Album Yako ya kwanza Mpaka Leo Bado hujaifunika Ile ya Makanisa Kaa Kwa utulivu sana unakoenda utapotea kwenye Game Pamoja sana,maana nyimbo unayotoa inakuwa ya kawaida sana sijui kwann, inaonekana utungaji wako WA nyimbo umekuwa WA kawaida Pambana sana
@msomezsaidАй бұрын
kuna wimbo unaitwa MBINA, na wenyew upo kwenye album ya makanisa??? huyu ni fundii