Inna lilahi wainna ilaiyhi rajiun tunamuomba Allah ampokee hali yakua amemridhia tuweni pole
@MohsinAli-nl7jk8 ай бұрын
Allah ampe shifaa mqpema na ampe khatma njema. kwani kila Mmoja wetu teseme Aamin
@KhizirSuleiman9 ай бұрын
Inasikiyisha sana kwasisi waisilamu inatuuma sana
@AbubakaliShabani8 ай бұрын
Allahu akubariki mzee wetu umetufunuwa maana uwisirama unechezewa sana
@rshidmwasa84934 ай бұрын
Kumbe ndio huyu mzee Bilal waikela daaah
@AmaniKwanza4 ай бұрын
Huyu mzee Allah alimjaalia fahamu zake kamili mashaalah
@MohsinAli-nl7jk8 ай бұрын
Kila wema wako UNAHESABIWA" Mbele ya hesabu kwa MOLA kila mmoja TUJIFUNZE KWA HAYA
@AbubakaliShabani8 ай бұрын
Natamani nikutane na huyu mzee allahu akupe mwisho mwema Yani Ranatullahi kwa wapinga uwisirama
@hatibukaoneka6623 Жыл бұрын
Waisllmu tusirudie mkosa km hya y kukubli kuwanywa
@kasimujafu16959 ай бұрын
Allah atalipa kwa kila matendo.
@sylviaratemo17384 ай бұрын
JE mambo ya ukristo ilikuje
@MengiRashidy9 ай бұрын
Uchochezi wapi wewe sisi tunajikimbusha dini ya uisram inasema kulazimishwa kwenye dini kuna katazwa wewe ukilinganiwa kwenye uisram kama umeelewa utaingia utaki basi
@abiboseleman16499 ай бұрын
Huu ni uchochez km uchochez mwengine kuweni makini
@saidabeidally14019 ай бұрын
uchochezi ni kukataa kujua ukweli, hii ni live history huitaki kwa sababu ya uchochezi amesema kweli Allah, lakini watu wengi hawapendi ukweli na haki.
@batulialmass89149 ай бұрын
Uchochezi gani acha mambo yako wewe
@simonmchali6629 ай бұрын
Kuna wakati penda kujifunza tu, kuna vitu vingi vilivyopita ambavyo sisi hatuna namna ya kuvijua tusipowasikiliza waliotutangulia
@CatherineLekule-l7z29 күн бұрын
Kaka kama huijui history Huna cha kujifunza nenda insta huku hukuwezi na wewe ndo wale mnaolishwa history iliyoandikwa na wazungu