sana❤❤❤😁😁👍👍
@PendaelHagaiMRPH5 ай бұрын
Joti namkubali sana huyu jamaa anajua sana 🎉❤❤❤ like apa kama unasema ajua mwamba
@ErickmidoMsodock5 ай бұрын
Naumia sana 😔😔Sisi tuliochanjwa chanjo ya covid,19 tukiona nyie ambao hamkuchanjwa mko hai 😥😥😥😥😥
@kibasamohamedi80295 ай бұрын
Koma nani alikwambia uchanje
@ConsolataMedard5 ай бұрын
😂😂😂pole wakati Dr Magu anasema tusichome mkamuona mjinga
@amanaoman96905 ай бұрын
Kwahiyo ulitaka tufe😂😂
@gosbertmuta54215 ай бұрын
😂
@AishaSuleiman-m7h5 ай бұрын
Pole ila nawew sibd mzm kua na amani fny km umesahau yn lisikuumiz kichwa
@annaki3185 ай бұрын
Da kibogaa 😂😂😂😂😂anampa kichambo mama mkweee😂😂😂😂 live bila chenga ni kitukooo😂😂
@emmanuelmtonyole99585 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@zainaabdallah8093 ай бұрын
Ila joti ni 🔥🔥🔥 aya team furus team WiFi team kupambana nawapenda mno tusalimiane 🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲
@Mariam-fm8vq5 ай бұрын
Mgeni amekua mwenyeji😂😂😂😂😂kiboga
@mechne803Ай бұрын
Kweli kuna wanawake wa aina hii tena wanabahati ya kupata mume wa maana halafu mme ata haoni mapungufu yote ila watu wengine ndo mnakua mnaona kitukooo😂😂😂😂😂😂 kazi nzuri sana 🎉🎉🎉🎉🎉
@GatekaNene5 ай бұрын
Joti tucezeye ukiwa nyumba ndogo uwe mke mdogo itanoga hatari jamani 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 ao munaonaje vipenzi wa Joti 🤙🤙🤙🙌🙌🙌🙌🙌
@fabianbrian82565 ай бұрын
Haha hahahhah Dah.... Joti nakutambua toka 2005 nlipokua bado Shule,,,, nakukubali Sana much Love from Msa Kenya..... This is more than talent
@saidharith56435 ай бұрын
Hii ya leo kali brother kipaji unacho keep going 💪 😂😂😂😂
@AsnatySwaleh4 күн бұрын
Sijawahigi kukoment toka joti ahaze vichekesho ila hii video ya leo hapana jmn naombenu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂nimepasua mbavu naomben hata tano tu like
@QueenCharles-m3k4 ай бұрын
😂😂😂😢😢😢😅😅❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ucheze. vizuri sana nashukuru Mungu akubariki sana na Domi you doing right ▶️👍👍👍▶️▶️▶️▶️👍
@stephnjesh5635 ай бұрын
Kiboga is my favourite character. I advocate for more of kiboga in action.
@meshackaloyce96625 ай бұрын
Jott utafika mbinguni ukiwa umechoka sana😂😂
@RehemMaige4 ай бұрын
Atafika kwa tabu sana😂😂😂😂😂🙌🙌🙌
@leilamateleka40055 ай бұрын
Napenda Zito anavyoigiza sura yake inaongea bila kuongea
@championbaraka90815 ай бұрын
Kwanza kabisa nimshukuru mama sa100 suluhu hasan
@gosbertmuta54215 ай бұрын
Kvp kwamba ndo anaigza
@wasilaahmad79132 ай бұрын
Hata mimi nimeshangaa😂😂@@gosbertmuta5421
@nancyg86645 ай бұрын
😂😂et nzi mmewafungulia kwenye banda
@digitaltzomindaАй бұрын
Joti my favorite comedian naombane mni subscribe na mm fans wote wa joti
@sumaadamson2145 ай бұрын
mkamwana sio kwa kiherehere hicho mweeh😂😂😂 nimecheka sina hamu jot never disappoints
@sir_mzungu5 ай бұрын
Kazi nzuri hiyo kutoka kwa comedy icon of TANZANIA 🇹🇿🇹🇿
@GabrielSky645 ай бұрын
Kiiboga kiboga mpaka naona Aibu Mimi huku😅😅😅😅😂
@alfristricks75155 ай бұрын
Duh. Najua Joti unaigiza, ila hii nimejikuta nachukia mimi kana kwamba ni kweli aisee kumbe maigizo. Yaani huyu Mwali ni kero kipeo cha pili, kiherehere wa mjini.
@RhobinaOmondi-hr2eg5 ай бұрын
kibgo napenda ukiacct kaaa mwanamke😂😂😂
@jacklinegervas5 ай бұрын
Joti is the best comedian since i was very young 😂😂😂
@athumanmgissasimbadamu33165 ай бұрын
Joti Uko Fireeeee Kama Simba Ya Mgunda 😀😀😀😀😀😀
@EliaAdamu5 ай бұрын
Mambo
@samwelishayo29225 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@Oredi_MweusiTz5 ай бұрын
Joti TV umenichekesha sana katika video yako hii unajua sana yaani umenipa raha😂
@perezkive14935 ай бұрын
Baab joti...fundi Mashav mengi kwako my fav comedian of ol time❤❤ Ni kucheka tu ,asubuh na mapema
@tigersboys63825 ай бұрын
Always happy to see this comedian
@KingCyrus-iw9yx5 ай бұрын
Interesting how Nishai has 5 personalities and he still maintains a sense of humor +971 🇦🇪🇰🇪 fan base 😂😂
😅😅😅jamn joti anafurahisha alivotaka kuanguka na chakula adi mama mkwe ameshituka anatak kukimbia😅😅😅
@Shadia5445 ай бұрын
Haya mambo ya GOOGLE 😂😂😂KUNA NINI TENA KIBOGA JAMANIII 😂😂MKWE KANOGA HUO😂😂😂
@saadatmwinyi66855 ай бұрын
Huyo mama mungu amzidishie maisha marefu muendelee na Sanaa mnaweza kuliko sana
@JafarMakenz5 ай бұрын
Jafar Makenz kutoka Mwakijembe Jotty umenichekesha sanaa leo
@black_queen_vibe5 ай бұрын
Nlivo kua nangoja joti tv basi kwa hamu 🤣🤣🤣🤣🤣
@beatricemshiu28165 ай бұрын
Nzi wamefunguliwa kwenye banda😂 Mkwe kila idara yuko vizuri😂😂
@CatherineMsangwa4 ай бұрын
😅😅😅 mama mkwe katema sumu joti big up nakupenda sana unajua kunivunja mbavu
@ericeliud5 ай бұрын
😂😂😂😂 duh! Ila kiboga kutuvunja mbavu tuu
@chrismuganwa86345 ай бұрын
Thank you Mr Joti!! Love from Burundi 🇧🇮🇧🇮
@sallyraidan68675 ай бұрын
Ila Joti ur Good Greatest Comedian Ever.
@MARYAM808ZING5 ай бұрын
Kiukweli joti na nahuyu mama mnaendana sana
@walivyomtausi99295 ай бұрын
Yaani uyu aunt yang kabisa anaongeaaa😂😂 kila kitu anaweza yeye😂😂
@bintnouh44834 ай бұрын
😂
@GatekaNene5 ай бұрын
Asante san Joti Kiboga kwa kutujali Asante san tunakupenda san 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌 Kiboga wewe apan kwa kweli unatisha 😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤
@LucyKinga-i4f5 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣hapana jamani kucheka gani huko na ubwabwa unaruka wote mdomoni🤣🤣
@minahsamwel4 ай бұрын
Inzii zimefunguliwa kweny banda 😀ila kibogaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@wweandaew764126 күн бұрын
Nilikuwa na stressi nimecheka mpaka nikawa saw😂😂😂
@yusranageeb11865 ай бұрын
Jamani joti leo nimecheka mpk machozi duuuuh noma 😂😂😂😂😂
@merrynancesimon15625 ай бұрын
Mwanamke Google kila kitu anakijua😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤namnyonyeshaaaaa babuu weeee hatariiiii 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣❤️🔥❤️🔥❤️🔥🔥🔥🔥🔥🔥💋💋💋💋💋💋❤️❤️❤️❤️
@salama11135 ай бұрын
Joti jamani eti wamefunguliwa kwenye banda😂😂😂😂
@walivyomtausi99295 ай бұрын
Uyu mmama n joti n combination nzuri saana 😂😂😂
@LughanoSaid4 ай бұрын
Mbona hamuongelei huo mkono ulokoroga chumvi😂😅😅😅😅😅
@Voice_of_Nzega5 ай бұрын
Chumvi ya kujikadiria tamu sana😂😂😂😂
@doricedaniel35635 ай бұрын
Asante da kiboga kwa kuskia maombi yetu uu uhusika unakufaa sanaa 😅😅😅😅😅😅