Wenye kupasua magauni nyuma na wenye kutembea vifua wazi washikwe wote. Napenda hiyo😊
@ericndungu72242 ай бұрын
Can it be possible
@yoshuamjohn2022 Жыл бұрын
Kwa wale ambao awakuweza kuelewa ‘’maji yana muddy’’ hii ni kwajili yenu ❤❤❤ Pastor munishi nakupenda Mungu akubariki wewe Na kizazi chako kisha wewe🙏
@dudumbaya32762 жыл бұрын
One of the best pastors ever always spoke the truth ❤️❤️💯 your songs are the best gospel songs ever❤️❤️🔥🔥🔥💯💯
@janetnyanchera1252 Жыл бұрын
Until today 2023 watching.Such powerful message God bless u sir.None would raise with the bitter truth like u Mr.
@coolruler68204 жыл бұрын
Hatari" full kipaji toka kwa Mungu,,mwimbaji, mpokeaji, mtunzi, mpiga ala vyote ni mtu mmoja,,,unatisha zaidi ya Korona mtumishi. Binafsi nakuhusudu zaidi ya Sana "ubarikiwe"
@John-c8q6x Жыл бұрын
Just listen when i was mtoto i live in Germany from Kenya mmnishi poa sana❤
@urbanusmasilah4 күн бұрын
Pst. Munishi your gospel songs reminds me my first time in Nairobi (2005) 😮. By then nilikuwa only 7 years. Nazikumbuka na nazipenda nyimbo zako kwa sababu kuna jirani alikuwa anasisikiza kila siku 😊
@rogersmola6983 ай бұрын
Mungu akupe hekima nyingi kama za suleiman, ili uzidi kumtumikia kwa kicho. Kwa kweli tunajifunza mengi katika huduma yako kwa njia ya gospel. Ubarikiwe, kwa kuwa unasimamia kweli bila woga, unakemea, unakarpia na unaonya pia kama walivyokuwa wanafanya manabii wa zamani kwa wafalme
@profclemenceau46814 жыл бұрын
Ukweli isemwe ,, who watching this song 2020
@marabouk25984 жыл бұрын
me
@profclemenceau46814 жыл бұрын
Fine deno
@dan.05olemwanda684 жыл бұрын
Amina
@christopheroyando74874 жыл бұрын
Me
@munishifaustin13 жыл бұрын
Ni Janga la Maisha. Latuhusu sote. Tusilaumiane. Kila mmoja wetu anahusika alipo. Wanasiasa, Waandishi habari na wasanii wote. Ni Majukumu yetu kuelimisha jamii kuhusu Janga hili. Mungu anaweza yalotushinda. Hakuna Dawa Wachungaji tusiyumie janga kuwa mtaji. Kuwaombea waliohadhirika ni sawa. Kuwatapeli watoe pesa ni mbaya sana. Tuache. Tuwape matumaini wagonjwa, na wale bado tuwaonye wachukue tahadhari.
@alfredoloo24899 ай бұрын
Asante kwa uhamishi,barikiwa Munishi
@liberatusulaya22695 жыл бұрын
Mungu aibariki Dunia kwa hii janga, mungu akubariki mtumishi
@rogersmola6983 ай бұрын
Stay blessed pastor your gospel songs are truly healing our heart
@kelvinopiyo76485 жыл бұрын
Sauti nyororo sana mtumishi wa mungu.ur talented kuimba kwa Swahili .God bless u
@kelvinopiyo76486 ай бұрын
Nampenda mtumishi wa mungu.kiswahili ya kisasa yenye mafundisho kabisa
@morisosoro2 ай бұрын
Mungu akubariki.nyimbo zako zina mafunzo mengi
@patrickekodere36553 жыл бұрын
You are my Best Gospel Artist ever
@mpelienock4 жыл бұрын
Style ya peke yako ya kuimba you are unique pastor may God bless u, we give glory to God.
@johnmagufulinguru51003 жыл бұрын
Man of God saying the truth
@kentowett17194 жыл бұрын
Great singer...from 1980's.
@shabanisiku88272 ай бұрын
Watashikwa wengi saana wenye ku pasua magauni na vifua wazi hadi jela zita furika...
@kevohwapipelinetransami43515 жыл бұрын
When gospel was gospel old is gold
@ericndungu72242 ай бұрын
Ukimwi ugonjwa mbaya sana
@jessyowens41563 жыл бұрын
Fresh and sweet memories and good message
@petermogire2843 жыл бұрын
Most of your songs ni mafundisho tangu 1990s,all music store in river rt OTC MUNISHI tu,mungu abariki nyimbo hizi miaka yote.
@williamomare20664 жыл бұрын
WATCHING FROM MOMBASA.
@HannahVahNessa7 күн бұрын
Oldies Goldies Goodies Memories God bless you❤
@hffyhoffset66744 жыл бұрын
Poster be bleesed,wonderful song.
@wilbertjastin52974 жыл бұрын
We like song like this one, God bless you real man of God
@samsonjuma56182 жыл бұрын
Kaka MUNGU alikufunulia siri kubwa kuhusu maisha ya mwadamu...
@samsonjuma56182 жыл бұрын
Unanisaidia sana ubarikiwe
@teresaahono86574 жыл бұрын
Who's still listening now in April 2020?
@christopheroyando74874 жыл бұрын
Korona inetawala kwa sasa inaua matajiri , maskini , watoto kwa wazee...
@venasraymond19454 жыл бұрын
Mungu akubaliki pastor faustin minish
@margaretmuiruri81733 жыл бұрын
Man full of wisdom 🤠
@princemarora4 жыл бұрын
Minishi is always smiling .. there is tremendous joy on his face . That’s deep
@josephineamuhoyi53632 жыл бұрын
Noted
@symonbarsolai66427 жыл бұрын
your songs will never fade,I will never get tired listening.Mungu akubariki pr. Munishi!
@EdwinGollieMakarangaNgwira12 жыл бұрын
Mungu akubariki kwa kipaji alichokupa mchungaji. Hayo ya jela sidhani alikua ansema kwa msisitizo ila ni sehemu ya wimbo tu. Ujumbe nimzuri sana na unafaha kwa pande zote za jamii! Tusipende kukosowa bali tuchukue kule kinachoweza kusaidia nafsi na maisha yetu kwa pamoja.
@yoshuamjohn2022 Жыл бұрын
Kweli kabisa mtumishi wa Mungu Nakupenda sana, nyimbo zako sina nibariki sana ubarikiwe sana Pastor na kizazi chako kisha wewe🙏😂😂😂
@foodbankafricakenyatheegg3417 Жыл бұрын
Best advise
@stefanokileo12942 жыл бұрын
Ubarikiwe baba
@marthawangeci11994 жыл бұрын
GOD BLESS YOU PASTOR MUNISHI
@jacquelinerite37302 жыл бұрын
2022 and still Ths God favor Songs are still perfect
@muchuidouglas63075 жыл бұрын
Pamoja mchungaji... Your music will never fade ...2019
@kalegapeter27154 жыл бұрын
Asete santa pastor munishi Mimi Mi naitwa Kaleega peter Alakini Mi Mi ni mu Tz muhaya Mi nainsi uganda yimbo zako ni nzuri kabisa (mupende adwi wake )mina kupondezi papa My phone number is 0782205852 whatsapp
Thank you mtumishi wa Mungu, nitakutembelea nikija kenya.
@erickmbija15104 жыл бұрын
Margaret Osoro mambo
@juliusndiwa2015 жыл бұрын
2019 still listening this song God bless you Munishi.
@maryjonh3114 жыл бұрын
16-2-2020
@berylanyona78572 жыл бұрын
Still listening in 2021the open message to those with good ears
@dianajohn34932 жыл бұрын
Napenda jumbe za meseji nzuri
@ahmedalmayahe44613 жыл бұрын
Niko APA 2021
@johnkinyua52575 жыл бұрын
Be blessed Munish, as We get blessed with songs.
@asueddy14654 жыл бұрын
Vina vya upako
@dominictullo2 жыл бұрын
Barkiwasana
@danielmutua3303 жыл бұрын
Asante Munish,God bless u for that message.
@jamestawete54772 жыл бұрын
2022 still watching
@John-c8q6x Жыл бұрын
Tuur words
@TimothyKiprotich-i3d10 ай бұрын
Good song
@catherinemutindi50312 ай бұрын
Huu wimbo nlihusikia kwa gari ya forward travellers.hukanijenga pakubwa.wenye matiti nusu washikwe wote,wenye,mini,milongi.nk.
@carolinechemutai191911 жыл бұрын
God bless you Mtumishi wa mungu nice song
@nengasiakimati68755 жыл бұрын
hapo pa wenye kuchana gauni nyuma police wakamate wote ........good melody with gud themes thanks alot pastor munish throw back .....once i was a child i knew that u ganna by name pastor malebo ...haha childish
@jlmchannel55796 ай бұрын
2024 ❤❤❤❤❤
@shalomizrael6674 жыл бұрын
Ameen amen amen
@dennisnyaega782311 жыл бұрын
God bless u, i heard this song in the year 1996
@hawaseleman96054 жыл бұрын
Kitambo sana
@paulinaahungu78204 жыл бұрын
Duh 😭😭😭 lv u song
@felixochieng45672 жыл бұрын
Ukweli
@francisarula19343 жыл бұрын
Good songs
@raphaelsamwel26404 жыл бұрын
Love that shaving way style!!
@brendahbor764811 жыл бұрын
thx 4 this,i learned alot frm ua songs
@EdwardOnchonga-g1b6 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤🎉
@ntimamaolemwanda2854 жыл бұрын
🙏🙏🙏👍👍👍
@nabonwe13 жыл бұрын
sawa kabisa
@ziongatekeepers75102 жыл бұрын
Still watching 2023
@joshwillys76735 жыл бұрын
God bless you Munishi
@HillaryOmuono8 күн бұрын
Tushikwe sote.....😂😂😂😂
@ntimamaolemwanda71675 жыл бұрын
Kibariku 💒👏👏👏👏👏👏👏
@liberatusulaya22695 жыл бұрын
Again 2020
@celestineayush40126 жыл бұрын
Ukweli kabisa
@bestnanga94315 жыл бұрын
Kweli
@eveassey51623 жыл бұрын
Nani kaona2021
@willykabugi33604 жыл бұрын
Wow
@enocknyaberi3210 Жыл бұрын
Still treading 2023
@jaklinifaustini42595 жыл бұрын
Nice
@victornjau94207 жыл бұрын
Amen
@kadumeomari85195 жыл бұрын
Mungu Akubaliki Kwaujumbe Mzuli
@simonstevenxffse88784 жыл бұрын
Download
@emanuelgibiti58644 жыл бұрын
🇹🇿
@MrShaanphilips13 жыл бұрын
may God bless you for your awareness, HIV/AIDS is real. get married if you want to have sex however, it will be very very bad if someone will want to get married for sex because this will not help your wife/husband if the best thing you are bring to relationship sex cravings learn (men)
@wanzueni13 жыл бұрын
Munishi is very talented and popular, but he needs advice on political issues.Minis,open shirts or putting prostitutes in jail will not prevent AIDS,its all about awaressness and respect for other humans