GUMZO: UKWELI WA PUTIN KUISHI TANZANIA, SABABU ZA KUIPIGA UKRAINE, HATMA YA VITA, YERICKO AZUNGUMZA!

  Рет қаралды 151,925

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

GUMZO: UKWELI WA PUTIN KUISHI TANZANIA, SABABU ZA KUIPIGA UKRAINE, HATMA YA VITA, YERICKO AZUNGUMZA!
ISHU ya Rais wa Urus, Vladimir Putin kuwahi kuishi nchini Tanzania imezidi kuwa gumzo mara baada ya Global TV kurusha habari hiyo siku chache zilizopita.
Maswali yalikuwa mengi kuhusu jambo hilo huku kila mmoja akieleza anachokijua kuhusu jambo hilo. Kuna watu walikubaliana nalo lakini wengine walipinga.
Global TV imefunga safari mpaka Kigamboni jijini Dar es Salaam na kuzungumza na mwandishi Yerico Nyerere ambaye anaifahamu kinagaubaga ishi hiyo.
Mbali na suala hilo, Yerico ameichambua kiundani vita inayondelea kwa sasa inayohusisha mataifa mawili, Urusi pamoja na Ukraine.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Пікірлер: 279
@jotafungo4622
@jotafungo4622 4 ай бұрын
Safi sana mkuu kwa kuabudu mizimu, hii midinimidini ya watu weupe ni miyeyusho tu.
@JamesApiyo
@JamesApiyo 4 ай бұрын
His explanations reveal that hi is well versed with Putin's life in Tanzania and again his research seems genuine.I personally salute him.
@omarmutta4999
@omarmutta4999 4 ай бұрын
Mhojiwa anafanana Na Marehemu. Mwalimu Nyerere.
@kabwangaselemani5228
@kabwangaselemani5228 4 ай бұрын
Warusi wengi walifika Tanzania wengine walikuwa walimu wazuri wa Hesabu na Fizikia kwenye shule za secondary mojawapo ya shule ni Ilboru iliyopo Arusha
@WmareteMarete
@WmareteMarete 4 ай бұрын
Ndugu Yeriko, ujue kuwa Yes alikwenda kuzimu kuwapeleka mizimu walioishi vizuri mbinguni. Hivyo mpokee Yes akuelekeze wa kumwabudu.
@pascmedia1713
@pascmedia1713 2 жыл бұрын
Pole Sana Dunia ya Leo hii bado unajsifia mizimu Yesu akusaidie maana bado uko gizan Karne ya 10 hata wafu wakikusikia watakushangaa sana
@eugenaxwesso9321
@eugenaxwesso9321 2 жыл бұрын
Usiviite nilivyoviumba mimi najisi Kafanye tafakari ya maneno hayo utakua kiimani.
@pascmedia1713
@pascmedia1713 2 жыл бұрын
@@eugenaxwesso9321 imani ziko nyingi fafanua imani ipi unayoongelea
@JIWEtv6484
@JIWEtv6484 2 жыл бұрын
Hawezi kufafanua kwa sababu kakaririshwa.
@josephandrew3444
@josephandrew3444 2 жыл бұрын
Dini zakitumwa mzungu na muarabu turudi kwetu
@africanmandetraveler2847
@africanmandetraveler2847 4 ай бұрын
Yesu mwenyewe alikua mzimu .
@marykissiva7460
@marykissiva7460 2 жыл бұрын
Pole sana ndugu, enzi hii unaabudu mizimu?!! Hayo ni maajabu , hata hao mababu washatoka huko wamemjua Yesu. Nakushauri mpe Yesu Kristo maisha yako njoo kwa Yesu uokoke
@salmaseif6284
@salmaseif6284 2 жыл бұрын
Yesu ndo nani kwani mbona mm simjui jamani
@msambalamjukuu3866
@msambalamjukuu3866 4 ай бұрын
yesu ni mzimu wawazungu muhamadi mzimu wa waarabu
@chrisshonga
@chrisshonga 4 ай бұрын
​@@salmaseif6284Kuna siku moja utamtambua usijali
@chrisshonga
@chrisshonga 4 ай бұрын
​@@msambalamjukuu3866Saa na siku pumzi yako ikikauka ndio utapata jibu kamili kwamba YESU ni mzimu wa nani chunga sana maneno ya kinywa chako ni heri na busara kukaa kimya kuliko kupayuka vitu ambavyo hivijui na kamwe huenda usivijue
@feliciarfrancis2388
@feliciarfrancis2388 2 жыл бұрын
Nyerere uko vizuri!!!
@robertokasike4824
@robertokasike4824 2 жыл бұрын
Hakuna msaada unaopelekwa Ukraine bila kufanyika biashara, uko sawa Yericko
@hamisiramadhani8661
@hamisiramadhani8661 2 жыл бұрын
Asante jasusi mwenzangu
@allymtawa-dy4km
@allymtawa-dy4km Жыл бұрын
Huyu mwandishi ajielewi...kila wakati unamkatisha yericko kuadithia unauliza swali, unatukatisha stimu mzee baba. Yericko ni mtu ambae mgusie kidogo tu kuhusu historia flani then mwache uone anavyotiririka... Jamaa namkubali sana yupo b zuri sana kwenye simulizi. Big up Mr.YN nipo na wewe.
@andersonchongoma1723
@andersonchongoma1723 Жыл бұрын
Jerico Nyerere hongera unaelewa hata wakibeza ,bongo hatuthamini jitahada za wengine mm nimekuelewa ....
@jonasjohn3176
@jonasjohn3176 4 ай бұрын
sawa kaka
@AbuleEca
@AbuleEca 4 ай бұрын
Yeriko hongera mwanaume mada ya ufanisi
@sarllemmtunze405
@sarllemmtunze405 2 жыл бұрын
Huyu bwana mdogo yupo vizuri Sana na anayoyasema yote ni sahihi. Putin kweli aliishi ujurumani kwa muda mwingi wa maisha yake.
@princebuganzilut2047
@princebuganzilut2047 2 жыл бұрын
Very well elaborations Ndugu Nyerere. Big up on this . Well contented. Never read about you even once but from today ni mfuasi. Nimefurahi zaidi kwenye imani yako tuko pamoja
@HajiJuma-xw7vh
@HajiJuma-xw7vh 4 ай бұрын
Safiiiiii
@KennedyMwakasanja
@KennedyMwakasanja 4 ай бұрын
Safi
@kapesatv3446
@kapesatv3446 4 ай бұрын
@hanschuma7734
@hanschuma7734 2 жыл бұрын
Ukitaka kujua akili zawatanzania soma comment zao....
@hilalalhabsi2047
@hilalalhabsi2047 2 жыл бұрын
Mie tz ni urusi🌺🌺🌺🌺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺
@baloz8974
@baloz8974 2 жыл бұрын
Big up Russia
@hassankilengah4786
@hassankilengah4786 Жыл бұрын
Heshima kwako
@sherbanuismail3818
@sherbanuismail3818 2 жыл бұрын
Upo vizuri sana.
@sherbanuismail3818
@sherbanuismail3818 2 жыл бұрын
Asante
@salumusalumu5725
@salumusalumu5725 2 жыл бұрын
Upo sahiii sana
@fahadhassan7390
@fahadhassan7390 2 жыл бұрын
Dah APO broo umetukera
@giftkhosan6872
@giftkhosan6872 2 жыл бұрын
Je katika mkataba hakukua na kipengele Cha nini kifanyike endapo mmoja angevunja mkataba?
@JumaMatinde
@JumaMatinde 4 ай бұрын
Yaaa yeliko
@thevoiceofdeliverance6061
@thevoiceofdeliverance6061 2 жыл бұрын
Unajisifu kuabudu mizimu kijana mdogo kwa NYAKATI hizi ukizania uko salama ??? Okoka mpe maisha yako Yesu Kristo mapema Sana acha kuabudu mashetani Ni aibu Sana kwa kijana Kama wewe.
@justokasigara7459
@justokasigara7459 2 жыл бұрын
Kila m2 anasema yake
@mahanjisanga3077
@mahanjisanga3077 2 жыл бұрын
Eti anaabudu mizimu mmm
@bonagainndimbo4468
@bonagainndimbo4468 2 жыл бұрын
Huyu jamaa nilikuwa namkubali sana ila kwa habari ya mizimu, daa!
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
NI KAWAIDA TZ WENGI HAWAMJUI MUNGU KAMA WAZUNGU HADI SOKONI WANAUZA
@narrissajackson3869
@narrissajackson3869 2 жыл бұрын
Cha ajabu utawakubali wachina na Warusi, dini zenyewe umeletewa na wazungu na Waarabu, kabla ya hapo tulikuwa na mizimu tu, tusilaumu walio na imani za kimila
@josephandrew3444
@josephandrew3444 2 жыл бұрын
@@narrissajackson3869 kweli na mungu anasikia mila zote
@IshipalemyPasko
@IshipalemyPasko 3 ай бұрын
Wasinge kuja waarabu na wazungu Afrika. We hizo dini ungezijuaje
@MohamedMajiji
@MohamedMajiji 5 ай бұрын
Yuko sahihi
@alexray6706
@alexray6706 2 жыл бұрын
Ingelikua unaabudu Mungu wala usingeunga mkono uvamizi au vita, ila hiyo miungu unayoabudu ndio imeona nisahihi
@hmonline7587
@hmonline7587 2 жыл бұрын
Usipinge mojakwamoja tafakari kwanza kabla ya kuandika
@alexray6706
@alexray6706 2 жыл бұрын
@@hmonline7587 nimesha tafakali nikapata jibu vita si Jambo la kuunga mkono
@noelmalecela..6953
@noelmalecela..6953 2 жыл бұрын
Nini maana ya Mungu? Naomba nijibu swali ndugu yangu..
@alexray6706
@alexray6706 2 жыл бұрын
@@noelmalecela..6953 unamaajabu Yani hujui ata maana ya Mungu! Mungu ni muumba wa dunia pamoja na vitu vilivyomo vyote, ni aliye katika uwepo uliopo na uwepo usiokuwepo ambaye afananishwi na chochote. Ambaye pekee ndiye wa kuabudiwa
@issaibony3474
@issaibony3474 2 жыл бұрын
@@alexray6706 hiyo niimani uliyo aminishwa kama ilivyo jina lako na mwingine analo . Ikumbukwe African nilini imejua imani? Hapa kwenyeimani tuclazimishane hata thelusi moja nafsi yko ndio imani yako ukifa naimani yko imekufa bc. Kunacri kubwa katika Imani.
@innocentmundekesye5617
@innocentmundekesye5617 2 жыл бұрын
Dahh yeriko muhuni 😅😅🤣
@cynthiamcguire1495
@cynthiamcguire1495 2 жыл бұрын
Very, very well explained ndugu Nyerere. This is quite an eye opener. Very educational.
@jeanmusamba3253
@jeanmusamba3253 Жыл бұрын
mbona putin mwneyewe mwaka 94 akiwa anaongea na wanafunzi wa africa chuo kikuu cha rastov alisema aliwahi kaa Tanzania,na alikuwa bagamoyo ndio ajabu nini?wakati huo hata yeye hakujua atakuwa rais,ni KGB jasus wa hatari sana ndo maana usa na ulaya wana mwogopa sana sio jamaa wa kawaida
@emanuel1269
@emanuel1269 2 жыл бұрын
Umesema ukweli wako Mungu aliye Hai akusaidie utoke kwenye chama cha mizimu umtumikie Mungu aliye kuumba na aliye umbaa vyote
@r14kgroup68
@r14kgroup68 8 ай бұрын
Nimevutiw sana
@abisuredon
@abisuredon Жыл бұрын
💪💪Nakuelewa xana i ❤ u tz and russia
@josephkostans9128
@josephkostans9128 Жыл бұрын
Uko vizuli sana yeriko
@micamathew2595
@micamathew2595 2 жыл бұрын
Russia tujuane.
@baloz8974
@baloz8974 2 жыл бұрын
Viva Russia aluta continua
@gaitanokamage7366
@gaitanokamage7366 2 жыл бұрын
Mmi
@fidemikaeli8145
@fidemikaeli8145 2 жыл бұрын
Unaongeleshwa na mamizimu yako acha aibu, kubwa kijana wewe kuabudu mizimu, Yesu anarudi okoka
@janiaoma7093
@janiaoma7093 2 жыл бұрын
Yiyi ndugu. Zagu kumsifia puti mtaipoza. Tanzania
@glorydenis5111
@glorydenis5111 2 жыл бұрын
pengine pia mizimu inamletea taarifa
@hilalalhabsi2047
@hilalalhabsi2047 2 жыл бұрын
😂
@nancymcgill5059
@nancymcgill5059 2 жыл бұрын
😂👍
@King3201Offical
@King3201Offical 2 жыл бұрын
Unadhani mizimu ndiyo iliyokuumba? Je kuhusu pumzi yako na afya yako pia unadhani ni kazi ya mizimu yako? Kama wewe ni mtafiti kwanini hujafanya utafiti kuhusu mizimu yako? Hahahaha pole sana Mungu mfalme wa mbingu na nchi akusaidie sana.
@eugenaxwesso9321
@eugenaxwesso9321 2 жыл бұрын
Usiwe rahisi kuhukumu usije hukumiwa wewe. Suala la Imani usifikiri wewe ukosahihi Sana na unachoamini na anayeamini kingine amepotea Bali wewe hubiri injili yako na wasikie ili waamini Kama wewe. Ndg Imani nikuona yafichikayo machoni naamini hata wewe ulihubiriwa hiyo Imani iwe ni wazazi wako waliamini au wewe mwenyewe.
@King3201Offical
@King3201Offical 2 жыл бұрын
Unajua mana ya kuhukumu? Me sijahukumu au umesikia nasema lazima ataenda jehanamu? Asa kama sijasema lazima ataenda jehanamu kuhukumu kwangu kuko wapi? Kusema Mungu amsaidie ndo kuhukumu et!.
@chrisshonga
@chrisshonga 4 ай бұрын
Huenda akawa ameathirika na haya mambo ya chanjo Covid-19
@ameirsalmini6253
@ameirsalmini6253 2 жыл бұрын
Pumzi zinakusumbua tuu huamini mungu sawa mzimu utakusaidia ukifa
@sundaymsuya1433
@sundaymsuya1433 5 ай бұрын
Mizimu ndio din za waafrica hizo zingine ni ushetani wa wazungu na warabu mababu zetu walikuwa karibu na mungu ndio maana walikuwa wakiomba kwa mungu aliye juu na mizimu iliyo chini walikuwa wanafanikiwa xaxa tumepokea vi2 tusivo vijua ndio maana tunaishi maisha km chura
@sammarley1413
@sammarley1413 4 ай бұрын
Aca kelele ww kondo kale majani umsubiri bwana
@coolbz133
@coolbz133 3 ай бұрын
Wewe ni muongo hajawahi kukaa tanzania hata ukiangalia yupo tofauti
@moringelangas7276
@moringelangas7276 2 жыл бұрын
Global tunawaamini sana acheni kutudanganya,hakuna nyaraka inayoonesha kwa afrika wala Russia kuwa alikuja afrika.Yericco ni mtafutaji tu hakuna anachokijua.
@jean-claudemugisho7540
@jean-claudemugisho7540 2 жыл бұрын
Alikuwa naongea Luga gani?
@judithmakuto3612
@judithmakuto3612 2 жыл бұрын
Kwahivyo hana dini Ndio maana anaroho mbaya
@khaliphaabubakar9466
@khaliphaabubakar9466 2 жыл бұрын
Hata wenye dini wana roho mbaya
@BagambiMukhtaary
@BagambiMukhtaary 4 ай бұрын
We mshenzi
@floramlowe7078
@floramlowe7078 2 жыл бұрын
Ni kweli hatakuona hatuoni.
@livinusmugisha5469
@livinusmugisha5469 2 жыл бұрын
Bro unajua lkn kukosa dini sijapenda
@hamisiramadhani8661
@hamisiramadhani8661 2 жыл бұрын
Poleyako dini ninjia sio dini😂😂
@livinusmugisha5469
@livinusmugisha5469 2 жыл бұрын
@@hamisiramadhani8661 una maana gani fafanua kidogo
@RichardLufyega
@RichardLufyega 4 ай бұрын
Da
@myahudiwagazamyahudi1604
@myahudiwagazamyahudi1604 2 жыл бұрын
Tanzania ndio nchi pekee ambayo mchambuzi wa maswala ya kijasusi hajawahi kuwa jasusi,,,, mchambuzi wa maswala ya vita hajawahi kuwa hata mwanajeshi. Ndugu Yerico duniani huwezi kujua kila kitu .
@frankndendu2570
@frankndendu2570 2 жыл бұрын
Pole ndg. Yeriko Nyerere ni jasusi wa kusomea.
@victorsanga2229
@victorsanga2229 2 жыл бұрын
I see the point
@cavoo4get649
@cavoo4get649 2 жыл бұрын
Kama hujui kitu bora unyamaze kimya, yaani hujui kwamba kuna kusomea ujasus
@sarllemmtunze405
@sarllemmtunze405 2 жыл бұрын
Unajuaje kama si jasusi?
@jivitafoundation5011
@jivitafoundation5011 2 жыл бұрын
Kwani kuna shida gani yeye akieleza je wewe nini utaweza kutuelezea
@karyori69
@karyori69 2 жыл бұрын
We Yericko wacha uongo Putin hakuwa ofisa Ujerumani Magharibi bali Ujerumani Mashariki!
@calimahad9274
@calimahad9274 2 жыл бұрын
Jamaa muongo. Hakufanya home work yake vizuri
@salomemchewa5187
@salomemchewa5187 2 жыл бұрын
Tunasoma mtandao, msitudanye,. ,
@mwajabumbajo6560
@mwajabumbajo6560 2 жыл бұрын
Nadhani MTU anaweza kupitiwa akakosea Ila sio kumuita muongo
@karyori69
@karyori69 2 жыл бұрын
@@mwajabumbajo6560 Ukiwa hujui kitu halafu unajifanya unajua na kusimulia huitwa uongo!
@cantiomedian7228
@cantiomedian7228 4 ай бұрын
Ujerumani ya magharibi ya enzi hizo sikiliza vizier 😢
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 2 жыл бұрын
Putin legeza unaiathiri dunia. Sauti hii iletwe kwako na Roho Mtakatifu
@machintangachibwena5922
@machintangachibwena5922 2 жыл бұрын
Muache auwashe moto tuu wapalestine mpaka leo wanauliwa na Israel na wamenyamaza tuu
@susanraphael5894
@susanraphael5894 2 жыл бұрын
Hii lazima itokee ili maandiko yatimie kitabu cha Ezekiel sura 38,39na 40
@seniorliapaguzman3986
@seniorliapaguzman3986 2 жыл бұрын
Uko sahihi kweli lkn siwezi shabikia mtu akiua mwengine
@evdidaskatumbo6533
@evdidaskatumbo6533 2 жыл бұрын
Wewe unaunga mkono kwa sababu umesema unaabudu mizimu neema haisapoti mapigano.
@SM-fu1yv
@SM-fu1yv Жыл бұрын
Mimi team Russia
@SamweliJacob-bm2ij
@SamweliJacob-bm2ij 4 ай бұрын
Unasem umemp yes maish wakt maish ynyw unayo wemwenyewe ach upuuzi
@yusuphkassimu227
@yusuphkassimu227 2 жыл бұрын
Mtangazaji anakatisha story
@yohanamasebo3478
@yohanamasebo3478 Жыл бұрын
Naunga mkono Russia
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 4 ай бұрын
Mashaaalah Putin
@elikanasamwel
@elikanasamwel 2 жыл бұрын
Hata mimi nasema yupo sawa kwani anadai haki yake,
@emmanuelsimon545
@emmanuelsimon545 2 жыл бұрын
Hamna kitu hapa ni sawa wachambuzi na washabiki wa mpira lakini hawajui kitu kuna general wastaafu wangetafutwa au makanali wangetusaidia c hizi porojo
@mwanyongamama4407
@mwanyongamama4407 2 жыл бұрын
Safi Sana watafute wanajeshi
@lightnesselirehema1464
@lightnesselirehema1464 2 жыл бұрын
Kawatafute ndio utuelezee
@sayukimethod3375
@sayukimethod3375 2 жыл бұрын
Good indeed.
@ahmadsteven9781
@ahmadsteven9781 2 жыл бұрын
Hatata mimi naunga mkono urrusi
@shabanimaeda5008
@shabanimaeda5008 2 жыл бұрын
Urusi kakimbia sasa.
@enezermwafrica7443
@enezermwafrica7443 2 жыл бұрын
Mimi ni m- Tanzania na siungi Mkono Mauaji ya Raia na Mali zao yanayofanywa na Putin! Vita ni Sayansi.. Vita sio Kuua Watu na Mali zao!..🤷🤷🤷🤷🤷🤷🤷🤷
@giftkhosan6872
@giftkhosan6872 2 жыл бұрын
Upon sawa kabisa
@abisuredon
@abisuredon Жыл бұрын
Uelewe chochote kuhuxu ujasusi
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
HEE BADO KUNA WAABUDU MIZIMU TZ DUUH
@selemanshidda9688
@selemanshidda9688 2 жыл бұрын
Urusi imeamua vizuri tu kuivamia Ukraine kwa manufaa na usalama wa Urusi! Shida hapa ninyi wengine mnaathirika kwa sababu ni tegemezi! Wakubwa wanapogombana ninyi wadogo lazima muathirike kwa sababu ni tegemezi!
@issaali3375
@issaali3375 4 ай бұрын
Sasa apo Tanzania bora2 tuachane na mmarecan tue p1 na urusi kenya nae hajiele we mwezetu yule kuungana nwamarekani,
@tazanikway5318
@tazanikway5318 2 жыл бұрын
Subaru forst
@kasukubulunda6929
@kasukubulunda6929 2 жыл бұрын
Ningependa kupata mawasiliano na ndugu yeriko Nyerere maana ningependa kuhuliza mengi zaidi Mimi BULUNDA PATRICE
@robinsonjoseph8119
@robinsonjoseph8119 2 жыл бұрын
Nitafute inbox nikupe kaka
@williammapunda8836
@williammapunda8836 2 жыл бұрын
Ushamba nanyini, kwanihamkosoma history, Putin nikitugani? Eti kuja TANZANIA imekuwa Topic. Someni basi
@enterenter1921
@enterenter1921 2 жыл бұрын
Mwamba km mwamba✌️✌️🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺
@efraimjohn4956
@efraimjohn4956 4 ай бұрын
hyo miezi ilishaisha na sasa ni miaka miwili
@abdulrahmansalim9773
@abdulrahmansalim9773 4 ай бұрын
LAANA TULAAH 😢😢😢
@bakarishaban9311
@bakarishaban9311 Жыл бұрын
Kwan hao Manyang,;ao hawatakiwi kabisa
@msafirinyagali684
@msafirinyagali684 2 жыл бұрын
Tufanye kazi tanzania nchi yetu salama
@soloartist_ivanvespalusind1609
@soloartist_ivanvespalusind1609 2 жыл бұрын
Mwandishi huyu mbona anabusara sana!
@tubeliomwagala3919
@tubeliomwagala3919 2 жыл бұрын
Kitabu nakipataje hicho.
@ibrahimdotto5234
@ibrahimdotto5234 2 жыл бұрын
Kuna watu naamini walitakiwa kuumbwa viumbe vingine kabisa! Tunaomba Amani kwa wote wasio na makosa
@victorsanga2229
@victorsanga2229 2 жыл бұрын
Yericko Kuna wakati unaongea uongo tena kwa kwa kwa kujiamini, hatari sana!
@susanraphael5894
@susanraphael5894 2 жыл бұрын
Nikweli kama anakosea nikidogo sana sera ya ujamaa tumecopy kwa warussia
@glorydenis5111
@glorydenis5111 2 жыл бұрын
broo unajua
@jeanmusamba8448
@jeanmusamba8448 4 ай бұрын
mwenyewe kabisa kwani humuoni kwenye picha?shida wa tz hatujiamini,aliisho bagamoyo tena alikuwa na dem pale wakati anafundisha flerimo,sisi tunaoongea kirusi tunajua amewai sema akiwa chuo kikuu cha Rastov alipomaliza masomo field za mwisho za kijasusi na uzalendo alifanyia tz
@omaribakari6120
@omaribakari6120 2 жыл бұрын
2dira yadunia mchana huu
@happynjukiz6495
@happynjukiz6495 2 жыл бұрын
Ndiyo maana Putin Hana huruma
@MosesMulambya
@MosesMulambya 12 күн бұрын
Putin aliluka kupigania waafrika kwa hurima zake
@petermhonzwa7091
@petermhonzwa7091 2 жыл бұрын
I mean gods
@salehkhamis8653
@salehkhamis8653 2 жыл бұрын
Dah wabongo acheni uongo Yani mnaangalia matokea HalaF mnajaribu kuyatolea historia na uchambuzi Kwa ajili ya kupata coment na like mbona hamja zungumzia awali kabla ya vita msituchezee akili zetu
@estermpagama9664
@estermpagama9664 2 жыл бұрын
Kumbe Putini ni kafiri hana dini hamjui Mungu wala kumuogopa anaua watu ajue ipo siku atajibu tena siku nzito Mungu hutoa adhabu Ukiwa hai au mfu acheni kuabudu mizimu watu tumwabudu Mungu
@LawiNgakala-f1t
@LawiNgakala-f1t 15 күн бұрын
HATA NINI BAUNGA MKONO URUSI KWA OP YAKE HUKO UKLENI VIVA VIVA PUTIN
@luperbukuku2659
@luperbukuku2659 2 жыл бұрын
Huo ni uongo kipindi hcho mnangangwa alikuwa jela
@agricskillstz
@agricskillstz 4 ай бұрын
Nyie jamaa ni waongo, mbaya story kisukuma sana, hakuna mtu anajua information za Putin
@chapaboyclassic3907
@chapaboyclassic3907 2 жыл бұрын
Mizimu inatoa taarifa za putin 🤣🤣🤣🤣
@prankandcomedytv8705
@prankandcomedytv8705 2 жыл бұрын
Hahahaha eti Nini?
@bakarishaban9311
@bakarishaban9311 Жыл бұрын
Hata mm namuunga mkono Putin anapigana vita vitakatifu
@juliusdonard933
@juliusdonard933 2 жыл бұрын
Putin 💚
@robertokasike4824
@robertokasike4824 2 жыл бұрын
The hero Putin
@kazikazini1042
@kazikazini1042 2 жыл бұрын
95% ya ngano tunayotumia inatoka nje na ni Ukraine na Russia. Kawaulize Azam na Azania wanakoagiza ngano. BBaada ya hapo utaelewa athari kamili.
Top U.S. & World Headlines - September 30, 2024
12:56
Democracy Now!
Рет қаралды 187 М.
Why they want me impeached-DP Gachagua speaks
1:25:41
KTN News Kenya
Рет қаралды 290 М.
Миллионер | 1 - серия
34:31
Million Show
Рет қаралды 2,3 МЛН
Incredible: Teacher builds airplane to teach kids behavior! #shorts
00:32
Fabiosa Stories
Рет қаралды 11 МЛН
The Surprising Solutions to the World's Water Crisis
24:02
Bloomberg Originals
Рет қаралды 62 М.
Putin damaged by Iran’s humiliation | Ben Hodges
11:36
Times Radio
Рет қаралды 305 М.
Meza ya Duara : Ni Trump au Kamala uchaguzi wa rais Marekani?
41:03
HISTORIA YA OPERATION ENTEBBE(Part 1)
40:32
Global TV Online
Рет қаралды 2,1 МЛН