MKASA WA KUSIKITISHA MGANGA TAZGENIUS AMCHINJA MLINZI WAKE DENI LA LAK NA NUSU

  Рет қаралды 260,484

HABARI JAMII DIGITAL

HABARI JAMII DIGITAL

Күн бұрын

MKASA WA KUSIKIFISHA MGANGA WA KIENYEJI ANAEFAHAMIKA KWA JINA LA TAZ GINIUS AMUUA MLINZI WAKE KISA DENI LA LAKI NA NUSU.

Пікірлер: 459
@edennine446
@edennine446 4 ай бұрын
Auaye Kwa upanga afe Kwa upanga done
@KAHINDITV
@KAHINDITV 4 ай бұрын
😢😢😢😢😢jmn! Tusiwe tunaamini watu kirahisi mtu anaua hovyo leo ww unaenda kwake kutegemea akuponye😢😢😢Mungu tu atupe hekima na uelewa mzr na ufahamu
@user-id8ys3lg5d
@user-id8ys3lg5d 4 ай бұрын
washirikina wakikusikia watakuchamba.. ila mm nakubaliana na wewe
@KAHINDITV
@KAHINDITV 4 ай бұрын
@@user-id8ys3lg5d kabisa dear,tuombe hekima kwa Mungu,hakika Mungu ni mganga zaidi ya waganga wote,na anatujibu kwa wakat wake,ndio hapo tunaona anachelewa
@user-xo7sg1pw7m
@user-xo7sg1pw7m 4 ай бұрын
@@user-id8ys3lg5d 🤣🤣🤣🤣🤣
@user-xk7vy4gb6g
@user-xk7vy4gb6g 4 ай бұрын
Inaonyexha wazi Rushwa inatembea kuwapa police
@BeullahBujah-lk3sx
@BeullahBujah-lk3sx 4 ай бұрын
SUBIRINI SERIKALI IINGILIE KATI.. KUVUNJA NI UVUNJIVU WA AMANI ..
@user-ki3gt6gy1l
@user-ki3gt6gy1l 4 ай бұрын
Jamani tatizo viongozi Wala rushwa je polisi wajitafakari Kuna nini matukio tote hayo vip halafu mnaona tuu dada mnaenda kumkamata gb 64 wahiiiiii dahaa mungu anawaona
@user-xh7wy2mi2j
@user-xh7wy2mi2j 4 ай бұрын
Inaonekana huu kaka wa chawi na waganga wenzake walimfanzia fitna. Kuuwa naona ametendwa sio bure. Mungu tupe subrah walio tangulia Mungu awape kauli thabit
@user-dh6uv5lw6c
@user-dh6uv5lw6c 4 ай бұрын
Huyo g. mm nilikwenda kwake hanalolote mshenzi na anapenda kupiga watu mm binafsi nishamuona kwa macho yangu anambiga mtu
@NurathYunusu
@NurathYunusu 4 ай бұрын
Alafu kingine ninacho kujua mtu akiwa kapata shida wengi wataongea sana mengi so ya kwakweli banh ivi unawezaje kuuwa Kwa shi laki na nusu
@babahamza1125
@babahamza1125 4 ай бұрын
Kapigwa zongonhuyo watu wabaya
@nzegeatv6355
@nzegeatv6355 4 ай бұрын
Manyaunyau alisema kuwa uyu jamaa ana kesi na wakenya apo nimepata picha
@emmanuelbernard9552
@emmanuelbernard9552 4 ай бұрын
Kuna wakati nawaza sana na kupata uchungu mkubwa sana moyoni mwangu.Hivi kweli jeshi la polis linatia aibu sana.Harafu Makonda akisimama watu wanatukana.Nchii inatakiwa Wakina Makonda hata 20.
@paulpj1421
@paulpj1421 4 ай бұрын
Ko makonda amekusaidia nn
@DanielKombi-eg9vo
@DanielKombi-eg9vo 3 ай бұрын
Kwa nini muna muungiza
@tuntufyemwasyete3834
@tuntufyemwasyete3834 4 ай бұрын
Jamani tunaomba serikali ikemee Hawa waganga izi Imani mpaka lin jamani huyo marehem kaacha watt mke na family pia inamtegemea serikali muweke kibano kwa huyo mganga hailipe family ya huyo mlinzi
@athumanbalozi9748
@athumanbalozi9748 4 ай бұрын
Analijua mungu Mengine musihukumu Hamuji nn chanzo Iachieni selikali Na mungu ndo mjuzi
@rahema907
@rahema907 4 ай бұрын
Hata iweje mbona uuwe mtu
@lexygeisar8303
@lexygeisar8303 4 ай бұрын
@@rahema907 ume ona aki ua au ni watu wana shuku tu
@NurathYunusu
@NurathYunusu 4 ай бұрын
Haa kumbe shida ni aramu
@Nuhu-gb2qw
@Nuhu-gb2qw 4 ай бұрын
Daaah mganga tz genius si watu walikuwa wanamfagilia sana
@zuberiismail2972
@zuberiismail2972 4 ай бұрын
Haise nimeshangaa sana, dah nlikuw namuonaga sana mtandaoni haise taz
@cutenicely4766
@cutenicely4766 4 ай бұрын
Me pia kanishangaza kiukweli
@kardiborajabu6044
@kardiborajabu6044 4 ай бұрын
kiukweli ina sikitsha sana kujichukulia hatua mkononi na kufanya mauaji lakini jambo kama hili ni kuviachia vyombo vya dola
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 4 ай бұрын
Achen sheria ifanye kazi yake kuhus kuvunja nyumba hapn. Km kauwa nayeye auliwe tuu
@khadjamhozya
@khadjamhozya 3 ай бұрын
Sheria ifanye kazi kivipi au Sheria ipi ya tanzania
@cutenicely4766
@cutenicely4766 4 ай бұрын
Auae kwa upanga hatakufa kwa upanga..bc angalieni mWisho wake...
@nasruddinnassoro204
@nasruddinnassoro204 4 ай бұрын
Kwann mnazungumzia mali zake sio tukio lilotokea achen hasad.na kama alikuwa anawatapeli watu wenyew walikuwa wanafat nn.huyo pesa lazm awe nazo kwanz kuonann nae mtihan kwake kukutann nae kuna vip 1. 200000 na vip2.50000 vingenevyo mlala hoi utapanga foleni wiki 2 kwahiyo haukumiwe kama ushahid upo ila tusizungumze kwa wivu wa mali alizopata.kama rahis utapel fungua kilinge chako.
@BHBTV-ud2wz
@BHBTV-ud2wz 4 ай бұрын
Sio kweli hao wote maskini na sikuzote mtu mwenye mafanikio huusudiwa skilizeni na upande mwengine
@sailicekomba8075
@sailicekomba8075 4 ай бұрын
Haujafiwa wewe
@user-hj6im3qo6l
@user-hj6im3qo6l 4 ай бұрын
Wewe akili una mafanikio yake ndy aue mtu mbona ufikilii cha kuongea kwa hiyo maskini alali yake kufa acha ujinga
@lexygeisar8303
@lexygeisar8303 4 ай бұрын
@@user-hj6im3qo6l yani kuna watu kwa kuhukumu wana shinda majudge huko mahakamani. Sidhani junior aliua. hii ni kitu watu walipanga. Kwa mtazamo wangu hata mimi ninge ondoka kwa sababu tokea na hapo walikuwa na ugomvi. wanachi wana wivu wa wivu wa maendeleo.
@jonsonigwakisa1162
@jonsonigwakisa1162 4 ай бұрын
Itakuwa hao ndo anashilikiana nao
@jonsonigwakisa1162
@jonsonigwakisa1162 4 ай бұрын
Wewe mwenyewe masikini inabidi na wewe ukamatwe unashilikiana naye muaji mkubwa wewe
@Sarah-f7h4m
@Sarah-f7h4m Ай бұрын
Nyie mnaongea mkiitwa mkatoe ushaidi mahakamani mtaenda kweli acheni ushabiki
@KagitoNdullu
@KagitoNdullu 14 күн бұрын
Jamani
@JohnsonSukuzi
@JohnsonSukuzi 4 ай бұрын
Watu mna wivu jaman mnadanganya Hadi mnakera mnachochea udongo
@allywaziry6419
@allywaziry6419 4 ай бұрын
Kuna ukweli zaidi ya huu Kaka, tujuze
@user-rr7gb5qo7o
@user-rr7gb5qo7o 4 ай бұрын
Yaani Kijiji kizima kimuonee yeye wivu kwa iyo wewe unaona alivyofanya nisawa siyo bule na wewe utakuwa unahusika.
@khadjamhozya
@khadjamhozya 3 ай бұрын
Bora ungecinjwa wewe
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 4 ай бұрын
Subuhanallah. Mtihani huyo kaka muuaji hivyo. Basi dam xinamzuru basi na yeye mumuuetu hafai kuishi anarohombaya atazidikuuwa hapo
@emmanuelbernard9552
@emmanuelbernard9552 4 ай бұрын
Hakuna cha kumuonea vivu.Nyinyi mnaotetea huu ujinga mnaishq naye mtaa mmoja.Mtu kama anaishi vzur na jamii yake watu hawawezi kukuchukia wote.Acheni upumbavu wa kutetea,huyo jamaa naonekana siyo mtu mzur
@lexygeisar8303
@lexygeisar8303 4 ай бұрын
huyo ni sifa ndio zilizo mponza. kuna video nyengine wamesema kuwa aikuwa anatoka na millioni mbili ana gawa. mi naona alikuwa mkorofi kulipa watu pesa .
@user-cn8kj7fp7j
@user-cn8kj7fp7j 4 ай бұрын
Uko sahh
@user-cn8kj7fp7j
@user-cn8kj7fp7j 4 ай бұрын
Uko sahh
@user-uc8ei8kn3l
@user-uc8ei8kn3l 4 ай бұрын
Mnavunja nyumba ili iweje nyumba ndo imeua au kamateni wote hao wamejichukulia sheria mkononi pumbavu sana mnavunja nyumba ili iweje
@silasjacob-j2l
@silasjacob-j2l Ай бұрын
au na ww umehuska mbna kama nyumba inakuuma kuliko uhai wa mtu nyau ww
@kardiborajabu6044
@kardiborajabu6044 4 ай бұрын
kuna waganga wenzake pia wamefuraia cozi siunajua wanapiganaga vita na mawivu hiidunia ukiendelea pia nitatizo chuki lazima zita kuandama pia unatakiwa ujifunze sana kuishi na ulio wazidi kipato ukiwa dharau tu hatari
@davidrweyemamu938
@davidrweyemamu938 4 ай бұрын
Kuna mganga anaitwa manyaunyau ndio walikuwa wanagombana sana. Hawa wote wanaoongea hapa ni wapambe wa manyaunyau. Dogo alikuja juu kwenye utapeli wa uganga akawafunika matapeli wakongwe kina manyaunyau ndio wakamwahidi kummaliza!
@josamjoel2079
@josamjoel2079 4 ай бұрын
Kwahiyo wamelipwa na manyau nyau waje wamchafue ama
@asteriashios1852
@asteriashios1852 4 ай бұрын
Duh poleni mbona Kuna watu wanadai mishahara hadi imefika milioni 7 na hawajalipwa ingekuwaje poleni sana serikali ingilieni kati
@zuhurasidihatibu4774
@zuhurasidihatibu4774 Ай бұрын
Sa nawe Kila mtu na level yake ya kipato...Yan mtu aibe mbuz alaf useme Kwann asivunje bank...au mtu anaelisha tenda mashule magereza asidai haki yake kisa uwezo wa pesa anao.
@user-ro8vo9fi9o
@user-ro8vo9fi9o 4 ай бұрын
Freemason uyoooo
@omanoman2044
@omanoman2044 4 ай бұрын
Mungu wangu duuh majiran qchen kuficha ma dudu mungu wangu
@rahema907
@rahema907 4 ай бұрын
Mbona kwa mitandao ana onekani mkaramu tu daaah
@thebmcblackmiccatcher3949
@thebmcblackmiccatcher3949 4 ай бұрын
Mpe nduguyo atibu,
@GraceAdonias-vn1iq
@GraceAdonias-vn1iq 2 ай бұрын
Mmhhh!!!! Mungu hatakuja kuwamua mengi make binadamu tumejaa roho za kutu tupu😮😮😮
@LatifaJuma-t5l
@LatifaJuma-t5l Ай бұрын
naitwa baba fett daa na mm mtunzi tuna nyanyaswa sana raisi mamata etu tanya ukaguzi nukuomba mahara mdogo raki tamsin
@allyalsubhy6899
@allyalsubhy6899 4 ай бұрын
Hapo inaonekana Kuna chuki, Polis ichukue hatua Kali
@user-ur8cq1ye3b
@user-ur8cq1ye3b 2 ай бұрын
Chuki gan na wewe angichinjwa ndugu Yako jee
@tinalulule917
@tinalulule917 4 ай бұрын
Binadamu roho mumeziweka wapi..mumekua. wanyama jamani...
@RucyMakapa
@RucyMakapa Ай бұрын
Mama samia sema neno kuhusu jeshi la police muwatoe hofuu
@davidrweyemamu938
@davidrweyemamu938 4 ай бұрын
Huyu aliyevaa headphone ndio kamuua babaake na huyo mganga nilimshuhudia kabisa huyo akamatwe maana ana bif na huyo mganga siku nyingi akishirikiana na mganga wake manyaunyau.
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 4 ай бұрын
Ushahidi huo😅😅
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 4 ай бұрын
Itakuwa na wewe ulikuwepo ulijuwaje 😮😮
@StelaJohn-nj5yf
@StelaJohn-nj5yf 4 ай бұрын
Mungu awarehemu wote pia hakimu wa haki yupo
@davidrweyemamu938
@davidrweyemamu938 4 ай бұрын
@@FatimaAli-of4gh ndio maana nikasema!
@BENEDICTONONYA
@BENEDICTONONYA 4 ай бұрын
Poa bro tunaishi naye huyo
@KhalfanSaid-mo9jh
@KhalfanSaid-mo9jh 4 ай бұрын
Wasichome nyumba mana Yuko nafamilia but nayeye afanyiwe kitumbaya Hana faida yeyote mpumbavu mkubwa
@HappnessYohanaRohongo
@HappnessYohanaRohongo 4 ай бұрын
Uyu Baba anaonekana anachuki tu maana ata wanapo jileza sasa kama mtu mjue unasemaje kama sio mtu mzuri hacheni chuki watanzania wezangu
@user-xn1ly2yx7j
@user-xn1ly2yx7j 4 ай бұрын
Jambo la kusikitisha sana .ila uyu jamaa anaye ongea na mtangazaji kweli ana point .mtangazaji unauliza nani amepasua vioo je vioo vina samani kuliko uhai wa mtu.
@user-xp4jp6ji9h
@user-xp4jp6ji9h 4 ай бұрын
😂😂 duh kajenga ovyo ovyo
@HechHamisi
@HechHamisi 4 ай бұрын
Nyie kuna manyaunyau mchunguzeni vizur aisee
@geofreylucas7870
@geofreylucas7870 4 ай бұрын
Wew manyaunyau Kama angeamua kuua wasio na Hatia bas angeshaua kitambo Sana manyaunyau ni WA long time asee mpka sasaiv ameshakuwa mganga sharobaro!!!
@ramadhanimtetu3656
@ramadhanimtetu3656 4 ай бұрын
Hii ni Hatari sana Aisee
@AliMasudi-mc2sj
@AliMasudi-mc2sj 4 ай бұрын
Hao.majira.walio.zungumza.wote.wakamatwe.maana.wanayo.yazunguza.yanaoneka.kabisa.ni.chuki.hao.majiran.wamefanya.wao.hilo.tukio.serikali.itizame.vizuri.maneno.wanayo.zungumza.majirani.mim.nilishaona.tukio.hilo.wamefanya.hao.kumharibia.mwenzao.duuu.hao.wote.walio.hojiwa.wakamatwe.wote.wata.zunguza.vizuri.pumbavu.kabisa.hao
@AishaMwarabu
@AishaMwarabu 3 ай бұрын
Mh ayontapelivkweli nshawai kufka apo ila mungu anisamee tuu mana mhhhh
@VianaKokutensa
@VianaKokutensa 4 ай бұрын
😂😂akipita ata paka😂😂 aa ety ambulance aina kelele
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 4 ай бұрын
Wanasema mdomo uliponza kichwa niko palee hawawote walio hojiwa hapaa mtasikia habari zao haku kitu chakinga kama sifa yani ukibananishwa na. Police kwenye upelelezi ndiyo utajua mdomo uliponza kichwa
@likimaro6
@likimaro6 4 ай бұрын
Kweli inawezekana jamaa kaua, ila maelezo mengi yamekaa kiwivu
@user-id8ys3lg5d
@user-id8ys3lg5d 4 ай бұрын
hakuna wivu nidamu ya mtu inalia wewe acha kabisa kuhusu damu ya mtu.. huwezi kuwa salama hatakidogo..acha alipe
@lilyrose7983
@lilyrose7983 4 ай бұрын
Hamna cha wivu atavuna alichokipanda mshenzi huyo damu ya mtu haimwagiki bure
@muzihirisekavumo7829
@muzihirisekavumo7829 4 ай бұрын
Nayy alimwe mapangatu Hakunachwa police apo
@user-dq1lm2be2u
@user-dq1lm2be2u 4 ай бұрын
Ukiwa na mambo ya ajabu hakuna atakaye kupenda cha kumuonea wivu kikowap na ujue Mungu analipa sana na pia kila kitu kina mwisho wamuuwe na yeye
@lilyrose7983
@lilyrose7983 4 ай бұрын
@@user-dq1lm2be2u Shangaa na wewe eti wivu.Kuna matajiri wangapi humu mtaani mbona hawachukiwi?Mtu mmoja uchukiwe na Kila mtu?
@Ashrey82
@Ashrey82 4 ай бұрын
Nyumba zivunjwe kwa sababu ya nn!mtafungwa nyie kuchoma gari moto! Acheni serikali ichukue mkondo wake!
@Rehemamakuka
@Rehemamakuka 4 ай бұрын
Ety serikali ya nani jamani serikali muwe mnawasikiliza wananch
@lilianmbeyu
@lilianmbeyu 4 ай бұрын
mkenya wetu cjui kwao inajulikana au zii
@carolmuchiri9921
@carolmuchiri9921 4 ай бұрын
Duh Kingola Cha Shinda Ambulensi 😂😂😂Mie Mkenya Kwa Jilani Zangu Wa Tzd Si Ngoki Ngo 😂😂😂👍🏿👍🏿👍🏿❤️❤️❤️🇰🇪
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 4 ай бұрын
Hayo mambo yanaanza kidogo kidogo halafu huleta mazala makubwa sana latika jamii
@salomewandya7257
@salomewandya7257 4 ай бұрын
Ingekuwa ni wakurya wasingesubiri viongozi,wangechukua maamuzi wenyewe
@user-xg1zg2co3c
@user-xg1zg2co3c 4 ай бұрын
Huyoo jamaaa alojifanya tazgenouis akipatikanaa agongweee na manaumew wenzakee af afee
@shammybeybe1825
@shammybeybe1825 4 ай бұрын
Yaani dawa zote alizokiwa anawaambia huyo mganga feki, zipo miaka na miaka youtube sijui watu walihadaika na nini! 😂😂😂, hana uchawi wowote wala uganga wowote 😅😢😢😢
@Rose-ue2ho
@Rose-ue2ho 4 ай бұрын
Mganga gani huyo???
@AllyKasa
@AllyKasa 4 ай бұрын
Sasa ukishavunja nyumba inakuwaje
@toor8984
@toor8984 4 ай бұрын
SILOHO ZA KIMASKINI NDIO ZILIVYO HAPO WENGI WACHAWI WAMEONA WANAHALIBIWA
@allyfleva6134
@allyfleva6134 4 ай бұрын
Nimisemaje hii chaneli ini yahovyo kabisa ihungiwe tu
@user-dm4ce7mp8q
@user-dm4ce7mp8q 4 ай бұрын
Mie nahis Hawa waganga wanaoneana wivu, serekali ifanye uchunguz vizur
@adilkarim4332
@adilkarim4332 4 ай бұрын
Huyo jama ni mechanic huko mtaa wa libya zamani ana piga ribiti ma gari ! Mtapeli tu huyo😂 hamna cha mganga wala nini
@athumanbalozi9748
@athumanbalozi9748 4 ай бұрын
Katapeli wali Kwani india hawashindwi Alafu kwani anawafata Acheni uhuni Chunguzeni chanzo Na kilichotokea
@kardiborajabu6044
@kardiborajabu6044 4 ай бұрын
hakuna sheria ina ruhusu mtu yoyote kujichukulia hatua mkononi dam ya mtu itadai tu walio husika
@Rehemamakuka
@Rehemamakuka 4 ай бұрын
Nimempenda huyu kaka mwisho
@AngelRimoy
@AngelRimoy 4 ай бұрын
Ata mimi😂
@user-sj8ii2zr3i
@user-sj8ii2zr3i 18 күн бұрын
Asee ni uchungu polisi hamna msaada uyo laisi ndio kabisa mungu atusaidie
@binseif2216
@binseif2216 11 күн бұрын
Kuwa na Adabu kwa rais ulitaka amzuie asimchinje?
@fanitofaustino4108
@fanitofaustino4108 4 ай бұрын
Majirani Wana wivu
@shammybeybe1825
@shammybeybe1825 4 ай бұрын
Hawana wivu , wanasema ukweli .
@ndogolofadhila6203
@ndogolofadhila6203 4 ай бұрын
Ungebahatika kukutana nae
@sikukuuchuo3093
@sikukuuchuo3093 4 ай бұрын
Wewe sio mzima wa Akili au n wewe mganga
@fanitofaustino4108
@fanitofaustino4108 4 ай бұрын
@@sikukuuchuo3093 tunafanana
@user-fm4xc4ck9r
@user-fm4xc4ck9r 4 ай бұрын
Jamani uo niuwongo ambao wanazungumuza nicuki tuu majilani wabaa wanatunza maneno yauongo wanacuki naye 😢😢😢😢
@user-bl7pt3dc8x
@user-bl7pt3dc8x 4 ай бұрын
Naww umejuaj kama ni uongo na hijaish
@Sarah-f7h4m
@Sarah-f7h4m Ай бұрын
Jaman msichukue sheria mkononi itawakosti sana ondokeni acheni chuki
@ElizabethDavid-j1q
@ElizabethDavid-j1q 6 күн бұрын
Huyu asakwe akamatwe Kwa jina la Yesu krito popote alipo ajidhihirishe. pia Kwa MALALAMIKO hayo serkali ichukue mkondo vinginevyo tutastuka Kati ya mtuhumiwa na serkali au police
@salmaalimusa6809
@salmaalimusa6809 4 ай бұрын
Doòo kumbe jamaa mshenzi loooh😮
@DavidLameck-jp2nl
@DavidLameck-jp2nl 4 ай бұрын
Zahir wa maxmum tv hii ni media yako au??
@geofreylucas7870
@geofreylucas7870 4 ай бұрын
Me mwenyew nimeshangaa kumuona huku
@user-no7pz1bz4y
@user-no7pz1bz4y 4 ай бұрын
Hiyo nyumba ichomwe Moto tu, haiwezekani kukatisha uhai wa mtu 😭😭😭😭😭😭
@nasrahassan7346
@nasrahassan7346 4 ай бұрын
Serikali itachukuw mkodo wake au chuki tu na maendeleo ya mtu 😢😢 mungu tusamehe
@khadjamhozya
@khadjamhozya 3 ай бұрын
Serkari ipi mpumbavu wewe
@zablonomutoko1076
@zablonomutoko1076 4 ай бұрын
Freemason uyoooo😂😂😂😂😂
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 4 ай бұрын
Kama kuna camera ndugu wa marehemu na mganga na police wakae pamoja wafungue waone matukio ugomvi hakuna😢😢😢
@user-ej1ln6kn2u
@user-ej1ln6kn2u 4 ай бұрын
Mh uyu mm namfuatiria sana ila kama anaishi ivi na majirani zake nais uwenda akawa na matatizo aiwezekani majirani wote wamkatae
@wemakatina8538
@wemakatina8538 4 ай бұрын
Cha msingi wananchi muuweni tu achaneni na serekali
@salomewandya7257
@salomewandya7257 4 ай бұрын
Kabisaa
@BonaBonala-bp5qm
@BonaBonala-bp5qm 4 ай бұрын
Hata nyiiee mkamatwe Kwa kuua baba wa mtuhumiwa na tazgiunias akamatwe pia
@dismassamwel7130
@dismassamwel7130 4 ай бұрын
Nadhani uchunguzi ni muhimu majirani wengi wanamchukia Taz inawezekana hata hicho kifo ni cha kutengeneza
@user-zd5pc5nc9c
@user-zd5pc5nc9c 4 ай бұрын
Mnajua kutengeneza story
@HasnaMash-qd2cj
@HasnaMash-qd2cj 2 ай бұрын
Kua kivipi wakati hapo nibkwake huyo muganga jamani
@emmanuelthomas1078
@emmanuelthomas1078 4 ай бұрын
Daah yaani huyo mganga anakuwaga na mbembwee kumbe hata kulipamshahara hawezikulipa🙄🙄
@user-ez7lk3it5s
@user-ez7lk3it5s 4 ай бұрын
Auwaye kwaupanga.naye.atakufa.kwaupanga
@user-os8xh9ft9f
@user-os8xh9ft9f 4 ай бұрын
Serikali ya bongo bhana ukiwa na hela basii kama huna kitu ndg yangu utakufa kama mbuzi tyu
@ElizabethDavid-j1q
@ElizabethDavid-j1q 6 күн бұрын
Du mbona wengine wanted you au niwanachama? Serkali naomba mfanye kazi YENU ili kuwabaini WOTE wanaohisika pia anaetetea nyumba isichomwe anatatizo Kwani nyumba na uhai kipi Bora?
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS 4 ай бұрын
Mhm Mbona kama UZUSHI? 😢😢
@user-ur8cq1ye3b
@user-ur8cq1ye3b 2 ай бұрын
Uzushi gan au aliechinjwa sio ndugu yako
@Tecla-mm5qe
@Tecla-mm5qe 3 ай бұрын
😢😢😢😢😢 mkenya wetu 😭😭😭😭😭
@Sarah-f7h4m
@Sarah-f7h4m Ай бұрын
Nyie mbwa mkiitwa mkatoe ushaidi police mtaenda endeleeni ma midomo itawakosti mna wivu nyie
@BeforeZayekha
@BeforeZayekha Күн бұрын
Sio kweri
@VianaKokutensa
@VianaKokutensa 4 ай бұрын
Uyu babu kipindi akiwa kijana sijui😅😅
@jakobongwara3038
@jakobongwara3038 4 ай бұрын
Fanyeni kazi vijana acheni wivu
@charleslucas4365
@charleslucas4365 4 ай бұрын
Damu ya mtu huwa haimwagiki bure
@judithlejalearnmore2236
@judithlejalearnmore2236 4 ай бұрын
Watanzania mko sawa kwa kuuwa sijui mko.na roho.gani
@johnmeshack4431
@johnmeshack4431 4 ай бұрын
Kwani wanao ua kenya ni watanzania😅au wakenya
@irenewile
@irenewile 3 ай бұрын
Na nyie huko Kenya yamewashinda ,,kweli nyani aoni kundule,,wakenya mnajifanya wasafi ,,kumbe Ni wasenge ,wachawi,mbwa ,takataka kabisa
@user-bv4gu5po4g
@user-bv4gu5po4g 4 ай бұрын
Duh mshenzi kumbee sasa kama kaibiwa yy mganga kwanini asifanye uganga wake aka rudishiwa
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 4 ай бұрын
Wanchi mlicho kosea nikumuuwa baba ake mnge nsaka yy mumuuliebali
@MonaJuma-cp3jg
@MonaJuma-cp3jg 4 ай бұрын
Baba ake pia anausikanamtoto wake
@haqilillahtaalaabudhar4697
@haqilillahtaalaabudhar4697 4 ай бұрын
Acheni unafki nyinyi huwo niwivu wa maendeleo
@user-eb7oi2bx6s
@user-eb7oi2bx6s 4 ай бұрын
Tafadhari sikunyingine usitumie makalio kufikilia hayo yapo kwa jiri yakunya2 😣😣
@Saikalyasi
@Saikalyasi 4 ай бұрын
Mbona kama kuna chuki ndani yake maana majirani wanaongea mihemko yao binafsi kuliko tukio husika
@user-xg1zg2co3c
@user-xg1zg2co3c 4 ай бұрын
Huyu jamaaa kawaharibia waganga wotee sio maganga wote wakoo huoo mshezii tuu huyooo atakufa kwa upangaa na uganga hanaa kabisaa ni tapelii
@SafiyaJ-yw2vt
@SafiyaJ-yw2vt 4 ай бұрын
Atakamatwa mshenzi damu ya mtu haipotei hivi hivi😢
@user-dg7bp9fn8n
@user-dg7bp9fn8n 4 ай бұрын
Mungu kanilipia
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 4 ай бұрын
Alikufanyaje na wewe ulikuwa mteja wake?😅😅😅
@urbanmission3072
@urbanmission3072 4 ай бұрын
AMEKULIPIA KWA VIPI? UYO MLINZI ALIYEUAWA ALIWAHI KUUA MTU KWA UPANGA?
@lilyrose7983
@lilyrose7983 4 ай бұрын
@@urbanmission3072ltakuwa labda huyo mganga alimtapeli
@user-jl5un4wf3u
@user-jl5un4wf3u 4 ай бұрын
Asikari wanamuogopa kuwa atawadhuru kwakutumia nguvu zagiza.nakwanini anajitapakuwa kuuawatu hadharani najeshila lapolisi hawamushugulikii?au hawanaviongoziwakuu.?
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 4 ай бұрын
HUYO ALIYEUA ANYONGWE NA YEYE
@Nailaty564
@Nailaty564 4 ай бұрын
Mtasibiri Sana hafi mtu
@lilyrose7983
@lilyrose7983 4 ай бұрын
​@@Nailaty564Ila watu?Hivi angekuwa kauwawa mwanao au ndugu yako ungethubutu kuongea hivi?
@janviersobhane6492
@janviersobhane6492 4 ай бұрын
Habari
@theopistersaimon9664
@theopistersaimon9664 4 ай бұрын
hao waelezaji wote naona hawaelezi kama wanamjua vizuri
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 4 ай бұрын
Hawa ni wasengee tu kila tukio lime wapita ila vya tazi mnavijua kuliko
@tuntufyemwasyete3834
@tuntufyemwasyete3834 4 ай бұрын
hii nchi tunakoelekea siyo viongozi wetu mnayahona haya
HUU HAPA USHAHIDI VWA MAMBOYALIYOFANYWA NA MGANGAANAESADIKIKA KUMUUA MLINZIWAK
40:38
Glow Stick Secret Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 18 МЛН
What will he say ? 😱 #smarthome #cleaning #homecleaning #gadgets
01:00
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 1 Серия
40:47
Inter Production
Рет қаралды 1,2 МЛН
Люблю детей 💕💕💕🥰 #aminkavitaminka #aminokka #miminka #дети
00:24
Аминка Витаминка
Рет қаралды 1,3 МЛН
Mauaji yalivyofanyika Kanisani Njombe | Mtuhumiwa alivyomkatakata marehemu
11:16
MTANZANIA:UBAGUZI OMANI NIMEFANYISHWA MAPENZI NA VICHAA WATOTO WA BOSS WANGU.
23:51
BON KALINDO LERO🙌🙌🙌
15:11
HOT 265
Рет қаралды 7 М.
Glow Stick Secret Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 18 МЛН