Рет қаралды 878,735
Kwa nini Mungu Hakuruhusu Upinzani Mbinguni? Shetani Alipoasi Alitupwa hapa
Duniani. Mbinguni Ni Mungu Baba Anatawala na ufalme wake ni wa milele bila
Mwisho. Je kuna siku kutafanyika uchaguzi mbinguni? Shetani angependa hivyo lakini Ameshindwa. Njia ni moja Yesu kwenda uzimani au Shetani kwenda
mautini. Chagua leo. Mwamini Yesu upewe kadi ya chama cha Mbinguni.