GPS: ISRAEL yatishia kuifanya YEMEN kama GAZA majibizano na WAHOUTH yakizidi, IRAN yahusishwa

  Рет қаралды 35,812

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Пікірлер: 357
@Siasia209
@Siasia209 Ай бұрын
Henry uko vzr sana big up brother
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj Ай бұрын
Jamaa anajua sana na ana mpangilio mzuri sana wa kiuzungumzaji.
@harrymwinuka5930
@harrymwinuka5930 Ай бұрын
Shukrani sana🙏
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj Ай бұрын
@@harrymwinuka5930 Kaka siku GPS mje mchambue suala namna Russia inavyo survive na economic sanctions kutokea west na hasara walizopata pia.Hii maada mnaisahau sana
@Gulfnas1
@Gulfnas1 Ай бұрын
Napenda the way unavyo state au ku explain mambo aiseee be blessed bro​@@harrymwinuka5930
@Gulfnas1
@Gulfnas1 Ай бұрын
Henry na Sma masha Allah ​@@harrymwinuka5930
@JohnBasoro-
@JohnBasoro- Ай бұрын
DJ Sma uko vzr binafsi naelewa speech zako sana
@SalamaKhamis-un8vn
@SalamaKhamis-un8vn Ай бұрын
Thanks so much for anything that you analyse us
@OlivierCelestin-eb7om
@OlivierCelestin-eb7om Ай бұрын
Dj sma nakufata kutokea Congo 🇨🇩 mungu akupe maisha marefu (...)❤❤❤❤
@djsma255
@djsma255 Ай бұрын
Amin kwa sote na yenye baraka
@bajosdamour2347
@bajosdamour2347 Ай бұрын
​@@djsma255namim nakukubali sna kaka kutokea 🇧🇮 🇧🇮 🇧🇮 🇧🇮 257
@Gulfnas1
@Gulfnas1 Ай бұрын
​@@djsma255 akhiy Allah akuzidishie ilmu zaidi na afya njema
@ramamabinda5063
@ramamabinda5063 Ай бұрын
Masubi ni mbishi sana, Henri Kaongea vizuri sana hapo kwenye difensi sistim
@allymatilda7519
@allymatilda7519 Ай бұрын
Ndio maana wako 3 wanachambua wewe ukijua hivi mwenzio anajua vilee sioni kibaya kwa upep wao wote kila mtu yupo sahihi kwaupande wake
@hawa6052
@hawa6052 Ай бұрын
Henrry umeeleza vizuri kuhusu uwezo wa iron Dom uko vizuri Allah awaongezee Elimu yenye manufaa
@AwatifSharif-j1n
@AwatifSharif-j1n Ай бұрын
Dj sma future genius ❤ upo mbele mdaa...
@yesseedward83
@yesseedward83 Ай бұрын
Nakubali Sana sma, Henry Ally na sky , kiukweli mnatimu kamili ya uchambuzi, SMA ana connect dots taratibu.
@hamidamussa-sy4fm
@hamidamussa-sy4fm Ай бұрын
Mumenielewesha vizuri sana kama nipo skull Asante sana sns na mchambuzi wenu
@dramatic2558
@dramatic2558 Ай бұрын
Hii battle ya Ali Masubi na Dj Sma kwenye defence system tamu sana... Natamani siku moja kuiona GPS ikiruka kutokea Moscow, Pyongyang, Havana na sehemu zingine... Guys mnafanya kazi nzuri sana
@Gulfnas1
@Gulfnas1 Ай бұрын
Hawa watu wa2 ni balaaa
@Gulfnas1
@Gulfnas1 Ай бұрын
Binafsi Sma na Henry huwa nawaelewa zaidi kwenye GP kisha Ally kwenye kuchambua silaha au anything related to tech ni noma
@francomwacha2262
@francomwacha2262 Ай бұрын
Aisee 👑 kwenu wana gps wote.. hii ni zaid ya mdahalo! Nakubali sana mm mwanafamilia kabisa 🫡
@richardomondi3107
@richardomondi3107 Ай бұрын
Gonga likes hapa team Ali Masubi apewe maua yake❤
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj Ай бұрын
Ally yuko vizuri sana kiuchambuzi na pia balanced sana.
@richardomondi3107
@richardomondi3107 Ай бұрын
Ali masubi nakuaminia sana..u are the best..uko na madini mengi sana
@ahmadabdu2998
@ahmadabdu2998 Ай бұрын
Big up snaa GPS kwa kutupa taarifa za hali ya juu snaaa
@muhitira
@muhitira Ай бұрын
Asante Sana Wana GPS Mpo juu zaidi
@husseinhemedi9314
@husseinhemedi9314 Ай бұрын
Dah hichi kipindi cha GPS nikiboko axee
@JeremiahJustine-b3o
@JeremiahJustine-b3o Ай бұрын
Mpo vizur
@mozamoza3960
@mozamoza3960 Ай бұрын
Allah afanye wepes mana Dunia ya mwisho hii
@omarmohammed5157
@omarmohammed5157 Ай бұрын
Amiiin
@Gulfnas1
@Gulfnas1 Ай бұрын
Aaaamin
@aminaali792
@aminaali792 Ай бұрын
Kaka Ally uko yaani uko vizuri na unajuwa sana kwenye kuelezea tu ndio tatizo but your getting better kwa kuelezea maa sha Allah 😍🥰
@bajosdamour2347
@bajosdamour2347 Ай бұрын
Wew nae nauyo ali humkomi ao umempenda😂😂😂
@AbuJuhaifah-c8j
@AbuJuhaifah-c8j Ай бұрын
Twajua unamtetea baba ako😅😅😅😅
@FocusMsimbe-k5m
@FocusMsimbe-k5m Ай бұрын
Jamani maombi na sio ushabiki sisi ndo maisha yatakuwa magumu sana MUNGU atusaidie kwa kweli
@FocusMsimbe-k5m
@FocusMsimbe-k5m Ай бұрын
@@abdallahalwardi588 Mungu atusaidie
@RamadhaniMohamedi-de2vc
@RamadhaniMohamedi-de2vc Ай бұрын
Shida ni kweli tutapata ilandio tujifunze kutegemea vitu vyetu zaidi kuepuka majanga kama hayo.
@FocusMsimbe-k5m
@FocusMsimbe-k5m Ай бұрын
@@RamadhaniMohamedi-de2vc kaka mkubwa sisi Bado sana kujitegemea hatuwezi na sijui tutaweza lini Mungu atusaidie...wewe subiri vita ikolee petrol litre moja elfu kumi
@roberttagaya9098
@roberttagaya9098 Ай бұрын
Huyu Dj Sama anatakiwa apunguze unazi.
@youngcleva7841
@youngcleva7841 Ай бұрын
WAONGEAJI, NAUCHAMBUAJI AMAZING SANA. Ila nauona UDINI kwambali plz tuache udini tu stick kwenye reality❤
@Gulfnas1
@Gulfnas1 Ай бұрын
Umeingiaje udini em tujuze nasi
@user-mm9qr7em8k
@user-mm9qr7em8k Ай бұрын
Vita yadunia ndo inaaza mdogo mdogo .na hii itachanganya tuu anaebisha.ipo siku atanikumbuka .
@juliussamson6143
@juliussamson6143 Ай бұрын
anachokifanya ally ninkumfanya msikilizaji aelewe vizur na sio kupinga mimi naona tim work nzuri hapa
@hemedmwipopo780
@hemedmwipopo780 Ай бұрын
Mimi naona kuwa kuna kiwingu mbele yetu tunacho paswa kufanya ni kumuomba Mungu aingilie kati kwani Dunia inaenda kuangamia.
@billskeez92
@billskeez92 Ай бұрын
The best combinenga❤🔥👌
@DevidNgosiyo
@DevidNgosiyo 26 күн бұрын
Israel is the nation of God, bealives me gaiz, nobody can fight with israel on earth.❤
@rashidyunus1835
@rashidyunus1835 Ай бұрын
Ninachokiona mimi binafsi ni kusahau historia za hizi nchi ambazo zinapigwa na kushambuliwa zilikuwaje kipindi cha zamani kabla ya technology, hichi kinachotokea ni kuonyesha kuwa binadamu hasarifiki na sio kila mda utafanya kama ulivyofanya Kila kilichotengenezwa na binadamu hakina ukamilifu wa asilimia mia moja, Ukitaka kunielewa, fuata introduction of chemistry
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 Ай бұрын
Alafu mjue nini mimi nimechoshwa nakuwasifia waislamu wetu hali yakua sasahivi, wamekufa wapalestine 17 wakati Israel akifa mmoja dunia inakakamaa, tuuwe kama tukipigwa nyuklia ni sawa tu inshallah 🙏😢😢
@JeremiahJustine-b3o
@JeremiahJustine-b3o Ай бұрын
Tatizo lá waarabu hawatumii
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 Ай бұрын
@@JeremiahJustine-b3o kutumia nini
@salimali-rf9er
@salimali-rf9er Ай бұрын
Kwani alokwambia ufwatilie GPS, na uskilize ni nani? Si tosheka na CNN,BBC, SBN, FOX NEW na idhaa nyingine
@SuleimanAliy-qi7wk
@SuleimanAliy-qi7wk Ай бұрын
Hongeren wana sns kwa uchambuzi
@MuhammedRashidi-ki6cb
@MuhammedRashidi-ki6cb Ай бұрын
Kwanza natowa pongezi kwa.wana sns Kitupa kile ambacho hatuwezi kukipata Sehem yoyote newapa pongezi Aligna jsm
@AliBakar-sx7lu
@AliBakar-sx7lu Ай бұрын
Uchambuzi mzuri sana time imekamilika
@msodokidasilva6739
@msodokidasilva6739 Ай бұрын
Nawaelewa vizuri wanangu nyie ni familia tuendelee kukiwashaa 🔥
@peterilimwa5754
@peterilimwa5754 Ай бұрын
i sallute u guys
@malkavoice2570
@malkavoice2570 Ай бұрын
😮Netanyahu mchawi wa kiafrica sio mwanasayansi. Uchawi wa Africa ni local lkn ni bora kuliko sayansi na wazungu hawana uchawi totaly. ALLY hapo anaeleweka mara 50 zaidi ya wenzie japo anaelezea kwa uoga,namuelewa sana guys. Izrael ni Taifa la mfano so haiwezi kuwa na kiongozi mzembe hata hivyo!
@Teralkum
@Teralkum Ай бұрын
Nakukubali nyote, msiache kazi mnayoifanya🇺🇲
@Daidizz01chinga
@Daidizz01chinga Ай бұрын
Yemen moto israel itapigwa mpaka mwisho marekani itapigwa mpaka mwisho na iyo ndo yemen naapo tuna wapunguza wapumbavu israel África tuwe na akirii ingikuwa ndo sisi tunao zurumiwa arzi mungi semaje
@mimiyeye123
@mimiyeye123 Ай бұрын
Hahahahah Yemen haina ubavu huo
@abdullahmapesa
@abdullahmapesa Ай бұрын
🙏🙏🙏
@princejames7438
@princejames7438 Ай бұрын
Kwaiyo mnataka kutuambia hao sijui wakina Nan wanaweza kushindana na mataifa matatu jaman mbona mnapotosha watu
@AsaMtuli
@AsaMtuli Ай бұрын
😂😂😂😂 jamani me nainjoy tu
@franklukazula
@franklukazula Ай бұрын
Safi sana
@yassinmohamed8241
@yassinmohamed8241 Ай бұрын
Fact bro nimewakubari sana wana sns Allah akulindeni
@FatumaRashid-db6cc
@FatumaRashid-db6cc Ай бұрын
Jamani muwe mnaweka chupa za maji Nahisi mate yanawakauka😊
@user-nv6wt3nx5h
@user-nv6wt3nx5h Ай бұрын
Ivi Kwa Nini Israel ilaumiwe..wakati Yemeni imekuwa ikitupa drone zaidi ya 200 na kushambulia meli..Israeli imejibu jumamosi..tayari watu wanalia...jiulize ndege zimepia kwenye mipaka zimepia na kurudi.
@user-ij9te1ck9p
@user-ij9te1ck9p Ай бұрын
Lazima ilaumiwe kwa sababu imekalia maeneo ya waarabu kwa mabavu miaka na miaka Palestine west bank Jerusalem Syria golan height Lebanon waliikomboa Hizbullah,au ndio wale wanaoifumbia macho haki na kuunga mkono dhuluma huku mkijinasibu ndio dini itakavyo au shule imepita pembeni soma topic The threaten of the world peace in middle east Crices.
@eliasaNgahehwa-l2f
@eliasaNgahehwa-l2f Ай бұрын
Pale kuna frigate za mmarekani nato bro tumia akili, vita sio kusoma magazeti au kuona tv
@eliasaNgahehwa-l2f
@eliasaNgahehwa-l2f Ай бұрын
Viet cong influence ndio inawabeba hawa jamaa
@browskymuba6923
@browskymuba6923 Ай бұрын
Aise hao watu wako vizuri kueleza big up
@Del_busi5
@Del_busi5 Ай бұрын
Henry ni mwana sheria kweli kweli
@emaneez
@emaneez Ай бұрын
Ally mzee wa technically engineering. Unamliza san.
@jeanclaudeakili2372
@jeanclaudeakili2372 Ай бұрын
Sito koma kuwasikiliza 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
@noelnjementi8511
@noelnjementi8511 Ай бұрын
Wew bundara ndio unajuw kuliko awoo watoto useme unatabia nzur sn yakujishusha nakupenda kwairo TU kk ila co awo taka taka wenye upendereo wakidini wapo kipropanganda zakidini zaid
@NurudinZuberi
@NurudinZuberi Ай бұрын
Pole umetumia nguvu nyingi kuandika akili zko kisoda
@hemedmwipopo780
@hemedmwipopo780 Ай бұрын
Mchangiaji lugha uliyo tumia kwa wachambuzi sijafurahishwa nayo hujalazimishwa kufungua au kutazama Chenel hii. Ila kwamtazamo wewe unachembe za Udini na Chuki binafsi.
@aishaarusha894
@aishaarusha894 Ай бұрын
Takataka ni wewe noel mwenye kupenda ushoga
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 Ай бұрын
Apa Sasa mmenifurahisha Sana mlivyo kuwa live huku Mnachambua
@user-eg1ts2fu9z
@user-eg1ts2fu9z Ай бұрын
Ali upo sahihi Sana Kila kitu kina nadhaifu yake
@osmanngaya6212
@osmanngaya6212 Ай бұрын
Masubi anaongea sana alafu mantiki zake ni ndogo
@noelnjementi8511
@noelnjementi8511 Ай бұрын
Kupigwa Yemeni juzi naona dj smar kakahaa kimya kbs haha😂😂
@abdillahiharuna0029
@abdillahiharuna0029 Ай бұрын
Kwa akli hiyo hutoelewa ki2
@themoredwamichano8636
@themoredwamichano8636 Ай бұрын
😂😂😂
@raydanfrenk
@raydanfrenk Ай бұрын
😂😂😂😂😂 apo awezi kuongea ila wanavyo jipa mwoyo
@paschaljuma3312
@paschaljuma3312 Ай бұрын
Kapigwa wapi sasa yani kuripua kityo cha mafuta ndo unachekelea kweli mjinga ni mjinga kila kitu kinamfurahisha😂
@emmadora7848
@emmadora7848 Ай бұрын
​@@paschaljuma3312wewe ndio lijinga la mwisho ,hujui kama mafuta ndio chanzo kikubwa Cha pesa Kwa hao wahuthi ,Sasa adui Yako akikuharibia chanzo kikuu Cha mapato unafikiri nn kinafuata ?
@hassansingano1150
@hassansingano1150 Ай бұрын
Tupo pamoja
@duniekere7612
@duniekere7612 Ай бұрын
Wakakazangu nawakubali Sana tena sana❤❤❤
@abunajreenELSESANY
@abunajreenELSESANY Ай бұрын
YOU CAME WITH VERY BIG THINGS. Tumezoea kuona midahalo ya MIPIRA na UDAKU. But now we can see vijana wa ki Tanzania kujadili mambo ya kidunia kama haya.
@RAKIIMRAKIIM
@RAKIIMRAKIIM Ай бұрын
Henri Mwinuka unafunguka ualisia sanaa namuona dj smaa pia anakubali hapo pembeni Masubi anachambua lkn bdo uwezo mdogo hana ualisia wa mambo
@charlesmwita7484
@charlesmwita7484 Ай бұрын
Kwenye uchambuzi ally hakuna hapo anaweza uchambuz ni henry
@Moseskoome-l1t
@Moseskoome-l1t Ай бұрын
Big up
@salymsuleiman2035
@salymsuleiman2035 Ай бұрын
Huyu sma Mashaallah anajuwa vitu vingi sanaa
@lidamudy2842
@lidamudy2842 Ай бұрын
Kutoka burundi 🇧🇮 pamoja sana❤❤
@user-nz8bv6xn9r
@user-nz8bv6xn9r Ай бұрын
Saf mko vzr hamna upande ukilinganisha na wachambuz kama akina benson mwakilembe mchambuz hutakiwi kuonesha upande saf sana
@chancekambale3498
@chancekambale3498 23 күн бұрын
Kwawalio sapoti mbona hunitaje ? Ama zakwangu hamukuziona??
@user-ue7re5rx5k
@user-ue7re5rx5k Ай бұрын
Tuko pamoja sana ndugu zangu sana sns. Tukiwa bujumbura
@georgekimasaofficial1629
@georgekimasaofficial1629 Ай бұрын
Mnachambuwa vzuri Lakini lazima mkumbuke kuwa Israel kupigana na inchi za kiarabu zikiwa zimeungana na Israel ikashinda zaidi ya mara Moja si lakupuuza. So msisahau hili ktk uchambuzi wenu.
@anoldishengoma4229
@anoldishengoma4229 Ай бұрын
Mada zenu nazipenda sana na na enjoy sana, ila mwambie Mr Ally atoe content asimkabili mtabili wetu DJ, maana anaonekana kumu-attack tu anatukosesha uondo😋
@DeusiKasusu-yj9eg
@DeusiKasusu-yj9eg Ай бұрын
Mimi ni mdau wenu kutoka morogoro kiukweli natmn mumualike thabiti mlangi siku moja nitabalikiwa sana vinginevyo nyinyi jamaaa ni wanyama sana
@jumamasele5793
@jumamasele5793 Ай бұрын
Ndio nakuunga mkono kuna mtu anaitwa thabit mrangi harafu kuna mtu anaitwa Ibrahim labi jumla muwe wa 5
@MikelSitoe
@MikelSitoe Ай бұрын
Na wa pata 🇲🇿🇲🇿
@SaraphinaKidoti-qe7gi
@SaraphinaKidoti-qe7gi Ай бұрын
Apo kwenye umiliki wa.mipaka ya bahali sio km 64 ni 44
@jumaciza461
@jumaciza461 Ай бұрын
Kweli Israel peke yake hawawezi wa houthi bila Saudia kumuunga mkono.
@DeusiKasusu-yj9eg
@DeusiKasusu-yj9eg Ай бұрын
Lakini pia nashauri ally na smaa msiache kubato sisi tunapata faida sana kupitia bato Henry ukubwa unakufanya uwe na busara Acha wangatane
@saidambarouk2804
@saidambarouk2804 Ай бұрын
Nmewakubali wachambuzi🔥🔥🔥
@user-ui7lb5yc2l
@user-ui7lb5yc2l Ай бұрын
Nawakubari Sanaa bro
@SaraphinaKidoti-qe7gi
@SaraphinaKidoti-qe7gi Ай бұрын
Hii bifu ya ally na smaa kuusu mifumo ya ulinzi sjuw itaisha lin 😂😂
@peterilimwa5754
@peterilimwa5754 Ай бұрын
ally yuko sawa iron dome ni mfumo the best sana
@hamidamussa-sy4fm
@hamidamussa-sy4fm Ай бұрын
Henry afadhar ila huyu dj sma ana ushabaki wa uchambuzi
@sharifahabsi5004
@sharifahabsi5004 Ай бұрын
Pamoja from oman 🇴🇲
@user-ku3om4bu8j
@user-ku3om4bu8j Ай бұрын
kwenye muvi kuna hekima nyingi zina patikana kwa adui na adui asipo kufa ndio staaa remember saimoni say is like Israel
@yuscoramadhan8462
@yuscoramadhan8462 Ай бұрын
Haya makundi watajifunza kutengeneza hizi slaha kadri cku zinavyoenda ili wasitegemee sana misaada kw ukubwa😊
@mapundawilliam370
@mapundawilliam370 Ай бұрын
Keep it up Israel piga hao magaidi Waslamu. Chakula cha mbwa Waslamu.
@yassinhamza1969
@yassinhamza1969 Ай бұрын
Binadamu wote Ni sawa ww unavyoenda chooni na waisrae Ni hivyo hivyo acha fikra za kitumwa
@jumamasele5793
@jumamasele5793 Ай бұрын
K ww
@user-pb2zf7zj7k
@user-pb2zf7zj7k Ай бұрын
All the time sma speak the truth
@OzilSalum-r6c
@OzilSalum-r6c Ай бұрын
Mfano Mzuri vita kati ya marekani na vetnamu Au Somalia na malekani
@AsaMtuli
@AsaMtuli Ай бұрын
😏🙄🤣🤣🤣
@Williamstozzo
@Williamstozzo Ай бұрын
Drone kupenya tel aviv,,siyo kwamba israel ni dhaifu. .. ukraine ni ndogo kijeshi lakini wameweza kupiga ndani ya Russia...kuwa mbabe siyo kwamba wewe huwezi kuguswa cha mhimu ni kushinda vita muraa
@user-qq6mv6vh3e
@user-qq6mv6vh3e Ай бұрын
Massoud anachambua tena san
@khalfanmlala5093
@khalfanmlala5093 Ай бұрын
From kigoma asanten
@felisteronesmo3091
@felisteronesmo3091 Ай бұрын
Tunaposema Ally ni Technical detailed, muwage mnaelewa ..
@YasiniMkakile
@YasiniMkakile Ай бұрын
Dj sma ni genius
@raydanfrenk
@raydanfrenk Ай бұрын
Nilicho gundua jamaa ayuko vzr liability yan Dj na mwenzako ni ushabeki tu 😅😅😅
@peterilimwa5754
@peterilimwa5754 Ай бұрын
iron dome ni best air defence ever cos mara nyingi iko kwenye action
@yassinhamza1969
@yassinhamza1969 Ай бұрын
Hiyo si chochote ikikutana na wababe kama urus,china,Korea,Iran nk
@jumamasele5793
@jumamasele5793 Ай бұрын
Iron dome hakuna kitu
@IsayaMngaza
@IsayaMngaza Ай бұрын
Wahouth kujibu mapigo kunawezekana, ila ninachokiona watu wengi wanawachukulia wahouth kama timu ya ndondo cup, ila sio hivyo, ndimana unaambiwa ukubwa wa pua si wingi wa makamasi,,
@bajosdamour2347
@bajosdamour2347 Ай бұрын
Daah kidogo leo siku yangu iishe vilivyo kwakua nilidhani hakuna Gps week hii😮😮
@sultanbakary4292
@sultanbakary4292 Ай бұрын
Kipindi kikubwa sana hiki
@mapundawilliam370
@mapundawilliam370 Ай бұрын
Chezea wengine bali sio Israel mtaendelea kupigwa nyie magaidi. God bless Israel
@AmusedCatfish-hd8wo
@AmusedCatfish-hd8wo Ай бұрын
Ww njaa utakufa njaa tu huna jipya wanaume wapo tayari Hadi mtu mwisho mmiliki ninyi mafuta na gesi umeelewa mtt kike
@woah.africa99
@woah.africa99 Ай бұрын
Bwege sio god satan atamsaidia hata huyo mbwa satanyahu jina lake la kishetani esrael fake sio wale wa kale ulijua wale waje ktk ardhi yako uone kama na ww hujalipiza kisas na hao wazionist ulijua ni wakristo kua watoto tu sio jingone
@trendz_2548
@trendz_2548 Ай бұрын
Kitengo changu pendwa. Nafuatiliaga sana tokea kenya
@Ibrahlaiza
@Ibrahlaiza Ай бұрын
Mimi hakuelewa sana Dj sma
@serijofesto9068
@serijofesto9068 Ай бұрын
Kutokuogopa sio kwamba ndio wanaweza Vita,
@brianbaltazar6198
@brianbaltazar6198 Ай бұрын
GPS kipindi kizuri sana...
@user-it7ih1it3m
@user-it7ih1it3m Ай бұрын
Ukisoma vitabu vya dini ni kwamba israel haipigiki kirahc toka enzi na enzi,,,, labda kama vitabu vinadanganya
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 Ай бұрын
Kwa imani yako
@RaphaelJickson-t7u
@RaphaelJickson-t7u Ай бұрын
Israel yakudanganywa
@user-it7ih1it3m
@user-it7ih1it3m Ай бұрын
@@fahadfaraj6474 sio kwa imani hata vitabu vya historia visivyo vya dini vinaeleza pia
@user-it7ih1it3m
@user-it7ih1it3m Ай бұрын
@@RaphaelJickson-t7u kapigane nao basi wakufanye kitu mbaya
@omarykyutta6681
@omarykyutta6681 Ай бұрын
Wangekuw utumwani uko misri
@Eng2460
@Eng2460 Ай бұрын
GPS inachelewa sana kupanda😢😢
@husseinkaoneka5834
@husseinkaoneka5834 Ай бұрын
RPM dadek, na pikpki zetu CC 125
나랑 아빠가 아이스크림 먹을 때
00:15
진영민yeongmin
Рет қаралды 16 МЛН
I Took a LUNCHBAR OFF A Poster 🤯 #shorts
00:17
Wian
Рет қаралды 16 МЛН
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 2 Серия
31:45
Inter Production
Рет қаралды 935 М.
Hiki ndicho kinachomfanya Marekani na Israel wamuogope Iran
35:23