TAMASHA LA BURUDANI KWA MASHABIKI KINEGA SUGU MOTO CHINI LIVE ANTIVIRUS | SWAHILI ORIGINAL

  Рет қаралды 39,175

Peen lawyer I KinegaX

Peen lawyer I KinegaX

12 жыл бұрын

Hii ndio jinsi sugu alivyoingia na kufanya mambo live mbele ya mashabiki ma elfu ya kishuhudia michano.
NI FURAHA KUBWA SANA KUONA MASHABIKI WAKIPIGA MAKOFI,,HAIJAWAHI KUTOKEA,MA ELFU YA WATU KUIMBA NYIMBO ZA WASANII WA ANTIVIRUS NA PIA KUFANYA KAMA VILE WANAVYO AMBIWA NA WASANII AMBAO WANAPAFOMU..!zaidi nenda www.swahilioriginaltz.com

Пікірлер: 37
@kifanyaliwengi2281
@kifanyaliwengi2281 Жыл бұрын
Hii kitu sitaweza Sahau kabisa nilikuwepo hapo that day 2011 mbele kabisa.. Ustawi wa jamii sinza
@shyneafya2468
@shyneafya2468 2 жыл бұрын
bado naicheki show ya sugu 3/6/2022
@skulfees5453
@skulfees5453 Жыл бұрын
Me to massive kali sana all the way from kenya
@pascarmwatosya5855
@pascarmwatosya5855 6 жыл бұрын
Safiii sanaaa bonge la shooo
@sebo552
@sebo552 12 жыл бұрын
This Dude is bad Newz....hahaha,i remember thoz days when Prof J,Mwana FA were waiting on the qua e while the guy banging all over,he really deserves some respect
@asajilemartine3397
@asajilemartine3397 2 жыл бұрын
JOGWE the best ever to grace the game
@kaundasutikaunda7769
@kaundasutikaunda7769 9 жыл бұрын
nimemiss sana Vinega movement ...plz guys bring it bana...
@skulfees5453
@skulfees5453 Жыл бұрын
Hakuna Show kali kama hio jamaaa Bongo mzimaaa
@thommyocachu165
@thommyocachu165 4 жыл бұрын
2020 still supporting the movt
@issahamis581
@issahamis581 10 ай бұрын
izee Sana myhamwezi
@pascalgodfrey686
@pascalgodfrey686 8 жыл бұрын
Hii show sinto isahau...nilikuwa na jamaa zangu...mimi ndio napeperusha hiyo Flag ya Tz hapo.... Kipindi hicho clouds media tuliwajambisha vibaya vibaya.......HATARIIIII
@CoachHafidh
@CoachHafidh Жыл бұрын
Umetishaaa
@mandelasamson8401
@mandelasamson8401 8 ай бұрын
My big rapper ever
@benjamincharles6137
@benjamincharles6137 11 жыл бұрын
nimeipenda sana hyo ki2
@leolaswai2762
@leolaswai2762 7 жыл бұрын
it was real a smash.... ustawi.... vinega mvt.
@ericsamuel2217
@ericsamuel2217 4 жыл бұрын
naikumbuka show hii ilikuwa kali halafu clouds yao ilibuma wakaja kwenye vinega hahahahaaa
@josedickson6804
@josedickson6804 3 жыл бұрын
Utabaki kuwa legendary
@hasheemdc8172
@hasheemdc8172 2 жыл бұрын
Naikumbuka sana hii siku tulienjoy sana kijitonyama
@emmanueljudas4522
@emmanueljudas4522 Ай бұрын
Sugu .. moto chini
@rizikiist
@rizikiist 12 жыл бұрын
i appreciate antivirus keep it up
@ernestlaizer3753
@ernestlaizer3753 6 жыл бұрын
It was really amazing!!
@masoudabdillah7668
@masoudabdillah7668 5 жыл бұрын
Mtu wa watu sugu
@eliasnsimba5976
@eliasnsimba5976 5 жыл бұрын
Noma sana nilikuwepo hapo,hiyo na clauds nao wakaandaa tamasha lao,kulikuwa na beef kali
@FreddyLemapoorme
@FreddyLemapoorme 8 жыл бұрын
yes!!! i was on the floor this day
@alistairelias536
@alistairelias536 5 жыл бұрын
Sugu alikamua siku hiyo aisee!
@kedyjohn1848
@kedyjohn1848 4 жыл бұрын
Huu mwamba ni wa hatari mnooo.
@jonathanmzava1804
@jonathanmzava1804 2 жыл бұрын
Legend
@zinkony
@zinkony 12 жыл бұрын
Maaaaaadddd!! Big up unuself!!!!
@djbobnas7824
@djbobnas7824 9 жыл бұрын
shidaaa
@AllyMawazo-ve9qc
@AllyMawazo-ve9qc 2 ай бұрын
2024 hii shw sugu aliua
@simonnembomadola7512
@simonnembomadola7512 2 жыл бұрын
Hili Tamasha ilibidi Ruge aombe po
@jacobchibulunje7304
@jacobchibulunje7304 12 жыл бұрын
fuull
@OmariKwihamno-is9st
@OmariKwihamno-is9st Ай бұрын
Ndio nakumbuka ruge alimleta Dmx dar kilichotokea kuleposta aibu
@AllyMawazo-ve9qc
@AllyMawazo-ve9qc 2 ай бұрын
Hii ndo ilikua beef kweli sasa ant virus na kinega kule ruge na clouds
Vinega - Antivirus volume 2  (2011) Mixtape Nzima
1:10:39
Peen lawyer I KinegaX
Рет қаралды 2,3 М.
Sugu- nipo mikononi mwa polisi
4:06
TECHS TV
Рет қаралды 43 М.
1❤️
00:17
Nonomen ノノメン
Рет қаралды 9 МЛН
HUU MZIKI ' MR II SUGU ' ANTIVIRUS VOL II
4:29
Peen lawyer I KinegaX
Рет қаралды 32 М.
Sugu  -  Moto Chini
4:27
Sugu
Рет қаралды 71 М.
SUGU ALIVYOFUNIKA NDANI YA DAR LIVE
7:25
Global TV Online
Рет қаралды 35 М.
Sugu - Freedom ( Official Music Video )
3:49
Sugu Mr. II
Рет қаралды 360 М.
Mr. II aka Sugu Feat Stara
3:57
King Kinjikitile
Рет қаралды 137 М.
2proud ak.a Mr II,Sugu,Jongwe- Ni wapi tunakwenda1996
1:55
Alizona Theostell59
Рет қаралды 9 М.
Moto chini
2:13
sumz81
Рет қаралды 103 М.
IL’HAN - Eski suret (official video) 2024
4:00
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 805 М.
Ozoda - JAVOHIR ( Official Music Video )
6:37
Ozoda
Рет қаралды 9 МЛН
Duman - Баяғыдай
3:24
Duman Marat
Рет қаралды 151 М.
Sadraddin - Jauap bar ma? | Official Music Video
2:53
SADRADDIN
Рет қаралды 5 МЛН
Janona
4:09
Release - Topic
Рет қаралды 1,1 МЛН
ҮЗДІКСІЗ КҮТКЕНІМ
2:58
Sanzhar - Topic
Рет қаралды 5 МЛН