Kama umeangalia baada ya kusikia taarifa za msiba wa Mandojo gonga like
@IbrahimMosha-i2y3 ай бұрын
Acha tu kaka jamaa katutoka kweli
@frankbujiku94963 ай бұрын
😢😢😢😢
@AzizaJuma-p7x3 ай бұрын
Ndio hivyo
@moseti1003 ай бұрын
Like za nn shog wewe
@claudiangowi96283 ай бұрын
Acha tu 😢😢
@jefftonyrichard23589 ай бұрын
Nani anasikiliza hii track 2024
@Hamisimenjuka6548 ай бұрын
Mm hapa march 2024
@erickagwe88418 ай бұрын
🔨💯
@KenMtitu8 ай бұрын
Still here March 25 2024
@irenethilia88537 ай бұрын
Still here April 14 2024.
@MbataNgonkola-sl8lv7 ай бұрын
Hapa
@willehardkimbi56458 ай бұрын
Ukiona hii comment, I like ili notification inirudishe hapa kusikiliza mziki mzuri
@directormr.kamwene64393 ай бұрын
kama nawewe uliposikia kifo chache umekuja kufata hii nyimbo gonga like
@BATHLOMEOPaul-ns9er8 ай бұрын
Pa1 2024 weka like❤
@eng.hamisim.maliki91333 ай бұрын
Tunaomtakia pumziko jema Dojo like hapo
@modestamodesta39403 ай бұрын
Kma umeangalia nyimbo zake baada ya kusikia msiba aise mungu akupe kaul thabit😢😭😭
@kherryhustler79168 ай бұрын
nani anasikiliza hii track 2024❤
@mtumzito26273 ай бұрын
nipo
@marthamwilongo44703 ай бұрын
Naitwa Chines
@kherryhustler79163 ай бұрын
@@marthamwilongo4470 tupo pamoja one love
@kherryhustler79163 ай бұрын
@@mtumzito2627 unyama sana
@lusajogilbert20512 ай бұрын
Pini kali tupo pamoja RIP Dojo
@nelsonmsafiri36939 ай бұрын
Aliyepiga Hilo guitar 🎸 la base katisha 2024 still hot
@iddyvedastus84578 ай бұрын
Produced by Micca Mwamba MJ record 🔥
@mohamedhamisi97663 ай бұрын
Guitar alipiga mandojo tumuombee tuu apmzike
@josephathamidu1118 ай бұрын
Eeeeh bana old is gold hii nyimbo mistari yake haitakufa milele maaana Ina ujumbe na melody tamu sana
@libetztanzania-kiswahilina28458 ай бұрын
08.03.2024 WANAWAKE DAY, NIKIWA NCHINI MISRI MASOMONI
@fasterwalker146426 күн бұрын
Feel the track ×3 Feel the track ×3 Feel the track ×3 Feel the track×3 Baba mbona ukanikimbia Maisha magumu ndo yaliyochochea Nakukumbuka na nna kulilia yaaah aaaaah Ukweli ningependa we kunirudia Baba mbona ukanimbia Maisha magumu ndo yaliyochochea Nakukumbuka na nnakulilia yaah aaah Ukweli ningependa we kunirudia Dingi sio vizur hivo tazama verse nacheza Unaleta kiu ya fedha na ulishatudekeza why! Enzi hizo kipindi mheshimiwa serikalini Katibu wizara ya fedha miguu haitoki mezani ofisini Fanya kaz zaidi ya 20 za wafanya biashara kwa ujumla Wakiomba msamaha kodi shika hii moja nusu unauchuna Siku Understand mtoto wa jirani kukomaa sura Wengine wamekonda mfano wa???? Astaghfillah Ningekua vipi sugu nunda Na!!!! Sikuzifahamu tabu Ni aibu kufikilia mke wapili na kumfukuza babu Pale tulipokueleza ukatujia moto juu "Watoto mkome subirini wakati wenu sio huu" Sikilikapita lindandasi rahisi kuvunja baraza Aibu kutufahamisha mbaka habari ilipotangazwa Siku hyo tulishtushwa kidogo maza afe kwa presha Alitambua mapema kitakacho fata mkataa pesa Ukawa na sura yakujificha uliandamwa na vikwazo Ukawa mtu kilabu vilevi kupotezea mawazo POMBE INASAHAULISHA MADENI nam mimi mtunza tungo hautosaza usposhar Chini ya jua kali wengine hawafahamu utamu wa ugali Ikafika kipindi hatukubaki na senti mfukoni Ukipiga rekod baba hajarud unajificha chooni Ukaanza. Kua na makuzi sikusifii hizi ni kejeli Sina chakuwa tell akawa mfujuzia ma house girl Kwakua walikua wadogo kiumri uliwadanganya kirahisi nakutimiza yale yote Aliyokutuma wako ibilisi Tukaona isiwe tabu tulipofaham hayo unatenda Akaletwa mtu mzima kumkomoa nae akamtia mimba Kwa uchungu mzima ndugu kumjadili vikali Tukikumalizia msosi sufuria unazitia msumari Akija asubuhi hofu tumbo joto home akai Baada ya dakika chache hodi hodi za wanaomdai Sina imani nae namchukulia tu father mkatili Kwasasa anatoa kudozi anatutazama sehemu za siri Haitosaidia kuinama chini majini yake yanavo mtuma Huyu mzee hashibi yeye anachoka tu kutafuna Alishatutia aibu mbele ya rafiki zake mother huyu kalost Kaja seblen na taulo ndan hana hata kost Katika kumvumilia sindo radhi akamwaga KAMA ALIVYOZALIWA WAGENI IKABIDI KUAGA Yakafanywa malipizi mama akafanya mgomo baridi Nkashangaa vipi ukacha home matatizo yamezidi Tukaanza angamia pumzi zangu hazitoi jema sikuyapili nkiwa kijana mdogo sio mtumzima Mama hana kazi familia ingeendeshwa vipi Mbaka nilipoanza kaba walevi kona ya msikiti Kaptula nshauza sana kumsevu mother mzazi Nilimfikisha hospitalini usiku alipougua maladhi Upepo ulivuma kichizi sikuhiyo kabla ya kunyesha mvua Popote ulipo sikia mwanao nashuka hizi hatua nikachana nyuzi za gitaa nashushia na shairi Ukichambua kiufasahaa utaonekana mkatili siunakumbuka imani hamna na tabia haibadili Ingawa ni mkosefu nitakufanya uwe rafiki kukosa mapenzi ya baba kumeniathiri kiasi flan Cheki leo nna kesi ya bangi kesho narudi mahakamani Kesi juu ya kesi mkanipa jina mtaani Wamwisho kunishauri masela wangu maskani Kipaji ndo chanzo cha kuniandikisha hili pini Mbaka naingia studio bado sijakutia machoni Nashindwa kujimudu ukosefu waakili kichwani ningetoa wapi shuleless school fees jamani Sikumaliza elimu ya msingi ntapata kazi unazan Ndomaana nakulilia tafadhar baba rudi nyumban Saivi mambo safi kidooooogo kutokana na fani Shukrani kwa mika na dj hii track ipo hewan Shukran kwa mpenzi wangu alieniletea amani maishani Kuna Wakati nilikumisi nasisitiza yaan Heri utujurishe upo hai hapa duniani Au umetutoka mungu akulaze pema peponì Ameeeeeen Baba mbona ukanimbia yaaah aaaah Maisha magumu ndo yaliyochochea Nakukumbuka na nnakulilia aaaah Ukweli ningependa we kunirudia Baba mbona ukanimbia Maisha magumu ndo yaliyochochea aaah Nakukumbuka na nnakulilia yaaah aaaah Ukweli ningependa we kunirudia Mandojo na Domokaya Dingi
@AllyAthumanAllan11 күн бұрын
🤛🤔
@Aman-lr7xx10 ай бұрын
Nipo hapa 2024 tarehe 1 mwezi wa 2❤❤❤❤❤❤
@amiekingili4766Ай бұрын
U😢
@amiekingili4766Ай бұрын
😅8jmm 2:43 oooooplp
@nasraamir7042 Жыл бұрын
It's 2023 still listening to this Masterpiece 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@alexjohn7361 Жыл бұрын
Together here
@omarmwaiwe7269 Жыл бұрын
Sitaki kukumbuka hizo enzi, nahisi ni km machozi yatanindoka
@HassanAbdu-pq4rh Жыл бұрын
Together
@eshukodethinker8603 Жыл бұрын
yeah this song is a lifetime..
@MaximeMasinga-h2y11 ай бұрын
❤❤❤😢😢😢❤❤
@bizomenyimanaelias54553 ай бұрын
nilipenda hizi nyimbo kipindi nikiwa mdogo nilikua sijui kiswahili nikiwa primary nchi kwetu Burundi
@AlexJumanne-ls5gm3 ай бұрын
Tulio kuja kuangalia baada ya kusikia R I P mandojo tujuane hapa
@miriammanyanga6983 ай бұрын
Dahhh R.I.P mandojo imebidi nije kuangalia Ngoma kwa mara ya mwisho
@HafuaSwalehe-je8rp3 ай бұрын
Yani nimeumia mnooo
@SaidIssa-ow8ee3 ай бұрын
Ata mim pia
@Dr.alan_king3 ай бұрын
Mi pia imeniuma sana😢
@AndrewWoiso3 ай бұрын
Ata mm asee imeniuma sana
@AndrewWoiso3 ай бұрын
Rip kamanda
@HafuaSwalehe-je8rp3 ай бұрын
Nimekuja apa baada ya kusikia taarifa za kuumiza 😢😢😢
@rubberbandman1213 Жыл бұрын
Hello it's 2030 Huyu jamaa kaimba verse moja tu kwny hii ngoma. Verse kali sana halafu ndefu mno salute nyingi kwa domokaya, very powerful 💪
@frankbyarugaba96383 ай бұрын
yaani ndefu balaaa pumzi kama zoote
@Jackjuneart_tz8 ай бұрын
Ngoma kali sana story nzuri naisikiliza 2024 /3/30
@mwinyihamisidee58138 ай бұрын
Its march 2024 still listening to this beautiful masterpiece from mandojo ft domo🔥🖐️
@piusthomas57137 ай бұрын
twende mbele turudi nyuma huu mdundo wa guitar ni hatari sana, 2024 bado ngoma kali
@mohamedhamisi97663 ай бұрын
Na gitaa alikua analipiga sana yeye
@mamachris68113 ай бұрын
Wenye music mzuri hupotea hivyo tu 😢
@DOUBLE_G_DA_BST11 ай бұрын
Hawa jamaa walikuw na kipaji kwel daah👏
@lynahasiko64543 ай бұрын
Tugonge like kama tumetoka facebook baada ya kuskia kifo cha legend😢😢
@MrNoNonsenseYes2 жыл бұрын
Mkenya nipo mwenyewe tu, au wapo wakenya, kutoka mombasa tujuane, hizi ndo nyimbo tulokua nazo utotoni🔥🔥🔥
@CoachHafidh2 жыл бұрын
Nipo bro...wa Mombasa hapa😁
@MrNoNonsenseYes2 жыл бұрын
@@CoachHafidh Nakubali mwana, bamburi moja hii sijui wewe anga zipi
@skulfees54533 ай бұрын
South Coast moja hioo tuko pamoja 🎉
@IsaacLyaruu3 ай бұрын
Mmoja amefatiki mandojo
@rajabubasoloma108011 ай бұрын
Chuma hiki hakiwezi kupoa daima, hongera sana broo
@edwinelias85543 ай бұрын
Tulikuja kuisikiliza huu wimbo baada ya man mandojo kuumaliza mwendo tujuane kwa like 2024
@nussah31582 жыл бұрын
Nani anasikiza hii track 2022
@neutraljimmy31582 жыл бұрын
Mimi na sikilizia hiyo nyimbo always na kumbuka maisha baadhi za familia za kibongo muda wote inafanya nikumbuke East Africa
@eliudytafawa46482 жыл бұрын
Even me
@saidymatumla68782 жыл бұрын
Mimi hapa
@victorosong2 жыл бұрын
Tuko wengi.Hii na ile niaje collabo yao na Juma Nature,noma Sana and classic.
@paulchiloleti5782 жыл бұрын
Tuko wengi
@stevgahamanyi50853 ай бұрын
Daaah inauma sana. RIP . Tutakukumbuka Daima Milele..... all the way from KIGALI -Rwanda.
@NilhaniHusein3 ай бұрын
Mungu akulaze mahali pema kamanda man dojoo 😢😢
@frankyohana2082 жыл бұрын
Ngoma inaishi na itaendelea kuishi kwenye watu waelewa.."
@mazy47849 ай бұрын
2024 hii trak 🏆🏆🙌🙌
@georgemshumbusi10999 ай бұрын
2024 STILL LISTEN THIS BEAUTIFUL SONG ya verse 1
@radotyga2 ай бұрын
Nyimbo yangu bora ya mda wote dahhhh bonge moja la ngoma
@hoseamarko73438 ай бұрын
Nipo hapa leo 2024❤❤❤
@LihoyaMwisongo3 ай бұрын
Hii dunia hii ushetani ni mwingi kuliko hofu ya Mungu 😭😭
@Bartle207 ай бұрын
Da miaka inakimbia sana wakati hii ngoma inatoka nilikuwa primary school pale Magereza tabora ilikuwa kila jioni lazima niisubirie ipigwe kwenye tv isipopigwa nilikuwa najisikia vibaya 😂 na ukweli kuna baadhi ya mistari ndio miaka ya karibuni naelewa kiliimbwa nn mi nilikuwa napenda beat na wale wahusika wa kwenye video. Ila asanteni sana brothers kwa kutubariki na ngoma kali zinazoishi Respect.
@habarikaonlinetelevision41423 ай бұрын
Ilikua mwaka Gani Ngoma inatoka
@fasterwalker14642 ай бұрын
@@habarikaonlinetelevision4142mwaka 2007
@samtz13993 ай бұрын
Aisee mungu amlaze mahal pema pepon mandojo ,,tutaonan siku Moja 🙏🙏🙏🙏
@jumamohamed99162 жыл бұрын
Ngoma kali sana ,kuna kipande kinasema "sikusifi hizi kejeri"
@nadiaamisha29583 ай бұрын
Pumzika kwa amani mandojo🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@ronaldreagan77726 ай бұрын
Sku understand mtoto wa jirani kukomaa sura Wengine wamekonda mfano wa astaghafirulah 😂😂
@chrispinmwazembe9733 ай бұрын
Pumzika kwa amani mandojo
@allypharahani21683 ай бұрын
Jamaa ameuawa 10 August 2024
@ayoublowlance46453 ай бұрын
R.I.P Mandojo 😢😢😢😢
@barakaalec5162 Жыл бұрын
One of the most lyrically conscious song ever written in Bongo Flava hIstory..Hats Off..
@peterantonymindolo87238 ай бұрын
2024 huu wimbo bado uko fireeeee
@solomonhaule27953 ай бұрын
Naisikiliza mida hii. Walifanya kazi nzuri
@mshovay5859 Жыл бұрын
Hawa ndio WANAMUZIKI wa kweli. Wanatunga, wanaimba na wanapiga vyombo vya muziki.
@EmmerMacher-e3w3 ай бұрын
Ngom kariiii r.i.p mandojo
@RamadhaniJuma-re7be3 ай бұрын
wahuni wametupiaa full kombatiii
@freddiemello78482 ай бұрын
Daaah inauma sana...fan wako mkubwa kutoka Nairobi Kenya. Rest eazy braza
@metroplanetstudios3 ай бұрын
Aisee watu walikuwa naimba zamani na siyo siku izi wahuni wamejaa kwenye music industry
@beesmarttv37922 жыл бұрын
Dah!! Brothers kweli miaka inaenda hii ngoma nilikuwa shule!! Mungu awabarik kaka zangu!! Nyimbo zenu zitaish
@Domokaya2 жыл бұрын
Amen 🙏
@MwinyiSalim-d4j7 ай бұрын
@@Domokayakunikumbusha mbali sana walai 😢😢😢😢😢😢 maisha magumu sanaaa😢😢😢😢😢😢😢
@cassytv99952 жыл бұрын
Mandojo ni fundi na sijui kapotelea wapi😓😓😓
@juliusloy50233 ай бұрын
R.I.P mandojo sijawah kuacha kusikiliza nyimbo zao toka enzi hizo tuko na moringe na mdogo wako
@nicholaskobelo8748 Жыл бұрын
Verse moja tuuu ila ujumbe kila mstari this generation was blessed.
@JumaMlawa-r6d3 ай бұрын
Mungu ailaze roho ya marehemu mandojo mahala pema peponi😢😢😢
@kudramzee57693 ай бұрын
Daaah pumzika kwa amani mwamba mandojo ila kazi zako bado zinaishi
@adamhussein83372 жыл бұрын
Yembo yenye uahai na ujumbe Kwa kila mtu dahhhh nakusikiliza muda sana iliwatoto wangu wasijepitia maisha niliyo pitia
@Domokaya2 жыл бұрын
Asante sana 🙌
@MwinyiSalim-d4j7 ай бұрын
Bro ulipotea wapi nyinyi na mabanga fc@@Domokaya
@Andrew-og4xf2 ай бұрын
Good job, thanks, mpaka leo nalia!
@asunigohagi517710 ай бұрын
🎉😂❤gud songggg
@Wikitiki12453 ай бұрын
Enzi hizo gwanda za jeshi unavaa tu
@baragatimaingu56233 ай бұрын
Mandojo nimekuja tena tizama hii video baada ya kupata taarifa za kigo chako.. Ilikuwa bonge la ngoma enzi za channel five. Na pale star tv... Pumzika kwa amani legendary😢
@anniebismarck46962 жыл бұрын
Old is Truly GOLD😅🙌🏽, I wish siku zirudi Kama zamani😭
@asadsuleiman67192 жыл бұрын
Life was so much better in them days wenit?
@anniebismarck4696 Жыл бұрын
Surely 😢
@amosimtui48723 ай бұрын
Daaah R.I.P mwambaaaaa😢😢😢😢
@juliussanane18602 жыл бұрын
Dah Old bongo fleva Music never die this song played when I was standard two 2001 till this I enjoy it with wonderfully message to those dad's left their families because hardship life.11/5/2022 still listening much love ma homie 🇹🇿
@Domokaya2 жыл бұрын
Thanks a lot man I really appreciate this 🙏 ,Thank you for the compliment Much respect 🙌
@hefsibahunkie73762 жыл бұрын
01/06/2022
@malickngoma52912 жыл бұрын
Ulisoma kimanga ?primary
@karimabdallah13042 жыл бұрын
same feelings here 11 Aug 2022, I wake up with this song, I found myself involutary sing the song since I arrived at office so as I decided to enter youtube and search the song and her playing
@elizabethidasso88232 жыл бұрын
The realese of the song was 2005 not 2001
@moshakrama2 жыл бұрын
Hii ngoma irudiwe! MASTERPIECE
@bronyjoel599 Жыл бұрын
Memories back in the days beautiful song... listening 2023
@mariahwayesu73124 ай бұрын
Mika mwamba aligonga beat humu daaah
@kenieslime29827 ай бұрын
2024 listening and many years to come
@Moudmtanzania3 ай бұрын
Pumzika kwa amani kaka tunashukuru kwa wimbo mzuri 😢
@shabanibussara845410 ай бұрын
Dah! Hili PINI HILII✊👊!!!
@kevinevans9923 Жыл бұрын
Absolutely the most lyrical poetry masterpiece from bongo land😮❤
@CoachHafidh2 жыл бұрын
Huu mwaka 2022 peke yake nimeutazama zaidi ya mara kumi na mbili huu wimbo....daah hauchuji kabisa...🙌🏾😭💯
@Domokaya2 жыл бұрын
🙌
@muemamuema80202 жыл бұрын
@@Domokaya tupe kibao kipya
@norbertlauson5108 Жыл бұрын
2023 and still runni' this song. Back in old day when hip hop Is real🎤
@Domokaya Жыл бұрын
🙌
@RachelJulius-h1p3 ай бұрын
Aisee me simjui uyu jamaa ila hii nyimbo sina ugen nayo tulozaliwa miaka ya 2000 tujuane me simjui jmn😢 ila nimeumia
@dullahhamis71263 ай бұрын
Nyimbo maarufu sana hii.. muwe mnasikilizaga na music ya zaman sio kina diamond tu😂😂
@mohamedhamisi97663 ай бұрын
sikia tuu chorus yake na utulivu wa upigaji gitaaa
@loitolaisser30402 жыл бұрын
Naikubali sana ngoma since day 1 naijua mpka nikawa natunga na verse zangu 🤣🙌🏾
@Domokaya2 жыл бұрын
😃😃
@kedyjohn18482 жыл бұрын
What a song ... They don't songs like these nowadays, wote wanaishia na nyimbo za tambo na mademu.
@finestford0073 ай бұрын
He was a really good guitarist❤ Till the bright morning! Watanzania tuache roho mbaya yan mtu unampiga raia mwenzako mpaa kifo dah! Rest easy legend
@latifsahib71102 жыл бұрын
Jamaa ni wakali wa storytelling... Hatari sana
@shabbyofficial_3 ай бұрын
Huu ndo urafiki wa ukweli walikua nao RIP mandojo 🕊️
@juniorjotham15242 жыл бұрын
Duh bongo fleva imekufa jaman One among the best track ever
@frankdanford82452 жыл бұрын
Nyimbo yenye uhai wa maisha yote.😍
@Domokaya2 жыл бұрын
🙌
@jaffesonjackson23333 ай бұрын
Kama unasikiliza ilo gitaaa Mara mbili mbili gonga like twende sawa
@ommylax72313 ай бұрын
Izo gitaa zake ndizo zilizo mfanya mika mwamba afanyiwe fighisu aondoke Tanzania alikuja kukamata soko la tanzania, sikiliza ya Dudu Baya Tentemente sikiliza ya Daz nundaz ya kamanda utajua uyu jamaa Mikha Mwamba alikuwa ni moto sanaaa
@mackenzie80372 жыл бұрын
Ngoma ya Dunia. Ye baba
@Domokaya2 жыл бұрын
E baba
@mkuuwakaya22742 жыл бұрын
@@Domokaya wazee kimya miss michano wazee na title za heshima
@rotich1002 жыл бұрын
Big up yourself mandojo and domokaya. One of the best story tellers. Much love from 🇰🇪
@Domokaya2 жыл бұрын
🙌🙏 respect
@yaedlifemedia32032 жыл бұрын
Sana jiran 🇹🇿 ur right
@CoachHafidh2 жыл бұрын
Domo kaya katema nyongo kinomanoma, Sijui ingekuaje kama hii story ingekuwa imemtokea kweli...Daah sasa nimeamini kweli 'Mziki ni Hisia'. Huu wimbo BABKUBWA sana...Hivi najiuliza ashawai tokea muandishi wa habari akaufanyia Breakdown ya maana huu wimbo, Maana nyimbo za aina kama hii zinatakiwa zizungumziwe kwa KINA sana mpka Tunafahamu msanii anakuwa Exact feeling gani mpka kufkia kuandika mashairi KUNTU kama haya. Live longo MANDOJO NA DOMO. MUCH LOVE🇰🇪💥🔥🔥🔥🙌🏾💯
@Domokaya2 жыл бұрын
@@CoachHafidh Asante sana hii stori half of it ni true story na ilinitokea lakini utunzi wa kisanii pia umetumika kukamilisha story so imagination pia imetumika 🙌
@MrKunambi2 жыл бұрын
My all time song,Bless you Rasta @Domokaya
@athumanmtamatale70142 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu awabariki sana,mmetuburudisha na kutuelimisha kwa miaka mingi sana 🙏🙏🙏
@Domokaya2 жыл бұрын
Asante sana 🙏
@isaacgichuki40442 жыл бұрын
From Nairobi Kenya... Siii hii ngoma ilikuwa Kali... Still a banger!!
@theosimba2833 ай бұрын
RIP mandojo…… biggest fan
@hadithizetutv3 ай бұрын
Hii ni moja ya ngoma ninayoikubali sana nakumbuka nilikuwa napenda kuiplay kwenye laptop ya mama yangu.
@HASSANBAKARI-q9c3 ай бұрын
R.I.P MANDOJO
@deejaymsomalytz89102 жыл бұрын
Goma kali na linanigusa coz yalitukuta kipindi hicho
@muddyzungu-w2p3 ай бұрын
Kama uko live unaangalia huu wimbo baada ya kupata taarifa ya msiba nmbie
@SylivesterJoseph-s2f20 күн бұрын
Ngoma nzuri sana
@mohamedhamisi97663 ай бұрын
Daah mex wamoto sana hiyo beat kali sana
@sebastianmpepayena55872 жыл бұрын
Baba mbona ukanikimbiaa🙌🙌🙌🙌
@darasalako Жыл бұрын
Zamani nyimbo dakika 5+ na bado ni hit huchoki kusikiliza, leo nyimbo dk 3 lakini ikiisha umeshaichoka.!
@abrahamkapungwe18563 ай бұрын
Mandojo kweli umekufa kifo kikali shujaa wa bongo flava..R.I.P
@thomasedward21252 жыл бұрын
katika ngoma zinaongea maisha yangu hii ni moja wapo from way back
@lucasmhagama81662 жыл бұрын
Best storyteller song ever Siuchoki huu wimbo hata nisikilize vipi