No video

GWAJIMA AGOMA KUKAA KWENYE KITI, AHOJIWA AMESIMAMA MBELE YA KAMATI YA MAADILI

  Рет қаралды 296,954

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 373
@carolynenekesa5198
@carolynenekesa5198 3 жыл бұрын
Shujaa usihofu, Bwana wa Majeshi yu Nawe. Pamoja nawe Mteule wa Mungu. Siku ingine Songa mbali kiasi na kipasa Sauti. Umezingirwa na Majeshi ya Mbinguni. Hata Herode alikuwa na Maelefu, Bali Yesu Kristo alikuwa na Kumi na wawili, Lakini aliitingiza Dunia. Twakuombea sana kutoka kenya.
@thelonewolf4429
@thelonewolf4429 3 жыл бұрын
Nawaambia msifikirie gwajima ni chizi anajuwa anachokifanya na kinachoendeleya nakupitiya gwajima mtakuja juwa siri nzito iliojificha nyuma ya kifo ya JPM. Wekeni hii comment
@mzalendohuru...4967
@mzalendohuru...4967 3 жыл бұрын
Jasusi la Mbinguni ,Tunao enda mbinguni hatuendi na chanjo.Mungu azidi kukulinda💪 Askofu Josephat Gwajima
@debrankinga9250
@debrankinga9250 3 жыл бұрын
Daaah had raha Mungu aendelee kukutumia jasusi la mbinguni....yaan had mwenye kiti analazimisha abadilishiwe maiki inamaan kua aliyoikuta ilikua sawa ila angetaka kubadlishiwa ndo ilikua ina tatzo ndo mana Mwenyekt analazmsha aseee... Mungu ni mlinzi wako hatalala wala hatasinzia amen!
@danielaron5608
@danielaron5608 3 жыл бұрын
Mamv
@braystuskibassa3077
@braystuskibassa3077 3 жыл бұрын
Hongera sana mwanajeshi anaejiamini husimama kuonesha uimara na ubora wa kazi yake muda wote
@matukiomedia191
@matukiomedia191 3 жыл бұрын
Mungu akutangulie mchungaji wetu .....shetan hapend watu walio wema bali hutaka waangamie na badala ake ataangamia yy mwenyew
@hamisiselemani9777
@hamisiselemani9777 3 жыл бұрын
Gwajima ww pambana sisi tuko pamoja naww usizani labda uko pekeyako hapana uko na kikosi cha kufa mtu
@gkgk8153
@gkgk8153 3 жыл бұрын
Mtumishi ws Mungu aliye hai...Mungu ni mwema na anakupgania..wala usiogope kwa maana maandiko yanasema maadui wakuzungukao alfu nami 10 alfu watakua upande wako...Usiogope...×10000.
@evainnocent9520
@evainnocent9520 3 жыл бұрын
Mungu wa Mbingun akulinde Baba Etu.
@xalomemwakabela7394
@xalomemwakabela7394 3 жыл бұрын
Mungu hatamficha mtumish wake Jambo lolote Amos 3:7, inaonekana ameshuhudiwa moyon kuwa Leo asikae kwenye kiti
@christianchando7041
@christianchando7041 3 жыл бұрын
NI KWELI
@ombendaud5938
@ombendaud5938 3 жыл бұрын
Kama Mungu aishivyo wewe ni Mtu wa Mungu tunauhakika na wewe na Mungu alikupeleka Mgungeni kwa kusudi maalumu
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
Jamani tuendelee kuiombea nchi yetu🙏🙏🙏Mwenyezi Mungu atuepushie mabalaa na aimarishe amani na utulive ..Ameen🙏🙏🙏
@henrylugongo632
@henrylugongo632 3 жыл бұрын
🙏🙏🙏
@aishaabdul2782
@aishaabdul2782 3 жыл бұрын
MAPISHI
@georgemaziku6610
@georgemaziku6610 3 жыл бұрын
Mathayo 10:16-20 [16]Angalieni, mimi nawatuma kama kondoo kati ya mbwa-mwitu; basi iweni na busara kama nyoka, na kuwa watu wapole kama hua. [17]Jihadharini na wanadamu; kwa maana watawapeleka mabarazani, na katika masinagogi yao watawapiga; [18]nanyi mtachukuliwa mbele ya maliwali na wafalme kwa ajili yangu, kuwa ushuhuda kwao na kwa mataifa. [19]Lakini hapo watakapowapeleka, msifikiri-fikiri jinsi mtakavyosema; maana mtapewa saa ile mtakayosema. [20]Kwa kuwa si ninyi msemao, bali ni Roho wa Baba yenu asemaye ndani yenu.
@tundalawokovu
@tundalawokovu 3 жыл бұрын
Grajima azidi kusimama Powa sana kwa neno nzuri
@wisperfect5320
@wisperfect5320 3 жыл бұрын
Amina
@jordanfromyt2861
@jordanfromyt2861 3 жыл бұрын
Amen 🙏 lazma kieleweke
@hbdina
@hbdina 3 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿Waafrica badala ya kuwatunukia watu wenye Critical mind kwa manufaa ya Taifa munapoteza mda na pesa za walipa kodi kumuhoji Go Go Askofu Gwajima 🔥🔥🔥💪
@japhetselestine2156
@japhetselestine2156 3 жыл бұрын
Yaani gwajima ungekuwa karibu ningekubeba, unanifurahisha sana
@mwakiosalim2914
@mwakiosalim2914 3 жыл бұрын
nakuelewa sana Geajima live long and God protect you💪💪💪👏👏🙏🙏
@augustabisetsa5007
@augustabisetsa5007 3 жыл бұрын
Waone waonavyo, waseme wasemavyo,. Gwajimagu oyeeeeeeeeee, jamaa Hana kopy yake, pambabana mtu wa Mungu , songa mbele usiogope sema kweli tuko nyuma yako jeshi Kama lote
@allyramadhani3921
@allyramadhani3921 3 жыл бұрын
Kabisaaa
@gideontebuye5329
@gideontebuye5329 3 жыл бұрын
Mungu wa shedrack meshaki, abednego endelea kumlinda mtumishi wako gwajima, na endelea kumpa hekima jinsi ya kujibu mbele ya baraza
@denismtoma1827
@denismtoma1827 3 жыл бұрын
Mungu akulinde Gwajima
@aminamony2142
@aminamony2142 3 жыл бұрын
Mungu akipanga hakuna wakupangua
@yohanayindi2838
@yohanayindi2838 3 жыл бұрын
Ahimidiwe mungu wa mbinguni, semeni ameen
@happinesszabron6811
@happinesszabron6811 3 жыл бұрын
Ameen
@abihudkaale6092
@abihudkaale6092 3 жыл бұрын
Gwaji nakukubali baba songa mbele shedraki wetu uliekata kuisujudu sanam
@josephgerald5540
@josephgerald5540 3 жыл бұрын
Mungu ni mwema
@johnjuma3345
@johnjuma3345 3 жыл бұрын
Unanipa raha sanaaa yn jaman MUNGU mwenye nguvu usimpungukie nakupenda shujaa wa Mbinguni
@mkambamaulid447
@mkambamaulid447 3 жыл бұрын
Gwajima Gwajimaaa Gwajimaaaaaaaa Nimekuita mara3 Endelea kusimama imara Gwaji boy
@jacksonmuendo2641
@jacksonmuendo2641 3 жыл бұрын
Hii kamati inapigana vita vya kiroho kupitia damu na nyama... Tayari Gwajima amechukua nafasi yake, kwanza amewachanganya na kuwatawala wote kwa kuamua kuojiwa akiwa amesimama.. Heko mtumishi. Canal man can not understand the things of the spirit,.. Every weapon formed by your enemies to destroy you shall not prevail and you shall condemn every tongue that is ready to condemn you.
@swalehemakuta1583
@swalehemakuta1583 3 жыл бұрын
Yupo sawa kabisa kuongea amasimama Mana amezoea ivyo ikiwa bugeni kanisani ndio kabisa kusimama ni mwanzo mwisho
@robertempire9542
@robertempire9542 3 жыл бұрын
Hatariii Sana wape injili...
@liberatuceboniphace4004
@liberatuceboniphace4004 3 жыл бұрын
Mungu akutangulie mtumishi
@safigeorgine8132
@safigeorgine8132 3 жыл бұрын
Nakuomba kwa Rehema za mungu mtumishi wa mungu usikie kusamehe wa ndugu ni kipindi cha maisha lazima kipite umuachie mungu atafanya njia ya muhumu tuendelea kuomba muhumba wetu,natoka Rdc
@aliusanthony9158
@aliusanthony9158 3 жыл бұрын
Live long Gwajima
@florencemalima9265
@florencemalima9265 3 жыл бұрын
Macho ya Mungu yako juu yako somo la majasusi wa mbinguni
@niconicodau7466
@niconicodau7466 3 жыл бұрын
Shujaaa wa mbinguni na duniani pia baba nakuamin
@ramadhanichenga5557
@ramadhanichenga5557 3 жыл бұрын
Anaogopa ndumba huyo siakae
@pmall8867
@pmall8867 3 жыл бұрын
Afrika Ukiwa na Akili kubwa Zaki pekeako una Kuwa Adui wa watu weusi wenzio....😁😁
@husnahabibu1767
@husnahabibu1767 3 жыл бұрын
Ni kweli kabisa wanamtafutia Kila mbinu Ila Kwa uwezo wa mungu hawataweza
@pmall8867
@pmall8867 3 жыл бұрын
@@husnahabibu1767 MUNGU amlinde mtu Huyu @Gwajima
@castobenjamin4074
@castobenjamin4074 3 жыл бұрын
Hapa ni Ufunuo juu ya ufunuoo😂😂,Jitu la mbingunii💪💪
@hassansemwali8470
@hassansemwali8470 3 жыл бұрын
Mungu yupamoja nawe mh josephat gwajima
@carolinakayet4149
@carolinakayet4149 3 жыл бұрын
Mungu akusimamie mtumishi wa Mungu
@malmavoice8989
@malmavoice8989 3 жыл бұрын
Gwajima!!!! Kiboko ya viongozi wazembe. Bunge gani hili sasa?
@aminamwangile4020
@aminamwangile4020 3 жыл бұрын
Hahahaha hahahaha hahahaha
@sharmelasaif47
@sharmelasaif47 3 жыл бұрын
Hongera gwanjima
@emilianajosephat4059
@emilianajosephat4059 3 жыл бұрын
Maboya ktk mkutano wa mitume alisema Gwajima Ana Roho ya kitume.Sasa hivi tunaiona Hy Roho.Mungu awe nawe.
@gracehaule3884
@gracehaule3884 3 жыл бұрын
Nakumbuka hakika inaonekana
@franciscakambuga4065
@franciscakambuga4065 3 жыл бұрын
Mungu akutangulie mtumishi wa Mungu
@abelialsen5383
@abelialsen5383 3 жыл бұрын
Gwajima yaani sikumalizi!!! Uko tofauti sana na fikra za watu
@nyamangaking6608
@nyamangaking6608 3 жыл бұрын
Gwajima,wewe ndo Raisi wetu.
@KasminaCreation
@KasminaCreation 3 жыл бұрын
Raisi wetu ni mama Samia
@rejankihanza6074
@rejankihanza6074 3 жыл бұрын
Sijawahi kuwa na Raisi malaya
@teddyemanuelyteddyemanuely8362
@teddyemanuelyteddyemanuely8362 3 жыл бұрын
@@rejankihanza6074 🥰🥰👍
@marykilasi6248
@marykilasi6248 3 жыл бұрын
Saf jembe Gwajima mungu atakushindia nautashinda kwa kishindo tuko nyuma yako
@anoldjohn1757
@anoldjohn1757 3 жыл бұрын
Timu ngwajima. Kama itakupendexa
@fadiasly3048
@fadiasly3048 3 жыл бұрын
Nakupenda gwajima boy
@Word_DJ.
@Word_DJ. 3 жыл бұрын
Huyu jamaa ana mbinu za kivita😂😂
@christianchando7041
@christianchando7041 3 жыл бұрын
Kweli
@athumanhassani805
@athumanhassani805 3 жыл бұрын
Watanzania wenzengu tuwe makini kwenye uchuguzi waviongozi wanchi 2025 kwakuwa miaka hii mitano baada yakifo chamagufuli tumeona mengi sana kama maigizo ila nalo nifunzo tunajifunza kwawakati ujao
@petromachanga5538
@petromachanga5538 3 жыл бұрын
Kweli
@augustabisetsa5007
@augustabisetsa5007 3 жыл бұрын
Gwajmagu oyeeeeeeeee
@jacquelinesangu1521
@jacquelinesangu1521 3 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏mungu akuongoze gwajima
@saigonernest7631
@saigonernest7631 3 жыл бұрын
Yani waki mtenda vibaya gwajima ndio watajua watanzania wakoje
@salimayoub1437
@salimayoub1437 3 жыл бұрын
Utafanyaje ndug yangu 😅😅
@christophernyambaza7587
@christophernyambaza7587 3 жыл бұрын
Ee Mungu wa Ibrahimu tenda muujiza kwa ndugu yetu Gwajima , kwani anafanya yote kwa ajili ya utukufu wako
@alimarezi3613
@alimarezi3613 3 жыл бұрын
Huyu jamaa ni pasua kichwa kweli🤣🤣
@emmadominic9601
@emmadominic9601 3 жыл бұрын
Sio pasua kichwa,anajuwa hasa kinachoweza kumtokea
@jacrinejohakim2803
@jacrinejohakim2803 3 жыл бұрын
Jambo usilolijua nikamausikuwa giza
@elishakayagwa9371
@elishakayagwa9371 3 жыл бұрын
Sio pasua kichwa hii serikali haieleweki wanaweza kumuwekea hata virusi vya corona au hata sumu kwenye kiti ili wamuondoe maana anagusa maslahi yao.
@rejankihanza6074
@rejankihanza6074 3 жыл бұрын
Wapumbav tu wanachezea Kodi zetu
@estamichoromichoro5634
@estamichoromichoro5634 3 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu anamuonesha macho ya rohoni
@prophetmunuo9317
@prophetmunuo9317 3 жыл бұрын
Hivi mbona baadhi ya watu hawana hofu ya Mungu? Baada ya maisha yenye Taabu nyingi hivi tutaenda kumjibu nini Mungu aliyetupa dhamana ya kuongoza watu wake kwa haki ambayo tumeipotosha?
@jibrildavis5664
@jibrildavis5664 3 жыл бұрын
😂🤣🤣gwajima hoyeee gwajima juu 🔥🙏🙏🙏
@haikajohn7580
@haikajohn7580 3 жыл бұрын
Juu zaidi
@rejankihanza6074
@rejankihanza6074 3 жыл бұрын
Yesu wa gwajima Yuko yuuuuuuuuuuuuuuuuu
@peterbalilemwa9563
@peterbalilemwa9563 3 жыл бұрын
Hapo ni akili kumkichwa, jana alikikwepa kiti alichowekewa maana awakutambua kama angekikataa, Leo kaacha viti vyote . Ila kwa mic 🎤 distance ya alipo aiwez kumpa tatizo ha ha 😂 😆 😄 🤣 this guy is a genius
@leaherasto5686
@leaherasto5686 3 жыл бұрын
Mungu azidi kukupigania Gwajima
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 3 жыл бұрын
Kamati... Kamati... Hapo mnakula Kodi za nchi yetu ki ulaini. vita ya kunguru naona Ni neema kwenu... au vipi wa heshimiwa.,.... Ndugai ... Ndugai... Hurumia Kodi za watz... Rais naye no Mwanadamu... Watu watofautiana nae kwa mawazo.. mitazamo.. fikra.. na misimamo.... Kuwa chama kimoja hakumaanishi tunakubaliana wote kwa yote.. hata kwa Dini sivyo... Eee Mwenyezi Mungu tubariki na kutuokoa Watoto wa Tz
@paulndimanya6912
@paulndimanya6912 3 жыл бұрын
Kiti cheupe kwa ajili ya kuangamiza mtu mmoja hatari sana namkumbuka katibu wa ccm alihojiwa kwa kutumia utalatibu huohuo akakalibishwa hivohivo akapewa maiki baba wawatu hakunusulika alikufa gafula gwjima mungu akuongoze mpendwa wetu
@shabanially4728
@shabanially4728 3 жыл бұрын
Gwajima anafaa kuwa msemaji wa simba kwa vurugu hzi
@fadiasly3048
@fadiasly3048 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@christianchando7041
@christianchando7041 3 жыл бұрын
🤪🤪🤪
@aliusanthony9158
@aliusanthony9158 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣 Wacha dharau nyie
@jenipherkavusha1661
@jenipherkavusha1661 3 жыл бұрын
Hahahaha
@petromachanga5538
@petromachanga5538 3 жыл бұрын
Sijui
@sallysalamakenga6329
@sallysalamakenga6329 3 жыл бұрын
TANZANIA MPYA INAKUJA AMEEEEEEN
@sidedirtylevel8483
@sidedirtylevel8483 3 жыл бұрын
kama umemuona mweshimiwa SIMBA toka zanzibar gonga like hapa
@mr.machange1377
@mr.machange1377 3 жыл бұрын
Lazima a-rise doubts mbele za jamii ili waliopanga kumtenda mabaya warudi nyuma
@blessedg871
@blessedg871 3 жыл бұрын
Raise not rise
@amriabdarah3343
@amriabdarah3343 3 жыл бұрын
Mungu azidi kukutia guvu ili uendelee kujiamini hata mim nko upade wako siwezi kumsalit magufuli mpka nakufa kwagu. Achana na hao wanafiki
@centralboytz4240
@centralboytz4240 3 жыл бұрын
Usipotumia maujanja unaweza kupotea kirahisi Kwa hayo yote anayoyafanya utashangaa anachukiwa bure baba wa watu😊 Hosea 4:6 Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa.....
@habibarashid2997
@habibarashid2997 3 жыл бұрын
Lakn mie mwenyewe huwa najiuliza kwanini kit chake kinakuwa hakifanani na vit vinginee?? Hata ingekuwa mimi khaa!! Kit kinarangi moja tuu ndio mikalie mimi ,???
@tagdymagdy7301
@tagdymagdy7301 3 жыл бұрын
Kweli Tukue Tuyaone Hili Sio Bunge Linatia Aibu
@petromachanga5538
@petromachanga5538 3 жыл бұрын
Hahaaaaaaaa et anatia aibu gwajuma, chanjeni nafamilia zenu
@petromachanga5538
@petromachanga5538 3 жыл бұрын
Gwajuma kasema hachanji Mimi nimechangnyikiwa wapi
@mchezakamaliog265
@mchezakamaliog265 3 жыл бұрын
@@amohammed3390 unajitia wewe aibu kufuatlia yasiyokuhusu
@imscometro1168
@imscometro1168 3 жыл бұрын
NSHAZOEA KUSIMAMA NAAAM MWENYE KITI KAMA ITAKUPENDEZA🙌🏼🙌🏼🙌🏼
@carenalphonce5013
@carenalphonce5013 3 жыл бұрын
Anafata nyayo za jpm
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 3 жыл бұрын
Gwajim oyeeeeeeeeee 2025 ndio Rais wetu
@shanimbaruku2071
@shanimbaruku2071 3 жыл бұрын
Oyeeeee
@rejankihanza6074
@rejankihanza6074 3 жыл бұрын
Kwanzia Leo huyu ndo Rais
@yuventmpiru7738
@yuventmpiru7738 3 жыл бұрын
Kila mtu anajua Gwajima yuko sahihi ila ni kujitoa fahamu tu
@sydneysamson1761
@sydneysamson1761 3 жыл бұрын
Hivi kwani tatizo la huyu jamaa liko wapi Ndugu zanguni?!Tanzania hii ina mambo mengi sana ya Ajabu.
@annamwakibinga527
@annamwakibinga527 3 жыл бұрын
Kabisa
@saramuna1173
@saramuna1173 3 жыл бұрын
Hayana budi kuja ndo maandiko yanatimia hivyo..Mungu atusaidie sana tusijetukaiacha Imani yetu
@mathiasulaiti5665
@mathiasulaiti5665 3 жыл бұрын
bado mdogo sana bro hii ni nchi siyo kibanda
@rejankihanza6074
@rejankihanza6074 3 жыл бұрын
We kinda sana
@alfredlimu3873
@alfredlimu3873 3 жыл бұрын
Hongera bishop Gwajima unatuwakilisha ipasavyo sisi wa mrengo mwingine
@pascalmsechu6874
@pascalmsechu6874 3 жыл бұрын
Gwajima aliwaambia sitaki ubunge kwa kuwa ni cheo kidogo hamukumuelewa sasa anawasumbua kwa hicho sio cheo chake wenye njaa ndio mnapata shida Sana..
@dayana5513story
@dayana5513story 3 жыл бұрын
Ngwajima oyeeeeeeeeeeeeee
@jenitajastin3166
@jenitajastin3166 3 жыл бұрын
Mungu katuletea maguful mwingine ambae ni gwajima mungu akuondolee hao mashetan mbele yako amen
@gladyskiplimoart
@gladyskiplimoart 3 жыл бұрын
Gwajima sauti ya wengi 👏👏👏
@mosesmwakyusa2087
@mosesmwakyusa2087 3 жыл бұрын
Jasusi la kimbingu hilooooo
@wateuleclassicsevenstars4381
@wateuleclassicsevenstars4381 3 жыл бұрын
UNAFIKIRI KILA MTU ANAONA KAMA UONAVYO WEWE😂😂🤸🤸
@agaaah6697
@agaaah6697 3 жыл бұрын
Kabisa
@saigonernest7631
@saigonernest7631 3 жыл бұрын
Kweli viti vyote havipo sawa kastuka
@berilyhnaji3623
@berilyhnaji3623 3 жыл бұрын
Unatatizo la kiafya ,😜😜kama itakupendeza🙏🙏🙏🙏🙏🌌
@josephezekielmasolwa8283
@josephezekielmasolwa8283 3 жыл бұрын
Hahahahahhahahahahhhahhah!!!!!!! Mbavu zangu,,,, hahahha ASKOFU HAPA AMENICHEKESHA SANA
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
Pitieni na kwangu huku jamani Mimi sijachagua upande bado😂😂😂😂kuchoma au la
@libarata3191
@libarata3191 3 жыл бұрын
Chagua la
@dktabbaimran2002
@dktabbaimran2002 3 жыл бұрын
Gwajima mrithi wa Imani ya Magufuli,
@bennpetter5249
@bennpetter5249 3 жыл бұрын
Mpaka wakunye Safi sana Mtumishi
@noahkusenha8385
@noahkusenha8385 3 жыл бұрын
Nampenda Mara tatu pasta gwajima nyota ya tanzania
@meckikuloba4751
@meckikuloba4751 3 жыл бұрын
Jeshi la mtu mmoja lilifanya jeshi lawatuwengi kuchanganyikiwa Emungu baba mwenyezi muubambingu nanchi kubuka agano lako na watuwako apiganae na gwajima anapigana nawewe
@imscometro1168
@imscometro1168 3 жыл бұрын
KAMA ITAKUPENDEZA 🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼
@timochazze9845
@timochazze9845 3 жыл бұрын
Gwajima safi sana
@alamubravo512
@alamubravo512 3 жыл бұрын
Mungu akupiganie gwaj boy
@nightnursenightnurse7396
@nightnursenightnurse7396 3 жыл бұрын
Iyo kukalia kalia viti ndio imeuuwa watu wengi duniani sio lazima kukalisha kalisha matako kila mahali
@petronjowela6670
@petronjowela6670 3 жыл бұрын
Barikiwa Sana Bishop
@ghatimakonge9383
@ghatimakonge9383 3 жыл бұрын
Poleni wa wana ccm ukiona hivo jua mnaogopana... Poleh Sana
@machaggechacha3422
@machaggechacha3422 3 жыл бұрын
Ni hiari yake kutokukaa kutini!!!! Muacheni huyo mwamba Gwajima.
@wanjoki1
@wanjoki1 3 жыл бұрын
Namtarajia kitenge asubuhi kwa kurasa za magazeti 🤣🤣
@hamidumatelephone7403
@hamidumatelephone7403 3 жыл бұрын
Juzi mbinu zao zimefer Wakajifanya wamwite Tena Na leo wamefer vile vile Wanafkir Mmbeba maono anauwawa kizembe Hila hiyo yote kz ya Team Msoga Jamani Msoga ndio Muuaji mkubwa wa viongozi Tanzania hii
@thomasboso3081
@thomasboso3081 3 жыл бұрын
Mtu mwenye tatizo la kiafya hawezi kusimama !! Askofu huwa anatumia muda mwingi kanisani kusimama akiwa analisha kondoo wa Bwana!!!
@BETConlineTVTZ
@BETConlineTVTZ 3 жыл бұрын
next prezdar
@mariamally1913
@mariamally1913 3 жыл бұрын
Good gwajima kweli Kama itampebdeza.
@irakozejclaude7869
@irakozejclaude7869 3 жыл бұрын
Mwenyekiti :unatatizo lolote la kiafya Mbunge : kama itakupende 😀😀😀😀😀😀😀 Ila niseme watu kama Gwajima ni ngumu sana kuwapata Wengine hapo wangeangalia kundi lawatu ambao wa mekaa na kuogopa mpaka kusahau msimamo wake.ila Gwajima hana hata hofu au aibu Kweli jembe ni jembe na ukivijuwa havisumbuwi
@luganoamosi6416
@luganoamosi6416 3 жыл бұрын
Bado opo siku tuyajuwa tu,lakini gwajima hamumuwezi kabisa mbinu zote zenu anajuwa,mungu ni mwema tu
@nyamangaking6608
@nyamangaking6608 3 жыл бұрын
Wewe ndo nguzo ya moto.yeyote akija vibaya anaumia yeye
@leahswedy4895
@leahswedy4895 3 жыл бұрын
Unatatizo lolote la kiafya ?.. .. kama "itakupendeza ." Utajua hujui unachouliza .. 🤣😀😀😀 gwajima👍👍
@meryevance6944
@meryevance6944 2 жыл бұрын
Safiii maadui macho chenga
Lehanga 🤣 #comedy #funny
00:31
Micky Makeover
Рет қаралды 30 МЛН
小丑把天使丢游泳池里#short #angel #clown
00:15
Super Beauty team
Рет қаралды 44 МЛН
My Cheetos🍕PIZZA #cooking #shorts
00:43
BANKII
Рет қаралды 27 МЛН
Алексей Щербаков разнес ВДВшников
00:47
ASKOFU GWAJIMA AFUNGUKA NAMNA YA KUTOKA KWENYE TATIZO LOLOTE KUBWA LINALOWEZA KUKUPATA
14:37
Askofu Gwajima aongea baada ya kutajwa na Paul Makonda
8:45
Millard Ayo
Рет қаралды 258 М.
UJUMBE MZITO!! Kama ukiogopa kufa hutapata uanchokitafuta | Askofu Gwajima
8:27
Josephat Gwajima RudishaTv
Рет қаралды 18 М.
Tundu Lissu Aliamsha Dude Sakata la Mikataba ya Madini, Bunge Lachafuka
6:46
Lehanga 🤣 #comedy #funny
00:31
Micky Makeover
Рет қаралды 30 МЛН