Alie muelewa minister good luck gosbert Nini kilicho mpelekea mbaka kuchoma Gali siyo wanadam wanavyo dhania gonga like hapa
@emanuelmaya466710 күн бұрын
😂 minister sio
@LameckMichael-r3h10 күн бұрын
Yule Bishop hafai
@RehemaMbeta10 күн бұрын
Amina YESU ana kupenda sana atakae elewa ni yule alie na loho mtakatifu tu
@IsackDajaredy-j2o10 күн бұрын
@@emanuelmaya4667 🤣🤣🤣
@GoodSilas10 күн бұрын
Amina mungu akuongoze Kaka angu❤❤❤❤ kuwa na yesu nilaha akiona tunakosea hutuvuta ili tutubu ubarikiwe sana Kaka angu
@LuckySinkala-d5x9 күн бұрын
alie barikiwa kupitia interview eee gonga like apaaa
@suesuzzy999010 күн бұрын
Kama unaamini huyu unaemwona si mwimbaji tu Bali pia n mhubiri nipe like ❤
@edgarrich98959 күн бұрын
Sio muhubiri tu ni Mwalimu mzuri wa NENO la Mungu
@happnessjocktan41279 күн бұрын
❤
@justinemulele45799 күн бұрын
Mikora
@BeaSHAYANAHunterson9 күн бұрын
hakika ni mpakwa mafuta na mbeba maono..Mungu endelea kutenda miujiza kwa watu wako tunakuamini Mungu😢😢 amina..kaza mwendo mdogo wangu tupo pamoja na wewe
@lusogo_albert_18 күн бұрын
Aminaa 🎉
@Sardis_church8 күн бұрын
This is not Goodluck speaking. This is the spirit of God speaking
@andrinisrael92898 күн бұрын
You are very right
@ibrahimwigina8 күн бұрын
HAKIKA
@NeemaJohnson-u5m8 күн бұрын
Exactly
@humbleshoal7 күн бұрын
Absolutely correct.
@chantalshimi96196 күн бұрын
I agree 🙏
@calvincypriano29569 күн бұрын
TANGU KUZALIWA KWANGU Sijawahi kusikiliza interview au podcast ya masaa mawili mfululizo bila ku skip a word but hii nimesikiliza hakika Mungu ni mkuu sana roho wa bwana yuko juu yako🙌🏾
@godfreymchomvu99519 күн бұрын
HAYA NI MAHUBIR I KABISA UAANI HAPA NI DOCUMENGTARY MAHUBIRI PLUS INJILI JUU
@mercyakech9 күн бұрын
AMEN AMEN AMEN 🙌🙏
@suesuzzy99909 күн бұрын
@@calvincypriano2956 Tena aliye m interview alimpa mda wake na roho wa Mungu nae akashuka ndani ya good luck ili nasi tufunguke macho ya kiroho na tubarikiwe....c Mungu atukuzwe jamani🙏
@PetronilaShao8 күн бұрын
Amen
@robertsanga65118 күн бұрын
Amen
@bellakombo10 күн бұрын
I know where you’re coming from YESU AMESHINDA 🔥🔥🔥
@isayamelamiofficial646810 күн бұрын
Amin dah!!!
@angelamdakilwa-g7p10 күн бұрын
Hakika Yesu ameshinda sasa naona neema ya utumishi ndani yakee
@Peaceman-S10 күн бұрын
Ameeeen
@Rose-kg9ip10 күн бұрын
Ameni🥰 ❤
@tinasimon970610 күн бұрын
Kwelii
@SamMziray10 күн бұрын
KUMSIKILIZA GOODLUCK KWENYE HII INTERVIEW NI DARASA TUPUU🙌🙌 ... MUNGU ATUPE NEEMA🙌
@koffianodi945310 күн бұрын
Kabisa kaka
@faithdimoso536610 күн бұрын
Sanaaa
@angelamdakilwa-g7p10 күн бұрын
Hakika ni fundisho
@monjemghalu173410 күн бұрын
Hapa panafundisho kubwa sana ukimsikiliz kwa makini wakati wa mungu ni wakati sahii kabisa subra na uvumilivu ni nguzo kubwa sana kwa binadamu
@cleopatradaniel-w1q10 күн бұрын
Kindy,Tunaweza kuandika majina ya Mungu wetu mzuri kwa herufi kubwa unapoanza ,kama vile (Mungu,Yesu,God,Jesus,nk.)kwa bibilia hakuna ambapo Mungu mkuu aliandikwa kwa jina la hivyo.please,Thank you🙏🏾
@Sarasheba10 күн бұрын
Brother Goodluck, you are not only being interviewed, bro you are preaching😊
@DosHandoz10 күн бұрын
Sure he is anatema madini ambayo watu sio rahisi kudhani kabisa
@Karama-149 күн бұрын
Kbsaa haf madini mtupu
@nasranasry11159 күн бұрын
Me ni muislamu ila kwa hii interview umenikumbusha niwe karibu na Mungu jmn 😢hongera sana asantee umetufungua macho
@GloriousRestorationTV9 күн бұрын
Karibu, Yesu anakupenda Dada....hata Mimi nilikuwa huko!!!!
@petermalema57028 күн бұрын
Halelujha Sanaaaa
@lusogo_albert_18 күн бұрын
Aminaa 🎉
@JosephineWiliam8 күн бұрын
Laaaa Mungu ni Mkuu sanaa mwanangu Bwana azidi kuinua viwango vya na zaidi 🎉🎉🎉
@ibrahimwigina8 күн бұрын
HUYU NDIYE MUNGU WETU KATIKA YESU KRISTO. KARIBU SANA❤❤❤
@ahmadomary-xy3sn9 күн бұрын
Kiwango changu cha kumpenda Goodluck kimekua. Nimebarikiwa sana100%
@rebecakibipi263110 күн бұрын
Mbona kama namuona muhubiri hapa na sio mwimbaji tena Mungu akupe kibari zaidi
@JudithMgonja-jt7zj10 күн бұрын
Nimeona hilo pia asee
@meryciananyeula258710 күн бұрын
Hakika
@SELINENYANGARESI10 күн бұрын
Mungu akuhinue
@naomysalim647710 күн бұрын
Mi mwenyewe nimeona🙏🏼🙏🏼Ya Mungu ni mengiMungu ampe kibali
@Sultani-Lyimo10 күн бұрын
Ongezaaaa volume kwa hili
@PhilipoMabula-ky9vs10 күн бұрын
Kama na ww umebarikiwa kupitia maneno ya gudluck like hapa 🙏🏾
@pascalmlaga10 күн бұрын
'Chukua Nyota yangu nitatumia ya Yesu' This is deep🙏🏼
@judypaul66710 күн бұрын
Mungu ni mwaminifu kila wakati
@frida-oi6kw10 күн бұрын
Kuhusu nyota anasemaga pastor Tony...ila watu tunamshambulia😢😢😢😢😢..Mungu tufungue macho
@nduwimanaelias10 күн бұрын
😂😂
@Sultani-Lyimo10 күн бұрын
Kabisaaaaaaaa…… jamaaa kang’oa live wire ya watuuu fulani
@DosHandoz10 күн бұрын
Nyota ni ibada ya kisgirikina kabisa nyota sio uungu so he is right kabisa
@mtumuhimu67938 күн бұрын
Lete part 3 we jamaa ukiwa mchungaji waumini wako watakufaidi sana sichoki kukusikiliza tafadhali lete part 3 ata ya mahubiri tu watu tukombolewe ❤❤😂😂
@maryannndichu14708 күн бұрын
The confidence this man has in God..camooon! Glory to God for showing Him mercy and grace. Love and respect from Kenya. 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@humbleshoal7 күн бұрын
Surely thing
@HellenKitsao-zk5vg10 күн бұрын
Kama macho yako ya kiroho yamefunguka gonga likes tukiendelea kujengeka
@humbleshoal7 күн бұрын
Surely
@katapilashow10 күн бұрын
Mimi huwa si comment saana ila kwa namna nilivyosikia unasema, Mimi sio mtabiri ila nukuu hii comment yangu na uitunze Ili ije kuwa ushahidi. Majira kama haya mwaka 2027. Mungu atakuinua kwa viwango ambavyo vitaushtua ulimwengu Wala sio Tanzania TU au Africa. Utakuwa baraka kwa wengi hakika Amini ninakwambia
@HawaHamis-l4i10 күн бұрын
Amina
@ElizaEdward-t7d10 күн бұрын
Amina ikawe ulivyonena
@bennyblancotz10 күн бұрын
Amina
@JoshuaOswald-jp10 күн бұрын
Amina
@JuliethMshiu10 күн бұрын
Imekuwa
@bensonpaul367210 күн бұрын
"Chukua nyota ya Yesu ndio nyota yangu", I like that.
@olivermfinanga93879 күн бұрын
Kwa sasa chuma kimenoleka wow yuko very spiritual kuliko kawaida
@GoshenPcgt9 күн бұрын
If you focus deeply in this interview you will notice it was God's plan to sent a certain message to his people through Godluck, if you believe in this and you have already receive the message like as a sign of AMEN
@GrowRichSpace9 күн бұрын
YOU GET ITTTTT!!!!! INDEEEED…..I GET EVERY SINGLE WORD!!! GOD IS GOOD!!! 🙌🏽
@glorykweka23808 күн бұрын
Si ungetumia tu kiswahili🤣🤣
@humbleshoal7 күн бұрын
@@glorykweka2380 Kwani hujasoma bibie?
@glorykweka23807 күн бұрын
@@humbleshoalsikufundishwa broken ya ivo
@georgeburchard487210 күн бұрын
Hii Ni zaidi ya interview! Kiu ya watu tuliokuwa na maswali ya kile kinachoendelea kwa ukimya wako na kuhusu kuchomwa kwa gari imekatwa kwa maelezo Yenye tija na yaliyojaa Neema ya kutosha toka kwa Mungu! Ubarikiwe Sana na Mungu azidi kukulinda na kukuongoza!
@beatricemwasunda502710 күн бұрын
Ana sauti ya utiisho ya mamlaka ya kimbingu,aisee ze way unavyoongea tuu,naona Nuru ya Mungu juu yako pastor Gozbert
@humbleshoal7 күн бұрын
Jamani huyu mkaka sijui nimtafute anioe tu, yaani nimependa bure na utii wake kwa Mungu
@GeorgeChitemo-kt8sw9 күн бұрын
Huyu alikuwa kwenye shule ya Mungu ndio mana anaupako wa kutosha
@Rehobothreconciliation9 күн бұрын
He is deep ooh my God watu mbona wanashindwa kumuelewa
@VAIRETHGABRIELCHAMANGA9 күн бұрын
Kwa kweli si kwa upako huo duuh!
@annefidelis69318 күн бұрын
Baptist secondary school Mwanza
@ibrahimwigina8 күн бұрын
UPAKO HASWAA
@humbleshoal7 күн бұрын
@@Rehobothreconciliation Sijui tuseme hawajasoma au akiri zao wamepofushwa wasiamini!
@Karama-149 күн бұрын
Nmejarbu kupitia comment nimegundua kumbe watu wanamjua Mungu Weee nmejiskia vzr kuona wengi wanauelewa ukwel Mungu akubariki
@KarmelChurchDSM10 күн бұрын
Suala la madhabahu umenena somo zuri sana, Mungu akubariki sana. Hongera.
@LoyceDaniel-q8k10 күн бұрын
Jamani me ni mvivu kusikiliza story ndefu ila hii nimesikiliza part 1 &2 bila kuchoka na nimemuelewa si kumuelewa tu nimejifunza kitu na si kujifunza tu sasa Nina ujasiri wa kuanza safari yangu ya uokovu…ameongea kwa Hisia sana… wimbo wako wa nakushukuru kila siku nausikiliza na kamwe sijawahi uchoka kila siku nauona mpya kwangu🙏
@upendomwasipu79529 күн бұрын
Kama mimi aiseee nimejikuta nasikiliza zote
@BeaSHAYANAHunterson9 күн бұрын
nimesikiliza nazidi kumuona MUNGU😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢 ohhhhhh GOD😢😢😢😢😢 Asante MUNGU
@DarliotonTumaini9 күн бұрын
Tupo wengi sana
@olomy1310 күн бұрын
Kama Umemuelewa Goodluck Gosbert weka Like Hapa ❤❤
@young_brother2710 күн бұрын
kuna kitu nimekigundua hapa, Goodluck anatumia hekima kubwa sana katika mazungunzo yake, Nimefuatilia part 1 hadi hii nikisubiri amtaje GEORDAVIE lakini mpaka huku hajamtaja kwa jina, ni hekima kubwa mno, hata wakati anamfafanua meneja wake hajamtaja kwa jina, Hii ni hrkima kubwa sana Waliyoikosa watumishi wengi na wachungaji wa kilokile hasa akina PASCHAL CASSIAN na MBARIKIWA MWAKIPESILE. Wanatakiwa wachukue mfano kwa huyu kijana, wajifunze hekima, masuala ya kutajana majina katika mitandao ni kukosa Hekima na kuzua machafuko zaidi, Mponde mtu wako kwa sifa zake mpaka ajishitukie mwenyewe, ili hata akikushitaki uweze kujitetea kwamba "Sijamtaja". GOODLUCK ANAINUKA TENA NA NAJUA HATARUDI CHINI KWA JINA LA YESU.. AMEN🙏🤣
@DjTashtz1510 күн бұрын
Na wewe hekima huna unawataja mbona😂
@young_brother2710 күн бұрын
@DjTashtz15 Nimewataja ili muwajue.
@AmelitaKadudu10 күн бұрын
😅@@DjTashtz15
@kanankirannko617410 күн бұрын
Umeonaee watu wamesubiri aseme gari lilikuwa chui weee hakuna tumepata neno lenye upako safi sana mtumishi
@ziddyziddy252410 күн бұрын
@@kanankirannko6174Dah ametumia busara sana
@saimonmizingo74859 күн бұрын
Haya maneno ni ya ulimwengu wa roho sio wasomi wa elimu ya kawaida tu kuyaelewa ubarikiwe mtumishi Good luck
@KelvinMwanjile10 күн бұрын
Eeeh Mungu kama ulivyomrehemu mtumishi wako naomba na mm unirehemu. Amina
@estherwilliam51259 күн бұрын
Ameen ikawe kwangu pia
@willz10179 күн бұрын
@@estherwilliam5125Amina!! Pokea kwa jina la Yesu
@sostinersosten30739 күн бұрын
Soma maombelezo 3;22-23
@Esther-j1o9 күн бұрын
Ikuwe kwa pia
@AlvinKhim-lc1jo10 күн бұрын
Imani yako ndo imekuponya never give up
@LissaTitus10 күн бұрын
Wapi like za mtangazaji aliemfanyia interview❤❤❤❤
@consolataconsolata125010 күн бұрын
Yaani umeitwa kaka na Mungu atakuinua zaidi na zaidi. Nyota zetu zimefichwa ndani ya Kristo wakitaka kuiba itabidi wamkabili huyo aliye ndani yetu Bwana wa mabwana na mfalme wa wafalme. Ufalme wa Mungu unatekwa na wenye nguvu na hizo nguvu ni za KIROHO. Mungu ametukuzwa hapa ❤❤❤
Leo ni juma pili nmekutana na hii message ni zaidi ya kwenda kanisani❤❤❤
@talentshow202410 күн бұрын
Mimi pia
@AlbertMsafiri-b8d10 күн бұрын
Kama me mpka saiv bdo natazama
@HappinessJustine-h1v10 күн бұрын
Na sijaenda church ..niko hapa😂
@jacksonmkuye773910 күн бұрын
Hiyo ni aina nyingine ya upagani tu inayokutafuna na inakupa hoja za kipuuzi ili ikuue vizuri Kwan ungeenda kanisani na ukirudi utazame clipi hii ungepungikiwa nn ama ungepata zaidi
@HappinessJustine-h1v10 күн бұрын
@jacksonmkuye7739 eeeh jaman..😂
@FadhiliMungure9 күн бұрын
Chukua nyota yangu ntatumia nyota ya yesu Point kubwa san hii kaka Yesu Ameshinda 🙌
@HappynessNdunguru-x5x10 күн бұрын
This is the confidence of a person who dwells in the secret place of the most high GoD😊.... Standing in awe of his deeds, jehovah Glory to God ❤
@GrowRichSpace9 күн бұрын
EXACTLY!!!
@andrewnyamwaro51748 күн бұрын
He is fallen. His next fall is death. Hana chochote.
@Mwasame_Official110 күн бұрын
Amejazwa roho mtakatifu kweli kweli mtumishi wa mungu amen 🙏
@estherdavidjohn-py7hh10 күн бұрын
Hata mimi nimeona na hekima yakiMungu imemjaa
@DeborahLusekelo10 күн бұрын
Hakika Mungu akubalriki, nimepiga hatua kupitia interview hii.
@frednandmathew60810 күн бұрын
Jamaa yuko Smart sana aisee binafsi nimemuelewa sana.
@willz10179 күн бұрын
Mnooooo!!! He is very smart!! Na Mungu azidi kumtumia
@victormkello957510 күн бұрын
Thanks 🙏 sasa tumeelewa sio kwamba zawadi uliyopewa ina shida kwa sababu ya Nabii Mkuu, bali huduma ya nabii huyo ingechafuliwa, endapo kama #Goodluck ungekufa ukiwa unaendesha hiyo gari. Mwenye ufahamu na mwenye utulivu wa kumsikiliza #Gozbert amekwisha elewa background ya story nzima. Ni vizuri kumsikiliza Mungu anasema nini na sisi, haswa unapokuwa kwenye maombi.
@milkajm476210 күн бұрын
Kweli kabisa
@drgeraldcubwa48110 күн бұрын
...........kwa sababu anamhusiano na vitu vyetu......sijui kama nimesikia vibaya? 😂😂😂😂😂😂
@rosamairusya-dk6eb9 күн бұрын
💪💪💪 Wakati wa Mungu Umefika Hongera Sanaa Tunakuombea UDUMU Ktk Utume .
@martinmligo3029 күн бұрын
GoodLuck mtu wa Mungu!! Hii kwangu sijatizama kama mahojiano bali ni ibada kamili....Mungu wa mbinguni akupe maisha marefu sawa sawa na mapenzi yake kwako..Amen.🙏🏻
@NyamtondoCharles7 күн бұрын
Hii ni ibada kwa kweli Mungu ni mkubwa siku zote
@ruthkalinga71546 күн бұрын
Huyo ndiye Mungu anayepaswa kuabudiwa ni Mungu alitaka dunia yote ipay attention juu yako na kisha wafikiwe na injili ya kweli isiyogoshiwa ktk majira haya ya hatari na siku za mwisho. Gosbert Mungu akutumie zaidi na zaidi.
@zachbula62410 күн бұрын
Goodluck ninakuombea neema ya MUNGU izidi kwako... Wewe ni chombo cha BWANA hakika chombo cha BWANA hakiwezi kuaibika.. kitapitia mengi lakini hakita angamia... Endelea na MUNGU akufanikishe amen.
@miriamkidulile828210 күн бұрын
Mtumishi Gooluck, nakuelewa sana. Ni watu wa rohoni tu ndiyo watakuelewa. MUNGU aendelee kukulinda kwa ajili ya kumtumikia MUNGU sio wanadamu. Ulicho nacho ni kikubwa mbele za MUNGU
@carolynekioko22210 күн бұрын
Isolation Period 😔😔😔 i thank God for your Encounter with Him Goodluck. Roho wa Mungu azidi kuzungumza nawewe
@suleymanosman17889 күн бұрын
Aisee mie ni muislamu ila nimejifunza vitu vingi toka kwako God bless u bro..!
@TumainiJosephJ6 күн бұрын
Goodluck Gozbert, wewe ni ushuhuda tosha wa mabadiliko makubwa ambayo MUNGU amekusudia kuleta katika Music industry. MUNGU azidi kukuinua na kukuongoza katika njia yake. Umeongea kwa hekima na uelewa mzuri wa ulimwengu wa Roho. Be blessed 🙏🏾
@atuganilembonge6 күн бұрын
Sasa na kulewa kwamba wewe ni mtumishi yesu lnjili yako lko hai
@ArianaHosa10 күн бұрын
Nlkua nimekata tamaa leo ni jpili lkn kupitia ww mtumishi nimepata nguvu mungu akulinde ❤❤❤❤❤🙏🙏
@EdinaMwaisumo-cg3mi10 күн бұрын
Kupitia wewe nimegundua kuna wale Mungu anawatafuta na kuna wale wanaomtafuta Mungu, wewe Mungu alikutafuta my love, Usimuache Mungu wako❤
@jessicahonore10 күн бұрын
Am glad you've clarified! Na ninakuelewa by experience, na vile Mungu amenipitisha kunificha na kunifanya atakavyo,Yesu azidi kukutia nguvu katika utumishi.
@jessicahonore10 күн бұрын
As fore me,kwakua mzee G sio point of problame,na instruction ni kutokutumia,wala kumpa mwingine wala kuuza mwingine kutumia,kuheshimu protocol ya kitumishi kwa wazee wetu wa imani,ningemrudishia.all in all mwana akikuweka huru unakuwa huru kwelikweli.
@humbleshoal7 күн бұрын
@@jessicahonore Ni yake anaweza kuifanyia chochote
@jessicahonore7 күн бұрын
@@humbleshoal barikiwa
@AbdallahIddy-i8f10 күн бұрын
Mimi Muslim lakin nimemuelewa mtumish goodluck, huyu ni zaidi ya muimbaji kipo kitu zaidi ya hapo
@sostinersosten30739 күн бұрын
Ni kweli
@Manyanya85519 күн бұрын
Wewe ni muislam lkn usie jitambua
@Manyanya85519 күн бұрын
Halafu jina lako haliendani na ujinga ulionao futa hiyo posti
@petermalema57028 күн бұрын
EXACTLY
@atuhezron76288 күн бұрын
@@Manyanya8551 Kosa lake lipi
@leonardusmpanju395310 күн бұрын
Hekima ya Kimungu hii.Ufafanuzi wako uko under control ya Roho Mtakatifu.Umevipiga Vita vilivyo vizuri.Ubarkiwe sana Mtumishi.
@alicekashumba303210 күн бұрын
Oh my God...Mtumishi wa Mungu is on another Levels Aisee... powerful powerful
@yamungungendu483910 күн бұрын
yaa jamaa ameamua kuzama😂
@estherwilliam512510 күн бұрын
yani am proud of him, namuonea wivu that level
@Mimiy410 күн бұрын
So deep! nimepata nalia machozii😭👏its not him talking..Roho anaongea ndani yake..2025 Mungu ana expose vya Giza na kuonyeshana vyake!Kama hujasoma Chochote kwa haya mazungumzo unashida!Tumtafute Mungu❤
@mordekaimsenga944710 күн бұрын
Mungu anisamehe niliwaza na kusupport nisicho kijua😢 MUNGU akutunze zaidi
@AtuganileGodson10 күн бұрын
Ameni
@givenessdavid37439 күн бұрын
Mungu anisamehe pia kwakweli
@Bashdweezy9 күн бұрын
Mwenye Macho ya kiroho ataelewa haya na si mwenye macho ya Mwili.. Ubarikiwe Goodluck Gozbert kwa mafundisho mazuri sana🙏🏻🙏🏻
@ELIREHEMADANIELKISSUU10 күн бұрын
Uko sawa bro, naamini umesoma huu mstari na ukaamua kusafisha kituo chako, Kum 23:14 SUV [14] kwa kuwa BWANA. Mungu wako, yuatembea katika kituo akuokoe, na kukutolea adui zako mbele yako; kwa hiyo na kiwe kitakatifu kituo chako; asije akaona kitu kwako kisichokuwa safi, akageuka na kukuacha. Kuchagua kuachwa na Mungu ndio kukosa hekima, hii ulofanya ni kwamba no matter what umeamua Mungu awe best yako.Bigup
@LuciaMwashala10 күн бұрын
Aisee hili ni darasa tosha! Mwenye akili na hafahamu😢🙏🏽
@Kibaadvocate10 күн бұрын
Ni zaidi ya ibada
@husseinshabani952210 күн бұрын
Mi nimeacha kazi kabisa namsikiliza pat 1 nimemaliza sahii pat 2....Namsubiri kama kuna pat Nyingine...kunayakujifunza ndani yake.
@maamercy10 күн бұрын
I see a pastor in you. May the Lord birth that which He wants in you in His due time. Kenya loves you bro.
@WillfineMideva9 күн бұрын
Ni kweli mtu akitubu kila kitu kina rudishwa watu wa Mungu hawatuambi kweli huyu hajasema uongo....❤❤
@lamekelandry69438 күн бұрын
Wenzangu wa konko , kama mume muelewa goodluck basi tujiwane kwa macopa , natuombeye inchi yetu ya Congo 🇨🇩🇨🇩 kwa vita tunayo pitiya
@AmosSniper10 күн бұрын
Huyu dogo hakuna anachosema kw kuongopa! Amekua na muona namfahamu toka anazaliwa huyu ni mdogo wngu' wamtaa Mmoja.. Dogo siyo mgomvi, siyo mbishi, na dogo amekua katka kumcha Mungu, pale Kona ya bwiru Kuna kanisa pale Pabtist,, Dogo rngu Big-up sana! Najina lake halisi anajulikana kw Babuu...
@RehemajuliusJulius10 күн бұрын
Ni kweli kabisa
@annapallangyo643510 күн бұрын
Hv Kona ya bwiru ni kule unaingilia buzuruga unapandisha then utapita hyo Kona na kushukia national? Ile Kona ndo ya bwiru or
@shadyashaaban675710 күн бұрын
@@annapallangyo6435Kona ya bwiru ni hii barabara ya kwenda airport yaan ukitoka rockcity mall kwa mbele kdg tu ndo Kona ya bwiru
@feyxalbarry459510 күн бұрын
Asa mbona anaongea kma mmasai kwani ni mmasai huyu@@shadyashaaban6757
@tambwesamueltambwe93310 күн бұрын
Kuwa na heshima kwa watumishi wa Mungu wewe sio dogo yako
@marthaigogo1810 күн бұрын
"Kama Mtu Anaplan kuiba Nyota Yangu IBA, Tutatumia ya YESU KRISTO". TUTUBU TUMRUDIE MUNGU TUWE VIUMBE VIPYA. VERYYYYYYYYYYYYY POWERFUL.🙌
@KyaruziInvestment-te6jr10 күн бұрын
Ameeen
@janethjosephat69869 күн бұрын
Sooooooooo powerful 🙏🙏🙏🙏🙏
@victoriajanira66689 күн бұрын
Wise man
@EsterNdaru9 күн бұрын
Tukitubu na kumrudia Mwenye MUNGU wa kweli hakuna hata mtu wala miungu yeyote ya kuchuka nyota zetu wakija wanakutana na moto wa YESU Kristo usiozimika milele
@chrisscollinsshao286210 күн бұрын
Mungu akutangulie kwenye hii new season Goodluck. Kuna namna unaongea kwa mamlaka hadi mtu anaogopa. Mungu amekuchagua tena kwa ajili ya wengi. UBARIKIWE SANA
@ruthaloyce10129 күн бұрын
Mungu amekutengeneza rafikiangu, umekua, unazungumza kikubwa Sana, hongera kwa hatua, Mungu aendelee kuwa upande wako❤❤🎉🎉
@emmanuelenock45318 күн бұрын
Miaka yote nlikua sikujui na nlikua nakuchukulia kawaida..ila leo nimejifunza mengi sana kupitia hii interview...ni ndefu ila haijachosha kusikiliza yote..kweli roho ya Mungu yuko pamoja nawe.. endelea kumtumikia Mungu na atakuinua sana...an Ace that i can take home is that we need to understand Jesus deeply and not just a name..
@TithoYesse10 күн бұрын
UR GOING TO BE A PASTOR in the name of JESUS, umenihubiria kwenye interview ad nimeamin upya be blessed
@wemachristian28610 күн бұрын
Hakikaa
@rommyleen740010 күн бұрын
He is already
@yasinimmbaga106110 күн бұрын
For sure, upo sahihi
@ashurahaji479410 күн бұрын
Wanaomjua mungu ndio wanamuelewa sana
@victormkello957510 күн бұрын
Exactly
@MariamuMamu10 күн бұрын
✍️
@officialmanlove860510 күн бұрын
True
@JudithAlly10 күн бұрын
Sure
@RuthMalomo-p5e10 күн бұрын
Kweli
@mathiaslyamunda252610 күн бұрын
Hiki ndo nilikuwa nakutegemea kutoka kwa Goodluck siyo mambo ya kuibiwa nyota.
@NaomiFahari10 күн бұрын
Kabisaa yupo really sana kwakwel ametufungua macho sisi tuliokuwa hatujui MUNGU am,bariki sana huyu Kaka kwakwel
@watchmansix9 күн бұрын
Zek 3:2 "...Je hiki si kinga kilichotolewa motoni" Namtukuza Mungu kwa madarasa aliyokupitisha na jinsi yalivyokutengeneza. Jina la Bwana lizidi kubarikiwa 🙏🏾
@asuminimtulia5688 күн бұрын
Tunakataa premature death kwa jina la Yesu,hatutakufa mpk tuyasimulie matendo Ya BWANA👋
@Officialrockboy5 күн бұрын
Ameen❤
@IreneJohn-i5y5 күн бұрын
Amen
@Kavuluku10 күн бұрын
This brother is clearly well-grounded in scripture contrary to what we have heard of him. Keep seeking Him, brother!
@semwandambaza10 күн бұрын
Nimekuelewa mtumishi🙏...hata wote wasimame kinyume na wewe mimi Niko upande wako Gozbert! YESU KRISTO akutunze baba🙏
@RichardOsward-w4j10 күн бұрын
Interview yako ni ushuhuda na kwa aliye kusikiliza kwa umakini ninauhakika Mungu amepanda kitu chema ndani ya moyo wake. Binafsi interview yako/mahubiri yako yamenifungua. Amen
@esthernthenya46904 күн бұрын
The God who delivered Daniel from the burning fire He has already delivered you fro the enemy...we love you from Nairobi Kenya
@gladyassey98979 күн бұрын
Mungu akubariki sana mnoo umeniongezea kitu kikubwa mnoo barikiwa sana mtumishi wa Mungu @Goodluck
@josephinemuhonja281210 күн бұрын
Kama hujajua njia za Mungu huwezi kumwelewa mtumishi anachokisema. More grace unto you.
@elibarikielikana182410 күн бұрын
Hakika nakosa la kusema Mtumishi Damu ya Yesu tu izidi kunena mema kila siku💯🙏
@shukuranikenneth-mw3ne10 күн бұрын
Umenifundisha kumuuliza Mungu kuhusu maisha yangu tunapambana hatuoni matokeo 😢😢😢😢😢😢😢😢
@JASTINSEZA10 күн бұрын
Kabisa
@DeniceDeogratius10 күн бұрын
Hakika
@WiselightOfficial10 күн бұрын
Kbisaaa😢
@AwardHakimu10 күн бұрын
Hilo ndio la msingi
@tracejeezy891710 күн бұрын
Humu humu katoa jibu kuwa lazima kufanya Toba ku restore + kufanya kazi kwa bidii na juhudi then kusubiri majira na nyakati ambayo Neema ama Bahati ya Mungu ikupitie.
@samuelndungu10199 күн бұрын
"Wachukue nyota, ntatumia ya Yesu"...this will keep me going the whole year knowing that everything is under the power of Christ 💗💯🙏,..God grant us the power of discernment coz where we have reach in this world it's a big war with principalities and spirituality💯
@happynessjames54049 күн бұрын
Nimejifunza..kuitii sauti ya Mungu, no matter how it looks katika hali ya kibinadamu, and hakuna haja ya kusubiri Mungu ajieleze why ufanye hayo anayoelekeza
@Saidi-lx5sh10 күн бұрын
Kama unamkubalia Godluck gong like apa
@Saidi-lx5sh10 күн бұрын
❤
@aikamasawe813310 күн бұрын
Nimejifunza kuisikiliza sauti ya Mungu si rahisi sana, kama tunavyofikiri kibinamu ni gharama kubwa na wanadamu wengi ni ngumu sana kuisikia na kutii. Hongera sana Goodluck!! Mungu atusaidie wote tuisikie sauti yake. Sauti ni nyingi ila sikiliza sauti ya Bwana Mungu wako.
@davidgodfrey96410 күн бұрын
“Msiba wangu Rais atakayekuwa madarakani wakati huo ndiye atakayeutangaza” oh hallelujah masuta sakaya i feel like praying in tounges right there uhhh preach preach preach MOG
@berthaxiacharles22159 күн бұрын
Nmepata kitu kikubwa sana kupitia hii interview…asante Mungu 🙏🏻🙏🏻
@stephenmwanzake4 күн бұрын
Amka uangaze❤! Kaka zidi na mbele!
@gracemkanta73810 күн бұрын
You are very deep servant of God, Mungu azidi kukupandisha na kukupa ulinzi wake. Nimepata majibu yoooote na ya ziada pia, Be Blessed.
@AngelMrosso-o6w10 күн бұрын
Daah pole sana Kaka kwa kipindi ulichopitia. This interview ni somo tosha katika maishi. This is really happening in life.
@shukraninzowa531510 күн бұрын
Mtumishi wa Mungu wew ni zaid ya muimbaji mi naona karama zaid ya uimbaji ndani yako Mungu akuinuee sanaa wew sio wa kawaida ongea yako tuu ina mungu ndani sauti yako tuu imejaa Roho mtakatifu Mungu aongezekee sana kwako
@MenaAnduto-d5v9 күн бұрын
Huu ni zaidi yaufunuo namuona mungu live ndani mwimbaji mungu anatupenda anatakatuludikwake
@Brainer5510 күн бұрын
Mungu zaidi kukupa nguvu my brother! Vita hii umeshinda
@shericktv50910 күн бұрын
Kuskiliza hii interview ni sawa na kwenda kanisani miez3 mfululizo....
@marymlowe527010 күн бұрын
😅
@tatuisihaka632010 күн бұрын
😂😂
@zennahmtoto186710 күн бұрын
Nikweli😂
@AbuuuMwambus10 күн бұрын
😂😂😂😂 kbisaa
@SOPHIAJOVIN-o9w10 күн бұрын
uko sawa kabisa
@aishaa293010 күн бұрын
Haya anayo pitia Leo kaka yetu ni kama aliyopitia mama yetu rose muhamdo hawa meneja Wanashida sana
@sgjjkwbueow9 күн бұрын
Washirikina sana
@ammackdy183610 күн бұрын
Sijaenda kanisan but this it's more than I've attended to church, thanks soo much 🤗
@JuliusYona-j8f9 күн бұрын
Brother, Mungu akuinue sana. Nakubali unampenda huyu ,,,, "MIMI NIKO AMBAYE NIKO"
@RabaniRamadhani9 күн бұрын
Huyu ana kipawa cha uimbaji lakini pia ana kipawa cha uchungajii mungu ambaliki sana goodluck
@MwenyaFX10 күн бұрын
Eeh Mungu naomba unitengeneze kama huyu mtumishi wako Goodluck. The way alivyo sasa siyo kama mwanzo, amekuwa wa rohoni sana kila analoongea ndani yake kuna uhai unatoka. Ee baba naomba uniinue na mm🙏. All in all nimejifunza mengi sana, nahitaji kukaa chini na Mungu na kujenga mahusiano bora na Mungu. Kupitia hapo, Mungu atanifunulia yale yasionekana kwa macho ya nyama. Kuondoa kamba za ukoo na vizazi na vizazi. Mungu akubariki sana kaka Goodluck. Hii video kwangu ni mahubiri tosha.
@ThadieIsisa10 күн бұрын
Amen 🙏 🙏 🙏 🙏
@Olsabo10 күн бұрын
Amen
@sekelaisrael767510 күн бұрын
Amen
@jeniphabutondo144810 күн бұрын
Ukitaka Mungu akuinue kama yeye ...je wataka akupitishe kwenye mapito yake aliyo pitiable?? Omba Mungu akuinue kama apendavyo yeye na akupe kuliishi kusudi lako la kuwepo hapa duniani.
@MonicaRayase10 күн бұрын
Hii sio interview bali ni Ministry,hakika nimejifunza , Mungu atusaidie na kuturehemu tusiwe tunahukumu
@grolyqueen583310 күн бұрын
Unajua ata ukimwangalia godluck kabisa now anaonekan ni mtumish wa Mungu ukitofautisha na interview zake za nyuma
@elers-d5q8 күн бұрын
I love the fact that your pride is in the WORD.keep pushing Brother the joy of the LORD is your strength.see you at the top
@Soccereditzz12344 күн бұрын
My brother you’re blessed. May God continue to increase and strengthen you, and may He cause His grace, mercy, and peace to abound to you yet more and more. Our God is faithful.