Mkojani ni best comedian kwangu maraisi wa mziki sumbawanga tunakubali sana kaz zako kipupwe
@HassanCoyo Жыл бұрын
*Sijachelewa Bado nipo na team mkojani mwanzo mwisho gonga like kwa team mkojani na kwangu pia*
@omanal373 Жыл бұрын
Kamugisha pole sana mshikaji mafua yamekubana sana😊
@alimanana7564 Жыл бұрын
Yani ata sauti yake imebadilika sana
@mohamedmwambeni4695 Жыл бұрын
mkojani bana usinlaumu pole lakn ntakacho sema, wallah wewe wachekesha sana had nakuita mjinga bt congratulations
@JOHAREHfilms2023 Жыл бұрын
Kazi ipo jmn familia ya mkojani ndo ishakua kubwa watoto wakubwa Wanakuja kumuumiza kichwaa tu Mrs mkojani😂😂 ep 5🔥🔥
@samueledward109 Жыл бұрын
Sanaa unaiweza mkojani hongere sana kwa kutuburudisha. One love from Kenya
@aminaolver9114 Жыл бұрын
Chandimu eti kuna mababa wakuwawao lkn sio huyu baba yetu 😂😂😂
@roudhamahmoud763 Жыл бұрын
Kendi mashallah umenenepa unavishavu dodo hongera kendi
@ammyammy8926 Жыл бұрын
Kendi n yupi
@mayaaamur2616 Жыл бұрын
Mutaniulia chandimu wangu na hayo makonde jamani😂🤣🤣🤣🤣🤣
@michaeltheophile7035 Жыл бұрын
Mkojani and chandim Big up wazeeee 🎉🎉🎉🎉
@jamesurassa8091 Жыл бұрын
Mkojan mpoo pow sana mwakani nawapa milio kavu
@izzahboe1442 Жыл бұрын
III gang inanifurahishaga sana maisha marefu kwenu viongozi❤❤❤🥰🥰🥰🥰🙌🙌🙌🏆
@KimbilimaSocial-dy9cl Жыл бұрын
Kijiko hizi Kodi zako Umeuwa sanaaa Hlo jumba lako la kot Lako daah hatari
@salvinaedward7950 Жыл бұрын
Daaah yan nmecheka sana mkojani mtoto amekumic baba ndio nn kumpushi jaman et kwenda af una muda kabsa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@salmsalmo931 Жыл бұрын
Jamani mbavu zangu mkojan nacheka hadi machozi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@NizigiyimanaEmmanuel-c7f Жыл бұрын
Serie nzri sna hadi raha nakufuatilia sna mkojani gang from Quatar Burundi❤❤❤❤❤❤
@nasraally4740 Жыл бұрын
Mbavu zangu😂😂😂 mdomo auvai chupii😂😂😂😂
@Mahulukutabu474 Жыл бұрын
Nyuma geuka,,,,kutoka samofi maskini mpaka utajiri🎉mkojaniiii8
@sadayusuf887 Жыл бұрын
🤣🤣🤣kwendraaa majanga kwa kweli
@mohamedmwambeni4695 Жыл бұрын
mungu akupe umri mrefu zaid ili uzid kutuliwaza
@franckbarloni6462 Жыл бұрын
Samofi hii umekuja.mkali kabsa
@254funny Жыл бұрын
Sanofi Kwa chandimu hapa hulipwiii😅😂😂😂😂😂Hyo kali
@HassanHassan-ix7cj Жыл бұрын
Kazi bila mshara 😂😂😂
@edmundsixmund6317 Жыл бұрын
Kiukweli naenjoy sana na mambo ya Mkojani Gang❤❤❤❤
@HassanHassan-ix7cj Жыл бұрын
Go way out wewe😂😂😂😂😂😂
@Nahdiya-nr3de Жыл бұрын
Chandimu ungwadu nkiziwi ama anzoea makofoli y mkojani😂😂😂😂😂😂😂
@mjuni_hardware Жыл бұрын
Pisi ,,,Pisi yangu😂😂😂
@jailosibrahim88 Жыл бұрын
Ila chandimu karata ngumu sana kila dk vibao tu
@Hirmizz Жыл бұрын
Bwana kijiko napenda mambo yako kwa kweli, ila Chandimu haamini kama kuna mtu anakupenda
@nasraally4740 Жыл бұрын
Nice movie❤❤❤🎉🎉🎉
@HassanHassan-ix7cj Жыл бұрын
Mdomo ukoo uchi😂😂😂😂hauvai chupi 😂😂😂😂
@ldmfromkenya6273 Жыл бұрын
Mkojani ww kiboko aisee😂😂😂😂
@sadickone102 Жыл бұрын
Nakubali sana kaz zako
@squithermussa3433 Жыл бұрын
Mkojani mbn kumsukuma kendi jmn 😂😂😂🙌🙌🙌
@HassanHassan-ix7cj Жыл бұрын
Chuma ulete ya kunywa vinywaji 😂😂😂😂😂
@saimonwantango9569 Жыл бұрын
Kwa mdomo anavyoubinua hatoboi 😂😂😂😂
@jaharaoman6478 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂Ila mkojani ujue unachekesha sana
@amour7693 Жыл бұрын
From south Africa❤
@MustafaABDULMALIK-w3o Жыл бұрын
Kijiko mwisho wa matatizo we huna baya MKOJANI GANG
@henkbastenbrinke7441 Жыл бұрын
karibu sawa na Ugaigai
@siniyunguruzajulias7908 Жыл бұрын
Nakubali sana meez candimu
@aminielsaidi8015 Жыл бұрын
😂😂😂😅😅 ila mkojan pumbavu zako eti ukinuna unakuwa fisi ukicheka unakuwa pisi
@mohamedmwambeni4695 Жыл бұрын
wewe ni 🔥🔥:ni mm mwambeni from 🇸🇦🇸🇦 saudia arabia riyadh
@ammyammy8926 Жыл бұрын
Jiran yngu sio
@KoreanDramaMoviesKiswahili Жыл бұрын
❤❤❤
@sophiaabdallah7821 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂aliwazaa wawil tu Adam n Eva haaa hzo mvua hatr sanaa elninyoo😂😂😂😂😂😂,,sas anafananajee n watoto wakt hajwazaa yeye we mkojan una maneno ya kupigwa ujue
@officialyohana2662 Жыл бұрын
😂😂duh! mpaka nashindwa cha kukomenti ni kucheka tu
@BenardNyakiriga-td8eo Жыл бұрын
😅😅😅😅😅😂😂😂chuma ulete wanakunywa bia😅😅😅
@irfanabdi8877 Жыл бұрын
Riziki wangu wa oman upo
@ahmedthuva3162 Жыл бұрын
Good job Tafadhali theme song ya kivyere release it please
@erickrichard3134 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂nvua nyingii😂😂😂mwaka mmoja na miezi saba tuu😂😂😂
@othmanhamad7887 Жыл бұрын
😂😂😂😂 naona pisi kali ya mkojani imekacrika mwisho imeshindwa kuvumilia akacheeeka,dah mnaofanya kazi na mkojani kazi mnayo kujizuia usicheke,kwa kwl mm nicngeweza dah, pa1 sn jmn mkojani gang
@issadad9384 Жыл бұрын
Vizur san Ila muna takiwa mubadilishe muonekano mwengine
@omaryramadhani1056 Жыл бұрын
Eti ukinuna sana unakuwa fisiiii
@happinesskitali164 Жыл бұрын
Ila mkojani akili zake anazijua mwenyewe hahaha
@BinnizoalvinPatrick Жыл бұрын
Vizuri sana ❤❤❤
@makamemkm Жыл бұрын
Wakwanz tena jmn
@alphaxard Жыл бұрын
😜😜😜😜 mkojani bwan ety nakitia short
@jackoboabunuasi-hb4qc Жыл бұрын
Nyie samofi na mkojani 😃😃😃😃😃
@abdallaali5467 Жыл бұрын
Japo unalipa pesa ila punguza unajikondesha😂😂
@saidilome-ue2df Жыл бұрын
Chandi imekua lyk father lyk son,yaani amekua mwehu km baba ake.jaagul shubasted
@cheketulakipemba1494 Жыл бұрын
Nakubalii..😅
@BrightonSingano Жыл бұрын
Wakwanza
@saimonwantango9569 Жыл бұрын
Nimecheka sana eti kingi😂😂😂😂😂
@Joyce-qf5px Жыл бұрын
Mkojan bwana et pisi
@IddyKayembe Жыл бұрын
Mjumbe kijiko🤣🤣🤣
@hamadihamisiambale8943 Жыл бұрын
❤one love mkojani gang 4rver
@albinusnyaiyo2614 Жыл бұрын
Ebuuu kwendaaaa😂😂😂
@rashidgona1808 Жыл бұрын
Hii gang jaman nataman ningekuwa nao pamoja hatar san
@yohanandoni3170 Жыл бұрын
I like this movie ❤❤
@JamesIvani Жыл бұрын
Eti kisa mteja a nataka nimyowe ndoniaChe kufatiliya Kazi zuri sitaki mteja kwanza Ngoja nifatiliye Kazi kwaza❤❤🇿🇦🇿🇦
@Hirmizz Жыл бұрын
Hivyo vichwa vya mbuzi na kondoo musinimalizie wazee, navuka bodar toka kenya 🇰🇪