TUFUNUWE KITABU (SILSILA 6) Mafunzo kutoka "Conflicts and Harmony in Zanzibar" ya Sheikh Ali Muhsin

  Рет қаралды 7,426

Gumzo la Ghassani

Gumzo la Ghassani

Күн бұрын

Пікірлер: 51
@hisqueen7419
@hisqueen7419 3 жыл бұрын
Ali muhsin al Barwan wallah I’m so proud to be your grandchild 🙏
@thaniahmed330
@thaniahmed330 3 жыл бұрын
Reality is repeating itself, Hizbu was ignored for many years because of fear from Tanganyika, but now Alhamdullilah, young generation are learning the reality God bless zanzibar
@sheikhalimuhsinalbarwani2819
@sheikhalimuhsinalbarwani2819 3 жыл бұрын
On behalf of Sheikh Ali Muhsin’s family we would like to thank you… Jazakum Allah Khayran
@innocentman5954
@innocentman5954 3 жыл бұрын
Tunatambua umuhimu wa Ali Muhsin Barwani.. na tunamtaja kla siku.. Kwetu cc ana maana kubwa!
@azizamri1522
@azizamri1522 3 жыл бұрын
I’ve read the book sometime ago but Jussa has reality made it more understood. This book has cast Nyerere in his right color, the most divisive political figure in East Africa and Africa in general. A political Western puppet who wore a tiger’s skin! Sk. Ghassani thank you for bringing these programs.
@it-vw4zj
@it-vw4zj 3 жыл бұрын
Kwa miaka mingi sana history ya Zanzibar imekua ikipotoshwa kwahio discussions kama hizi ni muhimu sana kuujulisha umma especially new generations what really happened/took place in our motherland
@suadbarwani4117
@suadbarwani4117 3 жыл бұрын
Ahsante Bwn Jusa kwa kutuweleza kwa utulivu na ukweli wa mambo na ubaya unaotokeya Zanzibar. Aloandika Sh.Ali Mohsin katika Kitabu chake ( Conflict and Harmony in Zanzibar ).kwa hakika Zanzibar ina Maadui Jadi na Jadi, hichi kisiwa kidogo lakini kinaogopwa.
@aaahadventures4214
@aaahadventures4214 3 жыл бұрын
Masha Allah...Alhabib Jussa...Mwenyezi Mungu akulinde...Haya mambo yanafumbua akili kwa wenye akili.
@seanmurray6516
@seanmurray6516 3 жыл бұрын
Allah awape sihha njema, awahifadhi Na kulla sharri Na fitna minaljinnat wa nnasi Ajman. Allah kwa uwezo wake akupeni Imri mrefu wenye Kheir Na nyinyi akujaalieni minal faizeen ya Rabbi. ‏اللهم ندعوك كما وعدتنا فأستجيب دعاء أنا يا رب يا رب العالمين اللهم يحفظكم يحفظكم جميعا ‏أنت الاخ إسماعيل والأخ محمد يا رب العالمين وجميع المؤمنين والمؤمنات
@it-vw4zj
@it-vw4zj 3 жыл бұрын
Amazing talk about our iconic figures.. well done Jussa well done Ghassani
@bunamay1000
@bunamay1000 9 ай бұрын
جزاكم الله خير الجزاء Ahsante sana
@khalidibrahim4579
@khalidibrahim4579 3 жыл бұрын
SHEIKH ALI MUHSIN ALIKUWA MUUNGWANA AKIPENDA WA ZANZIBARI WOTE MUNGU AMRAHAMU NA AMPE JANAAT ALFARDOUS AMIN
@mwalimuali1850
@mwalimuali1850 3 жыл бұрын
Dah kumbe haya mambo Maalimu jusa hadi leo tunapambana iko siku nchi yetu itakuwa huru zanzibar kwanza nakupenda nchi yangu zanzibar 🥰
@nailamohd7693
@nailamohd7693 3 жыл бұрын
Ameen ya rabby
@nailamohd7693
@nailamohd7693 3 жыл бұрын
Shukraan saana 👏👏 kwa kipindi kizuri
@hamadalisuleiman4694
@hamadalisuleiman4694 3 жыл бұрын
Wonderful
@sasha-ri7tf
@sasha-ri7tf 3 жыл бұрын
Tinausubiri uhondo baada ya dakika 8 na Mhe Ismail Jussa, Insha Allah .
@salehali976
@salehali976 3 жыл бұрын
Hichi kitabu nimekitafuta sana sijakipata. Tafadhali nieleze wapi naweza kipata
@masilambazaim5302
@masilambazaim5302 3 жыл бұрын
Maa Shaa Allah, hongereni kwa juhudi zenu za kufikisha kile mnachokijua kuhusu historia na mafunzo muhimu ktk hazina zilizoachwa na lulu zetu. Maoni yangu kuna mambo muhimu na yenye thamani kufahamika kwetu sisi watazamaji au wafuatiriaji, kwahyo kulingana na muda kuwa mchache ningeomba ikiwezekana Mgawe vitabu kama hivi katika mfumo wa episode ili tunufaike kwa kiwango cha kutosha in shaa Allah
@wambura-cv3ut
@wambura-cv3ut 3 жыл бұрын
Kiukweli mimi sasa ndio naijua ZANZIBAR yangu nikupeni hengera zangu kaka zangu hakika ZANZIBAR tuna watu tena hazina kabisa
@harounkuchi9100
@harounkuchi9100 3 жыл бұрын
Ally Muhsin Al Barwan ni Zaimu
@imsimk.khamis574
@imsimk.khamis574 3 жыл бұрын
Mashallah. Kuna mambo mengi mimi sikuwa na yajua. Hiki kitabu nishaki order ktk Amazon.
@hakikwadalili
@hakikwadalili 3 жыл бұрын
Asanate sana kwa gumzo hili kwa kweli unahisi utamu wa fasaha wa lugha ya kiswahili.
@mohammedjabir6128
@mohammedjabir6128 3 жыл бұрын
Niko pamoja na sh Ismail Jussa! Ili tusirudie makosa lazima tuungane, ili tupate ufumbuzi. Na CCM ifikirie kubadilisha jina la chama kwani jina hilo ndio chanzo cha vurumai na chuki!
@it-vw4zj
@it-vw4zj 3 жыл бұрын
@@mohammedjabir6128 Well said brother Mohammed
@lmdos4382
@lmdos4382 3 жыл бұрын
@@mohammedjabir6128 tuungane na ccm?
@rafaelmarquez9396
@rafaelmarquez9396 3 жыл бұрын
Fasaha ya lugha ya kiswahili cha zanzibar sio ccha tqnganyika
@imsimk.khamis574
@imsimk.khamis574 3 жыл бұрын
Lkn hio ya Shekhe Ali Muhsin ( Allah amrehem Amyin). kuhamishiwa Tanganyika ni kheri kwake. Kwasababu Karume alikuwa akienda kuwachukua watu jela alina Hanga Othman Sharif nakuwauwa kwakuwagunga ndani ya gunia nakuwatupa baharini wakiwa hai
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 3 жыл бұрын
WAASISI WA ZANZIBAR NATIONALIST PARTY (CHAMA CHA WANANCHI WA ZANZIBAR) 1) Vuai Kitoweo (Raisi) Jambiani 2) Haji Hussein Ahmed ( Makamo wa Raisi) Ng'ambo 3) Mwandoa Khamis (Katibu Mkuu) Mkamasini 4) Miraji Shaalab (Ndijani) 5) Maalim Zaid Mbarouk (Kiembe Samaki) 6) Maalim Maksudi Fikirini (Mwachealale) 7) Maalim Wazir Ali (Dimani) 8) Othman Soud (Nga'mbo) 9) Abdullah Mahmoud Kombo Jecha (Makunduchi) 10) Ramadhan Khamis (Welezo) 11) Maalim Hijah (Ndijani) 12) Ameir Kitende (Ndijani) 13) Abdullah Mali (Kiboje) 14) Haji Kombo (Dunga) Hawa wote ni Waislam na Wazanzibari Kinda Kindaki walopigania UHURU KAMILI wa ZANZIBAR kutoka Uingereza na sio Oman kama Makaburu na vibaraka vyao wanavyopotosha.
@rastafare878
@rastafare878 3 жыл бұрын
Tunashukuru Kwa kutuelimisha
@innocentman5954
@innocentman5954 3 жыл бұрын
Asant!
@hudaasaalim1333
@hudaasaalim1333 3 жыл бұрын
Mambo matamu .lini tutapata nchi yetu tusomeshe history ya nchi yetu.
@nassorali4564
@nassorali4564 2 жыл бұрын
Zanzibar tunqelikuwa mbali mno lakin fitna majunqu na tamaa za watu wachache kwa tamaa zao mbk Kunifanya Zanzibar Kupoteza hadhii yake mb leo tunajutia
@jaanjaan111
@jaanjaan111 3 жыл бұрын
Kwa vile watanganyika wengi hawakua na elimu na uelewa wa nchi yao ndio mwalimu nyerere aliwazulumu na kuwaonea sana na bado waliona ni mtu bora na mwema ndio mpaka sasa niwachache mwenye kufahamu maovu ya mwalimu nyerere
@imraniqbal00765
@imraniqbal00765 3 жыл бұрын
Assalam aleiykum Tunawashukuru saanaaa Ismail na Muhammad Kwakeli zanzibar imeuliwa zamani Sanaaaa. Pia Tunaomba kitabu cha Bi fatma jinja please
@abdallahomar3332
@abdallahomar3332 3 жыл бұрын
Kitabu.hichi.nilikitafuta.mda.mwingi.sijakipa.nilipenda.unifahamishe.wapi.nitakipata.kujuwa.au.kuelewa.wazazi.wetu.kazikubwa.waliyo.fanya.sisi.wengine.wazee.wetu.wamo.hasa.ulipo.wataja.watu.wa.k/samaki
@walterngowi5835
@walterngowi5835 3 ай бұрын
Haya machotara yanataman kweli waarabu warudi Zenji kama xix tunavoitaks Tanganyika yetu Kwa udi na uvumba 😎😎
@SulemanKhan-lr1mu
@SulemanKhan-lr1mu 2 жыл бұрын
Does anyone know where JK N hid during the 1964 Askari mutiny.The only person visible at that time was a top politician named Mr Kambona.It is interesting to know some historical facts about that period.
@alijuma7204
@alijuma7204 3 жыл бұрын
Tunataka uchambuzi wa kitabu ukwel ndio huu kaka muhamed
@hudaasaalim1333
@hudaasaalim1333 3 жыл бұрын
Yaani tukifundishwa azimio la Arusha. Nilikuwa sipendiiii. Na ilhali sisi ni watu ni watu na history yetu😓
@alijuma7204
@alijuma7204 3 жыл бұрын
Wazanzibar kupelekwa Tanganyika ni suala lazaman toka mgogoro wa Barahash na majid
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 3 жыл бұрын
Sultan harudi tena Zanzibar!!
@sadofaraji5999
@sadofaraji5999 3 жыл бұрын
Ameshafariki Allah amrehemu,labda kama una jingine.
@sulimanmasoud9337
@sulimanmasoud9337 3 жыл бұрын
Wa ujiga fahamu nanikakutawa sasa japo unamuna mama Samia mzanzibari mama Samia Kaekwa kuku wadaganya wazazibari kama wewe bado umelalaa katikandoto. Labda mwabie Jusa kupe hadithi ya mfalme akishivipi alanini vipi anavo anavoka na raifa wake kasoma skuligani .utazame hawalo tawala sasa. nanibora. Ukita kujua zaidi nenda kwa mulim hiaja utamkuta msikiti Jbrill siku ya uradi.kwani yeye ni rafiki yake na wakisaka pamoja. a
@rastafare878
@rastafare878 3 жыл бұрын
Wewe kapilima muarabu aje afanye nini huku , watu wanamaisha yao mazuri MashaAllah aje ahanisike huku kwenye dhiki shida zisizokwisha , acheni kutisha watu ,watu wakijitetea aaa waarabu watakuja, kwani Sasa hivi hawaji Na si ndio wanaotusaidia Leo misaada hii kesho misaada ile tena si Zanzibar wala Tanganyika Na wala hawabaguwi then munajitia midomo juu , ndio maana hatuendelei Kwa sababu watu wakijitetea aaa waarabu , hayo mambo ya kutisha watu ni mambo ya kitoto watu wanachotaka ni maendeleo sio kuleta stori hizo Kwa hizo .cha kushangaza misaada yao munaipokea mbiombio mbona hamukatai , waarabu Wana maisha yao Mungu aliyowanyooshea MashaAllah hawana shida Na kutawala Africa kwenye maendeleo duni milele
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 3 жыл бұрын
@@sulimanmasoud9337 jamsheed bye bye!
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 3 жыл бұрын
@@jumakapilima5674 Hata Mtume Muhammad (SAW) hatarudi.
@SA-xj8hc
@SA-xj8hc 3 жыл бұрын
Kila siku maskulini tunafundishwa historia ya Zanzibar kuanzia Mapinduzi kama kwa Zanzibar ilianza 1964! Sad 😔
@hudaasaalim1333
@hudaasaalim1333 3 жыл бұрын
Very sad wallah
@ashaibrahim1786
@ashaibrahim1786 3 жыл бұрын
Jamani tunaomba na kitabu cha Tanganyika Muslim Struggle Against Independent cha Al marhum Abdulwahid Sykes kichambuliwe tuelewe historia ya kabla ya uhuru.
TUFUNUWE KITABU (SILSILA 7): Abeid Karume cha Ali Shaaban Juma
1:16:49
Gumzo la Ghassani
Рет қаралды 7 М.
Mom had to stand up for the whole family!❤️😍😁
00:39
Хасанның өзі эфирге шықты! “Қылмыстық топқа қатысым жоқ” дейді. Талғарда не болды? Халық сене ме?
09:25
Демократиялы Қазақстан / Демократический Казахстан
Рет қаралды 332 М.
World‘s Strongest Man VS Apple
01:00
Browney
Рет қаралды 66 МЛН
🕊️Valera🕊️
00:34
DO$HIK
Рет қаралды 8 МЛН
Master Ophase 2024 Misc - Thursday
3:43:25
D120 TuDa
Рет қаралды 2,2 М.
Beyond the Debate | Dr. Zakir Naik | 142
3:14:33
بودكاست بدون ورق
Рет қаралды 1,2 МЛН
TUFUNUWE KITABU (SILSILA 12): Revolution in Zanzibar cha John Okello
1:03:39
Surah Mulk - سورة الملك Recitation For Inner Peace & Restfulness | NOOR
3:53:10
سورة البقرة كاملة لطرد الشياطين من منزلك وجلب البركه باذن الله surat albaqra
3:52:00
Mom had to stand up for the whole family!❤️😍😁
00:39