kila Kitu Nyerere-Bonta ft Belle 9

  Рет қаралды 41,154

GrandmasterRecordstz

GrandmasterRecordstz

Күн бұрын

A Grandmaster Productions Video

Пікірлер: 33
@erickselei3426
@erickselei3426 2 жыл бұрын
Dr nauza kura yangu
@noahkyando5661
@noahkyando5661 5 жыл бұрын
Broo 2019 nimekutafuta tena
@seifjaffary9350
@seifjaffary9350 2 ай бұрын
October 2024 mwezi wa nyerere tupate maarifa ya daktar bonta
@omaryhusseinlibenanga6134
@omaryhusseinlibenanga6134 3 жыл бұрын
Tarehe 12/11/2021 Leo Naisikia Tena Hii Ngoma Uwaga IPO Kichwan Mwangu BG Hop Brow
@nassorsuleiman772
@nassorsuleiman772 2 жыл бұрын
Sana mwamba hua nakuelewa sana big up
@godwinmapera8370
@godwinmapera8370 4 жыл бұрын
Mpk leo hii ni ngoma bado ipo kwenye playlist yangu
@crispaseve
@crispaseve 13 жыл бұрын
YES BONTA ANAJUA ANACHOKIFANYA AISEEEEEEEE!!
@zinguanikuzingue5133
@zinguanikuzingue5133 5 жыл бұрын
Ngoma hizi ndio hua nasikiza sio wachafu
@icynife
@icynife 13 жыл бұрын
Bonta kazi nzuri saana yaani mi naona wasaniiwote ( wengi )ilibidi waje kwako kupiga depo kabla hawajaanza kuimba mi nyimbo ya kujisifu na party wakati nchi yetu maskini nchi yetu inamatatizo kibao......kweli watu wamelemaa na baby i love u BIG UP
@UbbaKCliff
@UbbaKCliff 13 жыл бұрын
Hay Bonta, I feel you man. Yours is conscious music and I love it here in the U.S.A. I feel your deep thoughts and your poetic voice is compared to few in the hard hip hop industry. Mimi Kaka yake Daktari Bahati wa Bunda. All the way from Illinois USA.
@icynife
@icynife 12 жыл бұрын
Bachelor haziko bikira zipo naked km H**ler zinachoma wayahudi....wanachomwa kusudi...........Dah Bonta kazi mzuri.
@ellyjoel5022
@ellyjoel5022 8 жыл бұрын
nashindwa kujua ni kwann Nyerere kasahaulika kwa namna hii,, pamoja na kwamba kayasaidia mataifa mengi sana ya Africa katoka harakati za kupata uhuru pamoja na mambo mengi acha yale ya ndani ya Taifa la Tanzania. pamoja na hayo huyu jamaa Bonta ni noomaaaa
@makumbele
@makumbele 13 жыл бұрын
Consious to the bone... keep it up Bonta. Kila kitu Mwalimu, kila kitu Nyerere...
@emanuelmapesa2974
@emanuelmapesa2974 Жыл бұрын
2023 09 07 naicheki hapa bonge la ngoma hphp
@ahmedmwatawala7967
@ahmedmwatawala7967 5 жыл бұрын
the real conscious MC na kumuelewa inahitaji akili zaidi
@prince23300
@prince23300 12 жыл бұрын
Bonta we mkali wa hip hop umetisha mwanangu....huhitaji msuli tena...big up
@Jamesmuta
@Jamesmuta 13 жыл бұрын
i wish tungepata wasanii wenye maono ya ukweli na mwongozo kama huyu.... Big up sana bruv.
@tgeofrey
@tgeofrey 4 жыл бұрын
Aminia Bonta
@jacklineevarest5145
@jacklineevarest5145 9 ай бұрын
Hatar kaka
@stanleymkolomoto3392
@stanleymkolomoto3392 5 жыл бұрын
Nakukubali bonta
@kambonamajaliwa5466
@kambonamajaliwa5466 5 жыл бұрын
Ni mziki wa long ila ndo yapo now
@mikeayo1885
@mikeayo1885 11 жыл бұрын
bontaaaa your hip hop bro big up
@rashidkem7624
@rashidkem7624 26 күн бұрын
noma
@dannimbasha4338
@dannimbasha4338 10 жыл бұрын
hii imetisha mze
@GrandmasterREc
@GrandmasterREc 13 жыл бұрын
sanaaaaaz,,thanx..
@defxtro
@defxtro 13 жыл бұрын
gr8 video
@novatusrichard9375
@novatusrichard9375 Жыл бұрын
2023 March.
@mercychristian2713
@mercychristian2713 7 жыл бұрын
kila kitu
@eliamsopokingkola890
@eliamsopokingkola890 4 жыл бұрын
Kila KITU Nyerere 2020
@tgeofrey
@tgeofrey 4 жыл бұрын
Yoko wapo Bonta
@samwelsamwel2692
@samwelsamwel2692 4 жыл бұрын
Bonta ndo no mc kwangu.Bro tupe contact zako.
@blacktoto1224
@blacktoto1224 9 жыл бұрын
hivi bro ulizaliwana hiphop??? mana mistari yako daa inagusa kinomanoma
Mandojo na Domokaya  - Dingi (Official Video)
5:45
Domokaya
Рет қаралды 623 М.
Every team from the Bracket Buster! Who ya got? 😏
0:53
FailArmy Shorts
Рет қаралды 13 МЛН
Какой я клей? | CLEX #shorts
0:59
CLEX
Рет қаралды 1,9 МЛН
JOH MAKIN = NIAJE NIVIPI
4:10
Peter John Rukiko OriGinal
Рет қаралды 91 М.
Tesa Nae Joslin feat Stopa
4:11
Stopa The Rhymecca
Рет қаралды 3,2 М.
Langa-Gangsta
4:08
Langa Kileo
Рет қаралды 135 М.
sam ukweli hata kwetu wapo
4:12
mulama masinde
Рет қаралды 147 М.
roho saba - nakupenda hiphop.flv
4:48
kaloka64
Рет қаралды 342 М.
Bonta ft G Nako - Watu Buu (Official Music Video)
3:52
LOCATION WITH HANSCANA
Рет қаралды 13 М.
Gwear ft juma nature & KR-msela audio
3:56
Jerome INK
Рет қаралды 85 М.
D Knob - Bad Man
4:10
mitaanimostwanted
Рет қаралды 213 М.
NIKKI MBISHI - PESA KWANZA [OFFICIAL MUSIC VIDEO]
3:54
Mecky Kaloka
Рет қаралды 110 М.