Gumzo la Ghassani. A channel where history is kept alive.. Kudos!
@mohdhaji21863 жыл бұрын
Shekh Ismail Jussa wewe ni zaidi ya KITABU labda tukuite MAKTABA... MASHALLAH
@sasha-ri7tf3 жыл бұрын
Asante sana Mhe Ismail Jussa tunaomba hichi kipindi cha uchambuzi wa vitabu uwe angalau mara mbili kwa wiki Insha Allah.
@nailamohd76933 жыл бұрын
Ahsante sana kaka angu Mohd na Mheshimiwa Jussa 🤗🤗
@suleimanabdalla38423 жыл бұрын
Nakushkuru sana kwa kumkumbuka Baba yangu mlezi " marehem Seif Rashid Seif " Allah amjaalie kauli thabit na mapumziko mema huko akhera . Ameeen
@theteacherchance67503 жыл бұрын
I like the two of you addressing one another; when it comes to Jussa, it's simply "MOHAMED" and when it comes to Mohamed it's simply "ISMAIL". Marvelous.
@binloufy4543 жыл бұрын
Wapi tujifunze tna wakt elimu ipo hapa
@imraniqbal007653 жыл бұрын
Assalam aleiykum SHUKRAN Sanaa bwana Muhammed NA ismail tunakuombeni Pia kitabu cha maalim seif na Ali sultan
@shaficabdalaziiz2183 жыл бұрын
Allah awalipe kheri kwa juhudi zenu kutofundisha na kutushajihisha ktk kusoma vitabu
@shaqsyonlinetv36693 жыл бұрын
Kwa kweli Mheshimiwa Jussa amenifunza mingi sana kuhusu” Ethics of becoming a good politician” nlidhamiria ipo siku tukijaaliwa niingie ULINGONI MWA SIASA .. naamini WANASIASA wetu wakimsikiliza pasi na ukereketwa watajifunza mingi .. Asante sana Sh Mohames kwa kazi nzuri sana ya kupigiwa mfano 🙏🙏🙏🙏
@khameeskombo10073 жыл бұрын
The Life and Times of Abdulwahid Sykes (1924-1968): The Untold Story of the Muslim Struggle Against British Colonialism in Tanganyika Book by Mohamed Said
@amiri.channel3 жыл бұрын
Where do I get it?
@khameeskombo10073 жыл бұрын
@@amiri.channel I'm sure is available in most of book shops, both Zanzibar and Mainland.
@misscoast31743 жыл бұрын
MashaAllah very informative
@theteacherchance67503 жыл бұрын
Kama Jussa alisoma Unguja basi bila shaka alisoma kwa Watasha. Kama amesoma "MTONI" 'A plus'.
@mohammedrajab26023 жыл бұрын
Samahanini nujulisheni nini siyasa na nani huyo mwana siasa ama ninavyona kuwa maana yake ni SIYAHASA kwa hivyo msiwalaumu chochote hao wajiitao WANASIOHASA