Mungu ni mkuu 🎉 waimbaji wote haijarishi tunapia ugumu gani katika huduma kikubwa ni kumtumikia Mungu ili siku moja tufike kwa Mungu aise
@raymondbahati7626 Жыл бұрын
Waimbaji wametekwa kabisa,na wanasema; Mungu kafanya miujiza nyoooo!!!
@elisebaamuko328010 ай бұрын
Haki
@tabithamuthoni93012 жыл бұрын
Mambo mengine mi huona kama ndoto. Imagine watching this when am this hungry and empty in my stomach....my tomorrow is greater. Ebu niendelee kulinda kusudi la mungu.
@mwanaishakatuli57072 жыл бұрын
Zile zama zote za agano la kale naziona nyinyi bado chache tu yesu arudi tu bora ukweli ujulikane
@ShukuruShaban Жыл бұрын
Barikiwa sana kwa nyimbo zako hakika umeonyeaha inawezekana
@RubazaReubenАй бұрын
😢😢Jamani eti Nabi mkubwa na mtumishi Nabi Elia ajawahi kujiita Nabi mkubwa alie amlu mvua kwa kumuomba Mungu ajawahi kusema ilo neno eti Nabi mkubwa
@lightnessmollel5756 Жыл бұрын
Kiukwel nimesikitika juu ya hili Mungu akusamehe Goodluck
@richardmushi-lj6tb Жыл бұрын
Nabii mkuu ni wapeke sana napoa nimtu wamui sana duniani kote kama yupo hajitokeze nione.
@jadie-jk9tj11 ай бұрын
The great prophet is only God.Zingine achia Mungu siku ya kiama
@elizabethmuganzi6261 Жыл бұрын
Shukrani yangu kwa kipawa cha gari kwa kijana Goodluck. Mungu huwa na sababu zake. Iko siku mimi nika pewa gari mpya hapa niishiko. Wakati nilikuwa na upweke, umasikini hata kujiweza nafsi yangu na jamii ilikuwa shida. Mungu huonekana wakati wake kupitia kwa watu wake. Jina lake liabudiwe.
@ChristophinaMuundaNdakev-hs8jg6 ай бұрын
God bless you l listen to your music last night until now,l can't stop listening, watching from Namibia. God bless your gift and your minstry.
@happykamuu92622 жыл бұрын
Hakuna nabii zaidi ya yesu
@tuikezeezra1315Ай бұрын
Kweli!!
@EvelineKalinga-c9q Жыл бұрын
Kusema ukweli Mungu ndo anajua yupi ni mtumishi wake wa kweli mengine tuache tu yapitee
@GitongaM Жыл бұрын
Wanaomchukia baba nabii joedavie wanamchukia MUNGU sababu alisema MUNGU anaesaidia maskini anaifanya kazi ya MUNGU..baba nabii hongela sana
@davisjuma5887 Жыл бұрын
ko uyo ni Mungu wako au sio
@SalomeLameck-h7b Жыл бұрын
Jiangalie kaka good luck ni manabii wakuzimu
@jackkimwely52752 жыл бұрын
Nabii mkuu asante kwa ajiri ya zawadi kwa goodrack na kwa wote uliowazawadia Bajaji pia najua umebadilisha maisha yao na Mungu azidi kukutumia Amen
@khalfanikishki74652 жыл бұрын
Nabii mkuu kapewa kitabu?
@zaitunjendeli17482 жыл бұрын
Hahahha hahaha nabii wa mchongo
@angelatarimo19692 жыл бұрын
Amen
@EddahBure-te7ft7 ай бұрын
Si nabii wa bajaji 😅 au we hujui ukitaka kumteka binadamu we dili na mazaifu yake tu 😅@@khalfanikishki7465
@PlatnamzChoma-gl4jw9 ай бұрын
Kweli. Dunia ina mambo we nabii mkuu kuna. Watu wanateseka mitani watoto yatima wana teseka sana huwaoni mbona unapenda. Sana sifa we nabii wa. Uwongo !
@kemuntoombui9462 Жыл бұрын
Even me I love this man anaimba ukweli Mungu akubariki
@Sarah-l2v5 ай бұрын
Kwali mungu awasaidiy na atusaidy sote❤
@NicholausSimon-r6w Жыл бұрын
ongera xan gud,ulichokipata kinadhiilixha ubora unacho kitenda usikate tamaa ongeza juhudi zaidi sababu yu mwema amina❤❤❤
@PhinaEdmund7 ай бұрын
Mungu anaangalia moyo..mambo ya rohoni ni kwa watu wa kiroho.. Kwa wasio wa rohoni ni upuuzi
@PoulMononi3 ай бұрын
Kila mtu huya sema yau jazayo moyo wake Kuna watu wame umia good luck kupewa gari mungu amu bariki nabii kwa roho ya utoaji Amina.
@kimemori8540 Жыл бұрын
Dah , uyu gozbet toka ameanza kuimba sijawai ona sura ya utukufu mbele za Mungu ,mapoz yake ya kike kwenye nyimbo zake,nikajua huyu hayupo kweli
@AminaBakari-cl6mb9 ай бұрын
Yaan wewe akili yako ni kama yangu
@ZawadiUlambo-ww8xw Жыл бұрын
Daa ukiamini neno la mungu ujuwe mungu atakuangalia TU hawezi kukuacha tu hivihivi Kam mm naomba mungu anijalie tu nipone hay magonjwa
@gracemasalu202310 ай бұрын
Mwenyezi Mungu na asikie maombi Yako dada
@jamesponeca89122 жыл бұрын
Ati tofauti na waimbaji wengine,Wewe sema unampenda tu basi,mbona kunawaimbaji wazuri tu sana,Ambao nyimbo zao Zinaimbwa karibu Afrika Mashariki na Na kati.j
@mekajamtv96032 жыл бұрын
Acha wivu🤣🤣🤣
@viddamgeneka42632 жыл бұрын
hawezi waita wote, huyu kawakilisha.
@ashurakodd15897 ай бұрын
Eh jamani acheni wivu waimbaji wako wengi
@zawadithomas1008 Жыл бұрын
kweli mungu amekujibu make uliwahi imba ipo siku yako utabarikiwa Glory to God 🙏🙏.
@JohnKanyi-ks9qo Жыл бұрын
Amen,,hata yangu siku yaja in Jesus Name.
@mklekingDebanagang-zn4vv5 ай бұрын
Uyo siyo MUNGU muhumba ni mungu
@RebecaMaloda-xx2qm Жыл бұрын
Good luck jaman kuwa mkin Sana Kila kitu kina galama hiyo gari ni bure lakin utalipia hakuna kitu Cha bure
@BettyWangui-w1g23 күн бұрын
Ukweli achungu nyota yake
@mhojajulius8509 Жыл бұрын
Nabii wa yesu hana tamaa na vitu vya kidunian i belief in jesus
@MosesGeorge-h2h Жыл бұрын
Ashukuliwe mungu kwayote anayotenda mungu amubaliki nabii kwakujitoa jaman wakati ukifika hakuna wakuzuuia baraka zatu
@jackkimwely52752 жыл бұрын
Mtumishi mimi nakupenda vile unavyoludisha shukrani kwa watu Tazama unavyowazawadia watu Mabajaji na magari tena magari ya kifahari Mungu azidi kukuinuwa Mtumishi NAKUPENDA SANA
@BayambazeAdelinАй бұрын
Good luck mimi namupendaga sana🎉
@VicentYMtwe2 жыл бұрын
Mungu AKUTUZE wa mbinguni IPO siku atanikumbuka tu namimi injili ienderee kusonga mbere
@ndoricimpaelyse77522 жыл бұрын
Huyu sio mutumishi wa Mungu.taayali huyu kijana kwiingia kwa shetani
@tuikezeezra1315Ай бұрын
Hata mie nahisi
@GloriaNduku-mw2jk Жыл бұрын
May Almighty God protect you from evil gifts cause nowadays people are serving evil spirits soo be wise bro
@somaricratos77142 жыл бұрын
Mungu uwarudi nakuwaonya wale wote awapendao mzeeeeeee or nabiiiiii kumbuka atabahali aliitwa nabi mzeeeeeee tubu tenatoba ya mabadiliko lasvyo itakupa hukum
@midumbiojijo8126 Жыл бұрын
Kuna ndugu yangu, amesali hapo miaka 13 sasa, hana hata uwezo wa kulipa chumba anayoishi, anaishi kwa tabu, kwann hizo zawadi zinakwenda kwa watu maalum tu kuna kitu nyuma ya pazia
@roselynmkata3993 Жыл бұрын
Huwenda hakipo ndugu, kila mtu ana bahati yake, ata Yesu hadi anaondoka yerusalem..aliponya wengi sana hadi wamataifa...lakini pia kuna walio baki magonjwa yao hawakuipata hio neema,,,kila mmoja na bahati yake
@kessoytegela582 жыл бұрын
Mungu akubariki sana kwa ulivyo utambua uwepo wake ndani yako
@graciousisdory266611 ай бұрын
I felt God is going to touch through this video
@mrnickmusician71392 жыл бұрын
amen mtumishi wa Mungu Good luck mungu hamekubariki sana Mimi najua nyimbo zangu kwazia leo zitakuwa nyimbo bora sana sana nimebarikiwa sana mtumishi 😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Waw ni mungu haki mungu uko I wishe hata Mimi kilio changu Amen
@furahabeatrice20572 жыл бұрын
Amen Amen. Nami nimelia machozi ya furaha. Baba MUNGU akubariki zaidi pia👏👏🙏🙏
@dianacharlie52832 жыл бұрын
Thank you jesus 🙌🙌🙌hakuna machozi isiojibiwa thanks father 🙏🙏🙏
@estherkavugho39812 жыл бұрын
vrmt j'aime aussi la chanson mitindo ya nyele 🙏🙏🙏🌹 Mungu akubariki
@ndubhasemapalala79162 жыл бұрын
Ngoja niigoogle nijue thaman yake
@saidimakula13632 жыл бұрын
Mungu nimwema.
@edouardnsengiyumva11452 жыл бұрын
Mungu mwenyewe ndoo anajua wao nambae siyo wake maana siku hizi nizamwisho wanabii wauongo wamezaa dunia wanawapotosha kwa miuziza feki
@davidmgungu1682 жыл бұрын
Ens barikiwa sana godluck
@geitandelwa2992 жыл бұрын
@@davidmgungu168 mmmm Hali Ni mbaya mno tujitakase TUOMBE
@nancynangena4135 Жыл бұрын
Kwanini watu wamedanganywa kuwa shetani ni tajiri kuliko Yesu?? Blessings are from God almighty❤
@Niyonsaba-hn7ex9 ай бұрын
Wewe nani wakuhukumu ?neno la bwana linasema usihukumu usije ukahukumiwa
@EstherFrancis-qh1jp Жыл бұрын
nime falijika sana kaz ya wimbo zako kat ya moja wapo naona ume jibiwa leo bila kutegemea mungu ni mwema
@lydiawasike7126 ай бұрын
Amen hakika akuna machozi yasiyo jibiwa kwa Mungu ukweli,❤
@martinmbithi31262 жыл бұрын
Truelly God lives ... I shed tears of joy . One day God will lead me to the right destiny helper
@ronniesmawira31152 жыл бұрын
Amen
@mvuyekureraphael6760 Жыл бұрын
Sharome Nabi Mungu akuongeze mafuta Peana number Sisi tuko Burundi Tunwafata 100/100
@patiencehumbled35192 жыл бұрын
Huyu nabii wa kuzima,ĢOODLUCK kuwa makini na hawa watumishi wa kuzimu,unapewa zawadi wakufutie kutoka kwa Mungu
@SMtv2022e2 жыл бұрын
Nabii wa kuzimu anayekupa Gari Mercedes Benz C class huyo mimi namtaka kama unamjua naomba unipeleke. Yaani huu ni uongo uliopitiliza na uache kuwadanganya watu nabii wa kuzimu unaendaga naye kuzimu?
If God has blessed me with a harrier why should I be given a Mercedes Benz...not adding up
@AlfredKondowe7 ай бұрын
Yesu anatumia watumishi wake kubariki watu wake. Neno la Bwana li hai, Tena Lina nguvu.
@jescamike2186 Жыл бұрын
Kwanini sasa anapondea nyimbo za watu wengine wakati nyimbo zote mimi naamini wanamtukuza kristo mmmmh pia Mungu ndo anajua yaliyomo ndani moyoni mwa mtu
@NoelSengunda8 ай бұрын
Mungu akufikishe mbal zaid
@nkolomonilolosalomon3616 Жыл бұрын
❤mungu ana was tumishi wake,asifiwe mungu nabii mku naimba ni tumiye adresse ya kanisa na Jina APA RDC Lubumbashi haut Katanga.
@annshalon-RN Жыл бұрын
Joy comes in the morning😭😭... I am blessed and its not in vain to serve God, Goodluck God has remembered you and I partake in this favor from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@neemamwailunga-ij1is Жыл бұрын
Mungu naomba unifungue na Mimi fungya family mzima nawadogo zangu.naomba nisaidie.
@arampaafricalive4922 Жыл бұрын
Bishop wacha kutudanganya,waongea hivyo juu amekua celeb na pesa mingi ndio wamsifia na kumzawadi,kuna masikini wengi Sana wako kanisani kwako ,wazuri zaidi,wanajitolea kuosha kanisa,kubeba vitu,kufanya shuguli ndogo ndogo na kujituma zaidi ila watoto wao hawana kitu hata chakula,hajui atatoa wapi Karo ya shule,wala nguo,hautaki hata kupata nafasi na kukula nao ,na kuwasikiza ,na kuwasaidia hata Kari Tu,simchukii good luck,nampenda Sana niliokoka kupitia nyimbo zake ,ila wachungaji wengi nu wanafuki,wanawazingatia Sana watu mashuuri juu wanajua wataonekana na followers WA mtu shujaa na watapata followers wengi.wachungaji kuna watu wanateseka kanisani kwenyu,...na sijutii kuandika hii coment yangu
@EmmaKirua9 ай бұрын
Mtumishi nakupenda sana
@PasteurPhilippeAndréa3 ай бұрын
Hapana Nina muamini yeye ni Nabil wa Mungu kweli kweli mimi Niko Congo nafuata yote anayo yasema naamini Mungu wake
@tinnahagustinolyelu42472 ай бұрын
Yaani huyo kijana Hiro ndio litakuwa anguko lake Mimi nipo hapa gari weweee nyota yake kwa heri
@Emmanuel-b4g1nАй бұрын
Exactly 💯
@WilsonEmmanuel-bs6opАй бұрын
Ujuwe manabii uwanga wanawataka waimbaji kutokana wanakitu cha mungu ndan yawo ndio maana manabii wanawateka kusudi wachukuwe kilewalichopewa na mungu kusudi wasisonge mbele napia wamejuwa kazi Zashetan zitahalibiwa mm ndio navojuwa
@MisalabaZanzibar-k8c5 ай бұрын
neema ya bwana wetu yesu kristo na upendo wa Mungu baba na ushirika wa roho mtakatifu ukae nasi sote tangu sasa na hata milele amima
@JeffArosha3 ай бұрын
You a Catholic ?
@tanfredmichael1777 Жыл бұрын
Ahimidiwe Mungu Baba anayetupa kushinda na zaidi ya kushinda, katika hayo tunapokea amani ya kweli. Asante Kwa shuhuda hizi kutoka Gudluck Gozbert mwimbaji na Nabii mkuu 🙏🙏
@MedaElkananaipendasimbajmnMmmm Жыл бұрын
Mungu hana choyo kwa wakat atatenda
@hitecstars.111 ай бұрын
No wonder he has touché me too .What a blessing he is to the church.Machozi yaishe how nice
@natachaminguandrea26182 жыл бұрын
Nabii Mkuu Mungu azidi kukubariki baba. Nakufata sana nikiwa congo Bukavu
@rosemaryikamba52882 жыл бұрын
Gozbert usisahau kurudi Ngurumo ya Upako be blessed Bro.
@sheilaadhiambo25032 жыл бұрын
Huu mwezi na pata mtoto wangu. Mungu wacha ni ku one
@catherenewairimumaina52774 ай бұрын
May God keep on blessing you good luck together with your spiritual daddy 🙏
@JosueNsengiyumva-ch7mh7 ай бұрын
Nabi muku Burundi tunagupenda sana🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@yekonianakisigaye21577 ай бұрын
Mungu alitembea na masikini kuliko matajili usimtumikie mungu kwa kutegemea zawadi mana si KILA zawadi ni zawadi
@andrebikuba3372 жыл бұрын
ningetamani siku moja nifike kanisani mwako baba nabii wa mwenyezi mungu ila uwezo sina isitoshe niko mbali kidogo niko kongo drc
@FesmaAsma4 күн бұрын
Amen I connect my self God remember me
@mercychebet25762 жыл бұрын
Mungu hakisema hatatenda hatatenda I love your song's so much uendele na hinjili ya mungu
@Danielmparanyi2 жыл бұрын
Na amini utabarikiwa na huu wimbo pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you🙏🙏🙏🙏🙏
@iteritekakenny5652 жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu ubarikiw sana wew njoo mwalimu mzur ulio tumwa na Yesu kristo kusaidia watu na mimi naomba muniombee na teseka na maisha
@livingstonekabantega2 жыл бұрын
Amna uyu ni freemason pesa zote izo anazitoa wapi ni sadaka ai
@awinojanet58612 жыл бұрын
Amen, ninajua pia Mimi IPO siku Mungu atanifuta machozi🙏🙏🙏🙏
@mercymsack442 жыл бұрын
Amina nabii mungu akuzidishie nguvu na ubarikiwe Kwa kumtia moyo kijana
@mercymsack442 жыл бұрын
Naomba na mm siku Moja mungu anifute machozi
@petersaimoni573 ай бұрын
www niwpekee San mungu akulinde
@frankmasamaki96402 жыл бұрын
Jamani nawakaribisha kusikiliza wimbo wangu mzuri na mtamu sana ____________
@zaidyabdalah36912 жыл бұрын
Na haya mambo haya ya kugawiwa gari kila anayekuja huko Kisongo napata mashaka kidogo, lakini mmmhh haya bhana, yangu macho na masikio. But there must be something behind the scene.
@adisabetty21732 жыл бұрын
Bwanayesu akubaliki Mutumichi wamungu Mimi nimelogwa Eti pesa yangu iyiche Kira kiyu nanaco masatani mapepu kipiga migukunimaliziya nguvu nimerogwa kuhangayika Bwana yesu asifiwe balikiwa ameeeeeen🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳
@GodfreyIsaac-h7m Жыл бұрын
Tuendelee kuutafuta uso wa Mungu atuonyeshe njia sahh ya kupita
@elishamafulu106 Жыл бұрын
Naomba maobezi ya biashara yanga yaspare zamangari zikuwe famili yanga uchum afya nyumban watoto wangu shule tupate ada Kwa jina la YESU christo amen baba 🙏 naomba nipate kibali kama cha baba baba
@NERYJONAS-fw2jcАй бұрын
Ole kwa good Luck kwaku tafuta mali za dunia
@susanwanyama298610 ай бұрын
Who's God may your name be raised for ever God bless you nabii
@robbyman62132 жыл бұрын
Amen,,,Wakati wa Mungu ni wakati sahihi.
@tengaGwanko Жыл бұрын
Ubarikiwe kwa huduma by phone record nyumbigwa one
@cizungulawi6425 Жыл бұрын
Watu kama.huyu Nabii, we neep the servant of God like you into my own town BUKAVU
@SalmanSelah5 ай бұрын
Na amini na mimi Salman,iko siku moja na mimi tafanikiwa kwani,hiyo ni mipango ya Mungu Baba.
@adelinefikiri75712 жыл бұрын
Amen ,amen ,katika kutumikiya Mungu kuna faida . Asante nabii mkubwa kwa kumutiya kijana nguvu !!
@yasintashepi149 Жыл бұрын
Huy mchungaji yup wap
@joycejackson2320 Жыл бұрын
Godluck kuwa mskini sana na hawa wahubiri hakunaga vya bureee broo
@nurumwita903411 ай бұрын
Kabisa
@twisileanania38702 жыл бұрын
Mungu akubariki kwa nyimbo zako nzr
@passifikalwesso50172 жыл бұрын
😳😳😳🚔🚔🚔👑👑👑👑👑👑👑🎓🎓🎓🎓 passi
@alexekiru47582 жыл бұрын
Asante sana Mungu muumba wa mbingu na dunia kwa kumkumbuka uyo kijana Zablon kwa kumbariki na gari aina ya mazendez benz kutoka kwa nibii wako mkuu. Hakika ni ushuhuda mkuu 🙇🙇🙇 asante sana Mungu bariki pia uyo nabii kwa njia kubwa sana 🙇🙇🙇
@meleckzedeckmassawe8602 жыл бұрын
Kijana hakikisha zawadi unayope imetoka kwa mungu.nikwambie ukweli kwasasa Kama shabiki wako sipendi kukusikia Tena maana nyimbo zako hazipatjkani mbinguni alipo kristo.
@erickmnazareti37592 жыл бұрын
True
@adeliphinamussa30852 жыл бұрын
Barikiwe Mtumish kwa kumuambia kweli huyu kijana,,, anapotea
@venancemwanya42122 жыл бұрын
Hii zawadi kama imepitia kwa baraka za Mungu,basi mtukuze Mungu. Lakin kama hiyo gari itakuwa ina mambo mengine ndani yake ,eee Mungu mponye kijana wako na tamaa hizi ili akakutumikie katika ile kweli imwekayo huru mtu yeyote ajae kwako.
@meryrajabu34762 жыл бұрын
Kwel kabisa mana haya mapepo ya mezid Sasa na huyu ni mwingine tenh
@matesoyayesu2 жыл бұрын
Sasa wewe umeenda mbinguni ukajua nyimbo hazipatikani huko? Antichrist wewe kemewa katika jina la YESU
@RubazaReubenАй бұрын
Ona kanisani wana wake mavazi vikwapa nywele zakusuka ku vaa vipuli kutobowa masikio sijawahi kusikia uki waonya yakwamba ni dhambi Chek ilo hekalu watu kibao ila uwaga unawa funza kuta jilika kuishi vizuli 😢😢😢😢
@albertatahere90011 ай бұрын
Im a Congolese. I want this pastor to pray for me.
@brendah9831 Жыл бұрын
Cought myself crying,, glory be to ,Good
@lucasmartin-vs2yh Жыл бұрын
Kondooo wangu wanapotea kwa kukosa maarifa🙆
@tuikezeezra1315Ай бұрын
Ndo ivo saiz Goodluck gozbert Yuko wapi, nyota yake iko wapi saiz!!
@MaseleMageleja-gw5gz Жыл бұрын
Mungu ni mwema ,na pia mungu hajawahi kumtupa mja wake
@knightchebunga51232 жыл бұрын
Much love from Kenya
@ndungemwololo82702 жыл бұрын
Nakupenda sana mkuu Niko kenye sijui nitawai fika kwako lini
@rosenangosya2549 Жыл бұрын
Amen too am blessed with his gospel music.God bless you so much.
@RichardShija-z1r5 ай бұрын
Mungu ashukuliwe Kwa yote🙏🙏
@MarthaFocus-q8u Жыл бұрын
Mungu utusahehe
@mariawanjiru12752 жыл бұрын
All glory and honour is yours almighty God . thank you man of God be blessed
@gracejoseph94512 жыл бұрын
Namuomba mungu namimi anibariki nabii zidi kutuombea watoto wako
@levisdiamond4797 Жыл бұрын
Mungu amuone huuu jama siwezi nikahukumu ila hapa umepotezwa 😢😢😢😢 Hawa ndo wawakilishi wa sheteni kwenye Dunia hii😢😢😢😢