HATIMAYE MBOWE APIGWA CHINI CHADEMA NZIMA WAMUUNGA MKONO LISSU,,TAZAMA MPAKA MWISHO...

  Рет қаралды 32,502

HABARI KIGANJANI

HABARI KIGANJANI

Күн бұрын

Пікірлер: 61
@OlobikooTobikoo
@OlobikooTobikoo 3 күн бұрын
Hongera mheshiwa lissu move forward wanangorongoro wanateseka bado
@ValeriJummane
@ValeriJummane 3 күн бұрын
Mimi na Simama na Tundu Lisu
@joycengoda6567
@joycengoda6567 2 күн бұрын
Twende na Lissu wanamkubali Lissu gonga Love❤❤
@AnnaFelix-p1z
@AnnaFelix-p1z 2 күн бұрын
@juliasmtundu442
@juliasmtundu442 3 күн бұрын
Nakuelewa wakili msomi na raisi WA trs tumupe kura zote lisu
@rizikiPeter-v6m
@rizikiPeter-v6m 2 күн бұрын
List is number 1
@JohnMhogo-hd3fs
@JohnMhogo-hd3fs 3 күн бұрын
Hata mm np na Lisu Mbowe mbona niwamchongo tu
@EliasBamanyisa-uu7og
@EliasBamanyisa-uu7og Күн бұрын
Hata hivo mzee mbowe hajachelewa kubadili maamuzi ambayo anasema yalichochewa na wapambe wake waweza kutumia busara na ubongo wa fahamu kustisha safari ya kuvuka mto ambao haujulikani kina chake
@MchungajiNzelani
@MchungajiNzelani 3 күн бұрын
Wanawake wamempotosha kamanda wetu mbowe huyu alitakiwa apumzike kwa heshima yake
@Omarimakuka
@Omarimakuka 3 күн бұрын
Mtajiju😊😊😊😊
@JacksonNyaikoba
@JacksonNyaikoba 3 күн бұрын
Lisu atakomboa
@mandelasamson8401
@mandelasamson8401 2 күн бұрын
Sie Chademas in blood imani yetu ipo kwenu satu watatu,,Lissu, Lema na Heche
@jombaajombaa-z4f
@jombaajombaa-z4f 3 күн бұрын
Lisu oyeoye
@LaurentMagesa-iv5yt
@LaurentMagesa-iv5yt Күн бұрын
Tundu Lisu hoyee.
@rizikiPeter-v6m
@rizikiPeter-v6m 2 күн бұрын
Tundu anatosha
@juliasmtundu442
@juliasmtundu442 3 күн бұрын
UONGOZI NI KAZI NGUMU KWA NINI UNG,ANG,ANIE ETI KISA WATU WAMEKUOMBA KWANINI ULIWACHOSHA WATU NA HOTUBA KWANINI USINGE.SEMA NATAKA KUENDELEA NA UWENYEKITI MBOWE UNAPOTEZA HESHIMA YA UZEE IGA MFANO WA ZITO ZUBERI KABWE
@Hkilave
@Hkilave 3 күн бұрын
Kwa ni aking'angania wewe unapungua nini
@Hkilave
@Hkilave 3 күн бұрын
Samuel kujiuzuru Mh Mbowe atagombea
@muhammadmpahi338
@muhammadmpahi338 Күн бұрын
Kwani watu wa ccm wanamtaka nani achaguliwe? Mkishajua hilo ndio mtajua nani mumchague awe kiongozi wenu chadema
@beinafuu6219
@beinafuu6219 3 күн бұрын
Sarung lwani hanapiga kura?
@evelina9621
@evelina9621 2 күн бұрын
Cdedema.iksimama.vizuri.wako.watu.wengi.sana.wanataka.mabadiliko.hata.wanaccm.awako.wengi.daudi.mflume.anayetajwa.kenye.biibilia.hakuwa.tajili.tusijali.wanao.kubali.lusi.anapendwa
@JacksonNyaikoba
@JacksonNyaikoba 3 күн бұрын
List pekoe atakomboa taifa letu
@salehrashid-fx9rq
@salehrashid-fx9rq 2 күн бұрын
Mimi nasimama na mama Samia. Tumpigie kura za ndio mheshimiwa rais wetu mama Samia
@vicentbunzal7342
@vicentbunzal7342 2 күн бұрын
Watanzania halali Wanamtaka lisu awe rais wao maan wamechoshwa na ma ccm majizi ya kura.
@GodfreyMwamaso
@GodfreyMwamaso Күн бұрын
Mama Samia simama naye wewe watanzania wengi hawamtaki hauziki anatumia nguvu kubwa kujinadi
@MchdaudShatta
@MchdaudShatta Күн бұрын
Lazima ccm ishind​@@GodfreyMwamaso
@MchdaudShatta
@MchdaudShatta Күн бұрын
Ushindi lazima hata kama hupigi kura sera za ccm zina uzika hata kama hutakikusikiliza ❤ccm❤uvccm
@MariamJeremia-u7e
@MariamJeremia-u7e 18 сағат бұрын
Unamtaka wewe Hana uwezo ea kusimamia haki zeti
@EliasBamanyisa-uu7og
@EliasBamanyisa-uu7og Күн бұрын
Nikijibu comm, ya grace kagoma anaposema kmba lissu ni msaliti, kwa lipi? Kwani kuchukua fomu na kukataa hongo ya abduli ndo unaoita usaliti?,au kiswahili ulipata F++
@pillykimenyi846
@pillykimenyi846 10 сағат бұрын
Neno kufunda kwa kilugha ni kufunzwa
@aarona.midende1789
@aarona.midende1789 2 күн бұрын
Ole wao chadema wakabidhi chizi ndo itakuwa mwisho wa chama hicho
@GodfreyMwamaso
@GodfreyMwamaso Күн бұрын
Machizi ni wepi wanaoiba rasilimali za nchi na wanaotetea wananchi wanaoteseka na umaskini
@malackedson7706
@malackedson7706 2 күн бұрын
Wanachama tusifanye kosa tumuchague risu
@FrankKwanama-lo6fj
@FrankKwanama-lo6fj 2 күн бұрын
Lisu anatosha ninyi wajumbe wa kamati kuu acheni kuwa wapambe na machawa!
@pillykimenyi846
@pillykimenyi846 10 сағат бұрын
Mbowe na lisu karibuni ccm tuwafunde kutunza siri
@EzekiaMtwale
@EzekiaMtwale 4 сағат бұрын
ni WAKATI wa mbowe kupumzka kwa hiyal, Lissu ashikilie nafas Kwan alipotufikisha mbowe inatosha kwa mchango wake!
@simbarajabu4157
@simbarajabu4157 2 күн бұрын
Mbowe atapata aibu kubwa ,tundu lissu anachukua kiti hicho ,mbowe anaumbuka
@bezalelmbijima8182
@bezalelmbijima8182 3 күн бұрын
Asilimia kubwaaaa! Ipi? Sarakasi tu hiyo itawataaabisha sana CHADEMA.
@juliusmlula1658
@juliusmlula1658 3 күн бұрын
Upande wa Lisu tumieni intelligence ya kubaini rushwa kutoka Kwa m,Kiti ili mtoe taarifa Takukuru COVID-19 Sasa wapo kzn kutoka rushwa ili Mbowe ashinde waripotiwe Takukuru
@JosephMwaitete
@JosephMwaitete 3 күн бұрын
Kama akili hatuna tutamchagua mtu anayekim❤bia mapambano kwenda nchi za nje,tutamwacha mzalendo anaye pambana akiwa na wanachama wake
@ObadiaChengula
@ObadiaChengula 3 күн бұрын
Wewe risa moja tu usingerudi kabisa ila tu unafiki
@Samuelmanga-r7z
@Samuelmanga-r7z 2 күн бұрын
Twende n lissu
@ZaidAKissinza
@ZaidAKissinza 3 күн бұрын
Mbona unawasemea? Kwanini wasiseme wenyewe? Mi naona kama unaongopa tu Ili utupige bando zetu
@KhalfanChaula-p7y
@KhalfanChaula-p7y 3 күн бұрын
Tuko na Tundu mwanzo mwisho
@gastonjohn537
@gastonjohn537 3 күн бұрын
Niko na lisu
@ibrahimjuma9709
@ibrahimjuma9709 3 күн бұрын
Ahead watu ndani wawili fake news 😂😂😂😂ai.
@DiwaniMwafongo
@DiwaniMwafongo 2 күн бұрын
Tundu ndiye mtu thabiti ....kanyooka. nyeusi aiita nyeusi!!
@MichaelKejo
@MichaelKejo 2 күн бұрын
Mbowe kama unahitaji kukilinda chama chako ulicho kipambania kwamiaka 20 basi muachie lissu husipo fanya hivyo basi chama kitakufa.
@MchdaudShatta
@MchdaudShatta Күн бұрын
Kweli umesema
@BashiriaziziMbaga
@BashiriaziziMbaga 3 күн бұрын
Haja pigwa chini chama siomali ya mtu mmoja
@EliasBamanyisa-uu7og
@EliasBamanyisa-uu7og Күн бұрын
Tundu lissu mm nimemfatilia anaweza kuleta mapinduzi hasa aweza kuonesha njia kuchukua pesa za watanzania pale zilipofichwa hapa nikiimanisha njia za uchumi kuwa wazi bila kubugudhiwa na kuwa uhru bila Kodi bambikizi
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 3 күн бұрын
Sarungi,Lissu na Karu m e Fatu m a ni wasaliti na wasenge😢
@SeverinMagwaya
@SeverinMagwaya 3 күн бұрын
wasaliti Kwa nani? mbona unachanganya mambo?
@MfunjoWabaBoydays
@MfunjoWabaBoydays 3 күн бұрын
Wewe acha hizo au weye unafilwa ATI🖕😊
@emmapaul1766
@emmapaul1766 2 күн бұрын
Kaoshe Kuma lako linanuka
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 3 күн бұрын
Lissu ni msaliti , haaminiki hana busara,fujo tu.anawafundisha vijana tabia chafu matusi.Wtz hatumuamini.bullet proof jackets na muda wote kupeleka habari za nchi za nje.uongo kibao.Risasi 16 kapigwa na wenzake na kusingizia CCM😮 Maria Sarungi ,pia no msaliti aende Hungary akale bata kwa ndugu wa mama yake. Baba yake Sarungi ni mzalendo Maria ni msaliti kama Lissu😢😢😢😢
@SeverinMagwaya
@SeverinMagwaya 3 күн бұрын
ni ccm wewe, jadili viongozi wako.
@MfunjoWabaBoydays
@MfunjoWabaBoydays 3 күн бұрын
Unajina zuri LKN akili yako 0💨🤯
@SephaniaMsigwa
@SephaniaMsigwa 3 күн бұрын
Kama Huna hoja usichangie
@EliasBamanyisa-uu7og
@EliasBamanyisa-uu7og Күн бұрын
Naye omory makuka comment yako bado haujaonesha ushiriki wa kuinua jahazi pale unaposema mtajiju,kwani wewe ni nchi gani,hata kama wewe mrundi mbona utawala mbovu wa burundi na rwanda nasisi tunaumia? Usichezee mwafaka wa kuleta amani na uongozi bora
@sethmwakangata1871
@sethmwakangata1871 3 күн бұрын
Atafute chama chake Lissu Chadema SI yake
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 55 МЛН
Don’t Choose The Wrong Box 😱
00:41
Topper Guild
Рет қаралды 62 МЛН
It works #beatbox #tiktok
00:34
BeatboxJCOP
Рет қаралды 41 МЛН
RASMI CHADEMA WAMKATAA MBOWE WAMCHAGUA LISSU
10:06
HABARI KIGANJANI
Рет қаралды 20 М.
Массированный удар РФ по Украине в Рождество
1:06
TISS ACHENI NJAMA CHAFU DHIDI YA LISSU NA MBOWE
11:13
SK Media Online TV
Рет қаралды 30 М.
Lissu Ataja UTAJIRI WAKE, Nchi YATETEMEKAAAAA!!!!!
17:15
SUPER TAMUTAMU
Рет қаралды 220 М.
MCH.OBED KATUNZI AMJIBU MCH MOSES MAGEMBE
56:21
SHUHUDA ZA KWELI
Рет қаралды 30 М.
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 55 МЛН