Joint Mobb ft Juma Nature | Mtani Jirani

  Рет қаралды 24,584

OLDSKUL ADIMU ZA BONGO

OLDSKUL ADIMU ZA BONGO

3 жыл бұрын

Joint Mobb moja ya makundi ya kwanza kufanya vizuri enzi hizo yaliundwa na wasanii wawili ambao ni RICH ONE na MASTER VEPA. Mtani jirani ni wimbo uliopatikana katika album yao ya KITINDA MIMBA na huu ndo wimbo ambao unatajwa kumtambulisha JUMA NATURE vyema kwenye masikio ya watu wengi enzi hizo zaidi ya wimbo wa Kighetto ghetto alioshirikishwa na WABABE CRANK.
DISCLAIMER:
No copyright infringement intended.
I do not own the audio in this video. They belong to their rightful owners.

Пікірлер: 38
@saidmtutuma1507
@saidmtutuma1507 17 күн бұрын
P funk majani ni noma
@shabanrufumbo3701
@shabanrufumbo3701 2 жыл бұрын
nature nakuita tena juma nature! mkali wewe jamaaa respect broo
@christopherkihiyo2964
@christopherkihiyo2964 2 ай бұрын
Old iz gold 😊
@siddyoneonlinesi5433
@siddyoneonlinesi5433 2 жыл бұрын
Hii ngoma nimeitafuta sana
@user-ih1fs3qu3u
@user-ih1fs3qu3u 7 ай бұрын
Kitambo sana joint mobb x kiroboto
@mariamuhady6257
@mariamuhady6257 2 жыл бұрын
Nature ulikuwa unatisha kwa kiitikio
@emmanuelmtatiro8429
@emmanuelmtatiro8429 Жыл бұрын
Acha kabisa kitu hit enzi hizo
@dadyshunaydah9421
@dadyshunaydah9421 3 жыл бұрын
Old Skool..,Shule Kongwe..,Mtaani Jirani {Tutoe Adhabu Gani Juu Ya Hawa Wanaoturoga}
@oldskuladimuzabongo8873
@oldskuladimuzabongo8873 2 жыл бұрын
Shule Kongwe🔥🔥🔥🔥
@ibrahimmalo4839
@ibrahimmalo4839 Жыл бұрын
2023 memories
@maimamelody
@maimamelody 5 ай бұрын
Salute sana,kuna Ngoma flani MADOGO WASILI SOJA DOGO TICHA TU MATANGANI,MIKA MWAMBA TUPE UBANI TUPELEKE MSIBANI, Naomb tutafutie hiyo ngoma chief
@husseinmtangwele5990
@husseinmtangwele5990 3 жыл бұрын
remind me mbali sana
@abelraston3887
@abelraston3887 2 жыл бұрын
Ana salam za mbali mtu wa kijicho cha mbuzi ...
@kaisijamaldini2358
@kaisijamaldini2358 10 ай бұрын
Sir natureeeee
@rehemakarafuu-xi1py
@rehemakarafuu-xi1py 5 ай бұрын
sir nature much respect sema bongo heshima yenu hamupew
@CoachHafidh
@CoachHafidh 2 жыл бұрын
Olla wanangu old skull wanangu kuna goma moja la nature laitwa "ustaarabu"...nalisaka siku nyingi
@oldskuladimuzabongo8873
@oldskuladimuzabongo8873 2 жыл бұрын
Oiii
@eddyology7304
@eddyology7304 2 жыл бұрын
Juma Kassim Kiroboto mkali wa chorus
@jemsimakondo6261
@jemsimakondo6261 Жыл бұрын
Long time 2001 nipo bwen met mafinga
@kenybenjiz7850
@kenybenjiz7850 3 жыл бұрын
2021 naisikiliza
@benedictmsami4966
@benedictmsami4966 3 ай бұрын
😂😂😂 here you are
@mshangaf1726
@mshangaf1726 3 жыл бұрын
joint mobb ndio kina rich one kizazi jeuri
@oldskuladimuzabongo8873
@oldskuladimuzabongo8873 3 жыл бұрын
Ndio ndio
@eddiemohamed9003
@eddiemohamed9003 6 ай бұрын
Hii Ngoma Hina nikumbusha mbali sana😔🤣🤣🤣👏👏👏👏👏👊👊
@user-ih1fs3qu3u
@user-ih1fs3qu3u 7 ай бұрын
2001/2002 joint mobb x Nature mlitisha
@CoachHafidh
@CoachHafidh 3 жыл бұрын
Typical Tanzanian music✊💯
@oldskuladimuzabongo8873
@oldskuladimuzabongo8873 3 жыл бұрын
👊👊✌
@emmanuelsimon3456
@emmanuelsimon3456 Жыл бұрын
Hii ngoma ndo naipata leo daaah thanx shetta umeiimba tyu nimeikumbuka hii kazi
@oldskuladimuzabongo8873
@oldskuladimuzabongo8873 Жыл бұрын
Kaiimba wapi?
@emmanuelsimon3456
@emmanuelsimon3456 Жыл бұрын
@@oldskuladimuzabongo8873 ukimaanisha mkoa au ??
@oldskuladimuzabongo8873
@oldskuladimuzabongo8873 Жыл бұрын
@@emmanuelsimon3456 hapana, redioni, insta, ama?
@emmanuelsimon3456
@emmanuelsimon3456 Жыл бұрын
@@oldskuladimuzabongo8873 old is gold always
@shijarichardshija8458
@shijarichardshija8458 2 жыл бұрын
Juma Kassim Kiroboto SIR NATURE
@oldskuladimuzabongo8873
@oldskuladimuzabongo8873 2 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥
@iddikazimoto2247
@iddikazimoto2247 3 жыл бұрын
🔥🔥
@eddiemohamed9003
@eddiemohamed9003 6 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@brunokimaro1053
@brunokimaro1053 2 жыл бұрын
Noma
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 3 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌
Wachuja Nafaka Feat. KSouth | Mapato
5:21
OLDSKUL ADIMU ZA BONGO
Рет қаралды 19 М.
Harley Quinn's revenge plan!!!#Harley Quinn #joker
00:59
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 7 МЛН
A little girl was shy at her first ballet lesson #shorts
00:35
Fabiosa Animated
Рет қаралды 22 МЛН
Manduli Mobb (Temba & Daz P) Feat. Juma Nature | Maskini Jeuri
3:51
OLDSKUL ADIMU ZA BONGO
Рет қаралды 42 М.
Gwear ft juma nature & KR-msela audio
3:56
Jerome INK
Рет қаралды 61 М.
GWM ft. Mr II Sugu | Yamenikuta
3:41
OLDSKUL ADIMU ZA BONGO
Рет қаралды 32 М.
JUMA NATURE - MUGAMBO
3:31
gasper gwanchele
Рет қаралды 71 М.
Geez mabovu   Mtoto wa Kiume
4:15
brian haule
Рет қаралды 375 М.
Ong Bak | Fight Club Scene
15:05
Cinewatch
Рет қаралды 70 МЛН
Jay Moe  Kama Unataka Demu Ft Solo Thang
5:22
Bantu Mc's
Рет қаралды 99 М.
Hajazaa
3:13
Release - Topic
Рет қаралды 4,6 М.
WACHUJA NAFAKA - YA LEO KALI (@djjasmix)
5:35
Dj Jas Mix
Рет қаралды 196 М.
Juma Nature - History
4:21
OLDSKUL ADIMU ZA BONGO
Рет қаралды 41 М.
Harley Quinn's revenge plan!!!#Harley Quinn #joker
00:59
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 7 МЛН