MCHUNGAJI HANANJA AMVUNJA MBAVU MUFTI | UKUMBI MZIMA KICHEKO, AZUNGUMZA KIARABU

  Рет қаралды 582,780

BABDEO MILADU

BABDEO MILADU

Күн бұрын

Follow Us On:
INSTAGRAM: / miladu_tv
FACEBOOK: / babdeo miladu/
TIKTOK: www.tiktok.com...
KZbin: / @babdeomiladu

Пікірлер: 384
@lawrenceoctavian2740
@lawrenceoctavian2740 9 ай бұрын
Inapendeza mbele za wanadamu na mbele za Mungu ndugu wakikaa pamoja
@esterstaphord5184
@esterstaphord5184 8 ай бұрын
Na kwa umojaa 😅
@emmanuelpetertruegospelcha3331
@emmanuelpetertruegospelcha3331 Ай бұрын
Wajua maana ya ndugu
@crisponorbeth8001
@crisponorbeth8001 5 күн бұрын
Hakika
@lucaskashimwita6386
@lucaskashimwita6386 8 ай бұрын
Kwa kweli Uislamu naupenda sana. Nilipofika Dar es Salaam niliishi na ndugu zetu wa waislam hakika nilipata ukalimu sana. Mungu ubariki uislam
@Chimamy5242
@Chimamy5242 8 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@Makakulaya
@Makakulaya 8 ай бұрын
😂😂😂😂uslamu ni dini la kishetani
@idiidi-rq5gk
@idiidi-rq5gk 7 ай бұрын
Shetan n we mwenyewe
@fredducaunt
@fredducaunt 7 ай бұрын
​@@idiidi-rq5gk mashetan yashaanza kuamka 😂😂
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu 5 ай бұрын
Unasubili nini kajiunge na mashetani
@ibel4lf
@ibel4lf 9 ай бұрын
Nasoma comment za watu wenye kutafuta shari pasi na shari 😮
@johaneskiiza150
@johaneskiiza150 8 ай бұрын
Tanzania nakupenda sana nchi yangu tunahishi kwa kuheshimiana safi sana wazee wa BAKWATA
@expert5898
@expert5898 9 ай бұрын
Ufalme wa Mungu ukishuka watu wote wanakuwa wamoja maana Mungu wao ni mmoja.
@deograciakashaigili5973
@deograciakashaigili5973 8 ай бұрын
Hakika! Raha sana!
@Tandalesse
@Tandalesse 4 ай бұрын
Ila huyo MUNGU siyo Yesu.
@MiriusEliudi
@MiriusEliudi 4 ай бұрын
​@@Tandalesse Yesu aliwakosea nini?😂😂😂
@soothingrelaxationsounds7461
@soothingrelaxationsounds7461 2 ай бұрын
Haswaaaaa
@amilyabdu1563
@amilyabdu1563 Ай бұрын
​@@MiriusEliudiJibu Kwanza Alichouliza
@NuruBeth-hu1ym
@NuruBeth-hu1ym 4 ай бұрын
Napenda mafundisho ya pastor❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@shaffihsiraji3141
@shaffihsiraji3141 9 ай бұрын
Wanaomponda huyu Mchungaji hawajui hata kitu chochote kwenye Dini 😁
@ChrisantEmanuely27
@ChrisantEmanuely27 9 ай бұрын
Apo kakosea wapi
@SalamaAkilimali-ly3bu
@SalamaAkilimali-ly3bu 8 ай бұрын
Kashaalikwa tayari
@gaudencekanut902
@gaudencekanut902 7 ай бұрын
Weee unaejua uko wap tukuoneee??
@shaffihsiraji3141
@shaffihsiraji3141 7 ай бұрын
@@gaudencekanut902 Sibishani na wanawake huna la kunambia wewe
@shamteabdala5424
@shamteabdala5424 5 ай бұрын
@rweyemamurweyemamu680
@rweyemamurweyemamu680 9 ай бұрын
Unakuta anayeongelea mambo ya udini ana machafu kibao na pengine ana demu mkristo😂😂😂 lkn sasa kujifanya anaijua dini,mbinguni unaenda weye na roho yako mpendwa utahesabiwa mema uloyafanya kwa wenzako,uwepo wako Dunian umetenda nini,watu wangapi umewasaidia waenende kwenye njia njema,ayo ndo mambo ya msingi,achaneni na udini
@hawanassoro4607
@hawanassoro4607 9 ай бұрын
Sahihi kabisa udini hauna maana ss ni wanadamu tunayoelewana tukae pamoja tuyajenge mbora wetu anajua muumba wetu tu.
@hawanassoro4607
@hawanassoro4607 9 ай бұрын
Sahihi kabisa udini hauna maana ss ni wanadamu tunayoelewana tukae pamoja tuyajenge mbora wetu anajua muumba wetu tu.
@HusnaSalum-p1q
@HusnaSalum-p1q Ай бұрын
Sana kasema kweli Mungu anaangalia matendo
@nurdizzotz4437
@nurdizzotz4437 13 күн бұрын
Akuna binaadam alie kamilika kwanza inatakiwa ulitambueilo
@ummahmed3354
@ummahmed3354 8 ай бұрын
Allah bless and guide you mch Hananja... mtu wa ukweli... we love you
@gadielshedaffa3333
@gadielshedaffa3333 9 ай бұрын
Siku ya kusimama hukumuni kila mtu atahukumiwa kwa matendo yake! Kwa sasa kinachotakiwa ni kuishi kwa umoja na furaha bila kubaguan! Siku ukifa ndip utajua ulichochagua hapa duniani kama kilikuwa sahihi au la! Je ukifa utaenda wapi???
@danielmateso2522
@danielmateso2522 Ай бұрын
ukifa unayarudia mavumbi yaani unakuwa hutambui chochote the usubili ufufuo kama ulishika amri za mungu na imani ya yesu utafufuliwa ufuguo wa kwanza wa watakatifu na kama unapuuza amri za mungu bas utafufuliwa ufufuo wa pili wa waovu.
@Sibohoro-z5m
@Sibohoro-z5m 9 ай бұрын
Hananja hana baya mzee wangu
@dapinitiative2451
@dapinitiative2451 8 ай бұрын
Tumefurahi Sana kumuona much. Wetu kujumuika na Ndugu zetu waislam! Tumefurahi Sana Sana Sana, hakika ametuwakilisha vyema. Tuishi Kwa Upendo, Mungu wetu sote!
@henritamshai4915
@henritamshai4915 9 ай бұрын
Huwa nafikiria ni muislamu pongezi mseto huu wa mawaidha ya kidini.mungu atujalie heri duniani
@MiwagoTz
@MiwagoTz 2 ай бұрын
Huwa namfuatilia sana maongezi yake huwa anachekesha huku akifikisha ujumbe,nikipenzi cha watu,Hongereni viongozi wa Dini kwa umoja wenu wa Dini zote kuwa kitu kimoja hapa Tanzania lazima hiwe na Amani kwani Amani inaanzia kwenye Upendo ndani ya Dini Zetu kupendana na hapa tunaona mchungaji amealikwa.Mungu ibariki Tanzania na watu wake aminaa.
@engisack9610
@engisack9610 8 ай бұрын
Tatizo la waisilamu wana udini mwingi sana na ubaguzi" wakati Mungu nimmoja
@alhajisingano6590
@alhajisingano6590 8 ай бұрын
Hakuna ubaguzi sisi tupo kwenye nyie mpo kwenye Batil Mola tunayemuabudu nyinyi sio mnayemuabudu nyinyi wala hakuna umoja, zisikuchanganye hizo kanzu na vilemba hapo hao wote ni Mashekh wa Bidaa tu (wazushi)
@NuruSultani-ws1ny
@NuruSultani-ws1ny 2 ай бұрын
Kma ubaguz upo hananja ni muislam au ondoa upuuz uliojazwa katika akili yako mwehu ww
@emmanuelmchomvu2676
@emmanuelmchomvu2676 9 ай бұрын
Yaan waislam mnachuki, mwngne hta msikitini haendi ila roho mbya
@alhajisingano6590
@alhajisingano6590 8 ай бұрын
Na tunawachukia hasaa sio siri bal kuwachukia nyie kwetu n ibada
@evertheobald1811
@evertheobald1811 4 ай бұрын
Hakuna mbingu hapo
@WinnieJvic
@WinnieJvic 2 ай бұрын
@@alhajisingano6590 😂😂😂😂😂 eti ibada
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂Ila waslmu 😂😂😂😂😂😂😂wana nipaga raha mimi siyo kwa comment hizo 😂😂😂alf wenyew wakrsto hata awana mda na sisis😂😂😂ila sisi uwiiiiiiiiiiii 😂😂😂😂😂😂😂😂nachek kama mazuri vile kumbe 😢😢
@ibnhassan9980
@ibnhassan9980 9 ай бұрын
Hicho ndicho chama cha B..
@NaomiSolomon-cj7hr
@NaomiSolomon-cj7hr 9 ай бұрын
❤❤❤Ndo ushangae
@rehemamapuga5789
@rehemamapuga5789 4 ай бұрын
Nmekupenda bureeee
@SalumuAlly-d9q
@SalumuAlly-d9q 2 ай бұрын
Uislam raha sana
@NYOKAONLINE7156
@NYOKAONLINE7156 9 ай бұрын
Allah atupe mwisho mwema
@gwakisasimon14
@gwakisasimon14 8 ай бұрын
wewe unaye sema asilimu ili imanishe nini toa kitu cha kujenga sio kubomoa ndio maana watu wanasema shule muhimu usikimbie umande mzee yani kaa ukijuwa mungu apendezwi na dini zetu kwa sababu zina unafki kusengenyana mungu hayupo sehemu yenye dhambi kaa ukijua mungu anapenda jambo moja tu matendo mema kumuelekea yeye na kumwabudu kwa roho na kweli na kusimama kwenye wito uliopangiwa ukiwa mtu wa kulukaluka uwezi kumpata mungu sehemu yako itakuwa jehanamu tu nawapenda wote wanaomwabudu mwenyezi mungu maana neno lake halitaludi bure ila wale wanaoabudu mizimu masanamu tusiwachukie kama tuna upendo alioagiza mungu tunatakiwa kuwaombea mungu awashushie baraka zake na neema wamjue mungu wa kweli .waislamu na wakristo mungu awape maisha ya kumsifu na kumwabudu kwa roho na kweli sio unafki mtazameni mungu msitazame dini zenu ni nzuri kwa sababu sinamwabudu mwenyezi mungu kila mtu aeshimu hekalu la mwenzie mungu awabariki nyote amina
@D-Man.B-Free
@D-Man.B-Free 9 ай бұрын
Aliposema wake 1000 nikakumbuka Mazinge😊
@ellsonmkonyi1319
@ellsonmkonyi1319 9 ай бұрын
Daah mungu atusaidie sana na viongozi wa dini zote msikubali kuwaingiza waumini wote kwenye njia mungu asiyoipenda
@HusnaSalum-p1q
@HusnaSalum-p1q Ай бұрын
Hapo yale yasiyo jitambua ndiyo yanaleta chochezi
@alexcostantine6732
@alexcostantine6732 8 ай бұрын
Mungu awabariki kwa umoja huo YESU anakuja jihusishe
@athumanimtajih
@athumanimtajih 9 ай бұрын
Sasa unawalaumu masheikh kwan huyo Hananja katukana mtu au kasema baya gan,kiufup Waislam wa kileo hatuna maneno ya ushawishi wa mtu asiye muislamu kuvutiwa nasi,tumejawa na itikadi na utimu wa masheikh
@enockdanstan1785
@enockdanstan1785 9 ай бұрын
Waisilamu watu...wa Shari, comments zenu, sio za kujenga, haziendani kama watu wa Mungu
@danielsamuel1278
@danielsamuel1278 2 ай бұрын
Huyu mzee nampenda sana sana sana mimi ni muislam ila huyu mzee nasoma mengi sana kwake na hii ndio Tanzania ninayo ipenda ❤❤❤❤
@muksinimbaruku1233
@muksinimbaruku1233 20 күн бұрын
Muslim Daniel Samuel dah!
@egfridmkoba4767
@egfridmkoba4767 2 ай бұрын
Mwenyezi Mungu aendelee kutuwekea mkono wake tuendelee kuishi kama ndugu wa baba na mama mmoja.
@ModestSichone-el2du
@ModestSichone-el2du 9 ай бұрын
Kwanza anakili kwanini asifrai kwakua viongozi wadini zote wamekutana wanachanganua mema na mabaya Sasa unasikia oooo waisilamu wenzangu muwe makini Sasa umakini Gani pumbavu wewe muchamungu sio dini mwemba
@allysimu6856
@allysimu6856 9 ай бұрын
Silimu basi mchungaji walwahi umependeza Sana kuwa shene
@nestarnestar4520
@nestarnestar4520 9 ай бұрын
Mimi maisha yangu siwez kuja kua muislamu, ndugu zangu natamani mngekua mnajua kama navojua mm khx huu uislaum, kwanza kabla hajawaza kua waislam muwe mnajaribu kuwauliza waislam viongozi kwann wanatumia kiarabu aslimia nyingi kuliko Kiswahili, kwasabb Weng hawajui kiarabu, Kwenye uislaum kunashida nyingi hata maiti bado anashida nyingi anavotobolewa na ndo maana anazikwa haraka haraka
@hamidayusuph4608
@hamidayusuph4608 9 ай бұрын
Anatobolewa tena! Hamna kitu kama hicho ndugu.
@nestarnestar4520
@nestarnestar4520 9 ай бұрын
@@hamidayusuph4608 Nyie mait mnamuandaa VP kama hamtoboi? We unaekataa utakua hujui ukitaka kujua nachokisena kasome vitabu nyenu vinavoongea marehe na na jinx ya kumuandaa kwenda kumsitiri
@Evance15
@Evance15 9 ай бұрын
​@@nestarnestar4520hujui chochote kuhusu uislamu kaa kimya sawa usiongelee vazi usilolivaa kwamaana hulijui hata kidogo🙏🙏🙏
@alhajisingano6590
@alhajisingano6590 8 ай бұрын
Wewe hujitambui
@sharomdguda
@sharomdguda 8 ай бұрын
Dunia hii omba tu mungu lkn bado haujafika mwisho unaweza kujikuta siku Moja wewe unakuwa muislam . Husijiapize 2
@HusseinKhoja-e1y
@HusseinKhoja-e1y 6 ай бұрын
Mimi ni muislamu lakini napenda huu mchungaji Kwa manenyo ya hekima
@pharmtech_1
@pharmtech_1 Ай бұрын
Naelimisha Nashauri Natibu na kufwatilia maendeleo ya afya yako KARIBU TUJIFUNZE WOTE
@pharmtech_1
@pharmtech_1 Ай бұрын
Naelimisha Nashauri Natibu na kufwatilia maendeleo ya afya yako KARIBU TUJIFUNZE WOTE
@thomaswilbert6431
@thomaswilbert6431 9 ай бұрын
😅😂hamjawahi kuwa furaha ya kweli kama waliopata leo mashehe wenu kwa mchungaji mcheshi duniani
@emanuelwilliam1607
@emanuelwilliam1607 7 ай бұрын
Its beautiful TANZANIA LOVELY LOVELY SANA 💕
@hanspop6961
@hanspop6961 9 ай бұрын
Hekima nyingi Huyu🤣🤣
@hassanbakari4525
@hassanbakari4525 9 ай бұрын
MI SIO MKRISTU ILA NAMPENDA SANA HUYO MCHUNGAJI,,NOMA SANA
@omarikhalifa9413
@omarikhalifa9413 9 ай бұрын
Unampendaje kafiri?
@idrisalimapema2539
@idrisalimapema2539 9 ай бұрын
​@@omarikhalifa9413hahahha
@hassanbakari4525
@hassanbakari4525 9 ай бұрын
SIPENDI UDINI WAKE,,NAPENDA AKILI YAKE.
@lulanjamd3886
@lulanjamd3886 9 ай бұрын
​@@omarikhalifa9413Kafili mama yako
@abeidmobile
@abeidmobile 9 ай бұрын
Ukiona unampenda mtu anayechukiwa na Allah ktk kufru yake nasi na wewe unachukiwa na Allah!!!
@MyName-wd8cp
@MyName-wd8cp 9 ай бұрын
Bakwata sio dini ni taasisi, so msiwalaumu. Uislamu hauna taasisi.
@amanmalima940
@amanmalima940 2 ай бұрын
Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
@danielsamuel1278
@danielsamuel1278 2 ай бұрын
Sisi hatutaki kuokoka ,tulikuokoka tumboni .yesu ni mtume wetu kama watume wengine .
@EL-SHADDAI-c4p
@EL-SHADDAI-c4p 20 күн бұрын
Nakushukulu tanzania Amani yako imenilea
@muddybreezy4595
@muddybreezy4595 9 ай бұрын
Kwnn usiwe muislam mchungaj mbna unapendeza
@jeapaultchikuru7726
@jeapaultchikuru7726 9 ай бұрын
Kwa sbb sio Haki yenu ni Haki ya wakristo kaja hapo sikwamapenzi yake kafwata mkwanja
@nestarnestar4520
@nestarnestar4520 9 ай бұрын
We awe na majini mchungaji wetu
@manasendubula-zn8fl
@manasendubula-zn8fl 4 ай бұрын
Mtabaki mnaumana meno waumini lakini watumishi wa dini zote wakikutana ni AMANI tuu. 🤝🤝
@abujamalaalghammawiy7470
@abujamalaalghammawiy7470 8 ай бұрын
Maasha Allah tabaaraka Allah, jamaa anakwepa munakasha, na anakwepa mpaka mahojiano na chombo cha habari, eti kwa sababu ni watu wa bidaa, wakati huo huo masalafi wanatumia youtube, facebook, twitter, instagram, vyote hivi ni vya makafiri, lakini hawaachi kuvitumia 😂
@EmmanuelMalando
@EmmanuelMalando 2 ай бұрын
Acha ubaguzinallah apendi
@CollinsngasalaGhambi
@CollinsngasalaGhambi 9 ай бұрын
Kuna watu awapendi khali kama hii😢😢 viongozi kucheka pamoja japo ata mara Moja kwa mwaka 😂😂😂
@HousenAhmadi
@HousenAhmadi 2 ай бұрын
Sote ni ndugu , emwenyezi mungu udumishe udugu huu na utuepushe na shetani wabaya , inshallah 🙏
@Tandalesse
@Tandalesse 4 ай бұрын
Yaani anamtukana Nabii Sulayman(Alayh Salaam) kwa kumtuhumu uzinifu ya kwamba alikuwa na wake(wives) 700 na "nyumba ndogo(ilegal women a.k.a side chicks for ilegal sex)" halafu Masheikh wanacheka?. WALLAH huu ni mtihani kwa "Masheikh wa kisasa".
@NuruAlly-pd3kc
@NuruAlly-pd3kc 4 ай бұрын
Ckiliz vzr hajamtukana amesemaj mke mmoja anakuchangany wakat Suleiman alikuwa na wake weng unakulupuka tu bila kuckiliz ukaelewa maana
@alhajisingano6590
@alhajisingano6590 8 ай бұрын
Hakuna ubaguzi sisi tupo kwenye nyie mpo kwenye Batil Mola tunayemuabudu nyinyi sio mnayemuabudu nyinyi wala hakuna umoja, Yaa Ma'asharal kuffaar: Zisikuchanganyeni hizo kanzu na vilemba hapo hao wote ni Mashekh wa Bidaa tu (wazushi)
@samwelingasa1638
@samwelingasa1638 16 күн бұрын
We kiongozi wako wa dini shehe mkuu yuko peace tu we dini imekujaza chuki zaidi kuliko Kumjua Mungu
@SophiaSimba-uq8ct
@SophiaSimba-uq8ct 16 күн бұрын
@alhajj acha chuki za kidini
@doricekisaaka1699
@doricekisaaka1699 7 ай бұрын
😂😂😂😂Hana njaa mbavu zangu
@young_brother27
@young_brother27 2 ай бұрын
Mbona waislamu mna chuki sana na Wakristo ?
@abubakarymaulidy5681
@abubakarymaulidy5681 8 ай бұрын
Amefurahisha watu sana lkn pia ujumbe wake mnono sana tuuchukueni jamni
@yohanamchomvu
@yohanamchomvu Ай бұрын
Huyo hananja msenge tu kumbe ndiyo mana alikuwa anaponda ukristo kumbe muislam kuma tuokuone tena ukija
@yohanamchomvu
@yohanamchomvu Ай бұрын
Hatupendi unafki baki na kiarabu chako wewe ni wa kupigwa makofi na kuchomwa moto sio mkristo ww kofia kama ganda la chungwa utarisishwa uchawi na waislam hio Njia sio
@-kagerayetubw9jx
@-kagerayetubw9jx 7 ай бұрын
Maisha ya huyu mchungaji na himani yake naipenda sana
@joharially2950
@joharially2950 16 күн бұрын
Mimi mkristo ila nacho wakubali waislam shehee akiwa mskitini akikosea kujubiri muumini unaweza mrekebisha lakini kwa wakristo marufuku kuuliza swali kanisani
@DeoMbilinyi
@DeoMbilinyi 2 ай бұрын
Na mimi nimependa kwa mwaliko huu Ameen
@IdrissaKaoneka
@IdrissaKaoneka 6 ай бұрын
hata sikumoja haiwezekani umoja ambao Allah haukubal
@SophiaSimba-uq8ct
@SophiaSimba-uq8ct 16 күн бұрын
Usimsingizie mungu nyie ndy mnafanya dini hinakuwa ngumu,
@halson827
@halson827 2 ай бұрын
Dunia ilitakiwa iwe hivi....!
@benjaminngatunga3931
@benjaminngatunga3931 4 ай бұрын
Mungu awalinde viongoz wote wa dini
@christinapeter7131
@christinapeter7131 14 күн бұрын
Wewe mchungaji unanifurahisha sana lkn Dawa inaingia
@Harunery
@Harunery Ай бұрын
dini mseto masufi mjiandae kwa ALLAH
@nolascomugalula6098
@nolascomugalula6098 3 ай бұрын
Hakika waislamu wana upendo sana
@lucasngotta9946
@lucasngotta9946 10 күн бұрын
Hakika haya ya kukaa na kutafakari pamoja watu wa imani tofauti ndo mambo tunayoyataka katika Tanzania yetu
@JudieMyola
@JudieMyola Ай бұрын
Utakuta watu wanagomban Kisa ukristo na uislam
@hamsikrasheedi1796
@hamsikrasheedi1796 7 ай бұрын
hananja huna baya mungu akubar sana ❤
@mirajiyombe1601
@mirajiyombe1601 9 ай бұрын
Allah atuongoze
@rajabumaziku9857
@rajabumaziku9857 3 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂😂
@abdallahmwanga5792
@abdallahmwanga5792 2 ай бұрын
Ni mtu makini sana aisee....😂😂😂😂
@Yanamwisho
@Yanamwisho 10 күн бұрын
Nimecheka kwa maneno ya huyu mchungaji
@MarthaJohn-jb1nr
@MarthaJohn-jb1nr 9 ай бұрын
Wasilamu kama wasilamu sasa na comments zao 😂😂😂😂
@andrew29468
@andrew29468 Ай бұрын
TANZANIA NI MOJA NASI NI WAMOJA,TUSITENGANE
@PanchoValentino-wh7wt
@PanchoValentino-wh7wt 2 ай бұрын
Mungu wetu anataka Upendo Na Aman
@fortyyellu9971
@fortyyellu9971 9 ай бұрын
Kapendesa alivyovaa kufia hananja...😂😂😂
@PULKERIAIZIDORY
@PULKERIAIZIDORY 27 күн бұрын
Huyu mchungaji yuko vizuri mno
@HassanMakonda
@HassanMakonda Ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🤲🤲🤲 hakuna kama 🇹🇿
@meddyblack6353
@meddyblack6353 15 күн бұрын
Nimependa sana hii moment dini siyo vitaaa
@ElisiMtagwa
@ElisiMtagwa 20 күн бұрын
Msema kweli no mpezi was mungu
@Mwl_Sanga
@Mwl_Sanga 3 ай бұрын
Amani ndo kitu tulichonacho Tanzania, maeneo mengine mkristo ni adui mkubwa Kwa waislam
@rajabodhuman1300
@rajabodhuman1300 9 ай бұрын
Mtu hawi muislamu kwa kupendezwa mavazi au muonekano wakiislama au kuongeya kiarabu bali nikwaku ukubali uislamu kwa moyo na kwa matendo yote aliyo amrisha Allah na mitumewe
@maulidipazi6770
@maulidipazi6770 9 ай бұрын
Namavazi pia .ukiambiwa vaa vazi la kiislam utavaa nini
@back2homemusic844
@back2homemusic844 8 ай бұрын
Hakuna vazi la kiislamu... Kuna mavazi ya kiarabu, kwahiyo uisilamu ni uarabu? Kwamba hakuna waarabu wakristo? ​@@maulidipazi6770
@jamalsamma3457
@jamalsamma3457 9 ай бұрын
Barakallahu fih
@mailacamillius
@mailacamillius 9 ай бұрын
😂Hekima
@deograciakashaigili5973
@deograciakashaigili5973 8 ай бұрын
Huko ulikotoa mifano kuna kipindi wakristo walifuatiliwa sana na kuchoma kanisa. Umesahau Mchungaji? Watubu hapo kwanza!
@mainguali6046
@mainguali6046 3 ай бұрын
Mungu amjalie Pastor Hananja asilimu
@patricksebastian3593
@patricksebastian3593 3 ай бұрын
Hayo ndio mawazo ya hovyo.
@rubenibernald6138
@rubenibernald6138 2 ай бұрын
Achaa bangiii unamanisha Hana mungu bwege weweee
@jescarwegoshola1754
@jescarwegoshola1754 2 ай бұрын
😅😅😅
@VictoriaCharles-r6y
@VictoriaCharles-r6y Ай бұрын
Kwa hoja ip aslim
@BetraminoKayage
@BetraminoKayage 20 күн бұрын
Hawatakuja radhi Mayahud na Manasara mpaka mfuate Mila zao hakuna uhalali i ya kuchanganya khaki na Batili
@SophiaSimba-uq8ct
@SophiaSimba-uq8ct 16 күн бұрын
Batil batil kumbuka dini zimeletwa na waarabu na wazungu jitambue
@RightAlphred
@RightAlphred 9 ай бұрын
Inapendeza sana ndg kukaa pamoja kama hii❤❤❤
@issakawaya8315
@issakawaya8315 9 ай бұрын
Amependeza
@ZAMYLFILM
@ZAMYLFILM 8 ай бұрын
Nakupenda sana Hananj Allah akujaalie uwe muislam usife katika giza
@EzekielDebora-cd2ib
@EzekielDebora-cd2ib 8 ай бұрын
Wewe ndo usife ktk Giza
@SophiaSimba-uq8ct
@SophiaSimba-uq8ct 16 күн бұрын
Tena jinga la kwanza, we utakufa kwenye taa ubaguzi wa dini mbaya, hakuna dini ya haki we mshezi SS wote tunaabudu Kwa mungu mmoja
@EmanuelShija-id1sw
@EmanuelShija-id1sw 2 ай бұрын
Hananja unafaa Kila sehemu
@josephosborne3072
@josephosborne3072 Ай бұрын
Nampenda sana huy pastor wa kweli...hajawah kuikana injili hapa kaanza tu na biblia,saf sana
@LordrichMnandi-e6w
@LordrichMnandi-e6w Ай бұрын
wabilahi taufiki 😂😂😂😂😂😂
@MonicaMjata
@MonicaMjata Ай бұрын
Nmemipenda mnooo waislam
@Selemanjohn-se1el
@Selemanjohn-se1el 5 ай бұрын
tatizo nduguzetu wana ubaguzisana awapendi kujumuika nadinizngne huwaita kafiri
@sharfasephu
@sharfasephu 29 күн бұрын
Mchungaj honger 😂😂😂
@errydeo8865
@errydeo8865 Ай бұрын
Hiki kitu alijijengea sana JPM pia,huyu mama snakibomoa
@Jodigitaltz
@Jodigitaltz Ай бұрын
Kila mtu na mtazamo wako
@panyatozy9301
@panyatozy9301 9 ай бұрын
Sisi wote niwababa mmoja tuache ubaguzi mbona hata rais hayat johni magufuli alikuwa anaigia msikitini hata samua hivyo2 acheni ubaguz angalien wote tunazikwa chini
@AllyRamadhan-cw8we
@AllyRamadhan-cw8we 28 күн бұрын
Unafiki sana dini za kisasa!
@Jodigitaltz
@Jodigitaltz Ай бұрын
Tatizo anachekesha sana
@mfalmekaitaba2425
@mfalmekaitaba2425 5 ай бұрын
Diamond kwenda kwenye Tamasha la waikristo ni gumzo ila huyu kuja huku swaafiii hawalalami
@DavidiMakaza
@DavidiMakaza 6 ай бұрын
Hakun mchungaj hpo n wakala anaetak kuaribu ukristo kuwen macho wapendwa
@yakobomkristo872
@yakobomkristo872 3 ай бұрын
Hawa Ndiyo Waislamu Ninaowajua Mimi Ambao Huwa Nawaita Baba Zangu.
@Allykitambi-g4u
@Allykitambi-g4u 7 ай бұрын
Hao sio waislam ni nyinyi wenyewe au wanaojiita waislam kumbe wauchafua wislam
MCHUNGAJI HANANJA AINA NNE ZA MAHUSIANO, AINA NNE ZA MKE
20:39
Tacmen Group
Рет қаралды 646 М.
А ВЫ ЛЮБИТЕ ШКОЛУ?? #shorts
00:20
Паша Осадчий
Рет қаралды 9 МЛН
Officer Rabbit is so bad. He made Luffy deaf. #funny #supersiblings #comedy
00:18
Funny superhero siblings
Рет қаралды 13 МЛН
The joker favorite#joker  #shorts
00:15
Untitled Joker
Рет қаралды 30 МЛН
MCH.RICHARD HANANJA AWAVUNJA MBAVU WA SONGWE.
16:15
KAYUNI ONLINE TV
Рет қаралды 160 М.
DAKIKA 10 ZA MCH. HANANJA ZINAZOPENDWA ZAIDI NDANI YA UDSM CCT MEDIA.
9:47
А ВЫ ЛЮБИТЕ ШКОЛУ?? #shorts
00:20
Паша Осадчий
Рет қаралды 9 МЛН