DUDU BAYA ,AMSHUSHIA KIPIGO MR MANGURUWE KAMA ALIVYOMPIGA MR NICE" HUYU NI MPUMBAV

  Рет қаралды 122,459

BONGO 24

BONGO 24

Күн бұрын

Пікірлер: 296
@rewardmrema1273
@rewardmrema1273 2 ай бұрын
Bonge la content, so entertaining, bongo ukinuna ni umejitakia😂😂
@noahchepe8036
@noahchepe8036 2 ай бұрын
😂😂😂Huo sio ugomnvi wa u serious. Mnatengeneza trending
@davidchilumo6246
@davidchilumo6246 2 ай бұрын
Love to Dudubaya from Mombasa 🇰🇪🙌🏽
@estakapufi7582
@estakapufi7582 2 ай бұрын
Kiki za kuuzia nyama ya nguruwe jamani😂
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 2 ай бұрын
😂😂😂😂
@Boniphaceshayo5
@Boniphaceshayo5 2 ай бұрын
Dudu kalipwa kutengeneza kiki😂😂😂😂
@MatronaThomas-wz5si
@MatronaThomas-wz5si 2 ай бұрын
Wasukuma saluti you kupitia Maguwetu❤❤❤❤miradi mikubwa KWA fedha ya ndani❤❤
@stevenadogo3774
@stevenadogo3774 2 ай бұрын
Tuko tayari kachanga,your fan from kenya
@Laizer3
@Laizer3 2 ай бұрын
Huyo manguruwe amekaa sana na nguruwe hadi anakuwa kama shoga ,maisha ya dudu baya yanamuhusu nini.
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 2 ай бұрын
Acha apondwe manguruwe ili ajue kufuata shughuli zake😂😂
@Lilmbunah
@Lilmbunah 2 ай бұрын
Hio ni content acha ushamba
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi 2 ай бұрын
Kwani uyo dudu baya mbona anaongelea we mzake vibayaa kwani yenani asiambie Kaz hoo yule frani ajui kupromotinyimb yeye anaejua promo mbona ana nuka njaaa
@paschalsafari9747
@paschalsafari9747 2 ай бұрын
Kabisa
@juliusdonard933
@juliusdonard933 2 ай бұрын
Huyo manguruwee hajui maisha yatakuwajeee mbelen utajir c kituu bila aman
@malleironworks4586
@malleironworks4586 2 ай бұрын
Hizo Ni Kiki TU.. Manguruwe Hana tofauti na mwijaku au Baba levo.
@uswegemwamakula6101
@uswegemwamakula6101 2 ай бұрын
Good idea 👍👍👍❤
@mwitasamwelpaul9621
@mwitasamwelpaul9621 2 ай бұрын
Dudu baya uko sawa kabisa
@AbdillahSalimu
@AbdillahSalimu 2 ай бұрын
Dude baya sio akili nyingi 😂😂😂ni ubabe 😂
@Kadebecomedy
@Kadebecomedy 2 ай бұрын
Wamejipanga kutengeneza trending
@mcnjovu3525
@mcnjovu3525 12 күн бұрын
Acheni kutudanganya mbona hujampiga ilitakiwa ale panch hapo mimi najua mlikua mnataniana
@davidrweyemamu938
@davidrweyemamu938 2 ай бұрын
Kiki za kipimbi hizi nguruwe wataisha sasa hivi akaigize vizuri hizi comedy.
@SaraSara-i1l
@SaraSara-i1l 2 ай бұрын
We love you ❤❤ dudu baya
@cosmasthomas9164
@cosmasthomas9164 2 ай бұрын
Eti unakwenda "jera"!!hizi kweli kiki!pole dudubaya maana siyo kwa kuhema huko!endelea kupiga tizi broo!
@shukranitv2971
@shukranitv2971 Ай бұрын
Hiii kiki imekaaa saw
@PascalMagesa
@PascalMagesa 2 ай бұрын
Oya mbona unahema unaweza simama man to man hata dk 5
@RabihuHussein
@RabihuHussein 2 ай бұрын
dudubaya unajishushia heshma kwenye usenge kama huu!! tayari ww una trend ss usitakute ku trend kwa aina hii. tunakueshimu sana.
@mosesgasana7109
@mosesgasana7109 2 ай бұрын
Ukisikia nchi imejaza mbwa wengi ndo kama hivyo😂😂😂
@GideonKweka
@GideonKweka 2 ай бұрын
😂😂😂
@elizabethmassawe694
@elizabethmassawe694 2 ай бұрын
Hapo changa la macho hakuna kituuh .hapo najua vzr iyo game
@IzoTech-bg1en
@IzoTech-bg1en 2 ай бұрын
Kama ni trending iko vizuri
@MaghobaGeorge-lq4yg
@MaghobaGeorge-lq4yg 2 ай бұрын
Munazingua nyinyi hivi kweli ndio vioo vya jamii nyinyi ?
@rolandmgedzi2966
@rolandmgedzi2966 2 ай бұрын
Manguluwe siyo mgogo,, mtu wa .mby huyo, mbozi,, mnyiiha
@hemedchuma9-cq4nh
@hemedchuma9-cq4nh 2 ай бұрын
Konki konki butin faya konki masta halaaaaa
@salomewandya7257
@salomewandya7257 2 ай бұрын
Hahaha kumbe ni watani😅😅
@IssaMohamed-mp4hj
@IssaMohamed-mp4hj Ай бұрын
Manguluwe oye
@MRKp-zk7xs
@MRKp-zk7xs 2 ай бұрын
Move nzur🎉
@salomewandya7257
@salomewandya7257 2 ай бұрын
Mbona kutembea na bakuli😅😅😅
@AllieOchu2395
@AllieOchu2395 2 ай бұрын
Kumbe mnachezaa
@BernardAkili
@BernardAkili 2 ай бұрын
Mungu awasaidie tu jamani
@BoazSitta
@BoazSitta 2 ай бұрын
Mmh kaka uko pw
@emmanuelmkumbo1792
@emmanuelmkumbo1792 2 ай бұрын
Content, lakini hawakujipanga vizuri!!
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 2 ай бұрын
Kiki.. Nliwaona Mimi naishi dodoma
@ThomasMmary-r7w
@ThomasMmary-r7w 2 ай бұрын
Kweliii🎉
@amosmahona433
@amosmahona433 2 ай бұрын
Maneno ya shombo😂
@DM_15
@DM_15 2 ай бұрын
Kwani ukipata ukahisi umemzidi mtu fulan kunahajagani kumkejeli navijimaneno maneno . Pesa huisha respect your self. Manguruwe tulia pambana na helazako
@emmanuelmayunga1518
@emmanuelmayunga1518 2 ай бұрын
Mgogo na msukuma ni watani there is nothing serious 😂😂
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 2 ай бұрын
Mnatuzingua Nyie
@douglasisayasemu3134
@douglasisayasemu3134 2 ай бұрын
Wanatuona watt asee
@JoyceMkeka
@JoyceMkeka 2 ай бұрын
Ugonvi gani wanakumbatiana tu 😂😂😂
@mgayawambura9173
@mgayawambura9173 2 ай бұрын
Manguruwe na dudu Baba ni marafiki Kusaidiana sio vibaya
@husseinkitingi8186
@husseinkitingi8186 2 ай бұрын
Kiki nyingine bhana
@ibnayub2374
@ibnayub2374 2 ай бұрын
Huyu dudu baya n dudu kweli 😂😂
@arnold9406
@arnold9406 2 ай бұрын
mnazinguwa....
@RASHIDIALLY-ew3ww
@RASHIDIALLY-ew3ww 2 ай бұрын
😀😀😀😀 wanàzingua kumbe
@pascalmanyama2304
@pascalmanyama2304 2 ай бұрын
Ha ha ha haaaa!.Hawa kweli watani!,ha ha haaa!
@alisuleiman-d7r
@alisuleiman-d7r 2 ай бұрын
Ww wataka Kiki kaka😅😅😅
@geraldmashishi3062
@geraldmashishi3062 2 ай бұрын
Hii imeandaliwa kabisa inavoonekana
@thenolstagiclord9410
@thenolstagiclord9410 2 ай бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪dudu baaaya
@Bilioneabichwa331
@Bilioneabichwa331 2 ай бұрын
Jina la movie pliz
@elrachum3866
@elrachum3866 2 ай бұрын
Haha HAWA WAMEPANGA KUTUDANGANYA WAMETUCHEZEA .. Fake fight. IMEPANGWA 😂😂😂😂
@Jumashadhil380
@Jumashadhil380 2 ай бұрын
Mbona Hawa Waandishi Wagombanishi😅😅😅😅
@juliusmagembe7040
@juliusmagembe7040 2 ай бұрын
Wanafanya maigizo au?
@RamadhaniMusa-jg2cu
@RamadhaniMusa-jg2cu 2 ай бұрын
KWELI mwamba dar skendo n 1
@msaphirimagallah5781
@msaphirimagallah5781 2 ай бұрын
Mmezengua... upuuzi mtupu
@berthamakortha8387
@berthamakortha8387 2 ай бұрын
❤❤❤❤SANA
@JaphetJairos-n4l
@JaphetJairos-n4l 2 ай бұрын
Kiki hii nimeipendaaa
@fellisianholle9431
@fellisianholle9431 2 ай бұрын
Haaaahaaa wagogo na wasukuma utani wa jadi hakuna utani hapo
@Veni584
@Veni584 2 ай бұрын
Wanataniana hao
@FrankMashoto
@FrankMashoto 2 ай бұрын
Duduu Wacha utawauwa !.
@mwasa_tv
@mwasa_tv 2 ай бұрын
yan apo tu unahema tu mzee
@HenryCastuli-jz3cx
@HenryCastuli-jz3cx 2 ай бұрын
Dudu baya nibesti na Mr nays?
@joshuac.mashida1378
@joshuac.mashida1378 2 ай бұрын
Unaonekana umeshiba nyama ya manguluwe sana
@happynkya9770
@happynkya9770 2 ай бұрын
Uongo huo kwahyo hapo ndo wameshpigana tyr
@ابنعثمن
@ابنعثمن 2 ай бұрын
Ameleta dharau kubwa sana
@sharafisaidi7999
@sharafisaidi7999 2 ай бұрын
Wewe koma kusema hivyo
@saidakiwale9227
@saidakiwale9227 2 ай бұрын
Dudu Baya anapenda kupigana umekuwa sasa badirika
@ShadowScreamStudio
@ShadowScreamStudio 2 ай бұрын
Hizi ni Kiki
@MozesPaul-h6i
@MozesPaul-h6i 2 ай бұрын
Dudu baya mnakorofisha hana shida
@elishamwangolo1560
@elishamwangolo1560 2 ай бұрын
Movie
@jordanmwamlima7579
@jordanmwamlima7579 2 ай бұрын
Huyu sio Mgogo, huyu ni Mnyiha wa Songwe - Mbozi
@benjaminbruno2374
@benjaminbruno2374 2 ай бұрын
Af huyu ma nguruwe Ku Maa
@NeemaGhaule
@NeemaGhaule 2 ай бұрын
Hapo wanajuana, hamna ugomvi wowote hapo
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw 2 ай бұрын
umeongea Ni kweli kaka tumeona profesor j kaumwa na alidai kuchangiwa
@زيتونتنزانيا
@زيتونتنزانيا 2 ай бұрын
Na alikuwa mbunge😂😂😂
@kakaaignas3675
@kakaaignas3675 2 ай бұрын
Na tajir
@calvin6445
@calvin6445 2 ай бұрын
Hii swaga tuu wametengeneza
@Yacena
@Yacena 2 ай бұрын
Wabongo mnamaneno sana 😂😂
@theresaelizabethelijah117
@theresaelizabethelijah117 2 ай бұрын
Ana tabia za kigogo gogo dodoma 😂😂😂😂😅
@ruwapeter1155
@ruwapeter1155 2 ай бұрын
Konki..Konki master
@elibarikisengasenga1376
@elibarikisengasenga1376 2 ай бұрын
Limekosea eti baba mama 😂😂😂😂😂
@ednahumazi777
@ednahumazi777 2 ай бұрын
Dudu baya Ana ukimwi asijifamye
@geraldlyimo2859
@geraldlyimo2859 2 ай бұрын
Mbona hata mawani haijadondokaa acheni kutuinjoy
@ComfortMango-cg8jd
@ComfortMango-cg8jd 2 ай бұрын
Malaika hapo 😂😂😂😂
@WaziriOmari-f3h
@WaziriOmari-f3h 2 ай бұрын
Wanataniana Hawa nyie cyo kweli 😂
@mushtaqakram9843
@mushtaqakram9843 2 ай бұрын
Manake Sasa ivi kila kitu maigizo
@simonsadala2386
@simonsadala2386 2 ай бұрын
Hahahaaaaa kiki hiziiiii 😂😂😂😂😂😂😂
@naimatemba8061
@naimatemba8061 2 ай бұрын
Hapo bando liishe
@SufoWazir-s4q
@SufoWazir-s4q 2 ай бұрын
Comedian
@ZabronMshikana
@ZabronMshikana 21 күн бұрын
Uwo sio ugomvi ni dramatic
@GodfreyMwamelo-z3b
@GodfreyMwamelo-z3b 2 ай бұрын
Kuma nyinyi dudu baya na manguruwe
@khalidibrahim4579
@khalidibrahim4579 2 ай бұрын
Marina yamekwisha Tanganyika Mtuu anaitwa MA NGURUWE MMESTARABIKA KUNGANA NA ZANZIBAR kidogo mnazungumza kiswahili lakini ( R ) INAKUSHINDENI NA MWISHO WA WA NENO MSITIE GA
@salimalesry428
@salimalesry428 2 ай бұрын
Hii kiki tu kishalipwa hapa
@SalimSalim-bv3wb
@SalimSalim-bv3wb 2 ай бұрын
Dudu Baya hata kama ni kuchanga ntamchangia
@donlinechanell4760
@donlinechanell4760 2 ай бұрын
Alinchekesha alipo sem mond kaiba wimbo wake 😂😂😂😂😂
@sadamissa5687
@sadamissa5687 2 ай бұрын
Unapigaje tatu 😂😂unahema ivo dk 1 tu
@miltonmugisha1805
@miltonmugisha1805 2 ай бұрын
Sasa Dudu baya mbona sioni maneno yako kwenye vitendo yaani unakumbatia mtu kama mwanamke afu unasema mambo punch tripo 😅
@ShadowScreamStudio
@ShadowScreamStudio 2 ай бұрын
Tuliosomea Cuba tushajuaa
@JemaMhagama-oz6me
@JemaMhagama-oz6me 2 ай бұрын
Wana Hema hao.
@michomichael4111
@michomichael4111 Ай бұрын
Hizo ni kiki wala hakuna ungomvi wowote hapo
Миллионер | 2 - серия
16:04
Million Show
Рет қаралды 1,3 МЛН
Help Me Celebrate! 😍🙏
00:35
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 84 МЛН
Nabii Kiboko ya Wachawi afunguka alivyotimuliwa Tanzania ndani ya saa 24
8:03
MWIJAKU AMLIPUA HAMISA MOBETTO, KUTEMBEA NA AZIZI K NI UPUUZI
11:42