GSM APIGWA MARUFUFUKU | KUANZIA LEO ASIMAME | HUU NI UPANGAJI WA MATOKEO

  Рет қаралды 33,486

MATOLE TV

MATOLE TV

Күн бұрын

Пікірлер: 274
@japhetmlowe5362
@japhetmlowe5362 2 ай бұрын
Maneno ya mkosaji ayo
@charlesSomeke
@charlesSomeke 2 ай бұрын
Simba so mlikataa
@AsanteRashidi-w7f
@AsanteRashidi-w7f 2 ай бұрын
Atoke huyo anaharibu mpira wa bongo
@vicentmwamba155
@vicentmwamba155 2 ай бұрын
Dah huyu sijui anatumia nn kujfikili
@EmmanuelSima
@EmmanuelSima 2 ай бұрын
Kumbe hata points 6 za Simba nazo ni ufadhili eti na awamu hii mtasema yote
@mathewmillanzi1700
@mathewmillanzi1700 2 ай бұрын
SIMBA AlIPIGWA TANO AMEDHAMINIWA NA YANGA
@Zubedarajabu-y6v
@Zubedarajabu-y6v 2 ай бұрын
Tengezenu timu mbwa nyinyi
@jacobsadock3530
@jacobsadock3530 2 ай бұрын
Azam ni mdhamini mkuu wa ligi, GSM ni mdhamini mkuu wa club ya yanga lakini ni mdhamini mdogo wa club nyingine 6 ko mchungaji uko sawa
@jamilahjamilah4157
@jamilahjamilah4157 2 ай бұрын
Wee baba na hiyo simba sii mpe huyo GSM tuone simba sii mna moo
@issaisandeko6217
@issaisandeko6217 2 ай бұрын
Hata Azam ana timu ligi kuu kwa hiyo nayeye aondolewe udhamini
@razacklazaro6678
@razacklazaro6678 2 ай бұрын
Mchungaji wa watu au ng'ombe...angekua mchungaji wa din/ watu asieongea utopolo
@omarsadiki-vi1tl
@omarsadiki-vi1tl 2 ай бұрын
Na kweli huna akili, kumbukumbu huna gsm alitaka kudhamini na miongoni mwa watu walokataa ni simba
@mussai.sillas3796
@mussai.sillas3796 2 ай бұрын
Namungo ilipokuwa inadhaminiwa Mo hukuona. Unaona GSM tu? Kilaza,hujui hata maana ya unachosema. Simba wamefungwa mara nyingi. Je Simba wanafadhiliwa na GSM?
@GadafSalum
@GadafSalum 2 ай бұрын
Shida hamujitambuwi
@azamsp0rtshd2kiangi3
@azamsp0rtshd2kiangi3 2 ай бұрын
Neno la mungu lonasema wafitini mawanafiki wafanyweje walaaniwe jitafakari mchungaji.
@HajiJuma-oy1jy
@HajiJuma-oy1jy 2 ай бұрын
Huyu hajielewi Simba nayeye pia kazaminiwa na GSM alikula 5
@clauschaula2050
@clauschaula2050 2 ай бұрын
Hakuna Cha upangaji matokeo.Kinachoondelea ni kuwa Yanga ni timu inayoimarika Kila siku.Swali kama Yanga inapanga matokeo,inawezekanaje wanapokutana na simba au Azam Kwa nini wanashindwa kuifunga?Watanzania tumejinza kuwa na maneno Mengi sana kuliko kuzingatia hali halisi.Udhamini Kwa timu zetu ni muhimu sana Kwa maendeleo ya soka hapa nchini.Ongezeni umakini katika sajili za timu zenu,punguzeni porojo.
@JumaHaroun-l4z
@JumaHaroun-l4z 2 ай бұрын
Acheni porojo nyinyi Simba anawadhili gsm mbona mnfungwa? Kwani yanga haiwezekani kuwafunga namungo?pamba ,cost ,Kagera au mashujaa?
@FetyzarMselemo
@FetyzarMselemo Ай бұрын
Huna elimu ya mpira ww shabiki maandaz kwanza huelewi a na achoongea mchungaj
@daudkondo4069
@daudkondo4069 2 ай бұрын
Wee huna akili kweli, ivi una Aziz una Pacome Una Nzengeli unasema habari ya mashujaa bwege sana
@CastorNyondo
@CastorNyondo 2 ай бұрын
GSM adhami na Simba ili msipigwe misumari,Bomba makolo
@ElliamaniGodsoni-s7x
@ElliamaniGodsoni-s7x 2 ай бұрын
Watanzania acheni kuwa na mawazo mafupi na sportpesa anadhamini timu ngapi Tanzania na nje ya mipaka
@Tostao36
@Tostao36 2 ай бұрын
Huyu jamaa hajui lolotee.Mbona Azam anafadhili timu zote na ana timu yake huko.Cheza ngoma yako brother
@patrinraura1397
@patrinraura1397 2 ай бұрын
Ni kweli kabisa Fedha ndiyo kila kitu Kama udhamini Vilabu zaidi ya kimoja tayari kuna kila dalili ya kuua ushindani na Pia kuminya haki na kutopata Bingwa kihalali Tunakuunga mkono kabisa kwa kutoa Angalizo na kufumbua macho Vilabu vyote vya ligi kuu
@salummtumbukie8873
@salummtumbukie8873 2 ай бұрын
Unataka vilabu vikose pesa video na ukqta vishindwe kujiendesha na kusafili na kuweka kambi bora kama ninyi.
@AthumaniKondo-y5r
@AthumaniKondo-y5r 2 ай бұрын
Wagonjwa nyie dhamini nyie Simba nayo gsm
@bbanyikwa
@bbanyikwa 2 ай бұрын
Kolo acha makasiriko sajiri kikosi kizuri utajikuta kila mtu unamuona mchawi wako😂😂😂
@RajabuAlly-hn9lj
@RajabuAlly-hn9lj 2 ай бұрын
Azam mbona achukui kombe
@geofreymwaipopo1442
@geofreymwaipopo1442 2 ай бұрын
Mwambie mwamed akadhamini zilizobaki
@josephlorri431
@josephlorri431 2 ай бұрын
Kipindi Mo alidhamini singida United na simba mlikuwa kimya. Mo kafilisika
@AthanasMsangule
@AthanasMsangule 2 ай бұрын
Hivi ni sawa na kusema kuwa timu 15 zinatakiwa kumpa pointi Azam FC ? Amwambie MO achague timu azifadhili Ili wampe points Ili Simba ishinde!
@FetyzarMselemo
@FetyzarMselemo Ай бұрын
Mo Mtu na elimu yake anafadhil tim Moja usimgananishe na gsm wako anaharibu ushindan wa ligi yetu
@barakamtelani2313
@barakamtelani2313 2 ай бұрын
Kuna watu vichwa maji GSM alidhamin ligi yote madunduka wakakataa Azam anafadhili timu zote vip yeye hanufaiki je mbona Simba anagongwa nje ndan nae kadhaminiwa na GSM
@evaristgaspa6074
@evaristgaspa6074 2 ай бұрын
Simba mnatafuta kwakuengemea hiyote nikwasababu hazamini Simba Azam nasimba niwareware _hata GSM abaki na yanga kipigo kikoparepare _mtu kwenyehera yake hapagiwi takukuru wapo pereka mararamiko yako ira uwena ushahidi
@chatnami
@chatnami 2 ай бұрын
Hoja ingekuwa Azam hafadhili vilabu moja kwa moja. Azam anadhamini ligi kupitia TFF. GSM ana mkataba wa moja kwa moja na vilabu
@JumaKassimmazito
@JumaKassimmazito 2 ай бұрын
Akili huna kweli simba kazaminiwa na gsm
@MhojaFunuki
@MhojaFunuki 2 ай бұрын
Mo.hajawahi kufazili tim zaidiyamoja
@simonnjovu586
@simonnjovu586 2 ай бұрын
Una umri gani?
@japhetmlowe5362
@japhetmlowe5362 2 ай бұрын
Mbona sport pesa alikuwa na simba,yanga na singida
@AllyHassan-e2m
@AllyHassan-e2m 2 ай бұрын
Tatizo wanatufanya watanzania nini mazuzu hawa GSM ni chama cha siasa kuna mapapa ndani yake we known watanzania ndio maana tifua tifua hawasemi kitu imetawaliwa wote hadi. Marefa wao hii sasa sio michezo ni jambia jambia eti kuikomoa Simba huu ni ujinqa
@allymtapera5370
@allymtapera5370 2 ай бұрын
Muulize huyo ana muda gani ktk mpira muulize mo alizamini team ngapi,
@BarakaJapheti-p5k
@BarakaJapheti-p5k 2 ай бұрын
Huyo jamaa anayo mapepo aombewee,,,mpira pesa, kama timu yake ipo tayari kuzaminiwa na Gsm aende waongee wasaini,mpira upo wazi,.sisi yanga hata akija huyo moo atuzamini tunataka pesa namoo atapata pesa mpira uwanjani,.
@bethmahela2182
@bethmahela2182 2 ай бұрын
Wewe hujui tofauti ya mdhamini na mfadhili,ukielewa huu utofauti utaacha kulaumu tff na Gsm
@JumaKassimmazito
@JumaKassimmazito 2 ай бұрын
Hahahaha mzeeee zeze
@JonathanMGAIWA-ow4py
@JonathanMGAIWA-ow4py 2 ай бұрын
Jamani hili suala mbona liko wazi? Huyu anadhamini ili apate favour, ana uhakika wa kupata points 6 kwa kisingizio cha ufadhili. Hapa kunakosekana fair play
@elizabethkalinga0822
@elizabethkalinga0822 2 ай бұрын
Huyo Tayari kafungwa kwenye Match, ata wachezaji atawatoa Kwenye Mchezo. Mpeni Kanuni huyo, aache kukariri
@YusuphMdaki
@YusuphMdaki 2 ай бұрын
Wewe hijui ball yanga imechukua ubingwa mara nyingi bila GSM kkiwa na wafadhili wengine acha hoja dhaifu
@boscomwangosi1042
@boscomwangosi1042 2 ай бұрын
Simba acheni visingizio nyiewenyeww mmefungwa mala mbili mlidhaminiwa na GSM?
@simongshayo4678
@simongshayo4678 2 ай бұрын
Yeah upo sahihi kabisa
@issapagali1330
@issapagali1330 2 ай бұрын
Hili linajiita Mchungaji😮. Si likasimamie "WANAKONDOO" huko. Tangu lini ukasimamia /kutumikia mabwana wawili. MAKOLO NYOKO yashaanza malalamiko na BADO. PAMBAF WAHED.
@omanbarka1588
@omanbarka1588 2 ай бұрын
Umelazimishwa kukoment sasa matusi ya nini mtandaoni unataka tukufungie
@JohnKayamba-l9v
@JohnKayamba-l9v 2 ай бұрын
Tff sasahivi imekuwa msimamiz mkuu wa mwiko nyuma,,na mfadhili wao,,hata jukwaa kuu sasa viti vya Said na Karia vinatambulika
@KennedySamson-lo4pw
@KennedySamson-lo4pw 2 ай бұрын
Mbona alipo dhamini timu zote makoloboi mulikataa mpaka tff wakarudisha mshiko Leo anadhamini wanaotaka mnapogakelele nanyie ombeni mdhaminiwe
@juliusmagoti5650
@juliusmagoti5650 2 ай бұрын
This is hopelessness of the highest order. Watu wa Simba tengenezeni timu, acheni arguments za kitoto. Mpira ni mchezo wa wazi. Kama Yanga walifika fainali ya shirikisho, GSM alikuwa anadhamini timu gani huko? Wew mwenyewe unakubali Yanga wana timu nzuri, unatarajia afungwe na timu gani kwenye ligi yetu. Msitafute vichaka vya kujificha. Hata MO akitaka kufadhili timu afanye hivyo, timu ndogo zinahitaji sana ufadhili ili zijiendeshe. Mchungaji try to be scientific
@mohammedmdangwe2056
@mohammedmdangwe2056 2 ай бұрын
GSM KAARIBU LIGI YA TANZANIA 🇹🇿 ANAONGA WACHEZAJI MAREFA
@boscomwangosi1042
@boscomwangosi1042 2 ай бұрын
Katika watu wenye kichwa kibovu wewe unaongoza kwani timu gani inaitwaga Rozi Muhando.simba ndiotimu pekee inayobebwa na malefa,mechi ya juzi na yanga lefa amefikia mahalo anakataa mpaka magoli yaliofungwa,penat ndio usiseme. Mechi ya mwakajana pia lefa alikataa gori la yanga kwenye ngao ya hisani angalia mechi ya singida prison dodoma na zingine nyingi
@khamisrashidkhamis4490
@khamisrashidkhamis4490 2 ай бұрын
GSM aliingia kama mdhamin mwenza wa ligi kipindi yupo Barbra akaweka mgomo na wakatishia Hadi kuitoa Simba kwenye ligi mpaka akaacha gsm
@JumaKitutu-t4s
@JumaKitutu-t4s 2 ай бұрын
Gsm sio Yanga bali ni mzamini wa Yanga
@azamsp0rtshd2kiangi3
@azamsp0rtshd2kiangi3 2 ай бұрын
Chuki tuu mbaka mchungaji jorekebishe mkuu
@abrahammwamlomba8922
@abrahammwamlomba8922 2 ай бұрын
Za Simba mbona huzisemi
@khajihamisi5054
@khajihamisi5054 2 ай бұрын
Kolo Hilo limetokea wapi? Haelewi mpira unaendeshwa vipi? Nenda kanisani ! Peleka timu umuombe udhamini halafu uone kama atakukatalia! Uingereza Kuna mdhamini MAN BETX Anadhamini timu zaidi ya mbili EPL.
@REGIUSMWANAWIMA
@REGIUSMWANAWIMA 2 ай бұрын
Ww mjinga sana umesahau goli alofunga azizi ki,nalo vipi,pacome na penati ya azizi ki?
@augustinokessy
@augustinokessy 2 ай бұрын
muwe mnackiliza mpk mwisho matako nyie...
@Joseph-i8x1d
@Joseph-i8x1d 2 ай бұрын
Ww mchungaji bwege gsm aliweka hela tim zote nyie mlizigomea
@TwahirBurhan
@TwahirBurhan 2 ай бұрын
ALAFU HIZO POINTS UMEZIPATA MISIMU MITANO ILIYOITA LKN YANGA NDANI YA MIAKA 2 KAKUSANYA POINTS 31
@Joseph-i8x1d
@Joseph-i8x1d 2 ай бұрын
Huna akili ww ya mpila kachunge kanisan
@MhojaFunuki
@MhojaFunuki 2 ай бұрын
Nakutakua huna hakilikweli.simba alipofungwa nayanga alikua amezaminiwa GSM?
@felixmalima3024
@felixmalima3024 2 ай бұрын
Kwani Simba mnaweza kumuzuia Yanga? Mawazo potofu hayo
@jimmyjoseph4800
@jimmyjoseph4800 Ай бұрын
Hujui kitu
@rachelbujuli4487
@rachelbujuli4487 2 ай бұрын
Visingizi vya Nyauuuuuuu
@AbdallahOnga
@AbdallahOnga 2 ай бұрын
Azam anafadhili kupitia tff gsm apitie tff
@husseinmgalula5864
@husseinmgalula5864 2 ай бұрын
Mpunga
@MohamedKaboza
@MohamedKaboza 2 ай бұрын
Haiwezi ikawa ligi kuu tanzania
@josemassae
@josemassae 2 ай бұрын
Wewe huna akili mbona Simba na Azam mmefungwa au na nyinyi ni vp
@AlphonceMbassah
@AlphonceMbassah 2 ай бұрын
Kwani Simba anafungwa na yanga kwasababu anadhaminiwa na Gsm
@majaliwabwitonde6900
@majaliwabwitonde6900 2 ай бұрын
Kwa hiyo na zile 5 za simba Yanga alitoa pesa??😂😂😂😂
@RajabuAlly-hn9lj
@RajabuAlly-hn9lj 2 ай бұрын
Simba mbona awezi kutubania
@NyatseLogistics
@NyatseLogistics 2 ай бұрын
Kweli kabisa
@issapagali1330
@issapagali1330 2 ай бұрын
TuliwaBAMANDA 5G a.k.a TABULELE RAAAAAAA so nanyi tuliwanunua?
@AwaziHinda
@AwaziHinda 2 ай бұрын
Sio kweli
@JumaHaroun-l4z
@JumaHaroun-l4z 2 ай бұрын
Mimi naona kudhamini tim sta(6) sio kosa , kosa kubwa ni kwamba injinia Heris kua mwenyekiti wa vilabu barani Africa maana ataendakupokea point sita kwa kila tim barani Afrika dah haya majanga!!!!
@EmmanuelMagugudi
@EmmanuelMagugudi 2 ай бұрын
Sio point 36 weka na point 6 za Simba
@JosephMwaitete
@JosephMwaitete 2 ай бұрын
Kwani Simba kadhaminiwa na GSM?au hujui mada
@allymtapera5370
@allymtapera5370 2 ай бұрын
Sport pesa England alikuwa na tim 4 ,we hujui chochote
@azamsp0rtshd2kiangi3
@azamsp0rtshd2kiangi3 2 ай бұрын
Kumbe unaijua yanga nzuri unakiri Sasa unawachafua Gsm kwasanabu gani ongea ukweli kama hivo yanga ni Bora uashusha heshima Yako bwana kua mlweli kama hivo
@ismailmohamed502
@ismailmohamed502 2 ай бұрын
Mbona mlikataa
@moiseszacariasmoisesmoises
@moiseszacariasmoisesmoises 2 ай бұрын
😂wew kaka ni bogazi😢 ni0%
@FranciMapunda
@FranciMapunda 2 ай бұрын
kumbe mchungaji huna akili
@kanyinyimusa8766
@kanyinyimusa8766 2 ай бұрын
Rudi kwenye sheria na kanuni zinasemaje?
@millardGaiga-vh9yh
@millardGaiga-vh9yh 2 ай бұрын
Kwani wewe msenge mbona mliliwa tano GSM anadhamini Simbilizi Fc piah ❓🤣😂
@omanbarka1588
@omanbarka1588 2 ай бұрын
Matopo yanachojua ni matusi tu manyau nyie huo uchawi wenu mwaka huu ubaya ubwela wanga nyie
@MwazoaMwazoa
@MwazoaMwazoa Ай бұрын
Umesema la maana lkn huo ndio Mpira.Sasa kama timu yako haina uwezo wakupiga fitina za kimichezo umeumia Boss.Hata kombe la Dunia lazima siasa itembee
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg 2 ай бұрын
Sasa timu alizodhamini angalieni matokeo. Mbona ambazo hajadhamini ndizo zimefungwa magori mengi? Ikiwemo Simba?
@jumakibasame3210
@jumakibasame3210 2 ай бұрын
Kweli baadhi ya madhabiki mambumbumbuu Sana mbona hamsemi Azam alie zamini ligi nzima na matanhazo yeye,
@hajikatanje5961
@hajikatanje5961 2 ай бұрын
Wewe subiri yatakayo tokea siku izo timu zenu mlizo zinunua zitakapo cheza na simba alafu refa afanye uzembe utakuja nisimulia utakiona wana simba walicho jiandaa nacho hapata kalika na mpira wa Tanzania hiyo siku ndio uta kuwa stop
@adamsonmwaisumo6791
@adamsonmwaisumo6791 2 ай бұрын
Pamoja na simba kaidhamini ndio maana nakula tano mbili moja
@simonzelote5998
@simonzelote5998 2 ай бұрын
Zile tano katka uchunguzi Kuna watu walichukua pesa akiwepo manula
@mohammedmdangwe2056
@mohammedmdangwe2056 2 ай бұрын
Ligi aijaanza utopolo ana pint 36 sasa hapo kuna ligi au upumbavu tu
@simonnjovu586
@simonnjovu586 2 ай бұрын
Sio pointing 36 tu, ongeza 6 kutoka simba ili ziwe 42.
@WaUkaye
@WaUkaye 2 ай бұрын
GSM alipotaka kufadhili vilabu vyote Simba walikataa KUVAA logo ya GSM
@ThomasAssey
@ThomasAssey 2 ай бұрын
Nafurahi huyu jamaa amenielewa Tumeshuhudia uozo makubwa mno ndani ya soka letu Uozo huu ni ajabu viongozi wa shirikisho la soka halina watu wasomi ama watu wenye uelewa wa elimu ya darasa la saba kujua Nini maana ya conflicts of interest katika Sheria Mbaya zaidi Kuna timu inalipa posho marefa! Hii ni aibu kwa TFF na waziri wa wizara husika hawajui wajibu wao Nafikiri njia pekee ni kwenda kwenye vyombo vya sheria
@kafulirahillaryhabel6728
@kafulirahillaryhabel6728 2 ай бұрын
Kwanini MO asidhamini timu zilizobaki?
@JumaHaroun-l4z
@JumaHaroun-l4z 2 ай бұрын
Sure boy, mkude faridi musonda, kibwana wanacheza simba panga pangua ubaya ubwela ,unyama mwingi slogun hiz hazisaidii bila kua na wachezaji bora
@khmissalum3881
@khmissalum3881 Ай бұрын
Msenge sana wewe nenda kazamini wewe mama Ako shenziiiiiiiiiiii
@geofreymapunda
@geofreymapunda 2 ай бұрын
Azam tv anadhamin vilabu vingapi?
@allyr.mavura7878
@allyr.mavura7878 2 ай бұрын
Sio kweli, hakuna team inayotaka kufungwa ili ishuke daraja
@KakeSimba
@KakeSimba 2 ай бұрын
We hujuwi pimbi
@osmundmsemwa3016
@osmundmsemwa3016 2 ай бұрын
Simba mlipigwa na Yanga nje ndani. Hapo inakaaje?
@GadafSalum
@GadafSalum 2 ай бұрын
Nikijuwa muchungaji unajitambuwa kumbe akiri hamuna
@millardGaiga-vh9yh
@millardGaiga-vh9yh 2 ай бұрын
Ni lisenge tyuu mchingaji Gani huyu kama sio shoga tyuu watu kama Hawa wakija kuulizwa evidence ziko wapi hawana loloteee
@stevenobure8241
@stevenobure8241 2 ай бұрын
Tatizo la waandishi wa habari wa hizi online media hawajui kuhoji na pia wanaowahoji pia hawajielewi
@WazaeliStefano
@WazaeliStefano 2 ай бұрын
Azam Simba wote wamefungwa na yanga je nikwasababu ya ufadhili wa gsm
@JonathanMGAIWA-ow4py
@JonathanMGAIWA-ow4py 2 ай бұрын
Kuna michezo michafu mingi, usijizime data wewe. Waulize akina manula, inonga
@nkilatv6307
@nkilatv6307 2 ай бұрын
Ww Kuma
@augustinokessy
@augustinokessy 2 ай бұрын
la mama yko au la kwake..?
@kaysischirwa6759
@kaysischirwa6759 2 ай бұрын
Mo kakatazwa
@batashqiraa9936
@batashqiraa9936 2 ай бұрын
Toa ufafanuzi wa kisheria, sio maropoko tu. Azam inadhaminiwa na GSM? mbona imekula 4, zemba wamepigwa 1, jee wanadhaminiwa na GSM?,
@DullahNyoni-cr2fu
@DullahNyoni-cr2fu 2 ай бұрын
Upo sawa
@ramadhanimrungu5806
@ramadhanimrungu5806 2 ай бұрын
Ww jamaa fala sana Simba imefungwa nje ndani ngao ya jamii imepigwa je nayo ameidhamini? ACHA ungese pua imetanuka kama chapati
MCHOME APAGAWA NA GOLI LA BALEKE | YANGA IMEBEBWA
15:19
MATOLE TV
Рет қаралды 9 М.
Friends make memories together part 2  | Trà Đặng #short #bestfriend #bff #tiktok
00:18
Human vs Jet Engine
00:19
MrBeast
Рет қаралды 150 МЛН
А что бы ты сделал? @LimbLossBoss
00:17
История одного вокалиста
Рет қаралды 11 МЛН
KISA CHA DEREVA LORY,ALIVYOKUTANA NA FREE MASON USIKU WA MANANE SAFARI ZA KONGO
38:52
MZEE SAID ATOA LA MOYONI | YANGA WANATUNYANYASA SIMBA
22:16
MATOLE TV
Рет қаралды 17 М.
Friends make memories together part 2  | Trà Đặng #short #bestfriend #bff #tiktok
00:18