Gwiji la kupuliza Tarumbeta Super Volcano na bendi za Wanyika Saidi Makelele - Part - 1

  Рет қаралды 6,698

MUZIKI NA WANAMUZIKI

MUZIKI NA WANAMUZIKI

Күн бұрын

Пікірлер: 18
@mshanguzontulwe1068
@mshanguzontulwe1068 4 ай бұрын
Simulizi nzuri sana na imejitosheleza kutoka katika chanzo cha asili! Inapendeza!
@KhamismussaBwende
@KhamismussaBwende 3 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@Msengesi96
@Msengesi96 Ай бұрын
Great keep it up Adam
@alfredmarti3131
@alfredmarti3131 Жыл бұрын
Such a story teller
@khalifasaid7695
@khalifasaid7695 2 жыл бұрын
Tuwekee picha ya Saidi Makelele.hii ilopo haioneshi vizuri
@suleilammasanja-fm9ou
@suleilammasanja-fm9ou Жыл бұрын
Safi kbs mtafute na muimbaji waliokua akiimba sambamba na mbaraka
@shabanimnondwa6094
@shabanimnondwa6094 6 ай бұрын
Saidi Makelele anajua kujieleza pia ana kumbukumbu sana ya mambo ambayo aliyafanya zamani .kati ya watu ambao walifanya mahojiano na Adam Zuberi huyu bwana anastahili sifa kwa kujieleza na Adam Zuberi pia anjua kuulizia maswali .Hongereni sana kutupa madini adimu
@Msengesi96
@Msengesi96 3 жыл бұрын
Great 👍
@meddywizzy7756
@meddywizzy7756 3 жыл бұрын
big up baba yangu mungu akujaalie afya njema azidi kukuweka uzidi kutupa madini mazuri kizazi chetu..king of trumpert🎺🎺
@alfredmarti3131
@alfredmarti3131 Жыл бұрын
Inasikitisha mahojiano ya namna hii ni nadra. Historia muhimu za kimuziki zinapotea.
@helpers10
@helpers10 Жыл бұрын
Huyo Wilson inawezekana amehusika katika kifo Cha Mbaraka kutokana na ugomvi wao.
@papaogutu
@papaogutu Жыл бұрын
Mbaraka mwinshehe alifariki kwa accident barabarani Mombasa, inakuwaje madai ya aliuliwa??
@helpers10
@helpers10 Жыл бұрын
@@papaogutu Hujui kama ajali zinaweza kuwa staged?
@saidalsalmi9313
@saidalsalmi9313 2 жыл бұрын
Huyu Said Makelele anafaa aindike kitabu story zake za music ni hazina tosha.
@khalifasaid7695
@khalifasaid7695 2 жыл бұрын
Kipindi kizuri sana.tunahitaji kumuona said makelele.picha yake
@khalifasaid7695
@khalifasaid7695 2 жыл бұрын
Adam tupatie picha ya Said Makelele na hata wapigaji wengine wa Super volcano
@MUZIKINAWANAMUZIKI
@MUZIKINAWANAMUZIKI 2 жыл бұрын
Sawa nitakutafutia
@abdulbakari5467
@abdulbakari5467 3 жыл бұрын
Kipindi muruwa sana hiki
Who’s the Real Dad Doll Squid? Can You Guess in 60 Seconds? | Roblox 3D
00:34
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 269 #shorts
00:26
Tsimba Mumvura
10:44
Senator Tichareva
Рет қаралды 2,8 М.
CELINE DION - ALBUM / Grandes Éxitos Inmortal De CELINE DION 20 Éxitos
1:21:37
Afro (mama oh)
7:41
Bongo Records
Рет қаралды 57 М.
Mbaraka Mwinshehe & Super Volcano - Mseto Club Bingwa (1975)
1:34
ZILIPENDWA TANZANIA
Рет қаралды 476
Juma Ubao "King Makusa" - Kipini cha dhahabu na mpunga wa kisele...
23:28
MUZIKI NA WANAMUZIKI
Рет қаралды 9 М.
Who’s the Real Dad Doll Squid? Can You Guess in 60 Seconds? | Roblox 3D
00:34