GWM ft. Mr II Sugu | Yamenikuta

  Рет қаралды 31,538

OLDSKUL ADIMU ZA BONGO

OLDSKUL ADIMU ZA BONGO

3 жыл бұрын

GWM (Gangster With Matatizo) ni kundi lilikokuwa linaundwa kwa ushirikiano wa wasanii wawili ambao ni KR na D Chief.
Mnamo mwaka 2000 waliachia albamu yao ya kwanza iliyokwenda kwa jina la Mikosi.
Baadhi ya Nyimbo zilizopatikana katika albamu hiyo ni kama ifuafavyo;
👉 Yamenikuta ft Mr II(Sugu)
👉 Bwana Kidevu ft G Solo & Mc Steave
👉 Mguu Nje Mguu Ndani ft Balozi Dolla Soul
👉 Kipe Kitu
👉 Mikosi ft Drez
👉 Mwenye Nyumba ft Drez
👉 Machizi Wangu ft Sloughter
.......
DISCLAIMER:
No copyright infringement intended.
I do not own the audio in this video. They belong to their rightful owners.

Пікірлер: 41
@iddisururu5553
@iddisururu5553 2 ай бұрын
Nipo kidato cha nne kipindi hicho😂 2000 # cheza mbali na kasheshe🙂🙂😀 1998😊
@asserymmary2696
@asserymmary2696 Жыл бұрын
Verse perfect Chorus. Perfect Theme. Perfect Drums Perfect Message Sent
@mkanjinjikalembo8878
@mkanjinjikalembo8878 2 жыл бұрын
Haiwezi kuwa tena kama ilivo kuwa hii,,much respect Gwm mazimwi. Massive respect Muheshimiwa Sugu jongwe...hahaha Hip hop hakuna tena bongo
@mohamedhamisi9766
@mohamedhamisi9766 Жыл бұрын
Nakumbuka tulichukaa kanda kwa uncle kitambo sana 1998 hii ndio ilikua real hip hop watu wanapita humo kigumu sana
@husseinmaingo5009
@husseinmaingo5009 8 ай бұрын
Daaaaaah aise siku hazirud nyuma aise nimekumbuka sana
@fredkangethe7497
@fredkangethe7497 Жыл бұрын
Yamenikuta jameni 29/07/2022. Weeee hii ilikuwa moto back 1997
@victormoshi297
@victormoshi297 2 ай бұрын
2024 dah
@husseinmaingo5009
@husseinmaingo5009 8 ай бұрын
Daaaaaah aise siku hazirud nyuma nimekumbuka sana
@SoFrii
@SoFrii 3 жыл бұрын
Ahsante kwa kupandisha hii Angola... Kitambo sana!
@oldskuladimuzabongo8873
@oldskuladimuzabongo8873 3 жыл бұрын
Sana Mzee
@bigshipsounds
@bigshipsounds Жыл бұрын
salute from kenya
@ndungondungozingapamba9904
@ndungondungozingapamba9904 2 жыл бұрын
Long time baba akee
@raphaelkimanyilo8986
@raphaelkimanyilo8986 Жыл бұрын
Respect to legends Gwm ft Sugu way back 97 yamenikuta
@RasheedaHussein-cs7hi
@RasheedaHussein-cs7hi 10 ай бұрын
Verse 1 fire
@jonathandaud2584
@jonathandaud2584 2 жыл бұрын
Hiyo verse ya kwanza jamaa alichana Kama hataki vile utadhan kurap Kaz rahis anavyonata na beat,,daah kichwan Sana mwamba
@thehunter5920
@thehunter5920 4 ай бұрын
Ni nani
@stevenmamba5210
@stevenmamba5210 Ай бұрын
D chif​@@thehunter5920
@Peterjofley-hq9yk
@Peterjofley-hq9yk 6 ай бұрын
Hii ndio nyimbo ya kwanza kupigwa kipindi tofauti na DJ show
@saeedmassoud256
@saeedmassoud256 2 жыл бұрын
Long time
@youngdula5409
@youngdula5409 2 ай бұрын
Mzee mwenzangu wamenikuta
@lemburismunuo4539
@lemburismunuo4539 8 ай бұрын
the quality of this beat...longlive bonnieluv
@Fingolee
@Fingolee 2 жыл бұрын
When rappers measured by relevant of their lyrics
@ismailmshana2828
@ismailmshana2828 2 жыл бұрын
Iko wapi hip hop hii respect kwenu wakuu
@oldskuladimuzabongo8873
@oldskuladimuzabongo8873 2 жыл бұрын
🔥🔥👊
@rockcitynative9985
@rockcitynative9985 Жыл бұрын
Wabanapua wameihujumu😎
@SaidSheban
@SaidSheban 4 ай бұрын
Daah long time sana, Real Hip Hop.
@emmanuelmwakapugi8322
@emmanuelmwakapugi8322 2 жыл бұрын
.. listening 2022
@toshizohijikata9164
@toshizohijikata9164 Жыл бұрын
Dege lisiloliwa Fyah
@sebastianmwita9149
@sebastianmwita9149 8 ай бұрын
Majitu, Gángster With Matatizo😂😂😂😂
@JJ-fb9jp
@JJ-fb9jp Жыл бұрын
Mazimwi 🔥🔥🔥
@ndungondungozingapamba9904
@ndungondungozingapamba9904 2 жыл бұрын
Awee
@rahmasultan9422
@rahmasultan9422 2 жыл бұрын
Kakanyaga miwaya
@petermangama330
@petermangama330 Жыл бұрын
Has contracted HIV
@sebastianmwita9149
@sebastianmwita9149 8 ай бұрын
Dege lisiloliwa ( BUNDI)
@edwinchisala4954
@edwinchisala4954 6 ай бұрын
Kipindi hicho wanarekodi kwa kutumia FL
@boniventuremlay3304
@boniventuremlay3304 2 жыл бұрын
Sitaki demu
@alexdugo-fq8gq
@alexdugo-fq8gq 10 ай бұрын
✌️✌️✌️✌️
@wazirmlogi7532
@wazirmlogi7532 2 жыл бұрын
Kwa enzi izoo ili lilikuwa no bonge la beat
@boniventuremlay3304
@boniventuremlay3304 2 жыл бұрын
Tmk wanaume
@mohamedhamisi9766
@mohamedhamisi9766 Ай бұрын
KR mullar kitambo
@chachamachera2804
@chachamachera2804 2 жыл бұрын
L
OCG -Ni Kazeze
6:22
BONGO ZA KITAMBO
Рет қаралды 10 М.
HOW DID HE WIN? 😱
00:33
Topper Guild
Рет қаралды 42 МЛН
孩子多的烦恼?#火影忍者 #家庭 #佐助
00:31
火影忍者一家
Рет қаралды 50 МЛН
Каха и суп
00:39
К-Media
Рет қаралды 5 МЛН
GANGWE MOBB - NJE NDANI #Bongoflavakitambo
4:17
Ngoma Genius
Рет қаралды 33 М.
SUGU   MIKONONI MWA POLISI
4:03
Sugu
Рет қаралды 11 М.
GWM - KIPE KITU
3:01
OLDSKUL ADIMU ZA BONGO
Рет қаралды 6 М.
Sugu  -  Moto Chini
4:27
Sugu
Рет қаралды 72 М.
The Incredible (feat. Izzo Bizness, Chidi Beenz, Stereo Singasinga) (Remix)
5:17
One The Incredible - Topic
Рет қаралды 63 М.
HUU MZIKI ' MR II SUGU ' ANTIVIRUS VOL II
4:29
Peen lawyer I KinegaX
Рет қаралды 32 М.
Joint Mobb ft Juma Nature | Mtani Jirani
4:16
OLDSKUL ADIMU ZA BONGO
Рет қаралды 23 М.
Elimu dunia (feat. Daz nundaz)
5:06
Dominick DM7 - Topic
Рет қаралды 22 М.
Mh Joseph Mbilinyi Sugu (Ringa)  ft Ngwear & Dr Levy
4:06
The Navigator
Рет қаралды 52 М.
HOW DID HE WIN? 😱
00:33
Topper Guild
Рет қаралды 42 МЛН