GWAJIMA ANAKUJA KUWEKA MISINGI YA MAENDELEO, KAJAZA UWANJA NI BUDGET TUNAANGALIE NENO.

  Рет қаралды 6,513

huduma ya kristo

huduma ya kristo

17 күн бұрын

Пікірлер: 46
@johnnisilenisile1990
@johnnisilenisile1990 15 күн бұрын
Jaman hawa ni watumishi wa mungu acheni kashifa ndio mnakuja kujuta badae badala ya kuchukua tahadhali
@KokoloLambinguni
@KokoloLambinguni 12 күн бұрын
Tunaimani na GWAJIMA kabla ya unabii na unabii huu umekuja kukamilisha imani zetu
@KokoloLambinguni
@KokoloLambinguni 12 күн бұрын
Mbona amkumpinga kipindi cha CORONA au mmesaau watanzania amka mjitambue kuna watu wametumwa kuvusha nchi yetu ni GWAJIMA
@eatlawe
@eatlawe 12 күн бұрын
Sisi tunasubiri kuona kama usemayo yanatoka kwa Mungu sawa na Biblia isemavyo juu ya unabii wa kweli na uwongo!
@hamisijuma3276
@hamisijuma3276 13 күн бұрын
Huyu c Gwajima yule wa COVID-19! Ilikuwaje majuzi akubali kupinga Ukweli wa sakata la sukari aliotoa Mpina????? Hapo tunashaka naye.
@hopeeli9641
@hopeeli9641 11 күн бұрын
Kiti kiwake tu, kimkatae mama
@TonnyMamkwe
@TonnyMamkwe 10 күн бұрын
Unasema ukweli mtumishi wa Mungu, Mimi niliona alivyo ingia tu kwenye siasa
@kalistamlomba
@kalistamlomba 15 күн бұрын
Amina tupambane kuomba
@JosefuSwai
@JosefuSwai Күн бұрын
Gwajima ukiingia tuende pamoja
@yusuphmbilinyi3913
@yusuphmbilinyi3913 9 күн бұрын
Ni kweli kabisa Gwajima ndio rais ajaye na mimi nilionyeshwa zaidi ya mara tatu
@emmanuelmashishanga7141
@emmanuelmashishanga7141 15 күн бұрын
Nisuala la muda tu!!
@sophiamalinga18
@sophiamalinga18 13 күн бұрын
Huyu na Nabii Elijah hakika wakipuuza jumbe zao watajuta
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 14 күн бұрын
Yesu hakuja kutangua tolati injili inategemea tolati ukitaka umjue yesu vizuri uanze nae mwanzo ukisoma hesabu mpaka baalamu alimuona Yesu ukisoma Agano jipya tu huwezi kuelewa injili saizi mafreemason yamejaa makanisani inatakiwa vita ndani ya kanisa
@KokoloLambinguni
@KokoloLambinguni 12 күн бұрын
MUNGU wetu ana watu amewatuma kuiokoa Tanzania ndo GWAJIMA mbona mnajisaaulisha kwa corona ni amkumbuki alikua analala madhabauni anashinda akimlilia BWANA atuponye na janga ilo
@naimamussa-i2y
@naimamussa-i2y 7 күн бұрын
Inaonekana mmepewa hongo😮
@JosefuSwai
@JosefuSwai 5 күн бұрын
Nanani
@judamsaki5609
@judamsaki5609 15 күн бұрын
huyu jamaa ana maneno mengiiiiii.....hubiri kwa watu mambo yanayomhusu Kristo....acha mihemko kaka jazba sanaaaaaa
@ManaseMasawe
@ManaseMasawe 14 күн бұрын
Mwache jakobo ahubiri anachojua jee inakuuma nini wewe akihubiri ukwelii???
@KokoloLambinguni
@KokoloLambinguni 12 күн бұрын
Alafu kama aujapenda iwe ivo nyamaza acha kuweka weka ma comment yako kujazajaza acha na wengine wa comment au unataka uonekane wewe tu
@KokoloLambinguni
@KokoloLambinguni 11 күн бұрын
Kama auna mchango wowote we kua kimya acha kubeza watu uyo ni mtumishi wa MUNGU na uo ni unabii kaoneshwa kwenye ulimwengu wa roho kama we unaotaga unalishwa chakula jua na wewe unakulaga nyama za watu nawe toa yako kama auna nyamaza
@JosefuSwai
@JosefuSwai 5 күн бұрын
Kweli mtumishi barikiwa sana
@judamsaki5609
@judamsaki5609 15 күн бұрын
mhhh gwajima gwajima ......usituchagulie tutachagua wenyewe....acha utoto
@KokoloLambinguni
@KokoloLambinguni 11 күн бұрын
Kipofu wewe umefungwa akili
@rev.asanterabi7440
@rev.asanterabi7440 14 күн бұрын
Tambua kuwa masuala ya kisiasa na kiutawala ni tofauti kabisa na masuala ya kiroho. Nchi zinaongozwa kwa mujibu wa Katiba na Sheria. Hakuna cha dini wala ulokole. Isitoshe kwa sasa nchi inaongozwa na CCM na CCM kamwe haiwezi kupitisha mtu ambaye hana mizizi kwao na kuwa na uzoefu ktk uwaziri. Mimi nasema hivi, kama unabii wako ni wa kweli basi moto utawaka sana maana mambo itabidi yabadilike ghafla.
@edwinmbunda6709
@edwinmbunda6709 14 күн бұрын
Hakuna lisilowezekana kwa Mungu
@HAAM670
@HAAM670 14 күн бұрын
Mmmh Mtumishi umeandikaje hii, aisee.
@LispafulgenceSimon-rs1zg
@LispafulgenceSimon-rs1zg 3 күн бұрын
Siasa na utumishi vipo sambamba daud alikuwa mfarume na vilevile akikuwa na biii
@HAAM670
@HAAM670 2 күн бұрын
@@rev.asanterabi7440 Kwani wewe umeacha ulokole mchungaji?
@judamsaki5609
@judamsaki5609 15 күн бұрын
maneno yako hayooooooo
@augustinechitemo8207
@augustinechitemo8207 14 күн бұрын
Sijui huwa unasomaga comment au unapuyanga tuu?
@KokoloLambinguni
@KokoloLambinguni 11 күн бұрын
Sasa comment si za mashetani kama wewe unachangia nini ludi kuzimu uko ukatumike
@JosefuSwai
@JosefuSwai 5 күн бұрын
Shetani mkubwa huyu
@katumabiyan5090
@katumabiyan5090 15 күн бұрын
Ondoeni uchafu wenu huo
@KokoloLambinguni
@KokoloLambinguni 11 күн бұрын
We ni shetani umejificha kwenye sura ya ubinadamu
@athumanikajembe4585
@athumanikajembe4585 15 күн бұрын
Hubirini amani msihubiri maovu na mikosi juu ya taifa lenu hakuna ambaye yuko juu ya mungu nyinyi mnapanga yenu mungu alishapanga yake sio sisi wanadamu .Wewe hapo unajua kesho utakuwa hai?
@KokoloLambinguni
@KokoloLambinguni 11 күн бұрын
Kipofu wewe bora usichangie kitu
@odiliaamnaay4429
@odiliaamnaay4429 14 күн бұрын
Jamani huyu si kichaa. Mjumbe hauawi. Ukiwa na roho wa Mungu ungeelewa alama za nyakati. Lakini kwa kuwa mnaenenda kwa akili zenu hamyajuu mambo ya rohoni ndo maana mnampuuza mtumishi wa Mungu
@user-jl5uh1xq9f
@user-jl5uh1xq9f 12 күн бұрын
Tupo pamoja kaka mtumishi wa MUNGU
@user-jl5un4wf3u
@user-jl5un4wf3u 14 күн бұрын
Wewe nimtumishi waMungu nikweliRohowaMungu amekuelekeza kuwa huyo anakaramayaMungu kuuongoza uma wa watanzania? hapo ninamashaka namaono hayo.
@AbdilahiMriri
@AbdilahiMriri 12 күн бұрын
Hekima na busara zinatubeba, lakini kwa Gwajima ni uongo na hapana kabisa maana kwanza alitajwa hata Makonda wakati ule kuwa ni muuza ...
@1961nungwi
@1961nungwi 15 күн бұрын
Nonsense!
@KokoloLambinguni
@KokoloLambinguni 11 күн бұрын
shetani wewe na utaishia maisha ya kubabaisha kama utaendelea kupuuza unabii wa watumishi wa MUNGU
@KokoloLambinguni
@KokoloLambinguni 12 күн бұрын
MUNGU wetu ana watu amewatuma kuiokoa Tanzania ndo GWAJIMA mbona mnajisaaulisha kwa corona ni amkumbuki alikua analala madhabauni anashinda akimlilia BWANA atuponye na janga ilo
DR.GWAJIMA AWEKA WAZI NDOTO YA UKOMBOZI WA UCHUMI WA TANZANIA
59:18
huduma ya kristo
Рет қаралды 6 М.
Beautiful gymnastics 😍☺️
00:15
Lexa_Merin
Рет қаралды 15 МЛН
HAPPY BIRTHDAY @mozabrick 🎉 #cat #funny
00:36
SOFIADELMONSTRO
Рет қаралды 17 МЛН
WHO LAUGHS LAST LAUGHS BEST 😎 #comedy
00:18
HaHaWhat
Рет қаралды 23 МЛН
Donald Trump speaks for the 1st time on the assassination attempt
14:17
FOX 9 Minneapolis-St. Paul
Рет қаралды 9 МЛН
Dhambi mpya  Hiihapa :  Mch Abiud Misholi
34:25
Mch. Abiud Misholi
Рет қаралды 62 М.
LIVE: Donald Trump speaks at MAGA rally in Michigan
1:43:56
The Times and The Sunday Times
Рет қаралды 576 М.
J.D. Vance addresses RNC crowd: FULL SPEECH
36:00
FOX 4 Dallas-Fort Worth
Рет қаралды 1,8 МЛН
Это ежегодное настроение 😉 #tiktok #юмор #жиза #funny
0:10
Роналду совсем другой! 😱
0:45
КиноСклад
Рет қаралды 7 МЛН