GPS: AFYA ya BIDEN yawa GUMZO! Kuna wakati DATA zinaonekana kupotea! Atamuweza TRUMP?

  Рет қаралды 16,059

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Пікірлер: 144
@BakarAlshiraziy
@BakarAlshiraziy 4 ай бұрын
Hii ni CNN ya Africa hongereni Sana SNS kwa uchambuzi wa kina kwa kweli unastahili pongezi na kupewa tunzo 😊😊😊😊😊❤❤❤❤
@magzeeee
@magzeeee 4 ай бұрын
Cnn ni tusi asee...wale jamaa wapo biased sana
@aminaali792
@aminaali792 4 ай бұрын
Yaani tuna enjoy sana kuskiliza SNS Asanteni sana Allah awabarik muko juu Love from UK 🤍🤍🤍
@AliNassor-qt6fm
@AliNassor-qt6fm 4 ай бұрын
Afe tu akalipwe alichokivuna mana anahusika umwagaji wa damu za wa watu, Laana ya Allah ( sw) amshukie
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu 4 ай бұрын
Hizi mbiringe zote ni mungu anaonyesha kuwa hakuna mtu mwenye uwezo wakushindana na uwezo wake,na hayo ni matokeo ya damu za watu na dhulma walizofanya kama NCHI Kabla na baada ya uraisi wake
@Visionofeagle9689
@Visionofeagle9689 4 ай бұрын
Mungu sio mungu.
@MichaelMathew-j3f
@MichaelMathew-j3f 4 ай бұрын
Hahahahahahahaha
@kamanapomo7029
@kamanapomo7029 4 ай бұрын
​@@Visionofeagle9689MUNGU
@swalehejuma6611
@swalehejuma6611 4 ай бұрын
Damu za watu haziendi bure
@Shafikimanga7
@Shafikimanga7 4 ай бұрын
Mwinyi wetu kafa na tisini na kidogo tuu iwe mia ila kafa anakumbukumbu. Mungu walinde viongozi wetu
@juliusnyerere5393
@juliusnyerere5393 4 ай бұрын
Nakuwaminini Sana kuliko online TV yoyote ile hapo Tanzania bug up brothers. Mtafika Kileleni tu inshallah
@EliaPastori
@EliaPastori 4 ай бұрын
Kweli kabisa kazeeka cn
@brianbaltazar6198
@brianbaltazar6198 4 ай бұрын
Uchambuzi mzuri sana
@SimuliziNaSauti
@SimuliziNaSauti 4 ай бұрын
Asante sana
@patienceamuri3588
@patienceamuri3588 4 ай бұрын
From USA huo nawapata vizuri Kila siku
@MAHAN-SMART
@MAHAN-SMART 4 ай бұрын
Ukafika mda wake na yeye ataondoka kama anavoshadidia wenzake wafe kwa kuchochea vita kila pahali
@surusuru1994
@surusuru1994 4 ай бұрын
Wazee wakirangi wapo Good mno babu yangu 10 nazaidi ana tebea anaona kwaza liishe yao original hakuna poobe Dj sumaa penda tena hapo unapogusea dini wallah allah akusemamie one
@GraceMashinga-be9wb
@GraceMashinga-be9wb 4 ай бұрын
Kubwa sana
@ngendakumanajeanmarrie7490
@ngendakumanajeanmarrie7490 4 ай бұрын
Huyo mzee amechapa aende kulea wajukuu mambo yakugombea urais hawezi atakufia madhalakani😂😂😂
@وزيرهالوزير-ذ8س
@وزيرهالوزير-ذ8س 4 ай бұрын
Yess
@KuwakuMalumba6895
@KuwakuMalumba6895 4 ай бұрын
Sisi kwetu Burundi 🇧🇮 tuna hishi mwaka mingi😊 kila Sunday warundi wengi tuna kimbiya kufaya exercise😊 asilimiya kubwa tuko ivo! Naki gine Sugar kwetu Burundi 🇧🇮 ni big deal now😊 Sukari sio zuri ata kidogo😊 labuda beers 🍻 na beers 🍺 nita tizo la Africa kama yote😊 mwili ni lifestyle kwaza 😊 na mengine family una toka ndani😊👊🏿🫵🏿🇧🇮🇨🇩🇹🇿
@hirsirashid3741
@hirsirashid3741 4 ай бұрын
ni mzee sana
@mathiaslaurent756
@mathiaslaurent756 4 ай бұрын
Ukitaka kujua wanyaturu wanaishi miaka mingi ingia ndani ndani kugonga Miaka mia ni kawaida sana unakuta bado wako fiti, na singida Kwa sasa ndio ina wazee wengi sana!
@GonaNzaro
@GonaNzaro 4 ай бұрын
Robot la marekani
@saimonifredi4653
@saimonifredi4653 4 ай бұрын
Mwaisa achana nae.....wazee wa ndizi parachichi na maziwa mgando
@zayumar2955
@zayumar2955 4 ай бұрын
Na bado Shenzi kabisa Mungu atamlipa kwa uovu wake dhidi ya viumbe wadhaifu
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 4 ай бұрын
Uzee bwana.yaani Mungu bwana
@peterilimwa5754
@peterilimwa5754 4 ай бұрын
I sallut u guys
@allykwaya
@allykwaya 4 ай бұрын
Ally masubi umesema kweli. Warangi Mti mkavu.
@evansogutu4167
@evansogutu4167 4 ай бұрын
Uku Kenya wakamba Na wataita hawazeeki
@musashaban4309
@musashaban4309 4 ай бұрын
Waha wagumu kuzeeka
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 4 ай бұрын
Robot itakua marekan hamna Rais
@MichaelMathew-j3f
@MichaelMathew-j3f 4 ай бұрын
Ni mzee sana!! Tumwombee tu!! Tusijenge chuki, visasi juu ya huyu mtu au juu ya hili taifa la marekani. Biblia inasema hivi, kisasi ni juu yangu asema Bwana, mimi nitalipa, ipisheni ghadhabu ya Mungu. Warumi 12:17-21. Uushinde ubaya kwa wema. Kwahiyo wapendwa, Mungu atamhukumu kwa yote aliyowatendea watu wengine. Ahsante.
@Gulfnas1
@Gulfnas1 4 ай бұрын
Nikijatahidi sana sintomuombea kitu, ila kiuhalisia mungu amjaalie awe miongoni mwa makaa ya moto wa jahanam
@ramamabinda5063
@ramamabinda5063 4 ай бұрын
Baba kazeeka kuliko babu yangu. Baba ana miaka 86 na babu yangu ana miaka zaidi ya 110.
@Visionofeagle9689
@Visionofeagle9689 4 ай бұрын
😂
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 4 ай бұрын
Ukiangalia sababu inaweza kuwa ni nini?
@KassimKhalaid
@KassimKhalaid 4 ай бұрын
Atoke aende tu shenzi kabisa muuwaji
@fidelismasaka2735
@fidelismasaka2735 4 ай бұрын
Trump yuko vizury kwenye commenteg siasa
@JansanMokiwa
@JansanMokiwa 4 ай бұрын
Ngoja apite uchaguzi ujao ndio mtaona akijikojolea kwenye mikutano live 😂😂😂
@gfvh7282
@gfvh7282 4 ай бұрын
Ahhh😂😂😂
@hamidyakoub6865
@hamidyakoub6865 4 ай бұрын
😂😂😂kama robot flan la kidudu
@gfvh7282
@gfvh7282 4 ай бұрын
Da😂😂😂
@azizayassin3623
@azizayassin3623 4 ай бұрын
Amejinyea kila mtu amesema😂😂😂😂😂😂😢
@jeilanikhamisi
@jeilanikhamisi 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@Pedeshee01
@Pedeshee01 4 ай бұрын
Baby aziza🙈🙈hawa democratic hawajitaki yaani mzee hata hajiwezi eti wamemuweka agombee minne tena,wanampa njia nyeupe trump kwenda ikulu
@Is-hakaAbdallah
@Is-hakaAbdallah 4 ай бұрын
Waruguru
@awadhisarai4331
@awadhisarai4331 4 ай бұрын
Wamasaai
@EliaPastori
@EliaPastori 4 ай бұрын
Wasukuma mti mkavu ilawakijijini
@SalumMajorhood
@SalumMajorhood 4 ай бұрын
Dj sma amefanana na van disel
@ngendakumanajeanmarrie7490
@ngendakumanajeanmarrie7490 4 ай бұрын
Babu apumzike imetosha
@hamzaally2283
@hamzaally2283 4 ай бұрын
WAHA wagum sana hawa😂😂
@MoosaMoosaaltoby
@MoosaMoosaaltoby 4 ай бұрын
Wanyaturu ndio watu wapo fit
@MustafaChinanda
@MustafaChinanda 4 ай бұрын
K😂😂😂 vita inatisha putin kamchanganya mwezake
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 4 ай бұрын
✌️👍👊.
@ezrahaloyce1230
@ezrahaloyce1230 4 ай бұрын
Eeeh😂
@duhuzebosco6207
@duhuzebosco6207 4 ай бұрын
Makonde makonde
@Fadhilimwamlima
@Fadhilimwamlima 4 ай бұрын
Umri nawo tatizo
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu 4 ай бұрын
Singida ASILIMIA KUBWA wanakula mwakula vya asili hasa mafuta ya kula ,lakini pia asililimia kubwa wanalala saa mbili umezidi sana saa tatu washalala labda wazee town baadhi Yao kidogo
@happymrema7487
@happymrema7487 4 ай бұрын
Mmmm amekat tear
@giztony2009
@giztony2009 3 ай бұрын
Waha ni hatari hawazeekii
@mtoobebe5778
@mtoobebe5778 4 ай бұрын
Wa furero wa kongo the don't old so easy
@hamicpina1151
@hamicpina1151 4 ай бұрын
Dj smaa towa sns zako peke Yako apo haponogi bana ni xtory tuu ukiwa peke Yako unachimba down
@MustafaChinanda
@MustafaChinanda 4 ай бұрын
😂😂😂😂 ana skrach
@hamisihasan2865
@hamisihasan2865 3 ай бұрын
Waparee😂😂
@mumyhendry2919
@mumyhendry2919 4 ай бұрын
Wachaga mtu mkavuuuuuuu😂😂😂😂
@animalchannel296
@animalchannel296 4 ай бұрын
wazee wa kirangi hawaishagi nguvu
@hemedisufiani3219
@hemedisufiani3219 4 ай бұрын
Kauwa watu wengi ndo maaaana wenge linamwingia kila wakati mizimu kila wakati inamjia akiona mzimu kama yuko kwenye kikao kuna hali inamkuta
@MaeBuromera
@MaeBuromera 4 ай бұрын
Waha na wasukuma niwagum kuzeheka
@joshuanjau3429
@joshuanjau3429 4 ай бұрын
Wasandaweé na wanyaturuu
@petrokayanda5361
@petrokayanda5361 4 ай бұрын
Wanyiraba Kuna babu wa miaka 100 anakata mti na shoka mm kijana wamiaka 15 sikuweza ilikua mwaka 2010
@MuzafarSaid-k8w
@MuzafarSaid-k8w 4 ай бұрын
Wazanzibari peke yao ndo mti mkavu..yani kiufupi watu wanaoishi sehemu za visiwa hawazeeki haraka.maumbo yao Ni madogo lkn Wana miaka mingi,km wazanzibari..
@nyanyambuli8101
@nyanyambuli8101 4 ай бұрын
Kama hizo zimetengenezwa walete original
@MohammedBwanga
@MohammedBwanga 4 ай бұрын
Sky me nnahisi itawezekana serikali ya marekani wataweza wakatengeneza debate ila itakuwa recoded km debate itakuwa nzuri kw biden after wataitoa km live.ila muda utaongea.
@BONGOINMOTION
@BONGOINMOTION 4 ай бұрын
Fitness inaanzia kwenye genetic make up then environment ko it is possible kuwatofauti hata mkizaliwa pacha.
@BONGOINMOTION
@BONGOINMOTION 4 ай бұрын
Wafipa hawazeeki mapema ukimuona Mzee jua ana number ya kutosha
@JoachimFrancis-jm4xi
@JoachimFrancis-jm4xi 4 ай бұрын
Dj Sma mzee wa facts and logic 😊😊😊Muongo huyo jamaa 😂😂😂😂😂
@RaymondPaul-bs7su
@RaymondPaul-bs7su 4 ай бұрын
Sawaa basi thibitisha kauli yako tuamini
@BeatriceKalembwane
@BeatriceKalembwane 4 ай бұрын
Huyu inawezekana ni Cloned au robot bhana
@saidkhatib9146
@saidkhatib9146 4 ай бұрын
Maiti inayotembea
@allykwaya
@allykwaya 4 ай бұрын
Wasukuma lainilaini
@MOSESIMCHUNGUZI
@MOSESIMCHUNGUZI 4 ай бұрын
Hapo kwenye afya mnafeli,anaejua hatma ya afya yamtu nimungu,jikiteni kwenye uchambuzi muhimu
@saimonifredi4653
@saimonifredi4653 4 ай бұрын
We ni kichwa kibovu, hujui unachozungumza
@IdrissuHassan
@IdrissuHassan 4 ай бұрын
Anaigiza bana, mbona mkutano wa G7 alkua mzima kbs na hapajapita muda
@selemanmussa3459
@selemanmussa3459 4 ай бұрын
Umri ukisogea hicho ni kitu cha kawaida, sasa mnataka mzee awe na akili zilezile kama alivyokuwa kijana? na waliomuweka wanajua wanao uwezo wa kum control coz huyo hata akiambiwa dk mbili kesha sahau...
@afromixstudios
@afromixstudios 4 ай бұрын
Mi nna wasiwasi kuwa huyu sio mtu
@joselynesango4430
@joselynesango4430 4 ай бұрын
waganda hawazekagi mbiyo
@daslamonline4665
@daslamonline4665 4 ай бұрын
Kwisha khabari
@leahmgunda4154
@leahmgunda4154 4 ай бұрын
Nebukadreza amerejea.
@paschalsafari9747
@paschalsafari9747 4 ай бұрын
😂😂
@WilliamLuvanda
@WilliamLuvanda 4 ай бұрын
UNAJUA UKIANGALIA AKIVY BIDEN N KM LOWASSA EB ANGALIA VIZUR
@YusuphRashidi-b1j
@YusuphRashidi-b1j 4 ай бұрын
Amerogwa waparesna
@aliomarali8890
@aliomarali8890 4 ай бұрын
on my side I think putin yupo phisical zaid kuliko trump but issue ni behavior zao trump ni mchangamfu sana but putin ni mpole na mwenye akili nyingi hususan on decision making
@yordanyona1234
@yordanyona1234 4 ай бұрын
Hata Trump yupo Smart sana japo Putin amezid uwezo
@sylvestermalelo9719
@sylvestermalelo9719 4 ай бұрын
He's old enough. Wamwache apumzike.
@Evance-d1n
@Evance-d1n 4 ай бұрын
Wapare
@JaphetJairos-n4l
@JaphetJairos-n4l 4 ай бұрын
Wazalamo mpo jaman lain sana
@azizayassin3623
@azizayassin3623 4 ай бұрын
Hyu n zombiiii😂😂😂😂😂
@Yayouselim
@Yayouselim 4 ай бұрын
Al😂😂😂😂 Ali pooop😅😅😅😅😅
@Mohamedmustafa-z9t
@Mohamedmustafa-z9t 4 ай бұрын
kama video hizo zimetengenezwa basi wa waonyeshe video zilizo halisia. Issue ya kuzeeka haraka NA kutokuzeeka inategemea NA udongo WA mtu alioumbwa nao . mambo ya unajimu au nyota ya MTU. Lakini vilevile MTU anayenyonya maziwa ya mama Kwa muda mrefu zaidi anayo chance ya kuishi umri mrefu zaidi.
@DullaJonson-dw4vy
@DullaJonson-dw4vy 4 ай бұрын
mm naomba biden apite mana ntakosa kucheka
@Gulfnas1
@Gulfnas1 4 ай бұрын
Hakuna mtuu humo ni picha #Biden
@evansogutu4167
@evansogutu4167 4 ай бұрын
Uki mtaani kuna wazee wanamiaka kibao na hawana tabia za Biden
@husseinhemedi9314
@husseinhemedi9314 4 ай бұрын
#Wasambaa hawazeek haraka
@asyajey3479
@asyajey3479 4 ай бұрын
Warangi watu wakondoa na wanyaturu singida hawa watu mfupa mgumu😂
@Calis2451
@Calis2451 4 ай бұрын
Barr in mind i see america in yhe hand of mamas raris or hilary clinton posible micheal obama
@sammy-b6281
@sammy-b6281 4 ай бұрын
Waha😂
@jkifutu7936
@jkifutu7936 4 ай бұрын
Wazaramo
@kingpunzy194
@kingpunzy194 4 ай бұрын
Bro joe is run by Intel Celeron.
@Jibambeshow254k
@Jibambeshow254k 4 ай бұрын
Ndio maana anawatimikiaha Israel kuwauwa wengine kule Gaza hakilizake haziposawa 😂😂ye bora apeane makombora yakuwalipua wapalestina
@ayoubali-x6n
@ayoubali-x6n 4 ай бұрын
SMAA VP UMEPGA CHA ARUSHA AU NI HOMA
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 4 ай бұрын
Bola wamuweke mke wa Obama ...atashinda kwakishindo..mke wa Obama..juu juu
@THEQUILLSTORY
@THEQUILLSTORY 3 ай бұрын
MBONA KAMA NI ROBOTI AMA PENGINE IYO NI AI SII YEYE MAAK TECHNOLOGY TODAY IKO FAR SAAN
@ameirzapy1318
@ameirzapy1318 4 ай бұрын
Nahic ni mbinu tu maana uchaguzi ni vita 😂, trump akija kwenye mdahalo ajiangalie sanaa, suprise inakuja
@Grataaaaa
@Grataaaaa 4 ай бұрын
Dj smaa bora towa sns zako apo hapana jipya
@missp1814
@missp1814 4 ай бұрын
huyu Biden usikute anatumia ngada,maana ni mzee ndio ila tabia zake hazilingani na uzee wake dishi limeyumbaaaaa😂😂
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 4 ай бұрын
Uzuri kwa Marekani, Rais ni pambo tu Kuna wazalendo wa nchi ndo wanaongoza hio nchi Kuna CIA(nje ya mipaka), Kuna FBI(Ndani ya mipaka), na vyombo vingine vya usalama.Ila angekuwa huku nchi zetu ambazo rais ndo kila kitu na neno lake ndo Sheria basi Hali ingekuwa hatari sana tena sana.
REAL 3D brush can draw grass Life Hack #shorts #lifehacks
00:42
MrMaximus
Рет қаралды 11 МЛН
小天使和小丑太会演了!#小丑#天使#家庭#搞笑
00:25
家庭搞笑日记
Рет қаралды 59 МЛН
А что бы ты сделал? @LimbLossBoss
00:17
История одного вокалиста
Рет қаралды 9 МЛН
The Invasion Russia Doesn’t Want You to Know About
26:09
Johnny Harris
Рет қаралды 2,2 МЛН
We Might Find Alien Life In 7 Years
17:55
Veritasium
Рет қаралды 1,9 МЛН
Do we really need NPUs now?
15:30
TechAltar
Рет қаралды 669 М.
REAL 3D brush can draw grass Life Hack #shorts #lifehacks
00:42
MrMaximus
Рет қаралды 11 МЛН