GWAJIMA ATAJA watekaji, BILA UOGA Ataja MAJINAAAAAAAAAAA

  Рет қаралды 163,703

MALAVIDAVI Kenya

MALAVIDAVI Kenya

Күн бұрын

Пікірлер: 427
@AzizaMohhamed
@AzizaMohhamed 5 күн бұрын
Gwajima ambaee akukukbarii Basii mchawii,,,😅😅😅,,mungu azidii kuaa na wewee
@NeemaEdwin-s4d
@NeemaEdwin-s4d 4 күн бұрын
Ameeen
@AmiriAbdallah-g5x
@AmiriAbdallah-g5x 5 күн бұрын
Asante askof Gwajima. Mm nakupa sifa asilimia mia. Hii kitu inauma watu kutekwa na kuuwawa halafu wanasema maandamano ni haramu. Kwasababu wao familia zao ziko salama. Sasa sisi tutaandamana tu Km mbwai bwai tu.
@julianamakonda5086
@julianamakonda5086 2 күн бұрын
😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊
@lengaimollel9750
@lengaimollel9750 9 күн бұрын
Hapa namkumbuka Afande Muhammed Kirumira aliwahi kusema, na namnukuu "Ukisema ukweli utakufa na ukinyamaza utakufa, bora useme ukweli hata ukifa ujumbe utabaki kwa watu"
@upendoeliya9329
@upendoeliya9329 4 күн бұрын
Huyo Mohamed alishakufa au yuko hai?? Alikuwa nani?? Plse
@mustaphalee5357
@mustaphalee5357 2 күн бұрын
Kirumira ni Askari kutoka Uganda na ameuwawa toke 2018
@DanielAlbinus-hr5nz
@DanielAlbinus-hr5nz 3 күн бұрын
Naomba.gwajima.rudi.chadema
@ceciliamagalabajimmy4391
@ceciliamagalabajimmy4391 5 күн бұрын
Mmmmmmmmh umenena Askofu Gwajima. Na Mungu akubariki. Amen 🙏
@gilbertburasixbert2569
@gilbertburasixbert2569 3 күн бұрын
You are very smart pastor
@MagrethJoseph-u8k
@MagrethJoseph-u8k 3 күн бұрын
Ee mungu msimamie mtumishii wako mana maandiko yanasema tunaangamia kwakukosa maarifa tufungue macho mtumishii wa Mungu
@GilbertGombeye
@GilbertGombeye 5 күн бұрын
Hongera Gwajima watete watanzania wanaisha wanatekwa sana hawataki kupingwa
@ednakessy5636
@ednakessy5636 Күн бұрын
Huyu ni kiongozi sahihi kabisaaaaaa kwenye ukweli pasemwe ukweli haijalisi nafasi uliyonayo
@JumaKikoto
@JumaKikoto Күн бұрын
Sasa inatakiwa wewe ukayaseme bungeni usiyaseme kanisa kayaseme huko acha ubabaishaji inatakiwa uonge mambo ya mungu sio siasa ndugu yangu
@JaphethMbasaRobert
@JaphethMbasaRobert 15 сағат бұрын
Ukweli hauchagui pakusemea. Bibilia imesema pata ukweli na uwehuru. Pilato aliambiwa na wayahudi " usipomuuwa huyu wewe sio rafiki wa kaisari" ( yesu) . Siku zote ukweli unawaxhukiza watu.
@joachimisack5834
@joachimisack5834 43 минут бұрын
Hopeless wewe kwahiyo unampangia chakuongea, idiots
@jackliny-n2o
@jackliny-n2o 2 сағат бұрын
asante gwajima mungu akubariki sema watu wapone japo hawataki kupingwa
@PoulMononi
@PoulMononi 5 күн бұрын
Mtu wa mungu ni mtu wa mungu ume tu fumbua macho!
@user-ei9xd4qs7o
@user-ei9xd4qs7o 2 күн бұрын
Mm ni muislamu raki ameniiiiiiiiii point bro!
@DorcasPaul-t7m
@DorcasPaul-t7m 2 күн бұрын
Unamsimamoo wa ajabu baba Mungu simamia kusudi lako mwaka 2025
@janemwaipopo
@janemwaipopo 5 күн бұрын
Aminaaaaaa Mtumishi wa Mungu Sema kweli baba Hats Kama upo CCM lkn Una hofu ya Mungu ndani yako Bwana Yesu Akukumbuke Zaidi na Zaidi🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@Zablonchalres
@Zablonchalres 5 күн бұрын
Gwajima we love you soo much
@LucasMponda-k1r
@LucasMponda-k1r 5 күн бұрын
Gwaj boy huyo znapigwa kwanza hahahaa
@rehmahamishamismkande4348
@rehmahamishamismkande4348 4 күн бұрын
Mungu atuweke tuone mpka mwisho wa haya maneno
@NabiihonestLohay
@NabiihonestLohay 2 күн бұрын
Mungu aisaidie Tanzania 🇹🇿 tunakoenda sio kuzuri hata kidgo hilo uwe nalo akilini Mungu akuongoze katika safari yako
@VeronicaJoseph-h6h
@VeronicaJoseph-h6h 3 күн бұрын
Sema baba MUNGU akutetee
@AsafuJoas
@AsafuJoas 4 күн бұрын
Unafaa kuwa president pastor
@mr.yahzadochuno7914
@mr.yahzadochuno7914 5 күн бұрын
I love gwajima ♥️
@ChristmasMaheri
@ChristmasMaheri 5 күн бұрын
Watekaji wameshindwa katika jina la Yesu,Haleluya......❤
@KaburuKimath-eu5nf
@KaburuKimath-eu5nf 5 күн бұрын
Gwajima hongera mi nahamia kanisani kwako katoliki naondoka hata korona ulitupaga SoMo ubarikiwe
@mrworkfireteachertheboyful9236
@mrworkfireteachertheboyful9236 5 күн бұрын
Hizi ni siku za mwisho tujipange sawa sawa maombi sana mifugo sana &mikesha sana
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward 5 күн бұрын
@@mrworkfireteachertheboyful9236 Uvumi wa siku za mwisho ni kupumbaza walimwengu. Ile mwaka wa 2000. Tulisema siku za mwisho na computer zingezimika sio na Dunia kusimama? Jibu ilikuwa program ya Y2K. Dunia haikufika mwisho. Yesu kwa kuepuka unafiki wa binadamu alisema hajui hiyo siku. Angesema tarehe tungetenda dhambia , tujua siku lini tungekimbia kutubu. Umwisho wa binadamu ni WA kila saa na dakika. Wakati Dunia ikimbia sisi tunajilisha upepo. AI inakuja kuchukua nafasi za watu. AI sasa inatumika kutafiti na kuwa mbadala wa binadamu katika kazi. Africa tunaambiana siku za mwisho?. Sio miaka mingi kila kitu miguu juu kichwa chini miguu juu. Hapa Africa tuko kwenye ujinga tuu. Na ujinga pia upo kwenye tunavyo angalia maandiko.
@costerpwamtaa7198
@costerpwamtaa7198 5 күн бұрын
Acha akili mgando matatizo hayatatuliwi kwa maombi
@josamjoel2079
@josamjoel2079 5 күн бұрын
​@@costerpwamtaa7198yanatatuliwa na nn??
@sikapendinakapenda4170
@sikapendinakapenda4170 2 күн бұрын
Huyu hafai kwenye Uwanja wa Siasa . Bado ana Chuki na fulani ila anatumia jukwaa la Dini kunadi hisia zake za zamani. Kiuhalisia ni Mchadema na Mdini, pia anayo chuki Mama ila hajapata hoja ya nguvu bado . Udini unasumbua sana nchi hii.
@JacquelineMahumbe
@JacquelineMahumbe 11 сағат бұрын
Angetekwa baba Yako ungesema hiv
@joycegeorge-mf5kn
@joycegeorge-mf5kn 3 сағат бұрын
Mpumbavu mmoja
@AbrahamSekuze
@AbrahamSekuze 3 күн бұрын
Mashehe kwa kweli mna njaa sana ndugu zangu hoja zenu ni mpaka mpewe posho
@NkomanyileMkapa
@NkomanyileMkapa 3 күн бұрын
Acha uchochezi usiokuwa na maama hapo mashehe wameingia vipi? Acha uchochezi . Tena deal na GWAJINA achana na viongozi wa dini ya kiislam
@EstherSamwel-vk4wb
@EstherSamwel-vk4wb Күн бұрын
Ni kudeal nao tuuu kwa viongozi wa kiislam cio watu alaaaaa
@MarkoLukumay
@MarkoLukumay 5 күн бұрын
Pastor hakika umenibariki sana
@JohnsonElias-m7u
@JohnsonElias-m7u 3 күн бұрын
Mungu akulinde sana mchungaji
@talentshow2024
@talentshow2024 3 күн бұрын
Gwajima uliwahi kupigia kelele kutekwa ikaishaa.. Umenikumbusha sana Gwajima
@WILSONKIZA
@WILSONKIZA 3 күн бұрын
Ubarikiwe na bwana endelea kutufungua macho
@mrworkfireteachertheboyful9236
@mrworkfireteachertheboyful9236 5 күн бұрын
Hata me naona watu wakubwa hao mnaosema wahaki ndio watu wabaya
@ReubenRaymond-zh4yw
@ReubenRaymond-zh4yw 3 күн бұрын
Jaman jaman jaman hali sasa ni tafrani! Kwa mwendo huu, tutashindwa kuwaamini watendaji hao, watakaotuonyesha vitmbulisho au hati fulani, kwn hatutomjua nani ni nani!
@safiasuleiman-t9d
@safiasuleiman-t9d 5 күн бұрын
Huyu kiumbe na nusu hapana chezea 🎉🎉🎉🎉
@JescaProsper-k8c
@JescaProsper-k8c 3 сағат бұрын
Mungu akupganie,askfu gwajima
@MussaBakar-p2p
@MussaBakar-p2p 5 күн бұрын
Mungu akubariki sementi nyie wakuu
@salehalsharji950
@salehalsharji950 5 күн бұрын
Duh yazamani sana. Tangu makonda alikuwa mkowa wa dar
@priscillatumwesige4525
@priscillatumwesige4525 5 күн бұрын
Uko sahihi ya zamani Sana enzi za akina marehemu Ruge Studio
@mwigarleysaid5406
@mwigarleysaid5406 5 күн бұрын
Lakini inaleta maana
@monicamwita7865
@monicamwita7865 4 күн бұрын
Haina shida
@sethmdj
@sethmdj 3 күн бұрын
Alikuwa hajawa mwanasiasa, tena wa CCM. Aseme tena ujumbe huo kwa matukio yanayoendelea sasa
@priscillatumwesige4525
@priscillatumwesige4525 2 күн бұрын
​@@sethmdj kwa kweli enzi hizo Alikuwa anafichua Mambo mengi.Kwa Sasa mmm Mie naoita.
@shinshiwapili-n4l
@shinshiwapili-n4l 15 сағат бұрын
Nimeipendahi
@JumanneMgeta-p3l
@JumanneMgeta-p3l 2 күн бұрын
MUNGU akulinde sana na akupe maisha marefu hakika umetufumbua maana tulikuwatumefumbwa
@Saum-o1w
@Saum-o1w 3 күн бұрын
Mungu atusimamie Tanzania 🇹🇿 yetu tunaipenda ila tupo pabaya sna
@mr.yahzadochuno7914
@mr.yahzadochuno7914 5 күн бұрын
Tanzania sio nchi ya amani kama ilivyokuwa inajulikana 💔😭
@SangaliPower
@SangaliPower 5 күн бұрын
Ni kisiwa cha uvumilivu au vip 😂 nashukuru na enjoy maisha Zambia napatamani Tz nyumbani ntasrud tu
@ShazminahKihela
@ShazminahKihela 4 күн бұрын
Aijawai kuwa na amani kama wanavyo waambiaga wanasiasa wa ccm, atujaifikia ata zimbabwe kwa amani, Namibia , Botswana na nyenginezo kibao Tanzania ni nchi yenye Raia waoga sana.
@NeemaEdwin-s4d
@NeemaEdwin-s4d 4 күн бұрын
Ww unaacho unasubi nn c uondoke​@@ShazminahKihela
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 5 күн бұрын
HAYA MAFUNDISHO YA MGWAJIMA NI MAKUBWA SANA HONGERA MCHUNGAJI. WEWE NI JASIRI HAKIKA
@shakiru-y7g
@shakiru-y7g 3 күн бұрын
uko sawa mtumishi Gwajima
@JohnGidamarang
@JohnGidamarang 5 күн бұрын
Mungu aku linde na uwe kiongozi badae
@Zablonchalres
@Zablonchalres 5 күн бұрын
Eeeeeee Mungu wa mbinguni ameanza kujibu.kama wasiposikiliza maneno ya watumishi wa Mungu hii sasa imekwisha.wataumbuka vibaya sana
@JOSEPHKAJORO
@JOSEPHKAJORO 5 күн бұрын
Hongera sana askofu.hiyo ndiyo inatakiwa.
@awezayekyando2203
@awezayekyando2203 2 күн бұрын
Jamani Mungu akubariki wewe Ni sauti ya mtu aliaye nyikani Mungu akulinde
@MjumbeAgano
@MjumbeAgano 15 сағат бұрын
Ni Mjumbe wa agano pekee ndiye aliyekusudiwa kumaliza matatizo yote ya binadamu KWA NENO LA WAKATI HUU WA HABARI NJEMA YA UFALME WA MUNGU HAPA DUNIANI JITAHIDI KUINGIA KWENYE UFALME UEPUKANE NA DHIKI KUU INAYOUJILIA ULIMWENGU WOTE.
@Emmanuel-b4g1n
@Emmanuel-b4g1n 5 күн бұрын
Nafuatilia nikiwa Mombasa Kenya,kanisa tusimame kwa maombi hizi ni siku za mwisho.🇰🇪🙏
@salimmbilu4524
@salimmbilu4524 4 күн бұрын
Masheikh acheni uchawa tuungane kwahili
@RamadhaniKitala-gx6wc
@RamadhaniKitala-gx6wc 5 күн бұрын
Wana Fanya hivi ukichukuliwa na mapolisi wanakuweka chumba Cha peke yako familia wakienda kituo Cha polisi majibu yao wanakufungulia chumba Cha wote wafungwa na kuwaita majina umeona hakuna kumbe yupo chumba Cha peke yako kesho wanakuhamishia gereza nyingine 😢😢
@MariaMgeni-r7d
@MariaMgeni-r7d 3 күн бұрын
Sema sema baba
@ROSECHARO-x5r
@ROSECHARO-x5r 3 күн бұрын
Tz imekua kenya sasa kenya tumezoea watu watekwa sana kenya
@TeclaJackson
@TeclaJackson 5 күн бұрын
Nakupenda bure baba angu
@BlankaPhilipo
@BlankaPhilipo 2 күн бұрын
Kwel nchi imekua ngumu na wanaletewa wale wathubutu kusema ukwel . Ila wataua na wao watakufa tu ziwa la moto linawasubir bba Mungu atasema nao
@HusseinJumaa-b4e
@HusseinJumaa-b4e 4 күн бұрын
Ukweli mtupu jamani Mimi siomkirto lakini namfuatilia sana gwajima
@w4058
@w4058 3 күн бұрын
Kusema kweli katika kutetea hakutaki dini kinachotakiwa ni ukweli haki uadilifu
@NeemaIssah
@NeemaIssah 23 сағат бұрын
Yaani naww umeshangaa mungunasiasa wapinawapi hukonikutumikia mabwana wawili wewe.unatakiwa uombee amani
@WiliamKabonda
@WiliamKabonda 3 сағат бұрын
Hubiri injili achana na siasa mshika mawili moja humponyoka
@hassanathumani4278
@hassanathumani4278 5 сағат бұрын
Kwanini msifanye maombi ya kuteketeza hao watekaji Mungu apite nao na huyo ambae hataki kukosolewa
@leonardramiye8207
@leonardramiye8207 6 күн бұрын
Barikiwa saana asikofu
@ShadowScreamStudio
@ShadowScreamStudio 5 күн бұрын
Amkeni watanzania hii Kiki tuu..viongozi Lao ni mojaa tu
@ABuuIbrahimMTENJE
@ABuuIbrahimMTENJE 4 күн бұрын
Natafit "kama uwongo vilee"​@@ShadowScreamStudio
@AbdillahSalimu
@AbdillahSalimu 2 күн бұрын
Hili tatizo la kutekwa na kupotezwa raia wa Tanzania lilikwepo tango enzi ya utawala wa nyerere.. hao viongozi wa serekali iliyopo madarakani wanaufahamu huo mchezo vizuri kabisaa na walasio siri. Kama kunamtu anabisha ajaribu kurudisha kumbukumbu kipindi cha utawala wa marehemu sokoine kifochake kilitokeaje na nininisababu kiundani zaidi.. mimi binafsi nawezakusema hao polis wanajua matukio yote ya utekaji yanayo endelea .. ila mimi naami IPO siku itafika watatafuta mahali pakujificha na itawagharimu vilevile kama wale ndugu zetu Walio wapoteza😭😭😭😭
@BetherNyato
@BetherNyato 3 күн бұрын
We sio mtumishi wa Mungu huwezi kutumia SILAHA kwani Yesu hajawai shindwa km Yesu akishindwa HAUPO rohoni japokua utekaji ni laana ni zaidi ya dhambi
@adrianomaulaga1599
@adrianomaulaga1599 3 күн бұрын
Unaelewa unachoongea kweli wana wa Israel wamepigana sana vita kuelekea nchi ya ahadi haujui
@nurumohammed1310
@nurumohammed1310 3 күн бұрын
Nawe kama huelewi kaa kimya
@nurumohammed1310
@nurumohammed1310 3 күн бұрын
Mtumishi ww
@happyhaule671
@happyhaule671 Күн бұрын
Hahahahahahaj 😂😂😂😂😂
@RoseBsua
@RoseBsua Күн бұрын
Safisha hayo masikio Yana mawimbi ,sauti inakatakata .
@AyubuChacha-u6u
@AyubuChacha-u6u 2 күн бұрын
Gwajima ngombea urais haraka iwesekanavyo maana msema haki ni mpenzi wa sema ukweli ila saidia hii nchi nakuomba kuwa uchukuwe fomu haraka ya kugombee mungu akulinde na kukubaliki sana.
@jackliny-n2o
@jackliny-n2o 2 сағат бұрын
asante gwajima wambie wapone
@RestitutaNjau-k8x
@RestitutaNjau-k8x 5 күн бұрын
Jamani nakukumbuka kuuawa kwa mzee Kibao
@felixmsengi1084
@felixmsengi1084 5 күн бұрын
Nakukubali mtumishi was MUNGU, MUNGU AKULINDE NA AKUPE HEKIMA
@wastarayasini3761
@wastarayasini3761 11 сағат бұрын
Asante mtumishi sema ukweli
@Gaynor1234
@Gaynor1234 4 күн бұрын
Nakupenda sana mtumishi wa Mungu kwa kweli zako. Mungu akufiche na Damu iliyomwagika pale Msalabani.
@gilbertburasixbert2569
@gilbertburasixbert2569 3 күн бұрын
Kweli hadharaniiii
@user-sy5lx7el4z
@user-sy5lx7el4z 5 күн бұрын
Kamrudisha kwa kazi iyo kumbe
@GiftBatista-p2e
@GiftBatista-p2e 5 күн бұрын
Wahubiri hawanabudi kuizungumzia siasa, kama ilivyokuwa kutoka kwa waonaji manabii kwenda kwa wafalme.
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 2 күн бұрын
Jamani Jamani jamani! Ghafla unashikwa butwaaa ikikujia hiyo Hali na mungu akiruhusu pia! Uuuuuwui.
@IbrahimJoel-ks8nj
@IbrahimJoel-ks8nj 2 күн бұрын
Ukitaka kumkomesha mwafilika sili zake zote zipfiche kwenye vitabu Sasa coment zote hizo zanini mbona hayo aliaongea kipindi chamwenda zake
@emmanuelshilagi3302
@emmanuelshilagi3302 22 минут бұрын
KWELI KABISA HUKO USHIROMBO PIA HAPA MJINI WAMETEKA MCHUNGAJI YAANI WIKI ILIYOPITA NDANI YA MWEZI HUU / 9/ 2024 ametekwa leo ana juma moja alitekwa alihamis ya wiki iliyopita
@happyhaule671
@happyhaule671 Күн бұрын
😂😂😂😂 huyu mbaba ana kiti chake kwa moyo wangu
@WiliamKabonda
@WiliamKabonda 3 сағат бұрын
Gwajima unaangamia roho mtakatofu anakuacha hivyo umebakia kuchonganisha tu watu
@MwajumaMsimuwilliam
@MwajumaMsimuwilliam 5 сағат бұрын
AMEEN AMEEN
@EzekieliMbwambo
@EzekieliMbwambo 5 күн бұрын
Tumuombe mungu atusaidi Kwan haya sio maish
@JosephLuvanga
@JosephLuvanga 2 күн бұрын
Katika watumishi nilio kuwa nawakubali kwa kuikemea serikali mojawapo ni Gwajima, toka alivojiunga na ccm nilikosa Imani nae
@jaredayiera3279
@jaredayiera3279 2 күн бұрын
16/09/2024 Mithali 29:2 wenye haki wakiwa kw mamlaka Watu hufuraiii zaidi bali Mtu muovu atawalapo watu wanahumia. Nikiwa Washington DC states of America.pole Tanzania
@janetchinga695
@janetchinga695 5 күн бұрын
Ufe ukiwa namyaka 200 ❤❤❤
@alfredhadson
@alfredhadson 4 күн бұрын
Amen
@raymondmushi9019
@raymondmushi9019 3 күн бұрын
Mchungaji halisi na mkweli
@ShazminahKihela
@ShazminahKihela 4 күн бұрын
Bila kupepesa Watekaji ni Serikali na hii inatokana kutokufatwa utaratibu wa kumkamata mtu kisheria, kitambulisho pekee akitoshi bila kumuonesha warranti ya kumkamata au kumsachi mtu nyumbani kwake. Binadamu sio kuku umfate umkamate tu zifatwe sheria.
@mathewsmbwagha8123
@mathewsmbwagha8123 5 күн бұрын
Mchungaji mbona Unaongea yazamani yalele ayaishagi tu samehe tu mbona mnatufundisha wenyewe kuwa tuwetunasamehe kisasi siokizuri.
@elishampoki8751
@elishampoki8751 Күн бұрын
Halii hii inatisha Tanzania ilikuwa ni nchi inayotegemewa na mataifa jilani na Dunia nzima ,nani alieloga nchi Yetu Tanzania ,
@vanessastafford6426
@vanessastafford6426 Күн бұрын
Hata akikuonyesha kitambulisho mwambie akupe barua ya wito. Halafu waambie utaenda mwenyewe.
@brightonpeter1034
@brightonpeter1034 3 күн бұрын
Amen pastor
@consolatanjau2788
@consolatanjau2788 5 күн бұрын
Watekaji watashindwa katika jina la YESU na walegee
@OthumankibabiKocho
@OthumankibabiKocho 2 күн бұрын
Wapalaze mzee
@Deocratiasmushi
@Deocratiasmushi 5 күн бұрын
Baba askof mung u akubarik akuzidishie ma is ha. Hap watekaj was hind we kea kina LA yesu
@davidrweyemamu938
@davidrweyemamu938 3 күн бұрын
Waambie wasikie ukweli huu.
@saidmajeba9791
@saidmajeba9791 4 күн бұрын
Huyu baba Mungu aendelee kumlinda Huongea ukweli,hanyenyekei mtu
@yohanamtunduruyohanamtundu6585
@yohanamtunduruyohanamtundu6585 10 сағат бұрын
Tuna taka sasa bungeni Awasemee watanzania
@VailethMaivaji-p1o
@VailethMaivaji-p1o 5 күн бұрын
upo mimbaranitangaze Yesu c siasa,watu wamekuja Kuna mioyo Yao wamuone Yesu we unaleta siasa kanisani hizo roho unataka nani awatie moyo
@stellahwilfred5762
@stellahwilfred5762 4 күн бұрын
Ahsante MUNGU wa Rehema.. Watumishi wameanza kuongea
@jaredayiera3279
@jaredayiera3279 2 күн бұрын
16/09/2024 Pastor Gwajima...Watekaji ni ni Vigogo ktk chama cha CCM. Wambie ukweli
@EmmanuelLupoja
@EmmanuelLupoja 5 күн бұрын
Na wapiga sumu wameshindwa kwa jina la yesu
@PaulShija-hq7ep
@PaulShija-hq7ep 6 күн бұрын
Safi sana
@fatumasuleiman6641
@fatumasuleiman6641 3 күн бұрын
Mungu.tusaidie wanaotulinda. Ndio wanaotuuwa
@magidalenarauya4286
@magidalenarauya4286 9 сағат бұрын
Jamani siasa kanisani mbona wahubiri mnakengeuka? Watu wanakuja kuabudu wewe unahubiri siasa,siukaseme bungeni?
@DawsonMateru-z2g
@DawsonMateru-z2g 2 күн бұрын
Roho hii aliyonayo askofu gwajima siyo ya waenda mbinguni maana haiwezekani kuishi kwa hasira na mwenzako mwaka ahadi mwaka
@aishafrancis7714
@aishafrancis7714 15 сағат бұрын
Sema baba sema tupone hali inatisha tz😢😢😢😢
@MjumbeAgano
@MjumbeAgano 15 сағат бұрын
Amen kubwa
WORLD BEST MAGIC SECRETS
00:50
MasomkaMagic
Рет қаралды 41 МЛН
when you have plan B 😂
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 61 МЛН
Секрет фокусника! #shorts
00:15
Роман Magic
Рет қаралды 110 МЛН
WORLD BEST MAGIC SECRETS
00:50
MasomkaMagic
Рет қаралды 41 МЛН