Waooo mama angu, ni upendo na heshima iliyoje kupata comment Yako hapa✍️🎵barikiwa sana. #pombeinamadhara🔥
@SwahiliAmbasador95411 ай бұрын
Rose ubarikiwe sana kwa heshima hii mashabiki tumeiona hii
@Yosef9709911 ай бұрын
Wow. UMOJA HUU.
@MTOWNPRODUCTIONKENYA11 ай бұрын
Welcome bro Safi Sana.Mungu akuinue zaidi
@paulmwedimage461211 ай бұрын
Amen mama❤❤❤❤
@AnnWaithera-k2g11 ай бұрын
TEAM GOODLUCK FROM KENYA 🇰🇪 mpooooooo,,piteni ma likes za 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 no weapon formed against our lives 2024 shl prosper Amen
@maryannndichu147011 ай бұрын
Sisi tuko kila mahali...to support the gospel every way possible!!
@AnitaDengwa9 ай бұрын
Amen Goodluck to the world
@AnnWaithera-k2g9 ай бұрын
@@AnitaDengwa glory to God 🙏
@AidaMathew-bg6qc11 ай бұрын
Nimepata wimbo wa kuingilia kwenye harusi yetu❤️❤️💪💪🙏🙏
@gosbertmuta542111 ай бұрын
❤
@banguha11 ай бұрын
Ahaaaaa tuko wengi nimetoka comment hapo juu mwenzako kila mwaka natafuta nyimbo ila mwaka huu naolewa shetan atake asitake
@SwahiliAmbasador95411 ай бұрын
Mkuje sasa tuwaowe
@3malis11 ай бұрын
Nialikeni jaman napenda kula 😢😢
@MaryJuma-zx4tw9 ай бұрын
Honger 🙌
@luluray211511 ай бұрын
Wimbo wa harusi❤
@GeorgeOyoo-z9q9 күн бұрын
no weapon shall prosper our lives in 2025 Amen, God bless you Gozbert🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@AnitaDengwa9 ай бұрын
No wahala ooh gosh to whom shall we fear. Our life is in hand of God
@directorpenny11 ай бұрын
TEAM GOODLUCK FROM EAST AFRICA WHERE ARE YOU?? LIKE THIS COMENT
@WinnerP-me5ei11 ай бұрын
Huu ndowimbo wangu pendwa mwaka 2024🎉🎉
@GwijiWaKiswahili11 ай бұрын
This vibe ,the creativity,the beat.Amen
@ministerdenis09511 ай бұрын
Aliye muona Malaika anacheza shu like hapa😂😂😂
@SwahiliAmbasador95411 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂❤🎉
@neemajohnson750811 ай бұрын
😂😂😂
@nashonchana476511 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@GiftKayuki11 ай бұрын
🤣😂
@sundaydaudi754111 ай бұрын
Nlijua nmeona mwenyewe 😂😂😂
@komandowayesu364211 ай бұрын
Hii kali sana kaka mkubwa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥. Mungu bado yupo kaka Amen 🙏🙏🙏
@WakatiJohn7 ай бұрын
Toa wimbo mpya wa kusifu yesu watu waamke brother uko kimya sana
@SwahiliAmbasador95411 ай бұрын
Kiukweli tu niseme goodluck ni msanii mkubwa sana wa nyimbo za injili nitoe shukuru zangu za dhati kako kwa kufanya kazi kubwa ya injili kwa njia ya nyimbo Mimi niseme tu hivi wew ni mtu wa muhimu sana kwa nyakati za kizazi hiki acha Mungu akutumie awezavyo sisi kama mashabiki tunaona mchango wako na tunathamini pia AMEN❤🎉
@michaelezekiel429711 ай бұрын
Usimuite msanii 😂😂 Utasababisha mengine muite tu mtumishi
@SwahiliAmbasador95411 ай бұрын
@@michaelezekiel4297 amina amina
@gmbrown142911 ай бұрын
Ulofa mpaka kwenye kazi za bwana, uyu jamaa mpaka leo bado napotea
@cecymbise9469 ай бұрын
Ushamba mingi ndo uko nao mbona Nigeria kina moses bliss wanaimba ivi au kizungu ndo uelewi pole😅😅
@GwenevereJames-oy3lk6 ай бұрын
Kizungu ndo kimekuacha au? Kazi kukosoa kazi za kwenu wa bongo wivu ndo unawaponza imba na wewe tukusikie
@AidaMathew-bg6qc11 ай бұрын
Tuliorudia kuangalia zaid ya mara5 tujuane aloo bonge la wimbo nimependa nimepitiliza🤗🤗💘💘💘💘💘💘💘
@aminakilingamoyo694511 ай бұрын
0
@IreneMatokeo-j8j5 ай бұрын
Tupo pamoja nimeipenda sana
@SeciliaMbella2 ай бұрын
Npo nyimbo itaniua hiii
@barakahelias37379 ай бұрын
First International Song in ENGLISH from Gospel singer Goodluck.🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Wimbo wa kingereza full nice one 💯💯💯 "BARAKAH ELIAS" GOD BLESS YOU my Gospel singer 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@prpphetguardianangelАй бұрын
i like your vision: Goosluck must shine internationally
@alfredmkinga430713 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂
@barakahelias373712 күн бұрын
@@alfredmkinga4307 Mbona umecheka Ndugu
@barakahelias37377 күн бұрын
@@alfredmkinga4307 Mbona umecheka rfk angu
@Yushimelody11 ай бұрын
Goma fulani kama la Nigeria...❤❤❤ amapiano gospel
@DenisTarimo-l6o3 күн бұрын
Yan Goodluck unazingua sana .MUNGU akurehemu na kukusaidia
@RosemaryOwori11 ай бұрын
Moto🔥🔥🔥 Amen in Jesus Name 🙏🙏🙏 barikiwa sana bro
@mariamdarwesh438811 ай бұрын
Abiudi misholi shauri vijana wetu.
@michaelezekiel429711 ай бұрын
Una umri gani mpendwa? 😊
@catherinemasungulwa66267 ай бұрын
Ashauri nn hapo nahisi abiud anataman akampe mauwa yake good luck 😂😂
@simondogtrainer749811 ай бұрын
International Gospel🇹🇿🇹🇿 God bless you
@Mikeallyradjubu11 ай бұрын
I ve already created a dance to enter or to exit my wedding day !! Hallelujah!!! Ribashadaraboria!!! Amen from l love you Tanzania🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@LucasGabriel-o3p7v11 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥,,,brother welldone
@JamesBen-mb9qh8 ай бұрын
Goodluck atakae jaribu kukushusha chini atashuka yeye katika jina la YESU Atakae iwinda nafsi yako .. atakuwa akiiwinda nafsi yake mwenyewe.. atakae kuvuta shati atachoka na kuanguka chini .. Kwa sababu huduma yako imekuwa njema machoni pa MUNGU AMEN
@YOHANAJAPHET482111 ай бұрын
Kaka umetishaaaaa👍👍👍
@PericyKiko11 ай бұрын
Sio wimbo wa Mungu huo kuliko kipotrza muda Rudi dunia inawatafuta Watumishi wa Mungu kuwaangusha kwakuwadanyia pesa
@mandlrassnelsonmwashibanda656211 ай бұрын
Hapo naona unakosea ndugu ukisema sio wimbo wa mungu ulitaka aimbaje mhhhhh
@amanacharles11 ай бұрын
Nieli umesema..huo ndo ukwel 😢😢😢
@G....v....m....12011 ай бұрын
the song is spiritual
@Mr.Poetry22011 ай бұрын
Tuonyeshe wimbo wa Mungu umeandikwa wapi style na maneno tuimbe huo tuu Daima na milele.
@emmanuelmsafi958110 ай бұрын
MUNGU NDIO ALIENGIA STUDIOO KUREKODI
@EdwardAlfredmdomo-hp1op11 ай бұрын
Na leo n jumapili jamani tukasali haleluya ameeeeni🙏🙏🙏🙏🙏♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@LadyveenOfficial11 ай бұрын
Who else believe in JESUS. #AMEN
@FJADVENTURES3811 ай бұрын
Not me playing this song since sunday and posting it everywhere😅😅the amapiano beat is vibing meeehn,this song inaslap mbaya..much love @goodluck gozbert..nimepata song ya harusi yangu,mungu sasa nibariki na bwana🥰🥰🥰🥰
@amanimakury-cv5lw11 ай бұрын
Kumbee kaka kiingerezaa kipooo
@KibongeWaYesu11 ай бұрын
umebarikiwa sana my bro
@lilyg213411 ай бұрын
rasha!!
@Kiokogee11 ай бұрын
Huku Kenya tumeikubali
@subirakibona62037 ай бұрын
Waoh uberikiwe
@eventsbyibrahim11 ай бұрын
Jesus is on my side. No more shame and Pain. AMEN.❤
@SaraKasiga-h9qАй бұрын
Huu wimbo naangalia zaidi ya mara 10. Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu
@adajahbianca5 ай бұрын
Love this song! I’m American I recently went to Tanzania 🇹🇿 I loved it! The kids taught us a dance to this song, I wish it were on Apple Music!
@mercymtoto817511 ай бұрын
Leave alone singing and dancing, The fact that he can do the songs in English is overwhelming We love u brother
@ImaniMoyembi124 ай бұрын
Mungu akubariki sana mtu wamgu mimi ni msani wanyimbo za injili kutoka Congo D. R. C ila musichoke kutuombeya amani kutoka kwamungu asate
@SilviaRafael-mc5ki11 ай бұрын
Bariki sana
@teddyjumbeАй бұрын
Uko 🔥🔥🔥
@theonestehabimana57827 ай бұрын
Ongera sana
@Brnc37411 ай бұрын
Good song🎉🎉 from Tanzania🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@christineabel963811 ай бұрын
duuh aya bana
@emmasingano11 ай бұрын
Nimebarikiwa sanaaaaa
@everlinewangechi70099 ай бұрын
The afro beats are on fire 🔥 l am blessed and Believing Amen.be blessed Gozbert
@FlorianNgozingozi11 ай бұрын
🙏🙏 happy song
@goodmark133611 ай бұрын
Wakola waitu❤❤
@authorpaulinemeya571111 ай бұрын
Ameen wimbo mzuri sana
@juliusmakula165911 ай бұрын
Hongera bro
@assumptaalphonce850411 ай бұрын
I receive.... AMEN
@dailantz407311 ай бұрын
Mungu kabariki uduma yako kipawa chako wewe niwapekee sana braza 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🤴🙏🙏🙏🙏
@maryannndichu147011 ай бұрын
I've already created a dance to enter or to exit my wedding day!! Hallelujah!!! Ribashadaraboria!!! Amen. Love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💯💯💯💯💯💯
@happykomba244311 ай бұрын
Waooooooooh❤❤❤❤❤
@aminakilingamoyo694511 ай бұрын
Barikiwa mtumishi wa Mungu,hakika no juju,no wahala,no zoom zoom,yaani umejua kunikumbusha nipate kuelewa barikiwa sana
@PraiseGodall9 ай бұрын
Now am pregnant after ten years Every where testimonies glory be to his name is my everything 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾always have faith guys ❤
@dottojacob647011 ай бұрын
Mungu anatuona jamani amapiano swagga
@gosbertmuta542111 ай бұрын
Mwanangu hongera sana wimbo umetulia mnoooo uko vzr sana hujawahi niangushaaaaaaaaa Mliosema jodevi amemmaliza mko wapi😂😂😂😂😂😂
@Misheckkazilist-cv2hb11 ай бұрын
Amina sana kabisa mashaka yalitarakai kwamba Nini kimekupata❤❤
@NeemaDaud-zb3dd11 ай бұрын
Umeuwa broo
@Chipwanyaog11 ай бұрын
Naona umeamua kutupigia Amapiano
@hamenyaantony94011 ай бұрын
Kali bro
@mariamSalum-dr4qj11 ай бұрын
Matendo ndio kila kitu hongera inuka songa mbele
@teddysananga11 ай бұрын
Umerudi sasa 🎉🎉🎉
@nancykerubo795211 ай бұрын
Huu mwaka ni me na sir God Amen 👏🏿 Amen in everything 🙏🏿
@AdrianFredrick11 ай бұрын
Ushauri wangu... Kama kweli unamwimbia Mungu basi hakikisha unakua kielelezo kwa Wana wa Mungu.. ila kama unaimba ili uonekane na wanadamu basi badilika. Kumbuka mbingu inaangalia kazi yako. Jitofautishe na waimbaji wa Dunia maana wewe si wa Dunia, ila kama na wewe ni wa Dunia basi badilika. Mtu ambae hamjui Mungu akikuangalia anajifunza ninj kwako??? Piah acha kuimba mafanikio tu na Yale Mungu aliokutendea.. imba injili watu waokoke imba nyimbo zitakazomfanya mtu abadilike amjue Mungu kumbuka uimbaji ni kufikisha injili kwa watu kupitia uimbaji.. tafuta kujulikanana Mungu zaidi kuliko wanadamu
@sashalemmoh326411 ай бұрын
Kweli ❤
@ShufaaMohammed-t2u11 ай бұрын
Ila umesema kwel dear
@KEFAGWAE10 ай бұрын
Wenzio wanaangalia maokoto kwanza mengine Mungu ata bark
@GwenevereJames-oy3lk6 ай бұрын
Sie tunapenda na tunabarikiwa ye kama anaimba ajulikane iyo kimpango wake ila sie wasikilizaji tunabarikiwa nawewe imba basi tukusikie mzee au we utaki kuonekana na !umngu😂😂
@nozesybafikege84175 ай бұрын
Duuh fact ndugu yangu, niko Malawi wanaweka watu wa Dunia na sio wakwisto Wimbo unafaa kwenye ma Baa tu na mahotelini sio kanisani
@Janethcharles-c6cАй бұрын
Barikiwa sana hiinyimbo kilasku naisikiliza.
@FRANCENESTORY11 ай бұрын
@goodluck gizbert mie binafs kwa siku huwa nasikiliza nyimbo zako kwanza ndipo niendelee na mambo mengine nakupenda mnooooo ani mtu haniambii kitu hata siku ukijaimba utopolo nitaluka nayo hivo hivo kazi nzuri toka mikononi mwako kula chuma hicho ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@stevenerasto81711 ай бұрын
A very nice song brother
@aminakilingamoyo694511 ай бұрын
Hapa ni kimataifa zaidi,yaani uko juu
@MussaKitulanya-ys5ez11 ай бұрын
Hadi ama piano style kweli amen
@Estella122-m1v8 ай бұрын
Godruck penda sana wewe nyimbo nzuli hakika wewe hujawahi kosea kuimba mwenyezi mungu akuinue sana nyimbo yako inafundisha naipata tanzania from oman
@sulupeacecharles139711 ай бұрын
Wimbo mzuri sana barikiwa bro
@ankochoka11 ай бұрын
Safi sana
@geofreyagostin11 ай бұрын
Shukran sana kaka kwa nyimbo nzuri🎉🎉🎉🎉🎉
@Amosmsechu11 ай бұрын
Wimbo mzuri sana kaka
@NeemaKimambo-r4d11 ай бұрын
Hongera sana tunabarikiwa hakika❤❤❤
@RafieMziray11 ай бұрын
This is my favourite sijui ni mara ngapi nimeusikiliza tokea umetoka this is a masterpiece
@mimitori336611 ай бұрын
Amapiano😂😂💐 eeeh mungu wangu
@agustinopaulo841611 ай бұрын
Sema wewe jamaa upo to gifted 🙌🙌🙌
@glodiachepkoech40311 ай бұрын
No more shame and pain🇰🇪🇰🇪..A powerful song indeed....God bless you Gozbert
@SandeMvyimba-xm8bn10 ай бұрын
Mungu wa mbinguni atusaidie sana kweli nimeamini mbinguni tutafika tukiwa tumechoka sana kweli huuuu ni wimbo unaomtukuza mungu au unaimba ili Mkono uende kinywani? Mungu awasaidie sana
@healingclinic69811 ай бұрын
Nabarikiwaaaa na wimbo ninachokupendeaa G.G man of God ni hiki your a good composer be Blessed
@elinurujohn97511 ай бұрын
nakubali sana sasa unahubiria mataifa yote in Jesus name. amina
@PalangSumangu-mn5qs10 ай бұрын
One of faves,❤ from Nigeria
@tumainselestine339811 ай бұрын
Nimepata wimbo wa kuingilia kwenye Harusi yangu.....
@deanamassawe7169 ай бұрын
Acha ushamba wewwee
@desirespage71411 ай бұрын
Nampenda malaika 😊😊
@mfuasieddyson652111 ай бұрын
Wimbo mkali sana good luck huna baya kaka
@RaymondMadomado11 ай бұрын
Hongera Sana bro
@YustoMlay-cv4zb11 ай бұрын
Bongo flavor au 😂😂😂😂 jamani au injilu
@HadijaSalum-sk6gw2 ай бұрын
Unajua maana ya Bongo flava au unajiropokea hakuna muziki unaitwa injili....mziki ni mapigo yote ujumbe ndio tunatofautiana
@YustoMlay-cv4zb2 ай бұрын
@@HadijaSalum-sk6gw wew ndo unajua niambie
@janethmollel40611 ай бұрын
New chapter bro🙌
@otwinakayega9725Ай бұрын
Ata mimi I like kwa kila nyimbo
@sungwevalentin74311 ай бұрын
Tulikuwa tumemiss sana nyimbo kama hizi
@abemandia11 ай бұрын
hii imeenda❤
@Yohanaofficial25511 ай бұрын
Hongera sana mwana 🎉🎉🎉
@allanbonf.a563011 ай бұрын
haahahahaa bloood umeua
@joybarasa-u2o11 ай бұрын
More grace brother......much love from Kenya
@otwinakayega9725Ай бұрын
Sababu ni nzuri sana
@mapachawayesu11 ай бұрын
Ameen, Moyo wangu umetulia sasa asante my Brother Wimbo Mkubwa saaana
@gagaboy775311 ай бұрын
Amen mapepo yatapotea
@OdemaryLucian11 ай бұрын
Mungu akubariki sana kitu kali sana naomba like zangu kama unaikubali chuma hilooo❤❤❤
@LinnaDaudi4 ай бұрын
Lina Daudi Tahan
@LinnaDaudi4 ай бұрын
Yakobuk
@SeciliaMbella2 ай бұрын
Acha kabiisa cmu imepata motto kisa huu Wimbo huu
@IsakaOscar11 ай бұрын
Mungu na akupandishe brother, akutumie zaidi, ila Amen ni kiboko yao, mwaka umeuanza vizuri sana natamani siku moja nifanye kazi na wewe bro, m naitwa maco melody natumia hilo jina utube nilikuwa nafanya bongo fleva but now nimeamua kumtumikia MUNGU, nabarikiwa sana na utunzi wako ubarikiwe zaidi
@GabrielJosue2311 ай бұрын
Huyo ndo goodluck gospel mkali wa stahili yani anafanya kazi zake kwa roho moja yani tena akitulia kinoma nakukubali sana 🙏🙏🙏🙏💅🙏moto wa ku wakia mbali.