Omaruhooooo 🔥🔥🔥🔥🔥,Gd Gd wewe ni shule tosha kwangu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@FaridaSambala-fr2fj Жыл бұрын
Gude gude nakukubali sana bwana kaka umenikosha sana kwenye ngoma ya pashanga daah! Kaka piga kazi utafika mbali👍
@user-djrevongomatz Жыл бұрын
Hakika Gude Gude wewe ni Moto nakukubali sana mwamba 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@Kingmbitiog_TZ001 Жыл бұрын
Gude gude tajiri wa maruho , sauti yako mtaji nice song 100%
@deejaybngudukwimba2857 Жыл бұрын
Kitambo sanaaaaaaa mzigoooo ushachotwa Niite DeejaY B From Ngudu Kwimba
@Jacksonibrahim98 Жыл бұрын
Msaniii wangu ninae mkubari daima milele ❤❤😊
@gudegudetz7970 Жыл бұрын
Tupo pamoja kaka Mungu akubaliki sana
@Devilinintungwawc2vkАй бұрын
Nipe like bro nakupenda ❤❤❤❤❤
@nyerereJunior Жыл бұрын
Tajir wa maruoooooo
@ibrahimbaraka5262 Жыл бұрын
Pamoja gude
@EliasBusiga Жыл бұрын
Uko vizur sana Kaka niite rais wa kijijini
@emmanueljisendi8928 Жыл бұрын
Kazi nzuri sana gude .ila sasa mdogo wangu mbona unabania sana namba zako za cm nitakupataje sasa kama ninashida mdogo wangu au mpaka nikufate segese wakati mm nipo dar .