GWAJIMA "HAITOKUWA ELFU 8, ITAKUA 4, NIMEANZA KAZI NA SIJACHAGULIWA KUWA MBUNGE"

  Рет қаралды 54,623

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Askofu Josephat Gwajima leo amezindua Kampeni za Ubunge anaouwania kwenye Jimbo la Kawe ambapo alisimama mbele ya Wakazi wa Kawe eneo la Bunju Dar es salaam na kunadi sera zake kwenye hizi dakika 4.

Пікірлер: 207
@uhaitanzania1620
@uhaitanzania1620 4 жыл бұрын
Askofu Gwajima, Mungu akutangulie. Amen
@rithamalyagili3130
@rithamalyagili3130 4 жыл бұрын
Mungu akutangulie tunakuhitaji Sana jimbo lakawe gwajima
@yahyamkone5601
@yahyamkone5601 4 жыл бұрын
Kazi imeanza piga kazi kakaa gwaji
@japhetdaud3781
@japhetdaud3781 4 жыл бұрын
Gwajima mbunge huyoooo 👍 mbunge
@abelsabibi2809
@abelsabibi2809 4 жыл бұрын
Bishop Gwajima is the right person to vote for,I wish ningekuwa mkazi wa jimbo la Kawe jamani.Watu wa Kawe mbarikiwe sana
@zawadikayaula7683
@zawadikayaula7683 4 жыл бұрын
Kwa bahati mbaya gwajima watu wa kawa hatumtaki hata kumuona, muongo, tapeli wa kidini, tunajua huo wote ni uongo
@fredkyara3278
@fredkyara3278 4 жыл бұрын
Gwajma. Big up. Dhamira yako. Inajionyesha. Inataman maendeleo. Kama Magufuli.
@michaelluhumbika5924
@michaelluhumbika5924 4 жыл бұрын
@@zawadikayaula7683 ok kumbe ww uko kawa basi acha wakawe wamchaguwe
@michaelkatigula5793
@michaelkatigula5793 4 жыл бұрын
Nakubali sauti ya mamlaka , baba Mungu Yuko upande wako chadema njia zao lazima ziwe Giza na uterez
@evansmlalo4049
@evansmlalo4049 4 жыл бұрын
Askofu aliyechanganyikiwa anawataja wafu hadharani. Eti Bi Kidude. Bado utachanganyikiwa sana. Mungu hapendagi watu wanafiki, Mungu hapendi mtu anayemshuhudia binadamu mwenzake uongo, Anaechukua riziki ya mwenzake. Utaanguka vibaya sana maana umepewa kugombea hilo jimbo kwa rushwa.
@noonelike6382
@noonelike6382 4 жыл бұрын
Aisee mpeni kura za kutosha huyu jamaa... Kwanza hana njaa ya pesa... Nadhani anatafuta njia ya kuzitumia kwa maendeleo ya wakazi wa Jimbo la kawe.... Big up gwajima 🙌🙌🙌
@samwel-pr8yw
@samwel-pr8yw 4 жыл бұрын
Daaah!!!,kweli Gwajiboy ugolo umepitia puani aisee ni mwendo wa chafyaaaa tuuu.
@eliarichard9218
@eliarichard9218 4 жыл бұрын
Nice Mzee wangu Gwajima natamani ufike huko Bungeni kuna vitu natamani vika geuzwe na wewe kwa SAA hii utakayo pata nafasi.
@isaackmwakalobo2919
@isaackmwakalobo2919 4 жыл бұрын
Viva gwajima, waooo
@adamumarwa8307
@adamumarwa8307 4 жыл бұрын
Leo unaipaka mafuta inagoma nakupa pole yesu umeisha muacha Hata kusalimia unaanza na salamu ya waisilamu utakufa kesho pole sana
@juliusakilimali9760
@juliusakilimali9760 4 жыл бұрын
Unaesema Birmingham iko Uingereza tu Pole!! Nikushauri tu kwa upendo wa Mungu, Kabla hujasema kitu fanya utafiti kwanza! Ukweli ni kwamba Askofu yuko sahihi! Birmingham, Alabama USA!! Soma hiyo!!
@elochoyakobo7809
@elochoyakobo7809 4 жыл бұрын
Hata Marekani kuna Birmingham bro iko alabama
@chafumirro5617
@chafumirro5617 4 жыл бұрын
Halima mdee byebyee
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 4 жыл бұрын
YULE TOMBOY THIS TIME KAKUTANA NA KISIKI CHA MPINGO AFU GWAJIBOY SERA ZAKE SINAPENYA ATARI NAUWONA USHINDI KWA GWAJIBOY ASUBUHI KWEUPEEE😁😁😁😁💪💪💪💪💪💪
@highzacknnko4002
@highzacknnko4002 4 жыл бұрын
Tom boy anazingua kamanda eangu
@profkelvinlyatuu863
@profkelvinlyatuu863 4 жыл бұрын
We Ni wakike wew
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 4 жыл бұрын
Kawe kitaeleweka. Kawe kwa Gwajima this time.
@zawadikayaula7683
@zawadikayaula7683 4 жыл бұрын
Hayo maneno tulisikia tangu kura za maoni, ya kawaida sasa
@aminahussein5418
@aminahussein5418 4 жыл бұрын
🤣🤣💪💪ngwaji boy mapema sana baona anachukua
@emmanuelkazungu7382
@emmanuelkazungu7382 4 жыл бұрын
Kama kweli unayosema yatatimia,basi mwenyezi mungu na akuongoze
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 4 жыл бұрын
Hizi ndio SERA sasa sio yule sago kufoka tu😂😂😂😂
@highzacknnko4002
@highzacknnko4002 4 жыл бұрын
Yaaani jamaa ni jembe
@zawadikayaula7683
@zawadikayaula7683 4 жыл бұрын
Namshauri atulie madhamahuni na kondoo wake akisikia njaa anajilia mdogo mdogo! Siasa ngumu jamani!
@minskbelarus7255
@minskbelarus7255 4 жыл бұрын
Upele umepata mkunaji 😅😅😅😅😅😅 Mzee wa ANFIFIRO. Bye bye Bi KIDUDE.
@mgoledaudi6051
@mgoledaudi6051 4 жыл бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅🙌
@queenbhanji7223
@queenbhanji7223 4 жыл бұрын
😂😂amfifiro hatak mchezo na kawe
@msafirimondestkutokamwakit134
@msafirimondestkutokamwakit134 4 жыл бұрын
Unakazi ya mungu nzuri unaona haikutoshi
@masihikalokora17
@masihikalokora17 4 жыл бұрын
Hii ndo ya Mungu sasa
@seifmketo2421
@seifmketo2421 4 жыл бұрын
Ww lini ulitosheka
@noelilyatuu8129
@noelilyatuu8129 4 жыл бұрын
Kazi ya MUNGU Imemshinda
@bensonbenezeth
@bensonbenezeth 4 жыл бұрын
Kawe mmepata chombo, mshindwe kukitumia
@kayembesaidi9949
@kayembesaidi9949 4 жыл бұрын
Ccm oyeeeeeeee
@goldensneeper6929
@goldensneeper6929 4 жыл бұрын
Safi
@eabdabdallah2661
@eabdabdallah2661 4 жыл бұрын
Kutoka Bwana Asifiwe mpk ccm hoyeeee, hii ndiyo transformation ya Mtu aliyeachwa na Mungu
@marthacosmas8916
@marthacosmas8916 4 жыл бұрын
kabisa
@ntandumathayo3257
@ntandumathayo3257 4 жыл бұрын
Mungu atusaidie yani dareslam yote inawatu milion 6 lakini gwaji boy atotoa ajira milioni 8 yani serikali imeajiri jumla ya wafanyakazi wasiozid milion 3 lakini gwajima Boy atajiri milion 8 kawe inamaana mpaka waliozikwa kawe wataajiriwa
@mzeewavibedr.4032
@mzeewavibedr.4032 4 жыл бұрын
Kusema kweli Gwajima ni jembe
@kaundasutikaunda7769
@kaundasutikaunda7769 4 жыл бұрын
Hahaha Askofu Gwajima noma.
@officialmartin4432
@officialmartin4432 4 жыл бұрын
Umeshasaau ulivyo kamatwa na makonda leo eti ccm angalia mbele
@shamimhayat7637
@shamimhayat7637 4 жыл бұрын
Tukikuchagua utengeneze barabara za mitaa na udumishe usalama na usafi
@zawadikayaula7683
@zawadikayaula7683 4 жыл бұрын
Tapeli hilo
@michaelluhumbika5924
@michaelluhumbika5924 4 жыл бұрын
@@zawadikayaula7683 alikutapeli hapo chini au mtoto wakike jalibu kuwa msili basi
@zawadikayaula7683
@zawadikayaula7683 4 жыл бұрын
@@michaelluhumbika5924 wewe ni mmoja kati ya misukule aliyo ifufuwa, utaelewa nini?
@michaelluhumbika5924
@michaelluhumbika5924 4 жыл бұрын
@@zawadikayaula7683 kauze mbele huko au soko limehalibika unawatafuta kwanguvu
@zawadikayaula7683
@zawadikayaula7683 4 жыл бұрын
@@michaelluhumbika5924 sasa matusi yanini? Mwenzako nasema ukweli! Sianafufua misukule? Au ameacha!
@elizabetwello6114
@elizabetwello6114 4 жыл бұрын
Kupenya penya et ayaaaaa
@mauthamani
@mauthamani 4 жыл бұрын
Gwajima anaongea Kama mzee wa mboyoyo.
@danielmoses2244
@danielmoses2244 4 жыл бұрын
Miaka 10 yuleeee wa iringa hamkumwambia chochote na anagombea tena MKAMWAMBIE pia
@mduduemmanuel4585
@mduduemmanuel4585 4 жыл бұрын
Amfifiro😄😄😄
@yassiniferuzi2867
@yassiniferuzi2867 4 жыл бұрын
Chai Jaba Mdee Ashindwe na alegee domo kama Kibifu cha Komoni aende akauze Dengelua Tegeta
@deogratiusdominick8882
@deogratiusdominick8882 4 жыл бұрын
Mmmmhhhhh kweli mshika mawili moja sijui litaenda wap
@raphaelsamwel2640
@raphaelsamwel2640 4 жыл бұрын
Mahubiri! Toa mapepo!!!
@officialmartin4432
@officialmartin4432 4 жыл бұрын
Mbunge ni Halima mdee
@rithamalyagili3130
@rithamalyagili3130 4 жыл бұрын
Mbezi juu Kwa londa barabara mbovu tusaidie itengenezwe ili hats daradara nabajaji zipite
@ibrahimharuna4362
@ibrahimharuna4362 4 жыл бұрын
Hapana asee Kama anahubiri vile amenikumbusha somo la historia kumjua Karl peters na David livingstone kwa kwa picha za kuchorwa kwa mkono,KAWE KUWEN MAKINI NA HAYA MAUBIRI AMBAYO YAWEZEKANA MKAISHI NAYO KWA MIAKA MITANO NA WAKATI HUO JUU YA MWAMBA HUU NITALIJENGA..............
@majaliwamsigwa3974
@majaliwamsigwa3974 4 жыл бұрын
Ibada njema huanzia nyumbani,aaa kumbe siyo kanisani,samahani
@dinambedule8129
@dinambedule8129 4 жыл бұрын
Ni sahihi ibada njema uanzia nyumbani 1...kama umetoka nyumbani bila kusari na kumshukuru mungu akutangulie UTAPATA MAKWAZO MENGI NJIANI THEN UTASHINDWA KUYATATUA COZ UKUMTANGULIZA MUNGU 2..... Kama umtoka umekasilishwa nyumbani na mkeo UTOKUWA SAWA IBADANI 3...Unavo ambiwa ibada njema uanzia nyumbani maana yake FURAHA UTAYO IPATA KANISANI AU MSIKITINI iwe pia au ianzie nyumbani kwako . .......ivo naamini umenielewa na umepatapata maana ya ibada njema uanzia nyumbani.......ila kila MTU ataeleza anavo jua Mimi uelewa wangu umeishia hivo
@joshuamkunda1981
@joshuamkunda1981 4 жыл бұрын
vita yako si kuuumbua kwani vya kaisali mpeni kaisali na vya mungu mpeni mungu
@elishachenya5341
@elishachenya5341 4 жыл бұрын
Mbunge🙄😳🙄🤔🤔🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@samwelalex8417
@samwelalex8417 4 жыл бұрын
🙌🙌🙌🙌
@frankmnale1900
@frankmnale1900 4 жыл бұрын
GwajiBoy .....anafanya maigizo upande wa Bw Yesu....sasa ni yeye na waganga usiku kucha.
@josephgadau8913
@josephgadau8913 4 жыл бұрын
Madale hakuna maji kwani tokea uhuru Ccm walikuwa wapi?
@Lahyzeecrucial
@Lahyzeecrucial 4 жыл бұрын
Na Huyo Halima Mdee anaewakilisha alikuwa wapi siku zote hajalishuhulikia hilo.?
@subirangoleka6572
@subirangoleka6572 4 жыл бұрын
Madale Sasa mumetewa utatuzi wenu MCHAGUENI, huyo mwenyewe ni budget tosha
@michaelluhumbika5924
@michaelluhumbika5924 4 жыл бұрын
Kwahiyo lilikuwa linaongozwa na ccm mbona unajifokea mwenyewe
@samwelinangole2509
@samwelinangole2509 4 жыл бұрын
Umekatakusema ukweli kwenyeneno lá mungu unaenda kusema uongo umekuwa shetani kwasasa bb unam ww
@mataamiry6720
@mataamiry6720 4 жыл бұрын
Kumbe ulikuwa unawaibia watumishi wako tu we msanii tu
@OmanOman-sm6dv
@OmanOman-sm6dv 4 жыл бұрын
Ubunge umeingiliwa😂😂
@leverimlaki5667
@leverimlaki5667 4 жыл бұрын
Kaka na kanisa pia limeingiliwa
@deogratiuskweka8488
@deogratiuskweka8488 4 жыл бұрын
😂😂😂
@masihikalokora17
@masihikalokora17 4 жыл бұрын
Kwenye corona ata wake mliwakimbia Gwajima ndo baba lao
@seifmketo2421
@seifmketo2421 4 жыл бұрын
Ulitaka kuingiliwa ww
@OmanOman-sm6dv
@OmanOman-sm6dv 4 жыл бұрын
@@seifmketo2421 nilitaka aingiliwe baba yako
@majaliwamsigwa3974
@majaliwamsigwa3974 4 жыл бұрын
Naamini wajumvbe walikupa kura mbili Mtumishi wa ufufuo na uzima,mafuta na maji
@paulmadundo8084
@paulmadundo8084 4 жыл бұрын
naona DJ anampigia askofu singeli background huko, rozi muhando/qaswida hazikuwepo kwenye play list yake au ccm mda wote wanawaza ushetwani tu????. Askofu alishasema ametumwa na Mungu agombee nafasi hiyo kwa makusudi maalumu..sasa unapata wapi ujasiri na jeuri ya kucheza singeli DJ??? epuka laana kabla kampeni kuisha
@cyrusmagata9463
@cyrusmagata9463 4 жыл бұрын
Kazi kanisa kahaba eti mchungaji ni mwanasiasa 😭 hii dunia sina la kuongeza
@abellutonja4589
@abellutonja4589 4 жыл бұрын
Msigwa sio mchungaji
@cyrusmagata9463
@cyrusmagata9463 4 жыл бұрын
@@hassanovajunior6972 matusi ni ya nini brother MUNGU akusamehe
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 4 жыл бұрын
Kawe ilipaswa kuwa na huyu mtu longtime.
@moseslee3277
@moseslee3277 4 жыл бұрын
Kweli mtumishi umekosea njia rudi kaendeleze kanisa lako huku huna chako
@wilsonmichael1156
@wilsonmichael1156 4 жыл бұрын
Hapa Gwaji kapita jmn daah! Kura zote za kawe ni zake hahahahaaa....! Ananifurahisha jmn
@erickmsigwa88
@erickmsigwa88 4 жыл бұрын
Matusi uache 🐶
@mcctz3672
@mcctz3672 4 жыл бұрын
Wewe huwezi kuwa mbunge ,wewe ni msaliti tu
@ratifasalumu4021
@ratifasalumu4021 4 жыл бұрын
Uwhiii mbona Kama unahubir
@njikuhr1875
@njikuhr1875 4 жыл бұрын
Waislam mkumbuke kauli yake. Msihisahau kauli yake. Misikiti itageuzwa kuwa madarasa. Wana kawe uraisi mpeni magu. Ubunge pigeni chini uyo
@rinovarthiliwi1314
@rinovarthiliwi1314 4 жыл бұрын
Watanzania lazima mjitambue kuwa CCM wanatumia nguvu za wananchi kujitengenezea jina. Walipa kodi ni Watanzania na wanapolipa kodi hawailipi CCM wanalipa Serekali. Utekelezaji wa miradi ya maendeleo inafanyika kwa kufuata maagizo ya MBUNGE wa jimbo. Hakuna mradi wa jimbo unafanyika bila MBUNGE wa jimbo kuwa na taarifa au kuiagiza Serekali. Hiyo tabia ya CCM ya kuwadanganya Watanzania kuwa wamefanya miradi ya maendeleo waache kabisa. CCM wenyewe kisheria wanatakiwa wakaguliwe kwani wamekuwa na tabia ya kutumia fedha za Serekali kisa tu Mwenyekiti wa chama chao ndio Rais wa nchi. Kodi za Watanzania zinatumika hovyo kwenye kazi za chama cha CCM kwa kuwa wao ndio wameshikilia mpini na Watanzania Makali. Watanzania msikubali hotuba za wana CCM bila kuhoji maswali. Mkiwauliza maswali magumu CCM hawana majibu. Watanzania chagueni wabunge Jasiri wa CHADEMA wanaojua kuihoji Serekali hawa CCM waoga hawatamhoji Magufuli. Askofu mzinifu na hufau kuwa kiongozi wa Siasa. Kama unabaka Kanisani huku mtaani itakuwaje. Lissu ndiye Rais wa Tanzania 2020/2025 mbunge wa CCM hatumhitaji. CCM walikuwa wanatoa miradi yao kwa upendeleo lazima tuwatoe madarakani kwa hiari mkigomea Ikulu tunawatumia G10 na G20.
@kilingahamissi6734
@kilingahamissi6734 4 жыл бұрын
Imeisha hiyo,
@barackhuncho2432
@barackhuncho2432 4 жыл бұрын
Oooooh.... Oooooh...oooh
@themessengertz1237
@themessengertz1237 4 жыл бұрын
Kama Anahubiri ha ha ahaaa haya Sasa
@zakarialugwisha1402
@zakarialugwisha1402 4 жыл бұрын
Nooooooumaaa gwajiboy
@renatusboniphace5812
@renatusboniphace5812 4 жыл бұрын
Tumeanza kufokewa
@reaganlyimo6259
@reaganlyimo6259 4 жыл бұрын
Duh
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 4 жыл бұрын
Bora Mchungaji Gwajima anaongea mikakat ya wananchii siyo wale muda wote wanaogea kugoma na fujo bungeni, mfano wakati wa corona , Hawa ni wapinga maendeleo, ...ni watetezi wa Mafisadi na mabeberu, ni vibaraka.. twende na wazalendo team JPM , hachana na Hawa wapiga deal..
@ephraimkalanje7105
@ephraimkalanje7105 4 жыл бұрын
Sababu za kugoma na kususia bunge zinajulikana! Wenye akili wanafahamu! Wengi wape, sawa, lakini wachache wasikilizwe! Kwetu wachache hawasikilizwi; sana sana hubezwa na kukejeliwa japo wawe na hoja nzuri. Na wachache hao wamechangia mengi tu ya kufanya nchi iende sawa! Na watawala wametumia mawazo mengi tu kujirekebisha! Wachache kuondoka bungeni si uovu wala udhaifu; ni alama ya kuwaonyesha walio wengi kuwa hwakubaliani na mambo ambayo wanayapitisha; ambayo kwa mtazamo wao wanaona hayana tija kwa taifa! Wabunge ni wawakilishi wa wananchi na wasimamizi wa utendaji wa serkali! Bunge la Ndiyooo! Ndiyooo! Ndiyooo!...laweza kisiwe na tija sana kwa maendeleo ya watu!
@ntandumathayo3257
@ntandumathayo3257 4 жыл бұрын
Huna akili ivi mtu anakwambia atatengeneza ajira milion 8 za wanakawe wakati wanakawe wenyewe ukiwahesabu hadi watoto wanaonyonya na ambao hawajazaliwa ambao ni mimba tu ukichua jumla yao hawazidi milion 2 lijinga tu wewe hii ndio umeona mikakati ccm mlishafeli kawe subiri bi kidude akiamshe
@barakafrank1826
@barakafrank1826 4 жыл бұрын
katulie kanisanii bhana we na ubunge wapi na wapi unadhani huyo mdee ni bashitee
@mybabyarchive2104
@mybabyarchive2104 4 жыл бұрын
Gwajima umepanic
@amedemassae4641
@amedemassae4641 4 жыл бұрын
Siasa imevamiwa
@ibrahimharuna4362
@ibrahimharuna4362 4 жыл бұрын
Anajisahau anadjan Yuko kanisani kudanganya waumini wake Sasa kaingia kitaa Cha WATOTO wa kihuni wenye uelewa na experience ya hali ya juu sana ya JIMBO LA KAWE,namshaur asijisahau kuwa hiyo ni KINO NDO NII.
@godlovemasamakibatandu2092
@godlovemasamakibatandu2092 4 жыл бұрын
ukiona kanisa linaanza kufuata ya dunia,ujue hakuna kitu hapo,utaperi umekuwa kizazi hiki,shetani kajigeuza kanisani na kuwa malaika wa nuru.kanisa lote wamekuwa ccm?jambo la ajabu sana hata mkiwa familia moja mtapishana mtazamo,leo kanisa la kibiashara kama hilo? believe me hapo hakuna mungu ila kuna mitaji ya gwajima
@danielonyango7234
@danielonyango7234 4 жыл бұрын
Mzee wa kupenyapenya huwa unapenya kwenye vingi 😁😁😁
@noelilyatuu8129
@noelilyatuu8129 4 жыл бұрын
Hahahahaha
@mainaimma1114
@mainaimma1114 4 жыл бұрын
Makongo juu ata amzungumzii barabara
@hamisiizadini3938
@hamisiizadini3938 4 жыл бұрын
Acha unafiki wewe sio mtumishi wa mungu... Fisadi unaibia kondoo na kuwala kabisa
@amanihamisiwajiingainawaum6691
@amanihamisiwajiingainawaum6691 4 жыл бұрын
We ni mhubiri unatoa Sera kama unaombea watu ubunge haukufai Sasa
@georgemwapela1654
@georgemwapela1654 4 жыл бұрын
Hawajalipwa na Nani???
@justinekashiriririka8690
@justinekashiriririka8690 4 жыл бұрын
Uzinzi vip utauzibiti vip
@gangmore9091
@gangmore9091 4 жыл бұрын
Njoo muone mbweni y zanzibar
@ibrahimuayubu4843
@ibrahimuayubu4843 4 жыл бұрын
Wewe ilitakiwa uuboleshe uchungaji wko tu ubunge haukufai
@johnyty498
@johnyty498 4 жыл бұрын
Jamaa anabwajaja kama yupo kanisan
@cyprianshayo4044
@cyprianshayo4044 4 жыл бұрын
LAANA INAKUTAFUNAAAAAAAAAAA
@ratifasalumu4021
@ratifasalumu4021 4 жыл бұрын
Naona wajumbe hawakuwa naimani naww sasa wanainchi tutakupa kula moja tu
@joshuamkunda1981
@joshuamkunda1981 4 жыл бұрын
dini na siasi katu haviendani tosheka.
@saidali6386
@saidali6386 4 жыл бұрын
gwajima huna mipango janja janja tu
@seifmketo2421
@seifmketo2421 4 жыл бұрын
Mbona weye mwenye mipango hujagombea
@noelilyatuu8129
@noelilyatuu8129 4 жыл бұрын
Hana jipya
@massoudsultan3926
@massoudsultan3926 4 жыл бұрын
WAJUMBE HAWANA LAWAMA KITI KIMEPOTEA
@noelilyatuu8129
@noelilyatuu8129 4 жыл бұрын
Sana tu
@polepolemgentz5784
@polepolemgentz5784 4 жыл бұрын
Leo unakatakakacheo kadogo
@issakapemba6115
@issakapemba6115 4 жыл бұрын
Hakuna kitu hapo
@chujulee25
@chujulee25 4 жыл бұрын
Nikiwa mbunge nyeto mtaishi ulaya
@daudyusufu6666
@daudyusufu6666 4 жыл бұрын
Unajidanganya
@temkezatv4381
@temkezatv4381 4 жыл бұрын
"Tanzania Kwanza Mengine baadae jpm nambari 1 Katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza Kinacho tukwamisha maishani! Sio kile kitu tusichonacho! HAPANA nikile tulichonacho hatujui namna ya kukitumia wananchi WANAHITAJI KIONGOZI BORA NA SI BORA KIONGOZI
@ratifasalumu4021
@ratifasalumu4021 4 жыл бұрын
Bunge bila upinzani nisawa na hamnakitu tunataka upnzani uwepo na maendeleo yawepo
@zakarialugwisha1402
@zakarialugwisha1402 4 жыл бұрын
Tunatamani uje buchosa
@asmanmwaliyego4954
@asmanmwaliyego4954 4 жыл бұрын
Acha tamaa wewe nimchaw SIO mchungaji unataka vyeo had kumi wewe niyuda
@danielspatrick8611
@danielspatrick8611 4 жыл бұрын
Hao watu wote ni waumini wa kanisa lake hakuna mwana Kawe hapo wote ni waumini ambao makazi yao ni gongo la mboto
@masihikalokora17
@masihikalokora17 4 жыл бұрын
Basi kama wote ni wahumini hao basi Gwajima ni mtu hatari kwa ushawishi
@danielspatrick8611
@danielspatrick8611 4 жыл бұрын
@@masihikalokora17 Leo kulikuwa na gari 23 (Heicher) zimebeba watu kupeleka kwenye mkutano
@mkamariamstaarabu4931
@mkamariamstaarabu4931 4 жыл бұрын
Hahahahaha dah sio poa
@festuschunya7067
@festuschunya7067 4 жыл бұрын
Wewe ni mvamizi ndio.
@hktztv6519
@hktztv6519 4 жыл бұрын
TUNDULISU aibua ufisadi unaofanywa na CCM AMTAJA NA MAREHEM MH. MKAPA 👇👇👇👇👇👇 kzbin.info/www/bejne/boaThXiLg7Wgotk
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 4 жыл бұрын
Mavi wewe
@samsonyemmanuel5160
@samsonyemmanuel5160 4 жыл бұрын
Ubunge kiukweli huwezi kuupata mbele ya Mdee hilo nikwambie ukweli Mzee
@japhetjames9776
@japhetjames9776 4 жыл бұрын
Huyu nae hajuw siasa anaonge sana
@ellythoby.1859
@ellythoby.1859 4 жыл бұрын
Sasa alitakiwa afanyaje😂😂😂 siasa ni porojo na io ndo porojo yenyewe sasa
@danieljulius4708
@danieljulius4708 4 жыл бұрын
Siasa ni kuandika???
@festochimulimuli8229
@festochimulimuli8229 4 жыл бұрын
Gwajima Ana taka kulinda Malizake Ndio mana Anataka Ubunge Tazama Ujionee Apa Usisau Ku subscriber kzbin.info/www/bejne/jIeagWhsl8-Mfq8
@joshuamkunda1981
@joshuamkunda1981 4 жыл бұрын
hebu niache comend yangu hapa nikiwa hai kifupi sikupendi kaaaaaabisa sijui damu tu au sauti yako na matendo yako
@faustinilymo1156
@faustinilymo1156 4 жыл бұрын
hahahahahahaha mmesahau kauli yake alisemaga yeye nizaidi ya rais sasa ubunge tena iyooo vepiiiiiiiii hafu mwanaume habishani na demuuuuuuuuuuuu tatizoooo iloooo
@tulizosteven3193
@tulizosteven3193 4 жыл бұрын
Halima nakuombea upite
@masihikalokora17
@masihikalokora17 4 жыл бұрын
Apite wapi
@tulizosteven3193
@tulizosteven3193 4 жыл бұрын
Anakopitaga
@annamulungu2876
@annamulungu2876 4 жыл бұрын
Halima hapiti ng'o. Mtasubiri sana😂😂
@tulizosteven3193
@tulizosteven3193 4 жыл бұрын
Sijakuita
@minskbelarus7255
@minskbelarus7255 4 жыл бұрын
@@tulizosteven3193 TULIA dawa iingie. Usisahau MATUSI🙄🙄🙄🙄
@paulinagaudenci6091
@paulinagaudenci6091 4 жыл бұрын
Mdee oyeeeeeeee
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 4 жыл бұрын
Mavi YAKO
@rashidyishika2276
@rashidyishika2276 4 жыл бұрын
Mbn watu wachache mnoo
@emmanuellnason6997
@emmanuellnason6997 4 жыл бұрын
Nais jmbo frani
@ramadhanmwandambotuntufye5972
@ramadhanmwandambotuntufye5972 4 жыл бұрын
Watu wachacheeeeeeeeeee
@masihikalokora17
@masihikalokora17 4 жыл бұрын
Kama unavyoona kwa uchache na maisha yako yawe na uchache
@noelilyatuu8129
@noelilyatuu8129 4 жыл бұрын
Hahahahahaha
A Conversation with President Lula Da Silva and Bill Gates
17:12
GatesFoundation
Рет қаралды 3,1 М.
ДЕНЬ УЧИТЕЛЯ В ШКОЛЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 3,9 МЛН
Synyptas 4 | Жігіттер сынып қалды| 3 Bolim
19:27
kak budto
Рет қаралды 1,2 МЛН
Сюрприз для Златы на день рождения
00:10
Victoria Portfolio
Рет қаралды 1,4 МЛН
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Fighting Spirit
Рет қаралды 6 МЛН
How the Most Elite Spy Agency Operates
22:42
Newsthink
Рет қаралды 1,8 МЛН
Donnie Yen vs. Mike Tyson HD | Ip Man 3 (2015)
5:03
Gabriel Thum
Рет қаралды 739 М.
The Iran-Iraq War, Mapped
21:02
Johnny Harris
Рет қаралды 2,8 МЛН
ДЕНЬ УЧИТЕЛЯ В ШКОЛЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 3,9 МЛН