DR MANYAUNYAU ,AMWAGA SIRI MGANGA ALIYE MCHINJA MLINZI WAKE DENI LA LAKI NA NUSU.

  Рет қаралды 18,912

HABARI JAMII DIGITAL

HABARI JAMII DIGITAL

Күн бұрын

Пікірлер: 102
@cideboy100
@cideboy100 4 ай бұрын
Wewe sasa inatakikana tukuite DR MANYAU NYAU INTERNATIONAL umefungua ofisi Marekani,Canada,UK na China hiyo si kitu rahisi....kuna watu hapo wanae ma degree lakini hata kupata tu visa ya kwenda nchi hizo ni shida kwao mnyenzi mungu amekubariki Alhamdullilah
@sharifuteacher5025
@sharifuteacher5025 4 ай бұрын
Namuonea huruma kwakeli dah allh amnusuru in Sha allh
@raymondrafael3490
@raymondrafael3490 4 ай бұрын
Ameyakanyaga lisemwalo lipo hata majirani wanakaa wanagombana kisa mipaka ya viwanja
@joshuamshange5355
@joshuamshange5355 Ай бұрын
Safi kabisa kaka umesema ukweli kabisa
@umaima1178
@umaima1178 4 ай бұрын
Kweli kaka manyau hakuna kitu kizuri kama kukaa vizuri kama majirani
@abdulikilala5902
@abdulikilala5902 4 ай бұрын
Mganga mm nakukubali sana hongera sana unaongea ukweli
@SadaSuleiman-gz7ys
@SadaSuleiman-gz7ys 4 ай бұрын
❤❤tunakupenda sana kwa kazi
@user-fd8ce8ct2m
@user-fd8ce8ct2m 4 ай бұрын
Asante sana kazi nyema
@SenetaKilaka
@SenetaKilaka 4 ай бұрын
Taz aende jera na apate bwana Ili akome kunyanyasa watu😂
@ChristopherBenedict-w6v
@ChristopherBenedict-w6v 4 ай бұрын
Nyau kama nyau umepigaje hapo😢😢😢
@husseinhamisi4622
@husseinhamisi4622 4 ай бұрын
jamani tumuogope mungu jamani
@user-fd8ce8ct2m
@user-fd8ce8ct2m 4 ай бұрын
Mashaallah mungu akuźidishiye unaongea kweli police wanarudisha njuma
@abbiecox1
@abbiecox1 4 ай бұрын
ila uliwahi kumpiga mwanajeshi Mil 200+ kidogo akutoe roho mpaka ulipolipa ndio ukanusurika. Alikufikisha mahakamani
@user-ng9bn3jj3x
@user-ng9bn3jj3x 4 ай бұрын
Tatizo ni kuua yule mwingine ni muuaji
@jeremiahblazio4781
@jeremiahblazio4781 4 ай бұрын
Asante
@davidrweyemamu938
@davidrweyemamu938 4 ай бұрын
Ndugu mwandishi kwanza pongezi sana kwa ufuatiliaji wako huu, lakini ukisikiliza analytically kama mwandishi utagundua chuki aliyo nayo huyo mganga! Manyaunyau alimfuata yule kijana si kwa ushauri bali kumchimba mkwara maana kweli kabwana mdogo kalikuwa kanawaponda adharani hivyo alichukizwa na hilo kwahiyo hili tukio lina uwezekano mkubwa kuwepo mkono wake huyu ndugu! Baada ya dust kusettle nenda kawahoji majirani mmoja mmoja kwa usiri watakwambia ukweli wa ugomvi wao hao watu wawili! Polisi hawafichagi uovu mkubwa kama huu wa mauaji huyo mkenya asingeuawa taarifa zake zisienee nchi nzima.
@ZAWADINGEWE
@ZAWADINGEWE 4 ай бұрын
Homgera MKUU manyau nyau upo vzr sn.naomba nambaako Dr
@ChibiDayo-bt7sk
@ChibiDayo-bt7sk 4 ай бұрын
Sawa Sawa 🙏
@omanoman2044
@omanoman2044 4 ай бұрын
Hawa wote ni washirikina mungu awatandike hakuna chamwema hap
@raymondrafael3490
@raymondrafael3490 4 ай бұрын
Mr nyau ww kiboko mm nakutambua unavokua unaminya nyau nakuchapa uchawi ndugu yako aka adui yako kimeumanaaaa sanaaaaa 😂😂 piga kazi mwamba
@user-sj4bc2cc5d
@user-sj4bc2cc5d 4 ай бұрын
Nakupenda kwa ajili ya allah
@omanoman2044
@omanoman2044 4 ай бұрын
Mganga una mpenda bure mungu polen
@ramadhanimtetu3656
@ramadhanimtetu3656 4 ай бұрын
Unampenda Mganga wa KIENYEJI (Mshirikina ) kwa Ajili ya Allah ???? Sub'haana Allah
@YusufLubangula-yn6tq
@YusufLubangula-yn6tq 3 ай бұрын
Hii midia naipendaga sana Haipepesi
@emmanuelthomas1078
@emmanuelthomas1078 4 ай бұрын
Iran vs Israel 🙄🙄Nyau Boy 🔥🔥🔥🔥🔥
@JudithTwibonisye
@JudithTwibonisye 4 ай бұрын
Jamani Mungu anachukia Tunapo abudu Miungu mingine .tuache kumuabudu shetani kupitia kuamini watumishi wake ambao ni waganga
@malikamohammed6641
@malikamohammed6641 4 ай бұрын
Taz Bora umekimbia na uje Kenya mana tutakufanyia mandamano Kisha tutakupeleka Venezuela naumia mkenya wetu kafa mumenyamaza 😢
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 4 ай бұрын
Kampuni moja vitengo tofauti mwajili mmoja shetani au kesi ya ngedele ipelekwe Kwa nyani utapata majibu yake hapo
@danieljoseph1610
@danieljoseph1610 4 ай бұрын
Yule dogo hawezi kufanya huo ujinga! Mimi nina uhakika kazidiwa tu na maadui zake kimadawa ili kumtoa barabarani, pia na majirani saingine ni vichomi wanaweza kukuwekea maneno ya majungu! Ila hio ni changamoto tu, atarudi tu! Kama kweli hajahuska kwa chochote, ataachiwa tu! Ukute ye ndo kavamiwa!
@FarajiChande-wv5hd
@FarajiChande-wv5hd 4 ай бұрын
Nenda akakuoe umfariji mpenzi wako umpelekeage sabuni
@delsonandrea5223
@delsonandrea5223 4 ай бұрын
Hiyo mbaya sana, usiombe uchukiwe na watu wanao kuzunguka hatar hiyo
@Bashitetako
@Bashitetako 4 ай бұрын
Mh huyu jamaa muongo kwamba marekani hawakupeleki police 😂umefungua office USA na uko tz 😂
@hassansaid3833
@hassansaid3833 4 ай бұрын
Weee mapaka paka kimbunga amepigaje hapo kwa Taz 😅😅
@athumaniamiri880
@athumaniamiri880 4 ай бұрын
😅😅😅
@mwanaidisimoni79
@mwanaidisimoni79 4 ай бұрын
Raia wana hasira alafu mzee wa hovyo kanunua ugomvi duh😂
@kadiakirua7621
@kadiakirua7621 4 ай бұрын
😂😂😂 bongo raha sana!!!!
@YAHAYAMTOO
@YAHAYAMTOO 4 ай бұрын
Uko powa dokta kitambo nakuelewaa
@maxmiliankoga2711
@maxmiliankoga2711 4 ай бұрын
Many au nyau Upo mbona kimyaa
@raymondrafael3490
@raymondrafael3490 4 ай бұрын
Hahaha ndo marekani kaka
@ZainaFatma
@ZainaFatma 4 ай бұрын
Umenichekesha tu manyau nyau eti tasnia 😂😂😂
@Bashitetako
@Bashitetako 4 ай бұрын
Ni tasnia si niusanii tu 😅
@iamdavism4163
@iamdavism4163 4 ай бұрын
Nae mganga ana muomba mwenyezi Mungu 😂
@bonintajiri3958
@bonintajiri3958 4 ай бұрын
Okoka ndugu yangu mfwete Yesu kristo mtumikie yeye
@user-fd8ce8ct2m
@user-fd8ce8ct2m 4 ай бұрын
Nikweli sadakta
@user-vn7dl9mz4f
@user-vn7dl9mz4f 4 ай бұрын
Brother mambo vp ntumie namba Yako kitambo mno
@ElizabethDeusi-sx8di
@ElizabethDeusi-sx8di 4 ай бұрын
Akuna chuki bwana manyau nyau anasema kweri
@user-ig8nh1en6w
@user-ig8nh1en6w 4 ай бұрын
Umeongea point bro
@ZamZam-mk4xu
@ZamZam-mk4xu 4 ай бұрын
Ukweli kabisaa nguvu anapata wapi
@Nailaty564
@Nailaty564 4 ай бұрын
Hata kama mna tofauti zenu kiubinadam haifai kufurahia matatizo ya mwenzako na halitokuwa mnalo litaka biidhini llah ukweli utajulikana Taz hana roho yakufikia kuua
@FarajiChande-wv5hd
@FarajiChande-wv5hd 4 ай бұрын
Pole dada bwanako ameyatimba uko jiandae kukaa heda 🤣🤣🤣
@prezgal8869
@prezgal8869 4 ай бұрын
​@@FarajiChande-wv5hd😂😂😂
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 4 ай бұрын
WAWE ANASEMA KILA SIKU UPO KATIKA FULAA KUBWA SANA KUTOKANA NA TATIZO LA HUYU MGANGA MWENZAKO LEO UNASIKITIKA NINI????😂😂😂
@teddytemu2897
@teddytemu2897 4 ай бұрын
Mbona hamna sauti aa
@BenedictaMagantg
@BenedictaMagantg 4 ай бұрын
Kuua mtu ni.mbaya sana sana Mmefanya vibaya sana.
@Nailaty564
@Nailaty564 4 ай бұрын
Huyu manyau nyau ndo muhusika WA kila kitu Tazi hawezi kuua
@anushkabarvat3924
@anushkabarvat3924 4 ай бұрын
Duuh i feel sorry for taz g mh
@kalimbomwero8943
@kalimbomwero8943 4 ай бұрын
Zako ni chuki na wivu tu and I feel someone is behind this not taz
@tolatz6827
@tolatz6827 4 ай бұрын
huyu manyanyau nilishawah kupanga kwenye frem zake mtu poa sana
@hawaa341
@hawaa341 4 ай бұрын
Kimemlaba huyo ashapotea tyr
@user-ou9wu4lm3e
@user-ou9wu4lm3e 4 ай бұрын
Umeonge vizuri sana sana kabisa
@Maalim_Samatta
@Maalim_Samatta 4 ай бұрын
Watu tumeinvestment😂😂😂 manyaunyau
@mwanaibrahim2444
@mwanaibrahim2444 4 ай бұрын
sifatu kutaka Kiki juu ya kiki
@BakariSalum-j6b
@BakariSalum-j6b 4 ай бұрын
umepiga nyukriya nyau
@MrishoSamueli
@MrishoSamueli 4 ай бұрын
Hiindiofaida ya kusoma uganga Kwa waganga wakubwa lazima uwenahekoma kama manyau Nyau yupo ok
@user-tb1qg4bp3s
@user-tb1qg4bp3s 4 ай бұрын
Nawaona2 watu wanavojihami et wanampongeza kisa kasema mizimuyakemikali 😂😂😂😂😂 mungu kakataa ushilikina
@rosehappy2395
@rosehappy2395 4 ай бұрын
Ila nyau nyau 😅😅
@HusseinChegu
@HusseinChegu 4 ай бұрын
Umeongea point kumbe unajielewa manyaunyau
@user-fd8ce8ct2m
@user-fd8ce8ct2m 4 ай бұрын
Sio uganga tu ujisifu tu mpaka una msahau mungu
@user-fd8ce8ct2m
@user-fd8ce8ct2m 4 ай бұрын
Hana vya kujitetea
@AyubuMsindo
@AyubuMsindo 4 ай бұрын
Mbnanyumba kma choo kweli tz kakuzdsana
@Bashitetako
@Bashitetako 4 ай бұрын
Mie nakutukana we tapeli
@anushkabarvat3924
@anushkabarvat3924 4 ай бұрын
Je kama sii taz kafanya hivyo jamani
@mbikamtanganaki
@mbikamtanganaki 4 ай бұрын
Siyo yeye mmemtengenezea bomu mtaumbuka tu
@allywaziry6419
@allywaziry6419 4 ай бұрын
Inawezekanaje na majirani wanatoa shuhuda
@muuhviva241
@muuhviva241 4 ай бұрын
Wewe ujui kitu tulia
@alfredvilakazi785
@alfredvilakazi785 4 ай бұрын
Utakuja lini south Africa nyau
@jasminmdimi6059
@jasminmdimi6059 4 ай бұрын
Kweli uyu ni mkongwe. Manyaunyau nimemsikia toka niko binti mdogo. Uyu ni fundi bwana.
@MwajabuSalehe-yr8ij
@MwajabuSalehe-yr8ij 4 ай бұрын
𝓾𝓷𝓪𝓹𝓪𝓽𝓲𝓴𝓪𝓷𝓪 𝔀𝓪𝓹𝓲
@KhalifaIddy
@KhalifaIddy 4 ай бұрын
Mbona kama jamaa alikua anakuumiza kichwa sana maana unaonekana unamkandamiza sana
@Dareaziz
@Dareaziz 4 ай бұрын
Manyau nyau anaongea kwa utulivu
@saidsalum1678
@saidsalum1678 4 ай бұрын
Huyu abanwe Kuna kitu kimejificha
@hafsamnenga1942
@hafsamnenga1942 4 ай бұрын
Haswaaaaaaaaaaaaa
@abubakarimussa1955
@abubakarimussa1955 4 ай бұрын
Acheni ujinga ninyi watu munaomuona manyau kama anakosea jishikilieni ninyi
@Hamy1109
@Hamy1109 4 ай бұрын
Wanaosema yule muuaji anachukiwa kwa mafanikio, hivi wanajua maana ya mafanikio!? Bakhera anachukiwa? Mo Dewji? Gharib wa GSM? Je hawa wanachukiwa? 😂 Yule atashughulikiwa kwa mujibu wa sheria na wala hakuna mtu anamchukia tapeli yule.
@usher_bambi94
@usher_bambi94 4 ай бұрын
Hv ni majozi ama majonzi😅😅😅😅
@JacquilineNoah
@JacquilineNoah 4 ай бұрын
Nyokooo😂😂😂😂😂😂
@Maalim_Samatta
@Maalim_Samatta 4 ай бұрын
😂😂 majonzi sio majozi Tatizo elimu . Mfano anasema watu tumeinvestment😂😂 ndo nini sasa. Si angesema watu tume invest. Most of witch doctors are not educated.
@raymondrafael3490
@raymondrafael3490 4 ай бұрын
Na nyumba yake iko hatiani kubomolewa
@abdulikilala5902
@abdulikilala5902 4 ай бұрын
Mganga unaongea vizury
@rehmastyle4446
@rehmastyle4446 4 ай бұрын
Mshukiwa wa kwanza ni wewe
@misomisomisoji7722
@misomisomisoji7722 4 ай бұрын
Vyama vyenu vya kichawi viko vingapi?
@abubakarmustwafa-lg8fe
@abubakarmustwafa-lg8fe 4 ай бұрын
20,Nyie vyenu vya wapumbavu vingapi vile?
@mohammedmahara2339
@mohammedmahara2339 4 ай бұрын
😂😅😂😢
@Maalim_Samatta
@Maalim_Samatta 4 ай бұрын
Boya wewe, nani alokwambia ni vyama vya kichawi. Hebu kakojoe ulale.
@regnardelmengird5211
@regnardelmengird5211 4 ай бұрын
Nyie nyooote ni mafuckers 😂😂
@misomisomisoji7722
@misomisomisoji7722 4 ай бұрын
@@Maalim_Samatta Mimi siongei na wasenge
@officialsharifa
@officialsharifa 4 ай бұрын
Sidhani kama Taz angeweza kuua ni watu wachache wanajaribu kumchafua.
@hafsamnenga1942
@hafsamnenga1942 4 ай бұрын
Mchexo tu huwezi kuua ukaweka mtuu barazañi kwako
@hafsamnenga1942
@hafsamnenga1942 4 ай бұрын
Mchexo tu huwezi kuua ukaweka mtuu barazañi kwako
@AllyShaban-ms7ot
@AllyShaban-ms7ot 4 ай бұрын
Mjinga ww
@Bashitetako
@Bashitetako 4 ай бұрын
Mh huyu jamaa muongo kwamba marekani hawakupeleki police 😂umefungua office USA na uko tz 😂
when you have plan B 😂
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 59 МЛН
МАИНКРАФТ В РЕАЛЬНОЙ ЖИЗНИ!🌍
00:31
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 34 МЛН
小丑在游泳池做什么#short #angel #clown
00:13
Super Beauty team
Рет қаралды 37 МЛН
DUDU BAYA ASHINDWA KUVUMILIA SAKATA LA MGANGA TAZGINIOUS AZUNGUMZA KWA UCHUNG
32:26
VETA YAWANOA MADEREVA WA MAGARI MAKUBWA
4:38
VETA Tanzania
Рет қаралды 15 М.
TAMAA ZA UJANA: SIMULIZI YA KUSISIMUA
1:28:23
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 36 М.
HUU HAPA USHAHIDI VWA MAMBOYALIYOFANYWA NA MGANGAANAESADIKIKA KUMUUA MLINZIWAK
40:38
MAPYA YAIBUKA DR MANYAUNYAU ,HARMONIZE NA DIAMOND KUPEANA MIKONO,NI HATARI.
29:57
MKASA WA KUSIKITISHA MGANGA TAZGENIUS AMCHINJA MLINZI WAKE  DENI LA LAK NA NUSU
14:24
when you have plan B 😂
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 59 МЛН