Tutakutana siku isiyo nasiri na Mwenye nguvu mmoja tu. Tutajua haki na batili na Wallah hakuna mwanzo ukakosa mwisho, hata saa mbovu kunakipindi inasema kweli, ALLAH unajua chakufanya kwahawa miungu watu.
@DostoMukubwa-fb4grАй бұрын
Tunajua hayo na tunafatia kwa karibu sana ,upo sawa
@safiaothman5175Ай бұрын
IKIWA MAANDAMANO YATAKUWA SI YA AMANI JESHI LA POLISI LIWASHUGHULIKIE WAHALIFU. .TUNAMWOMBA MWENYEZI ATUEPUSHE NA KILA AINA YA SHARI,AAMIIN YAA RABBAL 'ALAAMIIN. MUNGU
@David-m4v8vАй бұрын
Mungu atuepushe na maovu
@AmenMushi-j2jАй бұрын
Mungu tusaidie baba yetu.wala hawatadhubutu
@rbmdavies88Ай бұрын
Uongo kigogo sio huyo kigogo hanaga hoja dhaifu hivyo
@ShaboNgerejaАй бұрын
Umelipwa sh ngapi
@lovenessvisent9408Ай бұрын
Ccm sio chama tena hatuwaamin tena dadek
@JoyceKabula-in1shАй бұрын
Ccm wabaya sana
@neemamarisamarisa-rd7cqАй бұрын
Shetani yupo kazini. Tena yupo nyuma ya hili. Kama Bwana aishivyo Mungu ni wa utaratibu. Kwani nini wasiwe na uvumilivu wa muombe Mungu. Na Wangeomba kikao na Mama mbona angewasikia takipeleka hoja zao nakushauriana nao. Rais ni mzazi anao watoto wa aina tofauti wapo vichaa,wavuta bangi wasomi, matahira, wapole na nicharuko. Ila mama afanye jambo jamani lisitokee tena kuona damu. Mungu amsaidie Rais wangu atende kwa hekima. Neno moja kwao wafarijike warudi nyuma. Mungu tuepushie jambo hili baya lisitokee.
@atupegemwakahesyaАй бұрын
Sababu za siku zote haziwezi kufanikiwa. Mungu ni mwema atawashughulikia Kwa wakati wake.
@IssaJohn-kk8pbАй бұрын
Huyo chawa kabisa sio kigogo ata kidogo
@GaradiGaradi-zq1wfАй бұрын
Tuna jeshi la wananchi kama vipi chukueni nchi tunauzwa kama papai
@pmfalilaАй бұрын
Takataka
@Aviator_daily_signalsАй бұрын
Huyo siyo kigogo😂😂😂
@DavidTuya-n8pАй бұрын
Sio kigogo huyo ni chawa wa ccm
@KiringoMtemiАй бұрын
WEWE KIgongo ni mpumbavu mujinga akili zako kama mashangazi umeishawa huna unalojua kenge wewe
@AyubuChacha-u6uАй бұрын
Watanzania hatuna haki kuwepo.
@Bilioneabichwa331Ай бұрын
Me nilifikiri ni kidogo kweli!
@erickmsigala138Ай бұрын
Huyo ni kigogo wa mashoga pumbavu zenu karne hii unafanya nani kuwa mjinga
@ThobiasMaranduАй бұрын
Sio Kigogo Wa Ukweli... Propaganda za Kipuuzi Hizi... KIGOGO FEKI
@ChristerKokuАй бұрын
Kigogo nadhani uongo ni mwingi tafakarini hoja dhaifu sana.Mungu tuongoze kishinda vita hii ya chuki,amani imeishatoweka kwa utekaji na mauaji ndo vikomedhwe bila hivyo ni mmmm.
@mariaanthoniangowi9376Ай бұрын
Tena si hivyo tu Bali sawa nachoo chastendi
@clauschaula2050Ай бұрын
Kigogo where is Soka?Stop your propaganda.
@bonfacemlay2233Ай бұрын
huyu co kigogo
@Mjeda-q1mАй бұрын
Kigogo ni muongo huyo anaajenda ya sili kumuhujumu rais
@KavidoKalitoАй бұрын
Msengee kigogo umejificha wewe kwanza nimwanaccm
@JoshuaSalimuАй бұрын
KIGOGO WEWE NI SHOGA
@EngelbertMakoyeАй бұрын
Kigogo ugogo wake ni bure kabisa huyo ni chawa tu apuuzwe
@AthumanMajasho27 күн бұрын
msanii nikama mdoli waduka la nguo ukivalishwa chupi unavaa siketi suluwali mlaadi tu ku kunapatika kibundu watete ccm kwauwovu wawengine ilawote ninashetani tunasubili maamuzi yamungu tu sio mafalme maovu
@IssaJohn-kk8pbАй бұрын
Huyo sio kigogo ni mtu mwingine kabisa msitudanganye watanzania
@BarakaSimon-xy9mpАй бұрын
Mna dis na kuhisi tyu watyu na hamuwez kuwakamata...
@benoldukaАй бұрын
Kumbe lijigogo ni hovyo
@BarakaSimon-xy9mpАй бұрын
Hatutaki izo tunataka wakamatwe
@HaryPoter-zw7vrАй бұрын
Kwa kweli tuwe makini Sana.tuache ushabiki
@christinenyagiro6662Ай бұрын
Huyo kigogo ni mchawa wa CCM NA PIA NI MCHOCHEZI MKUBWA SANA.HAWA WANAOTEKWA MBONA KIGOGO HAWEZI KUONGEA?
@GaradiGaradi-zq1wfАй бұрын
Wewe ni mjinga no moja Tanzania
@lucasmveyange3339Ай бұрын
Tumewachoka
@AizackKalenge-ro5rcАй бұрын
Uongo mtupu
@noelmakere1381Ай бұрын
Bwege tu huna kitu
@SubiranTimoАй бұрын
Kigogo muongo
@willymgaya7618Ай бұрын
SOKA NA WENZAKE WAKO WAPI ? KWA NDUGU NA WAPENDA HAKI WANAUMIA SANA.
@eliakazilo6078Ай бұрын
@@willymgaya7618 acheni ujinga.haya maandamano sio ya amani.wanasingizia tuu wenzao wamekufa,wametekwa wamepotea..kwani watu wanaokufa Tanzania Ni wangapi kwa siku?:wanakufa kwa magonjwa ajali n.k.mbona hawaandamani kwa ajili ya hao? Train imeua meli imezama,ndege imeamguuka.magari maroli..kwa Nini wasiandamane kwa ajili ya Hawa? Au Hawa sio wanadamu?wa chadema ndio wanathamani?Hawa kina Mbowe,mnyika ,lisiu,sigu Wana Jambo lao. La msingi waanze kukuta mti.tena waanzie chini ,kwenye Shina na mizizi.. hapa ndio wataiweza chadema..alafu na Chadema ifutwe.sio Chama pinzani
@bonfacemlay2233Ай бұрын
yani watu wana uwawa tukae kimy .. sa kama ninyi niwema wa nchi kwann hamtaki chama kingine kitawale muone mliyokose...
@hamisihemedi1099Ай бұрын
Maandamano niharamu
@eliakazilo6078Ай бұрын
Polisi wangeanza kazi na viogozi wa chadema.weka ndani wotee. Kabla maandamano kuanza. Alafu virunguvkes sanass.hadi wakome
@humphreybilly7437Ай бұрын
Mh
@leilashomari9835Ай бұрын
Kwa propaganda hamjambo Leteni majibu ya kina Soka wako wapi
@JoshuaSalimuАй бұрын
Hakuna mapanga wala chochote zaidi ya chupa za maji tuu
@MOHAMEDIABDURAHMANI-hu2giАй бұрын
Uhtunaiyomba serekali iwashughulikiye hawa wala wasiwaonee aibu kwani kutafuta amani kazizi kiliko kuiondowa, MUNGU tulindiye amani yetu, nautuondolee hawa maadui
@AmenMushi-j2jАй бұрын
Mm
@saturminmlay9988Ай бұрын
sasa mbona hakuna majibu ya waliotekwa na kuuwawa? serikali iko wapi??? nina wasiwasi na wewe.
@aidasalingwa976Ай бұрын
Mabwege watatumika kuchafua nchi ,wanaowatumia wana Mabwana zao nje wamesha andaluwa Makazi huko watakao mwaga damu za Watanzani kwa uchu wa madaraka Mungu atapambana nao Aamin
@AlumanaPillaАй бұрын
Na wasio julikana jee?
@lovenessvisent9408Ай бұрын
Siwapi kura yangu teeena
@BarakaSimon-xy9mpАй бұрын
False
@Hemedally-o9xАй бұрын
Serikali isikubali hatukitaki hicho chama na hao watakaovfuata mkumbo wafahamu Hali ikiwa Dio sheari tundu na mwezake mboe watakumbilia ubelgiji