GPS: Miili ya Mateka 6 yapatikana GAZA, Israel yaandamana kupinga VITA, Netanyahu hali ni ngumu

  Рет қаралды 16,450

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Пікірлер: 149
@fahmanalbulushi2925
@fahmanalbulushi2925 2 ай бұрын
Shukran Sana sky hii ndio GPS na nashkuru umetuelewa Sana Wana GPS nini tunataka Ali, smaa na Henry keep up what you are doing we read you from your intelligences
@paytone5219
@paytone5219 2 ай бұрын
Young boys, Big brains🤩 Big up SNS for informing us.
@rogerioibraim8527
@rogerioibraim8527 2 ай бұрын
Hamas wana mkakati wa hali ya juu sema GPS tunaitaji kujuwa Israel imeshapoteza wanajeshi wagapi sababu mídia za magharibi awasemi ndiomana tumeamuwa kusapoti GPS like hapa na comentes kama munaugana na mm🇲🇿
@HusseinAli-g9w
@HusseinAli-g9w 2 ай бұрын
Naangalia kutoka zanzibar nipo maeneo ya miembeni mjini big up sana GPS SNS Mko vizuri dj smaa lete madini 🙏🙏
@brianbaltazar6198
@brianbaltazar6198 2 ай бұрын
Big up sana GPS Big up sana SNS
@ReyzDon
@ReyzDon 2 ай бұрын
Ali nakubali sana
@AhmedAhmed-z6m7t
@AhmedAhmed-z6m7t 2 ай бұрын
Ali Masubi ni Geneous hongera sana
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 2 ай бұрын
Binafsi nimewaelewa saaana uchambuzi mnzuri na wa kina lakini pia kwa kauli za Mr. Lavlovy kutoka Russia ni dhahili shahili Netanyahu amejichanganya Hezbollah wamezidi kupata support kubwa kutoka mataifa hasimu wa Israel na U.S hari itakuwa mbaya saana hapo Israel
@MAHAN-SMART
@MAHAN-SMART 2 ай бұрын
#GPS our lovely program 🔥🔥🔥🔥💯💯💯💯
@mussasaid5572
@mussasaid5572 2 ай бұрын
Nawakubali sana wazee keep it up
@adolfmatta7792
@adolfmatta7792 2 ай бұрын
nyakati zinakwenda sana mm namani marekani na washirika wake watadondoka vbaya sana
@charlesmtesigwa2923
@charlesmtesigwa2923 2 ай бұрын
Utakufa utawaacha relax
@MikelSitoe
@MikelSitoe 2 ай бұрын
Kwani katika maisha yako kuna siku wewe ulikwa una subiria vita yikali katika Rashia na mamarikani?
@MikelSitoe
@MikelSitoe 2 ай бұрын
Kama Dunia ina mwisho kwa nini Hao wasiwe na mwisho
@victorngulwa2311
@victorngulwa2311 2 ай бұрын
Hahahah utandondoka ww
@radjabusuleiman6486
@radjabusuleiman6486 2 ай бұрын
Roma ilianguka, Uingereza ilianguka, Germany ilianguka, Ufaransa ilianguka, Soviet union ilianguka, sembuse America, kwa sasa China ndio inaenda kushikilia mpini.
@ManusuraWalumona
@ManusuraWalumona 2 ай бұрын
Tim ya taifa mnapo keti pamoja aaaa hapo bwana kuna jambo zito nawapendeni sana tim yangu❤❤mnajaribu kutoa ya maana
@YussufMohd-fc1dj
@YussufMohd-fc1dj 2 ай бұрын
xhukurn
@husseinmassawa7186
@husseinmassawa7186 2 ай бұрын
Let's go GpS
@toyikudratullah1466
@toyikudratullah1466 2 ай бұрын
Iyi team busara san nyote mpo saw san san sio wakina mwinjaku eti kusafirisafiri njo bora taaluma katika inci zetu hizi za africa tukachote elimu huko kwao ili tuje tujitawale njo uwanaume huyoo muchezo na hanasa ni siasa tu ya kimagaribi ila point kubwa vipindi km hivi nimuhimu san san ((mebdeleo sio michezo tu ao hanasa bali intelijencia njo kitu muhimu.))🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@Binzakaria5
@Binzakaria5 2 ай бұрын
Israel wameuwa watu wengi sana palestina ,wakiuliwa watu wao wachache inawauma
@KabwariHassani
@KabwariHassani 2 ай бұрын
Allah aliwalani akawapa adhabu ya kuwa sambaza hawana ichi kuna myahudi mtanzania kuna myaudi. Msouth Africa
@ElijahOwino-xe2cd
@ElijahOwino-xe2cd 2 ай бұрын
acha porojo wewe... nchi ni ya wayahudi
@mweyoms5548
@mweyoms5548 2 ай бұрын
Sitoshangaa kama hawa nao wameuawa na IDF ili kupata 'justification' ya kuendelea na udhalimu wao kule Gaza
@hosnakamees5454
@hosnakamees5454 2 ай бұрын
Nawapenda woteh kaka zangu Ila dj simma usha oah?❤❤❤😅😅
@golebenson4597
@golebenson4597 2 ай бұрын
Ndinga limekalika🎉🎉🎉 masubi mzee wa macomboraa 😂😂
@reginamayuto1357
@reginamayuto1357 2 ай бұрын
❤❤❤❤
@rashidyshemkande8099
@rashidyshemkande8099 2 ай бұрын
Nice boys
@leeyjr1446
@leeyjr1446 2 ай бұрын
Studii yetu imewaka❤❤
@fahmanalbulushi2925
@fahmanalbulushi2925 2 ай бұрын
Mm nazani wameu wawa na hamas kama nilivyo Sema na ninavyo hisi wakipatikana Hai ni credit kwa jeshi la idf ili kuto kupata credit lazima wauwawe
@ZainaBu-zs6wc
@ZainaBu-zs6wc 2 ай бұрын
Na wanao uwa watoto na wazeee ?? Ni nani????
@KabwariHassani
@KabwariHassani 2 ай бұрын
kumbukeni kama mosati sio lolote mbele ya Allah
@williamkeita1519
@williamkeita1519 2 ай бұрын
Mungu ameruhusu maovu mengi mno juu Palestine kiasi kuna energy naiona kutoka moyon mwangu ya kukufuru kushukuuwepo wake, imagine wale hamas kiiman wao kuuwa mateka hawaui kirahis but Israeli inazid kupewa nguvu kuliko Palestine
@rajdaboy
@rajdaboy 2 ай бұрын
Pande izi za Nairobi pamoja Sana GPS
@tausikiyabo6302
@tausikiyabo6302 2 ай бұрын
Lilikuwa swala la makubaliano angalia mmewaua watu wengi wasiokuwa na hatia Gaza ili mpate mateka sasa mmepata nini,? Si aibu hii 😢😢😢
@bishweko
@bishweko 2 ай бұрын
Huenda hao mateka wamefichwa huko huko Telaviv chini 😂😂😂. Unatafuta mtu nje kumbe kafichwa kwako ndani
@AbdalallaBrahimam
@AbdalallaBrahimam 2 ай бұрын
😂😂😂yawezekana maana mabom wanayo piga huko gaza Bado hawajawakomboa
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 2 ай бұрын
DJ smart Nina kaswali kangu😊sheih wa Ivory Coast, alikuambia chonde usije ukakavua hako ka tishrt?kwenye enter view 😌😌samahani lakini King wetu
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 2 ай бұрын
Mashaaalah hamasi wana fuata Sheria ya dini kutunza mateka mateka wanakir Israel ndoo ingewaua kw maboma c Hamasi, Allah nsatara Hamasi
@omarkombo3474
@omarkombo3474 2 ай бұрын
gps for life
@husseinhemedi9314
@husseinhemedi9314 2 ай бұрын
#GPS 🔥🔥🔥🔥 Nawakubali xana hii sio media tena hii ni #ZAHABU
@jkifutu7936
@jkifutu7936 2 ай бұрын
Wana blessings
@hemedmwipopo780
@hemedmwipopo780 2 ай бұрын
Wana GPS, Kuna kitu ambacho tunatakiwa kukifahamu kuwa mateka wamekuwa mikononi mwa Hamas kwa takribani miezi 11 na kwamba mda wote huo walikuwa hai Sasa inakuwaje leo Hamas wawaue mateka!, Mimi nadhani tunatakiwa kufahamu mazingira ya upatikanaji wa hao mateka 6 je hao mateka walikuwa peke yao wakati wanaikuta hiyo Mili 6 na wameipata kwa mazingira ya amani au kwa mapambano ya mtutu wa bunduki kama kwa mtutu wa bunduki itakwepaje IDF ikwepe kwa mauaji haya ya mateka?. Kwa mtazamo wangu mateka hawa wameuawa na IDF pamoja na Wanamgambo wa Hamas. Haiwezekani Hamas kuua mateka.
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 2 ай бұрын
Nimechelewa kdgo ila dakika 55 sio nyingi, naomba, tujue hivi israel na Palestine ni ndugu, pia viongozi wa Israel na viongozi wa marekani ni ndugu, nieleweke, alafu utakuta nyang'au mmoja yuko hapa tz anamtukuza netanyahu wakati waisrael wenyewe wanamuona ni shetani asiye penda Maelewano, huko milima ya golan ndo usiseme hawapendi hata kumsikia huyo jamaa anatetea maslah yake wala sio ukanda wa mashariki ngoja siku marekani wamgeuke ndo atajua marekani inajali waisrael wala sio yeye paka huyo, alafu bundara tengua kauli Hamas sio magaidi, ntakuuliza sifa za gaidi utashindwa kunijibu kwa sababu utaona hizo sifa anazo waziri wa Israel
@nasseralhatmi1762
@nasseralhatmi1762 2 ай бұрын
Safiiiii kabisaa 💯 Ndugu yangu hawa Wazungu weusi Tanzania hata sijui wanataka nini kwa Wapalestina? Na huo Pakanyau ikiwa Waisrael wenyewe hawamtaki Vipi wewe KAFIRI JEUSIIIIII la Tanzania unamtaka? Kwa masilahi gani? Huo ndio ujinga wa Watanzania kutetea Mauaji tuuuuuuuu ya Israel
@nasseralhatmi1762
@nasseralhatmi1762 2 ай бұрын
Na wewe Bundala kwanini unawaita HAMAS Magaidi? Mpumbavu wewe KAFIRI JEUSIIIIII toka lini ukaona Mtu anaitetea Nchi yake halafu wewe unawaita HAMAS Magaidi? Nyamazaaaaa kafiri mkubwa laana tupu MPANGANI wewe Shogaaaaa jeusiiiiii CHIZI TU na naapa nikikusikia tena Unawaita HAMAS Magaidi basi ujue kuwa Wallahi you're DEAD MAN WALKING and Don't Messes with Muslim People you're Playing with Fire 🔥 Fack youuuuuu mbwaaaa wewe
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 2 ай бұрын
@@nasseralhatmi1762 yaani tunaweza kusema hawajui wanacho kishabikia ni ushabiki tu, hawajui netanyau Yule ni terrorist
@nasseralhatmi1762
@nasseralhatmi1762 2 ай бұрын
​@@AFRICA_D669Na hawataelewa mpaka kufa kwao sababu Elimu yao ni Finyu sana
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 2 ай бұрын
@@nasseralhatmi1762 amini kaka
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 2 ай бұрын
Kusiz fire ni swala gumu sana mzee ,,kwa sababu ya makubaliano ambayo yanakuwepo ,kwenye kusaini mikataba,,,mashart yake ni magum,,,kwa pande zote
@saudamwinyipembe5749
@saudamwinyipembe5749 2 ай бұрын
Mungu waone huruma watoto na wazee
@bishweko
@bishweko 2 ай бұрын
Tatizo la viongozi na mfano wao kama Wazayuni hufikilia kuondoa tatizo kwa kusababisha tatizo lingine. Bibi Nyau aliona kawin kwa kile cha kuuliwa watoto uwanjani. Sasa kimenuka kwake tena. Mtasikia tukio jipya la hatari tena Israel ili kutuliza Maandamano.
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 2 ай бұрын
Netanyau awezi kuwakomboa mateka anapiga pesa tu na mateka wengi washakufa na netanya ndo mwisho wa maisha yake .we umeona ezbullah wanatanali mpk magari yanatembea c wanaweza wapeleka uko wakaishinao
@erickmsigala138
@erickmsigala138 2 ай бұрын
Pole, endelea kujifariji wapelestina elfu hamsini wameuawa
@timotheothadeomgassa4929
@timotheothadeomgassa4929 2 ай бұрын
Kwa mtazamo wangu mimi binafsi kuhusu vita hivi vya Israel na Hamas ni kwamba Israel hayupo Gaza kutafuta mateka bali yupo Gaza kutaka kuifutilia mbali Hamas.
@ReyzDon
@ReyzDon 2 ай бұрын
Ukisema wameuwawa na hamasi kumbuka kuwa wamechinjwa Hao
@mtaasisi
@mtaasisi 2 ай бұрын
Leo ndo nimejua Israel kumbe ina Raisi😪
@MohammediKihimbwa-bj4pf
@MohammediKihimbwa-bj4pf 2 ай бұрын
Miya
@MfiriFulgensi
@MfiriFulgensi 2 ай бұрын
Hapa hamna kesi kwakuwa.huenda waliowauwa mateka nao wameuliwa kwa maelezo ya IDF kwamba waliowauwa baada hamas kuona wanafikiwa na watajuwa izraeli haina shida ya kuwateka bali ni kuwauwa tu?
@fahmanalbulushi2925
@fahmanalbulushi2925 2 ай бұрын
Kimtazamo kama hawakusimamisha vita Israel hawatawapata mateka wakiwa Hai kwa mana kilanwakifanikiwa kuwafikia mateka hamas hawawezi kuruhusu wakiwa Hai mana huonutakuwa ninushindi mkubwa kwa Israel ndio mana wanawakutabwakiwa wamekufa
@hidayahidaya-vd3ze
@hidayahidaya-vd3ze 2 ай бұрын
Wameuwawa na israili siyo hamasi hamasi siyo migaidi wanapambana Uhuru wao
@KekeRose-yj6re
@KekeRose-yj6re 2 ай бұрын
Camera man umeniuzi kwanini leo sky kakaa kulia akati kila siku anakaa upande wa kushoto🙄😂
@thefactbook...1607
@thefactbook...1607 2 ай бұрын
Studio mpya
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 2 ай бұрын
Tambua kua hao sita waliofaliki , zidisha mara 10, samani ya myahudi mmoja ni Sawa na waparestina kumi , Kwa Imani Yao sasa tegemeeni waparestina zaidi ya 60 kupoteza maisha
@AmosMathayo-qm7fv
@AmosMathayo-qm7fv 2 ай бұрын
Mgogoro wa sudan vipi mtupe angalau update
@sameerbaksh98
@sameerbaksh98 2 ай бұрын
🎉
@CalebThomas-ie4zy
@CalebThomas-ie4zy 2 ай бұрын
Hakuna dini inayo ruhusu kuua
@swalehejuma6611
@swalehejuma6611 2 ай бұрын
Maandamano yanatoa ishara si tu ya mateka kupatikana bali ni ishara ya raia wa Israel kutokukubaliana na serikali yao juu ya uonevu wao kwa majirani zao
@AliBakar-sx7lu
@AliBakar-sx7lu 2 ай бұрын
Bora wauwawe tu mkuki kwa ngurue
@JeremiahJustine-b3o
@JeremiahJustine-b3o 2 ай бұрын
Waarabu tatizo Lao hawatumii akili Wana dini yao hawatumii wanafiki sana Iran ndo anapambana peke yake Saudi mwenye uchumi mkubwa amekaa kimya,hamas warudishe hao mateka mambo yatakaa sawa wao wanakufa wengi
@africanQueeny-u7o
@africanQueeny-u7o 2 ай бұрын
ila Dj ujui chchote kwaiy Quluwan yenu inaluusu kuua "et atakae muua mtu ambae siyo Adui wake na mm atamdhibu"" 😅😅😅😅
@Awatee
@Awatee 2 ай бұрын
Uwe unaskiliza vzr Qur'aan imekataza kuua nafsi isio kua na hatia na ni dhambi ya 2 kwa ukubwa ushabiki tuu kufikiri aah 🙄
@hassanmlawa-o6s
@hassanmlawa-o6s 2 ай бұрын
Huo ni mkono wa Mungu unafanyakaz
@shakeuabuu8851
@shakeuabuu8851 2 ай бұрын
Bora walivyowachinja makafiroon
@mussachichajr
@mussachichajr 2 ай бұрын
Uchambuzi umeenda shule.
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 2 ай бұрын
Smaaa jifundishe kuongea kiswahili bila kuchanganya kingereza.
@hanifa9153
@hanifa9153 2 ай бұрын
Ewe Netanyahu na wwashirika wako mlaaniwe na ulimwengu mzima usiku na mchana laana ziwe juu yenu mfe vibaya kama watoto wa Gaza mnavowau😭😭😭😭😭
@erickmsigala138
@erickmsigala138 2 ай бұрын
Ibarikiwe Israel pamoja na kamanda shujaa Netanyau kwa kuwa ua hao magaidi wa kiislamu
@MohammediKihimbwa-bj4pf
@MohammediKihimbwa-bj4pf 2 ай бұрын
Magaidi wao izirael na siyo amasi
@mapundawilliam370
@mapundawilliam370 2 ай бұрын
Mungu aliwambiya chinjeni hao wote,nyie mkawaacha wengine,Sasa wamekuwa mwiba kwawa Christo. Keep it up Israel piga hao wasilamu magaidi hadiwaombe pooh. Malizeni wote nakuchukuwa inchi yenu
@salehkhalfan7345
@salehkhalfan7345 2 ай бұрын
Jina lko tu linaonesha nisawa na Akili na Tabia zko
@Stillrunlikeaball
@Stillrunlikeaball 2 ай бұрын
Tulia wewe PUNDA Kula kulala Hamuli kwenu Mpaka MAMA AKO aende kudanga aliwe Mavii😋😋 Ndio mpate kula hapo kwenu
@Stillrunlikeaball
@Stillrunlikeaball 2 ай бұрын
Tulia wewe PUNDA Kula kulala Hamuli kwenu Mpaka MAMA AKO aende kudanga aliwe Mavii😋😋 Ndio mpate kula hapo kwenu
@Stillrunlikeaball
@Stillrunlikeaball 2 ай бұрын
Tulia wewe PUNDA Kula kulala Hamuli kwenu Mpaka MAMA AKO aende kudanga aliwe Mavii😋😋 Ndio mpate kula hapo kwenu
@Stillrunlikeaball
@Stillrunlikeaball 2 ай бұрын
Tulia wewe PUNDA Kula kulala Hamuli kwenu Mpaka MAMA AKO aende kudanga aliwe Mavii😋😋 Ndio mpate kula hapo kwenu
@MikelSitoe
@MikelSitoe 2 ай бұрын
Sasa Hamas ni magaidi, wa zayuni ni wa nani?
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 2 ай бұрын
Kila jambo islael anafanya kwa sababu ,,na hamasi kila jambo wanafanya kwa sababu
@ibrahimsalim6835
@ibrahimsalim6835 2 ай бұрын
Hendry loh leo umenena kaka hata nakuhurumia vile hisia Kali unayohisi but ndio hivyo sote wanadamu tunahisi mola atusaidie Kwa Dunia hii yaleo yakinafiki mola atupe kiongozi wa hikma
@janesuma-is4wc
@janesuma-is4wc 2 ай бұрын
Uchambuzi wa hivyo kabisa
@bosssyedmund8785
@bosssyedmund8785 2 ай бұрын
Sasa hamas wakishawaachia mateka ndo nini kitaendlea
@RashidMohamed-i4z
@RashidMohamed-i4z 2 ай бұрын
Naangalia nikitokea malamba mawili mbezi
@RaibebeBebe
@RaibebeBebe 2 ай бұрын
Wamewauza wenyewe Kwa mabom
@Kachelo96
@Kachelo96 2 ай бұрын
Eb uyu anaejiitaga. DJ uwa anajuwa anachoongea kwer hahaha 😂😂😂😂😂😂dar uyu jamaa yupo kiplopahanda zakidini sn
@AssumaniAssani-tx7ym
@AssumaniAssani-tx7ym 2 ай бұрын
Nawasalimu kutokea Buja.
@innoxbnkahwa671
@innoxbnkahwa671 2 ай бұрын
huyu Usma nibshidaaa
@e11said23
@e11said23 2 ай бұрын
Tupo pamoja kila stape eti taifa kubwa izrail 😂😂😂 kundi moja la hamas ulimi njee
@innoxbnkahwa671
@innoxbnkahwa671 2 ай бұрын
hizo ni theory za Dini tu, ukweli tunaujua kuhusu uislam. Bora usiweke kbs dini
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 2 ай бұрын
Bonge la kipindi.
@Ally-qi7xo
@Ally-qi7xo 2 ай бұрын
🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@ShedrackShedrack-c2b
@ShedrackShedrack-c2b 2 ай бұрын
Netanyahu hanalemba sana mwandiko kwann haho magaid wakiislamu hasmalize mapema kilakona yadunia hahohahotu kwann wesiache ugaidi wakajifunza mambo mema
@khamisshaban4703
@khamisshaban4703 2 ай бұрын
Nibol mungu akunyime hela lakin sio maalifa
@khamisshaban4703
@khamisshaban4703 2 ай бұрын
Nibol mungu akunyime hela lakin sio maalifa
@abdallahhuseinkabale7534
@abdallahhuseinkabale7534 2 ай бұрын
​@@khamisshaban4703kweli kabisa
@Awatee
@Awatee 2 ай бұрын
Weye mjinga kweli unafikiri uislam umekuja kama ushuzi wako chuki zako ni Uislam tuu hii ni dini ya kweli na hakuna atakae iyondoa magaidi kwa kutetea uhuru wao ao wanao uwa watoto wanawake wazee wasio na hatia tuwaite vipi acha chuki ng'au ng'au weye
@Stillrunlikeaball
@Stillrunlikeaball 2 ай бұрын
Tulia wewe PUNDA Kula kulala Hamuli kwenu Mpaka MAMA AKO aende kudanga aliwe Mavii😋😋 Ndio mpate kula hapo kwenu
@amanfanuel623
@amanfanuel623 2 ай бұрын
Smaa mwisho wa siku utasima octoba7 haikutokea kwa sababu sio ideology yao kuua
@Kachelo96
@Kachelo96 2 ай бұрын
Kwanzia uko Yemen adi uko Saudi warikuwepo wayaudi nawambieni inamaana nawambieni waisrael wanajitetea nikawaida yawaislamu kuwauwa wayaudi
@Awatee
@Awatee 2 ай бұрын
Unataka kusema wayahudi wao wazur ndio wanaongoza kwa mauaji au unajizima data
@ConstantineCoscardrov-wb6ih
@ConstantineCoscardrov-wb6ih 2 ай бұрын
Wewe watu 6 ni wengi kuliko 40000..wewe kweli kiazimviringo.
@shukranechimale2722
@shukranechimale2722 2 ай бұрын
😂 daaah
@innoxbnkahwa671
@innoxbnkahwa671 2 ай бұрын
msemaji kakiri mwenyewe Sasa wewe unaleta hisia
@osmanmohammedosman5493
@osmanmohammedosman5493 2 ай бұрын
Kwangu mimi hawandio wachambuzi wangu wamaana kuwahi kutokea TZ
@ShedrackShedrack-c2b
@ShedrackShedrack-c2b 2 ай бұрын
Sion uchambuzi hapo zaidi ya kuosifia hamasi na kuipendelea yani nyny nikamatu genge hahu tawi la hamasi
@MahadSatar
@MahadSatar 2 ай бұрын
Unaumia ukiwa wapi choko wwe😂
@Stillrunlikeaball
@Stillrunlikeaball 2 ай бұрын
Tulia wewe PUNDA Kula kulala Hamuli kwenu Mpaka MAMA AKO aende kudanga aliwe Mavii😋😋 Ndio mpate kula hapo kwenu
@Stillrunlikeaball
@Stillrunlikeaball 2 ай бұрын
Tulia wewe PUNDA Kula kulala Hamuli kwenu Mpaka MAMA AKO aende kudanga aliwe Mavii😋😋 Ndio mpate kula hapo kwenu
@Stillrunlikeaball
@Stillrunlikeaball 2 ай бұрын
Tulia wewe PUNDA Kula kulala Hamuli kwenu Mpaka MAMA AKO aende kudanga aliwe Mavii😋😋 Ndio mpate kula hapo kwenu
@MahadSatar
@MahadSatar 2 ай бұрын
Dahh wayahudi 6 tu imekuwa maandamano ya watu laki 7 aisee wayahud bhana kila siku wanauwa watu zaidi ya 50 na kwao ni burudani tu
@africanQueeny-u7o
@africanQueeny-u7o 2 ай бұрын
Sina uwakika Israel ilicho kifanya sina uwakika kama Gaza wataludia
@salumabdallah2990
@salumabdallah2990 2 ай бұрын
Watu wanapigana kwa sababu ya watu wao kuna mateka 6000 waliopo israil ndio sababu ya hamas kushambulia muwe na akili
@Awatee
@Awatee 2 ай бұрын
Ng'au ng'au weye unafikiri watu wa gaza watakubali kuonewa kila siku marekani na nato wake ndio kwanza katengeza jeshi bora la baadae watoto walio shuhudia mauaji ya wazazi wao ipo siku watalipa na watakua wazalendo kwa taifa lao wala sio cha kukufurahisha
@rajabumuhombolage6025
@rajabumuhombolage6025 2 ай бұрын
Wataludia au watarudia?😂
@salumabdallah2990
@salumabdallah2990 2 ай бұрын
@@rajabumuhombolage6025 watarudia
@salumabdallah2990
@salumabdallah2990 2 ай бұрын
@@rajabumuhombolage6025 kwa sababu wewe hujui kitu palestine kila siku anachokozwa yeye
@ShedrackShedrack-c2b
@ShedrackShedrack-c2b 2 ай бұрын
Yaya rapidly nayeye nigaid wa kiislam tena hatuwezi kumshanga
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 2 ай бұрын
KUNA GAIDI KAMA MAPALOKO 😢😢😢😢😢
@salimali-rf9er
@salimali-rf9er 2 ай бұрын
He ata kuandika hujui,ni yair lapid, rudi shule kajifunze kuanzika, hata netanyau ni GAIDI TENA MKUBWA SANA
@salimali-rf9er
@salimali-rf9er 2 ай бұрын
Kuna kitu kakifanya Iran kwa Israel, ni tension na economic war kwa Israel, kw abb makampuni mengi yanahama Israel, lkn netanyau hajali na hilo
@ShedrackShedrack-c2b
@ShedrackShedrack-c2b 2 ай бұрын
@@salimali-rf9er tajakwanza kampun moja iliyohama
GWAS in the age of AI (Degui Zhi)
1:03:25
Dept. Biomedical Informatics Columbia University
Рет қаралды 2 М.
Amazing remote control#devil  #lilith #funny #shorts
00:30
Devil Lilith
Рет қаралды 15 МЛН
БУ, ИСПУГАЛСЯ?? #shorts
00:22
Паша Осадчий
Рет қаралды 2 МЛН
Кто круче, как думаешь?
00:44
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 3,1 МЛН
Hands-On Power BI Tutorial 📊 Beginner to Pro [Full Course] 2023 Edition⚡
3:02:18
Climathon Bratislava 2024
3:07:30
CIVITTA Slovakia
Рет қаралды 891
Amazing remote control#devil  #lilith #funny #shorts
00:30
Devil Lilith
Рет қаралды 15 МЛН