Huyo msichana ni mkenya? Mimi ni mkenya na najaribu kujifunza kijapani. Natamani kuishi Japani siku moja. Ako na youtube channel? Kama hana mwambie afungue youtube atuonyeshe jinsi Japani kuko
@shinafrika2 жыл бұрын
Huyu ni mkenya. Kujifunza Kijapani ni nzuri sana. Tukutane japani.